MABWENI YA SHULE YA SEKONDARI YATEKETEA KWA MOTO
MABWENI saba ya wavulana wa Shule ya Sekondari Ivumwe, mkoani hapa, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), yameteketea kwa moto na kuteketeza vifaa mbalimbali vya wanafunzi wa...
View ArticleDAWA ZA DICLOPA NA DICLOFENAC ZADAIWA KUWA NI HATARI KWA MATUMIZI YA BINADAMU
Dawa za Diclopa na Diclofenac zadaiwa kuwa ni hatari kwa matumizi ya binadamu!Radio Dutch Velle ya mjini Kolon Ujerumani jana ilitangaza kuwa Dawa Diclopa na Diclofenac ni hatari kwa matumizi ya...
View ArticleUHURU" I WILL MAKE EAST AFRICA THE PRIDE OF AFRICA"
The President, who is the sitting chair of the regional bloc, wants the Community to become a shining example to the rest of Africa.He said the EAC integration process is aimed at making it easier for...
View ArticleCHINA SET TO OVERTAKE U.S.A AS THE BIGGEST ECONOMY IN THE WORLD
China is poised to overtake the U.S. as the world’s biggest economy this year, while India has vaulted into third place, ahead of Japan, using calculations that take exchange rates into account.China’s...
View ArticleYALIYO TOKEA JANA NI AIBU..RUGE AGOMBANIWA KWENYE SOCIAL MEDIA
YALIYOTOKEA JANA NI AIBU...Sorry to say ila Siamini kama Wanawake wanaweza kukosa akili kwa kiwango hiki...Nilijua Maturity ya Wanawake comes with age lakini nadhani I was wrong!Kugombea Babe Ake...
View ArticleKIKWETE "MISHAHARA ITAPANDA NA KODI (PAYE) NITAIPUNGUZA"
KikweteRais Jakaya Kikwete ametoa ahadi mbili za kuwafurahisha wafanyakazi. Kwanza ametangaza nia ya kuongeza mishahara yao na pili, kupunguza kodi inayokatwa kwenye mishahara hiyo mambo ambayo...
View ArticleWAMACHINGA WAPAMBANA NA POLISI KARIAKOO
Jeshi la Polisi limelazimika kutumia mabomu ya machozi kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo (wamachinga) katika Soko Kuu la Kariakoo.Hamisha hamisha hiyo yenye baraka za uongozi wa mkoa zilianza...
View ArticleKWA WANAO MPONDA PENNY NA HALIMA KIMWANA KUWEKA TATTO YA BRO AKE INAKUHUSU HII
Huku Instagram leo .....Teamukwelinauwazi Aibuka na Kuwatetea Penny na Halima Kimwana baada ya Watu fulani fulani kuwasema sana ...Jisomeee hapa chini:
View ArticlePICHA MTOTO ATAKA KUMUUA BABA YAKE HUKO MWENGE JIJINI DAR
Katika tukio la kushangaza, kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la Anord Michael mkazi wa Mwenge jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki iliyopita alifanya vurugu kubwa nyumbani kwao, akidaiwa kutaka...
View ArticleLIVE AUNT EZEKIEL AKIDENDEKA...AMUIGA DIAMOND NA WEMA
Aunt ezekiel afata nyayo za wema sepetu na diamond the platnumz, ni jana tu tuliona diamond the platnumz na wema sepetu waliamua kuachia picha ikionyesha huku wakinyonyana ndimi, basi na aunt yake...
View ArticleSAKATA LA MIL 13:KAJALA AFUNGUKA KUWA "SIMLIPI WEMA MIL.13 NG'O"
JAMBO limezua jambo! Zile shilingi milioni 13 alizolipa staa mkubwa wa kike Bongo, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ mahakamani ili kumnusuru Kajala Masanja kwenda gerezani, zinaendelea kusababisha...
View ArticleTAARIFA NYINGINE WALIOPEWA NDUGU WA ABIRIA WALIOPOTEA NA NDEGE YA MALAYSIA
Toka March 8 2014 mpaka leo ikiwa ni May, ndege ya Malaysia iliyokua imebeba zaidi ya watu 200 haijulikani ilipo baada ya kupotea ikiwa inatokea Malaysia kwenda Beijing China.Kwa siku zote hizo toka...
View ArticleTAARIFA KUTOKA YANGA KUHUSU WACHEZAJI WAKE WAWILI WALIO SIGN KUICHEZEA AZAM
Uongozi wa klabu ya Young Africans unapenda kuwajulisha wanachama wake, wapenzi wa soka na wadau kwa ujumla kuwa taarifa za kuhama kwa wachezai wake Didier Kavumbagu na Frank Domayo kwenda kujiunga na...
View ArticleKAJALA "NAIGOPA SIMU YANGU" ADAI UGOMVI WAKE NA WEMA UMEKUZWA NA WATU
Muigizaji wa filamu nchini, Kajala Masanja amesema kutokana na jinsi ambavyo ugomvi wake na Wema Sepetu ulivyokuwa mkubwa, amefikia hatua anaigopa simu yake zaidi ya kupiga na kupokea.Akiongea kwenye...
View ArticleRAY C AKANUSHA KURUDIANA NA MWISHO MWAMPAMBA
Rehema Charamila aka Ray C amekanusha kilichoandikwa na gazeti la Visa kuwa amerudiana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mara mbili Mwisho Mwampamba. Wawili...
View ArticleWEMA NA SEPETU WAKIJIACHIA CHUMBANI KWA RAHA ZAO
MASUPASTAA ambao ni wachumba (wanasema wenyewe), Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu na Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ wakiwa katika pozi la kimahaba kitandani Naf beach hotel. Picha hizi Wema...
View ArticleLULU AWATETEA MABOSI WAKWARE
Stori: Gabriel Ng’oshaSTAA wa filamu ya Foolish Age, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amewatetea mabosi wa wasanii akidai si wote wana tabia ya ‘kuduu’ na wafanyakazi wao.Akijibu swali aliloulizwa na paparazi...
View ArticleKIKWETE AUNDA TUME KUCHUNGUZA OPERATION TOKOMEZA UJANGILI
Rais Jakaya Kikwete ameunda Tume ya Uchunguzi, kuhusu vitendo vilivyotokana na Uendeshaji wa Operesheni Tokomeza.Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ilisema, Rais ameunda Tume hiyo kwa...
View ArticleWATOTO WASIMULIA JINSI WENZAO WALIVYOKUFA MAJI KWENYE BWAWA LA KUOGELEA HOTELINI
Ilikuwa ni safari ya kawaida ambayo ilitarajiwa kuwapa faraja watoto. Lakini hali imekuwa tofauti baada ya matarajio hayo kugeuka majonzi kwa mtaa mzima kutokana na kuondokewa na watoto watatu kwa...
View ArticleDOGS FOR SALE....GERMANY SHEPHERD ..CALL 0768570703
These two healthy, clean and medically cared germany shepherd dogs on sale. Call now 0768570703 price 750,000/ or 460$ each
View Article