Wanaume ni Viumbe Wabinafsi Sana na Wasiokuwa na Utu
Najitahidi sana kuamini kuwa wanaume ni wazuri ila kila kukicha naona hawa viumbe ni wanyanyasaji, wabinafsi, hawana utu, wauwaji, wabakaji, wanyaganyi, wauwaji, roho mbaya.Nitaendelea kuamini wanawake...
View ArticleMtemvu: Umri wa Binti yangu Miss Tanzania ni Siasa za Wapinzani Wangu Ndani...
Mbunge wa Temeke, Abbas Mtemvu amedai kwamba sakata la binti yake, Sitti Mtemvu, kudaiwa kuchakachua umri linachochewa na wapinzani wake wa kisiasa ndani ya CCM. Mtemvu alisema hayo wakati alipokuwa...
View ArticleSitta Afunguka na Kusema 'Mbunge Sugu Siyo Saizi Yangu'
Mwenyekiti wa lililokuwa Bunge la Katiba, Samuel Sitta amesema hakuwahi kukaa na kuuahidi upinzani serikali tatu.Sitta alisema hayo jana ikiwa ni siku moja baada ya Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema),...
View ArticleVita Nzito Mbili Kubwa Hapa Mjini: Ali Kiba Vs Diamond na Clouds FM na Times FM
Stori: Erick Evarist, Musa Mateja na Chande AbdallahMTIFUANO! Tamasha la Serengeti Fiesta 2014 limepita lakini nyuma yake limeacha vita nzito iliyowahusisha mafahari wawili, Nasibu Abdul ‘Diamond’ na...
View ArticleBaby Madaha 'Nawapanga tu Wanaume'
Stori: Gladness MallyaMSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha ambaye anadaiwa kuishi kinyumba na meneja wake Mkenya, Joe Kariuki wa Kampuni ya Candy n Candy Records, ametoa mpya baada ya kudai...
View ArticleDida na Edzen Wakutana Coco Beach Laivu, Wachuniana kama Hawajuani
Stori: Mayasa Mariwata na Shani RamadhaniWATANGAZAJI wawili waliokuwa wanandoa kabla ya kutengana hivi karibuni, Khadija Shaibu ‘Dida’ na Ezden Jumanne, mwishoni mwa wiki walikaushiana kama watu...
View ArticleMahabusu Mwingine afariki Dunia Kwa Madai ya Kupigwa Askari Kituoni
Alfred aliyekuwa mkazi wa Sinza jijini hapa, alifikishwa kituoni hapo kwa kosa la wizi wa kuaminiwa na kuwekwa mahabusu wakati akisubiri kufikishwa mahakamani juzi(Jumatatu) ili kusomewa mashitaka...
View ArticleRais Jakaya Kikwete Kutunukiwa U-Profesa na Rais wa China
Chuo kikuu cha kilimo nchini China kinatarajia kumtunuku Shahada ya juu ya U-profesa Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.Bila shaka ni kwa kutambua mchango wake wake mkubwa kwa mapinduzi makubwa ya kilimo...
View ArticleNaseeb Abdul maarufu kama Diamond anashikiliwa na Polisi
MSANII Naseeb Abdul (Diamond) leo anashikiliwa na polisi, siku moja tu baada Meneja wake Babu Tale kuhojiwa na kulala mahabusu kuhusiana na matumizi ya mavazi ya kijeshi katika onyesho la Fiesta...
View ArticleQ Chief Afunguka Kuhusu Bifu la Diamond na Ali Kiba, Haya Ndo Mambo Makubwa...
Mapya yanazidi kuibuka kuhusu ushindani wa Diamond na Ali Kiba amba ulianzia katika hitimisho la tamasha la Fiesta lililofanyika katika viwanja vya Leaders Club Dar. Mashabiki wa wasanii hawa wawili...
View ArticleMwanamuziki Diamond Aachiwa Kwa Dhamana Baada ya Kukamatwa Kwa Kesi ya Kuvaa...
Taarifa zinazomhusu msanii Diamond Platnumz kuhojiwa na jeshi la Polisi hii leo zimeenea sana kupitia vyombo vya habari na mitandao ya kijamii, kuanzia jana (tarehe 21 Oktoba) meneja wa msanii huyo...
View ArticleLemutuz Acharuka 'Sitti Mtemvu Rudisha Taji uokoe Taifa Mimi Sina Shida na...
Leo Asubuhi Mzee Mzima Lemuz Ameamka na Haya Kuhusu Miss Tanzania, Nanukuu Kutoka Kwenye Instagram yake @Lemutuz_nation"Good Morning Instagram Nation....I mean cheti cha kuazaliwa umekipata mwezi...
View ArticleT.I 'Tanzania ilikuwa Mzuka Sana, Sikuona Dalili yoyote ya Kuwepo Ebola
Baada tu ya kutua Marekani akitokea Tanzania, waandishi wa habari wa TMZ walimtime kwenye uwanja wa ndege na kumuuliza suala ya kusuluhisha beef ya Iggy Azalea na Snoop Dogg pamoja na show yake ya Dar...
View ArticleWema Sepetu Aponda Raha China Huku Diamond Akiugulia Machungu ya Fiesta
WAKATI bebi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiugulia maumivu ya kuzomewa na mamia ya mashabiki wa muziki katika Tamasha la Fiesta jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wikiendi iliyopita, Wema...
View ArticleMajambazi Wavamia Benki ya Stanbic Tawi la Mayfair, Msasani na Kupora Kiasi...
Benki ya Stanbic tawi la Mayfair, Msasani, Dar, leo imevamiwa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi na kupora kiasi kikubwa cha pesa. Wamekuja na Noah nyeusi wakapark kama wateja. Walikua wawili, mmoja...
View ArticleUpdates: Kesi ya Kulawiti na Kutuma Picha Katika Mitandao ya Kijamii...
SHAHIDI wa kwanza katika kesi ya kulawiti na kutuma picha katika mitandao ya kijamii inayowakabili wakazi wawili wa Mbagala, Dar es Salaam, alidai kwamba alikuwa na mahusiano ya kimapenzi na...
View ArticleBaraza la Sanaa (BASATA) Kumvua Taji Miss Tanzania 2014 kwa Kudanganya Juu ya...
Sakata la lililojitokeza la mrembo wa Taifa wa mwaka huu 'Redd's Miss Tanzania 2014', Sitti Mtemvu kudaiwa kudanganya umri, limeingia katika sura mpya baada ya Baraza la Sanaa Tanzania (Basata) kueleza...
View ArticleMsichana Kupata Mimba Bila Kukusudia ni Uzembe, Mwanaume Asilaumiwe
Kumekuwepo na malalamiko toka kwa wasichana kwamba kijana/mwanaume amenipatia mimba na anakwepa matunzo ya mtoto. Jambo la msingi hapa upatikanaji wa mimba mwenye kujilaumu ni msichana kwa kutokuwa...
View ArticleAliyepigwa Risasi Tumboni Akiwa kwenye Gari Jana Magomeni Afariki Dunia
Juzi ilikuwa ya kwanza kuripoti tukio la mwanamme mmoja kupigwa risasi maeneo ya Magomeni Mikumi ambaye hakuweza kutambulika mara moja, lakini sasa amejulikana na kwa taarifa zilizotolewa na ndugu,...
View ArticleBoko Haram Noma Sana Yakiuka Makubaliano na Kuteka Wanawake Wengine
Taarifa iliyoripotiwa na shirika la utangazaji Uingereza BBC imesema kikundi cha wapiganaji cha Boko Haram kimefanya mashambulizi katika kijiji cha Adamawa kilichopo Kaskazini Magharibi ya Nigeria na...
View Article