TAZAMA PICHA ZA MWANAJESHI FEKI ALIYEKAMATWA LEO TANGA AKIMTAPELI DC
'Koplo' feki akiwa na pamoja na Luteni Yahya Wangwe na Mteule daraja la pili Albano SemfukoNa Mashaka Mhando,TANGAVIKOSI vya Ulinzi na Usalama Wilayani hapa,vinamshikilia EdwinJohn Mponji (31) kufuatia...
View ArticleMWIGIZAJI WA ISIDINGO LESEGO MOTSEPE AMEFARIKI DUNIA
JOHANNESBURG – South African actress Lesego Motsepe, best known for her role as Lettie Matabane in the SABC 3 soapie Isidingo, has died.Motsepe was found dead at her Randburg home at around 11 am on...
View ArticleONYO KWA WANAOPENDA KUCHAFUA WATU WENGINE MAKUSUDI KWA KUPITIA COMMENTS
Kumekuwa na Tabia ambayo imeanza kujitokeza siku za karibuni kwa watu kuchafua wengine kwa makusudi kwa kupitia comments as Anonymous wakizani kuwa hatuwezi kuwajua...Hiyo ni tabia isiyo vumilika...
View ArticleDIVA LOVENESS AMCHANA STARLISHA KIANA KWA KUANIKA MESSAGE PRIVATE ZA PREZZO...
Mtangazaji matata wa Clouds Fm Anayejulikana kwa jina la Loveness Diva jana usiku katika kipindi chake Alifunguka kiana kuhusu wapenzi wanapogombana na kuanza kuweka mitandaoni Private Message...
View ArticleMADAWA YA KULEVYA KWA WANAWAKE NI JANGA-WAPEKULIWA MPAKA SEHEMU ZA SIRI
Na Makongoro Oging'JANGA la kusafirisha madawa ya kulevya Bongo limezidi kuwa zito kufuatia takwimu za hivi karibuni kuonesha kwamba, idadi ya wanawake kujihusisha na shughuli hiyo inazidi...
View ArticlePARTY 2:PRIVATE MESSAGE NYINGINE ZAIDI ZA PREZZO NA CHAGGA BARBIE
Lile penzi la mkali kutoka Kenya Prezzo na mdada kutoka uchagani Chagga Barbie limeota mbawa na hatimaye kilichofata ni matusi kuwekeana mambo hadharani bila hata aibu, Mdada ameamua kumwaga kila kitu...
View ArticleMAMA WEMA AFUNGUKA KUHUSU DIAMOND.
Huu ndio ujumbe wake:“Mimi nimekerwa sana na huyo Diamond wenu. Najua hajamrudia Wema kwa mapenzi, amemrudia ili apate nafasi ya kumharibia maisha. Ni kijana hatari sana.“Nina taarifa kutoka kwa watu...
View ArticleBOND"NILIMPA JACK CLIFF MIL 2 AIGIZE KWENYE MOVIE YANGU AKANISONYA NA KUSEMA...
MTANGAZAJI wa kituo cha chanel ten Bond Bin Slim ambaeye inadaiwa hivi sasa ni yuko katika mahusiano na mjane wa aliyekuwa staa wa filamu Bongo marehemu Said Juma Kilowoko “Sajuki”, Wastara Juma...
View ArticleNIMEKUFA NIMEOZA KWA BABA MWENYE NYUMBA WANGU..NIMEJIPITISHA NA KUJIBALAGUZA...
Ndugu zangu, naombeni nisieleke vibaya.. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26. Nina mwaka wa kwanza tangu nianze kujitegemea mara baada ya kumaliza shule. Nimepanga kwenye nyumba moja iliyoko...
View ArticleHAYA NDIYO MAJIBU YA MWIGULU NCHEMBA KWENDA KWA WANAOPONDA UTEUZI WAKE,AWEKA...
Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Mwigulu Nchemba, ambaye jana alikuwa miongozi mwa manaibu waziri walioapishwa na Rais Jakaya Kikwete kushika nyadhifa zao amewaambia watu wanaoponda uteuzi wake kuwa...
View ArticleSAMAHANI KWA PICHA HIZI AJALI MKOANI LINDI BASI LAGONGANA NA ROLI KUMI...
Jana majira ya saa nane alasiri Basi lenye lenye jiona maarufu kama ALLHAMDULILAH lilipata ajali mbaya huko makoani Lindi watu kumi walipoteza maisha papohapo na 28 mahututi wapo Hosptali ya mkoa wa...
View ArticleNINA MIAKA MINNE KWENYE NDOA ILA MUME WANGU HAJAWAHI KUNIFIKISHA...
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi...
View ArticleKAGAME ANUSURIKA KIFO
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amenusurika kifo baada ya msafara wake nchini Kenya kupata ajali na kusababisha watu wawili kujeruhiwa vibaya. Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Shirika la Habari la...
View ArticlePICHA YA MSANII DAVIDO AKIWA NA MDADA ACTRESS WA KIBONGO KITANDANI YAVUJA...
Msanii maarufu wa muziki wakizazi kipya ajulikane kwajina la davido tika nchini Nigeria anaetamba na kibao chake cha SKELEWU,hivi ndivyo alivyo pigwa picha na mwana dada huyu anaedaiwa kuwa mwigizajiwa...
View ArticleAIBU:DIVA NAYE AJIBU BAADA YA KUTUKANWA MATUSI YA NGUONI NA TEAMCHAGGABARBIE
Drama zinazidi kuendelea, leo imeibuka akaunt ya instagram inayojiita teamchaggabarbie na imemtolea maneno machafu na ya nguoni mtangazaji wa kituo cha Clouds Fm Loveness Malinzi almaarufu ka a Diva....
View ArticleSNURA TUHUMA NZITO...ADAIWA KULIKIMBIA DENI LA PRODUCER WAKE ALIYE MTOA
Stori: Shani Ramadhani na Mayasa Mariwata STAA wa wimbo wa Majanga, Snura Mushi ameingia kwenye majanga baada ya kudaiwa kukacha na deni la prodyuza Mohammed Kandoro wa Studio za Fire Music ambaye...
View ArticleMAJANGA YAZIDI KUMKUMBA BABY MADAHA AKIRI NAKUSEMA "NIMEUMBUKA"
Jambo limezua jambo! Ile skandali ya kunaswa baada ya kuingia mkenge kwenye mtego wa kujiuza imemtokea puani staa wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ambaye amekiri kuumbuka.Habari hiyo...
View ArticleBREAKING NEWS! USAJILI WA OKWI YANGA WAADUNDA
Taarifa ambazo mtandao huu umezipata hivi punde jina la Emmanuel Okwi halijaidhinishwa kwenye usajili wa klabu ya Yanga.Kwa maana hiyo Okwi hataruhusiwa kucheza raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom...
View ArticleMWANAMUZIKI LINAH SANGA APANGUA SKENDO INAYOMKABILI YA KUTOKA NA KIGOGO
Mwanamuziki Linah Sanga Amekana katu katu Skendo kuwa anatoka na kigogo mmoja wa serekali na kuwa amempachika ujauzito ..Linah Amesema yeye sio mjamzito na wala hatoki na Kigogo yoyote, hizo ni shutuma...
View ArticleJUMA NKAMIA AWAANGUKIA WADAU WA HABARI...AOMBA USHIRIKIANO KAULI ZAKE ZAMPONZA
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia (pichani), amewaomba wadau wa habari kushirikiana naye katika kujenga na kuiboresha tasnia ya habari. Alisema hayo jana jijini Dar es Salaam...
View Article