MMMHH...HIII NI KWELI AMA NDIO SIKU YA WAJINGA...ETI DIAMOND NA MAMA YAKE...MHHH
Du! Nimekutana na Hii Screen Shot ya Gazeti hilo hapo juuu mpaka it almost made me choke on my water....alafu Baadae nikakumbuka leo ni siku ya wajinga.....Mweeeee
View ArticleSIMBA WAJUTA KUMFUKUZA KIBADENI...NI BORA MARA MIA KULIKO HUYU KOCHA MZUNGU
Dar es Salaam. Kocha Mkuu wa Simba, Zdavko Logarusic ‘Loga’ ametimiza mechi 10 za Ligi Kuu Bara akiwa amekusanya pointi 12 lakini amezidiwa na Abdalah Kibadeni, ambaye aliinoa na timu hiyo kwenye...
View ArticleMAKACHERO WA KAGAME WAKAMATWA DODOMA
Mashushushu wanawake wanne raia wa Rwanda wanaoaminika kutumwa na Rais Paul Kagame wamekamatwa mjini Dodoma. Wamekamatwa wakiwa wameshajenga uhusiano wa karibu na baadhi ya viongozi waandamizi pamoja...
View ArticleNAMPENDA KWASABABU ANANIGUSA PENYEWE KWENYE KIPELE
Nimepatikana mwenzenu, nimekutana na kijana hana adabu hata kidogo, amechukua moyo wangu mzima mzima. Kijana anasura mbaya yani hana hata mvuto ila uwanjani usipime, mambo anayo ni fanyia naogopa hata...
View ArticleUMESHAWAHI JIULIZA BARACK OBAMA ANATUMIA SIMU GANI? CHECK HAPA
For the past eight years, the well-connected world leader would use nothing but a BlackBerry to get their email on the move – and it is still Barack Obama’s phone of choice, according to a report...
View ArticleUTAJIRI WA MASANJA MKANDAMIZAJI NI HATARI TUPU...DIAMOND NA JIDE CHA MTOTO
UTAJIRI wa komediani maarufu nchini Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ni kufuru! Tena unatisha na sasa anaonekana kuwa miongoni mwa wasanii wanaomiliki fedha na mali nyingi Bongo, Risasi...
View ArticleFAHAMU HISTORIA FUPI YA WASTARA SAJUKI TOKA ALIPO ANZA KUIGIZA MPAKA SASA
Wastara Sajuki si jina geni kwenye ulimwengu wa bongomovies. Ni mmoja wa wanadada wanofanya vizuri sana kwenye filamu nchini na wenye ushawishi mkubwa sana ndani ya tasnia hii. Ifuatayo ni historia...
View ArticleWATANZANIA WALIOLIPULIWA NA OSAMA KULIPWA Sh 672 BILION
Watanzania wanne waliojeruhiwa katika mlipuko wa bomu katika ubalozi wa Marekani mwaka 1998 na wengine watano waliofariki dunia katika mlipuko huo watalipwa fidia ya Sh672 bilioni, kiwango ambacho ni...
View ArticleBONDIA CHEKA AWA MTORO DARASA...KITI CHAKE CHAOTA KUTU
BONDIA Francis Cheka ametajwa kuwa mwanafunzi anayeongoza kwa kukacha vipindi vya darasani chuoni anakosoma huku mwalimu wake, James Mkisi akibainisha kuwa kutokana na utoro wa bondia huyo hata kiti na...
View ArticleJAMAA AKESHA AKIOMBA MUNGU KATI YA MCHEPUKO NA MKE WAKE WA NDOA NANI NI...
Habari wapendwa,kuna kitu kinanikera mpaka nimeamua kuongea na inabidi tumuogope Mungu,kuna jamaa mmoja alioa akafukuza mke wake,badae akamrudia mke wake Mungu akawajalia mtoto mmoja,wakati huyo mke...
View ArticleTAHADHARI..UWIZI WA KITOTO KATIKA MA-BANK
Kuna wizi unafanyika kwenye mabenk kwa kweli unatia aibu na kujidhalilisha tu.Nilikua mlimani city natoa pesa kwa ajili ya kumtumia jamaa yangu yuko Exim bank mimi niko CRDB, Basi nkatoa pesa CRDB...
View ArticleUGANGA WA MAPENZI..KUMBE NYAMA YA MJUSI NDIO HUCHANGANYWA NA CHAKULA NA...
JE UNAYAFAHAMU MAMBO HAYA?Haya madudu wanayofanyiwa baadhi ya wanaume na akina mama yapo kwa kila kabila, utafiti umebaini kuwa ni moja ya taaluma ya Kibantu katika kuongeza au kuthibiti chachu ya...
View ArticleRAHA YA KUTONGOZWA...
Hivi dada zangu huwa mnaenjoy mkiwa mnatongozwa?Ni kweli kuwa usipotongozwa kama wiki tu hivi wajisikia vibaya?Najua kuna suala la umri hapa kwenye sanaa hii ya utongozwaji,Lakini napenda tu nipate...
View ArticleDIAMOND AKIWA STUDIO AKIREKODI COLABO NA MNAIGERIA
Maneno yanaumba !!! kwa jitihada zake Diamond Platnumz kama alivyosema kwamba ni lazima Wanigeria watamtambua time hii na kweli ndio inatokea hivyo.Baada ya kuthibitisha kwamba atafanya kolabo kadhaa...
View ArticleCHRISS BROWN AMTUMIA KARRUECHE MESEJI YA MAPENZI AKIWA JELA.."KUMBE...
So, we guess this means Chris Brown and Karrueche Tran are together again (surprised?).Breezy left a voice message for his fans and his lady on Tran's phone while still in jail, which she played on...
View ArticlePREZZO AONYESHA VIATU VYA THAMANI ALIVYONUNUA KWA DOLA 995..SAWA NA SH...
Prezzo kama ilivyo kawaida yake kujishow off ..leo amepost picha akiwa amevaa viatu vipya aina ya Giuseppe Zanotti ambayo gharama yake ni dola 995 za kimarekani , ukibadilisha kwa hela ya Tanzania ni...
View ArticleMVUA BALAA...EMBU MSHAURI HUYU JAMAAA...MAANA NI KAMA HAJAAMINI
Balaaa la Mvua hilo Jamaa kaamka Asubuhi anakuta hali kama hiyo ahamini macho yake ameng'ang'ani kwenye gari siku nzima...Usiombe yakukute kama huyo jamaa alafu gari yenyewe una week moja ndio limefika...
View ArticleTAREHE YA KUTOLEWA KWA ALBUM MPYA YA MICHAEL JACKSON YATANGAZWA
Yes, Najua huwezi Amini lakini ukweli ni kwamba kuna album mpya ya Michael Jackson Baada ya Miaka Mitano ya kifo chake, Sony na Epic Records, wametangaza kutoa album mpya ya marehemu huyu itakayoitwa...
View ArticleKAJALA AWAVULIA UVIVU WATU WALIOMTUKANA MWANAYE HUKO INSTAGRAM
Instagram kumechafuka, yani watu wanatukana wanavyojisikia, hawaogopi kitu chochote kile. Matusi hayo yamemkuta kajala, katukaniwa mtoto wake hadi kashindwa kukaa kimya. Hiki ndo alichokiandika...
View ArticleJOKATE MWEGELO ADAI BADO YUPO SINGLE TOKA AMEACHANA NA DIAMOND
Jokate Mwegelo yupo single and ready to mingle.. atleast for now. Staa huyo mwenye vipaji lukuki alisema hayo Jumatatu hii kwenye kipindi kipya cha TV1, ‘The One Show’ anachokiendesha kwa kushirikiana...
View Article