KAJALA AFUNGUKA BAADA YA TUHUMA ZA KUTEMBEA NA MUME WA MWASHA (8020 FASHIONS)...
Baada ya gazeti moja la udaku linalotoka kila jana kutoa taarifa tata juu ya mwigizaji maarufu wa filamu nchini Kajala Masanja kuwa, kwa mdada huyu sasa ameamua 'kuiingilia ndoa ya Shamim Mwasha -...
View ArticleJESCA KIKUMBIA AIKANA ACCOUNT YA FACEBOOK INAYOWEKA PICHA ZAKE MBAYA AOMBA...
"This thing is getting worse,my friends huyo mtu anayetumia jina langu kwa fb bado unapost picha zangu anajiita same name as me and same profile picture,hiyo acc ukiangalia unajua sio yangu,maana kwa...
View ArticleSPIKA MAKINDA: MBUNGE ALIYE TAFUNA POSHO KWA MASLAHI YAKE BINAFSI AZIRUDISHE
Dodoma.Spika wa Bunge, Anne Makinda jana alipigilia msumari sakata la wabunge kuchukua posho bila kuzifanyia kazi stahiki kwa kuwaamuru wazirudishe.Spika alitoa kauli hiyo jana asubuhi wakati akitoa...
View ArticleAMANDA AANIKA CHANZO CHA USAGAJI KWA MASTAA
Na Mwandishi WetuMSANII wa filamu, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amefungukia sababu za baadhi ya mastaa kujiingiza kwenye tabia chafu ya usagaji akidai kuwa, kutendwa na wanaume ndiyo chanzo cha...
View ArticleWABUNGE WAZIDI KUMKALIA KOONI WAZIRI MKUU PINDA...FOMU ZA KUMG'OA UWAZIRI...
Hali bado ni tete bungeni.....Wabunge wanawataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi na Waziri wa...
View ArticleBREAKING NEWS:WAZIRI WA MALI ASILI NA UTALII HAMISI KAGASHEKI AJIUZULU...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamisi Kagasheki, amejiuzulu bungeni hivi punde baada ya kutakiwa na wabunge awajibike kwa vitendo viovu vilivyofanywa na wanausalama wakati wa Operesheni Tokomeza!
View ArticleNASSARI AFICHUA MIPANGO YA KUMBAMBIKIZIA GODBLESS LEMA KESI YA MABOMU ARUSHA
Mbunge wa Arumeru Mashariki, Bw. Joshua Nassari (CHADEMA), amesema Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya chama hicho, Bw. Godbless Lema yupo katika hatari ya kubambikiwa kesi.Alisema ipo mipango...
View ArticleMGANGA WA DIAMOND ATABIRI DIAMOND KUFULIA KIMUZIKI NA KIFEDHA HIVI KARIBUNI
Mtu mmoja anayedai kuwa mganga aliyemtoa mkali wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameibuka tena na kueleza kuwa Diamond Platinumz tayari ameanza kushuka kimuziki kama alivyosema awali.Mtu huyo...
View ArticleACHENI KUVAMIA FANI NA KUFANYA MAMBO YA AJABU KUTUHARIBIA FANI-KING MAJUTO
Kwa mujibu wa tovuti ya mwananchi, mwigizaji nguli Amri Athumani (King Majuto),amewajia juu wanaovamia fani ya vichekesho kwa kufanya vitendo alivyosema vinatia kinyaa kuviangalia.Alisema kwamba baadhi...
View ArticlePENZI LA DIAMOND NA PENNY LASEMEKANA BASI TENA...WEMA ATAJWA KUWA CHANZO
NDIYO habari ya ‘mujini’ kwa sasa, kwamba staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Juma ‘Diamond Platnumz’ na mwandani wake, mtangazaji wa kituo cha runinga cha DTV, Penniel Mungilwa ‘Penny’ wamemwagana,KAMA...
View ArticleRAIS KIKWETE AWAPIGA CHINI MAWAZIRI WANNE YUMO NCHIMBI, VUAI, MATHAYO NA...
Rais Jakaya Kikwete leo ametengua uteuzi wa mawaziri wanne kufuatia shutuma nzito dhidi yao katika sakata la Operesheni Tokomeza Ujangili. Mawaziri waliopoteza ajira zao usiku huu ni pamoja na Khamis...
View ArticleOKWI "NIPANGENI MECHI YA SIMBA NA YANGA NIWAONESHE SIMBA MIMI NI NANI"
Uwanja wa Bora uliopo Kijitonyama jana ‘ulifurika’ mashabiki wa Yanga waliokuwa na shauku ya kumwona mshambuliaji wao mpya Emmanuel Okwi akifanya mazoezi na timu hiyo.Okwi alitua nchini juzi Alhamisi...
View ArticleWABUNGE WA CCM WAMGOMEA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA
Wabunge wa CCM jana mchana walimgomea Mwenyekiti wa Kamati ya Wabunge (Party Cocas) ya chama hicho, Mizengo Pinda na kushinikiza mawaziri watatu ambao wizara zao zimetajwa kushindwa kusimamia vyema...
View ArticleMKE AMFUMANIA BWANA AKE GUEST HOUSE..AMPA KICHAPO CHA MBWA KIMADA
DUNIA ina mambo jamani! Mfanyabiashara wa madini aliyefahamika kwa jina moja la Jimmy amejikuta katika wakati mgumu baada ya kufumaniwa na mkewe akiwa na kimada gesti. Tukio hilo lililofunga mtaa kwa...
View ArticleDR.SLAA:WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA NAE ANAPASWA KUJIUZULU
Katibu mkuu wa chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),Dr.Wilbroad Slaa amesema serikali nzima na Baraza la Mawaziri linapaswa kujiuzulu na kwamba kitendo cha kujiuzuru kwa mawaziri wanne tu...
View ArticleBABY MADAHA KUZINDUA FILAMU YA "THE GAL BLADDER" LEO NDANI YA UKUMBI WA AKEMI...
Mwanadada anayefanya mambo mengi sana kwenye muziki na filamu Baby Joseph Madaha anatarajiwa kufanya uzinduzi wa filamu yake mpya ya The Gal Bladder hapo kesho kwenye ukumbi wa mgahawa wa Akemi jijini...
View ArticleBOB JUNIOR"NDIO NI NGUMU SIKUWA NA FURAHI...SITAOA TENA..UBACHELOR RAHA
Rais wa Masharobaro, Bob Junior amesema hakuwa na furaha kwenye ndoa yake na ndio maana ameachana na mke wake.Muimbaji na mtayarishaji huyo wa muziki aliiambia tovuti ya Times FM kuwa ugumu wa ndoa...
View ArticleALI KIBA "HAITAWAHI KUTOKA KAMWE MIMI KUFANYA COLLABO NA DIAMOND"
Unategemea kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari,...
View ArticleRAPPER WITNESS SASA NI MGANGA, ANATIBU WATU KWA TIBA LISHE
Msanii wa zamani wa kundi la Wakilisha, Witness Mwaijaga, amesema pamoja na kufanya hip hop kwa sasa ni mfanyabiashara na mtaalam wa tiba asili zinazotumia vyakula vyenye virutubishoAkizungumza na...
View ArticleDR.MWAKYEMBE AMCHANA LIVE MBUNGE VITI MAALUM CHADEMA
Juzi tulisikia mipasho ya Mbunge wa Viti Maaluma CHADEMA, Mariamu Msabaha, kuhusiana na matatizo ya Air Tanzania.Tatizo kubwa la Mama Msabaha ni pengine hakujua anachokiongelea.Lakini jana ilikuwa zamu...
View Article