Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live

Ningejua Nisingeoa Maishani Mwangu

$
0
0
Mwezi uliopita nilipata nafasi ya kukutana baba yangu ambaye mara ya mwisho tulikuwa tumeonana mwaka 2012.

Tukiwa mimi, yeye na dada yangu mkubwa tukipata lunch baba yangu alitoa kauli moja ambayo nami imenibadili mtazamo wangu.

Alisema eti laiti angejua asingeoa, angeishi kama bachelor maisha yake yote.

Nahisi kauli yake ilitokana na kupishana mara kwa mara baina yake na mzazi mwenzake ambaye ni mama yangu.

Wazazi wangu wameenda age kidogo baba yangu yuko kwenye early seventy's wakati mamangu ni mid sixty's.
Wamekuwa katika ndoa for more than fourty years lakini uwa hawaishi kutofautiana mpaka sisi tumeshazoea hiyo hali.

Hiyo kauli yake imenifanya na mimi niwaze kuwa bachelor maisha yangu yote. 

Nitasaka mtoto but no kuishi na mwanamke wala ndoa..

Picha:Mh.Mbunge Joshua Nassari akiwa katika fungate Tembo camp na Serena hotel Zanzibar.

$
0
0







Picha:Mh.Mbunge Joshua Nassari akiwa katika fungate Tembo camp na Serena hotel Zanzibar.

Diamond Kaniponza Jamani

$
0
0
Jana bwana nilikua na shemeji yenu tumekaaa mahali tunaangalia world cup ile mechi ya saa nne basi bwana nikahisi kuanza kuboreka nikachukua headfon nikawa nasikiliza mziki yeye akiwa busy na mpira,

Na yeye akahisi mimi kuboreka akachukua headfon na yeye asikilize kile nichokua nackiliza ,wakati anachukua ulikua wimbo mpya wa Diamond unapigwa,

Basi bwana mara tukaanza kuongea mambo ya wanamuziki,nikawa namsifia Diamond bwana kwamba bwana mdogo anajitahidi ameanzia mbali ila he is somewhere now anajuhudi kwenye mziki yeye akawa anamponda .

kweli sijui hajui kuimba sijui mshamba sisi akataka na mimi ni msupport,alivyoona nampa fact eeeee niliamsha hasira za kipare ,

Ananiambia kama unampenda huyo Diamond si akakuoe sasa umefuata nini kwangu,

kiukweli sijui mambo ya Damond kunioa yalifikaje,aliongea sheet nyingi kwakweli,yaani mpaka sahizi kanuna hata sms ya morning sijapata na si kawaida yake yaani,

Hebu niambie wakaka hiiii inakuaje maaana simwelewi kwakweli,

Na anajua mimi na celebrity sio kivile sina hata access nao kwamba nitaweza hata kua karibu nao ,atakua amepatwa na nini huyu mwanaume?

Monalisa Awajibu Waliodai Anachukua ‘pole Asizostahili’ Kufuatia Kifo cha George Tyson

$
0
0
Muigizaji wa filamu nchini Yvonne Cherry maarufu kama Monalisa ambaye pia aliwahi kuwa mke wa marehemu George Tyson aliyefariki dunia kwa ajali ya gari wiki kadhaa zilizopita, amefunguka kupitia Instagram kuelezea kusikitishwa kwake na ‘majungu’ ya watu kuwa hakustahili kupewa pole kufuatia msiba huo.

Monalisa ameandika:

Let me clear the air.ni hivi,pamoja na ujinga tulioufanya mimi na George ktk maisha yetu,kwa macho ya kibinadamu utasema alikuwa na mke mwengine..bt kwa macho ya kiMungu mimi ni mke halali wa George Otieno Okumu aliyelala.anayesema mke wa tyson alijifungia ndani mm nikawa nachukua pole zisizo zangu,dah!kwanza wanawake walikuwa wawili ndani sio mmoja.na wote walijifungia ndani,kwanini?ni wakristo na wanaijua dini.waombolezaji waliokuwa wakinipa pole mimi,ni kwann?jiulize kabla ya kuropoka halafu ww ni mwanamke kuna siku yatakukuta.nilienda kutimiza wajibu wangu kama mke,ningelia peke yangu kwetu mngenisema sana,nimekaa msibani naambiwa nachukuwa pole za bure.wacha nikukumbushe maandiko…Alichokiunganisha Mungu?….;kilichofungwa duniani?…..;nikupende,nikutunze hadi kifo?….. sasa kifo kimetutenganisha.siku ya mwisho unadhani George ataitwa na nani?pamoja na mambo yake yote wacheni nimlilie he was a good father kwa Sonia wangu esp.miaka 5 ya mwisho wa uhai wake.acheni nimlilie he was my best friend 1998-2014.nimeshare nae kitanda 2000-2006.nitakuwa mtu wa aina gani nisiwe na uchungu?ukiona mwanamke mwenzio kaishindwa ndoa usimcheke jua kuna sababu..na ni fundisho kwa wachukua waume za watu wote mjini,mume akiumwa huwa anarudi kwa mkewe,na akifa?and for ur info..msianze anajifanya mke ss hv ili apewe mali..Sonia ni mali kubwa sana alioniachia am so happy.waaache wao wanaolilia kupewa pole wapiganie.mwenyewe aliyetafuta kafa kaziacha sembuse tuliobaki?niacheni nimlilie,waacheni fans wangu walie na mm.

George Tyson anatarajiwa kuzikwa Jumamosi ya June 15 kwao Kisumu Kenya

Aliyekuwa Mkurugenzi wa Tanesco Amkana Mkewe Kortini

$
0
0
ALIYEKUWA Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco), Mhandisi William Mhando, ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, kuwa mshitakiwa wa pili (Eva Mhando) katika kesi ya matumizi mabaya ya madaraka, si mke wake.

Mhandisi Mhando alitoa madai hayo jana mbele ya Hakimu Mkazi, Frank Moshi, alipokuwa akisomewa maelezo ya awali katika kesi hiyo na Wakili wa Taasisi ya Kuzuia na Kupamba na Rushwa (Takukuru), Leonard Swai.

Mhando alikiri maelezo kuwa alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco tangu Juni 2010 hadi 2012, lakini alikana maelezo kuwa mshitakiwa wa pili (Eva Stephen Mhando) ni mkewe ambaye pia ni Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Santa Clara Supply Limited.

Kwa upande wake,  Eva alikubali kwamba aliwahi kuajiriwa na Tanesco kuanzia mwaka 1982 hadi 2009, mshitakiwa wa tatu, France Mchalenge pia alikubali kwamba alikuwa mwajiriwa wa shirika hilo, wakati uchunguzi unafanyika alikuwa mhasibu mkuu na alikuwa mjumbe wa Kamati ya Tathimini ya Zabuni namba Pa/001/11/HQ/G/011 ya vifaa vya ofisi, ikiwemo printa na kompyuta.

Swai alidai mshitakiwa wa nne, Sophia Misidai aliajiriwa na Tanesco na wakati uchunguzi unafanyika alikuwa mhasibu mkuu na mjumbe wa kamati iliyofanya tathimini ya zabuni ya kusambaza vifaa vya ofisi katika shirika hilo. Mshitakiwa alikubaliana na maelezo hayo.

Mshitakiwa wa tano, alikubali kwamba alikuwa mwajiriwa wa Tanesco na kuwa wakati wa uchunguzi alikuwa ofisa usambazaji na alikuwa mjumbe wa kamati iliyotathimini zabuni hiyo.

“Mheshimiwa Hakimu, Kampuni ya Santa Clara Supply Ltd inamilikiwa na Eva Stephen William, Fred William na Veronica Stephen Mhando, ilipata zabuni ya kusambaza vifaa vya ofisi yenye thamani ya sh milioni 884.5.

“Mhando akiwa Mkurugenzi Mkuu wa shirika hilo na Eva akiwa Mkurugenzi Mkuu wa Santa Clara Supply Ltd alisaini barua ya kuipa zabuni huku akijua wazi kwamba kampuni hiyo inamilikiwa na familia yake, pia hakujitoa kuonyesha kwamba ana maslahi na kampuni hiyo,” alidai.

Wakili Swai aliendelea kueleza kuwa Mhando aliwapa zabuni hiyo mshitakwa wa pili, Eva na watoto wake kinyume na utaratibu, walitaka kuiuza kampuni hiyo kwa mtu mwingine wakati tayari walishapata zabuni ya kusambaza vifaa hivyo vya ofisi, mshitakiwa wa kwanza (Mhando) alitumia madaraka yake vibaya kwa kushindwa kuonyesha kwamba ana maslahi binafsi na Kampuni ya Santa Clara,” alidai Swai.

Swai alidai kwamba Eva alighushi taarifa za ukaguzi wa hesabu za Kampuni ya Santa Clara ya mwaka 2007/2008 akionyesha kuwa Kampuni ya Finx Capital House ilifanya ukaguzi.

Pia mshitakiwa huyo alighushi taarifa ya kuhamisha hisa akionyesha hisa 200 zenye thamani ya sh 10,000 zilihamishiwa kwa Eveta Shing’oma.

Eva alidaiwa kutoa taarifa ya ukaguzi wa fedha kwa Katibu wa Bodi ya Zabuni wa Tanesco akionyesha zilifanyiwa ukaguzi Desemba, mwaka 2010, akajipatia sh milioni 37.7 kutoka kwa shirika hilo.

Swai alidai Mchalange, Misidai na Naftali Kisinga walitoa taarifa katika Bodi ya Zabuni kuonyesha kwamba Kampuni ya Santa Clara walikuwa wana sifa ya kupata zabuni hiyo, walipata mkataba wa kusambaza vifaa vya ofisini wenye thamani ya sh 884,550,000. Washitakiwa hao walikana maeneo yote hayo.

Wakili Swai alieleza upande wa jamhuri unatarajia kuleta mashahidi 14 na wanawasilisha mahakamani vielelezo 18.

Hakimu Mushi aliahirisha kesi hiyo hadi Julai 29 na 30 mwaka huu, itakapokuja kwa ajili ya kuanza kusikilizwa.

Picha: Hatimaye Mwili wa Tyson Wazikwa leo Nchini Kenya

$
0
0
Mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafirishwa kwao,Kenya umezikwa siku ya leo kijijini kwao Siaya  nchini Kenya.


Mtoto wa Marehemu, Sonia akilia kwa uchungu wakati wa kuweka udongo katika kaburi la baba yake …

Ali Kiba Afunguka Sababu Zilizomfanya Awe Kimya Kwa Miaka Mitatu

$
0
0
Kwa muda mrefu wafuasi wa mwanamuziki Ally Salehe Kiba maarufu Alikiba, wamekuwa wakijiuliza sababu zilizomfanya mwimbaji huyo kukaa kando ya muziki kwa muda mrefu.

Alikiba ambaye aliachia wimbo wake wa mwisho “My Everything” Novemba 2012 hajawahi kuachia tena wimbo mwingine, licha ya kutoa kazi kadhaa alizokuwa akishirikishwa na mdogo wake msanii Abdu Kiba ukiwamo “Kidela”.

Starehe ilikaa kitako na msanii huyu aliyewahi kutamba na wimbo wake wa kwanza “Sinderela” mwaka 2007, nyumbani kwake Kunduchi Beach na ambapo aliainisha mambo makubwa matatu yaliyomfanya asimame kwa muda kuachia kazi za muziki.

Kuna mambo matatu ya msingi niliyokuwa nayafanya kwa kipindi hiki cha miaka mitatu. Awali ya yote niliamua kusimama ili kumlea mwanangu, malezi ya mtoto yalinifanya niegemee huko hadi umri wake usogee ndipo nirudi kwenye muziki,” anasema pasipo kufafanua vizuri iwapo ni wa kike au wa kiume.

Anasema familia yake ni kitu chenye uthamani mkubwa kwake ndiyo maana alijitoa ili kuhakikisha inakaa sawa.

Jambo la pili ambalo najivunia kulifanikisha kwa kipindi hiki, ni kuweza kumsimamisha sehemu nzuri mdogo wangu Abdu Kiba katika ramani ya muziki. Hili lilikuwa suala kubwa na nyeti kwangu kuhakikisha anatimiza ndoto zake nilijitahidi kumpa nyenzo ili na yeye ajulikane kwani nilimuona ana kipaji kikubwa,” anasema.

Jambo la tatu analifafanua kuwa ilimchukua muda kufikiria namna atakavyowaacha wasanii wengine Tanzania, na wao wajulikane ndani na nje ya nchi.

Tatu niliona nitulize kichwa kidogo kwa kufanya biashara na pia kuwaacha wasanii wengine na wao kipaji chao kionekane na kuwapa nafasi ya kufanya vizuri ndani na nje ya nchi, nashukuru hilo limefanikiwa tena kwa kiasi kikubwa, kwa kuwa kwa kipindi hicho wameibuka wengi ambao wameweza kufanya vizuri na kwa wale ambao walikuwepo kitambo wamepanuka zaidi kifikra,” anasema Alikiba.

Anasema kwa kipindi cha miaka mitatu aliyopumzika, amejifunza mengi na pia ameona kumekuwa na mapungufu katika tasnia ya muziki wa kizazi kipya na maendeleo pia.

“Mapungufu yamekuwepo, lakini kuna mafanikio mengi pia, kuna baadhi ya wasanii wamefanikiwa kufanya muziki mzuri na kuutangaza kimataifa na wengine wametengeneza kazi nzuri, lakini kinachonitisha ladha ya muziki wetu asili hasa ya bongofleva, imepotea tumeanza kutengeneza muziki wenye utofauti mkubwa sana na kipindi cha nyuma, kwa kuiga ala ya muziki wa Nigeria na mataifa mengine,” anasema Alikiba.

Albamu mbili, singo mpya wiki ijayo

Alikiba aliyetamba na wimbo “Dushelele” miaka miwili iliyopita, ameweka wazi ujio wake wiki ijayo akiwa chini ya kampuni kubwa barani Afrika ambayo hajataka kuiweka wazi, anasema alikuwa ‘chimbo’ kwa takribani miaka miwili akiandaa kazi mpya ambapo amefanikiwa kukamilisha albamu mbili na punde kuachia singo mpya.

KOMBA Amwagia Misifa Mkewe…Asema Hajawahi Kuona Mwanamke Mzuri na Mwenye Imani Kama Mkewe

$
0
0
Sijawahi  kuona  mwanamke  mzuri  na  mwenye  imani  kama  mama  Komba ( Salome ) jamani, unajua  kulea  watoto  ambao  mama  zao  wapo  duniani  ni  kazi  sana,” alisema  Komba  katika  kipindi  cha  mkasi  kinachorushwa  na  East  African  Television

Mheshimiwa  Komba  alisema  ana  watoto  tisa  wakiwemo  wa  ndani  ya  ndoa  na  nje ya  ndoa  na  wote  wamelelewa  na  mke  wake  Salome  na  ndio  maana  anampenda  na  kumjali  kila  siku  za  maisha  yake  kwani  anastahili  kuitwa  mwanamke  haswa…..

John Komba  aliyasema  hayo  siku  chache  baada  ya  kuonekana  picha  zake  mbaya  za  kimahaba  alizopiga  akiwa  na  msichana  anayedaiwa  kuwa  ni  mpenzi  wake…..

Katika  mahojiano  na  kipindi  cha  Mkasi, John Komba  aliongelea  mambo  mengi  na  kusema  kuwa  ukiwa  kiongozi  na  mtu  mkubwa  nchini  ni  lazima  uzushiwe  mambo  yakiwamo  maradhi  makubwa  na  kashfa  mbalimbali…..

Sioni  ajabu  kuzushiwa  mambo  ambayo  sijayafanya  kwani  wanamuziki, wanasiasa  na  hata  viongozi  mbalimbali  wanakutana  na  mambo  ya  kuzushiwa  kwa  kuwa  wanajua  wakifanya  hivyo  watawaangusha  kutokana  na  vyeo  vyao  lakini  bado  tupo  bana,” alisema  Komba  huku  akicheka.

Komba  aliendelea  kuzungumza  kuwa  mwaka  2015  utakuwa  mwisho  wake  kuimba  na  anakusudia  kuwarithisha  vijana  wapya….
Mheshimiwa  Komba    alihitimisha  kwa  kusema  kuwa  katika  maisha  yake  hafikirii  suala  la  kufa  kwani  kifo  kipo  tu  hata  ukifikiria  na  kukaa  kuwaza  jambo  hilo  ni  kujitafutia  mkosi  tu  katika  maisha  yako.

Team ya Mpira ya England Yaanza Vibaya Kombe la Dunia

$
0
0
KIKOSI cha England kimeanza vibaya Fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil baada ya kupokea kipigo cha bao 2-1 kutoka kwa Italia usiku huu. Katika mechi hiyo ya kundi D wafungaji wa Italia: Marchisio 35, Balotelli 50 na England Sturridge 37.

Picha: Lulu Michael Afunga Ndoa ya Siri Azianika Picha za Ndoa Yake, 'Already taken'

$
0
0
Elizabeth Michael aka Lulu is already taken! Na sasa ni mke halali wa ndoa kwa ndugu yetu….!

Sentensi niliyoiandika hapo juu inaweza kuwa rahisi na ya kweli moja kwa moja kwa kuangalia picha za harusi zilizowekwa na muigizaji wa kike Elizabeth Michael aka Lulu kwenye Instagram akiwa ametupia shela na anapewa pongezi kwa kuamua kufunga ndoa.

Lakini ni  vigumu sana kuthibitisha kuwa amefunga ndoa kwa kuwa inawezeakana kabisa kuwa alifunga ndoa kwenye filamu yake mpya inayokuja ila ameamua kushare picha kwenye Instagram kuvuta umakini wa mashabiki wake kuupokea mzigo mpya.

Lulu amepost picha kadhaa Instagram akiwa na shela na kuonesha hatua anazopiga kwa ajili ya kusubiri ndoa yake na kuandika ‘Abt to be some1's Only’, kwenye post ya picha inayomuonesha kwa nyuma.

Mwisho aliweka picha akiwa tayari kwa ajili ya kuvishwa pete na akaandika, “The I do Part”.

Mashabiki wake walimwagia sifa na hongera lakini wengi walichukua tahadhali kama niliyoichukua mimi kuwa huenda ni filamu yake mpya.

“Kwanini lakini unaturusha roho iv? get serious bas” Aliandika shabiki wake mmoja.

Ni vigumu kutenganisha maisha ya uigizaji na maisha ya kweli kwa kuangalia picha. Tusubiri tuone.

Mhitimu wa Chuo Avua Nguo Zote Jukwaani Alipoitwa kupewa Cheti za Kumaliza Chuo

$
0
0
Wasomi wanapokutana hasa katika zoezi la kutunukiwa cheti kama kielezo cha uhitimu wa ngazi fulani kuna vitu huwezi kuvifikiria kama vitatokea hata kidogo.

Katika Jack Britt High School, North Carolina, Marekani wanafunzi mmoja amewaacha hoi mamia ya watu waliohudhuria sherehe ya kutunukiwa vyeti (graduation) baada ya kupanda jukwaani kupokea cheti chake na ghafla akavua johon lake na kubaki na boxer.

Baada ya kuvua joho alinyoosha mikono yote miwili juu kama mwanamieleka anayetamba. Lakini haikuchukua round wanausalama wakamdhibiti na kumuweka chini ya ulinzi.

Kwa mujibu wa The Huffington Post, kijana huyo alinyang’anywa diploma yake na hivyo hakukabithiwa cheti.

Hata hivyo bado anahesabiwa kama mtu aliye maliza masomo yake na kuhitimu licha ya kuwa hana kielelezo cha elimu yake.

“Shule yetu imefanya jitihada kubwa. Hapo zamani watu waliohudhuria walikuwa wenye vurugu wakati wa graduation. Tumefanya jitihanda kuwafanya watu waheshimu wanafunzi. Huyu kijana amechagua kutoonesha heshima kwa wanafunzi wenzake.” Alisema Dr Frank Till, mwalimu wa chuo hicho.

KUTOKA BRAZIL: Kumbe Timu ya Taifa Brazil kuna Usimba na Uyanga

$
0
0
UNASHANGAA mashabiki wa Simba wakiwa wako kimya pindi mpira unapokuwa miguuni mwa Kevin Yondani wa Yanga katika mechi ya Taifa Stars? Unashangaa mashabiki wa Yanga nao wakiwa kimya pindi mpira unapokuwa kwa Amri Kiemba wa Simba katika mechi ya Stars? Basi wala usishangae sana.

Hata Brazil ipo vivyo hivyo. Jana Alhamisi kulikuwa na pambano kati ya Brazil na Croatia. Hali hiyo ilitazamiwa kuwepo pindi mambo yanapokuwa magumu kwa upande wa Brazil. Nilikuwa nimekaa kijiwe kimoja cha jioni chenye mashabiki wa nchi mbalimbali na nikapata simulizi.

China Keya, kiungo wa zamani wa Pan Afrika ambaye anaishi hapa amenisimulia mambo yanavyokwenda ovyo pindi maisha ya timu ya taifa ya Brazil yanapokuwa magumu uwanjani, hasa timu yao inapocheza katika Jiji la Sao Paulo.

“Timu ya taifa ya Brazil inakuwa katika wakati mgumu pindi inapocheza soka hapa Sao Paulo. Mashabiki wa soka wa Sao Paulo hawana uvumilivu hata kidogo. Mechi ikifika dakika ya 20 bila ya bao, wanaanza kuwazomea taratibu wachezaji wao,” anasema China. “Lakini pia mashabiki wa hapa wakati mwingine wanawashangilia wachezaji kutokana na timu wanazochezea. Kwa mfano, kama kipa akikaa Julio Cesar na timu haifanyi vizuri basi wanaanza kulitaja jina la kipa Rogerio Ceni. Kila Cesar akigusa mpira wanalitaja jina la Ceni.”

“Ceni ni kipa wa Sao Paulo, timu inapocheza katika Jiji la Sao Paulo ndiyo wanamkumbusha kocha kwamba Ceni ndiye anayepaswa kukaa langoni na si kipa mwingine yeyote. Maisha ya Brazil jijini Sao Paulo ni magumu.

“Wakati mwingine mpira akiugusa Neymar wanazomea na kulitaja jina la Lucas Moura (wa PSG). Ni kwa sababu Lucas amezaliwa eneo hili hili la Sao Paulo. Neymar amezaliwa Sao Paulo lakini yeye anatoka kitongoji cha Santos ambacho kipo kando kidogo.

“Fred naye aliwahi kufunga bao katika mechi ya kirafiki na kwenda upande wa mashabiki wa timu pinzani ndani ya Brazil huku akiwaonyesha ishara ya sikio kuwasikiliza kama wanaweza kunyamaza na kelele zao za kumzomea.” Anamaliza China.

Hapa simulizi zinazidi kunoga zaidi. Majuzi Neymar alilazimika kuongea na vyombo vya habari vya Brazil kuwasihi raia wa Brazil kuacha kushangilia wachezaji kutokana na timu wanazochezea.

Kuelekea katika mechi yao ya jana dhidi ya Croatia, ungeweza kuona ni kwa kiasi gani Wabrazili wanaipenda timu yao. Mazungumzo yote yalikuwa ni namna ya kuifunga Croatia.

Biashara kubwa zaidi kwa sasa ni jezi namba 10 ya Neymar, rangi za kuchora bendera ya Brazil usoni, tarumbeta zao ambazo hazina kelele sana kama Vuvuzela.

Unadhani Waingereza wanaipenda na kuipamba sana timu yao? Hapana. Hawawazidi Wabrazili. Tatizo kubwa la Tanzania na ukanda wa Afrika Mashariki ni kupokea taarifa nyingi kutoka katika vyombo vya Uingereza. Lakini Wabrazil ni kiboko!

Timu inapokwenda kula chakula cha mchana kituo maarufu cha Televisheni cha hapa, Global Sports kinaweka tukio hilo laivu. Timu ikiwa inatoka katika korido ya hoteli kupanda katika basi kwa ajili ya kwenda mazoezini tukio hilo linawekwa laivu katika televisheni.

Msanii Bongo Movies Atangaza Kutaka Mume Mwenye Pesa Nyingi na si Mbabaishaji

$
0
0
MWIGIZAJI wa kike wa filamu Kibongo Husna Chobis ‘Awena’ amesema kuwa baada ya kurudi katika biashara zake nje ya nchi yupo tayari kuolewa lakini kwa mwanaume mwenye fedha za kutosha na siyo mbabaishaji.

Akifafanua zaidi, msanii huyo amesema hawezi kuolewa na mwanaume ambaye hawezi hata kumiliki Bajaji.

Pia, amedai kwamba mwanaume mwenye fedha za kubadilisha mboga hana mpango nao.

“Kuzaliwa katika familia ya kimaskini ni bahati mbaya, lakini kuchagua mume maskini ni uzembe na hustahili kusamehewa,” alisema.

Aidha aliongeza kuwa kutembea kwake amejifunza mambo mengi na kuona mastaa wa Ulaya huwa wanaolewa kwa maslahi.

Mwigizaji huyo aliyejizolea umaarufu katika Filamu ya Ndase, alisema moja ya matatizo ya ndoa za Kitanzania au Kiafrika ni kukosea katika uchaguzi na kuingia katika uhusiano.

“Wengi huishia kupotezeana muda kisha kutengana kutokana na kuwa uzembe wa kukosea katika uchaguzi wa mume au mke,” alisema.

Je Unapenda Kushiriki Kwenye Shindano la Big Brother Africa Mwaka Huu? Hii Inakuhusu

$
0
0
Kampuni ya MultiChoice Africa inayoandaa mashindano ya Big Brother Africa imetangaza tarehe ya usaili wa shindano hilo mwaka huu katika nchi mbalimbali za Afrika.

Waandaaji hao wameitaja nchi ya Rwanda mwaka huu kuwa miongoni mwa nchi zitakazokuwa na washiriki katika shindano hilo mwaka huu ambapo mshindi ataondoka na kibunda cha $300,00.

Nchi zitakazoshiriki mwaka huu ni Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Afrika Kusini, Sierra Leone, Nigeria, Botwasana, Malawi, Namibia, Ghana, Zimbabwe na Ethiopia.

Kwa Tanzania, usaili utafanyika July 11 na July 12 jijini Dar es Salaam (New Africa Hotel).

Ni muda wa kuona sarakasi nyingine na kuibua mengi mapya yakiwemo mahusiano ambayo mengine huwa na nguvu hata baada ya kumalizika kwa shindano hilo.

Mwaka jana mshiriki wa Namibia, Dillish Mathews aliibuka mshindi wa msimu huo ulipewa jina la The Chase.

KUTOKA BRAZIL: Ronaldo kivutio, lakini Balotelli zaidi Brazil

$
0
0
DUNIA nzima inampenda Mario Balotelli. Kuna kila supastaa wa soka  hapa nchini Brazil kwa sasa, lakini ukiondoa Neymar na wachezaji  wenzake wa timu ya taifa ya Brazil, hakuna anayefikia nyota ya Mario Balotelli.

Ndani ya ardhi ya Brazil kwa sasa kuna Cristiano Ronaldo, Lionel Messi,  Robin van Persie, Arjen Robben, Diego Costa na wengineo, lakini ukizunguka katika mitaa ya Sao Paulo, Wabrazili wanavutika zaidi  kumwangalia Balotelli. Wenyewe wanamwita ‘Maruku’ wakimaanisha kichaa.

Popote ambapo kikosi cha Italia kinapoonyeshwa katika televisheni watu wote waliopo katika baa mbalimbali za Sao Paolo wanakaa kimya na kusikiliza kinachozungumzwa kuhusu Balotelli ambaye ndiye anazungumziwa kwa muda mrefu na watangazaji.

“Tungependa kuwa na mchezaji kama yeye kikosini kwetu Brazil.  Anachangamsha timu. Unamkumbuka Edmundo? Alikuwa kama yeye.  Katika timu lazima uwe na mchezaji kichaa,” anasema dada mmoja  mhudumu wa baa ya Carcio de Italiano, Suzanne Almeda.

Mtu mmoja anajitokeza kumsifu Balotelli lakini hapo hapo anatengeneza  laana kwa Wataliano wasichukue ubingwa wa Kombe la Dunia kwa sababu wakichukua wataifikia Brazil kwa idadi ya mataji hayo.

Ikumbukwe kuwa katika fainali, Italia wamechukua mara nne  wakiifukuza Brazil ambayo imechukua mara tano. Wajerumani nao  wanaombewa dua mbaya na Wabrazili wa hapa kwa sababu wamechukua  mara tatu.

Cristiano Ronaldo anapendwa kwa sababu kubwa moja. Anatoka katika  nchi ambayo iliwatawala na kuwaachia lugha ya Kireno ambayo ni Ureno. Kwa sababu Ronaldo anazungumza lugha wanayoielewa huku  kukiwa na Wareno wengi nchini Brazil, raia wa Brazil wanamuona kama mwenzao.

Sijachunguza kwa umakini, lakini nadhani naweza kuja na mjadala huu  siku zijazo ukiendelea kusoma Mwanaspoti, nadhani Messi atakuwa  anachukiwa kwa sababu anatoka katika taifa lao pinzani, Argentina.

WEMA Anasa Mimba ya DIAMOND…Diamond Apagawa Kwa Furaha

$
0
0

‘Beautiful  Onyinye’  na  kipenzi  cha  Diamond, Wema  Sepetu  sasa  ni  mjamzito. Baada  ya  misukosuko  ya  muda  mrefu  ikiwemo  kuporwa  na  wasichana  wenzake  penzi  lake  la  Diamond, sasa  Wema  amepata  kile  alichokuwa  akikililia  kwa  muda  mrefu….

Chanzo  cha  habari  hii  kutoka  kwa  marafiki  wa  Diamond  kimedai  kuwa  Wema  amenasa  ujauzito  na  kugundulika  hivyo  walipokuwa  Afrika  Kusini  kwenye   tuzo  za  MTV-MAMA na  kumfanya  Diamond  achanganyikiwe  kwa  furaha….

Kwa  mujibu  wa  chanzo  hicho, inadaiwa  kuwa  Diamond  kwa  sasa  kawa  kama  mtu  aliyepagawa  kwa  furaha  kutokana  na  taarifa  hizo  njema  na  tayari  ameshaanza  maandalizi  ya  kijacho  chake….

Kugundulika  kwa  ujauzito  wa  Wema  ni  baada  ya  kuanza  kujisikia  vibaya  walipokuwa  Afrika  Kusini  ikiwemo  kichefuchefu  na  kizunguzungu  alipokuwa  hotelini  alipofikia  na  kulazimika  kwenda  hospitali  kwa  uchunguzi  zaidi….

Inasemekana  kuwa  Wema  alisindikizwa  na  Aunt  Ezekiel  kwenda  hospitalini  waliyekuwa  naye  huko  Afrika  Kusini  kumpa  sapoti  Diamond  na  madaktari  ndiyo  waliomjuza  kuwa  anakiumbe  tumboni  cha  wiki 7

Taarifa  za  madaktari  hao  zilimfanya  Wema  awe  kama  mwehu  aliyepagawa  na  kurudi  hotelini  kwa  mumewe  Diamond  huku  akiwa  na  tabasamu  ambalo  hapo  awali  Diamond  hakuwahi  kuliona….
Inasemekana  kuwa  mpaka  sasa  siyo  Diamond  wala  Wema  aliyewaambia   wazazi  wake  kuhusiana  na  mimba  hiyo  zaidi  ya  watu  wa  karibu  wa  wawili  hao  waliowasindikiza  Afrika  Kusini.

AUNT EZEKIEL: Bado Sijaona Mwanaume wa Kunizalisha

$
0
0
Wakati  rafiki  yake  kipenzi, Wema  Sepetu  akidaiwa  kunasa  mimba  ya  Diamond , Aunt  Ezekiel  yeye  amesema  bado  hajaona  mwanaume  anayeweza  kumtia  mimba  na  hatimaye  kuitwa  baba  wa  watoto  wake.

Akipiga  stori  na  mwanahabari  wetu , Aunt  Ezekiel  amedai  kuwa  kuna  wakati  unaweza  kumuona  yupo  kwenye  ndoa  au  uchumba  lakini  haimaanishi  kuwa  kuwepo  katika  mazingira  hayo  ndo  anaweza  kuzaa  au  kushika  mimba  kwani  suala  hilo  kwake  ni  kubwa  sana  na  hajafikiria  kama  linaweza  kutokea  kwa  sasa…

“Siyo  kwamba  sina  uwezo  wa  kubeba  mimba, hapana, suala  kubwa  hapa  ni  kwamba  bado  sijaona  mwanaume  wa  kunizalisha.

“Ni  kweli  nilikuwa  kwenye  ndoa  lakini  sikutaka  kubeba  mimba  na  ndo  maana  hadi  sasa  hivi  nipo  kama  ninavyoonekana,” alisema  Aunt  Ezekiel.

Ivory Coast Walitoa Kimasomaso Bara La Afrika Kombe la Dunia, Haya Ndio Motokeo Dhidi ya Japan

$
0
0

Bara la Afrika leo alfajiri limetupa karata yake ya pili kwenye michuano ya kombe la dunia, kwenye mchezo kati ya Ivory Coast vs Japan.
Mchezo huo ambao ulianza majira ya saa 10 usiku, umeisha kwa Ivory Coast kuitoa kimasomaso Afrika kwa kuwa timu ya kwanza kushinda kwenye michuano ya mwaka huu baada ya kuitungua Japan 2-1.
Magoli ya Ivory Coast yamefungwa na Wilfred Bony na Gervinho – Keisuke Honda aliifungia Japan goli la kufutia machozi.
Mchezo mwingine kwenye kundi hilo ulichezwa mapema kiasi saa mbili usiku kati ya Colombia dhidi Ugiriki.
Matokeo yalikuwa 3-0 kwa ushindi wa Colombia ambayo ilimkosa staa wao Radamel Falcao.

Mwanamke wa Kitanga ndani ya Daladala Balaa Tupu

$
0
0
Hawa wanawake wa kitanga wamezid jamani heeeeee.....

Alikuwa kapanda na bwanake kwenye daladala wamekaa siti moja, mwanamke kamchukua bwanake akamuegesha kwenye kifua chake akawa anamuimbia nyimbo za kimahaba, halafu sio kwa sauti ya chini chini ilikuwa sauti kubwa tu mpaka kila mtu akawa anashangaa.

Alipokuwa anashuka akasema "mi ndio mtoto wa kitanga, nimefundwa nikafundika wenye kununa wapasuke twende tukalale laazizi wangu" hahahahahaha

Msanii Mwingine Aibuka na Kusema Diamond Kumuibia Nyimbo

$
0
0
Malalamiko ya wasanii kuibiana au
kupigana kanzu kwenye kazi zao
yaliripotiwa sana mwaka jana na
mwaka huu mambo yalikuwa
shwari, lakini baada ya kuvuka nusu
ya mwaka yameibuka tena.
Mshiriki wa shindano la kuimba la
Bongo Star Search (BSS) , Wababa
amewatuhumu maswaiba wa ‘Muziki
Gani’ Nay wa Mitego na Diamond
Platinumz kwa kumuibia kazi zake
kwa wakati tofauti.
Akiongea kupitia Friday Night Live
ya East Africa TV, Wababa amesema
Diamond amemuibia wimbo wake
ambao alikua anaiita ‘Kitorondo’ na
kwamba aliibadilisha jina baadae.
“Kiukweli kuhusu Diamond, mimi
mwenyewe nimetumiwa hiyo ngoma
ambayo ameitoa, nimeiskiliza jinsi
ilivyo kuanzia idea, mwendo, style
ambazo anafanya. Ambayo
ameibadilisha jina tu baada ya ya
kwamba ilikuwa mitandaoni nilikuwa
nimemfatilia ilikuwa inaitwa
Kitorondo mwezi mmoja kama
uliopita. Kwa hiyo nilishindwa
kulalamika kwa sababu yeye
mwenyewe alikuwa analalamika
kuwa imevuja. Kwa hiyo sikuona
sababu ya kuongea kitu kwa sababu
haikuwa official. Kwa hiyo sikuwa
na sababu ya kucomplaini kwa
sababu haikuwa official, lakini
mpaka jana ina maana ilikuwa
serious kama biashara.” Ameeleza
Wababa.
Alipoulizwa ni wapi ambapo
Diamond aliusikia wimbo huo,
amesema huo ni wimbo wake
alioutoa miaka minne iliyopita akiwa
na Dogo Asley na aliuweka kwenye
mtandao wakati anatumia jina la
Nurdi, kabla hajaanza kutumia jina
la Wababa aliposhiriki BSS. “Ni
nyimbo ambayo iko mtaani na watu
wengi wanaielewa. Kwa hiyo
sijaelewa..”
Kwa upande mwingine, Wababa
amedai kuwa alifanya kazi na Nay
wa Mitego katika studio za Mazoo
lakini baaadae Nay alirudi studio na
kuongea na Mazoo kutaka kuunua
wimbo huo kwa shilingi milioni
moja bila kumshirikisha Wababa.
“Hivi karibuni nimefanya ngoma
mpya na Nay wa Mitego, ni ngoma
ambayo ilikuwa iko paid kwake
pamoja na studio. Lakini kitu cha
kushangaza ni kwamba siku mbili
baada ya kufanya kazi nikapigiwa
simu na producer akaniambia
kwamba jamaa amerudi tena kwa
ajili ya kutaka kununua wimbo kwa
milioni moja, auchukue wimbo
aende akaufanye sehemu nyingine.
Baada ya hapo hata mahusiano
yangu na mshikaji yamekuwa sio
mazuri. Ukimpigia simu anakwambia
yuko busy kuna kazi anafanya
atanicheki, hadi kufikia leo sielewi .”
Nay alipigiwa simu lakini hakuwa
anapatikana kwa muda huo.
Viewing all 104795 articles
Browse latest View live




Latest Images