KWA PENZI HILI NADHANI NAKARIBIA KUNYOOSHA MIKONO JUU...PAPUCHA SIPEWI ILA...
Mhhhhhhhh! Kwa penzi hili nadhani karibu nanyoosha mikono juu!Mhhhh! Baada ya kuwa mpweke kwa muda mrefu, uzalendo ulinishinda nikaamua angalau na mimi nitafute binti wa kuniliwaza. Mchakato huu...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE ALIUMBUA GAZETI LAA TANZANIA DAIMA KWA KUANDIKA UONGO
"Nimesikitishwa sana na jinsi Gazeti la kaka yangu Mbowe (Tanzania Daima) la leo Disemba 20, 2013 lilivyotumia jina langu kutafuta mapato na labda kwa nia nyingine.Gazeti hilo katika ukurasa wake wa...
View ArticleALINIOMBA NIMPIGE PICHA AKIWA UCHI, NA HII SIO MARA YA KWANZA...SIMUELEWI
Sisi ni majirani tumetokea kuzoeana tu kidogo kwakuwa mwenzangu yeye ni mwenyeji mimi nimemkuta tu hapo nilivyo hamia, lakini naona kama kuna mazoea fulani ya ajabu, hii ni mara ya tatu huyu dada...
View ArticleTAZAMA PICHA KIJANA HUYO AKINYONYANA NDIMI NA MAMA YAKE WA KUMZAA
SAWA anamkiss mama yake mzazi lakini hapa hatuelewielewi kinachoendelea? Busu hilo linatupa maswali mengi sana kichwani...!Alafu cheki alichokiandika hapa chini, Mmh...?
View ArticleTAZAMA JINSI MTOTO WA NANCY SUMARI ALIVYOKUWA MKUBWA NA ALIVYOPENDEZA KWENYE...
Mtoto wa Nyoka ni Nyoka tuuu...Daaahhh Kazuri kama mama yake ....MMhh nani anabisha?
View ArticleDAVIS TPF4 WINNER"WANAWAKE WA KENYA WALIMALIZA HELA ZANGU NILIZOSHINDA KABLA...
Talented Ugandan singer, Davis, weathered the storm and clinched the Tusker Project Four season title amidst tight competition from his fellow contestants.After clinching the title, he was awarded a...
View ArticleHII NDO KAULI YA MANJI BAADA YA KIPIGO CHA JANA TOKA KWA SIMBA CHA BAO 3-1
Mwenyekiti wa Yanga Bw.Yusuf Manji akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya klabu, kushoto ni makamu mwenyekiti Clement SangaMwenyekiti wa klabu ya Young Africans Bw. Yusuf Manji ameaomba...
View ArticleUWEZI AMANI HIZI NDIO PICHA TATU ZA LULU AKIWA MAZOEZINI..MSAMBA HUOO DAHH
Kweli Mwanadada kaamua kupunguza mwili ...Huo msamba dahhhhhhh
View ArticleNAPE AFURAHIA MAWAZIRI KUVULIWA KUONDOLEWA MADARAKANI
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye ameeleza kupokea kwa faraja, hatua ya mawaziri wanne kuenguliwa nyadhifa zao kwa ridhaa ya Rais Jakaya Kikwete.Mawaziri hao,...
View ArticleDADA WA KAZI ANAVAA HIVI , MAMA MWENYE NYUMBA UPO UNAANGALIA TU, UNATEGEMEA...
Wapo watu ambao bado hawajajua madhara ya mavazi, mavazi yanaweza kuharibu nyumba, dada wa kazi akijiachia namna hii na mwenye nyumba unaangalia tu madhara ni makubwa labda kama mnaishi wawili tu hapo...
View ArticleWAKATI UNALALA,IKA HUNA HELA, CHEKI MBONGO MWENZAKO ANASWA ANAENDESHA GARI...
Usiseme Hamna Hela,sema Sina Hela....That was the statement that kept playing on my head os Sunday Morning when I came in contatc with this beast along Dar es Salaam streets...Yes,its the famous...
View ArticleMADAM RITA AFICHUA SIRI"NILIZAA KATIKA UMRI MDOGO SANA"
Mkurugenzi wa Benchmark Production, Rita Paulsen aka Madam Rita amesema yeye ni miongoni mwa wanawake waliopata ujauzito wakiwa na umri mdogo lakini alikuwa jasiri wa kukabiliana na hali hiyo hadi...
View ArticleDADA ZETU IFIKE HATUA MJIKUBALI..DADA HUYU MKOROGO WAMUUMBUA JUU FANTA CHINI...
Wa Design hii Hata kwetu Wapo....Kwenu Je?
View ArticleHII NDIO TAARIFA RASMI YA KUFUKUZWA KOCHA WA YANGA ERNST BRANDTS
Uongozi wa klabu ya Young Africans SC umempatia taarifa (Notice) ya siku ya thelathini (30) kocha mkuu mholanzi Ernie Brandts juu ya kusitisha mkataba wake kuanzia jana Disemba 22 mwaka huu.Maamuzi...
View ArticleMCHAWI AANGUKA PEMBENI YA KANISA AKIWA NA KIGANJA CHA MKONO WA MTU MDOMONI.
Dada mmoja aliye julikana baadae kama Estheralianguka pembeni ya kanisa huko Naija huku akiwa na kiganja cha mkono wa mtu mdomoni na gongo kubwa mkononi, baada ya kuhojiwa baadae alisema kwamba yeye...
View ArticleNI NADRA KWA DIAMOND COLABO..ILA SASA NI ZAMU YA GODZILLA..PATA PICHA
Ni nadra sana kwa Diamond Platnumz kufanya collabo na tena na msanii wa Hip Hop. Mwaka huu hitmaker huyo wa ‘My Number One’ alishirikishwa na Nay wa Mitego kwenye ‘Muziki Gani’ na kushuhudia mafanikio...
View ArticleSHILOLE AYASIFIA MAKALIO YAKE KWA KUYAONYESHA INSTAGRAM NA KUSEMA NI ORIGINAL
Sifa Jipe Mwenyewe bwana ...Usisubiri ..ukisubiri utangoja sana
View ArticleSIRI NZITO YAFICHUKA...HIRIZI ZATUMIWA NA WACHUNGAJI MAKANISANI
Stori: Makongoro Oging’ na Haruni SanchawaSIRI nzito imefichuka! Baadhi ya maaskofu na wachungaji (baadhi lakini) wa makanisa ya kilokole nchini wanadaiwa kutumia hirizi ili kujaza waumini, Uwazi...
View ArticleBILIONEA ALIYEJIUA... MKE WAKE AIBUA MAZITO
Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro ogin’gMKE wa marehemu bilionea Suleiman Muhema, Zihija Muhema ametoboa siri kuhusiana na kifo cha mume wake aliyekutwa amefariki dunia kwa kujipiga risasi akiwa...
View ArticleZITTO AWAOMBA WAKAZI WA KIGOMA KUMUUNGA MKONO KWENYE VITA YAKE NDANI YA CHADEMA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe amewaomba wakazi wa Mkoa wa Kigoma kumuunga mkono katika mapambano yake ndani ya chama hicho. Akizungumza Mjini Kasulu katika mkutano wa hadhara, Zitto alisema...
View Article