TUCTA "KIMA CHA CHINI CHA MFANYAKAZI KIWE 750,000"
Wakati Rais Jakaya Kikwete akitarajiwa kuhutubia wafanyakazi katika kilele cha Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta),...
View ArticleWASANII WA BONGO NA WANASIASA NAO WALA NDIZI KUPINGA UBAGUZI WA RANGI
Mtangazaji wa MKASI TV Salama Jabir kupitia page yake ya instagram @ecejay amepost picha ya mastaa kadhaa wa bongo wakiwemo wasanii D-Knob, Godzilla Producer Marco Chali na wengine wakiungana na...
View ArticleLE MUTUZ AFANYA KWELI KWA YULE KIJANA ALIYE SAMBAZA PICHA NA VIDEO ZA UCHI ZA...
HUYU NDIYE KIJANA WA MIAKA 27 ANAYEITWA ELIMRINGI MOSHI MWANAFUNZI WA MWAKA 3 IFM ALIYEMREKODI KWA SIRI BILA KUJUA MSICHANA WAKE ANAYESOMA NAYE NA KISHA KUTOA PICHA NA VIDEO YA UCHI WA MNYAMA WA...
View ArticleUSHINDI WA NGORONGORO HEROES NI KAMA ZALI LA METANTALI
TIMU ya Taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’ juzi Jumapili ilivuka hatua ya awali ya mechi za kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika kwa vijana lakini timu hiyo haikubahatika...
View ArticleWEMA NA DIAMOND WAPEANA MAHABA LIVE BARABARANI..DENDA NJE NJE
Wema Sepetu na Mpenzi wake Diamond Platnumz walionekana maeneo ya Bamaga wakipeana mahaba niuwe live live , Wema alikuwa nje ya gari huku diamond akiwa ndani ya gari Wema alikuja Dirishani na Diamond...
View ArticleTIMU GANI HAPA BONGO HUWEZI KUISHABIKIA HATA SIKU MOJA?
Timu gani hapa Bongo huwezi kuishabikia hata siku moja?A: Mbeya CityB: YangaC: SimbaD:AzamE: Nyingineyo, itaje
View ArticleHII NDIO BONGO, WALIO TIMULIWA MALIASILI WARUDISHWA KAZINI
VIGOGO wa Wizara ya Maliasili na Utalii, waliotimuliwa kazi hivi karibuni na Waziri Lazaro Nyalandu, wamerejeshwa kazini.Taarifa za ndani ya Wizara zilizofikia gazeti hili jana, zilieleza kuwa vigogo...
View Article"HAIWEZEKANI BADO TUNAMUHITAJI DIDIER KAVUMBAGU YANGA" CHARLES MKWASA
KOCHA Msaidizi wa Yanga Charles Mkwasa amesema aliyekuwa mshambuliaji wa timu hiyo Didier Kavumbagu amefanya haraka kusaini Azam kwani alipaswa kusubiri hadi uongozi wa klabu hiyo kumpa nafasi...
View ArticleUNDANI VIFO VYA WATOTO 3 NDANI YA BWANA LA KUOGELEA LANDMARK HOTEL
KUFUATIA vifo vya watoto watatu waliokufa kwa pamoja ndani ya bwawa la kuogelea ‘swimming pool’ kwenye Hoteli ya Landmark, Mbezi Beach jijini Dar, undani wa vifo hivyo umejulikana, Amani lina kisa...
View ArticleHIZI NDIO AINA TATU ZA MICHEPUKO HAPA BONGO
1. Mchepuko wa Lami: huu ni ule ambaohauombi pesa, upo njema unajua designerzote, katulia hana mapepe, uwe nae usiwenae maisha yake yanaendelea.2. Mchepuko wa Vumbi: huu ni ule ooh sinapesa, naomba...
View ArticleWOLPER: NATAKA SERIKALI MBILI, SERIKALI TATU MZIGO
MWIGIZAJI staa Bongo, Jacqueline Wolper ameifungukia rasimu ya katiba mpya ambayo ipo bungeni kujadiliwa kwa sasa akisema yeye matakwa yake ni kuwepo kwa serikali mbili na si tatu wala ya...
View ArticleWANAFUNZI WA CBE DOM WACHAFUANA KWA PICHA CHAFU NA MATUSI JUU INSTARGRAM
Baadhi ya wanafunzi wa CBE Dodoma wamekerwa na kitendo cha kuchafuliwa kwenye mtandao wa Intagram na mtu ambaye hawajamfamu kwa jina ingawa baadhi yao wanadai kuwa ni mwanafunzi mwenzao ambaye...
View ArticleGARI LA GURUMO ALILO PEWA NA DIAMOND LAZUA UTATA KWENYE FAMILIA
AMA kweli asiyekuwepo na lake halipo! Lile gari la aliyekuwa mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi aliyefariki dunia hivi karibuni, Muhidin ‘Maalim’ Gurumo alilopewa na nyota wa Bongo Fleva, Nasibu...
View ArticleKUHUSU MLELA KUWA TEJA LA MADAWA YA KULEVYA..
NYOTA wa filamu za Kibongo, Yusuph Mlela amedaiwa kugeuka teja (mbwia madawa ya kulevya) hali inayomsababishia ashindwe kujichanganya na wasanii wenzake katika shughuli mbalimbali.Kikizungumza na Amani...
View ArticleACHENI BWANA MATITI YAKO KAMUONYESHE MUMEO HUKOOO ALAHAAA
Hivi haka kamtindo ka kuacha maziwa watu wayachungulie mnavyofanya wakina dada mna maana gani? Yaani utakuta mtu hadi wa ofisini matiti kayaacha nje au wengine wamevaa nguo zenye V yaani maziwa kila...
View ArticleRIPOTI:IMEBAINIKA KUWA WAWINDAJI HALALI NDIO WANAO UA TEMBO
Ongezeko la kasi ya ujangili nchini limedaiwa kusababishwa na vitendo vya rushwa, matumizi mabaya ya madaraka na mfumo dhaifu wa usimamizi wa sheria katika Wizara ya Maliasili na Utalii.Kwa mujibu wa...
View ArticleVYAMA VYA WAFANYAKAZI VISAIDIE WAFANYA KAZI
Kumekuwa na vyama vingi vya wafanyakazi, lakini kero za wafanyakazi bado zinaendelea kuwapo.Kwa mfano kuna vyama vya wafanyakazi vyenye lengo la kutetea walimu, hata hivyo bado walimu wengi wanaendelea...
View ArticleUKAWA ZANZIBAR INATISHA WAITEKA ZANZIBAR KIWANJA CHA KUBANDA MAITI
WAKAZI WA KUTOKA KISIWA CHA TUMBATU WALIFIKA KWENYE UKAWA NA MABANGO YAOKIWANJA CHA KIBANDA MAITI MUASISI MZEE NASORO MOYOALIFIKA KWENYE UKAWAMAKAMU WA KWANZA WA ZANZIBAR MAALIM SEIF SHARIFF HAMADI...
View ArticleTANESCO HII NI AKILI AU MATOPE-KUFUNGA NYAYA JUU YA MTI BAADA YA NGUZO...
Nguzo iliyovunjikaNjia Mbadala Baada ya Nguzo kuvunjikaKutokana na mvua zilizonyesha hivi karibuni jijini Dar es salaam ambapo mvua hizo zimesababisha uharibifu mkubwa wa mali na miundo mbinu...
View ArticleKIGOGO USALAMA WA TAIFA AUWAWA KINYAMA DAR
Ofisa mwandamizi wa idara ya Usalama wa Taifa nchini Bwana Silvanus Mzeru ameuwawa na watu wasiojulikana katika mazingira ya kutatanisha. Mauwaji hayo ambayo taarifa zake zimeibua hofu kubwa, yalitokea...
View Article