Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109439 articles
Browse latest View live
↧

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HITILAFU: Abiria 48 wa PrecisionAir Wanusurika

Ndege ya Shirika la PrecisionAir iliyokuwa imeruka kwa safari zake kutoka Mwanza kwenda Nairobi nchini Kenya kupitia Kilimanjaro jana, imelazimika kutua kwa dharura baada ya kupata hitilafu ikiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kinara wa Madawa ya Kulevya Zanzibar Akamatwa Uwanja wa Ndege na Kilo 5000 za...

Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata Ali Suleiman Rashid (34) akiwa na mikoba 14 ya wanawake aliyohifadhia dawa za kulevya zenye uzito wa kilo tano akitokea Oman katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uchaguzi wa washiriki wa Big Brother: Siri iliyofichuka nyuma ya story ya...

Nimeangalia video iliyowekwa mitandaoni inayomuonesha Yule aliekuwa mume wa Dida akihojiwa sababu za kuachana na mke wake.Kuna hiki kitu amekitaja kimenivutia kdogo nidadisi" Kwamba Mult choice...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mpoki atangaza vita na Shigongo & Joseph Shaluwa wa GPL

Katika wimbo wake mpya alio mshirikisha Ben Paul. Mpoki anasikika akisema maneno yafuatayo :" WATU WA BONGO MOVIE, WALA MSILALAMIKE KUPOROMOKA KWA MAUZO YA KAZI ZENU, KWANI ANAYE WACHAFUA NI MSUKUMA WA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Nifanyeje Mat'ako' Yasitingishike Nitembeapo?

Mimi ni Binti wa Miaka 21 kwa sasa , Naandika hili kuwaomba wadau ushauri..ombo langu kidogo lina utata hasa maeneo ya makalio ki ufupi nimejaliwa sana sijisifii ..Pamoja na Kujaliwa huko nimekuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Penzi ni Kikohozi Alifichiki...Huyo Ndio Mwanaume Mpya wa Jack Wolper

Mambo yametoka huko INSTAGRAM....Calisah ambaye ni Model aliewhi kushiriki shindano la Mr Tanzania (2013-2014)  na kushika nafasi ya 4...ameamua kuweka wazi uhusiano wake wakimapenzi na mwanadada...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dayna Nyange Aeleza Uamuzi Aliouchukua Baada ya Kukutana na Changamoto za...

  Mwimbaji wa kike Dayna Nyange azungumzia jinsi alivyokutana na changamoto nyingi baada ya kuamua kubadili rangi ngozi yake na kuwa nyeupe.Akiongea katika The Jump Off ya 100.5 Times Fm, Dayna...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Diamond 'Wanawake Wengi Wanajitongozesha Kwa Diamond, Wanatuma Mpaka...

Mama mzazi wa star anayeipeperusha vizuri bendera ya Tanzania kimataifa kwa sasa kupitia muziki, Nasib Abdul a.k.a Diamond Platnumz jana (July 11) alipata nafasi ya kuzungumza na Watanzania kupitia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dr Dre ashitaki Makampuni ya kichina yaliyoingiza $ Billion 135 kwa kuuza...

Dr Dre na Jimmy Lovin ambao wanaendelea kushangilia kuwa mabilionea baada ya kuwauzia Apple kampuni yao ya Beatz Electronics kwa $ Billion 3 tu, wamepata mshituko baada ya kugundua kuwa Makampuni ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Neymar Atokwa na Machozi Asema Amemsamehe Aliyemuumiza, Asema Ilibaki Kidogo...

Mshambuliaji wa kutumainiwa wa timu ya taifa ya Brazil, Neymar da Silva Santos Júnior amejikuta akibugujikwa na machozi, alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya hali yake mara baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKATILI! Wasichana 7 wafariki dunia baada ya kubakwa na kuchomekwa Chupa...

Wasichana saba wamepoteza maisha wilayani Nachingwea mkoani Lindi baada ya kubakwa na kunyongwa kisha kuwekewa vijiti na chupa kwenye sehemu zao za siri.Wasichana hao wamepoteza maisha kwa nyakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKATILI: Mtoto Afichwa Uvunguni kwa Miaka 6 Huko Morogoro

Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha  kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kauli ya Mwisho ya Ballali Kabla ya Kifo Chake

Dar na Marekani. Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania BOT), Marehemu Daudi Ballali aliacha wasia unaotaka maiti yake isionyeshwe hadharani atakapofariki dunia na wala maiti yake isiletwe Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sumaye: Nitagombea urais 2015

Hatimaye Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye ambaye kwa muda mrefu amekuwa akitajwa kuwania urais amethibitisha rasmi kuwa atagombea kwenye uchaguzi mkuu mwakani.Kiongozi huyo aliweka wazi nia ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aibu Kubwa:Wabongo Wafumaniana China, Wazichapa Bara barani na Kuvuana Nguo

Stori: Shakoor Jongo na Musa MatejaNi aibu kubwa kwa taifa! Huku Waislamu wakiendelea na Mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, warembo wawili, raia wa Tanzania (Wabongo), mmoja mkazi wa Sinza, Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Shilole Adaiwa Kukataliwa Ukwenu..Kisha Umri

Stori: Jamila Said na Emelder TarimoHaijakaa poa! Habari zinadai kwamba baadhi ya ndugu wa msanii wa Bongo Fleva, Nuh Mziwanda ambao ni wakwe wa staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Aunt Ezekiel:Sina Gundu na Wanaume Mimi, Watu Wanaongea tu Bila Kujua ukweli

GUNDU? Baada ya kudaiwa kuwa na gundu kufuatia kila mwanaume anayeishi naye kuandamwa na majanga, staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel Grayson ameibuka na kukanusha madai hayo akisema hayana ukweli.Baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Full time ya Ujerumani vs Argentina, Tuzo za Wanasoka Bora wa Michuano

Baada ya mwezi mmoja hatimae michuano ya kombe la dunia imemalizika nchini Brazil ambapo mechi ya fainali iliwakutanisha Ujerumani vs Argentina jijini Rio de Janeiro kwenye uwanja wa Maracana.Ushindi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sikuwahi Kufikiria Naweza Kufanya Mapenzi na Mtu Nisiye Mjua Tena kwenye Basi

Nilikuwa Siamini Ule msemo wa Wazungu unaosema Love at the First Sight , ila yaliyonikuta mwenzenu acheni tu..Mimi ni Msichana wa Miaka 25 Ilikuwa Week iliyopita nikiwa Safarini naenda Mwanza kutokea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATE: Hali ya Mtoto Devota Malole aliyefichwa Uvunguni kwa Miaka 5 yazidi...

Mtoto Devota Malole aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kilosa kufuatia mama yake kumtesa kwa kumfungia ndani na kumlaza chini kwa muda wa miaka mitano amehamishiwa katika hospitali ya...

View Article
Browsing all 109439 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>