Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104807 articles
Browse latest View live

JE Kuna Uwezekano wa Kizazi Kutolewa Wakati wa Kufanya Mapenzi?

$
0
0

Toka niko mdogo na sasa nimekuwa nilikuwa naambiwa eti inawezekana mwanamke akang'ofolewa kizazi endapo atafanya Mapenzi na mwanaume mwenye uume mrefu.

Sasa nawaza kuwa huo uzazi unaosemewa hapo ni uterus? na kama ndio inawezekanaje ikang'ofolewa kwa uume? ama inakuaje? nisaidie mnaofahamu.

Je Hili lina ukweli au Uongo??? .

SOMA Hapa Sababu Kubwa Inayowafanya Wanawake Kupiga Kelele Wakati wa Tendo la Ndoa

$
0
0

Kumekuwa na tabia au hali ya wanawake wengi kupiga kelele au unaweza kusema kutoa sauti wakati wakishiriki tendo la ndoa. Hali hii imeacha maswali kama kutoa huko sauti ni jambo la asili au ni mwanamke mwenyewe anaamua hapa atoe sauti na kwingine asitoe.

Mwaka 2011 watafiti wawili mmoja kutoka Chuo Kikuu cha Lancashire na mwingine kutoka Chuo Kikuu cha Leeds wote wa nchini Uingereza walichapisha utafiti wao walioufanya uliokuwa ukihusu utoaji wa sauti wa kati wa kujamiina. Walitaka hasa kujua kwanini wanawake hutoa sauti hizo.

Katika utafiti huo, waliwahoji wanawake 71 wenye umri kati ya miaka 18 na 48 ambao hushiriki mapenzi mara kwa mara juu ya utoaji wa sauti wakati wa kujamiiana.

Katika utafiti huo ulibaini kuwa wanawake wengi huto sauti hizo lakini sio pale tu wanapokuwa wamefika kileleni. Asilimia 66 walisema kuwa hutoa sauti wakati wa kujamiina ili  kuwasaidia wenza wao kufika kileleni haraka, wakati asilimia 87 walisema kuwa hutoa sauti hizo ili kuwaongezea wenza wao kujiamini kwa kile wanachokifanya kuwa wapo sawa.

Wanawake walieleza kuwa mara nyingi hutoa sauti wakati wenza wao wanapofika kileleni. Baadhi pia walieleza kuwa sauti hizo huwasaidia kuwaondolea uoga walionao, hali ya kutojisikia kuwa sawa, wakati mwingine kuondoa maumivu lakini pia kama njia ya kufurahia raha anayokuwa anaipata.

Aidha, wataalamu hao walisema kuwa kwa vile wanaume wengi huhusisha utoaji wa sauti na mwanamke kufika kileleni, basi baadhi ya wanawake hutoa sauti hizo kwa uongo ili tu kuwaridhisha wenza wao waone kila kitu kipo sawa.

Kwa upande mwingine, imegundulika kuwa wanawake si jamii ya wanyama pekee ambao hutoa sauti wakati wa kujamiiana kwani hata nyani (baboons) wana aina zao za sauti ambazo huzitoa wakati wakijamiiana.

Imeelezwa kuwa wakati mwingine huwa ni vigumu sana kuelezea kila kinachotokea wakati wa kijamiiana kwa sababu kila mtu huwa na utashi wake. Lakini kitu wataalamu walichokubaliana ni kuwa sauti hizo zinaweza kumsaidia mwenza kujua kama anachofanya ni sasa hivyo aendelee au aache, aongeze au apunguze.

Andika Maoni yako Hapo Chini Utuambie nini Kinamfanya Mpenzi Wako Apige Kelele Wakati wa Kuhondomola au Kama Wewe ni Mwanamke Tueleze Sababu ya Nini Kinapelekea Hadi mnapiga kelele wakati wa game,Zingatia Lugha yenye tafsida isiyokuwa na matusi.

FAHAMU Njia Nne za Kulinogesha Penzi Lako Kwake Daima..!!!

$
0
0

KUPITIA safu hii uipendayo, leo ninakupa njia nne zitakazolifanya penzi lako liendelee kunoga, hata kama litakuwa limeanza kufubaa utaliamsha upya.

Wengi wamekuwa hawaelewi mambo mengi kuhusu uhusiano ndiyo maana huish kulalamika kwamba wanapenda sana lakini mwisho wa siku huishia kutendwa.

Hakuna mtu ambaye hahitaji faraja, kila aliyekuwa na mpenzi wake anahitaji kuwa na furaha. Hakuna mtu ambaye anaingia kwenye mapenzi ili apate msongo wa mawazo, kila mtu anayediriki kuutoa moyo wake, kitu cha kwanza anachokitarajia ni faraja kisha furaha.

Ipo hivyo! Watu wengi wanakuwa kwenye uhusiano wa kimapenzi huku wakiwa na matumaini kwamba hao waliokuwanao inawezekana watakuwa wapenzi wa maisha yao yote. Pasipo kujua, wakati mwingine kuna makosa hufanyika, mtu hajui afanye nini ili penzi alilonalo kwa mpenzi wake linoge, hajui ni njia zipi zitamfanya kupendwa kila siku.

Leo nitakutajia njia chache ambazo kama utazifanya, nakuhakikishia penzi lenu litashamiri zaidi ya lilivyo hivi sasa.

MPE UHURU KWANZA

Kila mtu anapenda kuwa huru, kuachwa afanye mambo yake anayoyapenda. Hakuna mtu anayependa kuingiliwa, hasa kwenye masuala ya kutumia simu yake. Kama kweli unahitaji penzi linoge, usitake kuingilia mambo yake hasa katika matumizi ya simu, unachotakiwa ni kumwambia muda ambao hupendi kuona akizungumza na simu na si kwamba kila unapoona simu yake inaita, unaichukua kwa nguvu.

Mapenzi hayapo hivyo, mpe uhuru mwenza wako. Haimaanishi mtu kama hajatulia basi kuchukua simu muda wote inapoita ndiyo kutamfanya kutulia, hapana, bali kwa kufanya hivyo utampa mbinu nyingine ya kuweza kupambana nawe. Unachotakiwa ni kumfanya kuwa huru, usimuingilie.

CHUKUA MUDA WAKO KUMTOA ‘OUT’

Wengi hukosea hapa, huwa hawapendi kwenda matembezi na wapenzi wao. Wengine hujifanya wapo bize, hata ukimwambia Jumamosi nataka tutoke out atakwambia anataka kufanya hili na lile.

Rafiki yangu, kila mtu anahitaji kuwa karibu na mpenzi wake, hakuna anayependa kuwa na mpenzi ambaye muda wote yupo bize tu. Mchukue, nenda naye sehemu. Kutoka mitoko ya mara kwa mara itawafanya muwe karibu zaidi, itawafanya muda wote mzidi kupendana, ila kama utajifanya upo bize, jua kuna mtu ataitumia nafasi hiyo kutoka na umpendaye.

PENDELEA KUFANYA UTANI

Hakuna mtu anayempenda mpenzi ambaye yupo siriazi saa ishirini na nne. Pata muda wa kukaa na kutaniana naye. Mchombeze kwa vineno vya utani, mpetipeti, mlaze kitandani na uanze kupiganapigana naye vibao vya kimahaba hata kwa kutumia mito ya kulalia.

Unapokuwa siriazi kila wakati inakuwa ni vigumu mwenzako kulifaidi penzi, pendelea kutabasamu inapobidi kila unapokuwa na mpenzi wako, siyo kila atakachokwambia wewe uso wako umekunja ndita kiasi kwamba ataonekana kukuogopa na kumtafuta mtu mwingine ambaye atahitaji kuliona tabasamu lake, atahitaji kuona akifanyiwa utani wa mahaba nk.

HEBU MSIFIESIFIE BASI

Wengi wanaogopa kuwasifia wapenzi wao, hawajui kama kila mtu duniani anapenda kusifiwa. Mpenzi wako anapovaa nguo nzuri zilizomtoa, usikae kimya, mwambie amependeza kwani hilo litamfanya kufurahi sana. Kama utakuwa na mpenzi halafu kila siku humsifii hata akifanya kitu gani, jua kwamba atajisikia vibaya, wakati mwingine atahisi hayupo sawa kwa kuwa tu hujawahi kumsifia.

Unapomsifia mpenzi wako kunamfanya kuongeza umakini katika kuvaa kwake, kununua manukato na hata jinsi atakavyosuka au kunyoa atafanya kwa ubora wa hali ya juu kwa kuwa anajua utamsifia

Pata Dawa ya Kuongeza Hips, Makalio, Kuwa Mweupe na Kuongeza Maumbile ya Mwanaume....

$
0
0

PENDEZA NA MARKSON BEAUTY. ONGEZA HIPS NA MAKALIO, KUWA MWEUPE NA SOFTI, ONGEZA MAUMBILE YA KIUME, NGUVU NA HAMU YA TENDO N.K
@markson_beauty_pr Tunakuletea bidhaa bora zenye matokeo ya uhakika na haraka zisizo na kemikali wala madhara. Zimetengenezwa kwa mimea na matunda na kudhibitishwa kiafya.
NB. Matokeo ni uhakika na garantii.
🍉🌿🍅🍍🍒🍉🍓🍅🍒
BIDHAA ZETU:-

1.Kurefusha nywele na kuzuia kukatika ovyo @130,000/=
2.Kuongeza shepu (hips, makalio na mapaja) kwa:-
(a)BOTCHO MULT-PLUS 10× @200,000/=
(b)Vidonge @180,000/=
(c)BOTCHO 10× ya kupaka @150,000/=
3.Kuwa mweupe na softi mwili mzima kwa:-
(1)Mafuta @120,000/=
(11)Vidonge @150,000/=
4. Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
5.Kuongeza uume pamoja na nguvu za kiume kwa:-
(a)SHARK POWER gely ya kupaka @130,000/=
(b)Vidonge kwa ajili ya kuongeza nguvu hata kwa wenye kisukari @130,000/=
(C)Handsome up original @220,000/=
6.Kuondoa mvi milele zisiludi tena @130,000/=
7.Kuongeza unene wa mwili mzima na uzito pamoja na hamu ya kula @130,000/=
8.Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni kwa:-
(a)Dawa ya kunywa au kupaka @130,000/=
(b)Mkanda wa kawaida @100,000/=
(c)Micro-computer belt wa umeme @200,000/=
9.Kupunguza maziwa na kuyasimamisha hata kwa walionyonyesha @130,000/=
10.Kushepu miguu (CHUPA YA BIA) na kuondoa vigimbi @130,000/=
11.Kuondoa mipasuko mwilini (michirizi) @120,000/=
12.Kurudisha usichana (bikra) @120,000/=

Wasiliana nasi :- (+255)
0767447444 au.
0714335378


TAHADHARI: Hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.
👉Ili kuona bidhaa zaidi na shuhuda za waliotumia bidhaa zetu. ...............
Follow us on instagram @Markson_beauty_pr
@Markson_beauty_pr

Jinsi Ya Kumfanya Mwanamke Apagawe Kwako

$
0
0

Kuna vitu vingi ambavyo unaweza kutumia kwa manufaa yako ili kufanya wanawake wakuone unavutia. Amini usiamini, hivi vitu si lazima uwe tajiri wala uwe na urembo wowote. Mwanzo kati ya vitu hivyo vingi ni rahisi kuvitumia kwa urahisi. Hii hapa ni orodha ya mambo ambayo ukiyazingatia yatakufanya wewe uwe na mnato kwa mwanamke yeyote yule.

1. Uwezo wako wa nishati
Nishati inaweza kuwa na mkusanyiko wa vitu kadhaa, kama vile kuhisi kwa vipepeo ndani ya tumbo, kusuka, wasiwasi ama vitu tofauti kabisa. Kwa mtizamo wa moja kwa moja, nishati inahusiana na yote yale ambayo yanamfanya mwanamke kujiskia raha wakati anapokuona ama kutaka kuutumia muda wake mwingi akiwa na wewe. Nishati inacheza nafasi kubwa katika mapenzi kama wataka kumtongoza mwanamke na ufaulu kwa urahisi. Ili kupeana nishati zaidi kila wakati unapokuwa na mwanamke, hakikisha kile kikuu unachohitaji kufanya ni kumchekesha, kumsapraiz, umguse kwa bahati mbaya mara kwa mara, kuwa mwenye michezo nk. Zote hizo zitamfanya kukufikiria wewe mara 24/7.

2. Mbinu utakayoitumia kumsifu
Kulingana na utafiti kutoka NBC unadai ya kwamba wanawake wengi hawajiskii huru kupewa ama kupokea sifa kutoka kwa wanaume. Lakini usikatwe na tamaa! Vile ambavyo utampongeza mwanamke inaweza kucheza pakubwa kufaulu kumpata mwanamke unayempendae baada ya muda. Afterall ukimsifu kitofauti tofauti anaweza kukubali ama kukuona kama wewe ni mzaha kwake. So kuhepa aibu kama hizi ndogo ndogo, unafaa umsifu mwanamke kwa jambo ambalo ni la kwake pekee, yaani kitu ambacho utamsifu nacho hakipatikani kwa mwingine. Mfano waweza kumakinika kwa kitu ambacho anafanya wakati flani na utumie ujuzi wako wa kiume kumsifia na jambo hilo. Mfano unaweza kumsifu kwa uwezo wake wa kuimba, kuchora, mtindo wake wa kutembea nk.

3. Upambo wako
Si lazima uwe mwanamume wa kuvutia ili umvutie mwanamke. Utafiti umebainisha kuwa wanawake hawavutiwi na urembo wa mwanamume, nywele zake wala ngozi yake. Mwanzo kuwa mrembo kama mwanamume kuna ubaya wake mwingi ikizingatiwa kuwa unaweza kuonekana kama pleya ambaye unapendwa na wanawake wengi.

Kile ambacho unachohitajika hapa ni uhakikishe kuwa uwe nadhifu kimwili na mavazi yako. Kufanya hivi kutakusaidia wewe kuonekana mtu timamu halikadhalika inakufanya wewe kuwa na confidence ya kapproach demu yeyote yule.

4. Ujuzi wako wa kutangamana 
Lazima atleast uwe na ujuzi ambao utakusaidia wewe kuweza kutangamana na wengine. Kama mwanamume lazima uwe na ujuzi ambao utakusaidia wewe kutangamana na wengine kwa urahisi. Hii inamaanisha kuwa lazima uwe na ujuzi flani wa kuongea na wanawake ndipo utakapojua jinsi ya kumfanya apagawe na wewe.

5. Kiwango chako cha kujiamini
Kitu cha mwisho ambacho ni muhimu kwako kuwa nacho ni kujiamini. Kujiamini ni njia moja wapo ya lazima uwe nayo ili uweze kuiteka hisia ya mwanamke yeyote

KUMBUKA: Vitu vyote tulivyoeleza hapo juu havitakuwa na manufaa yeyote yale iwapo kama hutaweza kujiamini kama mwanamume. Hivyo ni lazima kwako kuhakikisha kuwa mwanzo unajijenga kwa kuwa na confidence. Hii ni kuanzia kujitambua wewe mwenyewe bila kujishuku, kuongea bila woga wowote wala kutoingiwa na wasiwasi wakati wowote ukiwa karibu na mwanamke.

SABABU Zinazoweza Kupelekea Mwanamke Asiolewe Kabisa

$
0
0

Kuoa au kuoelwa ni jambo ambalo watu wengi hutamani kwani ni miongoni mwa hatua kubwa  katika maisha ya kila mmoja. Ukifanya utafiti kwa watu ambao hawajaoa wengi watakwambia wanatamani siku moja wawe na familia bora na yenye furaha, kwani kila mmoja anaamini hayo ni mafanikio kwenye maisha.

Licha ya kuwa kuolewa au kuoa ni jambo jema, baadhi ya watu huwa hawaoi au hawaolewi. Kuto kuoa au kuolewa kunaweza kuelezewa na sababu nyingi sana. Leo tutazungumzia suala la mwanamke kuolewa, na tutaweka bayana baadhi ya tabia chache ambazo zinaweza (zinachangia kwa kiasi kikubwa) mwanamke kuto kuolewa.

Utumiaji mbaya wa mitandao ya kijamii- Hili najua si kwa wanawake tu, lakini kwa sababu leo wao ni walengwa wa mada, tutazungumzia upande wao tu. Baadhi ya wanawake hutumia vibaya mitandao  ya kijamii ambapo huchati tangu asubuhi hadi jioni, wakiinua macho basi wanaangalia Tv na akimaliza channel hii atahamia nyingine, akimaliza mtandao huu atahamia mwingine. Kutwa nzima unakuta anafuatilia staa huyu alifanya nini usiku, huyu alipiga picha gani, kikapanda kikashuka.

Mwisho wa siku mwanamke kama huyu atakuwa hana cha maana alichojifunza kwenye mitandao au kutazama Tv zaidi ya kuanza kuiga yale aliyoyaona. Na hakuna mwanaume muoaji anayetaka mwanamke ambaye akili yake imetawaliwa na mitandao ya kijamii hakumbuki hata kufanya usafi ndani.

Kutokupenda kufanya kazi za nyumbani- Wanawake wengi wa ki-Afrika kwa vile wamekwenda shule wakatambua mambo ya haki sawa kwa wote na wengine kuona kwenye filamu wanaume wakifanya kazi ambazo mara nyingi hufanywa na wanawake, basi na wao ndio wameweka nukta kufanya kazi za nyumbani.

Kuto kana na hali hii, wanawake wamekua wakujiremba tangu mawio hadi machweo, ukitazama kucha zao zilivyondefu unajiuliza hutu anafua kweli? wengine wame amua kuajiri watu wa kuwafulia hadi nguo za ndani. Kwa hali hii isitarajie mwanaume akuoe kwa sababu anajua ni matatizo anapeleka nyumbani.

Kujipara hadi sura yako ya asili inasahaulika- Ni kweli wanaume hupenda mwanamke mrembo na mwenye kupendeza. Lakini hii haimaanishi ndio ujipodoe hadi uchukize. Kila kitu  kwa kiasi chake kwa sababu kitu chochote kikizidi huwa ni sumu.

Jirembe kwa kiasi, hili litavutia watu walio-serious kutaka kukuoa, lakini ukiwa ni wa kujiremba hadi ukapindukia, hakuna muoaji atakaye kuta. Tena ikumbukwe kuna baadhi ya wanaume wao hupenda mwanamke asiyejirembaî (wenyewe huita natural)

Hizi ni baadhi tu, na wewe unaweza kuongezea ili kuwakumbusha wasichana wanaotaka kuolewa.

TUNDU Lissu Atoa Kali ya Mwaka.....Agoma Kutoka Mahakani.....

$
0
0
Mbunge wa Singida Mashariki ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Tundu Lissu  jana  aligoma kutoka katika chumba cha mahakama kufuatia kuwepo kwa tetesi kuwa kuna baadhi ya polisi wametumwa kumkamata kiongozi huyo. .

Lissu alifika mahakamani hapo jana asubuhi kwa ajili kusimamia kesi ya migogoro ya ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) iliyokuwa ikisikilizwa na Hakimu Proches Mushi.

Katika kesi hiyo, Kamati ya Utendaji ya CWT wilaya imefungua kesi dhidi ya Katibu Mkuu wa CWT, Yahaya Msulwa wakimtuhumu kwa matumizi mabaya madaraka.

Hata hivyo wakijadili muda wa kurudi tena kwa kesi hiyo, Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, (TLS) alisema kuna polisi waliovalia kiraia waliokuwa wakimngojea nje ili wamkamate na kumsafirisha kwenda Dar es Salaam.

Habari za kutaka kukamatwa kwa Lissu zilisikika  asubuhi katika mitandao ya kijamii baada ya kutumiwa ujumbe kuwa kuna maaskari waliovalia kiraia wanataka kumkamata.

“Mheshimiwa naomba kesi hii isisomwe tarehe 23 kwa sababu sitakuwepo nchini, natarajia kwenda Uganda kwenye kikao cha vyama vya Afrika Mashariki vya mawakili,”alisema na kuongeza:

“Lakini pia nimepewa taarifa kuwa hapo nje kuna polisi wananisubiri nikitoka wanikamate na kunisafirisha kwenda Dar es Salaam hivyo huenda tarehe hiyo (Julai 23) nisiwe huru kuhudhuria kesi.”

Akijibu maombi hayo Mushi alisogeza kesi hiyo hadi Septemba 27-29 kwa ajili ya kuendelea na ushahidi.

Mara baada ya kesi kuahirishwa, Lissu akafanya mkutano na waandishi wa habari ndani ya ukumbi wa mahakama hiyo na kudai hatatoka mahakamani hapo ili aone kama polisi wana uwezo wa kuingia na kumkamata.

“Leo asubuhi nimepata taarifa kutoka Dar es Salaam kwa mama watoto wangu kwamba polisi walikuja nyumbani kwangu kunitafuta na wakaelezwa kwamba yuko Dodoma kwa muda wa siku tatu,” alisema.

“Baada ya hapo wasamaria wema walinitaarifu kuwa Jeshi la Polisi Dar es Salaam limewaomba wenzao wa Dodoma wanikamate pindi tu nitakapotoka hapa na kunirejesha Dar es Salaam.”

Alipoulizwa sababu inayofanya polisi watake kumkamata, Lissu amesema ni kutokana na maoni yake aliyoongea juzi ya kuukosoa uongozi wa Rais Magufuli.

“Rais Magufuli na chama chake wameshindwa siasa na wanachofanya sasa ni kutumia mabavu lakini wao kama Chadema kamwe hawataogopa wala kukaa kimya kwani kazi yao si kumsifia Rais bali ni kumkosoa anapofanya vibaya,”amesema.

Lissu ambaye pia ni Mbunge wa Singida Mashariki alisema hakuna sheria yoyote inayowaruhusu polisi kumkamata wakili akiwa katika shughuli zake mahakamani.

“Nakaa nione kama watavunja sheria ya kuja kunikamatia hapa hapa mahakamani. Nimeshazoea kukamatwa tangu mwaka huu uanze nimekamatwa mara nne,”alisema.

Baada ya kukaa mahakamani kwa saa nne, alifika Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa na kumweleza Lissu kwamba Jeshi la Polisi Dodoma halina taarifa yoyote wala mpango wowote wa kumkamata.

“Hatujapokea taarifa yoyote wala maelekezo yoyote ya kukukamata kutoka makao makuu. Hata ingekuwa hivyo tungeshakukamata kwa sababu muda wa mahakama umekwisha. Kwa sasa hivi yamebakia majengo tu kwa hiyo uwe huru uendelee na shughuli zako,” Mambosasa alimwambia mbunge huyo.

Baada ya Mambosasa kuondoka katika mahakama hiyo, Lissu naye aliondoka katika eneo hilo.

HATIMAYE Bosi wa Maji Aliyeambiwa na Rais Magufuli Astaafu Apata Mrithi wake....

$
0
0
 HATIMAYE Mtendaji mkuu wa Dawasa Aliyeambiwa na Rais Magufuli Astaafu Apata Mrithi wake....Soma Hapa Chini:


VIDEO Tundu Akigoma Kutoka Mahakani......

$
0
0
July 19, 2017 Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu aligoma kutoka katika chumba cha Mahakama ya wilaya Dodoma alipokuwa akifanya shughuli zake za uwakili kwa kuhofia kukamatwa na Polisi waliosemekana kumsubiri nje wamkamate kwa tuhuma za uchochezi.

Akiwa ndani ya Mahakama, Tundu Lissu aliongea mbele ya Waandishi wa habari Dodoma na kusema kuwa alibaini njama za Polisi kutaka kumkamata baada ya kupata taarifa kutoka kwa Mke wake  na kwamba Polisi walianzia kumtafuta nyumbani Dar es salaam kabla ya kufahamu kuwa yuko Dodoma.

Kwenye hii video hapa chini Tundu Lissu anaonekana akielezea mkasa huo…

Breaking News..Mama Mzazi wa Zari Hassan Amefariki Dunia...

$
0
0

Zari Hassan Ameconfirm habari za kifo cha mama yake mzazi kwa kuandika haya hapa chini:


@zarithebosslady - It's with deep sorrow that my family and I announce the death of our lovely mother who passed on this morning. May her soul rest in peace, May Allah forgive you your sins and grant you Jana.
You will forever be loved our Old Sun, us as your kids were given the best from God as our mother. We appreciate all you did for us. We will forever cherish you Mama.
Sleep well😢

Waliomvua Mwanamke Nguo Wahukumiwa Kifo Kenya

$
0
0

Wanaume watatu ambao walimvamia, wakamvua nguo na kumuibia mwanamke ndani ya basi la abiria mjini Nairobi, katika kisa ambacho kilirekodiwa na kusambazwa pakubwa katika mitandao ya kijamii miaka mitatu iliyopita, wamehukumiwa kifo kwenye mahakama moja mjini Nairobi.

Hukumu hiyo ya kifo ilitolewa baada ya watatu hao kupatikana na hatia ya wizi wa kutumia nguvu.
Kifungo kingine cha miaka 25 kilitolewa kwa kumvua nguo mwanamke huyo, Jilo Kadida.

Kifungo cha miaka 25 hata hivyo kilitupiliwa mbali kwa wanaume hao walikuwa tayari wamehukumiwa kifo.

Wanaume hao watatu ni dereva wa basi Nicholas Mwangi, na makondakta wake Meshack Mwangi na Edward Ndung'u.

Hakimu wa Nairobi Francis Andayi, alisema kuwa kitendo hicho kilikuwa kibaya walichoonekana kufurahia, kwa sababu walikuwa wakishangilia huku wakimvua nguo mwanamke huyo.

Muathiriwa aliiambia mahakama kuwa kulikuwa na karibu wanaume saba ndani ya basi wakati huo, ambao walitaka kumbaka lakini akadanganya kuwa alikuwa na vurusi vya ukiwmi, Video hiyo ilizua maandamano huku mamia ya wanawake wakishiriki maandamano mjini Nairobi.

Matumizi 5 Ya Coke Yanayothibitisha Kwamba Si Sahihi Kwa Matumizi Ya Binadamu

$
0
0

Coca-Cola ni kinywaji maarufu na kinajulikana sehemu nyingi sana duniani.

Kuna maswali mengi ya kujiuliza juu ya unywaji wa kinywaji hiki kwa binadamu,kama ni sahihi kwa matumizi ya binadamu au la,au unywaji wa kinywaji hiki una madhara kwa baadae au la, nauliza hivi kwa sababu pH yake ipo juu kuliko hata ya asidi ya kwenye betri.

Taasisi ya moyo,mapafu na damu walidhamini utafiti ufanywe kwa mtu mmoja mmoja ambae anatumia japo soda moja kwa siku.

Walikutwa na uwezekano wa asilimia 44 ya kupata magonjwa yanayohusiana na mishipa ya moyo na aina ya pili ya kisukari kwa mda wa miaka minne

Utafiti ulifanywa kwa watu zaidi ya 2400 ya vijana,ambapo watu 1600 walikuwa hawana dalili zozote za metabolic syndrome ,na baada ya miaka minne nao wakawa na uwezekano wa kupata magonjwa ya moyo na kisukari.

Watu wanaopendelea kutumia soda kila siku wanaweza kupata matatizo ya;

1.uwezekano wa kupata shinikizo la damu

2.asilimia 25 walikuwa na uwezekano wa kupata kisukari

3.asilimia 30 walikuwa na uwezekano wa kuongezeka uzito

4.asilimia 31 walikuwa na uwezo wa kupata obesity

Utafiti mwingine unaonyesha asilimia 48 wanaotumia kinywaji hiki iwe mara kwa mara au mara chache wana uwezekano mkubwa wa kupata shambulio la moyo au stroke.

Pia utumiaji wa vinywaji baridi umethibitika kuongeza hatari ya matatizo ya kupumua kama asthma na COPD

Matumizi 5 ya Coca-cola

Tambua kuwa unywaji wa Coca-Cola utakuletea madhara katika afya yako,basi ni nzuri zaidi kwenye matumizi ya kusafishia
Coca-cola unaweza kuitumia kwa matumizi ya nyumbani kama;

1.kusafisha choo
2.kusafishia injini
3.Kuondoa kutu
4.Kuondoa oil iliyomwagika sakafuni
5.Kuondoa madoa ya damu kwenye nguo au kitambaa

Je Dada Unahitaji Kuwa Mrembo na Kaka Kuwa Mtanashati na Kupendeza? Waone Hawa

$
0
0

BLACK BEAUTY COMPANY
Je Dada unahitaji kuwa Mrembo na ule muonekano bomba wa kisuperstar👌🔥,kaka unahitaji kuwa mtanashati na mvuto zaidi wa KIUME?fika black beauty company utatimiza ndoto zako,hawakosei hata siku moja kwa products original na zenye matokeo yaharaka sana,bila madhara,ni kampuni yenye uzoefu wa hali ya juu sana🔥
1)kuongeza hips,makalio,mapaja@150000
(b)kuongeza hips,makalio,mapaja na miguu@200000/=
2)kuongeza miguu ,kuondoa vigimbi@120000/=
3)kuwa mweupe mwili mzima (Rangi moja)@150000/=
4)Kupungua mwili mzima@150000/=
5)kupunguza tumbo@100000/=
6)kupunguza au kuongeza matiti@100000/=
7)kukuza nywele@100000/=
8)kuondoa michirizi @100000
9)kuondoa madoa,mabaka na chunusi sugu@100000/=
10)kuongeza uume na nguvu za kiume@150000/=
Dawa zetu niuhakika sana100%na utaletewa popote ulipo,mikoani tunatuma,nje ya nchi tunatuma DHL,ofic zetu zipo kariakoo msimbazi police,🔥karibuni kwa mawasiliano zaidi WhatsApp+255657778924,au call0743534406 au unaweza kutufollow
👇👇👇👇👇👇
@black_beauty_company

VIDEO: Diva Awachana Watangazaji wa Clouds FM, Kisa Malinzi wa TFF

$
0
0
Mtangazaji wa kipindi cha Ala Za Roho cha Clouds FM, Diva The Bawse ameamua kutoa yake ya moyoni kwa kuwachana watangazaji wenzake ambao wamekuwa wakimzungumzia vibaya baba yake mzazi ambaye ni rais wa Shirikisho la soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi.



Akiongea na Bongo5, Diva amesema, “Nimeipokea vibaya sana habari za baba yangu Jamal Malinzi kuingia katika matatizo, nilishtuka unajua siku hizi kila kitu unaona kwenye mtandao eeh, nikaamua niende nyumbani.”

“Hili suala linaniuma sana, kuna watu wengine mimi ninafanya nao kazi lakini niamini wanafurahia sana wanatuma vitu katika mitandao ya kijamii, Instagram, Facebook za kumzungumzia baba yangu vibaya halafu najiuliza mimi huyu nafanya naye kazi alafu anafanya hivi yaani hana hata utu najisikia huzuni sana,” ameongeza.

Mtangazaji huyo ameendelea, “Namuombea kwa Mwenyezi Mungu, mimi na familia yangu na siku hizi tunaenda kanisani kila siku St Peters ili haya matatizo yapite kwa sababu mimi nina wadogo zangu ambao wao ndio wanao athirika zaidi.”

“Unajua wakati mwingine upo katikati ya kipindi unakuta mtu anakupiga komenti kama tatu hivi anazungumzia mambo hayo unajua hali unayoipata eenh, inakuuma kwa sababu yeye amenilea nimeishi naye nyumba moja, amenipa kila kitu ninachotaka. Amenipa elimu na kila kitu ninachotaka alafu unaona vile vitu vinaendelea tena mtu ambaye unafanyanae kazi anafurahia na anaposti na video lakini familia yangu inaniambia niwaache ila kwangu mimi atabaki kuwa baba bora,” amesisitiza.

“Baba ametuambia watoto wote hamna kwenda kumuona bali tumuombee na tujitume zaidi katika kutafuta maisha ila kaka yangu anakwenda kumuona.”

Tutashughulika na Wanaotoa Matamshi ya Kichochezi – Waziri Mkuu

$
0
0
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, amewaonya wanaotoa matamshi ya kichochezi nchini na kusema kuwa serikali itawashughulikia bila ya kujali nyadhifa zao.


Waziri Mkuu ametoa kauli hiyo Jumatano hii wakati wa ibada ya mazishi ya mke wa Dkt. Harrison Mwakyembe, Linah Mwakyembe yaliyofanyika Kyela jijini Mbeya.

“Tutashughulika na watu wote wanaotoa matamshi ya kichochezi, popote walipo bila ya kujali uwezo wao, vyeo vyao na mamlaka walizonazo,” alisema Waziri Majaliwa.

Aidha Waziri Mkuu amewaomba wananchi wote washirikiane kwa pamoja kumuombea Dkt Mwakyembe na familia yake ili Mwenyezi Mungu aweze kuwafariji.

Quick Rocka Ashutumiwa Kupanga ‘Kiki’ na TID......

$
0
0
Msanii wa Bongo Flava, Quick Racka amesema si kweli kwamba kitendo cha TID kumtuhumu hadharani yeye na OMG kuchukua ngoma ya ‘Watasema Sana’ ni kitu walikua wamepanga pamoja ili kuipa kiki ngoma waliyotoa ‘Watasema’.


Quick Rocka amefunguka hayo kupitia kipindi cha Ladha 3600 cha E Fm kwa kueleza kuwa mawasiliano na TID yalikuwa yameshafanyika ila kuna mambo mwishoni yalikuja kuingiliana.

“Hapana haikuwa mipango, ilitokea na kwa jinsi ilivyotokea ilikuwa ni ghafla sana coz wakati tunafanya huu wimbo kuna siku nilimpa taarifa Mnyama kwamba kuna ngoma yako fulani ya zamani tunataka tuirudie, akasema fresh itakavyokuwa mtaniambia,” amesema Quick na kuongeza.

“Lakini baada ya hapo tumeshaifanya tumeanza kushoot video yeye alikuwa hayupo alikuwa Zambia or Burundi, kwa hiyo hadi tunaitoa yeye alikuwa hayupo, amerudi kama siku moja hivi sisi tumeitoa,” ameeleza Quick.

Kipindi cha nyuma TID alimjia juu Quick Rocka na kundi la OMG kwa madai ya kutumia ngoma yake ‘Watasema Sana’ bila ruhusa kutoka kwake, hata hivyo jambo hilo walikuja kulimaliza kwa pamoja.

SOMA Nafasi za Kazi Zilizotangazwa Leo

Kutana na Tabibu wa Tiba za Asili Maalim Issa Najimu Mwenye Uwezo wa Kutibu Magonjwa....

$
0
0
KUTANA NA TABIBU MWENYE KUBRI KUTOKA KWA ALAH MAALIM ISSA NAJIMU.
NI SHARIFU MWENYE UWEZO WA KUBAINI TATIZO LAKO PUNDE TU UNAPO MFANYIA MAWASILIANO KUPITIA WASAA NA SIKU KWA MAWASILIANO:-
MAALIM ISSA NAJIMU KUTOKA MKOA WA TANGA MWAMBONI MAGOFU KATA YA NGUVU MALI NCHINI TANZANIA,

NI TABIBU MWENYE KUBRI TOKA KWA ALAH ANATIBU KWA NJIA YA VITABU VYA
QUR-AN, DAWA ZA ASILI PAMOJA NA DAWA ZA KIARABU.

ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE / MKOA WOWOTE KWA MATATIZO YAFUATAYO:-


ULIJALI (NGUVU ZA KIUME)
MIGUU KUWAKA MOTO
KUTAFSIRI NDOTO
MFARAKANO WA WANANDOA
MFARAKANO KAZINI
KUPANDSHWA CHEO
KUTOA PETE YA BAHATI
ANAO UWEZO WA KUPANDIKIZA NYOTA YA KUBASHIRI
KUFUNGUA UZAZI KWA WALIYO FUNGWA KWA NJIA YA USHIRIKINA
KUTOA VIFUNGO VYOTE VILIVYO FUNGWA IKIWA NI KWENYE MWILI WA BINADAMU
MAJUMBANI NA KWENYE BIASHARA.
ANA UWEZO MKUBWA WA KUPANDIKIZA NYOTA YA KUMPATA YEYOTE UMPENDAYE KWA KUMUOA AU KUWA NAYE.
ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIYE MBALI PIA ALIYE CHUKULIWA KWA NJIA YA MSUKULE
ANAO UWEZO WA KUUA KESI SUGU NA PYA NDANI SIKU 7 TU.
MENGINEYO MENGI ZAIDI YALIYO KUWA SUGU


PIGA SIMU-
 Mobile; 0717 70 32 41. 
 WhatsApp 06226 535419.

MAMA Aliyekutwa Uchi Mchana Kweupe Akiwa na Ungo Azua Sintofahamu....

$
0
0
TUKIO la mama ambaye jina lake halikupatikana mara moja kukutwa ameketi katikati ya barabara akiwa uchi wa mnyama limezua tafrani na mjadala mkali kufuatia mazingira ya tukio zima huku maswali yakiwa mengi kuliko uhalisia.
Kisanga hicho kilichozua taharuki na zogo kutoka kwa watu, kilijiri jana asubuhi maeneo ya Banana-Ukonga jijini Dar,   hali iliyopelekea kusimama kwa shughuli za kijamii kwa muda.



MAZINGIRA YA TUKIO
Mapema asubuhi, wakati watu wakianza ‘mishemishe’ za kuikaribisha siku mpya  mama huyo alionekana ameketi katikati ya barabara, akiwa mtupu na pembeni kukiwa na ungo  na mkoba, jambao lililovuta hisia za wengi na kulazimika kusogea karibu na eneo hilo kushuhudia kwa ukaribu ili kubaini kilichojiri.



Ilizidi kudaiwa kuwa mama huyo alisikika akizungumza maneno yasiyoeleweka huku akiwa na kiwewe akijaribu kutafuta namna ya kujisitiri kuondokana na aibu. Kutokana na hali hiyo, baadhi ya akina mama waliingiwa na moyo wa huruma kwa mwanamke mwenzao  na kujitolea mavazi (khanga) na kumsitiri ingawa wengine hususan wanaume walisikika wakizomea na kushangilia huku wakimuita majina yenye tafsiri mbaya.


MJADALA ULIOZUKA
Katika eneo la tukio, yapo maswali makubwa matatu yaliyozua mjadala ambayo yalichangiwa na mazingira husika.

“Mbona mwanamke mwenyewe anaonekana mstaarabu wa kutoendana kabisa na mazingira haya? Lakini pia kama ni mchawi au mwanga mbona anaongea wakati ilivyo kawaida kama mchawi akinaswa akifanya uchawi wake huwa hawaongei hadi ‘wagutuliwe’ tofauti na alivyoonekana mwanzo akizungumza mwenyewe? Lakini pia mbona kuna mkoba, kwani mchawi huwa na mkoba kweli?”   Hayo ni baadhi ya maswali yaliyosikika kutoka kwa watu waliokuwa eneo la tukio, huku yakizua mjadala na sintofahamu yenye fumbo zito.

GPL

Evans Aveva Apandishwa Mahakamani...Arudishwa Mahabusu

$
0
0
Kesi ya madai ya utakatishaji fedha inayowakabili viongozi wa Simba, Rais Evans Aveva na Makamu wake, Godfrey Nyange ‘Kaburu’ imetajwa leo Julai 20 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam.
Aveva na Kaburu wanakabiliwa na tuhuma za kughushi nyaraka za Klabu ya Simba na kutakatisha dola 300,000 (zaidi ya Sh milioni 650) na wamekuwa rumande tangu Juni 29, mwaka huu.

 
 Aveva peke yake aliweza kufika mahakamani hapo na kushuhudia kesi hiyo ikitajwa huku, Kaburu akishindwa kufika mahakamani kutokana na kudaiwa kuwa ni mgonjwa.
Watuhumiwa wote wamerudishwa rumande baada ya kesi yao kuahirishwa na sasa watarejeshwa mahakamani hapo Julai 31, mwaka huu.
Kabla ya kesi hiyo kutajwa wanachama wa Simba walianza kufika mahakamani mapema ili kujua hatima ya viongozi wao.
Viewing all 104807 articles
Browse latest View live




Latest Images