BABY MADAHA "DIAMOND NI WA "HAPA HAPA" MIMI WA INTERNATIONAL"
Baby Madaha amesema kamwe hawezi kucheza ligi moja na Diamond Platnumz. Akiongea na kipindi cha Hot Mix cha EATV Ijumaa hii, muimbaji na muigizaji huyo wa ‘The Gal Bladder’ amesema Diamond ni msanii...
View ArticleJOHN MNYIKA "NIMEMTUMIA BARUA WAZIRI WA MAJI PROF.JUMANNE MAGHEMBE KUMSHAURI...
Waziri wa Maji Prof. Maghembe Ajiuzulu,Dawasa/Dawasco warejeshe huduma ndani ya wiki moja katika maeneo yaliyokuwa yakipata mgao wa maji kablaNimemtumia ujumbe Waziri wa Maji Prof. Jumanne Maghembe...
View ArticleSIKILIZA/DOWNLOAD WIMBO MPYA WA LADY JAY DEE- HISTORIA
Lady Jay Dee aka Binti Commando/ Anaconda ameachia wimbo mpya unaoitwa Historia, wenye ujumbe wa kijamii unaohamasisha watu kujituma ili kuhakikisha kuwa hawabaki kuwa ‘Historia’ kabla siku haijafika,...
View ArticleHUWEZI AMINI HUYU JAMAA AJAOGA WALA KUGUSA MAJI KWA MIAKA 60
Amoo Hadji, an 80-year-old Iranian man, has not taken bath for 60 years, according to the city website Bavanat.com.His skin is scaly, you can barely see his eyes and he smells to high heaven. The...
View ArticleLIGI KUU UINGEREZA::MANCHESTER UNITED WAICHAPA SWASEA GOLI 2 BILA
Manchester United halted their three-match losing streak as second-half goals from Antonio Valencia and Danny Welbeck eased the pressure on beleaguered manager David Moyes.At Old Trafford, where...
View ArticleNINA DATE NAE WEEK YA PILI SASA..ANANIULIZA NINA MPANGO GANI WA NDOA
Habari ya mwaka ndugu,naam kama ilivyo ada tena kwa mara nyingi ni true storyKuna mdada nina date naye week ya pili sasa ,tangia nimemjua kwa ukaribu its about mwezi na nusu ,jana ameanza kubadilika...
View ArticleWALIOTANGAZA NIA YA URAIS CCM MTEGONI
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umeshauri Kamati ya Maadili ya CCM kuwaonyesha mlango wa kutokea wote walioanza kampeni za kugombea urais, ubunge na nyingine kinyume cha maadili ya...
View ArticleWASOMI WANENA:CHADEMA WAJICHULIA KIFO WAO WENYEWE
*Wasomi ndani, nje ya chama wakitabiria anguko*Wasema kisipochukua hatua kitafika 2015 kikiwa dhaifuSAFARI ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuelekea katika uchaguzi mkuu wa 2015 imeelezwa...
View ArticleLINEX "NATUNGA NYIMBO KWA AJILI YA MAHARUSI..SPECIAL WEWE NA MPENZI WAKO"
Wasanii wa Tanzania kwa sasa wamekua na mbinu nyingi za kujiongezea kipato mbali na kipato wakipatacho kwa sasa ambacho ni showz na kuuza miito ya simu lakini kwa sasa wengi wanajaribu kufikiria upande...
View ArticleMTOTO WA MAREHEMU WHITNEY HOUSTON AOLEWA KWA NDOA NA KAKA YAKE
Stori inaamplfy kwamba mtoto wa mwimbaji staa Marehemu Whitney houston, Bobbi Kristina amevunja mapendekezo ya familia yake ya kutoolewa na kijana ambae ni kama kaka yake, mshkaji ambae alilelewa toka...
View ArticleGARI AINA YA TOYOTA NADIA 2000 MODEL INAUZWA KWA BEI POA
Toyota nadia 2000 model just arrived from Japan.Fully duty paidComprehansive insuranceColor silverCall/whatsapp 0768570703Bei inaanzia Mil 10 Maelewano yapo .
View ArticleRAIS KIKWETE ATANGAZA KUWA KESHO JUMATATU NI SIKU YA MAPUMZIKO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ametangaza kuwa kesho, Jumatatu, Januari 13, 2014, itakuwa ni Siku ya Mapumziko (Public Holiday) kwa Watanzania wote...
View ArticleSWALI LA MSINGI: NANI HASA NI WAASISI WA MAPINDUZI?
Kwenye historia ya Mapinduzi tufundishwayo shuleni, hayati Sheikh Abeid Amani Karume ndiye anayekua mioyoni mwetu kama muasisi na kinara wa Mapinduzi yaliyofanyika Zanzibar tarehe 12 Januari 1964....
View ArticlePUB YA AUNT EZEKIEL CHALI, ASHINDWA KUIENDESHA
Stori: Shakoor JongoPUB iliyoibuka kwa muda mchache na kukamata ‘taito’ kubwa Bongo ya mwigizaji Aunt Ezekiel, Demonte imefungwa ghafla, haitoi huduma tena.Imedaiwa kuwa, pub hiyo iliyopo maeneo ya...
View ArticleTAARIFA KWA UMMA KUTOKA CHADEMA KUHUSU TUHUMA DHIDI YA FREEMAN MBOWE
KUHUSU TUHUMA DHIDI YA M/KITI WA TAIFA, FREEMAN MBOWEKama mojawapo ya mikakati ya baadhi ya watu wanaotaka kuhamisha mjadala wa makosa yanayowaandama ya utovu wa maadili na usaliti dhidi ya chama, hivi...
View ArticleAIBU:MPIGA CHABO MAARUFU AKAMATWA AKIPIGA CHABO WAPENZI GESTI
Stori: Chande Abdallah na Denis Mtima, MwanzaNI aibu kubwa! Mpigachabo maarufu nchini, Andrea Masangu (29) amenaswa akiwa kwenye uvungu wa kitanda akiwapiga chabo wanandoa, Ijumaa Wikienda lina mkasa...
View ArticleTAZAMA JINSI MAGAZETI YA KITANZANIA YANAVYO TUCHANGANYA..JIONEE MWENYEWE HAPA
Huku amefumba macho! Hayo ni magazeti mawili ya jana yaliyokuja na takwimu mbili tofauti juu ya idadi ya tembo iliyobaki. Takwimu zenye kuzidi kutuchanganya ' Sisi watu wa Nchi ya Kusadikika'.Maana,...
View ArticleTAKUKURU (PCCB) YATOA MAJINA YA WALIOFUDHU KUFANYA MCHUJO WA KWANZA...CHEKI HAPA
The following applicants have been shortlisted for the Aptitude Test after meeting the basic requirements as per our advertisement on Monday 30th September and 2nd October 2013 in the Daily News and...
View ArticleTOFAUTI NA KUIGIZA HIKI NICHO KINGINE ANAFANYA DR CHENI
Dr.CHENI ambaye yeye tofauti na uigizaji pia ni mshehereshaji(MC) amekuwa kivutio kikubwa sana katika shughuli za masherehe ya kutosha, Cheni ameuambia mtaandao wetu kuwa huwa anapokea simu nyingi...
View Article