FIFA yaipiga marufuku Nigeria kushiriki mashindano yeyote ya Kimataifa
Shirikisho la soka duniani (FIFA ) limeipiga marufuku Nigeria kushiriki mashindano yeyote ya kandanda yanayoandaliwa na shirikisho la soka duniani FIFA.Hatua hii imeafikiwa baada ya maafisa wa serikali...
View ArticleDiamond atoa sababu za kuwatumia wazungu kwenye video ya ‘Mdogo mdogo’
Kumekuwa na maoni tofauti kuhusiana na video ya ‘Mdogo mdogo’ ya Diamond Platnumz iliyotoka Jumatatu ya wiki hii. Wapo ambao wamefurahishwa na story iliyoko kwenye video hiyo na wengine ambao...
View ArticleWema Afunika Instagram Aweka Picha Akiwa na Mama Mkwe Wake na Kuandika Maneno...
Siku ya Birthday ya Mama Diamond Wema Alikuwa na Kazi ya Kupost Picha tu Insta Akiwa na Mama Mkwe Wake ambapo alipost Picha zaidi ya 20...Hongera Wema kwa Kumpenda Mama Mke ila Isije ikawa ya Muda...
View ArticleMchekeshaji Mpoki Atoa Wimbo Mpya Akimshirikisha Ben Pol ..Sikiliza Hapa
Mchekeshaji Maaarufu Mpoki ameachia ngoma Mpya akimshirikisha Ben Pol ngoma inaitwa “Umiza Kichwa” Poroducer ni LamarQuote of The Day: I hope everyone that is reading this is having a really good day....
View ArticleBaba Kanumba Afunguka 'Mama Kanumba Tafadhali Acha Njaa'
BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, marehemu Steven Kanumba, Charles Kanumba ameibuka na kumtaka mama Kanumba, Flora Mtegoa kuacha tabia ya kuombaomba michango mbalimbali.Akipiga stori na...
View ArticleAmanda Mwigizaji wa Bongo Movies Afunguka Sababu za yeye Kutokuzaa Mpaka Sasa
Na Gladness MallyaSTAA wa filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefunguka kuwa mpaka sasa hajazaa kwa sababu bado alikuwa hajamuona mwanaume wa kuwa baba watoto wake.Akichonga na gazeti hili,...
View ArticleFlora Lymo'Wafanyakazi wa Ubalozi UK ni Wanafiki Wanafanya Kazi Viongozi...
Ndugu zangu Watazania wenzangu ''kwanza Huu ni Mwezi mtukufu wa Ramadan kwa wale wenzetu Waislam '' napenda kuwatakieni Ramadan Njema''Mimi hapa ninayo machache ''juu ya huu mualiko wa kukutana na...
View ArticleMabinti Msio Ndani ya Ndoa, Ndoa Nyingi za Matajiri ni Utata Mtupu Msihadaike!
Mabinti walio wengi hutamani sana kupata wenzi wao wa maishay aani waume wenye uwezo mkubwa kifedha,yaani mume ambaye ana nyumba nzuri tayari,gari la kutembelea na mazagazaga mengine kibao...
View ArticleMaamuzi Gani Nichukue Dhidi ya Ndoa Yangu?
Mimi ni mama wa watoto wawili, nimefunga ndoa miaka saba iliyopita, mwanzo kabisa maisha yangu ya mahusiano hayakuwa mazuri hata kidogo, first of all niliwahi kubakwa nikiwa na umri wa miaka 15, baada...
View ArticleFLora Lyimo Aendelea Kumuanika Le mutuz "Mwanaume Mzima Unashindana na...
SASA WACHA NIKUFUE NA NIKUANIKE NNJE NA 360 NA OLE WAKO USIPOKAUKA,MAANA NITAENDELEA KUKUANIKA MPAKA UTAKAPO KAUKA MBWA WA SOKONI USOJIJUA'' WEWE APO KULIA PICHANI 'LEMUTZ aka LEMUTUMBAZ'NI HIVI''' Kwa...
View ArticleMwanamke Aliyemng’ata Hausigeli na kumchoma Pasi Aachiwa
Mtuhumiwa wa kesi ya kujeruhi kwa kumng’ata sehemu mbalimbali za mwili mfanyakazi wa ndani, inayomkabili Amina Maige (42) amepatiwa dhamana jana baada ya mahakama kuthibitisha kuwa hasira kutoka kwa...
View ArticleHatimaye Penny Aliyekuwa Mchumba wa Diamond Avalishwa Pete ya Uchumba
Mtangazaji maarufu nchini VJ Penny ambaye alikuwa mpenzi wa Diamond Platnumz amechumbiwa. Kupitia Instagram Penny ameweka picha akiwa amevaa pete ya uchumba na kuandika ujumbe huu: “Road trip...
View ArticleRose Ndauka Amkimbia Mumewe
Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka hivi karibuni aliamua kumkimbia mumewe Malick Bandawe, kisa mfungo wa Ramadhani ambapo sasa anaishi Kigogo na mama yake mzazi.Akipiga stori na mwanahabari wetu,...
View ArticleVANESSA MDEE azungumzia nia yake ya kushiriki BIG BROTHER
LEO July 11 ndo siku ambayo usaili wa kuwatafuta washiriki watakaoiwakilisha Tanzania katika reality show ya Big Brother nchini Afrika Kusini utaanza kufanyika.Mara nyingi zinapokaribia siku za usaili...
View ArticleChid Benz Amshushia Kipigo Ray C, Amfuata Nyumbani usiku wa Manane
Na Musa MatejaUonevu! Rapa mwenye ‘swagger’ za Ja-Rule Bongo, Rashid Makwilo ‘Chid Benz’, anadaiwa kukwaa kisanga kingine kibaya baada ya kukurupuka kutoka nyumbani kwake na kwenda kumvamia staa...
View ArticleKajala 'Wema ni Mnafiki Kabisa. Upatanisho Wetu ni wa Uongo'
Musa Mateja na Shakoor JongoSTAA wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja ameibuka na kusema kuwa ushosti wake na Miss Tanzania 2006/07, Wema Sepetu, uliorudishwa hivi karibuni baada ya kuwekana sawa ni wa...
View ArticleRIYAMA: 'Ukinitokea' Sina Hiyana. Nakukalisha Chini Tuzungumze
STAA wa filamu Bongo, Riyama Ally amesema katika maisha yake hajawahi kumtukana mwanaume pindi anaponitokea hata kama hamuhitaji, anamjibu kwa busara.Akipiga stori na paparazi wetu, Riyama alisema yeye...
View ArticleDaktari Mwingine Feki Akamatwa Hospitalini
Askari Polisi wakimtoa nje daktari feki, Karume Habibu (22) kutoka kwenye ofisi ya Mganga Mkuu wa Hospital ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ambako alihojiwa kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi kwa...
View ArticleMaskini:Aliyedhani Kupona Ukimwi Augua Tena
Mtoto mmoja nchini Marekani ambaye alidhaniwa kuwa mtu wa kwanza nchini humo kutibiwa virusi vya HIV akiwa mtoto, amepatikana tena kuwa na virusi hivyo.Mtoto huyo mwenye umri wa miaka minne kutoka...
View ArticleUkweli Kuhusu Kuzikwa Kwa Balali 'Kabari Lake Laonekana'
Mkazi wa Kijiji la Luganga, Wilaya ya Mufindi, Iringa, alikozaliwa Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali analazimika kutumia saa 32 kufika katika kaburi la kiongozi huyo...
View Article