TUNDU LISSU "ZITTO NA WENZAKE WATATU WAMEBAINIKA KUKIHUJUMU CHAMA"
Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema kimemvua nyadhifa zote Naibu Katibu mkuu wake Zitto Kabwe ambae ni mbunge wa Kigoma Kaskazini.Mwanasheria mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu kwenye makao makuu ya...
View ArticleUFAFANUZI WA CHADEMA KUHUSU MAAZIMIO YA KAMATI KUU
Live Updates: Ndugu Wanachama na Watanzania na wote muda si mrefu tutawaletea Mkutano na Waandishi wa Habari kuwajulisha Watanzania maazimio na maamuzi ya Kamati Kuu iliyokutana kwa siku mbili tarehe...
View ArticleWILLIAM MALECELA " CCM TUNAWAHITAJI SANA CHADEMA HII INAYOONGOZWA NA AKILI...
- Ni muda mrefu sasa kumekuwa na mtafaruku mzito ndani ya Chadema ambao umekuwa ukikitafuna sana chama hicho, na pia kuna utabiri mzito sana ulitolewa na Waziri Wassira kwamba Chadema ipo katika siku...
View ArticleBAADA YA ZITTO KUVULIWA UONGOZI CHADEMA..MAKAMU MWENYEKITI WA CHADEMA BARA...
Salaam,Napenda kuwasilisha kwako taarifa ya kujiuzulu nafasi ya Makamu Mwenyekiti Bara kuanzia Leo Ijumaa 22 Novemba 2013 kwa kuchoshwa na Unafiki unaoendelea ndani ya Chama. Napenda ifahamike pia...
View ArticleWARAKA ULIOWAVUA VYEO ZITTO, DK KITILA NA MWIGAMBA HUU HAPA
MKAKATI WA MABADILIKO 2013UTANGULIZI:Taasisi tunayoizungumzia ilisajiliwa rasmi mwezi January 1993 na tokea wakati huo imeongozwa na wakuu wa taasisi wapatao wawili na aliyepo kwa sasa ni wa tatu. Wa...
View ArticleSIWEZI KUMVULIA DIAMOND CHUPI YANGU HANA HADHI YA KUTEMBEA NA MIMI-LULU
Msanii wa filamu bongo,na mwenye jina kubwa kuliko umri wake,Elizabeth Michael aka LULU, ameonesha msimamo mkali baada ya msanii wa bongo fleva mwenye jina la madini expensive Naseeb Mohamed au DIAMOND...
View ArticleHUYU NDIYE DIRECTOR ALIEFUKUZWA KAZI NA WEMA SEPETU BAADA YA KUGEUZA GARI YA...
Taarifa za sababu kubwa zilizopelekea Wema Sepetu kumtimua aliyekuwa director wake maarufu kwa jina la Chid ni ufuska uliokubuhu wa director huyo ambaye alikuwa akitumia magari ya Wema Sepetu kama gest...
View ArticleRIDHIWANI KIKWETE ALAANI SIASA ZA CHUKI ZA CHADEMA ZILIZOFANYA ZITTO NA...
Baadhi ya watu maarufu nchini akiwemo mtoto wa Rais Kikwete, Ridhiwan wamezipokea taarifa za kuvuliwa wadhifa wa unaibu Katibu Mkuu wa CHADEMA kwa Zitto Kabwe kwa mitazamo tofauti.Zitto alivuliwa...
View ArticleMR.BLUE AGEUKA TAPELI..!! AKOMBA PESA ZA WATU NA SASA ANATAFUTWA NA POLISI...
Hitmaker wa ‘Mapozi’ Mr. Blue aka Kabayser anatafutwa na polisi wa Kenya kwa Utapeli.Msanii huyo anatafutwa kwa shutuma za kushindwa kutokea kwenye show aliyokuwa amesaini mkataba huko Mombasa, Kenya....
View ArticleBABY MADAHA"UTUNDU KITANDANI NDIO SILAHA YANGU KUWAPAGAWISHA WANAUME NAYAJUA...
Wakati kukiwa na madai kuwa msanii Baby Madaha anatumia dawa za kienyeji kuwateka wanaume kimapenzi, mrembo huyo ameibuka na kusema kuwa siri ya kuwateka wanaume ni utundu wake...
View ArticleBLOGS ZINAVYO MKERA RAIS KIKWETE"TETEENI NCHI NA SI KUIPONDA KWENYE BLOGS"
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete ameonyesha kukerwa na tabia ya baadhi ya watanzania wanaotmia muda wao mwingine kwenye mitandao ya kijamii Blogs kuiponda nchi yao,...
View ArticleMAMA ZITTO AFUNGUKA "NILIKUWA NAOMBA KILA SIKU ZITTO AFUKUZWE CHADEMA"
Dar es Salaam. Siku moja baada ya Kamati Kuu ya Chadema kumvua uongozi aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu Taifa wa chama hicho, Zitto Kabwe, mama yake mzazi, Shida Salum ametoa ya moyoni akieleza kuwa...
View ArticleLAPTOP ILICHANGIA MAUAJI YA RISASI ILALA BUNGONI
Yumkini wengi wanapotamka neno ‘penzi’ lenye herufi tano tu, hudhani ni dogo lisilo na uzito katika maisha ya binadamu.Lakini kama umeshawahi kusikia kuwa mapenzi yanaua, basi uhalisia unaoonyesha...
View ArticleMTEI "TUTAENDELEA KUWAFUKUZA WALE WOTE AMBAO NI WASALITI CHADEMA"
Mwasisi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edwin Mtei amesema kuwa chama hicho kitaendelea kuwafukuza wote wanaokihujumu huku akieleza kwamba, anaunga mkono kuvuliwa uongozi kwa Zitto...
View ArticleDR KITILA MKUMBO ATOA KAULI KUHUSU KUVULIWA VYEO NDANI YA CHADEMA
Tunawashukuru watanzania kwa kufuatilia kinachoendelea ndani ya CHADEMA. Nawapa pole wote waliokwazwa na jambo hili, na ninawashukuru wote walionipa pole na kunitia moyo. Ninawashukuru pia walionilaumu...
View ArticleSAKATA LA UBAKAJI LAENDELEA, PROFESA JUMA KAPUYA ABURUZWA POLISI KWA TUHUMA...
HATIMAYE binti anayedaiwa kubakwa na Mbunge wa Urambo Magharibi, Profesa Juma Kapuya (CCM), amefungua jalada Polisi dhidi ya mbunge huyo.Habari za kipolisi ambazo Tanzania Dama limezipata, zinasema...
View ArticleTAARIFA YA ZITTO KWA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU KUPOKONYWA UONGOZI CHADEMA
1. Utangulizi Katika kikao chake cha siku mbili kilichofanyika tarehe 20 - 22 Novemba 2013, Kamati Kuu ya CHADEMA, pamoja na mambo mengine, iliazimia kunivua nafasi zangu zote za uongozi ndani ya...
View ArticlePETER WA P-SQUARE APAGAWISHWA NA BINTI WA KIBONGO AMVISHA PETE JUKWAANI
Jionee mwenyewe hapo ilikuwa jana usiku kwenye show yao hapa dar ...dada kwenye picha alipata bahati ya pekee ya kutukiwa upendo na Peter wa P-square na kupewa jina la Onyinyee...nakupewa Pete....mmmhh...
View ArticleJE KUNA UKWELI WOWOTE HAPA: ETI WANAUME WAREFU NDIO UGONJWA MKUBWA WA WANAWAKE
Wakuu ktk pitapita zangu za kila siku nakutana na minong'ono kuwa wanaume warefu wana mvuto mkubwa kwa wanawake tofauti na wenzao wafupi. hii nimeisikia kwa baadhi ya wanaume wakikiri kuwa wanaume...
View ArticleMBOWE "NITAENDELEA KUIONGOZA CHADEMA WANACHAMA WAKIAMUA"
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema ataendelea kuwa Mwenyekiti wa Chadema endapo kama wanachama wataendelea kumhitaji.Kiongozi huyo mwenye ushawishi mkubwa ndani ya chama chake amesema kamwe...
View Article