VIDEO:WANAFUNZI WAPAGAWA NA MZIKI WAJISAHAU NA KUANZA KUZUNGUSHA VIUNO STEJINI
Wanafunzi wa Shule Moja Huko Kenya ...Walipopanda Stejeni na kujisahau kuwa wao na wanafunzi na wana nguo za Shule na Kuanza Kutwerk Mbele ya Mashabiki...Angalia Video Hapa chini ushangae mwenyewe
View ArticleKIKWETE AONYESHA JEURI YA JESHI LA TANZANIA LEO, MAADUI WAJIONEA
Mwenye Macho haambiwi Tazama hakuna siri Leo kila rangi maadui wa nchi Na Rais wetu hawajaacha kuoona.Vijana wamekamilika kila idara in a modern and newly Technology.Watu msiojua,mjue Tanzania sio nchi...
View ArticleWANAWAKE WENGI SIKU HIZI WAMEKUWA MALIMBUKENI WA SOCIAL NETWORKS
Kuna mdada mmoja nilisoma naye chuo miaka fulani hapo nyuma, sasa jana katika pilikapilika zangu mjini, tukakutana ghafla maeneo fulani, kwa hiyo tukaanza kusalimiana na tukaona ni vizuri tusogee...
View ArticleRYAN GIGGS " SASA MAN U NI KUFUNGA MAGOLI TU KUFUNGWA NOO TENA"
Kocha wa muda wa Manchester United, Ryan Giggs amesema amejisikia furaha kubwa kupata nafasi ya kuingoza timu hiyo kwa muda uliobaki huku akiahidi mambo mazuri kwa mechi nne zilizosalia.Akizungumza leo...
View ArticleMWISHO MWAMPAMBA AULA APATA KAZI KITUO KIPYA CHA TV
Aliyekuwa mwakilishi wa mara mbili kutoka Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa, Mwisho Mwampamba ataonekana hivi karibuni kwenye kituo cha runinga cha TV1 kama mtangazaji.Kupitia Instagram,...
View ArticleFUMANIZI LA AINA YAKE NDANI YA GARI !! DUH NOMA SANA!!
Yelewiii! Dereva ‘suka’ wa kampuni moja binafsi yenye makao yake makuu Kurasini jijini Dar (jina halikupatikana) Jumapili iliyopita alinaswa akifanya mapenzi na changudoa ndani ya gari la kampuni...
View ArticleHATARI SANA..AGNESS MASOGANGE AWAPA MAKAVU LIVE KINA MASOGANGE FEKI
Mrembo Agness amefunguka kwa mara nyingine tena na kulalamikia wadau wanaofungua account fake kwenye social networks na kutapeli watu kwa kutumia jina lake. Mrembo huyo amepost picha na ujumbe huo hapa...
View ArticleBABY MADAHA ASIMULIA JINSI WASANII WENZAKE WA KIKE WANAVYOMTONGOZA
Baby Madaha akipigana denda na msichana mwenzake Bar.Wakati sakata la kusagana ndani ya mastaa wa bongo movie likiwa bado bichi, Msanii wa muziki na maigizo Baby madaha...
View ArticleKOCHA RYAN GIGGS AANZA VIZURI..MAN UNITED YAPIGA BAO MTU 4 BILA
Kete ya kwanza ya Ryan Giggs kama meneja wa muda wa Manchester United imeanza vyema usiku wa Jumamosi kwa mashetani wekunda kuichapa kichapo cha mwezi Norwich.Wayne Rooney na Juan Mata wamefunga magoli...
View ArticleKIKWETE"MUUNGANO WETU NI MFANO WA KUINGWA AFRIKA"
Rais Jakaya Kikwete amesema Bara la Afrika lina jambo la kujifunza kutokana na mafanikio yaliyopatikana kwenye Muungano wa Tanganyika na Zanzibar uliodumu kwa miaka 50.Amesema kuwa kitendo cha Muungano...
View ArticleROSE NDAUKA "NDOA YANGU SOON!"
MSANII maarufu wa sinema za Kibongo, Rose Ndauka amesema kuwa watu wasiwe na wasiwasi kwani kwa mipango ya Mungu atafunga ndoa na mzazi mwenzake Maliki Bandawe hivi karibuni.“Si muda mrefu mambo...
View ArticleHAMISA MABETO AWATISHIA AMANI WASANII WA KIKE BONGO MOVIES
MWANAMITINDO maarufu nchini, Hamisa Mabeto ametishia maslahi ya wasanii wa kike wa Bongo Movie baada ya kujitosa rasmi kwenye tasnia hiyo na kung’ara katika Filamu ya VIP akiwa na mastaa, Vincent...
View ArticleWARIOBA ATOA YA MOYONI "MATUSI NA UONGO BUNGE LA KATIBA VINANIUMIZA"
Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Joseph Warioba amesema baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba wametumia vibaya Bunge hilo kwa kumshambulia na kumsingizia mambo ya uongo kwa makusudi,...
View ArticleSIMBA WACHUKUA MAAMUZI MAGUMU,WATEMA KIKOSI KIZIMA
UKITAKA mafanikio lazima uchukue uamuzi mgumu ambao hakuna anayeweza kufikiria kabla.Kocha wa Simba, Zdravko Logarusic amesema analazimika kutema wachezaji wasiopungua 11 ambao ni sawa na kikosi kizima...
View ArticleWEMA SEPETU ALA SHAVU LA MTANDAO WA SIMU
Wema Sepetu Amepata shavu la Kutangaza promotion mpya ya Mtandao wa Airtell Ambayo unapata Facebook, Twitter na Whatsapp Bure, Wema Sepetu anawajoin JB na Joti Ambao nao pia kwa sasa wanatangaza Promo...
View ArticleASKARI MWENYE HIPS ZA KUDATISHA KENYA APIGWA MKWARA NA BOSI WAKE BAADA YA...
Yule Polisi Mwanamke Nchini Kenya kwa Jina Linda Amechimbwa mkwara na Bosi wake wa kituo cha Polisi kiambu Kenya Baada ya Picha yake Kusambaa Mitandaoni Akiwa amevaa Kijisketi cha Polisi kinacho...
View ArticleKUNA WASICHANA WANAO TOA RUSHWA YA NGONO KUPATA TAJI LA MISS TANZANIA
Mkurugenzi wa Kampuni ya Lino International Agency, ambao ni waandaji wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga amedai kuwa wasichana wengi wanaoingia kwenye mashindano ya Miss Tanzania hufanya mbinu za...
View ArticleWACHEZAJI MBEYA CITY MARUFUKU KUHAMA TIMU
WAKATI klabu kongwe za Simba, Yanga na Azam FC zikipiga hesabu za kuibomoa Mbeya City, Serikali imewaonya wachezaji hao kukihama kikosi hicho kinachofundishwa na Juma Mwambusi.Zipo tetesi tofauti za...
View ArticleNGASSA AIPA YANGA BALAA LA KUKOSA UBINGWA
MSIMU uliopita wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga walikuwa mabingwa watetezi na walitumia zaidi ya Sh250 kuwasajili wachezaji watatu ambao ni kipa Juma Kaseja aliyevuna Sh40 milioni, Mrisho Ngassa...
View ArticleTRAFIKI AFA GHAFLA AKIWA NDANI YA DALADALA ALILOLIKAMATA
Moshi. Ofisa wa polisi mwenye cheo cha Koplo, Wilson Mwakipesile wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoani Kilimanjaro amefariki dunia ghafla akiwa ndani ya daladala alilokuwa amelikamata.Hata hivyo,...
View Article