Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104803 articles
Browse latest View live

Kutoka Tanga: Rais Magufuli Awapatanisha PAUL Makonda na Ruge..Washikana Mikono na Kucheza Pamoja

$
0
0
Rais Magufuli akihutubia mubashara kutoka Tanga, amemuita Ruge kutoka Clouds Media Group na kumsifia na badae kumuita Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam, Paul Makonda na kuwapatanisha. Rais amewasifu wote kuwa ni vijana wachapa kazi na kuwataka wapatane na kushikana mikono na wachape kazi kwa ushirikiano.

“Nataka mambo yenyu ninyi wawili yaishe, nataka mfanye kazi kwa ajili ya Tanzania. Nampongeza Ruge kwa nyimbo nzuri na Mungu awabariki sana” Rais Magufuli.

Je, unadhani hii mbinu aliyotumia Rais Magufuli itafanikiwa kuwapatanisha hawa vijana?

Je, ndo mwisho wa vyombo vya habari kususia habari za Makonda?

#BossHanuniwi

Tundu Lissu: Tulipomfukuza ZITTO Kabwe Spika Alizuia, ila Lipumba Akifukuza Wabunge Anakubali Haraka..Kunani?

$
0
0
Tundu Lissu amesema kuna double standard imetumika kuwavua ubunge wabunge wa CUF, Amesema ikitokea wabunge wa upinzani wakitumiwa na CCM kuvuruga chama na upinzani ukaamua kuwafukuza spika haridhii kuwafukuza hadi kesi zinafunguliwa mahakamani

Imetokea wabunge wa CUF wamefukuzwa uanachama na Lipumba na kuna mgogoro kati ya usahihi wa uenyekiti wake kisheria na usahihi wa maamuzi ya kikao walichokaa ila Spika anawafukuza haraka haraka akijua kuna mgogoro
Amehoji iwapo mahakama kuu itatoa uamuzi kubatilisha uenyekiti wa Lipumba hao wabunge walioteuliwa na kikao hicho watafukuzwa tena?
Amesema wakiapishwa watakua ni wabunge wa CCM na kambi rasmi ya upinzani haitawatambua kama wabunge wa upinzani

Amesema wanafanya hivyo kwa sababu lengo lao ni kuua upinzani, na Magufuli alishamtamkia spika hadharani kuwa awashughulikie wapinzani ili kufuta upinzani kibaki chama kimoja amambacho ameita hizo ni enzi za giza na haitawezekana

Ameongeza kuwa Lipumba anaweza kufanikiwa kuiteka CUF na kuuwa UKAWA lakini hiyo inaweza kuwaunganisha wapinzani wa kweli VIDEO:

Nawal Baada ya Kuachana na Nuh Mziwanda na Kuolewa na Mwanaume Mwingine (+Audio)

$
0
0
Kupitia kipindi cha The Weekend Chat Show August 4, 2017 kinachorushwa na Clouds TV, aliyekuwa mke wa Mwimbaji Nuh Mziwanda, Nawal amefunguka na kuelezea kuhusu mume wake mpya aliyefunga naye ndoa hivi karibuni.



Nawal ambaye almekiri kuachana na Nuh na kufunga ndoa na mwanaume mwingine amesema ameolewa kwa sababu mume huyo ameona kuwa anafaa kuwa mkewe ambaye anamjali pamoja na familia yake.

”Tumekutana hivyo hivyo kwani Nuh tulikutana naye vipi? Kwanza mwanaume aliyenioa ameniona nafaa kuwa mke na kuniweka ndani siyo wa kunichezea. Nimemuona ni mwanaume anayejali familia yangu, anamjali sana mwanangu kushinda hata mimi mwenyewe.

“Yaani nikikohoa tu kumwambia mwanangu hana kitu fulani, kama umeme analeta. Kwa hiyo, nimeona ni mwanume anayenifaa. Ni wanaume wachache sana wanaopenda watoto ambao si wa kwao.

“Bwana namjua vizuri sana nimeolewa, nimesitirika, nimewekwa ndani. Kazi ya mwanamke kuhudumiwa kukaa ndani na kuletewa. Rangi siyo ya kujishughulisha kukimbizana na majungu nikaungua na maji ya moto. Mnajua mwanamke ni mvumulivu kuliko mwanaume na ukiona mwanamke kaachia ngazi basi jua kabisa yamemfika hapa.”  – Nawal.

Msikilize zaidi hapa Nawal akifunguka zaidi kuhusu ndoa yake mpya…

Edward Lowassa Atua Kenya Kumnadi Uhuru Kenyatta

$
0
0
Zikiwa zimebaki siku mbili nchi ya Kenya kufanya Uchaguzi Mkuu, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Edward Lowassa amefunguka sababu kuu zinazofanya amtetee na kumnadi mgombea Urais kupitia chama cha Jubilee Uhuru Kenyatta kuwa ni kiongozi shupavu.

Lowassa ambaye jana alishiriki katika mkutano wa chama cha Jubilee alisema kuwa kuna watu wanauliza kwanini yeye pamoja na CHADEMA wanamnadi kwa kuwa kiongozi huyo ni shupavu na mpenda watu.

"Kuna watu wananiuliza kwanini mnamnadi Uhuru Kenyatta, nasema tena hadharani bila aibu yoyote huyu ni kiongozi shupavu anayependa watu, anaweza kuongoza watu wetu, lakini cha pili Uhuru Kenyatta anapenda Afrika Mashariki akiingia madarakani ataturuhusu tuendelee kuzunguka zunguka kwenye mipaka hii kama Namanga pale bila hata shida, la tatu ni kwamba aliingia madarakani nchi ikiwa kwenye vita lakini amewapa suluhu ameingoza nchi imekwenda taratibu na akafanikiwa" alisema Lowassa

Mbali na hilo Lowassa alisema kuwa licha ya mambo yote hayo lakini bado ukweli utabaki palepale kuwa Uhuru Kenyatta anapenda Demokrasia

"Tangu Demokrasia ya vyama vingi Uhuru Kenyatta hajaleta shida ya aina yoyote, siku moja nimeona kwenye TV yenu mama mmoja amemtukana mpaka matusi ya nguoni lakini asubuhi Rais anasema nimemsamehe bure, nawaambia huyu ndiye anawafaa, naondoka nikiwa na matumaini" alisema Lowassa

Siku ya Jumapili tarehe 8/8/2017 Wananchi wa Kenya watakuwa wakifanya uchaguzi kuchagua viongozi wao mbalimbali

VIDEO Jinsi Rais Magufuli Alivyowapatanisha Ruge na Makonda live Tanga....

$
0
0
August 5 2017 Rais Magufuli na Rais Museveni wa Uganda wameweka jiwe la msingi kwenye ujenzi wa bomba la mafuta kati ya Tanzania na Uganda ambapo pamoja na kuhutubia kuhusu bomba hilo, Rais JPM aliwakutanisha Paul Makonda na Ruge Mutahaba.

Kwenye hii video hapa chini Rais Magufuli aliwaita wote wawili na kuwaambia washikane mikono na wayamalize

 VIDEO:

“Mvutano wa Kidini Ndiyo Sababu ya Kuvunjika Ndoa” – Mshenga Ndoa ya Nuh Mziwanda & Nawal Afunguka

$
0
0

Baada ya ndoa ya Nawal na Mwimbaji Nuh Mziwanda kuvunjika na kila mmoja akishindwa kuweka wazi sababu ya kuvunjika kwa ndoa hiyo huku Nawal akiolewa na mwanaume mwingine, sasa new stori ni kwamba mshenga wa ndoa hiyo amefunguka.

Kupitia The Weekend Chat Show ya Clouds TV usiku wa August 4, 2017 Mshenga wa ndoa hiyo anayefahamika kama HK ameeleza hajui sababu kubwa iliyopelekea kuvunjika kwa ndoa hiyo bali ni mvutano wa masuala ya kidini kati ya Nawal na familia ya Nuh Mziwanda hasa mama mzazi wa Nuh aliyedai haitambui ndoa hiyo.

”Ukiacha tofauti zao zilizokuwa zikitokea, kilichotokea sasa hivi wamekuwa wakivutana sana Nuh alikuwa anataka Nawal akakae kwa mama yake na Nawal hataki kukaa kwa mama yake Nuh kwa sababu mama yake Nuh anasema haitambui ndoa yao kwa sababu mwanae ni Mkristo na hajui kwa nini kabadilisha dini.
“Kwa hiyo, hiyo ndoa haitambui. Hiyo ndio kesi kubwa nilikuwa nikivutana nayo sana mpaka dakika ya mwisho niliongea na mama yake Nuh kwenye simu akanambia mwanangu umefanya makosa sana kumuozesha mwanangu bila mimi mwenyewe kujua.” – HK Hypeman.

Msikilize HK kwa kubonyeza Play hapa chini..

Mastaa wa Bongofleva Walivyoimba Mbele ya Rais Museven na JPM, Tanga

$
0
0
August 5, 2017 Rais Magufuli wa Tanzania na Rais Yoweri Museven walikuwa na zoezi la kuweka Jiwe la Msingi kuzindua mradi wa ujenzi wa bomba la mafuta eneo la Chongoleani, Tanga. Bomba hilo ni kutoka Hoima Uganda hadi Tanga Tanzania.

Watu mbalimbali walialikwa na miongoni mwao ni wasanii wa Bongofleva ambao pia walipata nafasi ya kuimba mbele ya Rais Magufuli na Rais Museven.

VIDEO:

Umeshawahi Kulala Njaa Alafu Asubuhi Ukamshukuru Mungu Kwa Kulala Njaa?...Basi Hii Nyimbo ya Maho Charles Inakuhusu

$
0
0

Hakimu Mungu ni Mkubwa Sikiliza na Download Huu Wimbo Hapa chini, Ujumbe mzuri Sana wa kutia moyo....

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariffu musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariffu musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na shariffu musa Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Maalim Hussein Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

+255 629793352 au watsap
+255 679119679

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Babu Tale Anena Kukerwa na ‘Vita’ ya RC Makonda na Ruge

$
0
0
Meneja wa Tip Top Connection, Babu Tale ametoa dukuduku lake baada ya Mh. Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli kuwakuanisha Mkuu wa Dar es Salaam, Paul Makonda na Mkurugenzi wa vipindi Clouds Media Group Ruge Mutahaba kuwataka wamalize tofauti zao.



Tale Kupitia mtandao wa Instagram, ameandika kuonyesha amefurahishwa na hatua hiyo iliyofanyika Mkoani Tanga katika uzinduzi wa Mradi wa Bomba la Mafuta.

“Kama kuna vita ilikua inanikera ni vita hii mmoja Mlezi mwingine mdau mkubwa kwenye kazi yetu basi hata aujui lakufanya mwisho wasiku unaishi kuumia kinyemela. Haya mzee kasema kashikaneni mikono hii inamaana mje tuijenge Dar.”

Na Laila Sued

Diamond, Msami, Jaguar ‘Walipuliwa’ na Ndikumana, Kisa ni Irene Uwoya

$
0
0
Aliyekuwa mume wa muigizaji wa filamu nchini Irene Uwoya, mchezaji Hamad Ndikumana kutoka nchini Rwanda amefunguka mambo kibao ya moyoni kuhusu ndoa yake na mrembo huyo ambapo kwa sasa ameweka wazi dhamira yake ya kumpa talaka.

Ndikumana ametumia mtandao wa Instagram kueleza madudu yote yalikuwa katika ndoa yake huku akiwataja wasanii maarufu kuingilia ndoa yake.

Unasema sina aibu kuandika hayo mitandaoni, wewe uliona aibu kuwa kwenye mahusiano na msami mnyaka miwili ukiwa ndani ya ndoa ? mara ngapi nilikuuliza kuhusu huyo mtu ukalala chini eti uongo ? Mara ngapi nilikuuliza kuhusu kulala na Diamond ukaapa kufa ? ila mwisho wa siku mwenyewe kasema kwanini ilifanya vile. Mimi kama mjinga nilikutetea sana tena baada yako kuwaambia magazeti eti nimezimia kitu ambacho sijawahi kukanusha ila leo nakikanusa sijawahi kuzimia maishani mwangu…

Irene unakumbuka nilikuwa nilivyokuwa taabaaani karibu kufa huku upo mozambike unatanua na Ababuu hata ujali nataka kufa ? Na uliporudi hata ukutaka kuniona,but sikushaanga kwavile nilikuwa najua wewe ndo uliyofanya yote.ulikuja Rwanda kuniona baada ya kuondoka siku mbili yakaja ya JAGUAR ?…

Hayo ni machache kati ya mengi mno aliyoandika Ndikumana, wawili hao walifunga ndoa mwaka 2009 wakati mchezaji huyo akicheza soka hapa nchini, katika ndoa yao wamejaliwa kupata mtoto mmoja wa kiume aitwae Krish.

By Peter Akaro/Bongo5

Mtangazaji wa Clouds FM Kipindi Cha XXL Afunga Ndoa

$
0
0
Baada ya Mtangazaji wa Clouds Media Group, Babuu wa kitaa kuaga ukapela wiki iliyopita, hatimaye mtangazaji wa kipindi cha XXL cha Clouds Fm, Kenedy The Remedy amefunga ndoa.



Kenedy amefunga ndoa leo jijini Dar es salaam na kuudhuriwa na watu wake wa karibu wa familia yake na familia ya bibi Harusi

Kenny anaingia katika orodha ya watu maarufu waliofunga ndoa mwaka huu ikiongozwa na Madam Flora, Mx Carter, Producer Dx, Professor Jay na Babuu wa kitaa.

Kwa niaba ya Team nzima ya Bongo5 tunakupongeza kwa hatua hii muhimu katika maisha yako.

Alichofunguka Shilole Baada ya Soudy Brown Kuwagonganisha na Nawal

$
0
0
Moja ya stori ambayo ilikuwa inasambaa sana na kuchukua headlines kwenye mitandao ni kuhusu Mwimbaji Shilole kudaiwa kuivuruga ndoa ya Nuh Mziwanda na Nawal ambao kwa sasa wameachana…sasa Soudy Brown kawagonganisha.

Kupitia The Weekend Chat Show ya Clouds TV aliwagonganisha Shilole na Nawal ambao wanadaiwa kutoelewana ambapo kwenye mzungumzo hayo Shilole alipigiwa simu na kuambiwa yupo live kwenye kipindi ambacho Nawal alikwepo.

“Mimi sina tatizo, mlikuwa mnasemaje? Mimi Shishi baby namjua bwana wake kuliko anavyomjua huyo bwana wake anayesema amemuacha mimi namjua kuliko anavyojua. Kwa hiyo anavyosema nimekimbia kichambo nimekimbia kitu gani yeye ndio amekimbia ndoa mapenzi ya watoto utayajua tu ngoma ya watoto haikeshi bwana wee. – Shilole

Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story!!!!

Ujumbe wa Rais Magufuli Aliomtumia Rais Kagame Baada ya Ushindi leo

$
0
0
Rwanda Paul Kagame ametangazwa mshindi wa Urais wa nchi hiyo baada ya kushinda katika uchaguzi Mkuu uliofanyika leo August 5, 2017 na kumrudisha madarakani kwa muhula wa tatu.

Baada ya ushindi huo Rais wa Tanzania John Magufuli ametumia ukurasa wake twitter kumtumia salamu za pongeni Rais Kagame akiandika>>>”Nakupongeza Mhe. Paul Kagame kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Rwanda kwa kipindi kingine. Kwa niaba ya Watanzania wote nakutakia mafanikio mema.”

Je Wajua Kuwa Mazoea ni Sumu ya Penzi-Soma Hapa Ujue

$
0
0
Unaweza usijue mtu uliyenaye anakupenda kiasi gani kwa sababu ya mazoea,unachukulia Mapenzi yake,I love you zake,Chakula anachokupikia,Kukufulia nguo,na Zawadi anazokupa,kama mazoea...Ukawa busy kutompa haki yake na penzi analostahili kwa Penzi lake juu yako,ukawa bize na Kokoto zingine na kuiacha dhahabu yako nyumbani imejaa vumbi...Dhahabu hata ijae vumbi vipi haiwezi kuwa na thamani sawa na Kokoto ya Tegeta!Siku atakayoondoka utajikuta una lori zima la kokoto lakini halina thamani,utakuwa umepoteza Dhahabu ya thamani kwa sababu tu hukuijali ilivyopaswa na wengine waliotambua thamani yake waliijali on ur behalf!

Mapenzi hayana Mazoea,hata muwe na miaka H kwenye Mapenzi msiishi kama wazee,hakikisha Mapenzi yenu yananukia upya kama mmeanza jana,kila anayewaona awatamani...Mazoea yataua penzi lenu,Once ukiingiza Mazoea utaona dhabau ni kama bati wakati majirani wanaona jinsi inavyong'aa na wanaitamani...Respect your Lover,Value even the small things he/she does to you,hata akileta boxer ya 800 ya Karume mwambie asante maana atleast ulicross kwenye mind yake akanunua...Mazoea ni adui wa Mapenzi,Kill it!


Nawapenda Sana Wanawake Wanaovaa Khanga Nyepesi.....

$
0
0
Kwa kweli nikiona mwanamke kavaa khanga hisia za kufanya nae ngono zinaongezekaga kwa kasi sana.

Tena umkute mwanamke anayejua kujifunga vizuri khanga aisee dah lazima udate kidume.

Lakini wanawake wengi hii siri hawajaigundua ,wanajifanya uzungu mwingi ,,wengi wanakwepa kuvaa khanga eti wataonekana wazee


Hii siri nimewamegea wanawake mliopo humu ,jifunzeni kujifunga khanga kimahaba mtatupata sana wanaume wakware kama mimi.


Huwa inavutia sana unarudi matembezini unamkuta mpenzi wako kavaa khanga laini na chupii tu ndani kisha anakuja kukulalia mapajani huku akikulembulia macho na kukupa maneno matamu matamu na kukushika shika ndevu na kifua au ukiwa umempakata

By Jordi Pola

Wanaume Mlio na Wake, Acheni Kuwaaibisha Wake zenu

$
0
0
Poleni na uchovu wa mihangaiko. Straight to the point,

Ni hivi uzi zimejaa humu ndani kuhusu wake kwa wanaume kusalitiana ndani ya ndoa but Mara nyingi the victim ni mwanamke na malalamishi kibao huenda kwake endapo akisaliti. No body has a right to betray his or her spouse as long as you took vows willingly.

Leo niko na wanaume wanaosaliti ndoa zao maana mmezidi. Unakuta mwanaume ana kipenseli, kibamia kimesingiziwa ni kikubwa am talking of a small pencil ila anavyokitembeza mtaani utafikiri hana mke ndani.

So you are trying to show the world that your Mrs owes that small pencil of yours. Bora ukitulize ndani for only your wife usiendelee kumuaibisha nje. Wengine very bad performers sekunde mbili nyingi tayari sasa wewe what the hell are you doing with michepuko?

Unajiaibisha na kumuaibisha mkeo kingine my dear brothers what happened to your marinda? Baadhi ya married men hawana marinda jamani mbona mnawaibisha wake zenu? Kama ndo formula yenu ya kufanyana basi don't let the world know about it.

Yaani mmejaa dating sites wanting to be submissive ili mfanywe na wanawake you men are embarrasing bora mfanye hata na mtu moja ila hutotuliza that shimo hehehe na your embarrasing your wives. And what the heck is a married man looking for at the dating sites?

Well most of them are looking for gays to help them with the fantasies that their wives can't do so why did you even marry? Ukioa maanake ur body belongs to your wife only

siyo unazungusha maumbile yako ambayo umeshayaharibu kwa kila mwanamke au mwanaume ili uendelee kufanyiwa shoo ujue unakua unamwaibisha mkeo.

So some factors ndo maana zinasababisha badhi ya wanawake kuchepuka na nyie wanawake tulieni kwenye ndoa zenu. Wengine eti mnawatafuta mabinti wawasaidie kuwapa raha ambayo hupati kwa mume wako.

Sasa kilichokupeleka kwenye ndoa ni nini na hata ukienda kumvulia mwanaume mwingine unamkosesha heshima mumeo. Heshimuni ndoa zenu jamani hasa wanaume cuz tunakoelekea mnakua hamna tofauti na akina James Delicious au akina Jane. Na wengne tulizeni toothpick zenu ndani.

Shilole Adaiwa Kuivuruga ndoa ya Nuh Mziwanda na Nawal

$
0
0
Stori ambayo ilikuwa inasambaa sana na kuchukua headlines kwenye mitandao ni kuhusu Mwimbaji Shilole kudaiwa kuivuruga ndoa ya Nuh Mziwanda na Nawal ambao kwa sasa wameachana…sasa Soudy Brown kawagonganisha.

Kupitia The Weekend Chat Show ya Clouds TV aliwagonganisha Shilole na Nawal ambao wanadaiwa kutoelewana ambapo kwenye mzungumzo hayo Shilole alipigiwa simu na kuambiwa yupo live kwenye kipindi ambacho Nawal alikwepo.

“Mimi sina tatizo, mlikuwa mnasemaje? Mimi Shishi baby namjua bwana wake kuliko anavyomjua huyo bwana wake anayesema amemuacha mimi namjua kuliko anavyojua. Kwa hiyo anavyosema nimekimbia kichambo nimekimbia kitu gani yeye ndio amekimbia ndoa mapenzi ya watoto utayajua tu ngoma ya watoto haikeshi bwana wee. – Shilole

Twitter: Rais Kagame Amjibu Rais Magufuli

$
0
0
Rais wa Rwanda amejibu tweet ya dr John Pombe Magufuli , aliyomwandikia kwa ajili ya kumpongeza kwa kuchaguliwa tena kwa awamu nyingine kuwa rais wa Rwanda.

ANGALIZO; Inaonekana hawa viongozi wawili wametokea sana kuelewana mpaka kufikia hatua Paul Kagame kumwita rais Magufuli ndugu yangu, hongera sana Rwanda na Tanzania kwa mshikamano huu.


Replying to @MagufuliJP
Nakuahidi kuuendeleza Undugu na ushirikiano wetu katika nyanja zote kwa ajili ya maendeleo ya nchi zetu.

 Replying to @MagufuliJP
Kwa niaba ya Wananchi wa Rwanda na kwa niaba yangu binafsi, nakushukuru sana Ndugu yangu Mheshimiwa Rais.

Irene Uwoya na Mumewe Ndikumana Wafika Pabaya....Siri zaidi Zafichuka....Ndiku Akubali Kutoa Talaka

$
0
0
Mcheza mpira kutoka Rwanda Hamad Ndikumana ambaye ni mume wa muigizaji wa filamu za bongo Irene Uwoya, amekubali kumpa talaka Irene ili andelee na maisha yake baada ya kutengana muda mrefu huku akieleza kuchoshwa na skendo chafu za mke wake huyo.

Kwenye ukurasa wake wa Instagram Ndikumana ameandika ujumbe akisema amekubali kumpa Irene talaka, hivyo asisubiri hadi afe ili aolewe, ili ampe uhuru anaouhitaji aweze kufanya mambo yake bila yeye kuhusishwa.

"Ulilia muda kwamba unataka talaka ili uolewe, sina kipingamizi tafuta kila utakacho ulete nitakusainia, usisubiri nife ili uolewe maana naweza kuishi zaidi ya unavyofikiria, Mungu akusimamie", aliandika Ndikumana.

Pia Ndikumana amesema kitendo cha Irene kumnyima kuzungumza na mwanae tangu watengane, ni kitendo kinachomuumiza sana, lakini yote anamuachia Mungu.

"Ungekuwa na roho ya kibinadamu ungekuwa unataka hata niwasiliane na mtoto, ila miaka miwili hujawahi chukua simu unipigie umpe mtoto niongee naye, hata picha tu hutaki nitumia ila naelewa kwa nini unafanya hivyo, na baada ya yote haya hutotaka nimuone tena, lakini ni sawa Mungu yupo na ipo siku", aliendelea kuandika Ndikumana.

Irene na Ndikumana walifunga ndoa mwaka 2009 na kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume, lakini ndoa yao haikudumu muda mrefu na kutengana, hivyo sasa Ndikumana ameonyesha kuridhia kutoa talaka kwa msanii huyo wa bongo movie.

Viewing all 104803 articles
Browse latest View live




Latest Images