CCM ‘kuishambulia’ Ukawa Kwa Siku 26
Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wanaanza ziara ya siku 26 katika Mikoa mitatu ya Tabora, Singida na Manyara kukagua uhai wa chama na maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa baadaye mwaka...
View ArticleLulu Aomba Basata Waruhusu Kufanya Movie Nusu Utupu Waendane na Soko la...
DIVA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ameziomba mamlaka zinazosimamia maadili ya filamu nchini ziwaruhusu wasanii waigize nusu utupu ili kuendana na soko la kimataifa.Akitetea hoja yake...
View ArticleMy Neighbour's Wife Is Tempting Me
I moved into this neighbourhood just recently. It's a small gated compound with just two flats. The other flat is occupied by a newly wedded couple. I had taken one week off from the office to enable...
View ArticleHelp, I Want To Cheat On My Husband Kidogo
I am so confused and didn't know where else to go with such a tough decision! I will just give you the main details and maybe you could help me out.I have been married for almost 2 years to a perfect...
View ArticleBila Upendeleo Yupi Kati ya Hawa Unampenda na Upo Ready Kijiunga Team yake...
Wema Sepetu , Penny na Lulu Michael , Wote hawa ni Mastaa wa Kike hapa Bongo na Wenye Skendo Mbali Mbali zinazo make headlines huko Kitaaa...Kwenye Mtandao wa Instagram wote wana Team zao za Mashabiki...
View ArticleMichelle Obama Ajiunga kwenye Campaign ya Kurudisha Wasichana Waliotekwa Nigeria
First Lady of the United States, Michelle Obama has joined in on the global twitter campaign #BringBackOurGirls which is an effort to bring home the missing Nigerian girls, who were abducted from their...
View ArticleHuko Instagram Kimenuka Leo Picha ya Clement Anayewazengua Mabinti Hapa Mjini...
Huko Instagram Kumenuka ni kuhusu ugomvi unaoendelea wa Kajala na Wema Sepetu, na kati hayo yote alitajwa Clement kuwa ndiye muhusika na aliweza kutembea na Marafiki wawili Kajala na Wema Sepetu,...
View ArticlePicha za Msichana Anayefanana na Mwimbaji Rihanna
Huyu msichana aliwahi kutokea kwenye video ya mmoja kati ya wakali wa Nigeria aitwae Orezi ambae aliimba wimbo unaitwa Rihanna ambapo video ilifanyika Afrika KusiniUnavyoona…. kafanana na Rihanna kwa...
View ArticleMtanzania Mwingine Akamatwa Airport Nairobi Akiwa na Mzigo wa Dawa za Kulevya.
Mwanaume mmoja Mtanzania amekamwata katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Nairobi Kenya akiwa amebeba dawa za kulevya akiwa njiani kuelekea Antananarivo ambapo mzigo huo ulitokea Tanga kisha...
View ArticleZitto Kabwe Mguu Ndani Mguu Njee Chama Kipya ACT
Leo Zitto Kabwe Aliwekwa Kikaangoni na Redio Moja Kubwa Hapa Tanzania kwa Kuulizwa Kuhusu Tetesi kuwa Amejiunga na Chama Kipya cha Siasa ACT ..Zito Amesema Kweli Anahusishwa na chama Hicho ila Kwa sasa...
View ArticleSugu Amuumbua Waziri Magufuli
Akichangia jioni hii Mhe Sugu amesema kuwa Mhe Magufuli hafanyi kazi kitaalamu bali anapiga siasa tuu ili kupumbaza watu. Amesema kuwa hizo barabara anazojisifia na zinazotumia mabilioni mbona baada ya...
View ArticleKafulila Afichua wizi wa Bilioni 200 za Tanesco BOT
Kwa mara nyingine tena serikali sikivu ya Kikwete imefanya kweli kwa kuiba fedha takribani Billion 200 za Tanesco BOT.Gavana wa BOT amefunguka na kudai kuwa alishinikizwa ili kuzitoa fedha hizo.CCM...
View ArticleUrais wa Simba ni Kasheshe
NAFASI mpya ya Rais wa Simba (zamani Mwenyekiti) ina watu wawili ambao ni Evans Aveva anayepewa nafasi kubwa ya kuibuka kidedea na mpinzani wake mkubwa ni Michael Wambura, Mwanaspoti limebaini.Wambura...
View ArticleYanga Yashusha Straika la Cameroon Anafunga Kwa Staili Zote
YANGA imepanga kumsainisha rasmi mkataba kiraka Mbuyu Twite mchana huuu lakini imetegesha rada zake Cameroon kupata straika la maana kuziba nafasi ya Didier Kavumbagu aliyechepukia Azam FC.Akizungumza...
View ArticleMwezi wa Ajali,Dar Express Dar to Nairobi Imeanguka Wami
MWEZI WA AJALI:Dar Express from Dar to Nairobi imeanguka Wami dakika chache zilizopita...Kama kawa Wabongo badala ya kusaidia majeruhi wanatwanga picha mwanawane ili wawahi fesibuku...Kizazi cha...
View ArticleWema Ashika Ushahindi wa Kajala Kumuibia Bwana
Unaweza ukaficha siri na ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka kuwa hakuna siri ya watu wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa ushahidi wa aliyekuwa rafikiye kipenzi, Kajala Masanja wa kumwibia...
View ArticleWizi bil 200 za BOT ni kazi ya mikono 'mitakatifu' ya Mwigulu?
Hivi karibuni nilikuwa Bukoba niliona meli ilyoingia nchini mwaka 1958 ikiwa bado inabeba roho na miili ya watanzania, niliambiwa bilioni 200 unaweza kununua meli mpya za kisasa zaidi ya 5. Kuna deni...
View ArticleWassira: Mbowe ni Mzushi, Hoja zake ni Dhaifu
Akichangia hivi sasa kuhusu hotuba ya mbowe jana, wassira amesema mbowe ni mzushi, na amepotosha kuhusu tuhuma zake kwa rais kuwa alichochea na kutaka jeshi kupindua nchi, wasira amesema kuwa mbowe...
View ArticleWaziri Mkuu Asema Tuhuma ya Wizi BOT na Tanesco Lazima Lifanyiwe Uchunguzi na...
Waziri Mkuu Akiwa Live Bungeni Amesema Tuhuma zilizoletwa na Kafulila Jana kuhusu Utapeli wa Mabilion ya Shilingi Kati ya BOT na Tanesco Ni Lazima Ufanyiwe uchunguzi wa Kina Kubaini nini Hasa...
View ArticleRay C Asimulia Alivyoteswa na Ugonjwa wa Dengue
MUNGU mkubwa! Staa wa muziki wa Kizazi Kipya Bongo, Rehema Chalamila ‘Ray C’, amesimulia jinsi alivyochungulia kifo baada ya kutikiswa na ugonjwa hatari na tishio ulioibuka hivi karibuni wa Homa ya...
View Article