Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Mwanamke Anayechepuka ni Hatari Kwa Uhai wa Mume Wake Kuliko Hata Wauaji wa Kutumia Silaha

$
0
0
Anaanza kwa kusema......"Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akawa na upendo wa dhati kwa mke wake lakini mwanamke hawezi kuchepuka na akaendelea kumpenda mume wake kwa dhati.Nasema hivi kwasababu mwanaume hafanyi tendo la ndoa kwa hisia, mwanamke hawezi kufanya tendo la ndoa bila hisia mguso.Ndiyo maana wanaume wanahitaji mahali pa kufanya tendo la ndoa ila wanawake wanahitaji sababu ya kufanya tendo la ndoa.

Wanawake wengi wanaoenda mahakamani kudai talaka kwa waume zao ni wale wachepukaji,mwanamke asiyechepuka hawezi kwenda mahakamani kudai talaka isipokuwa kama mumewe atakuwa amezidisha unyanyasaji wa kimwili na kiakili kiwango cha kukaribia kumuua mkewe.

Wanaume hawawezi kubadili tendo la ndoa na upendo.Mwanaume anaweza kufanya tendo la ndoa na mwanamke lakini bado akawa hampendi-ndiyo maana wanawake wanaojikuta kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume waliooa wanaowapenda wake zao kwa dhati hupata tabu saana kupata kufurahia mahusiano hayo kwani huwa wanatumika tu na hao wanaume wenye ndoa zao. Lakini pindi tu mwanamke aliyeolewa anapolala na mchepuko wake huanza hata kusimulia habari za siri kuhusu mume wake na anaweza pia kusema ni kwa namna gani anamchukia mume wake anaweza hata kukubali kuchukua sumu kwa mchepuko wake ili amwangamize mume wake.

Kwa mwanaume tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili tofauti kabisa,lakini kwa mwanamke tendo la ndoa na upendo ni vitu viwili vinavyoenda sambamba.Kwa mwanaume tendo la ndoa huja kwanza kabla ya upendo (matamanio) lakini kwa mwanamke upendo huja kwanza kabla ya tendo la ndoa (upendo wa dhati); kwahiyo pindi mkeo anapoanza kuchepuka upendo wake huhama kutoka kwako kwenda kwa mchepuko, anaweza hata kuanza kumpa chakula kizuri na mahaba ambavyo amekuwa akikupa wewe tu.

Mwanaume kuchepuka haimaanishi kuwa ameacha kumpenda mkewe la hasha!, ila siwezisema hivyo kwa upande wa mwanamke.Pindi mwanamke anapoanza kuchepuka anakuwa ametumbukia kimapenzi kwa mchepuko huo na maisha kwenye ndoa hayawezi kuwa sawa kamwe; na anaweza hata kumuua mmewe endapo tu atakuwa ameanza kuchepuka.

Mkeo akianza kuchepuka utakuwa mwanaume mwenye bahati sana endapo hautakufa ndani ya miaka 10.Tafiti zinaonesha kuwa 95% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka, ndiyo maana ni hatari sana kwa mwanaume kuendelea kuishi na mwanamke anaechepuka; vilevile ndiyo maana inashauriwa kila mahali hata kwenye Biblia kumtaliki mwanamke pindi tu anapogundulika kuwa amezini(amechepuka).

Mwanamke anaechepuka ni hatari kwa uhai wa mume wake kuliko hata wauwaji au silaha.Kuna wanawake wengi wachepukaji duniani hualika wauwaji usiku waje watoe uhai wa waume zao na askari hata ndugu wa mume hawawezi kugundua hilo kwani msibani huyo mwanamke atakuwa analia kwa uchungu wa kuigiza na kuficha maasi yake.Ndiyo maana wanasaikolojia hukataza sana mwanamke kuchepuka kuliko mwanaume.Wanawake hawawezi kuhimili mitafaruku ya kihisia itokanayo na kuchepuka; ndiyo sababu wanaume watafiti na wenye uelewa mkubwa watajua tu kuwa mkewe ameanza kuchepuka kwasababu huanza kumdharau mmewe na hujaribu hata kumnyima mumewe tendo la ndoa kwa visingizio lukuki.

Tafiti zinaonesha kuwa 90% ya wanawake wanaochepuka hawafurahii tendo la ndoa na waume zao hapo mwanaume makini atagundua tu hasa tabia za mkewe zitakapobadilika kuhusiana na tendo la ndoa, lakini mwanaume zube hawezi kugundua hili ataendelea kuvumilia sababu dhaifu za kunyimwa unyumba mpaka atakapoondolewa duniani.

Mwanamke hawezi kuchepuka na mtu ambae hampendi, huwa wanaitoa mioyo yao kwa kila kitu, ndiyo maana huwezi kuamini maamuzi yao.Kichekesho kikitolewa wanawake wengi wanaocheka hawacheki eti kwa sababu kichekesho ni kizuri ila ni kwasababu huwapenda wale waliotoa vichekesho hivyo; na endapo hawakupendi hata kichekesho chako kingekuwa kizuri kwa kiasi gani hawatacheka, ila mwanaume akicheka kuhusu kichekesho fulani ni kwasababu kichekesho chenyewe ni kizuri lakini si kwasababu eti anampenda mchekeshaji hii ni kwasababu wanaume wana uwezo wa kukabili hisia.

Tafiti zinaonesha kuwa ndoa nyingi huanza kuyumba pindi mwanamke anapoanza kuchepuka.Kuna wanaume wengi wanaochepuka lakini bado wanawaonesha wake zao upendo wa dhati, ila ni vigumu kukuta ndoa imesimama na mambo yanaenda sawa huku mwanamke akiwa mchepukaji.Ninarudia, karibia 100% ya wanawake wanaochepuka huwaombea waume zao wafe haraka au hulazimisha talaka ili wawe na uhuru wa kufurahia penzi la kwenye mchepuko, ila wanaume wengi hawawezi kuruhusu wake zao wa ndoa wanyanyaswe ama kwa vitendo au kwa maneno na michepuko yao, siku zote wanaume husimama upande wa wake zao.Mwanaume anaweza kuchepuka na bado akampenda mkewe lakini mwanamke hawezi kuchepuka na bado akampenda mmewe.

Video Mpya ya Rosa Ree Yaendelea Kufanya Maajabu...Itazame Hapa

$
0
0
Rapper wa kike kutoka Tanzania Aitwaye Rosa Ree usiku wa Jana ameendelea
kuonyesha kuwa yeye ndio mkali wa Kurap kwa upande wa wadada Afrika
baada ya kuachia Video kali ya wimbo wake unaitwa Dow...

              TAZAMA VIDEO CHINI....


Serikali Yamuonya Mbunge Zitto Kabwe

$
0
0
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Mkuchika ameionya Manispaa ya Kigoma- Ujiji pamoja na Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe, kuacha mara moja mawasiliano na ushirika wa ‘Open Government partinership (OGP)’ na kama ikiendelea kufanya hivyo basi itachukuliwa hatua kali.

“Nataka niionye Manispaa ya Kigoma waache mara moja, watekeleze maamuzi ya serikali, na wakiendelea kufanya mawasiliano kama wanavyofanya sasa serikali itachukua hatua kali zaidi,” amesema Waziri Mkuchika.

Waziri Mkuchika ameyasema hayo alipokuwa akijibu maswali mawili ya nyongeza yaliyoulizwa na Mbunge Zitto Kabwe na mojawapo likiwa ni Serikali inatoa kauli gani kuhusiana na ushiriki wa Manispaa ya Kigoma Ujiji na miji mingine inayotaka kuingia katika OGP.

“Andiko la OGP linasema kuwa nchi ikijitoa, basi na wanachama wake wote walioko ndani ya ile nchi shughuli zao zinakoma,” alisema Mkuchika.

Aidha Waziri Mkuchika alieleza kuwa kujitoa kwa Tanzania katika OGP, hakukufanywa kwa kumuiga mtu bali kwa kupima vigezo ambavyo iliviona vinafaa kwani ni taifa huru linalojitawala na kufanya maamuzi yake lenyewe pasipo kushurutishwa.

Nyalandu Aanza Kushughulikiwa..Kigwangalla Amelitaka Jeshi la Polisi na TAKUKURU Kumchunguza

$
0
0
Waziri wa Mali Asili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla amelitaka jeshi la Polisi na TAKUKURU kumchunguza aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Lazaro Nyalandu, kwa kutumia madaraka yake vibaya wakati wa uongozi wake.

Kigwangalla ametoa kauli hiyo leo alipokuwa akichangia hoja ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2017/2018  Bungeni mjini Dodoma, na kusema kwamba wakati wa uongozi wake Lazaro Nyalandu aliikosesha serikali mapato ya bilioni 32 kwa kutosaini sheria ya tozo kwa hoteli za kitalii.

Mbali na tuhuma hizo, Waziri Kigwangalla pia amesema Lazaro Nyalandu akiwa Waziri alitumia helkopta ya mwekezaji mmoja raia wa kigeni kwenye kampeni zake mwaka 2015 wakati kampuni hiyo ilikuwa ikituhumiwa kwa ujangili.

Taarifa hiyo imekuja kipindi ambacho Lazaro Nyalandu amejiondoa CCM na kujiunga CHADEMA, na alishatoa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa yataibuliwa mengi baada ya yeye kutoka CCM, na kuwataka watu wayapuuzie kwani hayana ukweli wowote

Baada ya hukumu Lulu, Mama Kanumba afunguka

$
0
0

Mama wa Muigizaji Marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amefunguka na kusema kwamba leo atakwenda makaburi ya kinondonni alipoziikwa mwanaye ili kwenda kumzika upya.

Mama Kanumba
Mama Kanumba ametoa kauli hiyo muda mfupi baada ya Mahakama Kuu kumhukumu kifungo cha miaka miwili Muigizaji Elizabeth Michael ambaye alikuwa mtuhumiwa katika kesi ya mauaji bila kukusudia yaliyopelekea kifo cha muigizaji huyo.
"Kwa sasa sina la kusema ila  naishukuru sana Mahakama kwa kutenda haki, pia niishukuru sana Serikali yangu lakini pia nikitoka hapa nitakwenda makaburini kwa ajili ya kumzika upya mwanangu Kanumba". Mama Kanumba
Kwa upande wa Wakili wa Muigizaji Lulu Peter Kibatala ameweka wazi kwamba watakata rufaa kufuatia hukumu ya Mahakama iliyotolewa leo kwa mteja wake.
Muigizaji Lulu leo amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kukutwa na hatia ya kumuua muigizaji mwenzake ambaye pia alikuwa mpenzi wake Steven Kanumba usiku wa Aprili 7 2012.

VIDEO: Lulu Kwenye Gari ya Polisi Akipelekwa Gerezani

$
0
0
Mwigizaji staa wa Tanzania Lulu leo amehukumiwa kwenda jela kwa miaka miwili kufuatia kesi iliyokua ikimkabili ya kuua bila kukusudia na kupoteza maisha ya Mwigizaji Steven Kanumba, hii video hapa chini ni Lulu akichukuliwa kupelekwa gerezani.

 VIDEO:

Wasiliana na The Great Maalim Hussein Mtaalam wa Kutatua Matatizo Yaliyoshindikana Kwa Kutumia Nyota na Dua

$
0
0

THE GREAT MAALIM HUSSEIN
Wasiliana na Mtaalam Huyu Kwani yeye hufaulu Pale wote waliko Shindwa na Pia Humaliza kazi zilizo Shindikana ama Zilizo Achwa ndani ya Siku Moja 1.
Maalim Hussein ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO SAIDIA(Rudisha Mahusiano yako Ndani ya Saa 12 tu)
MAALIM HUSSEIN ni Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili Mwenye Uwezo wa Kubaini Tatizo lako tu Pindi Utakapo Fanya Mawasiliano Kupitia Wasaa Husika.
(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFATA MAELEKEZO YAKE..)
Je Unasumbuliwa na Mapenzi..?
Umeachwa na UMPENDAE Awe Mume/Mke na Bado Unampenda
Je Umejaribu Sehemu Nyingi Bila Mafanikio?
Mpigie Simu sasa Hivi Ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo..
Anauwezo wa Kurudisha Mahusiano yako na Kuimarisha NDOA Ndani ya saa 12 tu.
Je Umekimbiwa na Mumeo/Mkeo au Mpenzi na Anaishi na Mtu Mwingine..?
Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao (Mfarakano/Kimavi) Endapo Utafata Atakacho Kuelekeza.
Je Una Mpenzi wako ana Pesa na unataka Kumkamata? Muone Maalim Hussein Atamfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi..
Maalim Hussein Anatumia Jina La Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo..
Anatibu Kutumia QUR_AN DAWA ZA ASILI YA AFRICA, Dawa za KIARABU NA MAJINI..
ANATAFSIRI NDOTO. ANAPANDIKIZA NYOTA YA KUSHINDA BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUSKI NA VIFUNGO MBALIMBALI.
ZINDIKO ZA NYUMBA NA BIASHARA.. PETE ZA BAHATI.. HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA. HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA. HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA..
MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA..ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA  ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE..
Humaliza Kesi ya Aina Yoyote Ndani ya Siku 7 tu..
Hutoa Jini la MALI kwa wale Wanao Hitaji Utajiri Bila Masharti..
+255 674 835 107 WhatsAPP tu.
+255 746 757 102 Kupiga tu.

Lazaro Nyalandu Afunguka Kwa Uchungu Kusingiziwa Uongo na Waziri Kigwangalla Bungeni

$
0
0

INASIKITISHA sana kuona WAZIRI Kigwangalla akitumia MUDA wake ndani ya BUNGE leo kunichafua, kunidhihaki, na kusema UONGO na UZUSHI dhidi yangu, ikiwa ni NJAMA za makusudi zilizopangwa kunichafua mara baada ya mimi kukihama Chama Cha Mapinduzi -CCM. Aidha, hatua hiyo imepangwa kwa lengo la kuhakikisha kuwa hakuna kiongozi yeyote wa CCM atakayethubutu ama kudiriki tena kukihama Chama Cha Mapinduzi CCM katika Serikali hii ya awali ya tano. AIDHA, Waziri Kigwangalla anatumika VIBAYA, kwa kauli za UONGO na UZUSHI aliuanza DHIDI yangu mara tu alipoteuliwa, kwa kuanza kutoa kauli za kejeli dhidi ya UTUMISHI wangu uliotukuka ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii na wenye REKODI thabiti.

NIANZE na UZUSHI alioutoa Waziri Kigwangalla mapema leo BUNGENI, huku moyoni mwake akiwa anajua fika kuwa ametumwa kusema UONGO dhidi ya Waziri Nyalandu kwa lengo la kuandaa MAZINGIRA ya kumkamata na kubwa zaidi, kudhalilisha azma ya WATANZANIA ambao WAKO tayari kwa mabadiliko ya UONGOZI wa nchi kupitia UPINZANI. AIDHA, propaganda za Kigwangalla ameamua zimuhusu Waziri moja tu wa Maliasili, tangu TAIFA kupata Uhuru. Waziri huyu ni Nyalandu, ambaye wala sio Waziri ambaye yeye amemrithi alipoteuliwa kuwa WAZIRI, jambo linalothibitisha NJAMA na Progaganda za kuzimisha MOTO na nguvu ya umma kupitia UPINZANI, hasa baada ya kitendo changu Cha kukihama CCM.

1) WAZIRI Kigwangalla amekejeli kuwa Waziri Nyalandu alitumia Fedha za Serikali kusafiri USA na mwanadada Aunt Ezekiel.
-HABARI hii ilikuwa ya KUZUSHA na ilichunguzwa na vyombo vya dola 2014 na kuthibitika ilitungwa na ilikuwa ya UONGO. Katika Mkutano huo wa Washington, DC, Waziri Nyalandu alialikwa na Balozi wa Tanzania, Marekani, na alipewa RUHUSA ya maandishi na Serikali kuhutubia Mkutano huo kwa siku Moja. Wasanii wote
Walioalikwa, akiwepo Mwanadada Aunt Ezekiel, hawakuwa na mwaliko wa Wizara ama Serikali, bali waandaji wa Kongamano. Na Serikali haikulipa gharama zozote kwao.(Mthibiti
Na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali anaweza kuthibitisha)

2) Waziri Kigwangalla amedanganya BUNGE kuwa Waziri Nyalandu alitumia helikopta kugombea URAIS 2015.
-Habari hii ni ya uzushi na UONGO, na Waziri atakuwa aidha hana BUSARA ambayo angepaswa kujiridhisha na Taarifa kabla ya kuisoma Bungeni, ama waliomtuma wamemwambia ASOME TU hivyo hivyo. UKWELI ni kuwa, Waziri Nyalandu, alipokuwa CCM, aligombea katika kinyang’anyiro cha URAIS kuomba kuteuliwa ndani ya CCM, na alitumia aidha usafiri wa MAGARI au NDEGE za kawaida kwa kulipa nauli (fixed wings pale ilipobidi), hadi mchakato ulipoisha kama uilivyoisha.
-AIDHA, miaka yote nikiwa Mbunge wa Singida Kaskazini, nimekuwa nikifanya kampeni za kumalizia kwa njia ya helikopta. Inawezekana Waziri Kigwangalla hajawahi kupanda helikopta katika maisha yake, nimjulishe TU kuwa kwangu huo ni usafiri wa kawaida sana na umesaidia ilipobidi kusaidia kufika baadhi ya maeneo Jimboni kwangu wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu 2000, 2005, 2010, na 2015.
-AIDHA, Mwaka 2015 nilitumia Helicopter kwa SIKU TATU za kumalizia Kampeni, na nilikodi helikopta hiyo kwa Sh milioni tano kwa siku (Jumla, milioni 15)
-Pia ingependeza kama hamaki za Kigwangalla zingemkumbusha kuwa Waziri Nyalandu akiwa Wizarani ALIPATIA Serikali Helikopta mpya Moja, alileta ndege kwa matumizi ya kupambana na Ujangili, Alishawishi Benki ya dunia, Ujerumani na USA kuleta mamilioni ya dola za kmarekani kusaidia mapambano hayo, na kwamba alifanikiwa Sana kutokmeza ujangili nchini. RAIS KIKWETE alikiri hili wakati wa kuzindua Tangazo la Tanzania (Tanzania, the soul of Africa).

3) Kigwangalla amezusha kuwa Waziri Nyalandu alitumia vibaya madaraka yake. Amezungumzia suala la Waziri Nyalandu kutotia sahihi TOZO mpya zilizopendekezwa na TANAPA. Jambo ambalo Waziri Kigwangalla angepaswa kulijua kabla ya kutoa kauli isiyo sahihi Bungeni ni kuwa SAKATA la TOZO za Tanapa lilijadiliwa BUNGENI mbele ya Spika Mama Anne Makinda, likiwa limeletwa na Kamati ya Lembeli, na kwa kupitia Wizara, Waziri Nyalandu alilitolea ufafanuzi na likamalizika na GN ilitolewa.
-SAKATA la kupandishwa ghafla kwa TOZO za mahotelini zinazojulikana kama (Fixed Rates) lilianza kabla sijawa Waziri. Aidha, kulikuwa na kesi Mahakama Kuu, ambako hadi kufikia mwaka 2012, uamuzi wa Mahakama uliyotolewa. Bado Nyalandu hakuwa Waziri. Aidha, nilipoteuliwa kama Waziri, Nikatazama SAKATA hilo ambalo lilishachukua muda mrefu sana hadi kufikia 2014, mimi nilipokuwa Waziri. Sheria inasema ”Concession Fees shall be 10% of half Board”, na kulikuwa
Na GN ya Serikali kuhusu TOZO hizo, takribani kuanzia mwaka 2002. Hukumu ya Jaji wa Mahakama Kuu ilielekeza kuwa TOZO zozote mpya ni sharti zipate GN mpya, na sheria ya msingi ilitaka TOZO ziwe kwa asilimia (percentage), na sio TOZO za kukisia, (fixed rate) ambazo ndio msingi mkubwa wa kupendeleana na rushwa katika kupanga nani alipe kiwango gani Cha kodi. Baada ya kuitolea maelezo Bungeni (na hansardi Zipo), Bunge na Wizara tulikubaliana namna ya kulimaliza na ndivyo ilivyofanyika na GN ilitolewa. Waziri Kigwangalla hajasema ukweli na amezusha kuhusu suala hili kwa sababu anazozijua mwenyewe.

4) Sakata la VITALU: Inasikitisha SANA na inatia AIBU kwamba Waziri atalihadaa BUNGE kwamba Waziri Nyalandu amehusika na kuuza VITALU au kugawa VITALU, na baya Zaidi kwa NJIA ya RUSHWA.
-Sheria ya Wanyamapori inatamka wazi kuwa VITALU vitagawiwa kwa wawindaji kwa kila baada ya miaka MITANO.
-Mara ya mwisho VITALU vimegawiwa Januari, 2017. Nyalandu hakuwa WAZIRI. (Waziri alikuwa Mh. Prof Maghembe)
-Kabla ya hapo, VITALU viligawiwa mwaka 2013. Nyalandu hakuwa Waziri. (Waziri alikuwa Mh Maige)
Hii ni AIBU sana na natumaini kwa Waziri Kigwangalla na wanaomtuma wangetamani sana miaka ibadilike ili isomeke Waziri Nyalandu.

5) Waziri Kigwangalla amedai kuwa Waziri Nyalandu alikuwa anafanyia Kazi katika Chumba maalumu katika hoteli ya Serena. Naomba Waziri Kigwangalla, athibitishe ni Chumba namba ngapi, na wahusika wa hoteli pia wathibitishe. Kama Waziri, nilifanya Kazi katika ofisi yangu iliyopo Wizaranya Maliasili na Utalii. Kigwangalla pia akumbuke mimi nilikuwa MTEULE wa Rais ambaye alikuwa na vyombo vya kumsaidia kusimamia Mawaziri.

6) Mbwembwe hizi na kusingiziwa kunakofanywa kwa makusudi baada ya mimi Nyalandu kukihama CCM ni aibu kwa TAIFA na ni matumizi mabaya sana ya MADARAKA. Aidha, ifahamike kuwa Vitisho na njama dhidi yangu na familia yangu kunakofanywa na wote wanaohusika hakutazimisha azma ya watanzania kutaka mabadiliko ya kweli nchini. Imeandikwa, WAONGO wote, sehemu yao ni katika ziwa liwakalo moto kwa kiberiki. Haki huinua Taifa, na uonevu na dhuluma ni dhambi itakayowatafuna wahusika siku zote za Maisha yao.


Lazaro S. Nyalandu

Mwalimu Atupwa Jela Mwaka 1 kwa Kosa la Kumtongoza na Kumtumia Picha za utupu Mwanafunzi Wake

$
0
0

Mwalimu wa somo la Mapishi katika shule ya Sekondari ya St. Charles High School mjini Maryland nchini Marekani amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela kwa kosa la kumtongoza na kumtumia picha za utupu mwanafunzi wake wa kiume mwenye umri wa miaka 17.

Kwa mujibu wa maelezo kutoka kwenye mtandao wa kituo cha runinga cha  Fox 5 DC Mwalimu huyo aliyetambulika kwa jina la LaToya Nicole Parker (40) imeelezwa kuwa alikuwa anamtuma mwanafunzi huyo kwenye supermarket kipindi cha mapumziko na kwenda nae nyumbani kwake.

Kisa hicho ambacho kiliripotiwa na wazazi wa mwanafunzi huyo mwezi machi mwaka huu, 2017 kwenye kituo cha polisi kabla ya kupelekwa mahakamani ambapo mshtakiwa alikiri kutenda kosa hilo jumatatu ya wiki iliyopita.

Upelelezi uliofanywa na polisi pamoja na ushahidi uliotolewa mahakamani unaonesha kuwa mwalimu huyo alianza kumtongoza mwanafunzi huyo tangu mwezi April mwaka huu , 2017 kwa kumuandikia barua za mahaba, kumtumia picha zake za utupu na kumuahidi pesa mwanafunzi huyo kama angelikubali.

Kwa upande mwingine mwalimu mkuu wa shule ya St. Charles High School Principal, Richard Conley amesema mwalimu huyo alikuwa anafundisha somo la Mapishi shuleni hapo na alikuwa hajaajiriwa rasmi shuleni hapo bali alikuwa anafanya kazi kwa muda (Temporary) tangu mwezi Machi mwaka huu 2017.

“Baada ya kupata malalamiko kutoka kwa wazazi wake mapema tulimsimamisha kazi Ms. Parker kwani tayari walikuwa wameshatoa taarifa polisi ili kupisha uchunguzi.“amesema Mwalimu Mkuu wa shule hiyo, Richard Conley.

Polisi mjini Maryland wamesema walikuta picha 5o za utupu za mwalimu huyo na jumbe 303 zilizotumwa kwenye simu ya mwanafunzi huyo nyingi zikiwa za mahaba.

Mahakama mjini Maryland inayoshughulikia kesi za watoto imetoa hukumu kwa mwalimu huyo kwenda jela mwaka mmoja au kulipa faini ya dola $20,000 sawa na Tsh milioni 44 kwa kosa la kusambaza picha za utupu kwa watoto na udhalilishaji.

Kutana na Miujiza ya Sharifu Seif Mohamed Kutoka Bagamoyo...Ana Dawa za Kurudisha Mapenzi na Zingine Nyingi

$
0
0

MIUJIZA YA SHARIFU SEIF MOHAMED KUTOKA BAGAMOYO.

SHARIFU SEIF MOHAMED ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOENDELEA KUPIGA SIMU, WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA  SHUKRANI NA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO WASAIDIA,
(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu)

SHARIFU MOHAMED Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, Anatumia kitabu cha QUR'AN, Dawa za Asili, Dawa za Kiarabu na majini kwa kumtuliza mke/mme, mchumba au mpenzi ndani ya masaa 72 tu, na kutatua matatizo yote ya kimaisha,

Je Umeachwa na UMPENDAE awe Mme/Mke na bado unampenda? Je Umekimbiwa na Mmeo/ Mkeo n anaishi na mtu mwingine? Je Umejaribu sehemu nyingi bila mafanikio? Mpigie simu SHARIFU SEIF sasa hivi ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo, Anauwezo wa hali ya juu wa kusambaratisha mahusiano yao na kumrejesha kwako haraka sana na Kumfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi Endapo Utafwata Atakacho Kuelekeza

ANAZO DAWA ZA MAPENZI, NGUVU ZA KIUME, CHANGO NGIRI MAJI NA N.K, ZINDIKO LA NYUMBA NA BIASHARA, PETE ZA BAHATI, HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA, HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA, MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA, ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE, KUPANDISHA NYOTA NA KUSHINDA BAHATI NA SIBU, KASAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUKSI NA VIFUNGO MBALIMBALI,  MAFANIKIO YA MAISHA NA UTAJIRI BILA MASHARI, NA MENGINE MENGI YA SIRI,

Je UMAHANGAIKA KUPATA MTOTO BILA MAFANIKIO? WASILIANA NA MTAALAMU HUYU KWANI YEYE HUFAULU PALE WOTE WALIPOSHINDWA, PIA UMALIZA KAZI ZILIZO SHINDIKANA NA WATAALAM WENGINE NDANI YA MASAA 24 TU,

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE AU MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFWATA MAELEKEZO YAKE)

Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi Piga SIMU No:
Mobile +255 654-836970
WhatsApp +255 756-033670

USHAURI: kama unahitaji msaada ni  bora kupiga simu kuliko kutuma sms ili upate  msaada kwa haraka.

Afande Sele " Kanumba Alivuna Alichopanda ila Lulu Unyonge wa Kisichana na Umri Vimebaki Mateso Kwake"

$
0
0
AFANDE SELE :

"Nikiwa kama mzazi wa mtoto wa kike ninaempenda sana na kutamani kumuona akitimiza ndoto zake muhimu kwenye maisha kama kupata elimu kwa wkt muafaka…lkn niliumia zaid baada ya matatizo aliyoyapata lulu kupitia kanumba na kwa hakika sikua miongoni mwa waliohuzunika wala kushiriki kivyovyote ule msiba wa kanumba ingawa wkt wote wa pilika za msiba ule mimi nilikua dar tena palepale sinza msiba ulipokuwepo…sikutaka kuvaa joho la unafki kama ilivyo kwa waTz wengi…kwangu hata sasa kanumba ni mtu mbaya na alifanya kitendo kibaya kabisa dhidi ya bint mdogo aliyepaswa kumsaidia kufikia malengo na sio.kumtumia kwa sababu ya umaarufu wake…leo kanumba amepumzika au anapambana na Mola wake kwa kutofuata yale maandiko yasemayo kuwa’TAMAA Ikichukua Mimba Huzaa Dhambi na Dhambi Ikishakukomaa Huzaa MAUTI…Kanumba amevuna alichopanda lkn Lulu unyonge wa kiumri na udhaifu wa kisichana vimebakia kuwa mateso ktk maisha yake…MUNGU ni mwema atamuafu Lulu amalize kifungo chake salama kama alivyompa kanumba haki ya matendo yake mabaya kwa kumlaza mapema…Mwisho wa siku wote wawili wabarikiwe kwa kutufundisha tuliobakia ili tuchague njia sahihi za kupita….DUNIA..GUNIA"

Diamond Afunguka Biashara inayomlipa zaidi kati ya Diamond Karanga na Perfum

$
0
0
Inafahamika kuwa msanii wa muziki Bongo Flava, Diamond Platnumz miongoni mwa biashara anazomiliki ni Chibu Perfume na Diamond Karanga, sasa ametaja ipi inamlipa kati ya hizi mbili.
Hivi karibuni akiwa katika media tour nchini Uingereza aliulizwa na Idhaa ya Kiswahili ya BBC ni biashara ipi inamlipa zaidi na jibu lake lake lilikuwa; ‘Off course, Diamond Karanga’. Katika hatua nyingine alizungumzia kinachomsukuma zaidi kufungua biashara mbali mbali kwa kusema kuwa anataka kutumia muziki wake katika njia ya kujinufaisha hata pale atakapoacha muziki. “Unaweza kuwa mwanamuziki lakini ukaweza kufanya vitu vingine katika misingi bora ukatengeneza ajira kwa wenzako ukatengeneza kitu ambacho hata kesho na kesho kutwa usipoweza k

Baba Kanumba Amelalamika Kuwa Mahakama imempa Lulu Hukumu Ndogo Kama Kaua Kuku

$
0
0
"Kwa upande wangu hukumu hii kwa nini imekuwa ndogo sana? Na haijanifurahisha sana hata kama mtu aliua kwa kutokukusudia lakini mahakama imetoa kifungo cha miaka miwili, kama mtu kaua kuku. Nilitegemea mahakama ingetoa kifungo kuanzia miaka mitano, sita au saba na kuendelea." Amesema Baba Kanumba akizungumza na GPL ambapo pia siku za nyuma yeye na Mama Kanumba waliripotiwa kuingia katika mkwaruzano sababu ya mali alizoacha Kanumba
.
Anyway, nini maoni yako, unadhani Lulu akimaliza adhabu alopewa na mahakama wazazi wa Kanumba hawatakuwa na tatizo nae tena sababu mama Kanumba tayari ameipongeza na kuishukuru mahakama kwa adhabu iliyompa Lulu ?

Madhara Ya Kuangalia Video Za Ngono (Porn) Na Namna Ya Kuacha

$
0
0
Kuangalia video za ngono sio jambo jipya kwa jamii yetu, kimsingi ni watu wachache sana wanaweza kujizuia kujichua au kupiga punyeto baada ya kuangalia video za ngono.

Bahati mbaya tabia ya kuangalia video hizi watu wengi huipata wakiwa wadogo sana na usipokua makini tabia hii itakufanya vibaya sana kisaikolojia.

Tabia ya kujichua sasa iko wazi kwa jinsia zote yaani wanawake na wanaume japokua imekua ikiathiri zaidi wanaume sababu ya maumbile yao.

Japo wengi hufanya kwa siri na kuficha ili wasijulikane na wengine. Vijana wengi wamekuwa wakiangalia video hizo wakiwa wamejificha wenyewe chumbani, na hasa nyakati za usiku.

Kuangalia video za ngono kuna madhara mbalimbali ya kiafya na kisaikolojia. Haya hapa ni baadhi ya madhara unayoweza kuyapata kama utaangalia sana video za ngono.
Kuishiwa hamu ya tendo la ndoa na nguvu za kiume

Kuangalia sana video za ngono hukufanya ushindwe kusisimuliwa na mwanamke au mwanaume wa kawaida, video za ngono zina wanawake na wanaume wazuri sana ambao wako vile sababu ya kufanyiwa upasuaji mbalimbali wa kuongeza makalio na matiti, hata wanaume hufanyiwa upasuaji wa kuongeza uume hivyo mwanamke anayeangalia atatamani uume mkubwa kama ule au mwanaume anayeangalia atatamani mwanamke kama yule ambaye katika mazingira ya kawaida hayupo.

Sasa wanaume wanao angalia video za ngono hawawezi kusisimka au kuamsha uume hata mwanamke wa kawaida akipita uchi na hii huweza kuathiri sana mahusiano yao na kuonekana hawana nguvu za kiume kwani wao hutegemea video hizo kuamsha uume.

Kujichua au kupiga punyeto sana
Video za ngono zina wanawake na wanaume tofauti, kila video nzuri unayoangalia utaenda kujichua huku ukimuwaza wanaume au mwanamke husika. Hii itakufanya ujichue hata mara kumi kwa siku kama unaziangalia mara kwa mara. Kuishiwa nguvu za kiume, kusahau sana, kushindwa kumpa mwanamke mimba, kuchoka sana na kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa ni moja ya madhara makuu ya punyeto.

Kushindwa kudumu kwenye mahusiano
Kuangalia video za ngono hukufanya uwaze kujiridhisha mwenyewe tu na hata mwenza wako akitaka kulala na wewe unakua hutaki tena. Lakini hata kwa vijana ambao hawako kwenye mahusiano hujikuta wanakua waoga sana kuwafuata wanawake au wasione sababu ya kua kwenye mahusiano. Vile vile wanaume hushindwa kuwaridhisha wenza wao na wanawake kusingizia kuchoka kila siku.

Kuanza kufanya ngono ambazo sio za kawaida
Hivi karibuni idadi kubwa ya wanawake wamekua wakijihusisha sana na mapenzi ya kinyume na maumbile. Hii imesababishwa sana na kuangalia video za ngono na kuona ni kitu cha kawaida wakati kina madhara mengi. Wanawake waliozoea kuingiliwa nyuma hata wakiolewa huendelea kufanywa na wanaume wa nje hasa kama waume waliowaoa hawajawahi kujihusisha na tabia hiyo. Aina zingine za ngono ambazo zinababishwa na tabia ya kuangalia video hizi ni ushoga, usagaji, au mwanamke kulala na wanaume zaidi ya mmoja au mwanaume kulala na wanawake zaidi ya mmoja kwa wakati mmoja.

Inawezekana wewe unayesoma hapa tayari hii tabia inakuumiza sana kwa sasa na umeshindwa kuiacha, kuna mambo ya msingi unaweza kufanya ili uweze kuacha kuangalia video hizi..

Ondoa zana zote za kuangalia video hizi
Kama una tarakilishi (computer) au simu futa video zote, futa tovuti (website) zote za video ambazo unazitumia kuangalia. Kuna watu wamo kwenye makundi ya WhatsApp ya kutumiana video za ngono, ondoka kabisa huko kwani unajiharibu.

Anza kufanya mazoezi
Ni mazoezi pekee yanayoweza kumfanya mtu aweze kuachana na tabia zote ambazo sio za kawaida ambazo alikua anazifanya kipindi cha nyuma. Unapofanya mazoezi utatumia nguvu nyingi na mwili wako utachoka na kupata usingizi. Vilevile ufanyaji wa mazoezi hukuepusha na kukaa bila shughuli yoyote.

Jijengee tabia ya kukaa na marafiki zako muda mrefu au kufanya shughuli nyingine zitakazokuweka ‘busy’

Kama una tabia ya kuangalia video hizi basi, fanya mpango uwe unafanya mambo mengine muda ambao umekua ukiangalia hizi video, ikiwemo kusoma vitabu au kuongea na watu. Hii itakusaidia kusahau video hizo na kuacha kabisa.

Pata ushauri wa kitaalamu na matibabu
Unaweza kumuona mtaalamu wa ushauri wa kisaikolojia ili kukusaidia ushauri wa namna ya kufanya ili kuepukana na tabia hiyo. Kama umeshapata madhara kiafya, basi waone wataalamu wa afya hasa masuala ya uzazi ili wakushauri namna ya kulitibu tatizo lako.

Jenga mahusiano ya karibu na mpenzi wako
Hii itakusaidia kumuwaza yeye zaidi ya video za ngono na pia pale unapopata hamu ya kufanya mapenzi basi hutoogopa kumwambia ili mfanye. Kuwa karibu na mpenzi wako kutakujengea ujasiri na kuyakuza mahusiano yenu.

Bilionea Mtata Shila Kupimwa Akili Kama Anamatatizo ya Akili.....

$
0
0

Polisi Kanda Maalumu ya Dar wameeleza kuwa, wanatarajia kumpima Dkt Shika kama ana matatizo ya akili kabla ya kumfikisha mahakamani.

"Kigwangalla Anatumika Vibaya Kunichafua" - Lazaro Nyalandu

$
0
0
Aliyekuwa waziri wa Maliasili na Utalii Mh. Lazaro Nyalandu amefunguka na kudai kuwa  Waziri wa sasa wizara hiyo Dkt. Hamisi Kigwangalla anatumika vibaya katika kumchafua na kueneza uzushi juu ya utumishi wake.

Nyalandu amefunguka hayo kwenye ukurasa wake wa Facebook na kusema kwamba anasikitika kuona waziri huyo ametumia muda wake ndani ya bunge kumchafua, kumdhihaki pamoja na kusema uongo dhidi yake ikiwa anatambua kwamba ni njama za makusudi zilizopangwa kumchafua baada ya kuhama ndani ya Chama Cha Mapinduzi.

Aidha Mh. Nyalandu amefunguka kwamba kinachofanywa juu yake ni  hatua ambayo imepangwa kwa lengo la kuhakikisha kuwa hakuna kiongozi yeyote wa CCM atakayethubutu ama kudiriki tena kukihama Chama Cha Mapinduzi CCM katika Serikali ya awamu ya tano.

Nyalandu ameongeza kwamba Waziri "Kigwangalla anatumika vibaya, kwa u za uongo na uzushi aliuanza dhidi yangu mara tu alipoteuliwa, kwa kuanza kutoa kauli za kejeli dhidi ya utumishi wangu uliotukuka ndani ya Wizara ya Maliasili na Utalii na wenye rekodi thabiti" - Nyalandu.

Ameongeza "Propaganda za Kigwangalla ameamua zimuhusu Waziri moja tu wa Maliasili, Lazaro Nyalandu, jambo linalothibitisha njama na Progaganda za kuzimisha moto na nguvu ya umma kupitia upinzani, hasa baada ya kitendo changu cha kukihama CCM".

Kati ya habari ambazo Mh. Nyalandu amedai kuwa ni za uzushi ni pamoja na Dkt Kigwangalla kusema bungeni kwamba kiongozi huyo alikuwa akitumia helikopta kugombea urais 2015 kitu ambacho Nyalandu amekipinga na kufafanua.

"Mwaka 2015 nilitumia Helicopter kwa siku tatu za kumalizia Kampeni, na nilikodi helikopta hiyo kwa Sh milioni tano kwa siku (Jumla, milioni 15). Pia ingependeza kama hamaki za Kigwangalla zingemkumbusha kuwa Waziri Nyalandu akiwa Wizarani alipatia Serikali Helikopta mpya Moja, alileta ndege kwa matumizi ya kupambana na Ujangili. Alishawishi benki ya dunia, Ujerumani na USA kuleta mamilioni ya dola za kmarekani kusaidia mapambano hayo, na kwamba alifanikiwa sana kutokomeza ujangili nchini. Rais Kikwete alikiri hili wakati wa kuzindua Tangazo la Tanzania (Tanzania, the soul of Africa)," Nyalandu.

Mbunge Peter MsigwaMsigwa Ampa Funzo Kigwangalla

$
0
0
Mbunge wa Iringa Mjini Mch. Peter Msigwa amefunguka na kumtaka Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamisi Kigwangalla achukue muda wake kuifahamu wizara anayoifanyia kazi na siyo kutafuta kujulikana kitu ambacho hakiwezi kudumu .

Kupitia mtandao wake wa Twitter amendelea kumsisitizia Waziri huyo kijana katika wizara hiyo kwamba aonyeshe uwezo wake n kuwa mpole ili aje kuheshimika.

"Kigwangalla anatafuta kick ambazo haziwezi ku- last ! Brother take time to know the Ministry! Be humble and show your talents! You will be respected!" Msigwa

Inadhaniwa kuwa kauli hii ya Mh. Msigwa imekuja mara baada ya Waziri wa Kigwangalla kulitaka jeshi la Polisi na TAKUKURU kumchunguza aliyekuwa waziri wa wizara hiyo Lazaro Nyalandu, kwa kutumia madaraka yake vibaya wakati wa uongozi wake.

Nyalandu alikuwa waziri wa wizara hiyo kati ya mwaka 2014-2015 na baadaye akaendelea kuwa Mbunge ndani ya bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwatumikia wana Singida Kaskazini na baadaye kuamua kujivua ubunge na nafasi zake za uongozi ndani ya CCM na kuhamia CHADEMA.

EATV

Nandy Itapendeza Zaidi Kumpongeza Kuliko Ali Kiba- Malaika

$
0
0
Nandy Itapendeza Zaidi Kumpongeza Kuliko Ali Kiba- Malaika
July7, 2017 kupitia mtandao huu wa Bongo5 niliandika makala yenye kichwa ‘Rayvanny itanichukua muda kukuelewa’. Hii ilikuwa mara baada ya kushinda tuzo ya BET 2017 katika kipengele cha International Viewers Choice na kuwa msanii wa kwanza kutoka Tanzania kushinda tuzo hiyo.


Nilitoa hoja kadhaa za kuchelewa kumuelewa Rayvanny kama vile kushinda tuzo hiyo bila kufanya kolabo na msanii yeyote mkubwa kutoka nje na mwisho ni kushinda tuzo kubwa nje wakati Tanzania hajawahi kupata tuzo yoyote, hivyo nikatamatisha kwa kueleza Rayvanny amekuwa mwanaume kabla ya mvulana.

Ushindi wa Nandy AFRIMA 2017

Usiku wa kuamkia jana ndipo tuzo hizo za AFRIMA zilitolewa nchini Nigeria na msanii Nandy kushinda katika category ya Best Female Artist In Eastern Africa Award.

Katika category hiyo Nandy amefanikiwa kuwabwaga wasanii kama Chess Nthussi, Feza Kessy, Juliana Kanyomozi, Lady Jaydee, Vanessa Mdee, Victoria Kimani na Wayna Wondwossen.  Ushindi wa Nandy AFRIMA hauna tofauti na ule wa Rayvanny BET kulingana na hoja ya mwisho kuitoa hapo awali.

Kwa maana ipi?, inafahamika na ipo wazi Tanzania kwa sasa hakuna tuzo zozote za muziki zinazotolewa baada ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) kusitishwa kutolewa. Kipindi alichoanza kusikika Nandy hakuweza kushiriki hivyo hana tuzo hiyo, hivyo ushindi huo ni kufika 10 bila kupita kenda.

Alikiba na Nandy

Hawa ndio washindi pekee kwa Tanzania kutoka AFRIMA kwa mwaka huu, Alikiba ameweza kushinda tuzo mbili katika category za Best Africa Collaboration na Best Artist or Group in Africa RnB and Soul.

Kwanini nasema ‘Itapendeza zaidi kumpongeza Nandy kuliko Alikiba AFRIMA 2017’, si kwa maana mbaya ila kwa kujaribu kulinganisha na kutofautisha mambo matatu yafuatayo;.

Mosi; Kama nilivyotangulia kueleza hii ni tuzo ya kwanza kwa Nandy ni wazi anastahili pongezi lakini kwa upande wa Alikiba licha kushinda tuzo mbili kwake ni kitu ambacho kimeshajitokeza mara kadhaa ameshashinda tuzo mbali mbali kubwa.

Kwa mwaka huu Alikiba amekabidhiwa tuzo ya MTV EMA aliyoshinda katika category ya Best African Act aliyoshinda mwaka jana ambayo alikabidhiwa kimakosa Wizkid, hivyo ushindi wa AFRIMA hauwezi kushtua mashabiki wake kama itavyokuwa kwa upande wa Nandy.

Pili; Wakati tuzo za KTMA zinatolewa kwa mara ya mwisho June 2015 Alikiba aliweza kujichotea tuzo tano, huu ulikuwa si ushindi wake wa kwanza katika tuzo hizo, hivyo hata alipoanza kushinda tuzo kubwa za nje alikuwa tayari ana msingi mzuri kwa hapa Bongo kitu ambacho ni tofauti kwa Nandy kama nilivyoeleza hapo awali.

Tatu na mwisho; Jitihada za kuipata tuzo yenyewe, ni wazi kuwa Nandy alikuwa na shauku kubwa ya kushinda tuzo hizi kuliko Alikiba kwa kuangalia haya mambo mawili. Kwanza, kuhudhuria, Nandy aliweza kwenda nchini Nigeria ukilinganisha na Alikiba ambaye hakuhudhuria kabisa kutokana na sababu zake binafsi.

Jambo la pili ni kuomba kura kutoka kwa mashabiki, nimetembelea ukurasa wa Instagram wa Nandy na kukuta namna alivyokuwa akihimiza mashabiki wake kumpigia kura.

Alifanya hivyo August 10, October 6 &13 na mara ya mwisho ilikuwa November 10 lakini Alikiba hakufanya hivyo hadi pale aliposhinda ndipo alipojitokeza katika mtandao huo na kuwashukuru mashabiki wake wote wa Tanzania na nje waliompigia kura hadi kupata ushindi huo. Naomba kuwasilisha.

Idriss Sultan Amwandikia Waraka Marehemu Steven Kanumba

$
0
0
Idriss Sultan Amwandikia Waraka  Marehemu Steven Kanumba
Muigizaji na mchekeshaji  Bongo, Idris Sultan ameandika barua ya wazi kwenda kwa aliyekuwa muigizaji wa filamu nchini Steven Kanumba.

Katika barua hiyo, Idris ameonyesha kuwa amewahi kuwa shabiki mkubwa wa marehemu na alihudhuria mazishi yake miaka kadhaa iliyopita. Kabla ya kuandika ujumbe huo kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram, muigizaji huyo aliyepata dili la kuigiza filamu Hollywood alianza kwa kupost video akiwa na muigizaji Elizabeth Michael aliyehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela.

Dear Kanumba,

Najua ulikua hunijui ila nilitembea kwa miguu kutoka mbezi kimara mpaka kinondoni kuja kukuzika. Ni mda mrefu sana umekua ukitembea na sisi kuomba upumzishwe, sasa naamini utapumzika kabisa. Allah akufanyie wepesi na milele utabaki mioyoni mwetu. Tulifunga njia, kazi na hata kuhema vizuri wengine tulishindwa na tukapata depression kubwa sanaaaa yote kwasababu ulitugusa katika mfano usioelezeka. Naamini haki yako sasa imepatikana na namuombea sana mama yako apewe nguvu na amani ya moyo. Finally Rested.
Ni mimi wako katika matumaini ya urithi wa ufalme wa movie Tanzania, Idris Sultan

Tetemeko Nchini Iran na Iraq Ndilo Baya Zaidi Kwa Mwaka 2017

$
0
0
Tetemeko Nchini Iran na Iraq Ndilo Baya Zaidi Kwa Mwaka 2017
Jitihada kubwa za uokoaji zinaendelea baada ya tetemeko kubwa kukumba eneo la mpaka wa Iran na Iraq na kuwaua zaidi ya watu 400 na kuwajeruhi zaidi ya 7,000.
Makundi ya uokoaji yanatafuta manusura waliokwamwa ndani ya vifusi vya majengo yaliyoporomoka.
Tetemeko hilo la ardhi ndilo baya zaidi kutokea duniani mwaka huu.
Watu wengine walioawa walikuwa kwenye mji ulio magharibu mwa Iran wa Sarpol-e-Zahab ulio umbali wa kilomita 15 kutoka mpaka na sehemu zingine za mkoa wa Kermanshah.
Tetemeko nchini Iran na Iraq lawaua zaidi ya watu 348
Hospitali kuu wa mkoa huo iliharibiwa vibaya na kusababisha ikubwe na matatizo ya kuwahudumia wagonjwa.
Mwanamke mmoja na mtoto waliondolewa kutoka kwa vifusi wakiwa hai kwenye mji huo, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini Iran.
Majengo mengi katika mji huo yanaonekana kuporomoka.
Man in doorway of tent pitched on street, with another man, a woman and a child visible around himHaki miliki ya pichaEPA
Image caption
Tetemeko la Iran na Iraq ndilo baya zaidi mwaka 2017
Huduma za maji na umeme zimekatwa katika miji mingine na baada ya majengo kuporomoka watu walilazimika kulala nje kwenye baridi.
Shirika moja la utoaji misaada lilisema kuwa watu 70,000 wanahitaji makao baada ya tetemeko hilo, na kuna ripoti kuwa maelfu ya watu huenda wakalala nje kwa usuku wa pili.
Maafisa nchini Iran wanasema kuwa watu 413 wameuawa nchi humo. Baadhi ya wanajeshi na walinzi wa mpaka ni kati ya wale waliouawa.
Nchini Iraq watu 9 waliuawa kwa mujibu wa msemaji wa shirika la msalaba mwekundu. Ofisi ya Umoja wa Mataifa nchini humo ilisema kuwa watu 500 walijeruhiwa huko na tetemeko hilo lilisikika huko Irbil, Sulaimaniya, Kirkuk, Basra na mji mku Baghdad.
Maporomoko yamefanya vigumu kwa waokoaji kufika maeneo ya vijijini na kuna hofu kuwa huenda bwawa lilo huko likapasuka baada ya kuharibiwa na tetemeko hilo. Watu wanaoishi karibu wametakiwa kuhama.
A map showing an earthquake in the Iran-Iraq border region
Image caption

Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images