Sakata la Mbasha: Kanisa la Ufufuo na Uzima Latoa Tamko Lake Kuhusu Tukio Hilo
Kwanza tutoe pole Kwa watu wote mliofikwa na maafa mbalimbali pamoja na pole kwa kiongozi na mbunge wa Kigoma Zitto Kabwe kwa kufiwa na Mama Yake mzazi. Ni wiki sasa pamekuwa na gumzo hapa jijini juu...
View ArticleNaacha Buku 15 Daily Nakuta Ugali na Dagaa
Nimevumilia vya kutosha hii tabia sasa naona itakua imefika kikomo. Naishi na mpenzi wangu hatujafunga ndoa tatizo nashindwa kumuelewa kila siku niendapo kazini na kurudi jioni lazima nimuachie elfu...
View ArticleYay! Chris Brown Has Been Released From Jail
TMZ is reporting that Chris Brown has been released from jail after being locked up for 59 days. He was reportedly released around midnight yesterday. Chris was sentenced to a year in jail on May 9th...
View ArticleJe, Tume ya Uchaguzi wa Tanzania Inaweza Kudhubutu Kukaidi Amri ya Serikali...
Natafakari mchakato wa uchaguzi wa viongozi Malawi ukihusisa kumchagua Rais wa nchi hiyo jinsi ulivyofika mahali ukaleta sintofahamu hasa pale Rais aliyeondoka madarakani mh. Joyce Banda alipoamuru...
View ArticleSintah Amchana Irene Uwoya Kiana 'If I were You I would Remain Single for A...
Blogger Sintah Amemchana Irene Uwoya baada ya Picha zake za Mahaba kusambaa Akiwa na Kiserengeti Boy cha THT.Jisomee Alichosema Sintah"Katika dawati letu hatusemi mengi zaidi ya kusema Irene, Irene,...
View ArticleCollabo ya Diamond na Msanii Mkubwa wa Marekani Yanukia, ni Trey Songz!?
Diamond Platinumz anazidi kung’aa na kuvuka mipaka ya Tanzania na baada ya kufanya collabo kadhaa na wasanii wakubwa Afrika Magharibi, mkali huyo wa Ngololo amejisogeza kwa wasanii wakubwa wa...
View ArticleUnyama: Msichana Mwenye Umri wa Miaka 15 Abakwa kwa Zamu na Wanaume zaidi ya 38
Kuna baadhi ya binadamu wana roho mbaya zaidi ya wanyama wakali wa mwituni na ukisimuliwa matukio waliyofanya unaweza kujiuliza kama kweli ni binadamu au ‘mashetani’!Siku mbili baada ya kuripotiwa...
View ArticleWanajeshi wa Tanzania ( JWTZ ) wazuiwa kupita Rwanda
Serikali ya Rwanda imedaiwa kuwazuia kupita nchini humo baadhi ya askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) waliotoka kukisambaratisha kikundi cha waasi wa M23 kilichokuwa...
View ArticleMkurugenzi wa Clouds 'Kusaga' Ajitosa Kuwapatanisha Ali Kiba na Diamond
Mwanzilishi na Mkurugenzi Mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga amesema atajaribu kukaa na wasanii wa muziki Diamond na Ali Kiba na kuangalia tofauti zao ili kuwapatanishaAkizungumza na The...
View ArticleLissu Arusha Kombora Lingine kwa Mawaziri
Dodoma. Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira), Dk Binilith Mahenge, jana walituhumiwa kutumia vibaya nafasi zao kwa kuweka fedha nyingi za...
View ArticleRais Mpya wa Malawi ana Msimamo Mkali Ziwa Nyasa, Asema Haya
Wingu jeusi limeanza kutanda kuhusu hatima ya mzozo wa Ziwa Nyasa kutokana na msimamo wa hivi karibuni wa kiongozi wa Democratic Progressive Party (DPP), Peter Mutharika ambaye sasa ni Rais mpya wa...
View ArticleHii Sasa Kali…Cheki Picha Mpya za Rihanna Zinazoleta Gumzo Kwenye Internet
Rihanna amewahi kuacha gumzo mara nyingi kutokana na picha zake zinazosambaa mtandaoni. Mara nyingine tena picha za Rihanna ndio zinakuwa picha zinazoangaliwa sana hivi sasa kwenye mtandao.Picha hizi...
View ArticleMbasha 'Bora nijiue Sipo Tayari Kupata Aibu. 'Mke Wangu Amekuwa Tatizo Kwenye...
Upande wa pili wa shilingi! Kwa mara ya kwanza tangu ahusishwe na skendo ya ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17, mume wa mwimbaji wa Injili nchini, Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha ameibuka na...
View ArticleUkweli Kuhusu Kifo cha Dent wa Chuo Kikuu Aliyekutwa Amekufa Hostel
HATIMAYE familia ya denti wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, marehemu Sekabenga Pius Mwakimenya (21) kilichotokea hivi karibuni na kugubikwa na utata, imeanika ukweli kuhusiana na tukio hilo.Akizungumza...
View ArticleUlimbukeni wa Pesa Waanza Kumchafua Young Killer..Amwanika Demu wake Kifua Wazi
Picha hizi zimezua story kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii, baada ya Demu wa Rapper anaechipukia kutoka Tz kuonekana akiwa amejimwagia pesa juu ya kifua chake huku sehemu ya chuchu upande mmoja...
View ArticleDiamond Azidi Kumgalagaza Davido Kwenye Maoni ya BET Awards, Sasa Amzidi...
‘Die hard fans’ wanaweza kufanya lolote kuhakikisha wanampa ushindi msanii wao katika shindano lolote linalohiotaji ushiriki wao hasa wa kupiga kura au maoni, kama kinachofanywa hivi sasa na mashabiki...
View ArticleGood News:Wema Sepetu na Kajala Wamepata na Kushikana Mikono
Unaweza kuona kama bado drama zinaendelea lakin ni kama movie imefika mwisho, kwani wale wakali wawili waliotengeneza headline hapa mjini kwa social media wamepatana, Kajala Masanja na Wema sepetu....
View ArticleMaskini:Utumbo wa Pacha Aliyekuwa Ameungana na Mwenzake Uko Nje
Mmoja wa watoto pacha waliozaliwa wakiwa wameungana na kutenganishwa kwa upasuaji nchini India, hali yake ni mbaya na utumbo wake mkubwa sasa umetoka nje.Mtoto huyo Eliud Mwakyusa na mwenzake Elikana...
View ArticleWanawake CCM Wamfariji Vicky Kamata Baada ya Harusi Yake Kukwama
Wabunge wanawake wenye muda mrefu bungeni pamoja na mke wa waziri mkuu, Mama Tunu Pinda juzi walimuandalia sherehe ya kumfariji mbunge wa viti maalum (CCM), Vicky Kamata baada ya harusi aliyotarajia...
View ArticleSikiliza Mume Wa Flora Mbasha Akikubali Kubaka Na Kuomba Msamaha Kwa Shemeji...
Clip hiyo Hapo chini ya Audio Kwa sasa inazunguka Mitandaoni inasemekana ni Mume wa Flora Akiongea na Shemeji yake Ambaye Inadaiwa Kambaka hatuna huhakika nayo ila na wewe sikiliza:"Tunaomba usikilize...
View Article