Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIZI HAPA NDIO GHARAMA ZA VIDEO YA- My Number One Rimix YA DIAMOND PLATNUMZ

Naseeb Abdul “Diamond” ameweka kuhusu gharama za video yake ya Number One Remix aliyofanya na director Clarence Peters wa Nigieria.Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKIKA WEMA SEPETU AANZA KUPENDEZA SASA BAADA YA KUACHA MKOROGO...HEBU CHEKI...

Kabla na Baada

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JOHARI APIGA MITUNGI KWA FUJO

Stori: Shani RamadhaniSTAA wa kitambo kwenye filamu za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amenaswa akipiga mitungi kwa sana ikiwa ni sehemu ya kufurahia uongozi mpya wa Klabu ya Bongo Movie Unity.Tukio...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASTARA: NATAKA KUOLEWA NA BILIONEA

Stori:  Na Imelda MtemaIKIWA ni takribani mwaka mmoja tangu alipoondokewa na mumewe, marehemu Juma Kilowoko ‘Sajuki’, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amesema sasa yupo tayari kuolewa lakini sharti...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DIAMOND AZUNGUMZIA UHUSIANO WAKE NA WEMA PAMOJA NA MOVIE YAO 2014. JE...

Diamond alidondoka kwenye Exclusive interview ya XXL ya Clouds FM na kuyajibu maswali ya Raymond Mshana ambae ndio alikua anaifanya XXL kwa siku hii ya January 6 2014.Kwenye show ya Xmas Diamond...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPANGO WA ZITTO KUMSAMBARATISHA MBOWE WATAJWA..SOMA ZAIDI HAPA KUJUA UKWELI

TABIA ya Mwanasheria wa Chadema, Tundu Lissu, kumrushia madongo Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya chama hicho, Zitto Kabwe, imesababisha hasira kwa mlengwa na sasa ameamua kuchukua uamuzi mkali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKUNA HALI YA UMASKINI INAYODUMU MILELE-SOMA KISA HICHI CHA KUTIA MOYO

Kijana asiye na kazi aitwaye Nolesy aliamua kumwoa rafiki yake wa muda mrefu aliyekuwa akifanya kazi katika benki moja mashuhuri.Nolesy alijitosa katika ndoa licha ya hofu na ushauri mwingi aliopewa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOKTA MAARUFU KWA KUTOA MIMBA AKAMATWA DAR

Stori: Waandishi WetuMWAKA umeanza, mambo mapya pia yapo! Oparesheni Fichua Maovu ‘OFM’ ya Global Publishers imeingia kazini kwa kasizaidi. Safari hii imemnasa daktari anayejulikana kwa jina moja la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAY C "BADO NIPO SINGLE JAPO BADO NASUMBULIWA SANA NA VIDUME"

Ray C yupo single.. at least kwa muda huu.Akiongea na Bongo5, Ray C amesema picha alizoziweka Instagram akiwa na mwanaume si maisha halisi bali alitaka ‘kuhave fun’ na mashabiki wake. Lakini amekiri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKILI WA ZITTO ATOA YA MAYONI "HATUSHINDANI NA CHAMA AU WANACHAMA WA CHADEMA"

Wakili msomi AlbertMsando ametoa yaliyo moyoni. Kupitia ukarasa wake wa Fb haya ndio aliyoandika.By; Albert MsandoKwa marafiki zangu,Hatujashinda kesi dhidi ya chama. Hatushindani na chama au wanachama...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAKUNA MWANAMKE MZURI ZAIDI YA MKEO

Ni kawaida kusikia Wanaume makazini au mahali popote pale pa mikusanyiko yetu kuwasifia baadhi ya wanawake wanaokatiza mbele ya macho yetu,kitendo hiki hutupelekea wakati mwingine hata kuingia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MARTIN KADINDA AWASHUKIA ANONYMOUS HATERS WA INSTAGRAM.

Manager wa beautiful Onyinye Wema Sepetu na fashion designer (single buttonist) Martin Kadinda ameamua kuwatolea uvivu wale maanonymous na wanaotumia fake accounts katika mtandao wa Instagram ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTEI "ZITTO HAHITAJIKI NDANI YA CHADEMA UAMUZI WA KAMATI NI WA MWISHO"

Katika pitia pitia katika magazeti ya mtandaoni, nimekutana na kauli kutoka kwa mwasisi wa CHADEMA Mzee Edwin Mtei kwenye gazeti la Mwananchi. Pamoja na mambo mengine, taarifa inasema"Mwasisi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKE WA KIGOGO WA CHADEMA, JOYCE KIRIA AMVAA FREEMAN MBOWE NA KUIRARUA CHADEMA...

NGUVU YA ZITTO IMEMUINGIA HADI MKE WA JUNIO KILEO,KILEO NI YULE AMBAE ALILALAMIKIWA NA KUSHITAKIWA NA ZITTO KUWA ALIWEKA KWENYE MTANDAO WAKE HABARI ZA KUWA ZITTO KAONGWA NA CCMMKE WA KILEO BI JOYCE...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA WEMA SEPETU KUUANZA MWAKA VIBAYA SASA DIAMONDI AJITOSA KUMNUNULIA...

STAA wa Bongo Fleva mwenye mbwembwe kibao, pia anasifika kwa kuwa msafi na anasemekana ndiye mwenye mkwanja wa nguvu Bongo, Nasibu Abdul ‘Diamond’ anadaiwa yuko kwenye mchakato wa kumnunulia jumba la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WATANO WAPYA WATAJWA, TANZANIA

RAIS Jakaya Kikwete anatarajia kutangaza majina ya mawaziri watano mapema wiki hii,taarifa za ndani kutoka Ikulu ya Rais Kikwete iliyonaswa na Habarimpya.com zinaeleza kwamba, zoezi hilo limepangwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI? MKE WAKO KAJIFUNGUA MTOTO MZUNGU WAKATI NYIE...

UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI?Nchini Uingereza mzazi Benjamin na mkewe Angela ambao wote ni weusi(Afrika),lakini mke wa Benjamin alijifungua mtoto mzungu kama unavyoona hapo.Kama wewe ni Mume au Mke...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BABY MADAHA 'AWACHANA' WASANII WANAOJIVUNIA ZIARA ZA NJE YA NCHI

Msanii wa filamu ambaye pia ni mwanamuziki wa muziki wa kizazi kipya nchini Baby Madaha ambaye yupo chini ya kampuni inayojulikana kwa jina la Candy n Candy amefafanua kuwa msanii hatakiwi kutumia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHUMBA WA NAY WA MITEGO CHALI

UCHUMBA wa staa wa wimbo wa Muziki Gani, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ na mpenzi wakeanayefahamika kwa jina moja la Siwema umedaiwa kuvunjika.Kwa mujibu wa chanzo makini, chanzo cha kumwagana ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BUS LA MTEI LA CHOMWA MOTO NA WANANCHI BAADA YA KUSABABISHA VIFO VYA WATU...

Hii ni habari mbaya kwa Taifa lenye sifa ya Amani Tanzania ila watu wake wamegeuka wanyama na kuchukua maamuzi mikonon.Leo asubuhi bus la kampuni ya Mtei toka Arusha limechomwa moto maeneo ya Njia...

View Article
Browsing all 109519 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>