Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Browsing all 109613 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HUU NDIO UTATU WENYE TOFAUTI ULIO KATIKA CHADEMA..SLAA, ZITTO NA MBOWE

NAKUMBUKA vema kana kwamba ilitokea jana tu. Takribani miaka kumi iliyopita, kijana mmoja mwembamba alisimama katika mojawapo ya kumbi zilizopo ndani ya viwanja vya Sabasaba jijini Dar es Salaam....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VENESSA MDEE KUPAMBANA NA NAZIZI ARUSHA TAMASHA LA KUPAMBANA NA RUSHWA TAR 7 DEC

Mkali kutoka Kenya, Naziz anatarajia kuumana vilivyo na Mbongo Venessa Mdee ndani ya jukwaa la kupambana na Rushwa....Wakali hao wanatarajia kuchuana kwa kushusha Mistari katika tamasha la MIMI NI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZITTO MATATANI BAADA YA KUSHINDWA KESI YAKE YA KUTOA KASHFA DHIDI YA...

MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema), kwa mara nyingine ameingia matatani baada ya kushindwa kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara raia wa Afrika Kusini.Katika kesi hiyo, Zitto alituhumiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"WALIOHUSIKA KUCHOMA MOTO OFISI ZA CHADEMA NI CHADEMA WENYEWE..." TAMKO LA...

Polisi mkoani Arusha imekamilisha uchunguzi wake kuhusiana na kuungua kwa Ofisi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kusema wanachama wa chama hicho ndio waliohusika. Hata hivyo, Mbunge wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

"MGOGORO ULIOPO NDANI YA CHADEMA NI KAZI YA MAKACHERO..." DR SLAA AFUNGUKA

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa amesema mgogoro uliopo ndani ya chama ni kazi ya makachero. Alitoa kauli hiyo jana jioni alipokuwa akihutubia mamia ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIGO YANYAKUWA TUZO YA MTANDAO BORA WA SIMU AFRICA

Mkuu wa Idara ya Uendeshaji kutoka Tigo Tanzania Bw. Deon Geyser akionyeshea  waandishi wa habari tuzo ya mtandao bora wa mwaka 2013 walioshinda kutoka kwa umoja wa makampuni ya simu GSMA katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAKATA LA RAY NA WAREMBO LAFIKA PABAYA-MAINDA AMCHANA JOHARI LIVE BILA...

Hapo majuzi kupitia mtandao mmoja wa kijamii mwanadada Mainda aliamua kuvunja ukimya baada ya kuamua kuwachana live ‘wabaya’ waka Chuchu hans, na Johari kuhusu sakata linaloendelea la wao kumgombania...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRENI YA MWAKYEMBE YAOKOA SHILINGI BILION 3

Wakati taarifa mbalimbali zikieleza kuwa treni ya usafiri jijini Dar es Salaam, maarufu kama ‘Treni ya Mwakyembe’ inaingia hasara ya milioni 2.1 kwa siku kutokana na gharama za uendeshaji, Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR SLAA ALAKIWA KIGOMA KWA SHANGWE NA MASHAM SHAM

Msafara wa Katibu Mkuu wa CHADEMA Dkt. Wilbroad Slaa umeingia Kigoma tayari, ukianzia Wilaya ya Kakonko. Hivi sasa ni mkutano wa kwanza Kijiji cha Muhange, Kata ya Muhange. Amepata mapokezi mazuri sana...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIMETUKANWA NA MKE WA JIRANI YANGU

Kuna familia moja imejengea karibu kabisa na kwangu tokea wamehamia ni miezi minne na zaidi, Baba wa familia hii ni wa rika langu kabisa, siku chache baada ya kuhamia tulikutana kwenye Ibada ya Jumuia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASANII WAMTAKA RAY AACHIE UONGOZI KWENYE UCHAGUZI UTAKAOFANYIKA LEO KUTOKANA...

Msanii wa filamu Bongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ anadaiwa kulipasua Kundi la Bongo Movie kutokana na uchaguzi wa kundi hilo unaotarajiwa kufanyika leo katika Viwanja vya Leaders, Kinondoni jijini Dar. Kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZAMANI WA AFRIKA KUSINI NELSON MANDELA AMEFARIKI DUNIA

Rais wa zamani wa Afrika Kuisni Nelson Mandela, amefariki dunia huko Johannesburg, Afrika Kusini usiku wa jana Alhamisi (December 5) akiwa na umri wa miaka 95.Mandela alikuwa anatibiwa homa ya mapafu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS KIKWETE AOMBOLEZA KIFO CHA MZEE MANDELA ATANGAZA SIKU 3 ZA MAOMBOLEZO...

Taarifa: Rais Kikwete aagiza bendera kupepea nusu mlingoti kwa siku tatu za maombolezo ya Kitaifa ya Rais Mstaafu Nelson Mandela wa Afrika Kusini aliyefariki jana.TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARIRais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TWEET ZA WANAMUZIKI WA NJE BAADA YA KIFO CHA NELSON MANDELA

  Wasanii Wakubwa wa Nje wakitoa ya Moyoni kuhusu kifo cha Mandela

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WEMA SEPETU AHUKUMIWA KWENDA JELA MIEZI MITATU AMA KULIPA FINE

Ile kesi ya kumpiga na kumtukana matusi ya nguoni Meneja wa Hoteli ya Mediteranian iliyopo Kawe Beach, Dar, Godlucky Kayombo iliyokuwa ikimkabili Wema Sepetu imetolewa hukumu yake baada ya Wema kuomba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BIFU LAZIDI KUPAMBA MOTO: BABY MADAHA AMCHANA TENA DIAMOND BAADA YA DIAMOND...

Baada ya mwanamuziki wa kizazi kipya kufunguka na  kuamua kumdiss mwanadada baby Madaha a.k.a The Bad Gul kuwa hawalingani hivyo hana muda muda wa kuwa na beef na mrembo huyu wa filamu na muziki bongo,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

STORY YA KUPIGANA KATI YA MSANII H-BABA NA CHEKI BUDI HII HAPA

Headlines kwenye U heard ya Clouds FM zinahusu stori za kupigana kati ya msanii wa bongofleva H Baba pamoja na mwigizaji Cheki Budi ambae amehojiwa na gossip cop Soudy Brown. sikiliza hapa:

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANTI LULU ATUNDIKWA MIMBA..

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya MSANII wa filamu, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ baada ya kurukaruka sana, sasa inadaiwa ni mjamzito wa takribani miezi mitano.Akilinyetishia Ijumaa juu ya ishu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NICK MINAJ ASIKITISHWA NA KIFO CHA MANDELA MPAKA AKAJIKUTA KAONGEA KISWAHILI

Kifo cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini kimewasikitisha watu wengi sana wakiwemo watu wa maarufu duniani lakini rapper Nicki Minaj mwenye wafuasi milioni tatu na nusu kwenye instagram amevunja rekodi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK SLAA APOKEWA NA MABANGO KIGOMA YANAYOMTAKA YEYE NA MBOWE WAJIUZULU

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Wilbrod Slaa amepokewa kwa mabango katika mkutano wake wa hadhara wilayani Kakonko, Kigoma lakini akawaambia waliofanya hivyo kuwa chama...

View Article
Browsing all 109613 articles
Browse latest View live


<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>