FOLENI ZA MAGARI ZAZUA GONJWA JIPYA
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na ongezeko kubwa la ununuzi wa magari na kusababisha idadi kubwa ya vyombo hivyo vya usafiri, foleni za magari nchini, hasa jijini Dar es Salaam, imefikia hatua ya kutisha...
View ArticleUTAJIRI WA MTANGAZAJI DIDA GUMZO!....ATAJWA KUHUSIKA NA UUZAJI WA SEMBE
Stori: Gladness Mallya na Hamida HassanAMINI usiamini lakini ndivyo ilivyo! Utajiri wa Mtangazaji wa Radio Times FM ya jijini Dar, Khadija Shaibu ‘Dida’ umeibua gumzo midomoni mwa watu wakidai kuna...
View ArticleWEMA UNATUUMIZA WENZIO ..MWEE NDIO MAANA DIAMOND KADATA KUMBE
Uwiiii jamani acheni Diamond adate na mtoto wema kwa mapozi yake...Wema Sepetu kwa kweli anamfanya ndugu yetu Diamond awe bubu kwa uzuri wake.
View ArticleMWEEE....HILI TUKIO LILINIPITA...KWELI NAPE KAOA AMA NI KAMCHEZO KA PHOTOSHOP?
Nimekutana na hii picha Mtandaoni nikaona nishare na ninyi...Hivi kweli Nape Kaoa hivi karibuni ama ni Photoshop ..? Kama kweli hongera zake ....Maana na Upekuzi wangu hili tukio lilinipita mpaka...
View ArticleNAZIONA DALILI ZA KUMWACHA MKE WANGU..KWA HILI SIWEZI VUMILIA
Ndugu zangu mwenzenu yamenikuta makubwa. Mimi nimeoa nikiwa mtu mzima sana. Tofauti ya umri na mke wangu ni miaka kumi na kenda. Miezi sita ya kwanza ndoa yetu ilikuwa ya furaha sana na hakika nilionja...
View ArticleDIVA AZIDI KUONYESHA MAPENZI YAKE KWA KING CRAYZ GK
Mapenzi yazidi kuchukua nafasi yake katika upande wa mwanadadiva Loveness Love "Diva" kwani ameshindwa kujizuia na kuzidi kuonyesha hisia zake kwa mpenzi wake aliyenaye kwa wakati huu King Crayz...
View ArticleWOLPER "WAZAZI WANGU NI MATAJARI HAWAHITAJI MSAADA WANGU"
Staa wa sinema za Kibongo , Jacqueline Wolper amechomoa madai yaliyoibuka kuwa hawajali wazazi wake . Baada ya taarifa hizoza chini chini kuzagaa , Wolper aliibuka na kuzikanusha kama ifuatavyo: “...
View ArticleGAZETI LA MWANANCHI LAMUOMBA RADHI RAIS KIKWETE
Jana katika gazeti hili tulichapisha habari iliyokuwa ikielezea kuwa Rais Jakaya Kikwete aliwatembea wagonjwa katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu (MOI) jijini Dar es...
View ArticleMASKINI TAMTHILIA YA SIRI YA MTUNGI YAAMBULIA PATUPU TUZO ZA MOVIE AFRICA
Watanzania tulifurahi kwa habari kuwa Tamthilia yetu ya Siri ya Mtungi imechaguliwa kuwania Tuzo Saba katika  tuzo za Africa Magic Movie Awards 2014’ Tuzo hizo zilifanyika jumamosi hii lakini kwa...
View ArticleJAY Z AKATAA KUA BEST MAN KATIKA HARUSI YA KANYE WEST
Kutoka kwenye mitandao tofauti ya Marekani kuna stori zimemake headline zinazowahusisha Jay Z na Kanye West ambao ni washkaji walioshirikiana kufanya album moja ya Watch the Throne ambayo ilitoka...
View ArticleUWEZI AMINI KUMBE DIAMOND NA ALLY KIBA NI NDUGU WA DAMU
Gossip Cop Soudy Brown leo anazo taarifa zinazomhusu dada wa kaka wawili ambao mara kadhaa imetoka taarifa kuwa hawapatani, sasa leo kupitia dada huyu anadai kumbe hao jamaa ni ndugu.Clouds FM...
View ArticleLOWASSA AIKANA NOTI YA SH 500 YENYE PICHA YAKE BADALA YA RAIS
Kumekuwa na muendelezo wa matukio kadhaa kutoka kwa kikundi cha watu kumuhusisha Mhe. Edward Lowassa na matukio ya uongo na kumzushia vitu vya ajabu kabisa, hususani katika mitandao ya...
View ArticlePOSTS ZA WASTARA JUMA INSTAGRAM ZAWAACHA WATU WAKIJIULIZA KUNANI...
Posts hizi 12 hapa chini zina maana gani ? Ni shukrani tu ama ? embu zisome ..zote ameandika mwigizaji Wastara...aliyekuwa mke wa Marehemu Sajuki
View ArticleBUNGE MAALUMU LA KATIBA VULULU VULULU
Matarajio ya Bunge Maalumu la Katiba kukamilisha kanuni kwa maridhiano yaliyeyuka tena jana huku mambo ndani ya ukumbi yakionekana kuwa vululuvululu kwa baadhi ya wajumbe kuzungumza nje ya utaratibu na...
View ArticleMWEEE! ETI YESU KAONEKANA MAENEO YA SINZA JANA....JIONEE
Habari ndio hiyo ..Jamaa Kaonekana Mitaa ya Sinza Kijiweni Jana....Mwee Ndio Yesu karudi Ama?
View ArticleMCHUNGAJI ANAYE HUBIRI AKIWA NA NYOKA SHINGONI AFARIKI DUNIA BAADA YA NYOKA...
Pasta anayejulikana kuhubiri akiwa amemweka nyoka shingoni ameaga dunia. Pasta Jamie Coots anayeamini kuwa kinga hutoka kwa mungu aliweza kupoteza maisha yake baada nyoka huyo wa sumu kumuuma akiwa...
View ArticleMAMBO SITA USIYOYAFAHAMU KUHUSU NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA
Ndege ya shirika la ndege la Malaysia (Malaysia Airlines).Kuna mambo ambayo watu hawajafahamishwa kuhusu ndege ya shirika la ndege la Malaysia (Malaysia Airlines) safari namba Flight 370 ambayo...
View ArticleNGUO FUPI YAMTOKEA PUANI DADA HUYU ..AFUATWA NA MIDUME YENYE UCHU KAMA NYUKI
Jamani Wadada Tuweni Makini na Mavazi hasa tunapoenda sehemu zenye mkusanyiko wa watu mbali mbali ..Kama kariakoo na mjini City Center Kwa hapa Dar si Sehemu nzuri ya kuvaa mavazi mafupi yenye kuonesha...
View ArticleOLE SENDEKA ATOKA KWENYE UKUMBI WA BUNGE HUKU AKIFUTA MACHOZI
Mara baada ya mbunge mmoja kusimama na kumuomba Mwenyekiti wa Bunge Pandu Ameir Kificho awatake watendaji wake wagawe vikaratasi vya kura ili ipigwe kura ya siri wachaguwe aidha siri au wazi na...
View ArticleMCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA ACHAFUA HALI YA HEWA BUNGE LA KATIBA
Dodoma, Tanzania. Mchungaji Christopher Mtikila amechafua hali ya hewa bungeni, hivi punde kwa kumtaka Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Pandu Kificho amueleze ni kwanini tangu jana amekuw...
View Article