Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104807 articles
Browse latest View live

Tume ya Uchaguzi Kenya yakiri Wadukuzi Walijaribu Kuhack Mitambo ya Tume Hiyo

$
0
0

Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati amethibitisha kwamba kulikuwa na jaribio la kudukua mitambo ya tume hiyo.

Hata hivyo, amesema wadukuzi hawakufanikiwa.

Muungano wa upinzani NASA ulikuwa umedai mitambo ya tume hiyo ilidukuliwa siku ya uchaguzi na matokeo yaliyokuwa yakipeperushwa katika tovuti ya tume hiyo yalikuwa 'yamechakachuliwa'.

Je Unajua nini Maana ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke? Soma Hapa Mwanzo Mwisho

$
0
0
Kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa je ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote na kwa wanaume wanaopenda wanawake zao wavae shanga ni kusisimuana tu je mnafahamu zinamaanisha nini haya sasa..

katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka kuna wengine wanananunua rangi kama pink, blue, gold hizi rangi hazina maana kwenye sita kwa sita ni urembo tu kupendezesha kiuno.

Kiuno cha mwanamke hupendeza zaidi na kuvutia kama kikipambwa kwa kukivalisha shanga,Nami nakupa maana na kazi ya shanga hizo....

1: UNAWEZA UKAZIVAA KAMA UREMBO..

Kuna baadhi ya wanawake siku hizi wanapenda kuvaa shanga kama urembo,na kusema kweli kiuno cha mwanamke kikivalishwa shanga kinapendeza na kuongezeka mvuto,Sio tu kwa wanaume bali hata kwa wanawake pia,ukivaa shanga kiuno chako kitapendeza .
Kama unatamani kujaribu,ondoa uoga,kanunue kisha na wewe uvae pia.

2: HUONGEZA HAMU NA MZUKA WA KUKATA KIUNO WAKATI WA KUPEANA RAHA..

Hushawahi kuwaona baadhi ya wanawake wanapokuwa wanacheza ngoma,kiunoni huvaa kitu kinachoitwa kibwebwe ambacho huwafanya wajifeel wepesi wa kukata miuno,baadhi ya wanawake pia huvaa shanga kwa ajili ya kufanya iwe rahisi kwao kukatika na viuno vionekane kweli vinakatika.Na pia wanasema sio tu zinawasaidia kukata kiuno vizuri lakini pia zinaongeza mvuto mwanaume akiangalia kiuno kilichovalishwa shanga kikikatika.



3: UNAWEZA UKAZIVAA KWA AJILI YA KUMPA HAMU YA KUPATA RAHA MWANAUME..

Asilimia kubwa ya wanaume wakiona kiuno kimevalishwa shanga,haijalishi kama ni barabarani au ndani ya basi,Lazima mashine zao zipate shida ya kujizuia kusimama bila kupenda.Ki ukweli ukiziona shanga zipo kiunoni lazima upate hamu kama wewe ni mwanaume wa ukweli,kwahiyo kama huna mazoea ya kuzivaa,na ulikuwa unapenda kufanya au kuongeza kitu kipya kwenye uwanja wenu wa kupeana raha na utamu,basi nenda kanunue shanga,kisha uzivae ukiwa peke yako kwa ajili ya kumsuprise mpenzi wako.
Utajua kama anazipenda kwa jinsi atakavyokuwa bize kuzishikashika na kuzitomasa muda wote mkiwa mnapeana raha.

4: UNAWEZA UKAZIVAA UKIWA UNAMAANISHA KITU.

Kuna baadhi ya wanawake wanazivaa shanga kwa kutumia rangi ambazo zitaleta maana au ujumbe ambao anataka umfikie yule aliyemvalia,mara nyingi huwa inaleta maana au ujumbe utafika kama mwanaume husika atakuwa anaelewa maana ya hizo rangi za shanga.
Zifuatazo ni rangi za shanga na maana yake..

NYEKUNDU....

Kama ukikuta mwanamke amevaa shanga za rangi nyekundu,basi ujue yupo kwenye siku zake ( Hedhi ). Kwa hiyo unaweza kumuuliza ili upate uhakika zaidi usije ukaingiza mashine ukaishia kujichafua.

NYEUPE..

Ukikuta mwanamke amevaa shanga za rangi nyeupe basi ujue kuwa kwa muda huo,Hana tatizo lolote litakalomzuia kukupa wewe raha,kwahiyo upo free kufanya chochote kwenye mwili wake.

NYEUSI..

Ukikuta mwanamke amevaa shanga za rangi nyeusi,basi ujue kuwa yupo tayari kukupa raha,lakini tatizo bado hajanyoa nywele zake za sehemu za siri kwa hiyo waweza kumnyoa kama kweli upo romantic au ukaacha siku hiyo ipite ili anyoe baadaye au kama hamu imekuzidia sana unaweza ukaendelea kama kawaida.

5: UNAWEZA UKAZIVAA ILI UJIONGEZEE RAHA WEWE MWENYEWE WAKATI WA KUPEANA RAHA..

Kiuno cha mwanamke kimeumbwa na hisia za kimahaba,na ndio maana ukikitomasa au ukikipapasa,lazima mwanamke apate raha.Ukiwa unapewa raha na mwanamke aliyevaa shanga,Wakati wa kupashana joto,usisahau kuzichezea shanga zake kiunoni.Kama style mnayotumia kwa wakati huo inaweza kuruhusu mikono yako ifike kiunoni pake basi peleka mikono yako,Chezea shanga kwa kuzipapasa kutoka juu kwenda chini au kutoka chini kwenda juu,au vyovyote unavyoweza.ukifanya hivyo hizo shanga zake zitakuwa kama zinamtekenya,na atapata raha na utamu wa kipekee sana.Utaenjoy makelele na miguno ya kimahaba atakayokuwa anazidisha ili uendelee kufanya mwanzo mpaka mwisho.

N:B

KAMA UKIONA MPENZIO HAFURAHII SHANGA,UNAWEZA KUVAA CHENI,IWE YA GOLD AU SILVER...sababu ni kuwa ni raha sana kukipamba kiuno cha mwanamke.

Kwa Mara ya Kwanza Tazama Hapa Video ya Wimbo Mpya wa ROMA Aliyotoa Leo Toka Atekwe

$
0
0
Baada ya kutekwa na kuachiwa na watu wasiojulikana Aprili mwaka huu, mwanamuziki Roma Mkatoliki ameachia video yake mpya unaokwenda kwa jina la Zimbabwe. Tazama video hiyo hapa chini;

Ada za Vyuo Vikuu Nchini Zashuka......

$
0
0

Agizo la Aprili 15 lililotolewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli alipoitaka Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) iachane na utaratibu wa sasa wa kuwapangia wanafunzi vyuo bali iwaachie wanafunzi wenyewe kazi ya kutafuta vyuo wanavyotaka kwenda kusoma limesababisha vyuo vingi nchini kushusha ada, labda lengo ikiwa ni kujiongezea idadi ya wanafunzi itakaowadahili kwakuwa wengi wao wanaweza wakachagua vyuo vingine endapo gharama za ada ya masomo itakuwa kubwa zaidi ya vyuo vingine.

Hatua hii ya kupunguza ada inaonekana kuwa ni habari njema kwa wazazi na wanafunzi wenyewe lakini yawezekana ikawa ni mwiba mkali kwa wamiliki wa vyuo vikuu nchini kwani sasa wanalazimika kuja na mbinu kadhaa kuhakikisha wanaweza kudahili wanafunzi wengi zaidi ili kuziba tofauti ya kipato watakachopoteza kutokana na wanafunzi ambao sasa wapo huru kujichagulia wanapotaka kwenda kusoma. Uamuzi huu wa kupunguza ada umesababisha athari kubwa kwa vyuo kwani mapato ya baadhi ya vyuo yamepungua hadi asilimia 25.

Baadhi ya mambo mengine yaliyochangia kushuka kwa mapato ya vyuo vikuu na taasisi za elimu nchini ni pamoja na kulazimika kuondoa gharama za uchukuaji fomu ambazo kwa sasa zinatolewa bure kwa waombaji wa nafasi ili kuwavutia wanafunzi wengi zaidi. Katika baadhi ya vyuo, sababu kubwa ya kupunguza ada imetajwa kuwa ni kuwaongezea fursa Watanzania wenye sifa za kujiunga zaidi na vyuo kwa ajili ya masomo ya elimu ya juu.

Aprili 15 mwaka huu, Rais Dkt. John Magufuli alipokuwa akizungumza wakati wa uzinduzi wa mabweni mapya ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam (UDSM) alisema kuwa utaratibu wa sasa wa kuwapangia vyuo wanafunzi unawachanganya wanafunzi na hivyo unapaswa kuachwa.

Msanii Linah Afunguka Ashawahi Kutoa Mimba Mara Mbili

$
0
0
Kabla ya kupata mtoto wa kike linah afunguka kuwa ashawahi kuchoropoa mimba mbili. Na hayo ndo yalikuwa majibu yake alipokuwa akiulizwa na Mtangazaji Soudy Brown >>>

“Yah nisiwe muongo nilishawahi kutoa mimba kipindi cha nyuma, nilikuwa naogopa kwasababu Baba yangu alikataa mtu kubeba mimba nje ya ndoa” “Mimba nimezitoa, siyo mara nyingi ila naweza kusema kama mara mbilii”:-Linah

Kutana Mtaalam wa Tiba Asili Mwenye Uwezo Mkubwa wa Kutatua Matatizo Kwa Nyota na Dua

$
0
0
KUTANA NA TABIBU MWENYE KUBRI KUTOKA KWA ALAH MAALIM ISSA NAJIMU. NI SHARIFU
MWENYE UWEZO WA KUBAINI TATIZO LAKO PUNDE TU UNAPO MFANYIA MAWASILIANO KUPITIA
WASAA NA SIKU KWA MAWASILIANO:-
MAALIM ISSA NAJIMU KUTOKA MKOA WA TANGA MWAMBONI MAGOFU KATA YA NGUVU MALI
NCHINI TANZANIA, NI TABIBU MWENYE KUBRI TOKA KWA ALAH ANATIBU KWA NJIA YA VITABU VYA
QUR-AN, DAWA ZA ASILI PAMOJA NA DAWA ZA KIARABU.
ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE / MKOA WOWOTE KWA MATATIZO YAFUATAYO:-

 ULIJALI (NGUVU ZA KIUME)
 MIGUU KUWAKA MOTO
 KUTAFSIRI NDOTO
 MFARAKANO WA WANANDOA
 MFARAKANO KAZINI
 KUPANDSHWA CHEO
 KUTOA PETE YA BAHATI
 ANAO UWEZO WA KUPANDIKIZA NYOTA YA KUBASHIRI
 KUFUNGUA UZAZI KWA WALIYO FUNGWA KWA NJIA YA USHIRIKINA
 KUTOA VIFUNGO VYOTE VILIVYO FUNGWA IKIWA NI KWENYE MWILI WA BINADAMU /MAJUMBANI NA KWENYE BIASHARA.
 ANA UWEZO MKUBWA WA KUPANDIKIZA NYOTA YA KUMPATA YEYOTE UMPENDAYE KWA
KUMUOA AU KUWA NAYE.
 ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIYE MBALI PIA ALIYE CHUKULIWA KWA NJIA YA MSUKULE
 ANAO UWEZO WA KUUAq KESI SUGU NA PYA NDANI SIKU 7 TU.

 MENGINEYO MENGI ZAIDI YALIYO KUWA SUGU PIGA-
 Mobile; 0717 70 32 41.
 WhatsApp 06226 535419.

Kiongozi wa CCM Arusha aliyejifanya Afisa Usalama wa Taifa mbaroni

$
0
0
Polisi Mkoa wa Arusha inamshikilia Diwani wa Kata ya Sambasha (CCM) iliyopo Wilayani Arusha Vijijini Lengai Ole Sabaya kwa kosa la kujifanya Afisa Usalama wa Taifa.


Sabaya ambaye alikuwa ni Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Mkoa wa Arusha amekamatwa tena na jeshi la polisi na kutakiwa kufikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kufuatia kufutwa kwa kesi yake ya awali ya kujifanya ni Afisa wa Usalama wa Taifa (TISS).

Akizungumza na waandishi wa habari leo ofisini kwake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo amesema ni kweli wanamshikilia Sabaya kwa kosa hilo hilo la kujifanya afisa wa idara ya usalama.

Mkumbo amesema awali alipoachiwa mahakamani polisi waliendelea na upelelezi wa kesi yake na kudai hivi sasa atapelekwa tena mahakamani muda wowote kujibu tuhuma zinazomkabili ikiwa pamoja na kujifanya Afisa Usalama wa Taifa (TISS) lakini pia kughushi kitambulisho cha Usalama wa Taifa.



Lengai Ole Sabaya mwaka jana alifikishwa Mahakamani hapo na kusomewa mashitaka mawili ambapo la kwanza ni kuwa Mei 18 mwaka 2016, katika Hotel ya Sky Motel, Mshitakiwa Sabaya alijifanya Afisa usalama wa Taifa (TISS) na kupata huduma ya kulala katika hotel hiyo, kwa kupata chakula na vinywaji wakati siyo kweli.

Lakini alishitkiwa kwa kosa la pili la kughushi kitambulisho cha TISS kilichosomeka MT.86117 wakati akijuwa wazi kuwa kufanya hivyo
ni kosa kisheria

Upinzani Nchini Kenya Waitaka Tume ya uchaguzi imtangaze Raila Odinga Mshindi

$
0
0
Muungano wa upinzani nchini Kenya (NASA) umeendelea kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais yanayotangazwa na tume huru ya uchaguzi nchini humo (IEBC) huku umoja huo ukitaka tume imtangaze kiongozi wao Raila Odinga kuwa mshindi.


Viongozi wa muungano huo wamesema walikutana na wakuu wa Tume ya Uchaguzi na kuwasilisha rasmi malalamiko yao kupitia barua.

Msemaji mkuu wa upinzani, Musalia Mudavadi amabaye aliwahi kuwa naibu waziri mkuu, amesema upinzani umepata maelezo zaidi kwamba matokeo ya uchaguzi yalivurugwa baada ya kudukuliwa kwa mitambo ya IEBC.

Hata hivyo, Mwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini humo, Wafula Chebukati amekanusha taarifa hizo kwa kusema kulikuwa na jaribio la kudukua mitambo hiyo, lakini halikufanikiwa.

Bw Mudavadi amedai mgombea wa upinzani Raila Odinga ndiye aliyeshinda uchaguzi huo mpaka sasa na tayari ameitaka tume kumtangaza Raila Odinga.

“Twamtaka mwenyekiti wa IEBC atangaze matokeo na kumtangaza Odinga na Kalonzo rais mteule na naibu rais mteule wa Kenya mara moja”,amesema Bw Mudavadi kwenye mkutano na Waandishi wa Habari leo.

Kwa mujibu wa sheria nchini Kenya ni kosa mtu yeyote kutangaza matokeo au kusambaza matokeo ambayo hayajatoka katika tume ya taifa ya uchaguzi kwani tume ndio ina mamlaka ya kutangaza matokeo.

Mkwala wa Rais JPM Waanza Kufanya Kazi..Waziri Mwijage Afungia Viwanda 10

$
0
0
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage, amesema serikali imeanza utekelezaji wa awamu ya kwanza ya kutwaa viwanda walivyopewa wawekezaji na kushindwa kuviendeleza huku viwanda vingine vikiwa chini ya uangalizi wa muda

Waziri Mwijage amesema hayo leo Mjini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika kikao kilichojumuisha wawakilishi wa Wizara za Fedha, Tamisemi na Wizara ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye ulemavu.
Amevitaja viwanda hivyo kuwa ni kiwanda cha korosho Lindi, Mgodi wa Pugu Kaolin, Mkata Saw Mills Ltd, Manawa Ginnery Co Ltd, Kiwanda cha Chai Dabaga, Tembo Chipboard Ltd, Kiwanda cha Nguo cha Kilimanjaro, Mang’ula Mechanical and Machine Tools co. Ltd na Polysacks cha Dar es Salaam.

Aidha, Mhe. Mwijage amesema serikali ambayo awali ilibinafsisha mashirika 341 ya umma ambayo yalijumuisha viwanda, mashamba, makampuni ya biashara, mahoteli na makampuni ya usafirishaji lakini kati ya  hayo, viwanda vilivyobinafsishwa vilikuwa 156 huku viwanda vinavyofanya kazi vizuri ni 62, huku viwanda vinavyosuasua vikiwa 28, wakati viwanda visivyofanya kazi vikiwa 56 na viwanda kumi vikibinafsishwa kwa kuuza mali moja moja.

Vita vya Wahenga....Master Jay Apingana na Mzee Kitime Katika Hili....

$
0
0
Producer mkongwe wa muziki wa bongo Fleva Master Jay, amesema anapingana na kauli iliyotolewa na mkongwe mwenzake kwenye tasnia ya muziki mzee John Kitime, aliposema kwamba hakuna mtu anayeweza kutikisa tasnia ya muziki kwa kazi yake yoyote ile.

Akizungumza na mwandishi wetu Master Jay amesema anatofautiana na Mzee Kitime kuhusu hilo kwani wapo watu ambao walifanya vizuri kwenye muziki na kuandika historia, akimtolea mfano msanii Ferouz kwa wimbo wake wa starehe, ambapo uliweza kumpatia mafanikio makubwa sana.
"Kwa haraka haraka sikubaliani naye, sijui anatumia vigezo gani anaposema hivyo, unajua watu wa enzi hizo mara nyingi wanaangalia vipaji, sasa hivi watu wengi hawana vipaji ila ni wafanya biashara wazuri, kwa mfano kipindi kile hao hao kina Ferouz kwa wimbo mmoja huohuo ulimpa mafanikio makubwa, alinunua Jeep kipindi ambacho hata kununua pikipiki ni ngumu, ndio maana nasema sikubaliani", alisema Master Jay.

Lakini Master Jay aliendelea kusema kuwa kama anaangalia kwa wasanii ambao wanafanya muziki sasa hatokuwa na kipingamizi naye, kwani sasa hivi wasanii wengi wanafanya muziki wa biashara na sio kipaji kama ilivyokuwa zamani, hata kwa nje ya Tanzania.

"Sasa hivi watu wanafanya muziki kwa computer, hata nje wanafanya muziki kwa computer, ukiwa na kipaji siku hizi ukiimba sana watakwambia kaimbe kanisani, hata hawa wanaojifanya 'concious rappers' hawafanyi vizuri, ila kama anamaanisha hivyo ni sawa", alisema Master Jay.

Master Jay ni producer mkongwe kwenye muziki wa bongo fleva, ambaye unaweza  ni mmoja wa waasisi wa muziki huu ambaye alishawahi kutengeneza nyimbo zilizotikisa tasnia ya bongo fleva.

Vita ya Diamond Platnumz na Alikiba Kuamuliwa Nigeria

$
0
0
Vita ya Diamond Platnumz na Alikiba Kuamuliwa Nigeria
Jana usiku majina ya wasanii waliochaguliwa kwenye vipengele mbalimbali vya tuzo za AFRIMA 2017 yametangazwa ambapo kwenye kipengele cha Msanii bora wa kiume kutoka Afrika Mashariki mahasimu Diamond Platnumz na Alikiba wamekutana tena kwenye kipengele hicho na ndiyo Wasanii pekee waliofanikiwa kuingia kwenye kipengele hicho.

Wasanii wengine kutoka Tanzania waliotajwa kwenye tuzo hizo ni Lady Jaydee, Nandy na Vanessa Mdee wote wapo kwenye kipengele cha msanii bora wa kike kutoka Afrika Mashariki.

Upigaji kura wa Tuzo hizo utaanza Tarehe 21 Agosti mwaka huu na zitatolewa tarehe 12 mwezi Novemba huko Lagos nchini Nigeria, Tazama Orodha kamili ya tuzo za AFRIMA 2017 hapa chini.

Zijue Dalili, Athari na Tiba ya Upungufu wa Nguvu za Kiume na Kukosa Hamu ya Tendo na Kuongeza Uume...

$
0
0
ZIJUE DALILI, ATHARI NA TIBA YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA KUKOSA HAMU YA TENDO NA KUONGEZA UUME. Tatizo la kukosa au upungufu wa nguvu za kiume limekuwa kubwa sana duniani kote. Kupungukiwa nguvu za kiume na maumbile madogo ya uume husababishwa na mambo mengi kama KISUKARI, UNENE ULIOPITILIZA, KUJICHUA (MASTER BLASHION), UNYWAJI WA POMBE, HOMONI kushindwa kufanya kazi ipasavyo n.k. Upungufu wa nguvu husababisha tendo la ndoa kutokufanyika kwa kujiamini na kwa usahihi na hivyo kusababisha ndoa na mahusiano kuvunjika. BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa ☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni ☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.
☆Uume kusinyaa katikati ya tendo. Kwa kutumia mimea na matunda @markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye "KISUKARI NA PRESSURE" kwa:-
1.HANDSOME UP ORIGINAL ni kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @250,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 6.5 hadi 7 @150,000/=
3.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari na kuweza kurudia tendo @150,000/=
4.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni @130,000/= BIDHAA HIZI HAZINA MADHARA NA ZIMETHIBITISHWA KIAFYA. KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE KAMA
>Kupunguza unene na manyama uzembe @150,000/=
>Kuondoa mvi milele zisiludi @150,000/=
>Kutengeneza shepu (hips, makalio na mapaja) 200,000/=
>Kupunguza tumbo (kitambi) na nyama za pembeni @130,000/=

Wasiliana nasi Popote ulipo duniani kwa (+255) 0767447444 na 0714335378 

NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.

Gigy Money Amchana Stara Thomas.....Adai Alikuwa Anaimba Ngonjera...

$
0
0
Msanii Gigy Money ameonekana kuwa na mtazamo tofauti na ule uliotolewa na msanii wa kike wa siku nyingi kwenye bongo fleva Stara Thomas, na kusema kuwa si kweli malezi yao ndio yanafanya waimbe muziki usio na maudhui.

Akiongea na mwandishi wetu Gigy Money amesema kuwa muziki wa sasa watu wanafanya kibiashara zaidi, tofauti na ule ambao wao walikuwa wakifanya na kusema kuwa walikuwa wanafanya muziki wa ngonjera.

"Namuheshimu Stara lakini nimpe pole kwa sababu nahisi katika hilo suala hakuwaza sana aliongea tu, siku hizi muziki ujumbe umfikie mtu kwa namna yoyote, na yeye alikuwa anaimba zamani, halafu zamani ilikuwa wanaimba ngonjera mtu anaongea tu, ye alikuwa anaimba nini, angekuwa msanii mkubwa mpaka leo angekuwepo, kwani wangapi walikuwa wanaimba zamani mpaka leo wanaimba", alisema Gigy Money.

Gigy Money aliendelea kwa kusema kuwa wao wanaangalia muziki ambao utafika kirahisi kwa watu na kuuelewa, haijalishi una ujumbe au la, kwani lengo lao kubwa ufike sokoni na wafanye biashara.
"Sasa hivi mtu anaangalia biashara, mziki ni biashara kitu ambacho mtoto anaweza kukariri ndiyoo kitu ambacho mtu mzima anaweza kukariri, lakini mziki ni mzuri, na malezi hayahusiani na nyimbo, msanii ni tofauti na mtu mwengine, siku hizi watu wanaimba kwa brand", alisema Gigy MOney.
Msikilize kwa undani hapa ambapo amefunguka mengi kuhusu wasanii hao wa kike wa zamani akiwemo Lady Jaydee.

Tajiri Namba Moja Duniani Bill Gates Aitengea Tanzania Tsh. Bilioni 777

$
0
0
Tajiri namba moja duniani, Bill Gates ambaye yeye na mkewe wanamiliki Taasisi ya Bill and Mellinda Gates imetenga Tsh. Bilioni 777 kutekeleza miradi ya afya, kilimo na mifumo ya kKielektriniki ya upatikanaji taarifa hapa nchini.

Yusuf Manji Aliwahi Kuvuna Bilioni 150 za Serikali Kwa Mwaka Mmoja tu

$
0
0
TAARIFA mpya zilizopatikana hivi karibuni, zimeonyesha namna mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji, alivyoweza kulipwa kiasi cha shilingi bilioni 150 kupitia zabuni mbalimbali za Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco).

Kwa mujibu wa tangazo la washindi wa zabuni mbalimbali za Tanesco kwa mwaka 2013, Manji; kupitia makampuni yake mbalimbali ya ndani na nje ya nchi aliweza kushinda zabuni hizo kupitia taratibu za Tanesco.

Hizi ni taarifa za karibuni zaidi kueleza namna mfanyabiashara huyo ambaye kwa sasa yuko katika Gereza la Keko kwa tuhuma zisizohusiana na biashara zake na Tanesco, alivyokuwa akishinda zabuni nono za serikali katika miaka ya nyuma.

Kulinganisha na bajeti ya serikali kwa mwaka huu wa fedha, kiwango hicho alichopata Manji kingeweza kufadhili yafuatayo kwa mwaka wa 2016/2017; kujenga barabara 12 za kiwango na urefu sawa na kipande cha barabara kutoka Chalinze hadi Morogoro, kuajiri manesi 18,000 na ni sawa na asilimia 70 ya kiasi cha fedha ambacho serikali inagharamia kujenga Uwanja wa Ndege mpya jijini Dar es Salaam.

Hata hivyo, kwa sababu baadhi ya kampuni za Manji zilizoshinda zabuni hiyo zimesajiliwa katika nchi zinazojulikana kama pepo ya wakwepa kodi (Tax Havens), ni vigumu kujua ni kiasi gani cha kodi kililipwa naye baada ya kuvuna mabilioni hayo ya fedha.

Jina la Manji ni miongoni mwa majina ya wafanyabiashara maarufu hapa nchini ambao wamewahi kutajwa na vyombo vya kimataifa kuwa wamehifadhi ukwasi mkubwa katika akaunti zao zilizo nje ya Tanzania.

Raia Mwema/JF

Tazama Interview ya Harmorapa Aliyofanya na Faiza Ally...Aongelea Wazazi wake na Wema Sepetu

$
0
0
Harmorapa aelezea maisha yake yalivyokuwa na biashara za mitumba alizofanya pia hajawahi ishi na baba na mama kwa kuwa walitengana. kama kawaida yake hajamuacha wema sepetu salama.

Tazama Video:

Diva Afunguka 'Sitakuja Kumsahau Diamond Platnumz'

$
0
0
Diva akiwa katika kipindi cha Ala za Roho amefunguka kuwa hata kuja kumsahau Diamond (Chibu), Unaweza Play Kusikiliza akitililika kwa sauti yake ya Usiku VIDEO:

Wema Sepetu Asema Madawa ya Hospital Kwa Ajili ya Kupata Mtoto Yana Mnenepesha

$
0
0
Wakati akijibu post ya shabiki wake,wema sepetu aweka wazi kuwa madawa ya hospital anayopewa na madokta ili kumsaidia apate mtoto ndio yanayomnenepesha.
Je ni sahihi kwake kuweka wazi jambo hili?

Kutana na Mtabibu wa Asili Allan Shariffu Musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariffu musa Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na shariffu musa Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.
Maalim Hussein Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

+255 629793352 au watsap
+255 679119679

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Mwendesha Mashtaka Aamua Kuachana na Mbunge Lwakatare kuhusu Ugaidi

$
0
0
Dar es Salaam. Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) ameaondoa maombi yake dhidi ya Mbunge wa Bukoba Mjini (Chadema), Wilfred Lwakatare kuhusiana na shtaka la ugaidi dhidi yake.

DPP alikuwa amefungua maombi Mahakama ya Rufani akiomba kibali cha kufungua maombi ya mapitio kuhusiana na uamuzi wa Mahakama Kuu kumfutia Lwakatare mashtaka ya ugaidi.

Maombi hayo ya DPP yalitarajiwa kusikilizwa leo Ijumaa, Agosti 11 na Jaji wa Mahakama ya Rufani, Mussa Kipenka, lakini DPP akaamua kuyaondoa kabla ya usikilizwaji.

Wakili wa Serikali Mkuu, Tumaini Kweka ameieleza mahakama kuwa DPP hana nia ya kuendelea na maombi hayo.

Kutokana na nia hiyo ya DPP, wakili wa mjibu maombi, Richard Rweyongeza amesema kuwa hana pingamizi dhidi ya nia ya DPP kuyaondoa maombi hayo na Jaji Kipenka akatoa amri ya kuyaondoa mahakamani maombi hayo.

Kwa uamuzi huo sasa Lwakatare anabaki na shtaka la kula njama ili kutenda kosa, katika kesi ya msingi inayosikilizwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Awali, Lwakatare na mwenzake walikuwa Ludovick Rwezaura walikuwa wakikabiliwa na jumla ya mashtaka manne likiwemo la kula njama za kufanya vitendo vya kigaidi kwa lengo la kumdhuru kwa sumu aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Mwananchi, Denis Msacky.

Mashtaka mengine yalikuwa ni ya ugaidi, wakidaiwa kuandaa mikutano ya kupanga makosa ya kigaidi na kufadhili vitendo vya kigaidi.

Hata hivyo, Lwakatare kupitia kwa mawakili wake walifungua maombi Mahakama Kuu wakipinga mashtaka hayo yaliyokuwa yakiangukia katika Sheria ya Ugaidi.

Mahakama Kuu katika uamuzi wake uliotolewa na Jaji Lawrence Kaduri ilikubaliana nayo na akamfutia Lwakatare mashtaka hayo ya ugaidi na hivyo kubakiwa na shtaka moja tu la kula njama ambalo haliangukii katika sheria hiyo ya ugaidi.

DPP hakukubaliana na uamuzi huo wa Mahakama Kuu, ndipo akafungua maombi ya kibali kufungua maombi nje ya muda, ili kupinga uamuzi wa Mahakama Kuu kumfutia mashtaka hayo ya ugaidi.

Viewing all 104807 articles
Browse latest View live




Latest Images