Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.

MIHAYO:
Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi? Wasiliana na mtaalam Challo kwa; 0714006521

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Disemba 21

$
0
0


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Alhamisi ya Disemba 21

NEC yawashukia CHADEMA kuhusu mgombea Ubunge Singida Kaskazini

$
0
0
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeeleza kuwa inawashangaa viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wanaosema kuwa hawamtambui mgombea wa ubunge aliyesimamishwa kugombea katika jimbo la Singida Kaskazini.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhan Kailima ameeleza kuwa CHADEMA kupitia Katibu wa Wilaya wa Singida Vijijini wamekamilisha mchakato wa utambulisho wa mgombea wa Ubunge jimbo la Singida Kaskazini, Joseph Njumbe

“Halmashauri ya Wilaya ya singida wagombea 6 wameteuliwa juzi mmojawapo akiwa bwana Joseph Njumbe wa CHADEAMA. Ameteuliwa kwa sababu amekidhi vigezo vya kikatiba, kisheria na kikanuni yeye na chama chake cha Demokrasia na Maendeleo.”

“Kwa hiyo wanapolalamika kwamba huyu hawamjui nawashangaa sana. Nawashangaa sana kwa saababu Kwa mujibu wa ibara ya 67 ibara ndogo ya 1b ya katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasema Mgombea yeyote wa ubunge lazima awe amependekezwa na chama cha siasa kilichosajiliwa.”

“Kanuni namba 31 kanuni ndogo ya kwanza ya uchaguzi wa Rais na wabunge ya mwaka 2015, inasema mtu akitaka kugombea ubunge atawasilisha barua yake ya utambulisho iliyosainiwa na katibu wa chama au wa wilaya wa chama husika. Barua yake inawasilishwa kwa msimamizi wa uchaguzi.”

“Huyu Bwana David Joseph Njunbe amewasilisha barua hiyo ya utambulisho iliyosainiwa na katibu wa CHADEMA wa Wilaya ya Singida Vijijini, Bwana Amani M mloya,” amesema Kailima.

Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC, Kailima Ramadhani amesema kuwa kwa kupitia kanuni na vigezo vya sheria ya uchaguzi, Mgombea huyo wa CHADEMA amekidhi vigezo vyote vilivyohitajika ili kupitishwa kugombea Ubunge katika jimbo hilo.

Aidha, Kailima ameeleza kuwa Joseph Njumbe, pamoja na kuwa ameshakamilisha taratibu za kupitishwa kuwa mgombea wa ubunge kwa tiketi ya CHADEMA, bado ana haki ya kikatiba ya kujiondoa katika kinyang’anyiro hicho pale tu atakapotimiza taratibu zinazotakiwa ili kujiondoa.

Kailima aliongeza kuwa Tume ya Uchaguzi haiangalii

“Sisi hatuangalii muhtasari wa kamati kuu ama hatuangalii katiba iliyosajiliwa na Katibu Mkuu wa chama chochote cha siasa. Tunaangalia barua iliyosainiwa na Katibu wa Chama wa Mkoa ama Katibu wa Chama wa Wilaya  na ni kwa mujibu wa sheria, kanuni na maelekezo,” amesema Kailima.

CHADEMA pamoja na vyama vingine vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) vilitangaza kutokushiriki uchaguzi huo mdogo wa wabunge na madiwani unaotarajiwa kufanyika Januari 18, 2018 ikidai kuwa mwenendo wa hali ya kisiasa nchini siyo shwari na kuitaka Tume ya uchaguzi kuahirisha uchaguzi huo.

Juzi CHADEMA kupitia Mkuu wake wa Idara ya Mawasiliano, Tumaini Makene ilitoa taarifa kuwa hakijateua mgombea wa ubunge katika Jimbo la Singida Kaskazini na kumtaka Ndugu. Ramadhani Kailima kutambua kwamba mchakato wa uteuzi wa mgombea wa ubunge ndani ya CHADEMA linasimamiwa na Kamati kuu ya Chama hicho.

Rais Dkt Magufuli amteua Wakili Albert Msando Katika tume kuchunguza mali za CCM

$
0
0
Rais Dkt Magufuli amteua Wakili Albert Msando Katika tume kuchunguza mali za CCM

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

Miujiza ya Sharifu Seif Mohamed..JE Umeachwa na Mme/Mke au Mpenzi, Umesongwa na Mitihani ya Maisha..Piga Simu Upate Muujiza Wako

$
0
0
HARIFU SEIF MOHAMED ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOENDELEA KUPIGA SIMU, WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA  SHUKRANI NA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO WASAIDIA,

(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu)

SHARIFU MOHAMED Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, Anatumia kitabu cha QUR'AN, Dawa za Asili, Dawa za Kiarabu na majini kwa kumtuliza mke/mme, mchumba au mpenzi ndani ya masaa 72 tu, na kutatua matatizo yote ya kimaisha,

Je Umeachwa na UMPENDAE awe Mme/Mke na bado unampenda? Je Umekimbiwa na Mmeo/ Mkeo n anaishi na mtu mwingine? Je Umejaribu sehemu nyingi bila mafanikio? Mpigie simu SHARIFU SEIF sasa hivi ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo, Anauwezo wa hali ya juu wa kusambaratisha mahusiano yao na kumrejesha kwako haraka sana na Kumfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi Endapo Utafwata Atakacho Kuelekeza

ANAZO DAWA ZA MAPENZI, NGUVU ZA KIUME, CHANGO NGIRI MAJI NA N.K, ZINDIKO LA NYUMBA NA BIASHARA, PETE ZA BAHATI, HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA, HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA, MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA, ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE, KUPANDISHA NYOTA NA KUSHINDA BAHATI NA SIBU, KASAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUKSI NA VIFUNGO MBALIMBALI,  MAFANIKIO YA MAISHA NA UTAJIRI BILA MASHARI, NA MENGINE MENGI YA SIRI,

Je UMAHANGAIKA KUPATA MTOTO BILA MAFANIKIO? WASILIANA NA MTAALAMU HUYU KWANI YEYE HUFAULU PALE WOTE WALIPOSHINDWA, PIA UMALIZA KAZI ZILIZO SHINDIKANA NA WATAALAM WENGINE NDANI YA MASAA 24 TU,

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE AU MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFWATA MAELEKEZO YAKE)

Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi Piga SIMU No:
Mobile +255 654-836970
WhatsApp +255 756-033670 

Lulu Diva Kufunga Ndoa Ya Kimya Kimya

$
0
0
Lulu Diva Kufunga Ndoa Ya Kimya Kimya
MREMBO anayefanya poa Bongo Flevani, Lulu Abas ‘Lulu Diva’ amefunguka kuwa japokuwa ndoa yake imekaribia lakini hahitaji kelele kwenye mitandao ya kijamii.

Akizungumza na gazeti hili, Lulu Diva alisema anamshukuru Mungu mipango yake ya harusi inaenda sawa, lakini ameamua kufanya kimyakimya kwa sababu hapendi iwe gumzo.

“Yaani ndoa yangu sitaki kabisa vurugu mbalimbali watu watasikia tu tayari nimeolewa, nashukuru Kila kitu kimeenda sawa katika maandalizi, baadhi ya watu nitakaowachagua kuhudhulia watapata mualiko tu,” alisema Lulu Diva

Diva Kuwaunganisha FA, Mr Paul na Heli Muziki

$
0
0
Diva Kuwaunganisha FA, Mr Paul na Heli Muziki
Wasanii maarufu wa muziki wa Bongo Fleva, Mwana FA, Mr Paul na Heri Muziki ni moja ya wasanii wakongwe watakaosikika kwenye Album mpya ya ‘Ala za Roho’ ya Mtangazaji maarufu wa Radio Clouds FM, Diva The Bawse.

Hayo yamethibitishwa na Diva kwenye mahojiano yake na Bongo5, Ambapo amesema wakongwe hao amewakutanisha kwenye project yake mpya ambayo kwa sasa wapo studio kuipika na itakuwa moja ya ngoma kali zitakazokuwemo kwenye album yake.

“Nimefanikiwa kuwakutanisha Mwana FA, Mr Blue na Heri Muziki kwenye project mpya ambayo bila shaka itakuwa moja ya project kubwa zitakazopatikana kwenye album yangu ya ‘Ala za Roho itakayokuwa na nyimbo nane, ambayo itakuwa na wasanii wakongwe na wapya wa R’n’B A list kutoka Tanzania.“Amesema Diva.

Hata hivyo, Diva hajataja jina la ngoma ambayo amewashirikisha Mastaa hao watatu, Mwana FA, Heri Muziki na Mkongwe Mr Paul.

Akitaja baadhi ya majina ya Wasanii wa kisasa ambao watakuwemo kwenye album yake, Diva amesema watakuwepo Nandy, Heri Muziki na majina mengine makubwa.

Diva amesema album yake ya ‘Ala za Roho’ itatoka itatoka Februari 14, 2018 na itakuwa moja ya album bora za R’n’B kuwahi kutokea Tanzania.

“Ala za Roho itakuwa album ya kipekee kuwahikutokea Tanzania kwanza itakuwa na wasanii wengi wa A List ya Bongo Fleva, yaani hii itakuwa maana halisi ya Soul Music Album. Nawaahidi mashabiki wangu wakae mkao wa kula.“amesema Diva.

Akizungumzia uwepo wa wakongwe, Mwana FA na Mr. Paul, Diva amesema wote amewaweka kwenye ngoma moja ambayo tayari ameshairekodi na amesema itakuwa moja ya ngoma kali kutoka kwenye album yake.

“Unajua Mwana FA na Mr Paul ni watu ambao wanaheshima yao kwenye muziki wa Bongo Fleva, na mimi najiona mwenye bahati watu hawa kuwa kwenye album yangu, Ambayo tayari wamesharekodi na Heri Muziki na wimbo huo utakuwa kwenye album yangu ya ‘Ala za Roho’.“amesema Diva.

Akitoa sababu za kuachia album hiyo tarehe 14 Februari amesema mwezi Februari ni siku ya wapendanao na siku hiyo imebeba maudhui ya albumu yake.

Mbunge Afunguka Kuhusu Sifa za Mwanaume wa Kumuoa

$
0
0
Mbunge Afunguka Kuhusu Sifa za Mwanaume wa Kumuoa
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Geita, Upendo Furaha Peneza (Chadema), ametaja sifa za mwanaume wa aina gani anayemhitaji maishani mwake amuoe, Amani linakupa zaidi. Upendo alifunguka hayo hivi karibuni ndani ya ofisi za gazeti hili namba moja kwa habari za ndani za maisha ya watu maarufu, Sinza Mori jijini Dar, alipokuwa akifanya mahojiano mambo mbalimbali yahusuyo kazi na maisha kwa ujumla.

Katika kipengele cha maisha, Upendo ambaye kwa muonekano ni mrembo wa haja, alisema kwa sasa hana mpenzi, mchumba wala mwanaume yeyote. Alisema katika maisha yake anapenda sana mwanaume mpambanaji na mwenye kujituma katika kusaka mafanikio maishani bila kujali rangi, kabila wala dini.

Mbunge huyo kijana ambaye mwishoni mwa wiki iliyopita alitawala vyombo mbalimbali vya habari, ikiwemo mitandao ya kijamii kufuatia mkutano wake na waandishi wa habari akiponda vibaya kitendo cha wanasiasa kuhama vyama, hakutaka kuingia kwa undani sana katika maisha yake ya kimapenzi ingawa alikiri kuwahi kupitia maisha ya uhusiano kama binadamu mtimilifu na kwamba kwa sasa anamuomba sana Mungu ampe mwanaume wa haja yake ili kutimiza furaha maishani mwake.

“Sina chochote kwa maana ya mpenzi, mchumba au mwanaume wa aina yeyote na mara nyingi sana huwa sipendi kuzungumzia maisha yangu binafsi, lakini kikubwa napenda sana mwanaume mwenye kujituma kutafuta mafanikio na kwa kweli namuomba sana Mungu atimize haja ya moyo wangu ili niweze kufurahia maisha, unajua ukiwa na mwanaume mchakarikaji na wewe unahamasika kupambana zaidi na maisha,” alisema Peneza.

Kuhusu kupigania maendeleo kwa vijana, Peneza alisema amekuwa akijitolea kuhakikisha vijana wanapewa haki sawa katika shughuli za uzalishaji na kutolea mfano namna ambavyo ametetea vijana kupewa nafasi za uchimbaji madini hususan katika Mkoa wa Geita. Pia, aliweka wazi namna anavyojipanga kuwasilisha hoja binafsi bungeni mwakani (Januari) ya kuitaka serikali itoe bure vifaa vya wasichana kuvaa wakati wa hedhi (sanitary pads) kwa ngazi za msingi na sekondari, kampeni ambayo anaamini ikifanikiwa itakuwa na manufaa kwa watoto wa kike ambao wakati mwingine hushindwa kumudu gharama.

Baada ya Ncha Kali Kuonekana Anamchumbia Mwanamke Mwingine Dina Marious Atoa Baraka Zote Kwa Mzazi Mwenzake

$
0
0
 Baada ya Ncha Kali Kuonekana Anamchumbia Mwanamke Mwingine Dina Marious Atoa Baraka Zote Kwa Mzazi Mwenzake
BAADA ya kusambaa kwa picha zinazomuonesha mzazi mwenzake mtangazaji maarufu Bongo, Dina Marious, Ruben Ndege ‘Ncha Kali’ akiwa anamchumbia mwanamke mwingine, mtangazaji huyo amefunguka kuwa, anabariki kwa mikono miwili ndoa hiyo.

Picha za Ruben akimvisha pete ya uchumba mwanamke mwingine ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja, zilianza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii, juzi Jumanne na kuzua gumzo ambapo watu wengi walikuwa ‘wakimtag’ Dina ili aweze kushuhudia. Waliokuwa wakikomenti katika mitandao ya kijamii, walionesha kusikitika na wengine kumuonea huruma Dina ambaye wametoka mbali na Ncha Kali kiasi cha kumzalia mtoto kisha kumuacha solemba. “Jamani mapenzi haya yasikieni hivi hivi.



Hivi unadhani Dina atakuwa anajisikiaje anapoona mwenzake anavalishwa pete na yeye waliyetoka mbali tangu wakiwa wanafanya kazi pamoja Clouds FM na sasa kila mtu ana maisha yake? Inauma kwa kweli,”alichangia mdau mmoja mtandaoni. Amani lilimvutia waya Dina ili kumsikia ana lipi la kuzungumza hususan baada ya picha hizo kusambaa mitandaoni na watu kumuonea huruma. “Mimi sina tatizo.



Huyo mtu tulishaachana ni zaidi ya miaka miwili sasa iliyopita, hivyo sioni jipya. Kwanza mimi binafsi sipendi hayo mambo ya mitandao kuweka mambo yangu binafsi. Ndio maana utaona mimi mara nyingi naposti kuhusu kazi basi,” alisema Dina ambaye sasa anakitumikia kituo cha Redio cha EFM. Jitihada za kumpata Ruben na mchumba wake mpya ili kuwasikia wanazungumziaje maisha yao mapya, hazikuzaa matunda kutokana na kutopatikana hewani.

Mchepuko wa Dai Wakinukisha Madale Ambwagia Zari Mtoto

$
0
0
Mchepuko wa Dai Akinukisha  Ambwagia Zari Mtoto Madale
 Mambo ni moto! Mrembo Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ amebwagiwa mtoto getini kwake na mwanamke anayedai kuzaa na baba watoto wake.

TUJIUNGE NA CHANZO

Kwa mujibu wa chanzo makini, Zari alikutana na kimbwanga hicho hivi karibuni, wakati Zari alipotinga nchini katika harusi ya shemeji yake ambapo mwanamke huyo, aliyedai ni raia wa Kenya aliona afike nyumbani kwa mchumba wa Zari, Madale jijini Dar ili kuomba msaada kwa mwanamke mwenzake. “Alishahangaika kwa upande wa mzazi mwenzake Zari akaona hapati msaada wowote sasa alivyotonywa kuwa Zari yupo mjini akaona atumie mwanya huo kwani huenda akamsaidia kama mwanamke mwenzake.

“Kiukweli Zari amekuwa akikutana na changamoto kubwa sana kwenye mapenzi yake kwa maana kwamba hivi karibuni tu baba watoto wake wawili, amezaa na Hamisa hata kabla halijaisha vizuri amejitokeza na akiwa na kichanga akisema amezaa na msanii huyo. “Mkenya huyo alilala getini kwa Zari ambapo sungusungu walimkuta na kumchukua kisha kumpeleka kwa mwenyekiti maana alikuwa akitia huruma kwani mtoto alikuwa akiumwa na mbu mno,”kilisema chanzo.

Baada ya gazeti hili kupata habari hiyo, lilifunga safari mpaka Madale, Dar kwenye serikali ya mtaa anaoishi mwanamuziki huyo, ambapo ilikutana na mjumbe wa mtaa wa Mivumoni aliyejitambulisha kwa jina la Christina Chilumba ambaye alikiri kuwepo kwa habari hizo. “Ni kweli huyo mwanamke alikuja na kulala na mtoto wake pale getini kwa msanii huyo baadaye alipelekwa ustawi wa jamii lakini zaidi mtafuteni mwenyekiti ambaye kwa sasa yuko kikaoni yeye atawaeleza kwa undani zaidi,” alisema mjumbe huyo.

mwanamuziki huyo, ambapo ilikutana na mjumbe wa mtaa wa Mivumoni aliyejitambulisha kwa jina la Christina Chilumba ambaye alikiri kuwepo kwa habari hizo. “Ni kweli huyo mwanamke alikuja na kulala na mtoto wake pale getini kwa msanii huyo baadaye alipelekwa ustawi wa jamii lakini zaidi mtafuteni mwenyekiti ambaye kwa sasa yuko kikaoni yeye atawaeleza kwa undani zaidi,” alisema mjumbe huyo.

MWENYEKITI ATHIBITISHA

Risasi Mchanganyiko lilimtafuta mwenyekiti anayejulikana kwa jina la Deo Kamugisha ambaye alieleza kwa undani tukio hilo na jinsi alivyohangaika lakini msanii huyo aliitwa ustawi wa jamii lakini mpaka sasa hajaenda hivyo utaratibu unafanyika ili apandishwe mahakamani. “Kundi la sungusungu wanaolinda mtaa wetu usiku, walikuwa wanapita maeneo ya nyumbani kwa msanii huyo wa Bongo Fleva na kumkuta mwanamke akiwa na mtoto wake mchanga akiwa amelala getini na walipomhoji ilibidi waniamshe ili nije kumsikiliza.

“Nilitoka usiku huo wa saa nane na tukamhoji ambapo mwanamke huyo aliyejitambulisha kwa jina la Mama Pansheni Salama alieleza kuwa ametokea Kenya na amefika Dar kwa ajili ya kumletea mtoto msanii huyo kwani amezaa naye. “Alieleza kwamba alianzia Ustawi wa Jamii, Magomeni akapewa barua ya wito ndiyo alikuwa akimsubiri hapo getini akitoka tu ampe ikiwa ni baada ya kutoka ofisini kwa msanii huyo Sinza lakini hakufanikiwa kumuona.

“Bahati nzuri wakati tunaendelea kumhoji, msanii huyo naye alitokea na kutoa shilingi elfu sitini na tano ambapo elfu kumi na tano ilitumika kama nauli ya Bajaj ya kumpeleka Sinza ambako msanii huyo alisema apelekwe baada ya kumpigia meneja, elfu hamsini akasema zimsaidie,” alisema mwenyekiti huyo. Aliendelea kusema kwamba msanii huyo aliitwa ustawi wa jamii mara tatu lakini hakufika hivyo kesi hiyo inatarajiwa kufikishwa mahakamani. “Jamani huyu dada siyo chizi kama maana mama wa msanii anavyosema bali ana akili timamu kabisa na ni binti aliyesoma maana ana dokomenti zote muhimu zinazomuhusu yeye na mtoto wake.

“Kiukweli tunapata usumbufu mkubwa sana na msanii huyo kwani tunatumia hela zetu kuwarudisha makwao watu wanaomfuata bila mafanikio kwani amekuwa hasikilizi watu, namshauri tu angewasikiliza watu au kuwa na sehemu yao maalum ili kutupunguzia mzigo tunaokumbana nao,” alisema mwenyekiti.

Gazeti hili lilizungumza na mwanamke huyo raia wa Kenya ambapo alirejea stori nzima iliyosimuliwa na mwenyekiti lakini zaidi akadai atapambana hadi pale mwanaye itakapopatikana. Hata hivyo, chanzo kingine cha kuaminika kilipenyeza habari kuwa, dada huyo inabidi achunguzwe zaidi kwani alishawahi kudai pia mtoto huyo ni wa msanii wa Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ miezi michache iliyopita. Alipoulizwa kuhusu hilo, alikiri kuwa ni yeye lakini alifanya hivyo kimakosa kwa kushindwa kutambua baba halisi wa mtoto lakini kwa sasa amejiridhisha kuwa mtoto huyo amezaa na mzazi mwenzake Zari

 Chanzo: Global Publisher

Babu Seya na Mwanaye Kumfuata Magufuli Ikulu

$
0
0
Babu Seya na Mwanaye Kumfata Magufuli Ikulu
Wakati wakianza wiki ya pili tangu waachiliwe kwa msamaha wa rais kutoka katika kifungo chao cha maisha gerezani, imebainika kuwa wanamuziki nyota nchini, Nguza Viking ‘Babu Seya’ na mwanaye Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ watatinga Ikulu ili kutoa neno la shukurani kwa Rais John Pombe Magufuli.

HIVI NDIVYO ILIVYOANZA

Msemaji wa familia ya Nguza, Kikumbi Mwanza Mpango King Kiki, alifanya mahojiano marefu na Risasi Mchanganyiko na kuzungumzia mambo mbalimbali juu ya mipango ya wanamuziki hao ambao wanaonekana kuwa na mashabiki wengi.

KUHUSU KUACHA AU KUFANYA MUZIKI

King Kikii alisema kwa anavyofahamu yeye, ni lazima Babu Seya ataendelea na muziki kwa vile ni kazi iliyo ndani ya damu yake ambayo ameifanya kwa miaka mingi, hivyo suala la kuacha halipo kabisa. “Hata alipokuwa jela, tulimpelekea gitaa akawa anapiga, kwa sababu hajawahi kuwa na kazi nyingine, kwa hiyo nina uhakika anataendelea

ANAKUMBUKA NINI WALIPOTOKA JELA?

“Ilikuwa ni furaha tu kubwa kwa kila mmoja, maana nilishangaa kukuta wingi wa watu siku ile. Hii inaonyesha jinsi gani wanapendwa. Lakini kitu ninachokumbuka vizuri ni kuhusu Papii, alinitambulisha kwa watoto wake wawili wa kike, wakubwa kabisa akisema ni wanae.

LINI ATAPANDA KWA ONYESHO LA KWANZA?

“Sijajua ni lini, lakini nadhani itakuwa ni onyesho moja kubwa sana na ili liende vizuri, ni lazima niwe naye, ili tuimbe zile nyimbo tupo Marquis, yeye aimbe za kwake na mimi niimbe za kwangu, itakuwa kitu kimoja kizuri sana. “Hii haitaki onyesho lifanyike ndani ya ukumbi, inatakiwa uwanjani

kabisa, kama ni pale Uwanja wa Taifa au Uhuru, maana ninajua watu watakuja kwa wingi sana kutaka kupata burudani kutoka kwake.

KUNA MPANGO WOWOTE WA KUTEMBELEA MIKOANI?

“Ndiyo, tutatembelea mikoa yote mikubwa, Mwanza, Arusha, Morogoro, Dodoma, Mbeya, Iringa, Kigoma, lengo letu ni kutaka watoe salamu za shukurani kwa watanzania, kwa sababu namna walivyopokewa, ni jambo zuri sana.

KUNA MPANGO WA KWENDA IKULU?

“Mpango huo tunao, tutakwenda Ikulu kutoa mwaliko wa onyesho letu la kwanza tu, tungependa Mheshimiwa Rais Magufuli aje, kama atakuwa ametingwa na kazi zingine za kitaifa, basi hata atume mtu amwakilishe, tunataka kumshukuru kwa moyo wake wa kibinadamu, tunamshukuru sana kwa kweli.

VIPI KUHUSU MAPROMOTA?

“Watu wa kuibeba hii shoo wapo, kuna walioonyesha kuvutiwa na tumeshaanza mazungumzo ya awali ila bado hatujafikia muafaka, kitu cha msingi ni kutaka onyesho hili lifanyike kwa sababu lengo lake hasa ni kutoa shukurani zetu kwa watanzania, furaha waliyokuwa nayo wakati wameachiwa kutoka jela imetupa faraja sana,” alisema Kikii.
Chanzo: Global Publisher

Taharuki Yatanda Baada ya Fuvu la Binadamu Kukutwa Mgodini

$
0
0
Taharuki Yatanda Baada ya  Fuvu la Binadamu Kukutwa Mgodini
WACHIMBAJI wadogo wa dhahabu katika mgodi wa kikundi cha Kapumpa walipatwa mshtuko juzi baada ya
kukuta fuvu linalosadikiwa kuwa la binadamu wakati wakiendelea na shughuli hiyo wilayani Sikonge mkoani Tabora.


Akizungumza na Nipashe jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Wilboad Mutafungwa alisema tukio hilo lilitokea juzi mchana katika kata ya Kitunda.

Mutafungwa alisema Polisi mkoani Tabora inafanya uchunguzi kujua pamoja na mambo mengine, fuvu hilo ni la nani, alifariki katika mazingira gani na lini.

Kamanda Mutafungwa alisema fuvu hilo liligunduliwa na wachimbaji hao wakati wakichimba madini ya dhahabu na kwamba halikuwa na kiwiliwili chake.

Wachimbaji waliokutana na fuvu hilo wakati wakichimba mgodi huo wa dhahabu walitoa taarifa katika kituo kidogo cha Polisi cha Lukula, alisema Kamanda Mutafungwa na kwamba askari kutoka kituo hicho walifika mara moja katika eneo la tukio na kukuta fuvu hilo likiwa ndani ya shimo.

Mutafungwa alisema Polisi imefungua jalada la uchunguzi na kwamba mpaka sasa hakuna mtu yeyote ambaye anashikiliwa ili kusaidia upelelezi wa shauri hilo.

Matukio ya mabaki ya binadamu kukutwa migodini ni nadra japo pamekuwa na minong'ono kuwa baadhi ya wachimbaji mahala pengine hutumia viungo vya binadamu kwa lengo la kuongeza bahati ya madini kimazingara.  Agosti 29, mwaka huu makandarasi wanaofanya ukarabati wa Uwanja wa Taifa, Jijini Dar es Salaam walidai kukuta fuvu la kichwa cha binadamu wakati wakiondoa nyasi za zamani katika eneo la kuchezea mpira uwanjani hapo.

Uwanja huo ulikuwa ukifanyiwa ukarabati kwa kuwekwa nyasi mpya katika sehemu ya kuchezea na haukuwa ukitumiki kwa mechi za ligi kuu ya Bara.

Mei 3, mwaka huu mganga wa kienyeji, Moshi Mohamed Matimbwa (26) na msaidizi wake aliyetambulika kwa jina la Ally Omari Mapande (23) wakazi wa wilayani Kibiti mkoani Pwani walikamatwa na Polisi wa doria baada ya kukutwa na fuvu la binadamu.

Watuhumiwa hao walidaiwa kuwa walikuwa safarini kutoka Mkuranga kwenda Kibiti kwa pikipiki na kwamba waliposimamishwa katika kijiji cha Jaribu walikutwa wakiwa wameficha fuvu hilo kwenye begi.

Aidha, Februari 12, 2015 raia mmoja wa Ubelgiji alikamatwa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) akiwa na fuvu la binadamu. Raia huyo, Balcjan Christine Weejktgns (49) alikamatwa saa 2:00 usiku wakati akikamilisha taratibu za kuingia kwenye ndege ya kuelekea Zurich, Uswisi kisha Ubelgiji.

JUU YA DARIMwanzoni mwa miaka ya 2010, fuvu la binadamu lilikutwa likiwa limefichwa juu ya dari katika nyumba ya mtu mmoja wilayani Same mkoani Kilimanjaro.

Aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kilimanjaro wakati huo na sasa Mkurugenzi wa Upelelezi wa jeshi hilo (DCI), Robert Boaz alisema askari waliokuwa wakisaka wauzaji wa gongo na bangi, walipekuwa nyumba ya Saidi Fundi na kukuta fuvu la kichwa cha binadamu, likiwa limefichwa juu ya dari katika nyumba yake.

Alisema baada ya mahojiano baina ya askari na mtuhumiwa huyo, alisema fuvu hilo ni la baba yake mzazi, Hamisi Elidina aliyefariki dunia miaka ya 1970 na kuzikwa katika eneo la Kifaru wilayani Mwanga.

Alisema mtuhumiwa huyo, alifikia uamuzi wa kufukua kaburi la baba yake kutokana na maagizo ya mizimu ya ukoo wao, kuwa akifanya hivyo atakuwa na maisha mazuri.

Tukio la ajabu zaidi linalohusu fuvu la binadamu lilihusisha Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro kuwafukuza kazi askari wake watatu wa kituo cha Dumila wilayani Kilosa kwa tuhuma za kumbambikizia kesi mfanyabiashara Samson Mwita mkazi wa mji huo kuwa alikutwa na fuvu la kichwa cha binadamu Mei 23, 2013.

Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro wakati huo Faustine Shilogile alisema hatua ya kuwafukuza askari hao ilifikiwa baada ya uchuguzi kukamilika na askari hao kuonekana kufanya shughuli ya upekuzi kwa mfanyabiashara huyo bila kuwa na kibali kutoka kwa maofisa wao wa kazi.

Aliwataja askari hao kuwa ni mwenye namba D 4807 D/SSGT Sadick wa kituo kidogo cha Polisi Dakawa, E 4344 SGT Mohamed na E 3821 CPL Nuran wote wa kituo kidogo cha polisi Dumila.

Pia alisema uchunguzi wao umebaini kuwa askari hao walifanya kitendo hicho kwa kushirikiana na raia Rashidi Ally mkazi wa Mbagala jijini Dar es Salaam.

Kukutwa na kiungo chochote cha binadamu ni kosa kisheria.


Uganda Yaondoa Kikomo cha Umri wa Kugombea Urais

$
0
0
Uganda Yaondoa Kikomo cha Umri wa Kugombea Urais
Wabunge wa Uganda wameyapitisha mabadiliko ya Katiba ambayo sasa yanamruhusu Rais wa sasa Yoweri Kaguta Museveni kuwania nafasi hiyo ya juu kabisa kwa muhula wa sita.

Baada ya siku tatu za majadiliano mazito na mivutano, hatimaye waondoa ukomo wa umri wa miaka 75 kwa mgombea urais. Wabunge wa upinzani walitoka ndani ya ukumbi zaidi ya mara moja na sita kati yao walifukuzwa ukumbini kutokana na kuupinga muswada. Na hatimaye spika wa bunge hilo Bi Rebecca Kadaga akitangaza matokeo baada ya kupiga kura ya mwisho ikiwa wapiga kura wawili hawakuwa na upande, upinzani wamepata kura 62 na wanaotaka kuondowa kikomo kura 315 na hivyo Spika kutangaza kuwa mswaada huo umepita baada ya kusomwa mara ya tatu.
Wabunge pia wamerejesha ukomo wa vipindi viwili vya kukaa madarakani kutoka miaka saba hadi miaka mitano, kwa hivyo wabunge wa sasa wataendelea kuongoza hadi mwaka 2023.

Ni pengine kutokanana malalamiko kuwa kuondolewa kwa ukomo wa umri kunaweza kumfanya Bwana Museveni kuwa Rais wa milele. Wafuasi wa Museveni wanadai ni waganda ndiyo wanaweza kumwondoa madarakani kwa Kura.

Wabunge wapitisha muswada wa ukomo wa umri wa rais Uganda
Mjadala wasitishwa baada wanajeshi 'kuingia' bungeni Uganda
Bunge la Uganda lajadili ukomo wa Urais kwa siku ya tatu
Upande wa upinzani waliweka pingamizi kuzuia mswaada huo usipite lakini idadi yao katika bunge ni ndogo, kiongozi wa wabunge wa upinzani Winne Kiiza amesikitishwa na kupitishwa mswaada huo.

Lakini upande wa chama tawala ulitumia kila mbinu kuona kwamba mswaada huo unapita ili Rais Museveni kuendelea kutawala .

Kupitishwa mswaada huo kunampatia tena Rais Museveni kutawala miaka mingine 14 kulingana na mswaada huo, lakini raia wa Uganda wengi walikuwa hawaungi mkono kubadilishwa kwa katiba kumuongeza Rais Museveni kutawala baada ya kutawala zaidi ya miongo mitatu.

Huyu Hapa Bingwa wa Magonjwa Sugu Kama Vile Pumu, Vidonda vya Tumbo, Busha, Kisukari na Nguvu za Kiume

$
0
0
BABU MADUHU NI BINGWA WA MAGONJWA YOTE SUGU YANAYOSUMBUA KAMA VILE PUMU, VIDONDA VYA TUMBO, BUSHA, NGUVU ZA KIUME, KISUKARI, MIVUTO YOTE, KUSAFISHA NYOTA, KURUDISHA MALI, NK.

Tatizo la upungufu ukosefu wa nguvu za kiume, maumbile madogo ya uume limekuwa kubwa kwa lika zote hapa duniani

Matatizo hayo sio mageni kigeni ni ile tiba sahihi yakutibu na kuponya haya.chanzo cha hayo matatizo ni:KISUKARI, NGIRI,CHANGO, TUMBO KUUNGURUMA NA KUJAA GESI, KIUNO KUUMA, MAUMIVU YA MGONGO,MAGONJWA YA ZINAA, KORODANI KUVIMBANAKUUMA,VIDONDA VYA TUMBO, NK.

Tiba sahihi nabora ya tatizo la nguvu zakiume ni NYASOSE MIX, Nidawa ya vidonge asilia vilivyotengenezwa kwa kiwango bora na salama kwa ajili yakutibu mojakwamoja tatizo la nguvu za kiume maradufu

1,Hutibu nguvu za kiume mda mfupi sana kati ya umri wa miaka 18-85 naitakufanya uchelewe kufika kileleni kwa mda wa    dk 20 hadi 40 tendo lakwanza bila kuchoka naitakufanya uwe nahamu yakuendelea na tendo la ndoa zaidi ya mara 5 bila hamu kuisha.

MHESHA POWER Nidawa yakuboresha maumbile ya kiume kwa kunenepesha na kurefusha kwa saizi uipendayo inchi 6,7 hadi 8 kwa mda mfupi sana.dawa hizi huanza kufanya kazi kwa mda wa dk 67 ukisha tumia guarantee miaka 55 ikishakutibu.

Pia tunatibu,KISUKARI, PRESHA, UZAZI, NGIRI, PUMU,MALARIA SUGU, VIDONDA VYA TUMBO, CHANGO AINA ZOTE, BP, BUSHA BILA UPASUAJI NK.

ITINYA,Nidawa ya mvuto wa biashara,kazi,hupandisha cheo humfanya mfanyakazi apendwe na mwajiri wake,humvuta mme,mke,hawara,mchumba,unaemhitaji au hakutaki hatimizi ahadi zako kwa dhati utampata kwa mda wa dk 45 tu naatatulia milele nakumfunga asitoke inje ya ndoa.

SUPER POWER,Nidawa ya yakupunguza matiti,unene tumbo,kitambi kwa akina baba,hutoa mafuta mabaya mwilini,makovu sehemu mbalimbali mwilini,chunusi sugu,minyama uzembe,michirizi mwilini,nakuongeza makalio hips,mguu wa bia nk.

BABU MADUHU ANAPATIKANA MAGOMENI MOROCCO HOTEL/KANISANI
SIMU NO 0652 102 152/0755 684 297/0788 330 105.

HUDUMA HII UNAWEZA KUIPATA/KULETEWA MAHALI POPOTE NCHINI

Nimedhamilia Kuingia Kwenye Ndoa Sio Maonyesho- Shilole

$
0
0
Nimedhamilia Kuingia Kwenye Ndoa Sio  Maonyesho- Shilole
STAA wa miondoko ya mduara, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, watu wasimfikirie ameamua kuingia kwenye ndoa kama maonyesho bali amedhamiria kwenda kuwa mke anayestahili kuwa mfano wa kuigwa.

Mrembo huyo anayesumbua na wimbo wa Hatutoi Kiki, alisema kuwa anajua wazi watu wengi wanamuhesabia siku za uhusiano wao kuvunjika kama ilivyo kwa mastaa wengine, lakini kwa jinsi alivyodhamiria kutulia kwenye ndoa atawashangaza walimwengu.

“Najua wazi watu watakuwa wananihesabia siku ndani ya ndoa yangu lakini ukweli ni kwamba nitawashangaza watu wengi na sina sababu ya kuacha kuwa mke bora na mwenye heshima kwa
mume,” alisema

Kauli ya Msando Baada ya Kuteuliwa na Rais Magufuli

$
0
0
Kauli ya Msando Baada ya Kuteuliwa na Rais Magufuli
Mwanasheria Albert Msando amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuamini na kumteua kuwa miongoni mwa watu 9 ambao watakuwa na jukumu la kufuatilia na kuhakiki mali za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kote nchini.


Albert Msando ameandika ujumbe huo wa shukrani kwenye ukurasa wake wa instagram, na kusema kwamba anaamini kazi hiyo itafanyika kwa weledi.

“Namshukuru Mh. Dkt. John Pombe Magufuli, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uteuzi wa kuwa mjumbe wa Tume ya Kufuatilia Mali za Chama. Chini ya uenyekiti wa Dkt. Bashiru Ally Kakurwa na wajumbe wengine wa tume.Nnaamini kwa dhati kazi hii itafanyika kwa weledi ili kukiwezesha chama cha Mapinduzi kujitegemea kupitia mali zake”, ameandika Albert Msando

Hapo jana Rais Magufuli ameteuwa timu ya watu 9 ambao wataunda tume ya kufuatilia na kuhakiki mali za CCM nchini kote, baada ya kubaini kuna baadhi ya mali haziingizi kipato stahiki.


Mbunge Chadema Ataka Serikali Ishughulikiwe kwa Kutoa Takwimu Nyingi za Uongo

$
0
0
Mbunge Chadema Ataka Serikali Ishughulikiwe kwa Kutoa Takwimu Nyingi za Uongo
Mbunge wa Jimbo la Tarime Vijijini ameitaka serikali kuwa mfano mzuri kwa kutoa takwimu za ukweli na kwamba takwimu nyingi si za kweli na inapaswa kushughulikiwa.


Mbunge John Heche (CHADEMA) ametoa maoni yake hayo kupitia ukurasa wake wa twitter ikiwa ni siku moja baada ya Rais Magufuli kutoa onyo kwa watu wasiohusika kutoa takwimu kufanya kitendo hicho na kuagiza mamlaka husika kuwashughulikia watu hao.

"Serikali inatakiwa kuwa mfano mzuri kwa kutosema takwimu za uongo, lakini tukianzia kwenye takwimu zinazotolewa kuhusu ukuaji wa uchumi, idadi ya viwanda na mengine mengi nafikiri inatakiwa serikali yenyewe ndio ianze kushughulikiwa kwanza," Heche ameandika.

Shamsa Ford Awapa Makavu Mastaa Wanaochagua Kuolewa na Wanaume Matajili

$
0
0
Shamsa Ford Awapa Makavu Mastaa Wanaochagua Kuolewa na Wanaume Matajili
STAA wa filamu za Kibongo, Shamsa Ford amefunguka kuwa mastaa wengi wanachagua watu wa kuwaoa huku wengi wakiwa na ndoto za kuolewa na matajiri jambo ambalo si sahihi.

Akizungumza na gazeti hili bila kuwataja majina Shamsa alisema, mastaa wengi wamejisahau sana kuwa maisha yamebadilika kikubwa ni kila mtu amuangalie aliyenaye ni mtu mwenye msimamo gani maishani.

“Mastaa wengi wanakosea pale wanapofikiria kuwa wao wanatakiwa waolewe na watu wenye fedha na uwezo mkubwa kimaisha, wanakosea kabisa. Sivyo inavyotakiwa, kikubwa kumuangalia mtu ana msimamo gani na kuweka ustaa pembeni, ” Alisema Shama.

Motra The Future Aibuka na Waka ya Diamond

$
0
0
Motra The Future Aibuka na Waka ya Diamond
February mwaka jana wakati AY akitambulisha remix ya ngoma yake ya Zigo ambayo amemshirikisha Diamond jina la Motra The Future liliibuka katika interview iliyofanyika XXL ya Clouds Fm.

Aliyeibua jina la Motra The Future ni Diamond wakati akitaja baadhi ya wasanii wa hip hop ambao bado hajafanya nao kazi, wasanii waliotajwa ni Motra na Fid Q.

Uzuri ni mwamba mwaka mmoja mbele muimbaji huyo wa WCB aliweza kushirikishwa na Fid Q katika remix ya ngoma Fresh, hivyo wakawa wamemalizana.

Karibu Motra

Motra The Future ni moja mmoja wa marapper ambao muziki wao unawakilisha kule wanapotokea, ana ubabe wake linapokuja suala la free style.

Moja ya ngoma zake zilizofanya vizuri ni pamoja na One Day aliyofanya na Ruby, Sina Koloni aliyofanya na G Nako, Baddest akishiRIkiana na Bullranking, Uswazi na nyinginezo kibao. Hata hivyo amekuwa na uwezo mkubwa wa kurudia/kufanya cover za ngoma za wasanii wengine na kuzitendea haki.

Ameweza kurudia ngoma ya Madee ‘Yote Maisha’ ambayo alimshirikisha P Funk Majani, hata hivyo katika kurudia ngoma hiyo aliyopita na verse zake alimshirikisha Banana Zorro.

Hiyo ilikuwa ni baada ya kufanya hivyo katika ngoma ya Mwana FA inayokwenda kwa jina la Asante kwa Kuja ila yeye akaipa jina la Mbishe Gani, pia alifanya hivyo katika ngoma ya Bill Nass ‘Chafu Pozi’ na kuipa jina la Hakuna Chafu Pozi.

Sasa baada hizo hatimaye amerudia ngoma ya yule msanii (Diamond) aliyesema anatamani kufanya kolabo. Hapo jana aliachia remix ya ngoma ‘Waka’ ya Diamond aliyomshirikisha rapper Rich Ross kutoka Marekani.

Remix hiyo inakuja ikiwa ni wiki moja tangu ngoma hiyo kuachiwa official, hata hivyo bado wawajaingia studio kufanya kazi yao ya pamoja kama ilivyonukuliwa hapo awali.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images