Mateso Yamwandama Madam Rita Atembelea Magogo Mwaka Mzima Sasa
MATESO! Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Productions inayoendesha shindano la kusaka vipaji vya muziki, Bongo Star Search (BSS), Rita Paulsen ‘Madam’ amesimulia mateso aliyopitia takriban mwaka sasa...
View ArticleAl-Shabab washambulia tena Kenya na kuua watu 29 wasio na hatia
Watu 29 wameripotiwa kupoteza maisha baada ya watu wenye silaha za moto kufanya mashambulizi mawili katika eneo la Lamu, Pwani ya Kenya, Jumamosi (July 5).Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa watu...
View ArticleWasichana 63 waliotekwa na Boko Haram watoroka na kurejea Nyumbani
Wasichana 63 waliotekwa na kundi la Boko Haram mwezi mmoja uliopita wamefanikiwa kutoroka kutoka kwenye kambi waliyokuwa wamefichwa na kurejea makwao.Kwa mujibu wa maafisa wa Nigeria, idadi hiyo...
View ArticleLulu Michael Awafungukia Wabaya Wake Wanao Mchafua Kila Siku
Stori: shakoor jongoKumbe! Sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amefunguka kwamba amewajua wabaya wake wanaomfuatilia na kumsakama kwa ubaya katika maisha yake, amewaonya kuwa dawa...
View ArticleNani Kasema Nimehongwa Gari ? Acheni Umbeya Mwenzenu Najituma
Mafanikio! Taarifa ikufikie kuwa staa wa Bongo Fleva, Estalina Sanga ‘Linah’ amekanusha stori za madai ya kuhongwa gari jipya analosukuma mjini kwa sasa aina ya Toyota Mark X.Akizungumza na mwanahabari...
View ArticlePicha za Wema Sepetu, Aunty Ezekiel na Martin Kadinda Zatibua Swaumu
OOHOO! Picha ambazo hazijakaa poa katika kipindi hiki cha Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani za mastaa, Aunt Ezekiel, Wema Sepetu na Martin Kadinda zimetibua swaumu za Waislamu waliofunga.Picha hizo...
View ArticleTazama Video Mpya Iliyosubiriwa Kwa Hamu Ya Diamond Platnumz-Mdogo Mdogo
Video Mpya ya Wimbo wa Diamond unaotamba kwa sasa Mitaani-Mdogo Mdogo Bro Hata sijalala just been on Your youtube Channel..But One thing its worth my Sleep..Such an Amazing Hit..Brother Your the best...
View ArticleNew Video:Diamond Platnumz Feat Iyanya - Bum Bum (Official Video)
Well done Diamond , though wanted to see more shakes from that lady with red gown and those dancers... am in love with your creativity but make sure hupotezi ladha ya mziki wetu wenye ladha ya kikwetu,...
View ArticleChris Brown and Karrueche Tran Call it Quits...Again?
What are these two up to again? Just last week, it was all good between them with Chris posting butt pics of Karrueche on his instagram page. But it looks like they may have called it...
View ArticleChadema:Tumeshtuka Hatuchukui Tena Makapi ya Kutoka CCM
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema hakitasubiri wanachama watakaoachwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) kwenye uteuzi wa wagombea katika uchaguzi mkuu ujao.Kutokana na tamaa ya kuingiza...
View ArticleUSAJILI: Yanga Sasa Yakubali Kumuuza Mrisho Ngasa Afrika ya Kusini
Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa ruksa kwa klabu ya Free State Stars ya Afrika Kusini kufanya mazungumzo kama wanataka kumsajili mchezaji wao nyota, Mrisho Ngasa.Awali klabu hiyo ilishangazwa na hatua...
View ArticleMaiti Zalazwa Vitanda vya Wagonjwa Badala ya Kuifadhiwa Motuari
Wananchi wanaopata huduma za afya katika kituo cha afya Murongo wilayani Kyerwa mkoani Kagera, wameuomba uongozi wa kituo hicho kujenga chumba cha kuhifadhia maiti ili kuwaondolea adha wananchi...
View ArticleKwanini Wanawake Wanawahi Kusahau Shida Walizopitia
Unamkuta binti kijijini kachoka, kapigika hata mafuta ya kujipaka hana anavaa kandambili za kuunga lakini kwa kumuangalia tu ana sura nzuri japo haina matunzo ukioa ukaja nae mjini ukamfungulia kamradi...
View ArticleDiamond Amzawadia Mama Yake Gari Siku ya Birthday Yake Jana (Video)
Ingawa hayupo Tanzania lakini hakungoja mpaka arudi ndipo akabidhi zawadi hii badala yake alichokifanya ni mara baada ya kukamilisha kila kitu kinachoihusu gari hii Diamond Platnumz aliwapatia mameneja...
View ArticleMajina ya Watanzania Waliofungwa Nje ya nchi Baada ya Kukamatwa na Madawa ya...
Majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali duniani kwa makosa ya madawa ya kulevya ‘unga’.Baadhi ya watuhumuiwa wa kiume waliokamatwa kwa makosa ya...
View ArticleBomu Lingine Larushwa Hotelini Arusha na Kujeruhi Watu Kadhaa (Picha)
Bomu limerushwa na watu waliokuwa kwenye pikipiki nakujeruhi watu zaidi ya wanane waliokuwa wakipata chakula cha jioni katika mgahawa wa Vema.Quote Of The Day:We can't help everyone, but everyone can...
View ArticleRACHEL wa T.H.T achanganyiwa Bangi na UNGA…Juhudi za haraka zatakiwa kumnasua
Kama ilivyotokea kwa msanii nyota wa kike wa bongo fleva, Rehema Chalamira ‘Ray C’ kuingizwa katika matumizi ya dawa ya kulevya na mtu ambaye alitokea kumwamini sana, ndivyo...
View ArticleExclusive: Video za Bum Bum na Mdogo Mdogo zimemgharimu Diamond shilingi...
Wakati unafurahia kuangalia video kali mbili za Diamond Platnumz, Bum Bum na Mdogo Mdogo zilizoachiwa kwa pamoja jana, tungependa kukufahamisha kuwa ubora huo unaouona haujaja kwa pesa za nyanya.Bum...
View ArticleSoma Majibishano ya Watanzania Waishio Nje ya Nchi Kuhusu Video ya Mdogo Mdogo
Utake ustake, wiki hii na wiki nyingine zijazo jina la Diamond litakuwa likizungumzwa sana si tu Tanzania bali sehemu nyingi duniani kwa watu wanaoufuatilia muziki wa Afrika. Kitendo chake cha kuachia...
View ArticleAlichokisema WEMA siku ya birthday ya Mama DIAMOND PLATINUMZ
Mara kadhaa mama Wema Sepetu alikaririwa akisema hamkubali Diamond kuwa katika uhusiano na mwanae. Na kwa upande mwingine habari zilidai mama Diamond hamkubali Wema bali anamkubali VJ Penny.Sasa basi...
View Article