JWTZ itoe Tamko Juu ya Diamond na Ney wa Mitego Kuvaa Sare za Jeshi na Kukata...
Kama wiki mbili zimepita toka jeshi letu pendwa litupige mkwara juu ya matumizi ya sare zake au zinazofanana na hizo kwa mtu ambae si askari.. Kwamba ukivaa tu basi umevunja sheria na inapaswa...
View ArticleMartin Kadinda Amfuata Jackline Patrick Gerezani China
Stori: Mayasa MariwataImekaa poa sana! Ubuyu kutoka Hong Kong, China unadai kwamba mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda hivi karibuni alimfuata Jacqueline Fitzpatrick Cliff ‘Jack Patrick’ gerezani...
View ArticleBaada ya Kuachana na Edzen, Dida Azifuta Ndoto za Kuolewa Tena
Stori: Imelda MtemaNDOA basi! Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha Times FM, Khadija Shaibu ‘Dida’ amezima ndoto za kuishi maisha ya mke na mume kwa kudai kuwa, amebaini kujiingiza kwenye ulimwengu huo ni...
View ArticleMTU Aliyesadikiwa Kuwa na Ugonjwa wa Ebola Sengerema Mwanza, Azikwa kwa...
MTU aliyesadikiwa kuwa na ugonjwa wa Ebola Wilaya Sengerema mkoani Mwanza, amezikwa kwa hadhari kubwa na wataalamu wa afya.Wakati mtu huyo akizikwa jana, hofu kubwa imetanda mikoa ya Kanda ya ziwa,...
View ArticleAlama za Ufaulu wa Show ya Fiesta 2014 Kwa Wanamuziki Walioimba
Mdau mmoja wa Muziki Aliyekuwepo kwenye Show ya Fiesta Jumamosi Usiku Ametoa Tasmini yake kwa Wanamuziki Walioimba Siku hiyo na kuwapa Maksi kama ifuatavyo:Ali Kiba 97%Mwana Fa 94%Weusi 91%Mr blue...
View ArticleBig Brother Africa: Washiriki wa Kenya, Uganda, na Nigeria watolewa Mchezoni,...
Mtanzania Laveda Jumapili October 19 aliponea chupuchupu kwa kubaki kwenye jumba la Big Brother Africa, huku akiwashuhudia washiriki wenzake watatu wa kike wakitoka mchezoni.Esther (Uganda) , Lilian...
View ArticleEti The King is Back ! Kwani Alikuwa Ameenda Wapi na Kutuwakilisha Katika...
Kuna watu mnakera kwakweli..na nimeanza kuamini hizi team team hizi zinaua mziki..hivi unaambiwa eti king iz back cjui izi rudi..wat ???????alikua ameenda wapi??huyu king mziki wetu kaupeleka wapi??...
View ArticleKwa Nini Wanawake wa Kiislamu Hawautaki Tena Ukewenza?
Ndugu zanguni Qur'an ni kitabu kitakatifu pekee kinachoruhusu mwanaume kuwa na wanawake zaidi ya mmoja yaani mwanaume anaweza akaoa mpaka wanawake wanne so long as anaweza kuwahandle. Lakini katika...
View ArticleWanachama Wanaopinga Katiba Waondoke CCM - Wassira
Chama Cha Mapinduzi kimewataka wanachama wake wanaopingana na msimamo wa chama hicho kuhusu katiba inayopendekezwa kurudisha kadi na kuondoka mara moja ndani ya chama hicho.Chama...
View ArticleNuh Mziwanda: Najifunza 'Ubaba wa Familia ' Kwa Shilole
Nuh Mziwanda a.k.a Babby wa Shilole, amesema kuwa kuzama katika penzi la bibie huyu na kuingia katika maisha yake kumemfundisha kitu kikubwa kabisa na kila siku anaendelea kujifunza namna ya kuishi...
View ArticleMaskini Mchezaji wa Mpira Afariki Akipiga Sarakasi Kusherehekea Bao
Mchezaji wa soka nchini India, Peter Biaksangzuala amefariki kutokana na majeraha aliyoyapata baada ya kuanguka vibaya uwanjani akisherehekea bao lake.Mchezaji huyo alikuwa na umri wa miaka 23 na...
View ArticleKamati ya Miss Tanzania Kutolea Ufafanuzi wa Miss Tanzania Mwenye Utata wa...
Mara baada ya kutwaa taji hilo kumeibuka utata juu ya umri wa Miss Tanzania 2014.Habari zimezagaa katika mitandao ya kijamii, ambapo anatuhumiwa kudanganya umri wake. Kuna taarifa zinasema Bi Sitti...
View ArticleOmmy Dimpoz Atoboa Siri ya Picha Anayoonekana Akishuka Kwenye Treni...
Baada ya kusambaa kwa picha ya Ommy Dimpoz anayoonekana akiwa kama kijana wa kijijini aliyetua mjini Dar es Salaam na watu wengi kuhisi ni picha yake ya zamani aliyopigwa wakati anatua Dar (kitu...
View ArticleMwanamuziki T.I. awawakia Waliomwambia Kuja Tanzania Kutampa Ugonjwa wa Ebola!
Mfalme wa Kusini, T.I. amemind. Tangia weekend iliyoishia alipokuwa akipost picha za ujio wake nchini Tanzania, baadhi ya followers wake wajinga wa Marekani wamekuwa wakimkejeli kuwa anaweza kurudi...
View ArticleMbowe Atolea Ufafanuzi Picha Iliyosambaa Mitandaoni Akibusiana Laivu Laivu
Week iliyopita Picha hiyo hapo juu ilienea mitandaoni ukimuonesha Freeman Mbowe na Mkewe Wakibusiana Live ....Mbowe Ameongea haya Kuhusu Picha hiyo :“Kwanza mke wangu alikuwa anatimiza umri wa miaka 50...
View ArticleDivido Aishukuru Clouds FM Kumkutanisha na T.I, Pia Amshukuru Diamond Kwa...
Davido ametumia Instagram kutoa shukrani zake baada ya kuwa sehemu ya wasanii waliotumbuiza Jumamosi iliyopita.“Kwaheri TANZANIA 26464 ! It was great sharing the stage with @troubleman31 … Thank you...
View ArticleSitti Mtemvu Kuvuliwa Au Kutokuvuliwa Taji leo ?
Kamati ya Miss Tanzania leo inatarajiwa kuelezea ukweli juu ya sakata la kudanganya umri la mshindi wa taji hilo mwaka huu, Sitti Mtemvu.Mratibu wa shindano hilo Hashim Lundenga amesema kamati yake...
View ArticleLundenga Amtetea Sitti Mtemvu mbele ya Waandishi wa Habari, Sitti Asema...
Mwaka 2005 kulikua na ushindani kidogo, mwaka 2006 kulikua na ushindani wa Wema na Jokate na upinzani huu umeendelea kuwepo kwenye mashindano yetu lakini ya mwaka huu imezidi mno, kumekua na matusi…...
View ArticleVideo Ikionyesha jinsi Sitti Mtemvu Alivyokuwa Akijitetea Mbele kwa Kujibu...
Sitti Mtemvu Miss Tanzania Akijibu Maswali ya Waandishi wa Habari leo kuhusu utata wa Umri na Mambo mengine. Video hii Hapa chini:
View ArticleHasheem Thabeet Majanga Matupu, Atemwa na Team ya Pistons Baada ya Kuichezea...
Timu ya Kikapu ya Pistons imemtema Mchezaji wake kutoka nchini Tanzania, Hasheem Thabeet ambaye amejiunga na Pistons mwezi septemba akitokea klabu ya Philadelphia iliyokuwa imemchukua kutoka Oklahoma...
View Article