WALIO SEMA WEMA KAPENDELEWA NA GLOBAL..HAPA TUNASHINDANISHA UPYA..PIGA KURA
Baada ya Global Kumtangaza Wema Kuwa ni Ijumaa Sexiest Girl na Kuwapiga Chini Wenzake Kina Jokate, Lulu , Nelly na Jack Wolper Kumezuka Minongono Mtaani kuwa Kapendelewa....Haya Sasa Hii ni Nafasi...
View ArticleAL-SHAABAB WATOA TISHIO JINGINE LA KUILIPUA KENYA
Tishio la kigaidi lina kodolea macho taifa la Kenya baada ya kundi la kigaidi lililo na makao yake makuu nchini Somalia kuachia video nyingine kwenye mtandao wa Al-Kataib wakitishia kutekeleza...
View ArticleBIDHAA IMETENGENEZWA KABLA YA MUDA WAKE-TBS MPO?
Hii Ndio Tanzania Yetu hakuna umakini wa kila jambo, kwasababu tbs ndo wenye jukumu la kuweka hizo tarehe je nao wamekosea tarehe ya utengenezaji jiulize ni bidhaa ngapi sasa wamekosea tarehe ya mwisho...
View ArticleSITTA AIFUATA UKAWA ZANZIBAR KUNUSURU BUNGE
Wakati viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wakiweka kambi Zanzibar, Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana naye alitumia siku nzima visiwani humo akikutana na baadhi ya...
View ArticleSABABU ZA UGOMVI BAINA YA MAPACHA WA P-SQUARE ZAFAHAMIKA, SOMA HAPA
Taarifa juu ya ugomvi ulioibuka wiki iliyopita baina ya ndugu mapacha wa kundi la P-Square Peter na Paul na kaka zao zimewashtua mashabiki wao walioko pande mbalimbali za dunia. Chanzo kimoja cha...
View ArticleBAADA YA KIMYA KIREFU HATIMAYE MASOGANGE ATOBOA SIRI KUMHUSU JAMAA ALIYEMPA...
‘VIDEO queen’ wa Kibongo, Agness Gerald, ‘Masogange’, amefunguka kuwa aliyempa mzigo wa unga na akakamatwa nao nchini Afrika Kusini, alikuwa amevalia kininja, hali iliyomfanya ashindwe kumtambua....
View ArticleWEMA AWAJIBU WANAOMPONDA BAADA YA KUSHINDA TUZO YA IJUMAA SEXIEST GIRL
Tangu akabidhiwe tuzo yake ya Ijumaa sexiest girl, Mrembo Wema Isaac Sepetu 'Beautiful Onyinye' tayari inaonekana ameshakutana na negative comments baada ya kushinda hiyo tuzo.Wema Sepetu ameibuka...
View ArticleHII KALI..KUMBE ULE UPORAJI WA BARCLAYS BANK KINONDONI HAUKUWA WA KWELI
Dar es Salaam. Last week’s “robbery” at Barclays Bank’s Kinondoni branch, where armed gangsters reportedly grabbed Sh300 million, was faked, The Citizen can authoritatively report.Impeccable sources...
View ArticleMAKOSA WANAYOFANYA WANAUME WALIO KWENYE NDOA
1- Kuja na vimada mpk home na kumuacha ndani ya gari2-Kuingia ndani na viatu vya matope wakatikumeshadekiwa3-Kuvurugua nguo au vitu wakati wa kutafuta kitu kabla ya kuuliza kilipo.4-Kumtambulisha mtoto...
View ArticleTANZANIA NA WASOMI WASIO KUWA NA MAADILI..WANAO IFILISI NCHI
Tunatumia fedha nyingi sana zisizolingana na uwezo wetu kuwasomesha watu wachache, ili baadaye na wao walete faida kubwa kiasi hicho hicho katika nchi.Tunatumia fedha kutafuta faida katika akili ya...
View ArticleUMUHIMU WA KULA MBOGA MBICHI
Katika maisha ya binadamu karibu kila jambo zuri linatakiwa kufanywa kwa tahadhari au kuchunga miko yake. Bila ya kufanya hivyo, faida ya jambo hilo haitapatikana na badala yake maafa yatachukua...
View ArticleDAVIDO AONYESHA JEURI YA PESA..ANUNUA GARI MPYA YA MWAKA 2014..ICHEKI HAPA
Show za kimataifa anazofanya Davido na utajiri wa familia yake unamweka kwenye nafasi nzri na kupata kila atakacho kwenye maisha. Ni Hit maker mkubwa Africa kwa sasa na Ukifuatilia radio na tv kwa siku...
View ArticleMPIGA PICHA WA DIAMOND" DIAMOND HE IS MY BEST BOSS OF ALL TIME"
Siku zote napenda kujifunza vitu vipya,nisivyovifahm kuhakikisha navifahamu.na kwa kila hatua ya ufahamu ninayoipiga sisahau kumkumbuka Diamond,mtu ambaye siku zote amekuwa akinitia moyo na kuwa naweza...
View ArticleMTANGAZAJI JERRY MURO YUPO WAPI ?
Hivi mwandishi huyu yupo wapi kwa sasa? au ndio ameshamalizwa na kufifishwa katika shughuli zake za uandishi? Ninapenda kujua toka kwenu wadau, nini kinaendelea.
View ArticleALLY KIBA NA BARNABA NIKIWAFANANISHA NA DIAMOND...
Mwenzenu nikiangalia uwezo hasa sauti za hao waimbaji watatu mbona naona diamond haingii hata kidogo. cha kushangaza nyimbo za domo nazikubali ila nikikaa nikatulia na kulinganisha naona mmh!! hataa!...
View ArticleCHUCHU PIGA, UA LAZIMA RAY ATANIOA!
Stori: Imelda MtemaLICHA ya hivi karibuni gazeti dada la hili, Risasi kumnukuu mcheza filamu mahiri Vincent Kigosi ‘Ray’ akikana kuwepo kwa mpango wa kumuoa mpenzi wake Chuchu Hans, dada huyo ambaye...
View ArticleSAKATA LA NEY WA MITEGO KUMTEKA MSICHANA ILI ASEMA NANI ALIPOST PICHA ZA WEMA...
Kupitia You heard ya jana April 24 alisikika dada mmoja ambaye alisema alitaka kutekwa na rafiki wa Ney wa Mitego ambapo leo Ney wa Mitego mwenyewe kahusishwa kwenye sakata hili ambalo bado refu hadi...
View ArticleHALIMA: KWA DIAMOND, NIPO TAYARI KUFA
Stori: Imelda MtemaDADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake.Alisema...
View ArticleJB APONGEZWA KUMWANIKA MKEWE
BAADA ya kuishi kwenye ndoa muda mrefu, msanii wa filamu Bongo, Jacob Steven ‘JB’ kwa mara ya kwanza amemwanika mkewe, Irene na kumwagiwa pongezi.JB alipongezwa na mastaa tofauti mara baada kumuanika...
View ArticleMTOTO WA KAJALA AUMIZWA NA UGOMVI WA MAMA YAKE NA WEMA "NAMPENDA SANA WEMA"
Kutokana na ugomvi unaoendelea kati ya Wema Sepetu na Kajala Masanja,mtoto wa Kajala aitwaye Paulette amesema anaumizwa na ugomvi huo na kwamba amekuwa akimtumia ujumbe Wema kumweleza...
View Article