Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109439 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA UGAIDI YA WESTGATE YAANZA KENYA

Kesi ya washukiwa wanne wa shambulizi la kigaidi la Westgate lililofanyika nchini Kenya mwaka jana, imeanza rasmi nchini humo.Mashahidi wa wawili wa kwanza walifika mahakamani kabla ya kesi kuahirishwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YAFAHAMU MATATIZO YA KUPIGA PICHA ZA UTAMU UKIWA NA MPENZI WAKO FARAGHA

Baada ya kusoma na kuangalia baadhi ya blogs zinazoonesha udhalilishaji wa Dada zetu Hapa Tanzania, nikaona bora na mimi nitoe somo kidogo, Somo langu si kubwa sana lakini ni la Muhimu sana kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JACKLINE WOLPER AMWANIKA MPENZI WAKE MPYA HADHARANI

STAA wa filamu Bongo, Jacqueline Wolper ameamua kumuweka bayana mchumba wake wa sasa anayejulikana kwa jina la G. Modo baada ya kukaa kimya muda mrefu tangu alipoachana na Abdallah Mtoro...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANII WA KIMATAIFA KANYE WEST AANZISHA DINI YAKE

Attention! Dini mpya kabisa duniani inaitwa Yeezianity . Jina hili linafanana na album mpya ya kanye inayoitwa Yeezus ambayo ni combination ya nickname yake ya Ye na jina la Jesus. Tayari kuna website...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA FEKI LA MAWAZIRI LAZUA MTAFARUKU...IKULU YAWAKA

Joto la uteuzi wa Baraza la Mawaziri limeendelea kupanda hadi kufikia baadhi ya watu kuunda na kutangaza baraza ‘feki’ lililoibua mtafaruku kwenye jamii, kiasi cha kuwafanya wananchi kupiga simu chumba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTATA:JACK PATRICK KAACHIWA HURU?

Stori: IMELDA MTEMAUTATA umeibuka kufuatia kuwepo kwa taarifa kuwa huenda modo maarufu aliyedaiwa kushikiliwa nyuma ya ndondo kwa msala wa madawa ya kulevya nchini China, Jacqueline Patrick ameachiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MISS TZ, DEMU WA PREZZO WACHUANA KWA ZA UTUPU!

MREMBO aliyeng’ara kwenye Shindano la Miss Tanzania mwaka 2011, Hamisa Hassan ‘Hamisa Mabeto’ ameonekana kuchuana na demu wa zamani wa mwanamuziki Jackson Makini ‘Prezzo’, Huddah Menroe kwenye ishu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUPITA NYONG'O (KENYAN ACTRESS) HAS BEEN NOMINATED FOR AN OSCAR AWARD

The nominations for the 86th Academy Awards were announced Thursday morning.The nominees for best picture are “American Hustle,” “Captain Phillips,” “Dallas Buyers Club,” “Gravity,” “Her,” “Nebraska,”...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BAADA YA TETESI KUWA KAFUKUZWA CLOUDS FM DIVA AMETANGAZA KUGOMBANIA UBUNGE 2015

Mtangazaji wa Kipindi cha Ala za Roho kutoka Clouds Fm ‘The people’s Station’ leo kwenye akaunti yake ya Instagram amepost picha ikiwa na maneno haya chini.

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BADO SIJAAMUA KUWA NA MPENZI KWA SASA

Young Killer anasema pamoja na umri wake kumruhusu kuwa mrembo katika maisha yake, bado hafikirii kuanzisha uhusiano na msichana kwa sasa.“Umri wa kuwa na mpenzi nimeshafikia lakini sasa hivi nafanya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NI KARIBIA MWEZI NCHI INAENDESHWA BILA MAWAZIRI WANNE....JIULIZE

Ikiwa ni takribani mwezi sasa nchi hii inaendeshwa bila kuwa na mawaziri wanne muhimu na kati ya wizara nyeti ambazo hazina mawaziri ni ile ya Mambo ya ndani na Ulinzi wakiwa kama ndo wanaolinda amani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONGEZEKO LA MASHOGA WA KIUME BONGO! TATIZO NI NINI?

Nimetembea baa nyingi kinondoni na sinza siku za karibuni, nimeshangazwa na ongezeko kubwa sana la mashoga tena siku hizi hawajifichi kama zamani!! Juzi nilikuwa baa moja pale kinondoni opposite na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NISHA ASHINDWA KUKAA KIMYA KUHUSU SKENDO YA KUTOA MIMBA INAYOMKABILI

MTAYARISHAJI na mwigizaji wa Bongo Movie, Salma Jabu ‘Nisha’ amefunguka akidai kuwa maendeleo yake katika filamu yamemtengenezea maadui.Akizungumza na Mwanaspoti, Nisha alisema maadui hao wamefikia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

LADY JAY DEE AFURAHIA KUFIKISHA FANS LAKI 2 KWENYE UKURASA WA FB..ATOA DINNER...

Hatimae imefikia idadi ya 200,000, (laki mbili) Kila mtu ambae yupo kwenye hii page anastahili kupata hii nafasi ila sababu watu laki 2 hatuwezi kwenda dinner wote kwa pamoja naomba nitaje wachache...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

GAVANA NDULA AKUMBWA NA KASHFA YA UTAPELI

ALIYEKUWA mfanyakazi wa ndani wa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Benno Ndulu, amedai  kutolipwa haki zake na mwajiri wake huyo baada ya kukatisha mkataba wa kazi nchini Marekani.Pia amedai bosi wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IKULU YAWAONYA WABUNGE WENYE UCHI WA KUWA MAWAZIRI

IKULU imewaonya wabunge wenye uchu wa kuwa mawaziri na mawaziri wanaotaka kubaki kwenye madaraka hayo wasikubali kurubuniwa na matapeli wanaojifanya maofisa Usalama wa Taifa ambao wanawataka kutoa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AIBU:WAZIRI AZOMEWA NA WANANCHI MBELE YA WAZIRI MKUU PINDA

*Wananchi wadai amewatelekeza muda mrefu*Serikali yaahidi kuwasaka walioua raiaMBUNGE wa Kiteto (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Benedicti Ole Nangoro jana alijikuta...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATIMAYE MASOGANGE AMTAJA ALIYE MTUMA MZIGO WA DAWA ZA KULEVYA

HATIMAYE yule Video Queen wa Bongo, Agnes Gerald Waya ‘Masogange’ aliyepatikana na hatia ya kuingiza nchini Afrika Kusini malighafi haramu aina ya ephedrine, amemtaja mtu aliyemtuma mzigo huo kuwa ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MACHUNGU YA KUVUNJIKA NDOA YAZIDI KUMTESA BOB JUNIOR, AAMUA KUTUNGIA WIMBO

Rais wa Masharobaro, Raheem Ramadhan aka Bob Junior anatarajia kuusema ukweli wake wote uliozunguka maisha yake ya ndoa iliyovunjika kwenye wimbo mpya alioupa jina ‘Ukweli Wangu’.Akiongea na kipengele...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS JAKAYA KIKWETE AOZESHA MWANAE

Miraji Kikwete na Aima Mahmoud wakiondoka kwenye ukumbi wa Mlimani City baada ya kufunga ndoa yao jana. Picha na Florence Majani Kwa ufupiSherehe hizo zilianza saa 7:00 mchana baada ya ndoa kufungwa na...

View Article
Browsing all 109439 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>