ZITTO:SIWATAJI WALIOFICHA MABILION USWISI NG'O
Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe amevunja ukimya na kusema hayuko tayari kwa sasa kuwataja Watanzania wenye mabilioni huko Uswisi na kuitaka Serikali ifanye uchunguzi.Zitto ndiye...
View ArticleDAYNA NYANGE AKANUSHA KUHUSISHWA NA UCHAFU UFUKWENI
Mwana muziki wa Bongo freva toka mkoani Morogoro mwana dada Dayna Nyange, amekanusha kuhusishwa na picha zilizomuonesha akifanya uchafu ufukweni akiwa na njemba nusu uchi. Dayna kupitia page yake...
View ArticleMWAMVITA MAKAMBA AMTIA DONGO LA MAANA JACK CLIFF BAADA YA KUKAMATWA NA MADAWA...
Hayo ndio maneni ya Mwamvita baada ya habari kuwa Jack Amekamatwa china na Madawa ya Kulevya
View ArticleNAUZA BIKRA YANGU KULIKO NIITOE BURE HALAFU BAADAE NI JUTE
Watu wamekuwa waongo sana , Utasikia ooohh mi ntakuoa ukinipa, siku akishapa tu anachokitaka anakula kona, mi bora tu niuze yangu, Bei poa kabisaa laki tano za kibongo..hayo ni maneno ya Msichana mmoja...
View ArticleUHAKIKA..NI KWELI ALIYEKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA CHINA NI JACK CLIFF
Rafiki wa karibu wa video vixen maarufu nchini, Jackie Cliff amethibitisha taarifa zinazoendelea kukua kwa sasa kuwa msichana aliyekamatwa na kilo 1.1 ya madawa ya kulevya aina ya Heroin huko Macau,...
View ArticleITS OFFICIAL! D'BANJ AND GENEVIEVE NNAJI ARE BACK TOGETHER AS LOVERS
This is not rumour o...it's fact. The Kokomaster, 33, and Nigerian screen goddess Genevieve Nnaji, 34, are back together two years after they parted ways and this is a LIB exclusive. Genny is currently...
View ArticleDINA MARIOS, RUBEN NDEGE, SIYO SIRI TENA
SIYO siri tena! Uhusiano wa kimapenzi kati ya watangazaji nyota Bongo, Dina Marios na Ruben Ndege ‘Ncha Kali’ sasa upo hadharani.Kwa muda mrefu Dina na Ruben wamekuwa kwenye uhusiano lakini wamekuwa...
View ArticleITAZAME VIDEO MPYA YA NEY WA MITEGO NAKULA UJANA
Ni video ambayo imefanywa nchini Kenya ambapo Ney anasema ametumia zaidi ya dola za kimarekani elfu saba kuifanya. Video ameiachia rasmi December 31 2013 on AyoTV.
View ArticleKUNA TAARIFA KWAMBA INADAIWA WAZIRI WA FEDHA DK WILLIAM MGIMWA AMEFARIKI...
Taarifa tulizozipata muda mfupi uliopita zinasema kuwa Waziri wa Fedha Dk William Mgimwa Amefariki Dunia leo Asubuhi. Tunaendelea kutafuta ukweli wa jambo hili.Tutazidi kuwapa taarifa Kadri...
View ArticleMBOWE AMKARIBISHA SUMAYE CHADEMA
MWENYEKITI wa taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amemkaribisha Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye kujiunga na chama chake ili kuendeleza mapambano dhidi ya vitendo vya...
View ArticleKIBANDA:MAGUFULI ANASIFIWA TANZANIA WAKATI HANA LOLOTE
Absalom Kibanda: Magufuli anasifiwa Tanzania wakati hana loloteAkiwa katika kipindi cha TV cha Asubuhi Leo ya Channel Ten, Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Bw. Absalom Kibanda amesema Magufuli...
View ArticleAUNT EZEKIEL AKIRI MUMEWE KUKAMATWA DUBAI
Na Hamida HassanSTAA wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel amekiri mumewe kukamatwa na kupata misukosuko lakini si kufungwa kama baadhi ya watu wanavyoeneza uzushi.Akipiga stori na mwandishi wetu hivi...
View ArticleLOWASSA ATANGAZA NIA KIMTINDO
Monduli. Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa ametangaza kuanza rasmi kwa safari aliyoiita ya matumaini ya ndoto zake, ambayo amesema itatimiza ndoto za Watanzania za kupata elimu bure, maji safi na...
View ArticleTAARIFA ZA IKULU KUHUSU KIFO CHA WAZIRI WA FEDHA WILLIAM MGIMWA
Rais Jakaya Kikwete amepokea kwa mshtuko na huzuni kubwa taarifa za kifo cha Waziri huyu wa fedha William Mgimwa na kwamba taifa limempoteza katika kipindi ambacho linamuhitaji zaidi kutokana na...
View ArticleZITTO:NIPO TAYARI KUPOKEA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA KESHO
Akizungumza katika kipindi cha Baragumu kinachorushwa na televisheni ya Channel 10, Zitto amesema yupo tayari kupokea maamuzi ya kikao cha kamati kuu ambacho kitakaa kesho.japo anaonyesha maamuzi hayo...
View ArticleWEMA ASEMA MARTINI KADINDA NDIO MWENYE SIRI YA KILA MAFANIKIO ANAYOYAPATA
MSANII nyota wa filamu Bongo Wema Isack Sepetu amefunguka kwa kudai kuwa hawezi kuvunja urafiki na meneja wake Martin Kadinda kwa sababu kama kuna kitu chochote cha mafanikio nyuma yake yupo...
View ArticleHOT NEWZZ BANK KUU YA TANZANIA YATOA SARAFU YA SH 50,000/-
BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetoa sarafu maalumu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar yenye thamani ya sh 50,000.Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu, alisema jana kuwa sarafu hiyo...
View ArticleMAPENZI SHIDAAA...BINTI ANALAZIMISHA NDOA ANATAKA KUNISAIDIA KUTOA...
Awali ya yote nina mwanamke mmoja ambaye tulianza naye mapenzi toka tuanze wote kazi kwa sababu tumeajiliwa sehemu moja ila tu tunatofautiana sehemu ya kufanyia kazi yeye anafanyia wilayani na mimi...
View ArticleRAY C AFUNGUKA ASEMA JACKIE CLIFF ANYONGWE KWA KOSA LA KUKAMATWA NA MADAWA YA...
Rehema Chalamila amekasirika na kwa jinsi ambavyo anawachukia wauza unga, hana hata chembe ya huruma kwa Jackie Cliff aliyekamatwa na madawa ya kulevya huko Macau, China mwezi December mwaka jana,...
View ArticleMKE WA MTU AFUMANIWA UGONI NA MUME WA MSANII WA BONGO MOVIE " THEA"
MWAKA ulianza vibaya kwa mke wa mtu ambaye jina lake halikupatikana mara moja kumkimbia mumewe na kumfuata mume wa msanii wa filamu, Ndumbangwe Misayo ‘Thea’ aitwaye Michael Sangu ‘Mike’ jambo...
View Article