Mwanamke Ashiriki Mashindano ya Mbio Akiwa na Mimba ya Miezi Nane
Mwanariadha wa Marekani Ajulikanaye kwa jina la Montana Ameshiriki Mashindano ya kukimbia ama Riadha Akiwa na Mimba ya Miezi nane na kufanikiwa kushika nafasi ya Tatu , Je wabongo tunaweza?
View ArticleMaajabu! KIJANA Ajitokeza Kwenye Mazishi yake Huko Tandale
DA! Duniani kuna mambo jamani! Katika hali isiyo ya kawaida, maeneo ya Tandale Kwatumbo jijini Dar, waombolezaji hawakuamini macho yao wakati walipomuona ‘marehemu’ Mohamed Salum ‘Fido’ (29) (pichani),...
View ArticleKocha wa Team ya Azam FC Aacha kazi Siku Moja Baada ya Kipigo Kikali Kutoka...
KOCHA wa Azam Academy, Vivik Nagul raia wa India, ameacha kazi baada ya kuitumikia klabu kwa miaka mitatu ya mafanikio.Nagul aliaga rasmi Azam FC baada ya mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga SC...
View ArticleJaji Aliye Aliyetoa Maamuzi Katika Kesi ya Mwanariadha Oscar Pistorius...
Mashirika ya kisheria nchini Afrika Kusini, yameelezea wasiwasi kuhusu vitisho dhidi ya jaji aliyetoa uamuzi katika kesi inayomkabili mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius.Jaji Thokozile...
View ArticleWanaume Wanaowatelekeza Watoto Wao Nchini Kenya Wanakiona Cha Moto Kupitia...
Tahadhari kwa wanaume wanaowatelekeza watoto wao nchini Kenya.Baadhi tayari wameanza kupata tumbo joto.Kikundi cha wanaume watatu nchini Kenya kimezindua ukurasa wa Facebook ambao lengo lake ni...
View ArticleLe Mutuz Amuonyesha Baby Wake na Kumwagia Sifa Kedekede 'Nampenda Mpaka...
Udaku Specially Imefanikiwa kupata Picha ya Baby ake Lemutuz , leo kupitia Instagram yake @lemutuz_nation Mzee Mzima na Business Man wa Ukweli Lemtuz Amepost Picha Hiyo Hapo Juu na Kuandika Maneno...
View ArticlePetit Man Adhibitisha Kuwa Mdogo wa Diamond ni Mchumba Wake na Muda si Mrefu...
Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha...
View ArticleWadada Nguo Fupi Sio Deal, Ona Mwenzenu Alivyoaibishwa Azomewa na Kuchomwa...
Wadada Nguo Fupi Sio Deal, Ona Mwenzenu Alivyoaibishwa Azomewa na Kuchomwa Madole Hadharani, Dada Mmoja alijikuta katika hali ngumu baada ya kuvaa kinguo kifupi kinachoonyesha sehemu zote za mapaja na...
View ArticleDawa za Kukuza Makalio Zimenitokea Puani , Oneni Nilivyoharibika..Najutaa...
Naitwa naomi, kweli niliposikia kuhusu dawa za kukuza makalio nilienda kuzinunua haraka na kupaka na Kuchoma Sindano Pia ili Kukuza Makalio yawe kama ya Nick Minaj, Mwanzoni nilifurahi kwa kuwa niliona...
View ArticleBaada ya Kimya Kirefu Director wa Video Nick Dizzo Nae Aongelea Suala la...
Toka Kina Diamond na Ommy Dimpoz Waanze Kufanya Video zao nje ya nchi Kumekuwa na Mijadala Mingi Kwenye Social Media Kuhusu Suala Hilo wengine Wakisema ni Bongo hakuna Madirector Wazuri , Wengine...
View ArticleMapya Yaibuka Katika Ufisadi wa Fedha za IPTL
- Rugemalira amruka Seth kwa CAG- Andrew Chenge ataka asihusishweMMOJA wa waliokuwa wamiliki wa Kampuni ya Independent Power (IPTL) amedai hana ushahidi na hakuhusishwa katika uuzaji wa hisa za mbia...
View ArticleMuhongo Aongeza Utata Ufisadi wa Mabilioni ya IPTL
Wakati utata wa kuchotwa kwa fedha katika Akaunti ya Escrow iliyofunguliwa katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutokana na mgogoro baina ya IPTL na Tanesco ukiendelea kuzua maswali, Waziri wa Nishati na...
View ArticleMartin Kadinda Aweka Picha ya Geto Lake Kudhibitisha Ana Maisha Mazuri na...
Huu ndo muonekano wa ndani wa nyumba wa aliyekuwa manager wa msanii maarufu, Wema Sepetu aitwaye martin kadinda( picha chini), mwenyewe aniita manhattan ya Sinza. Alipost hii picha juzi kwenye mtandao...
View ArticleMke wa Rafiki Yangu Anadai Nimuongezee Njia ili Wakati wa Kujifungua Asipate...
Jamani Udaku Specially Mwenzenu naingia katika vishawishi kutoka kwa mke wa rafiki yangu kabisa, ni hivi rafiki yangu kasafiri kikazi nje ya nchi kwa muda sasa, huku nyuma amemuacha mke wake ambae ana...
View ArticleMwigizaji Nora Amchana Live Live Kajala Masanja
MWIGIZAJI kiwango enzi hizo Bongo, Nuru Nassoro ‘Nora’ aliyepotea kwa muda, ameibukia kwenye Runinga ya EATV na kumbutua staa wa mwenzake, Kajala Masanja kwamba, anatumia nafasi ya kuonekana kwenye...
View ArticleMtabiri Alitabiria Makubwa Penzi la Ray na Chuchu
MTABIRI maarufu nchini, Hassan Yahya Hussein amelitabiria penzi la waigizaji Vincent Kigosi ‘Ray’ na Chuchu Hans kuwa litakuwa na mafanikio makubwa kwani wanaendana.Akizungumza na Amani, Hussein...
View ArticleMvuta Bangi Aua Watu Watatu na Kumjeruhi Mmoja kwa Panga na Mkuki huko Geita
Matukio ya mauaji ya watu wasio na hatia, yameendelea kuuandama Mkoa wa Geita, kufuatia watu watatu kuuawa kwa kukatwa mapanga na kuchomwa mkuki huku mmoja akijeruhiwa baada ya mtu mmoja anayesadikiwa...
View ArticleFahamu Kilichomtokea Mtoto wa Jackie Chan Kufuatia Tuhuma za Kujihusisha na...
Polisi wa Beijing, China hatimaye wamemkamata rasmi mtoto wa mkali wa Martial Arts Jackie Chan anaefahamika kwa jina la Jaycee Chan kufuatia tuhuma za kujihusisha na dawa za kulevya.Taarifa kutoka...
View ArticlePicha: Beyonce Ajibu kwa Vitendo Tuhuma za Kuhariri Picha Inayoonesha Sehemu...
Jana mashabiki walimshambulia Beyonce kwa picha aliyopost kwenye Tumblr ikiwa ni moja kati ya picha za kusherehekea siku yake ya kuzaliwa alizopiga mapema mwezi huu, ikimuonesha akishuka ngazi akiwa...
View ArticleKilichomfanya Jacqueline Wolper Aifute Hii Picha ya Lucy Komba Instagram
September 17 2014 mwigizaji Jackline Wolper aliweka kwenye page yake ya Instagram picha ya mwigizaji mwenzake Lucy Komba alieolewa hivi karibuni na raia kutoka nje ya Tanzania na kuandika masikitiko...
View Article