MAUMIVU "NILIYE MFUMANIA NA MPENZI WANGU KANIANGUSHIA KIPIGO CHA MBWA"
Nina mpenzi wangu ambaye yuko chuo fulani hapa Dar lakini kutokana na maamuzi yetu tuliamua aishi mtaani badala ya Hostel. Huyu msichana nilianza nae mahusiano kwa kipindi kirefu sana na hata tumefikia...
View ArticleMALAWI KUNA KITU INAKITAKA TOKA TANZANIA, RAIS WAKE ATANGAZA MKOA WA RUVUMA...
RAIS wa Malawi, Joyce Banda ametajwa kuendeleza chokochoko baina ya nchi yake na Tanzania, huku sasa akidaiwa kutumia redio na runinga za nchini mwake kutangaza kuwa mkoa wa Ruvuma, viongozi na...
View ArticlePICHA ZA KIMAHABA ZA WASTARA ZAZUA UTATA
Na Shakoor JongoPICHA za aliyekuwa mke wa marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’ Wastara Juma akiwa na mwigizaji Bondi bin Salim ‘Bond’ zimezua utata ambao unakazia ukweli wa taarifa ya kuwa wawili hao ni...
View ArticleMAKALA:P-SQUARE WAMETUBURUDISHA NA KUTUACHIA FUNZO MUHIMU
Imeandikwa na Bongo5,comNikiwa na begi langu lenye camera ya kazi, niliwasili Leaders Club mapema mida ya saa 2 kasoro hivi usiku. Nakubali, ndio nilienda mapema mno. Si kwasababu nilikuwa nimeipania...
View ArticleBARACK OBAMA AMEMFOLLOW VENESSA MDEE KWENYE TWITTER
Hii itakuwa ni kwa mara kwanza kwa mwimbaji wa Tanzania na pengine Afrika kuwa followed na Rais Barack Obama wa Marekani kwenye twitter ambae ana zaidi ya followers milioni 40 lakini yeye anafollow...
View ArticleHATIMAYE BAADA YA KUFUKUZWA SIMBA ADEN RAGE AONGEA NA WAANDISHI WA HABARI
Zifuatazo ni kauli za Ismail Aden Rage ambazo nimemnukuu akiongea na Waandishi kutokana na stori zilizochukua headlines kwa siku kadhaa kuhusu Kamati kumsimamisha kama Mwenyekiti wa Simba.1. ‘Kwanza...
View ArticleUSHAURI KWA ZITTO: MAJUNGU UNAYOPIGWA YANATOKANA NA KUTOKUJENGA UHUSIANO...
Tatizo la Zitto sio ukanda, udini, ukabila, usomi na siamini Waraka ambao wanasema Zitto anahusika kwasababu umeandikwa kitoto sana.Tatizo kubwa la Zitto na Chadema ni uhusiano binafsi na watu...
View ArticleLIL KIM APANDA JUKWAANI NA KIVAZI KILICHO MCHORA SEHEMU NYETI..WENGI WAMPONDA
Kazi kweli kweli ..Mwanamuzi Lil Kim mwenye Miaka 39 akiwa anaimba Jukwanii akiwa amevaa kivazi kilichomchora ambacho kilileta sinto fahamu ikichukulia na umri wake wa sasa....hii ilikuwa ijumaa pale...
View ArticleDR WA MAREHEMU MICHAEL JACKSON AELEZA SIRI NZITO KUHUSU MAREHEMU
Kwenye mahojiano yake ya kwanza mara baada ya kuachiwa toka gerezani kwa kuhusishwa na kifo cha nguli wa muziki wa pop duniani Michael Jackson, Dokta Conrad Murray alielezea kwenye mahojiano aliyofanya...
View ArticleDIAMOND ATANGAZA KAZI ....UWE TAYARI KUSAFIRI NAE KWENYE SHOW ZAKE
Je unaishi Dar-es-Salaam..? Unakipaji, Uwezo na Elimu ya kupiga picha, kushoot Video na kuedit...?NOTE:-1)Uwe na Uwezo wa kutumia Camera zote Old na za kisasa....2)Uwe na sample za kazi kadhaa ulizowai...
View ArticleFLORA LYIMO HOW TO LOOK SEXY AT HOME WE ARE NOW ON WEEK NINE AND JEMBE NI...
' GO BACK TO BED ', "MONDAY IS CANCELLED'' Wakati Diamond akisema "WATUACHE TULALE" Flora yeye anasema "MBUTA NANGA"Angalia Picha zake hizo hapo chini.zaidi ingia hapa kwenye blog yake: Flora Lymo...
View ArticleZITTO AJIWEKA NJIA PANDA
Aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Chadema, Zitto Kabwe amejiweka katika mazingira magumu zaidi kisiasa ndani ya chama hicho, kutokana na shaka kubwa iliyougubika mkutano wake na waandishi wa habari...
View ArticleDK.KITILA "NILISHIRIKI KUANDAA NA KUHARIRI WARAKA"
Aliyekuwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Dk Kitila Mkumbo amezungumzia mambo sita yaliyojitokeza baina yake na wajumbe wenzake kabla ya kutimuliwa katika wadhifa huo.Aidha, alisema alishiriki...
View ArticleMWANAMUZIKI AMANI KUTOKA KENYA AFUNGUKA NA KUSEMA AM IN LOVE
Amani has been one of the most dominant women in the Kenyan music industry, lately dominating the airwaves with her collabo with Ugandan duo Radio & Weasel 'Kiboko Changu'.She has also kept her...
View ArticleMCHUMBA ALIYEUA NA KUJIUA ILALA, CHANZO PICHA ZA UTUPU
Stori: Waandishi Wetu, Dar es Salaam na MwanzaMAPENZI ni sanaa tata sana, inawaumiza wengi, inavunja mioyo ya watu, inakatisha tamaa ya maisha, inaleta umaskini, inasababisha mauaji lakini siyo rahisi...
View ArticleP SQUARE WAMUUMBUA DIAMOND PLATNAM..!! HAYA NDIYO WALIYOSEMA
Mwanamuziki wa P square, Peter Okoye ameoneshwa kushangazwa na taarifa kwamba mwanamuziki wa bongo fleva Naseeb Abdul alihudhuria harusi yake hivi karibuni nchini Nigeria na kuhudhuriwa na mastaa mbali...
View ArticleSTEVE RnB AMVISHA PETE MCHUMBA WAKE WA TOKA SECONDARY
Hit maker wa ‘Jambo Jambo’ Steve RnB amefungua ukurasa mwingine wa mapenzi baada ya kumvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa siku nyingi ikiwa ni kiashirio cha kuelekea katika ndoa.Kwa mujibu wa VIBE,...
View ArticleJACK CLIFF NA JUX BADO NI UTATA...WAPENZI AMA MARAFIKI
Kwa muda mrefu muimbaji wa kundi la Wakacha, Jux na video vixen wa Tanzania, Jackie Cliff wameendelea kukanusha kuwa na uhusiano wa kimapenzi, lakini bado picha zinazowaonesha wakiwa pamoja,...
View ArticleHUSSEIN MACHOZI AWASHIRIKISHA SAUTI SOUL KATIKA WIMBO WAKE MPYA-SIKILIZA NA...
Hussein Rashid aka Hussein Machozi aendelea kufungua njia za kujitangaza kimataifa baada ya kufanya collabo na wasanii wakubwa na wenye mafanikio barani Afrika na nje wa kundi la SAUTI SOL kutoka...
View ArticlePICHA ZA RAYUU ZENYE UTATA ZASAMBAA MTANDAONI..
Haijajulikana Kama walikuwa wana Act movie ama ndio mambo yaleeeeeeeeeeeee
View Article