DIVA ATUPIA PICHA YA KIFUA CHAKE INSTAGRAM
Hakika Mtandao wa Insta unazidi kushika kasi kwa Umaarufu kwa wadada kujianika Maungo yao ya mwili. sasa Imekuwa ndio fasheni kwa akina dada kutupia picha za mitego katika acount zao hizo. Leo hii Diva...
View ArticleMWANAMUZIKI LINA ADHIHIRISHA MAPAJA NA MIGUU YAKE NI MOTO WA KUOTEA MBALI
Week Kadhaa zilizopita Mwanadada Linah Alikaririwa akisema kwamba anapenda Paja na Miguu yake kwani ni mizuri sana...Kuna walio mbeza na kuponda...Sasa katoa picha mpya zikionesha vizuri miguu yake...
View ArticleDIAMOND ATOBOA SIRI KUWA ANA MTOTO ALIPOKUWA ANAHOJIWA NA MTANDAO WA NIGERIA
Nani aliyekuwa anafahamu kuwa Diamond Platnumz ni baba? Well, hatujawahi kumsikia popote akisema kuwa ana mtoto lakini staa huyo wa ‘My Number One’ alikuwa mkarimu wa kutosha kuweza kuelezea ‘furaha ya...
View ArticleTAARIFA KUHUSU AFANDE SELE KUACHANA NA MKE WAKE MAMA TUNDA
Taarifa ambazo alizi-amplify Soudy Brown April 15 ni kuhusu kutengana kwa Afande Sele na Mzazi Mwenzake aliyeishi nae kwa zaidi ya miaka 10 Mama Tunda,Afande Sele bahati mbaya alikosea ujumbe mfupi wa...
View ArticleMAMA TUNDA"NILISHAMFUMANIA AFANDE SELE SANA NA HANA HESHIMA"
Kupitia You heard ya April 15 alisikika Afande Sele ambaye alikosea ujumbe mfupi wa maandishi kwa mhusika ambaye alikua Mama Tunda leo kapatikana na kazungumza pia kilichopo kati yao kama wazazi wa...
View ArticleJANGA JINGINE..HII NDIO MELI ILIYOZAMA NA WATU 300 HAWAJULIKANI WALIPO
Zaidi ya watu 300 bado hawajapatikana baada ya meli kubwa iliyobeba watu 459 kuzama huko South Korea ambapo sehemu kubwa ya watu waliokuwemo kwenye meli hiyo ni wanafunzi na walikuwa wanasafiri kutoka...
View ArticleMWIGULU ASHAURI RAISI ATEGUE UTEUZI WA WAJUMBE WALIO SUSIA KIKAO CHA BUNGE
Ukawa walipanga njama tangu mda mrefu kukwamisha mchakato wa katiba ili wapate agenda za uchaguzi mwaka 2015. Fedha hizi tunazotumia zingewasaidia maskini kupata elimu, dawa na huduma zingine. Mwigulu...
View ArticlePICHA:AGNESS MASOGANGE AKIWA NA PACHA WAKE...SERIOUSLY ?
Agness Masogange Kapost Picha hiyo hapo juu.....Akisema yupo na Pacha Wake ....Ndio leo nasikia kuwa ana pacha ..na Nikiangalia kweli wanafanana Kinoma......Je ni kweli ana Pacha ama ni kufanana tu ?
View ArticleMAMA AMTEMBEZA MUMEWE KAMA MBWA BAADA YA KUMFUMANIA NA MWANAMKE MWINGINE
Mapenzi muda mwingine yanakuwa na vituko vyake na vinapotokea huwashangaza na kuwaacha watu midomo wazi. Mama huyu alimfumania mmewe na mwanamke mwingine na mumewe alianza kuomba msamaha na ndipo mama...
View ArticleEDWIN MTEI ASIKITISHWA NA KITENDO CHA TUNDU LISSU KUMTUKANA BABA WA TAIFA
Nilimsikiliza Mheshimiwa Tundu Lissu na nasikitika kwamba sikubaliani naye jinsi alivyoeleza shutma juu na dhidi ya Mwalimu Julius Nyerere, Baba na Muasisi wa Taifa letu. Inajulikana na umma wa...
View ArticleJE INAWEZEKANA KUPATA MKE AMA MUME MZURI KUPITIA FACEBOOK?
Katika safari ya mapenzi wanandoa huwa wanakutana katika maeneo mbalimbali, wapo wanaokutana vyuoni,shuleni, kwenye nyumba za ibada, sokoni, kwenye daladala, kuunganishwa na mtu mwingine, au baada ya...
View ArticleDIAMOND AINGIA KWENYE NOMINATION CATEGORY MBILI MTV AFRICA MUSIC AWARDS
Nomination za MTV Africa music awards kwa mwaka 2014 zimetoka huku Mafikizolo,Uhuru na Davido wakiongoza kwa kupata nomination 4.Watanzania wapo kwenye vipengele vitatu na moja ya vipengele hivyo...
View ArticleUKAWA WASUSIA BUNGE, WATOKA NJE CHANZO NI HIKI HAPA
Dodoma. Mambo yamebadilika. Ukimya ulitawala jana katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, baada ya wabunge zaidi ya 200 ambao ni wanachama wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), kususia vikao vya Bunge...
View ArticleBAADA YA KUSUSIA BUNGE WAJUMBE WAIMBA NYIMBO HIZI" UKOMBOZI NI SASA, VIJANA...
Nje ya Ukumbi wa Bunge, wajumbe hao kutoka Ukawa na baadhi ya wajumbe kutoka kundi la wajumbe 201 walioteuliwa na Rais, walitoka wakiimba “CCM Interahamwe”.Pia walitumia falsafa maarufu ya Mchungaji...
View ArticleZITTO KABWE "KITAKACHOVUNJA MUUNGANO SIO SEREKALI TATU"
Dodoma. Mjumbe wa Bunge la Katiba, Zitto Kabwe amesema kuandikwa kwa Katiba isiyokubaliwa na pande zote kutasababisha gharama kubwa kuliko zile zinazotajwa za serikali tatu.Akichangia hoja kwenye Bunge...
View ArticleSHILOLE: NILIPONASA SASA SIPINDUI-MAHABA NINYONGE
Na Denis MtimaSTAA wa filamu na mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shishi Baby’ amefunguka kuwa amenasa vilivyo katika penzi la msanii mwenzake, Nuhu Mziwanda hatarajii kuachika.Akipiga stori na paparazi...
View ArticleBABY MADAHA"WACHA NITENGENEZE CHAPAA KUOLEWA LABDA 2030"
Na Nyemo ChilonganiSTAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha amesema hana papara na suala la ndoa kwani amejipanga kutimiza tendo hilo mwaka 2030.Akizungumza na paparazi wetu, Baby alisema anachoomba...
View ArticleUKAWA RUDINI BUNGENI JAMANI TUENDELEE KUPATA UKWELI NA VIOJA
Kutokana na Bunge kupwaya sana baada ya UKAWA kutoka,ninawaomba warejee Mjengoni ili waendelee kutupa elimu ya Uraia ambayo tulikuwa tunaipata wakati session ikiendelea na sasa hatuipati.Tunaelewa...
View ArticleMWANASHERIA MKUU WA ZANZIBAR NAE AUNGANA NA UKAWA ASEMA SEREKALI TATU NDIO...
Katika hali ya kuonyesha kuwa ma-Interahamwe - ccm yanazidi kudhoofika kutokana na dhuluma yao kwa kufidhuli maoni na ukweli wa umma, Mwanasheria Mkuu wa Z'bar amewaumbua wanafiki wana-ccm wenzake na...
View ArticleKAULI YA MBOWE KUHUSU UKAWA KUSUSIA BUNGE
Leo katika kipindi cha KUMEPAMBAZUKA kinachorushwa hewani na kituo cha Radio cha RADIO ONE STERIO nimemsikia Kamanda Aikael Freeman Mbowe akitoa ufafanuzi wa UKAWA kutoka nje ya bunge maalumu la katiba...
View Article