MTANDAO WA UNGA WA JACK PATRICK UNATISHA
Na Mwandishi WetuBADO habari ya mjini ni skendo ya kunaswa na madawa ya kulevya ‘unga’ inayomtafuna Video Queen wa Bongo, Jacqueline Clifford Fitzpatrick ‘Jack Patrick’ ambaye inadaiwa kuwa mtandao...
View ArticleWARIOBA"KATIBA YA TANGANYIKA INAWEZA KUANDALIWA NDANI YA MIEZI MITATU"
Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amesema Katiba ya Tanganyika inaweza kuandikwa ndani ya miezi mitatu tu kwa kuwa maoni mengi yaliyomo katika Rasimu ya...
View ArticleKAULI YA ZITTO KABWE BAADA YA MAHAKAMA KUMPA USHINDI DHIDI YA CHADEMA
Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe jana alitinga mahakama kuu kupinga kujadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu ya Chadema,Kikao ambacho kilikuwa kikutane leo.Hii ni kauli yake baada ya...
View ArticleTUSIMLAUMU JACKIE CLIFF...TUMLAUMU ALIYE MFUNDISHA KUVUA SAMAKI
Jackie Cliff… mrembo wa haja niliyeanza kumfahamu kwenye video ya She Got A Gwan ya Ngwair. Ni msichana aliyeenda hewani na Mungu kampelea haswaa. Ukikutana naye huwezi kumwangalia mara moja...
View ArticleMMH HAPA YALIKUWEPO MAPENZI KWELI?
Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!! Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!! From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we...
View ArticleNAPE:LOWASA KAPOTEZA SIFA YA KUGOMBEA URAIS
Sakata la Nape na lowasa limeendelea baada ya Nape jana kumwambia kwa kutangaza nia kabla ya wakati wake amepoteza sifa ya kuteuliwa kupitia chama cha mapibduzi.maoni yangu: Nabe acha kushindana na...
View ArticleSHOGA WA KIUME ANATAKA KUNIHARIBIA NDOA..MSAADA JAMANI
Mwanzoni sikujua kama huyu jamaa anatabia ya ushoga nilipojaribu kumchunguza vizuri nikagundua jamaa si riziki.Alianza kunitumia sms za mapenzi huku akinitakia magudinight kila sikuNimejaribu kumkanya...
View ArticleDIAMOND AISIFIA NGOZI YA WEMA SEPETU ASEMA INA MVUTO NA MNG'ARO ZAIDI YA KITU...
“Umemwona Wema, kwa sasa ana ngozi nzuri yenye afya na iliyo na mng’aro kama alivyokuwa awali,ni nzuri sana yani, ameacha kabisa kutumia dawa za kung’arisha ngozi hilo ndilo lililonivutia zaidi kwani...
View ArticleMHUBIRI AFA MAJI BAADA YA KUJARIBU KUTEMBEA JUU YA MAJI KAMA YESU
NIGERIA. Ilikuwa sikitisho kubwa kwa waumini baada ya mchungaji wao kusombwa na maji baada ya kujaribu kutembea juu ya maji kama vile masihi Yesu alivyofanya wakati wake alipokuwa duniani.Pastor Frank...
View ArticleNIMESIKITISHWA NA CHADEMA KUKODI VIJANA WA KUMZOMEA ZITTO LEO MAHAKAMANI
Nimehuzunishwa sana na nimesikitika chadema kukodi vijana ambao wamekiri wazi kulipwa ili kwenda kumzomea mh zito, hili bila kukemewa ni hatari kwani inajenga chuki kubwa baina ya wapenzi wa chadema....
View ArticleHILI NDILO VURUMAI KAMA SIO VIMBWANGA VILIVYO TOKEA MAHAKAMANI WAKATI WA...
Dar es Salaam,TanzaniaMAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imeahirisha kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa jana na Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Zuberi Kabwe (Chadema), kuhusu ombi la kuitaka...
View ArticleMFANYABIASHARA WA KIKE APIGWA RISASI USONI NA KUPORWA MABEGI MAWILI YA HELA...
Damu ya Mfanyabiashara huyo ikiwa imetapakaa katika gari lake baada ya kupigwa risasi na majambazi waliompora kiasi kikubwa cha fedha na kutoweka.Mfanyabiashara mmoja (Jina Halikufahamika) Mwenye asili...
View ArticleKIGOGO WA WEMA ATANGAZA VITA NA DIAMOND
Stori: Shakoor JongoYule kigogo au taita aliyekuwa akimpa jeuri ya fedha Wema Isaac Sepetu ajulikanaye kwa jina moja la Clement anadaiwa kutangaza vita na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul Jumaa...
View ArticleDALILI KUU MBILI ZA MWANAMKE ANAPOKARIBIA KUFIKA KILELENI
- Siku zote katika mapenzi hakuna kitu kizuri kama kuridhishana hususan katika tendo la ndoa, ukweli uliopo ni rahisi sana kwa mwanaume kuwahi kufika kileleni kuliko mwanamke hii inatokana na sababu...
View ArticleCCM WAAMUA KUMTELEA UVIVU LOWASSA MBIO ZA URAIS 2015
Unaweza kusema sasa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeamua kumfungia kazi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa baada ya jana Makamu Mwenyekiti wake (Bara), Phillip Mangula kusema kuwa wanachama wake...
View ArticleMCHINA ASHITAKIWA KWA KUCHANA NOTI YA SHILINGI ELFU 10
Raia wa China ambaye ni meneja uzalishaji katika kampuni ya ujenzi Shen Hai,46, amepandishwa kizimbani kwa kosa la kuchana noti ya shilingi 10,000 ambayo ni mali ya Serikali ya Tanzania.Akisomewa...
View ArticleMAN GIVES BIRTH TO BABY GIRL, HIS WIFE IS THE FATHER
The first baby to be born to transgender parents in Argentina was delivered via C-section in the province of Entre Ríos.The proud parents are 26-year-old Alexis Taborda and 28-year-old Karen...
View ArticleBONGO MOVIES WAPATA VIONGOZI WAPYA-STEVE NYERERE ALA SHAVU KUBWA
Kundi la Bongo movie unity limepata uongozi mpya wa club hapa nchini hapo jana baada ya kufanyika kwa uchaguzi wake kwenye viwanja vya leaders kinondoni jijini Dar es Salaam.Katika uchaguzi huo...
View ArticleGIZA NENE LATANDA NDANI YA CHAMA CHA CHADEMA
Giza nene limeendelea kutanda ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), baada ya juzi kulazimika kuongeza muda wa kikao cha Kamati Kuu kusubiri uamuzi wa Mahakama Kuu kuhusu aliyekuwa Naibu...
View ArticleUAMUZI WA YANGU KUJITOA KOMBE LA MAPINDUZI HAUKUWA WA BUSARA
Klabu ya Yanga ya Dar es Salaam imechukua hatua ya kushangaza ya kujitoa kwenye michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea Zanzibar katika dakika za mwisho.Uongozi wa Yanga ulichukua hatua hiyo siku...
View Article