"KAMA MIMI SIO CLASS YA HUDDAH MONROE IWEJE ALINIVULIA NGUO?" MUSTAPHA CO
Speaking on Tuva’s show, Mambo Mseto, Mustapha started by saying that Huddah is lying and that they were in love until most recently when a photo of Mustapha snuggling a ‘fan’ surfaced online.“Huo ni...
View ArticleLULU: OLE WAKE MTU AMFUATE BWANA’NGU
YELEUUWI! Msanii asiyeishiwa matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ amewatemea cheche wanaomnyemelea mpenzi wake aliyemtaja kwa jina moja la Amani, akiwataka waache mara moja kwani akiwagundua...
View ArticleMUME ATELEKEZA FAMILIA NA KWENDA KUISHI GESTI NA KIMADA..AFUMWA LIVE
Stori: Issa Mnally na Richard BukosHII ni ni fedheha! Mzee Mbonde, mkazi wa Kimara jijini Dar, anadaiwa kutelekeza familia na kwenda kuishi na mwanamke mwingine gesti kisha kufumwa laivu na mkewe,...
View ArticleSUMAYE AKATA RUFAA KWA KUZUIWA KUFANYA KAMPENI ZA URAIS
Dodoma. Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye amekata rufaa Kamati Kuu ya CCM kupinga adhabu ya onyo kali aliyopewa na chama kutokana na madai ya kuanza kampeni za urais mapema kwa ajili ya Uchaguzi...
View ArticleMAPOLISI WAIPEKUA NYUMBA YA RUBANI WA NDEGE YA MALAYSIA ILIYOPOTEA
Kuala Lumper. Polisi nchini Malaysia wamevamia nyumba aliyokuwa akiishi rubani wa ndege iliyopotea na kuendesha msako mkali, ikiwamo kukusanya nyaraka muhimu ambazo zinazamiwa kuwa zitasaidia kufichua...
View ArticleJERRY TEGETE"YANGA HAUNA CHAKO RUDI SHULE AMA UHAME TEAM"
BABA mzazi wa straika wa Yanga Jerry Tegete, John Tegete amemtaka mwanae achague mawili ifikapo mwisho wa msimu huu iwapo ataendelea kusugua benchi kwenye kikosi hicho.Kocha huyo wa zamani wa Toto...
View Article"SIWEZI KUINGIA MAPENZINI NA MSANII WA BONGO MOVIES..WENGI WAPO KIMASLAHI"MBOTO
Muigizaji wa filamu za Kiswahili, Haji Salum aka Mboto amesema kuwa hawezi kuanzisha uhusiano wa mapenzi na wasanii wa Bongo Movie kwa kuwa anaogopa kuchafuliwa jina na kuumizwa kimapenzi.Mboto...
View ArticleDIRECTOR NICK DIZZO AACHANA NA E-MEDIA SASA AMEANZISHA KAMPUNI YAKE MWENYEWE...
Kama umeshaiona video mpya ya rapper anaeiwakilisha Mbeya City, Izzo Bizness ‘Tummoghele’ iliyotoka rasmi Ijumaa iliyopita, utagundua kuwa video hiyo imefanywa na director yule yule aliyefanya video...
View ArticleM-RAP "SIUTAMBUI WIMBO WANGU ULIACHIWA NA B-HITS LEO, B-HITS NILISHA GIVE UP"
Rapper M-Rap amesema hautambui wimbo ulioachiwa leo na B’Hits kwakuwa anaamini umeachiwa ili kumharibia mipango yake.Rapper huyo aliyejitoa/ondolewa kwenye label hiyo wiki iliyopita aliachia wimbo mpya...
View ArticleWATAKAOHUDHURIA HARUSI YA KIM NA KANYE HAWATARUHUSIWA KUINGIA NA SIMU, JAY Z...
Bonge la harusi inayosubiriwa kwa Hamu kati ya Kanye West na Mchumba wake wa Muda Mrefu Kim Kardashian itakayofanyika Mwezi wa Tano Imeanza kuwa Gumzo Baada ya Taarifa kuzagaa kuwa waalikwa...
View ArticleHENRY KILEWO" WANAKALENGA TUNAJUA MAAMUZI YALIYOFANYIKA SIYO YENU BALI TUME...
Henry Kilewo Ameandika yafuatayo katika Ukurasa Wake wa Facebook kuhusu Uchaguzi wa Jana katika Jimbo la Kalenga Ambapo CCM waliibuka Washindi:"Mapambano yanaendelea,hatujafa moyo, hatujahuzunika na...
View ArticlePICHA ZA DIAMOND, JOHARI, RAY NA UWOYA ZATUMIKA KUPAMBA RESTAURANT CHINA
Picha za mastaa wa filamu na muziki nchini Tanzania zimetumika kama mapambo katika restaurant moja nchini China. Kwa mujibu wa blog ya Swahiliworldplanet restaurant hiyo inaitwa Medina na haijajulikana...
View ArticleMOYES AONDOKE MAN UNITED - NA HIZI SABABU KWANINI HAFAI KUENDELEA KUIFUNDISHA...
Manchester United lazima imtimue David Moyes mwishoni mwa msimu huu. David Moyes hana uwezo wa kuiongoza Manchester United kuendeleza mazuri ya aliyemrithi na kuipeleka timu kwenye kilele cha...
View ArticleRAGE ANA POINTI, SIMBA KWELI MAMBUMBUMBU.
Ninaposikia kauli za viongozi wa vilabu vyetu hapa Tanzania, huwa najiuliza maswali mengi sana. Weekend hii umefanyika mkutano wa wanachama wa Simba Sports club katika bwalo la polisi pale Oyster Bay....
View ArticleMKE WA SUGU KUNANI..APEWA MAKAVU LIVE LIVE INSTAGRAM
Nimekutana na hii Hapa Embu jisomee Mwenyewe..maana mweeeee
View ArticleNI WAKATI SASA WA MBOWE KUACHIA NGAZI CHADEMA
Kutokana na trend ya maendeleo ya chama ya siku za hivi karibuni, kuanzia kwenye uchaguzi wa madiwani, nashawishika kwamba huu ni wakati mzuri sasa wa Mbowe kuondoka. Ni dhahiri kwamba Mbowe ameshindwa...
View ArticleWOLPER: LAZIMA NIOLEWE NJE YA NCHI
Na Hamida HassanSTAA wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper ameibuka na kudai kuwa, atafanya kila njia ili aolewe na mwanaume wa nje ya nchi na siyo Wabongo ambao hawathamini mastaa.Akizungumza na...
View ArticleTUNDU LISSU:SITTA ANANITONESHA VIDONDA
Mjumbe wa Kamati ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, Tundu Lissu amesema ktendo cha Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kubadilisha kanuni kwa kutoa muda zaidi wa kuwasilishwa kwa rasimu ya katiba,...
View ArticleBABU SEYA, PAPII FURAHA UPYA! WAKILI ANASA USHAHIDI WA KUWATOA GEREZANI
Na Elvan Stambuli na Haruni SanchawaMWANAMUZIKI mkongwe nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ anayetumikia kifungo cha maisha jela na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ kwa kuwanajisi watoto tisa, wana...
View ArticleIF ALL GOES WELL LUPITA MIGHT BE IN "STAR WARS MOVIE"
With the movie – 12 Years A Slave - that won her an Oscar out of the way and another one in theatres – Non Stop - Kenyan Hollywood actress, Lupita Nyong’o has got to keep her feet moving. Only this...
View Article