HUDDAH MONROE AMCHANA LIVE VERA SIDIKA KWA KUSEMA ANAMILIKI NYUMBA...
Well, yo'all know them for flaunting their cash, or shaking their booties while showing off what they've got...the Bootylicious Vera Sidika and Socialite Queen Huddah Monroe, the two ladies who rule...
View ArticleBREAKING NEWS:WATU 200 WALIOKUWA WAKISAFIRI KWA NDEGE YA ETHIOPIAN AIRLINE...
Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura. Watu 200 waliokuwa...
View ArticleUFISADI MPYAAA WA MWENYEKITI WA TAIFA CHADEMA NA MBUNGE WA HAI, FREEMAN MBOWE...
Imeandikwa na Habibu Mchange0762178678:------- Juzi niliandika kuhusu unafiki wa MBOWE kuwahadaa Watanzania ya kwamba yeye hanunuliki, nilitoa ushuhuda wa MBOWE kupokea million 100 kutoka kwa ROSTAM...
View ArticleTAZAMA PICHA JINSI ILIVYOKUWA NDANI YA PANTONI BAADA YA KIVUKO KUPOTEZA...
Ilikuwa ni mida ya saa nane mchana ambapo Pantoni kubwa ya Mv. Magogoni ikiwa imesheheni abiria ikiwavusha kutokea Posta kuelekea Kigamboni , ilipatwa na wakati mgumu baada ya kushindwa kutia nanga ili...
View ArticleKENYA YAFIKIA PABAYA MACHANGU DOA WAANDAMANA KUDAI HAKI ZAO
Makahaba mjini Nairobi Kenya waliungana na wenzao duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya kupinga unyanyasaji dhidi yao.Waliandamana Jumanne kulalamikia kile wanachosema ni unyanyasaji wanaofanyiwa na...
View ArticleHIVI NDIVYO JINSI NDEGE YA ETHIOPIA AIRLINE ILIVYOCHIMBA UWANJA WA NDEGE...
Watu 200 waliokuwa wakisafiri kwa ndege ya Ethiopian Airline wanusurika kufa baada ya ndege kupitiliza hadi nje ya uwanja mdogo wa ndege wa Arusha baada ya kutua kwa dharura.Ndege aina ya Boeing 767...
View ArticleNILIKOSA ULAJI WA KUFANYA FILAMU YA ULAYA KWASABABU YA CHARGER YA SIMU-BIGGIE
Mwigizaji mwenye muonekano wa kipekee katika tasnia ya filamu Bongo Lumole Matovolwa ‘Biggie’ anasema kuwa alikosa kwenda kuigiza filamu Ulaya kwa sababu ya kwenda kurekodi filamu mbali na ukosefu wa...
View ArticleFASTJET RESISTS PRECISION'S $32M BAILOUT
Dar es Salaam.The battle to control Tanzania’s skies has taken a new twist after Fastjet, a low-cost airline which entered the market with a bang, strongly opposed Precision Air’s(PW) decision to seek...
View ArticleWABUNGE WAUMBUANA HADHARANI BUNGENI
Dodoma. Wabunge jana waliumbuana kuhusu matumizi mabaya ya fedha za umma huku Kiongozi wa Kambi ya Upinzani, Freeman Mbowe akituhumiwa kuagiza kubadilishwa kwa tiketi ya ndege ya Mbunge wa Viti Maalumu...
View ArticleRAGE AJIVUA LAWAMA SIMBA KUHUSU SUALA LA MCHEZAJI OKWI KWENDA YANGA
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage ameibuka na kusema kuwa lawama za kutokumsajili mshambuliaji wao wa zamani kutoka Uganda, Emmanuel Okwi zielekezwe kwa Kamati ya Usajili na...
View ArticleNANI KASEMA BONGO FLAVA HAILIPI-BARNABA AVUTA MKOKO MPYAAA
Bado huamini kwamba muziki wa bongo sasa unalipa? Kama umejibu ndiyo nakushauri u-update fikra zako sababu wasanii wa miaka ya sasa wamekuwa wakionesha mafanikio ya aina mbalimbali yanayotokana na kazi...
View ArticleLULU: KAMA SI KANUMBA YANGENIKUTA MAZITO
SURA ya mauzo katika sinema za Kibongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ametoa ya moyoni kuwa kama siyo kuwekwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya Segerea, Dar basi yangemkuta mazito.Lulu alikaa Gereza la...
View ArticleRAY C AANIKA VIGEZO VYA MUMEWE MTARAJIWA
Na Gladness MallyaSTAA wa muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameibuka na kusema kuwa anahitaji mume anayemzidi umri kwa miaka kumi.Akizungumza hivi karibuni kwenye kituo kimoja maarufu cha...
View ArticleJACK WOLPER NA ZAMARADI NDANI YA BIFU ZITO
Na Shakoor JongoSTAA wa sinema za Bongo, Jacqueline Wolper amemrushia maneno ya lawama Mtangazaji wa Kipindi cha Take One, Zamaradi Mketema kuwa ni mnafki na adui yake mkubwa katika maisha.Akizungumza...
View ArticleBABY MADAHA: DIAMOND HANIWEZI, AWATISHIE WATOTO TANDALE
MWIGIZAJI na mwanamuziki Bongo, Baby Joseph Madaha amemchana Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kumwambia awatishie watoto wa Tandale kwani hana ubavu wa kuchuana naye.Akizungumza na paparazi wetu, Baby...
View ArticleDR SLAA TUKISHIKA DOLA TUTARUHUSU UTENGENEZAJI WA POMBE YA GONGO KISHERIA
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetoa mpya baada ya kueleza kuwa kitakapofanikiwa kushika dola kitaruhu Shirika la Viwanda Vidogo Vidogo (SIDO) kutengeneza mitambo ya kutengenezea pombe...
View ArticleKWA WANAUME TU-UNAPENDA MWANAMKE GANI KATI YA HAWA HAPA CHINI?
Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza?1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza?2) Msumbufu na umempata baada ya...
View ArticleSAMWELI ETOO AAMBULIA MATUSI YA NGUONI KUTOKA KWA MASHABIKI WA CHELSEA BAADA...
Mashabiki wa Chelsea wanamrushia matusi pamoja na maneno ya kebehi striker Samuel Eto’0 baada ya kupost picha ambayo sio kawaida kwa mchezaji ku-tweet pale timu yake inapokua imepata matokeo mabaya...
View ArticleHIZI NDIO HABARI NJEMA KUHUSU TOZO YA KODI KWA LINE ZA SIMU KUTOKA KWA...
Habari za kodi kwa laini za simu ilichukua vichwa vya habari kwa wakati wake hadi pale mheshimiwa Rais alivyotoa agizo kwa wahusika kulishughulikia hili suala.Naibu Waziri mwenye dhamana ya...
View ArticleMWIGAMBA:BAADA YA ZITTO KUONDOLEWA ANAEFUATA NI DR SLAA
Aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa Arusha Samson Mwigamba amesema kuwa mpango unaofuata kwa sasa ni kumuondoa Dr slaa ndani ya chadema.amesema baada ya zitto kuondolewa ndani ya chama mtu...
View Article