Ripoti: Tanzania Yaongoza Kulalamikiwa kwa Matumizi Mabaya ya Instagram Duniani
Mtandao wa Instagram unaohusisha uwekaji picha umeendelea kupata mashabiki wengi nchini Tanzania lakini wengi kati ya watumiaji hao wameisababisha kuwa kati ya nchi zinazoongoza kwa matumizi mabaya ya...
View ArticleDiamond Apiga Mbili kwa Mpigo, Ashinda Tuzo Australia na Atajwa Kuwania Tuzo...
Neema inazidi kumuangia Diamond Platinumz na leo amepata habari njema baada ya kutajwa kuwania tuzo ya MTV EMAs huku akipokea tuzo kutoka nchini Australia.Diamond amewapa mashabiki wake habari njema za...
View ArticleSikiliza na Download Another New Hit Single From Jux
Miongoni mwa mastar wa Tanzania wanaofanya Bongo Fleva ambao wana mashabiki wengi wa kike ni pamoja na Jux inawezekana labda aina ya muziki anaoufanya kuwagusa wasichana wengiZimesikika zingle zake...
View ArticleKajala Azuzuliwa na Pesa, Afanya Vituko ,Amwaga Malaki Uwanjani
FEDHA mwanaharamu! Katika hali ya kushangaza, staa wa filamu ambaye fedha imemtembelea kwa sasa, Kajala Masanja ‘K’ amenaswa akimwaga fedha kama amechanganyikiwa mbele ya kadamnasi, Risasi Mchanganyiko...
View ArticleMauji ya Wanawake Arusha, Mama Fezza Kessy Nae Anusurika Kuuwawa
WAKATI hofu ya mauaji ya wanawake ikiwa bado imetanda mkoani Arusha, mama mzazi wa mshiriki wa shindano la Big Brother Africa, Feza Kessy ameponea chupuchupu baada ya kuvamiwa na majambazi wawili kisha...
View ArticleWatu Wengi Sana Hasa Wanawake Wamefanya Whats App Sehemu ya Kujifariji
I hate WhatsApp na Mitandao mingine kama fb from the bottom of my heart (nipo huko kwa sababu kuna some meaningful contacts), lakini acha tu niwepo, maana wakati mwingine hii mitandao inanisaidia...
View ArticleBaada ya Kushindwa Mapenzi ya Diva na Chagga Barbie Prezzo Aamua Kutulia...
Baada ya drama kutoka kwa Diva, Huddah Monroe na Chagga Barbie, Prezzo ameamua kutulia na msichana asiye na umaarufu wowote.Rapper huyo kutoka Kenya ameshare picha ya mrembo wake mpya kwenye Instagram...
View ArticleDiva Afunguka Tena…Adai Zitto Kabwe ni Mume Wake na Anatambulika Kisheria
Mtangazajiwa Kipindi cha Ala za Roho kinachorushwa kupitia Radio Clouds FM ya jijini Dar, Loveness Malinzi ‘Diva’ kwa mara ya kwanza, amejilipua kuzungumzia uhusiano wake na Zitto Kabwe kwamba walikuwa...
View ArticleEsha Buheti Apigwa Vijembe kwa Kuwa na Makalio Madogo
Kitendo cha kutojaaliwa makalio makubwa kwa staa wa filamu za Kibongo, Esha Buheti kimemsababishia anangwe na wasanii wenzake.Akiongea na mwandishi wetu, Esha alisema anafahamu na anawashangaa watu...
View ArticleAJALI: Mwanamke Aanguka Kwenye Bodaboda, Akanyagwa na Lori na Kufariki Dunia...
Mwanamke anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 amekufa papo hapo baada ya kudondoka kwenye pikipiki aliyokuwa amepanda na kisha kukanyagwa na gari.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Camillius...
View ArticleMwigizaji Lulu Michael Amnasa Meneja wa Wema Sepetu
Na Shakoor JongoTaarifa ikufikie kwamba sexy lady wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amemnasa aliyekuwa meneja wa Wema Isaac Sepetu, Martin Kadinda ambaye ndiye atakuwa meneja wake kwa...
View ArticleIPTL Yamdai Zitto Kabwe Fidia ya sh. Bilioni 500
Kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL), imefungua kesi ya madai katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, wakimtaka Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe awalipe fidia...
View ArticleMwigizaji Johari Bado Anateswa na Penzi la Ray..Asema Ipo Siku Lazima Ray...
Na Rhoda JosiahMKONGWE katika tasnia ya filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ ameonekana kuendelea kuteseka na penzi la mwigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ baada ya kunaswa akimzungumzia.Tukio hilo...
View ArticleGood news! Mtanzania Mwingine Kwenye Headlines… Kapewa Vyeo BET
Kabla ya kuanza kukupa info kuhusu huyu Mtanzania nataka nikukumbushe headlines chache za Watanzania walioingia kwenye headlines za kimataifa hivi karibuni.Ni CloudsTV International kufungua ofisi...
View ArticleUnawapa Somo Gani Wadada Waliobakiwa na Vitu Vya Kuhongwa na Kuyakosa Mapenzi?
Unawapa somo gani wadada waliobakiwa na magari ya kuhongwa, Simu za gharama za kuhongwa, majumba ya kuhongwa huku wakiyakosa Mapenzi na kusema Watapaki kuwa Single Ladies forever?Hakuna kitu...
View ArticleNimeacha Poda na Sijarogwa na Diamond na Ninamkubali Kinoma- Q Chillah
Msanii wa Bongo fleva aliyetamba na hits Song kibao Q chillah amefunguka na kusema kuwa ameacha kweli kutumia madawa ya kulevya na kamwe hawezi kurudia tena maana madawa hayo yalimfanya kuwa na maisha...
View ArticleMwanaridha Kilema Oscar Pistorius Aponea Kwenda Jela , Jaji Asema Hana Kesi...
Hatimaye Jaji Thokozile Masipa ametoa maamuzi juu ya kesi iliyokuwa inamkabili mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini, Oscar Pistorius na kutupilia mbali madai kuwa aliua kwa kukusudia.Baada ya muda...
View ArticleKuvaa Shanga Miguu au Vikuku Kwa Mwanamke Kuna Maana Yoyote Mbaya?
Kumekuwa na tetesi nyingi kuhusu urembo huu wa kuvaa cheni za miguuni. Wengi wamekuwa wakisema kuwa cheni hizo zinamaanisha kwamba mvaaji anaonyesha kwamba yeye anaweza mapenzi ya kinyume na maumbile,...
View ArticlePICHA: Mkazi wa Ilemela jijini Mwanza Ajitundika mtini na Kujinyonga
Mwanaume mmoja mkazi wa Kiseke, Ilemela jijini Mwanza amekutwa amekufa baada ya kujinyonga kwa kamba juu ya mti huku mwili wake ukiwa umeharibika vibaya na kuvuja...
View ArticleMke Wa Mtu Atia Aibu baada ya Kusaula nguo Zote mbele ya Watoto Wakati...
Wakati serikali ikipiga marufuku disko la mitaani maarufu kwa jina la ‘Vigodoro’ bado kuna baadhi ya mikoa inapuuza agizo hilo ambapo mwanamke mmoja ambaye mumewe anafanya kazi kwenye mgahawa uliopo...
View Article