Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live

EXCLUSIVE Mchumba Mpya wa Jack Wolper Afunguka "Nimemchumbia Wolper, Ndoa Inakuja Soon"

$
0
0
Baaada ya Tetesi kuwa muigizaji Jacqueline Wolper amechumbiwa na mwanaume mwingine baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani, Sasa Ayo TV imempata mwanaume anayedaiwa kuwa ndiye mchumba mpya Wolper ambaye amefunguka na kusema ni kweli amemchumbia muigizaji huyo..msikilize hapa kwa kubonyeza PLAY. VIDEO:

Sumaye Afunguka Kurudi CCM, Awataja JPM, JK na Mkapa

$
0
0
KUTOKANA na kuibuka kwa wimbi la baadhi ya wanasiasa hapa nchini kuhama vyama vyao, Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Frederick Sumaye ambaye ni kada wa Chadema amefunguka na kusema kuwa hana mpango wa kurudi Chama Cha Mapinduzi (CCM) alikokuwa zamani kwani yeye yupo upinzani ili kukipa changamoto chama tawala.

Sumaye ameyasema hayo leo Ijumaa, Januari 5, 2017 wakati akifanyiwa mahojiano na Global TV Online ambapo amesema alikihama chama hicho kwa sababu anataka ifike mahali ambapo Chadema kitakuwa na nguvu kama kilivyo CCM na kuongeza kuwa anawapenda Marais wote wa walioiongoza Tanzania.

“Kwangu mimi suala la kurudi CCM hapana! tunachojenga ni demokrasia, sina chuki na CCM, sina chuki Rais John Magufuli, Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa wala uongozi.

“Rais Magufuli akifnya vizuri katika kupambana na ufisadi, kusimamia demokrasia na uchumi, mambo yote mhimu atakuwa ameyafanya yote ya msingi, hayo yatanifanya nimpe changamoto zaidi asirudi nyuma. Kwa sasa CCM wanajitahidi kufanya vizuri kwa sababu sisi wapinzani tunawakumbusha,” alisema Sumaye.

Wimbo wa Papa wa Gigy Money, Wowowo Wazua Gumzo Kikao cha Waziri

$
0
0
Wimbo wa Papa wa Gigy Money, Wowowo Wazua Gumzo Kikao cha Waziri
Waziri  Mwakyembe alikutana na viongozi kwa ajili kujadili suala la maadili ya mavazi katika tasnia hiyo kwenye ukumbi wa Uwanja wa Taifa ikiwa ni siku chache tangu Rais John Magufuli akemee suala hilo na kutaka watakaovaa vibaya kazi zao zipigwe marufuku na vituo vya televisheni vitakavyoonesha kufungiwa.

Wakati Waziri akiwa anaelekeza zaidi mjadala katika kikao hicho kwa upande wa video, kukaibuka hoja kwamba hata maudhui yanayoimbwa kwenye nyimbo za sasa hivi sio.

Aliyetoa hoja hiyo alikuwa ni Mjumbe wa Chama cha Muziki Dansi(Chamudata), John Kitime ambaye alisema wakati wanajadili mavazi pia waangalie na suala zima la maneno yanayoimbwa ndani ya nyimbo hizo huku akitolea mfano wa wimbo wa ‘Papa’.

Mbali na viongozi hao kunyooshea kidole kwa wimbo wa Papa ambao umejizolea umaarufu, pia video ya wimbo wa Wowowo nao umeonekana kuwa gumzo katika kikao hicho, ambapo hata hivyo zote hizo Waziri alionekana kutozijua.

Katika wimbo wa Papa, kwa nyakati tofati Gigy akihojiwa anasema yeye amemaanisha samaki na sio kama ambavyo watu wanafikiria.

Wakati kwa video ya wimbo wa Wowowo imeonyesha maungo ya mwanamke yakiwa katika mavazi yasiyofuata maadili ya Kitanzania.

Hata hivyo Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), Godifrey Mngereza alipobanwa na Waziri kueleza kama kuna sheria mahususi za za kuwabana wasanii katika mavazi, amesema ni kama hazipo ijapokuwa wamekuwa wakiwasisitiza wasanii mara kwa mara kuvaa nguo zinazositiri maungo na kukubalika katika tamaduni za Kitanzania.
Chanzo; Mwananchi
Kwa upande wake Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu, Joyce Fisoo, amesema ili kudhibiti mambo hayo ya mavazi kwa wasanii, ipo haja ya vituo vya TV ambavyo vimekuwa vikizionesha kuzihariri kabla hazijarushwa na kwa watakaoonekana wakaidi basi kazi zao zikataliwe.

Mwanamuziki Wastara Thomas ambaye ni mmoja wa wajumbe katika kamati  ya maadili ya muziki wa Bongo Fleva, amesema hatua iliyofikiwa na serikali ya kukutana na viongozi kujadili suala la mavazi ni zuri kutokana na ugumu waliokuwa wanaoupata katika kuwakemea waliokuwa wanaenda kinyume.

“Labda kwa kuwa sasa hivyo serikali imeliona suala hilo na kuingilia kati, hata kamati yetu itakuwa na nguvu ya kuwachukulia hatua ambao wamekuwa wakiyafanya haya kwa kuwa wengi huko nyuma walikuwa wakiidharau kamati,” amesema Wastara.

Serikali Yamjibu Lissu "Hatuoni Sababu ya Kulumbana Naye Tunamuombea Apone"

$
0
0
Serikali Yamjibu Lissu "Hatuoni Sababu ya Kulumbana NayeTunamuombea Apone"
Serikali imesema haioni sababu ya kuendelea kulumbana na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye, anapata matibabu jijini Nairobi baada ya kushambuliwa kwa risasi Mjini Dodoma takribani miezi minne iliyopita.


Msemaji Mkuu wa Serikali, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Dk. Hassan, Abbas, ametoa kauli hiyo kufuatia Mh. Lissu kuituhumu serikali juu ya kushambuliwa kwake na kumsababishia majeraha makubwa mwilinini mwake.

Dk. Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter, amesema, Mbunge huyo bado ni mgonjwa na kwamba Serikali inaendelea kumuombea Tundu Lissu ili apone haraka.

"Mhe Lissu bado ni mgonjwa na yuko wodini hivyo Serikali haioni busara kulumbana naye kwa sasa. Tunaendelea kumuombea apone haraka" ilisema taarifa ya Dkt. Abbas

Tundu Lissu leo Januari 5, 2018 ametoa malalamiko yako na kusema kuwa kitendo cha yeye kupigwa risasi kuwa ni mipango iliyokuwa inalenga kumzimisha kabisaa ili asiendelee kuwasumbua

Hemedi Akiri Kutoka na Wanawake Watano kwa Siku...Ayajutia Maisha Hayo

$
0
0
Hemedi Akri Kutoka na Wanawake Watano  kwa Siku...Ayajutia Maisha Hayo
Msanii wa Bongo Fleva na Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Hemedy PhD amekiri wazi kuwa mtindo wa maisha yake ya miaka ya nyuma kipindi anapata umaarufu yalikuwa ni mabaya kitabia hususani kwenye mahusiano huku akidai kuwa alikuwa anapenda sana mademu.

Hemedy amesema maisha hayo anayajutia hadi leo na amewaasa vijana wenzake kuwa wasiige mtindo huo wa maisha .

Mshindi huyo wa Shindano la Tusker Project Fame amedai kuwa kipindi cha nyuma alikuwa anatembea na wasichana hadi watano kwa siku.

“Sio kitu cha kujivunia kwa sasa hivi ila ni maisha ambayo nimeyapitia na nisingependa viwana wengi ambao wanaonisikiliza sasa hivi wafanye hivyo, Lakini mzee mimi nilikuwa nakula mpaka mashine (Wanawake) watano kwa siku.“amesema Hemedy PhD kwenye kipindi cha Playlist cha Times FM huku akieleza kuwa muda mwingine alikuwa anapangisha Hotel kwa ajili ya kazi hiyo tuu

“Ilikuwa ni panga pangua, Sometimes kabisa najenga kambi Hoteli mzee mimi nafumua tuu” amesema Hemedy PhD .

Hata hivyo Hemedy PhD amesema kuwa mpaka sasa hakumbuki ni mademu wangapi alitembea nao ila anachokumbuka ni kuwa ametembea mademu wengi kipindi cha nyuma alivyoanza kupata umaarufu.

Tundu Lissu Asafirishwa Kwenda Ubelgiji kwa Matibabu Zaidi ya Kuurejesha Mwili Wake

$
0
0
Tundu Lissu Asafirishwa Kwenda Ubelgiji kwa Matibabu Zaidi ya Kuurejesha Mwili Wake
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ametoka Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi asubuhi kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi ya kuurejesha mwili wake katika hali yake ya kawaida.

Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanzania (TLS) ataondoka saa 2.30 asubuhi ya leo Jumamosi na Ndege ya Shirika la Kenya akiambatana na mke wake, Alicia.

Lissu ametoka hospitalini hapo ikiwa baada ya matibabu aliyoyapata tangu Septemba 7 mwaka jana baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 na watu wasiojulikana kwenye makazi yake Dodoma.

Mwanasiasa huyo amesindikizwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na watoto wake pacha, Augustino na Edward, ndugu zake, viongozi na wanachama wa Chadema.

"Nawashukuru sana madaktari wa hapa Nairobi na wale wa Dodoma wakiongozwa na Katibu Mkuu (wa wizara ya afya Profesa Mpoki Ulisubisya waliookoa maisha yangu," amesema Lissu kabla ya kupandishwa gari la wagonjwa

"Nakwenda Ubelgiji kwa matibabu, nikirudi mapambano yanaendelea, nawashukuruni nyote mlioniombea, nawashukuru Wakenya na serikali yao ambao kwa miezi minne nikiwa hapa walinipa ulinzi wakati wote."

Akizungumza kwa msisitizo  mbele ya wabunge na wanachama wa Chadema waliokuwapo amesema "Chapeni kazi, mimi nitarudi kuendeleza mapambano haya."

Kuhusu gharama, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji amesema gharama za safari na matibabu zimegharamikiwa na Chadema na TLS.

Wakati baadhi ya waliokuwapo hospitalini kumsindikiza Lissu uwanja wa ndege ni kaka yake Alute Mghwai, mdogo wake, Vinceti Mghwai na ndugu wengine.

Pia, Dk Mashinji, Naibu Makatibu Wakuu, John Mnyika (Bara), Salum Mwalimu (Zanzibar).

Wengine walikuwapo ni wabuge wa Chadema, Susan Kiwanga (Mlimba) na Godbless Lema(Arusha Mjini), John Heche (Tarime Vijijini), Rose Kamili (Viti Maalum), Anna Gideria (Viti Maalum).

Kwa niaba ya familia, Alute amesema "Tunamwomba Mungu ajalie huko anakokwenda akapate matibabu, kwani alivyokuja hapa sivyo anavyoondoka na tunawashukuru wananchi wa Tanzania na Kenya kwa ushirikiano wao."


Agness Afunguka "Nampenda Bado Rammy Gallis Akitaka Tena Nitampa Bure"

$
0
0
MUUZA nyago machachari Bongo, Agness Mmasi amesema kuwa, kamwe hawezi kulisahau penzi la msanii wa filamu Bongo, Rammy Gallis, sababu ana mahaba mazito na mwanaume huyo.

Akipiga stori na Star Mix msanii huyo ambaye ana orodha kubwa ya kubanjuka na mastaa alisema, katika wasanii wote aliowahi kuwa nao, mwanaume anayempenda sana ni Rammy na ni ngumu kwake kusahau penzi lake sababu anatambua thamani ya mwanamke.

Msanii wa filamu Bongo, Rammy Gallis.
“Nampenda sana Rammy japo nilishapita lakini ni ngumu kumsahau, halafu ni mwanaume ambaye muda wowote akinihitaji siwezi kumringia sababu bado namzimia vibaya, naweza kusema ndo’ msanii pekee katika wale niliowahi kuwa nao ambaye ananihe-shimu, ”alisema.
Stori Na Mayasa Mariwata | Ijumaa

Mchumba Mpya wa Wolper Afunguka "Nimeshamtolea Mahali Wolper Ndoa Inakuja Hivi Karibuni"

$
0
0
Mchumba Mpya wa Wolper Afunguka "Nimeshamtolea Mahali Wolper Ndoa Inakuja Hivi Karibuni"
Baaada ya maneno kuwa mengi katika mitandao na kijamii na hata katika vijiwe vya stori  kuwa muigizaji Jacqueline Wolper amechumbiwa na mwanaume mwingine baada ya kuachana na mpenzi wake wa zamani.

Mwanaume anayedaiwa kuwa ndiye mchumba mpya Wolper ambaye amejitambulisha kwa jina la Sadick Sanga amefunguka na kusema ni kweli amemchumbia muigizaji huyo..

"Ni kweli nimemchumbia na nimeshatoa mahari ndoa itafanyika hivi karibuni  ila watu wajue ni mke wangu mtarajiwa na tayari tarehe na kiibali cha ndoa kimeshatolewa na wazazi wetu"

"Mimi nimeamua kuwa naye kwaajili ya familia na sio kama wengine waliokuwa naye mwanzoni labda walitaka kuwa naye kwa sababu fulani ila mimi nipo naye kwaajiri ya upendo nimeangalia mioyo yetu na sio kama mitandano ya kijamii taarifa zinazosambaa kuwa nimeamua kuwa na wolper ili nilelewe" alisema

Wanaume wa Kwenye Mitandaao Kwangu Mwiko Kabisa- Ester Kiama

$
0
0
Waanaume wa Kwenye Miitandaao  Kwangu Mwiko Kabisa- Ester Kiama
STAA wa filamu za Kibongo, Ester Kiama ameibuka na kusema kuwa wanaume wa mtandaoni kwake ni mwiko kabisa kwani wamekuwa wakimfuata sana kwenye ukurasa wake wa Intagram.

Akipiga stori Risasi Jumamosi Ester alifafanua kauli yake hiyo ya kusema hawataki kwa sababu hataki kashfa amekuwa akiwablock na kupitia hapa ameamua kuwafungukia kuwa hawezi kutoka nao kimapenzi kwani wengi hawana nia njema wamekuwa na tabia ya kuwadhalilisha mastaa

“Nimeona kwa mastaa wengine wanavyo-dhalilishwa hivyo sipendi kabisa yaje yanitokee kwa kweli wengi wamekuwa wakinijaribu lakini sitaki kabisa na haitatokea kwani wengi wanafanya hivyo kwa mastaa kwa ajili ya kuwadhalilisha na kujitangazia kuwa anatoka na mtu flani ndiyo furaha yao na wengine wamekuwa wakidiriki kuwapiga picha za utupu mastaa kitu ambacho ni kibaya sana,” alisema Ester.

Arsene Wenger Afungiwa na Chama cha Soka cha England

$
0
0
Arsene Wenger Afungiwa naa Chama cha Soka cha England
Chama Cha soka cha England FA kimetangaza kumfungia kocha wa club ya Arsenal ya England Arsene Wenger kwa kosa la kutoa maneno yasiokuwa ya kiungwana kwa refa Mike Dean baada ya game ya Arsenal dhidi ya West Ham United iliyomalizika kwa sare ya 1-1.

Kocha huyo raia wa Ufaransa alikuwa na hasira dhidi ya refa Mike Dean ambaye aliwapa penati ya utata West Ham United katika mchezo uliyochezwa siku ya mwaka mpya, Wenger amefungiwa kosa pia la kuingia katika chumba cha kubadilishia nguo cha  refa Mike Dean.

Wenger ambaye amefungiwa mechi tatu na faini ya pound 40,000 ambazo ni zaidi ya Tsh milioni 120 baada ya game hiyo alitoa kauli hii ambayo inatafsirika kama kumkosea heshima muamuzi “Maamuzi haya yalikuwa ya kushangaza kidogo, mmemuona (Dean) anafanya anachotaka kitokee, baadhi ya maamuzi msimu huu yamekuwa yakifanywa dhidi yetu sio sawa”

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0
Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Maalim Hussein Ujione muujiza wa Papo kwa Papo.. anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.

Issa simba said Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto. Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

Wasiliana nasi +255 622588038au 0679119679 au +255 764318107

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Siku ya Leo Jumamosi

$
0
0

BREAKING: Rais Magufuli aongeza baraza la mawaziri, Amteua Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 06 Januari, 2018 amemteua Mhe. Doto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini.

Mhe. Doto Mashaka Biteko ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe na  alikuwa Mwenyekiti wa kamati ya muda iliyochunguza madini ya Tanzanite.

Kufuatia uteuzi huu Wizara ya Madini sasa itakuwa na Waziri na Naibu Mawaziri wawili.

Mhe. Rais Magufuli amefanya uteuzi huu kwa lengo la kuongeza nguvu kutokana na uwingi wa majukumu katika Wizara ya Madini.

Mhe. Doto Mashaka Biteko ataapishwa Jumatatu tarehe 08 Januari, 2018 saa 3:00 asubuhi Ikulu Jijini Dar es Salaam.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam
06 Januari, 2018

Breakig News : Rais Magufuli Amtembelea Kingunge Hospitalini Kumjulia Hali

$
0
0
Breakig News : Rais Magufuli  Amtembelea Kingunge Hospitalini Kumulia Hali
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amemjulia hali mwanasiasa mkongwe Mzee Kingunge Ngambale Mwiru aliyelazwa katika wodi ya Mwaisela, Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Miujiza ya Sharifu Seif Mohamed..JE Umeachwa na Mme/Mke au Mpenzi, Umesongwa na Mitihani ya Maisha..Piga Simu Upate Muujiza Wako

$
0
0
SHARIFU SEIF MOHAMED ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOENDELEA KUPIGA SIMU, WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA  SHUKRANI NA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO WASAIDIA,

(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu)

SHARIFU MOHAMED Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, Anatumia kitabu cha QUR'AN, Dawa za Asili, Dawa za Kiarabu na majini kwa kumtuliza mke/mme, mchumba au mpenzi ndani ya masaa 72 tu, na kutatua matatizo yote ya kimaisha,

Je Umeachwa na UMPENDAE awe Mme/Mke na bado unampenda? Je Umekimbiwa na Mmeo/ Mkeo n anaishi na mtu mwingine? Je Umejaribu sehemu nyingi bila mafanikio? Mpigie simu SHARIFU SEIF sasa hivi ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo, Anauwezo wa hali ya juu wa kusambaratisha mahusiano yao na kumrejesha kwako haraka sana na Kumfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi Endapo Utafwata Atakacho Kuelekeza

ANAZO DAWA ZA MAPENZI, NGUVU ZA KIUME, CHANGO NGIRI MAJI NA N.K, ZINDIKO LA NYUMBA NA BIASHARA, PETE ZA BAHATI, HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA, HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA, MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA, ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE, KUPANDISHA NYOTA NA KUSHINDA BAHATI NA SIBU, KASAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUKSI NA VIFUNGO MBALIMBALI,  MAFANIKIO YA MAISHA NA UTAJIRI BILA MASHARI, NA MENGINE MENGI YA SIRI,

Je UMAHANGAIKA KUPATA MTOTO BILA MAFANIKIO? WASILIANA NA MTAALAMU HUYU KWANI YEYE HUFAULU PALE WOTE WALIPOSHINDWA, PIA UMALIZA KAZI ZILIZO SHINDIKANA NA WATAALAM WENGINE NDANI YA MASAA 24 TU,

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE AU MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFWATA MAELEKEZO YAKE)

Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi Piga SIMU No:

Mobile +255 654-836970
WhatsApp +255 756-033670

Baada ya Ray C Kumuandikia Ujumbe Rais Magufuli Lungi Aibuka na Kumshambulia Ray C

$
0
0
Baada ya Ray C Kumuandikia Ujumbe Rais Magufuli Lungi Aibuka na Kumshambulia Ray C
BAADA ya msanii wa muziki, Rehema Chalamila ‘Ray C’ kumuandikia ujumbe Rais John Pombe Magufuli kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa anaomba wanaoingia kwenye nyumba za wageni wawe wameolewa na waoneshe cheti cha ndoa mlangoni staa mwenzake, Lungi Maulanga ameibuka na kumshambulia vikali na kudai kuwa hakupaswa kuongea hivyo kwa sababu yeye hana ndoa.

Akiongea na Risasi Jumamosi Lungi alisema kuwa Ray C hakutakiwa kuongea hayo wakati yeye bado hajaolewa angeolewa kwanza ndiyo akaanza kuongea maneno hayo.



“Ninavyomjua Ray C bado hajaolewa, sasa hayo anayomwambia mheshimiwa alitakiwa kwanza kuyafanyia kazi yeye kwa sababu ninao uhakika kuwa hata yeye anaingia nyumba za wageni na wala hajaolewa, atupe mfano kwanza kwa sababu mimi najua sheria hatungi yeye,” alisema Lungi ambaye haikufahamika ni kwa nini alikerwa na jambo hilo kwa sababu yeye ni mama mwenye watoto wanne tena wote ni wa kike.

Joh Makini Awatahadharishwa Wanaotamani Mafanikio Yake

$
0
0
Joh Makini Awatahadharishwa Wanaaotamani Mafanikio Yake
Rappa kutoka kampuni ya Weusi, Johmakin amefunguka kwamba kama yupo kijana anatamani kuingia kwenye muziki kwa kutazama mafanikio yake, basi aache muziki kwani atakuwa hakifanyi hicho kitu kutoka ndani ya moyo wake.


Akizungumza na eNEWZ ya EATV, Johmakin amesema kwamba mtu anayemfatilia afatilie muziki wake na siyo kutaka kujua muziki umempatia nini ingawa amekiri kwamba muziki ni biashara ambayo inamlipa sana.

"My personal life style iko personal, Maisha yangu binafsi watu hawatakiwi kujua. Mimi ninachofanya ni hii sura ionekane kwenye TV, Brand ya Johmakini isimame, kufanya muziki mzuri basi. Lakini hayo mengine wacha yasijulikane. Sidhani kama namnyima mtu haki yake ya msingi kwa kutokuonyesha maisha yangu binafsi. Lakini muziki unanilipa sana. " Johmakin.

Akizungumzia kuhusu kubadilika kwenye tungo zake, Johmakin amesema kwamba ameamua kufuata jinsi ambavyo soko la muziki linataka lakini pia wakitaka kujua yeye ni Rappa wa aina gani lazima warudi nyuma  kutazama alipotokea.

"Unajua kwa sasa muziki umebadilika sana kwa sasa hatufanyi tena muziki mgumu inabidi ufanye muziki kuendana na wakati uliopo ndio maana hata mimi nimebadilika sana kwenye tungo zangu 'so' nimefanya kuendana na upepo wa sasa ulivyo" Johmakin.

Tume Yaundwa Kuchunguza Mauaji ya Askari 15 wa Tanzania Waliouwawa DRC

$
0
0
Tume Yaundwa Kuchunguza Mauaji ya Askari 15 Waliouwawa DRC
January 6, 2018 Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres amesema umoja huo utachunguza shambulizi lililofanyika Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo mwezi uliopita ambapo wanajeshi 15 wa kulinda amani wa ujumbe wa Umoja wa Mataifa kutoka Tanzania waliuawa.



Dmitry Titov, raia wa Urusi ambaye alikuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameteuliwa kuongoza uchunguzi wa mazingira yaliyolizunguka shambulizi hilo, kutathimini iwapo kikosi cha wanajeshi wa kulinda amani kilikuwa tayari kujihami dhidi ya mashambulizi na kutoa mapendekezo ya kuepusha mashambulizi zaidi..

Mbali na maafisa wa Umoja wa Mataifa kuhusika katika uchunguzi, maafisa wawili wa kijeshi kutoka Tanzania watajumuishwa katika kundi hilo la uchunguzi. Waasi wa kundi la Allied Democratic Forces ADF wanashukiwa kuhusika na shambulizi hilo.

Lissu Aondoka Nairobi Salama Kwenda Ubelgiji kwa Matibabu Zaidi

$
0
0
Lissu Aondoka Nairobi  Salama Kwenda Ubelgiji kwa Matibabu Zaidi
Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu ametoka Hospitali ya Nairobi nchini Kenya leo Jumamosi asubuhi kwenda nchini Ubelgiji kwa matibabu zaidi ya kuurejesha mwili wake katika hali yake ya kawaida.

Lissu ambaye pia ni Rais wa Chama cha Mawakili wa Tanzania (TLS) ataondoka saa 2.30 asubuhi ya leo Jumamosi na Ndege ya Shirika la Kenya akiambatana na mke wake, Alicia.

Lissu ametoka hospitalini hapo ikiwa baada ya matibabu aliyoyapata tangu Septemba 7 mwaka jana baada ya kushambuliwa kwa risasi zaidi ya 30 na watu wasiojulikana kwenye makazi yake Dodoma.

Mwanasiasa huyo amesindikizwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta na watoto wake pacha, Augustino na Edward, ndugu zake, viongozi na wanachama wa Chadema.

"Nawashukuru sana madaktari wa hapa Nairobi na wale wa Dodoma wakiongozwa na Katibu Mkuu (wa wizara ya afya Profesa Mpoki Ulisubisya waliookoa maisha yangu," amesema Lissu kabla ya kupandishwa gari la wagonjwa

"Nakwenda Ubelgiji kwa matibabu, nikirudi mapambano yanaendelea, nawashukuruni nyote mlioniombea, nawashukuru Wakenya na serikali yao ambao kwa miezi minne nikiwa hapa walinipa ulinzi wakati wote."

Akizungumza kwa msisitizo  mbele ya wabunge na wanachama wa Chadema waliokuwapo amesema "Chapeni kazi, mimi nitarudi kuendeleza mapambano haya."

Kuhusu gharama, Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vicent Mashinji amesema gharama za safari na matibabu zimegharamikiwa na Chadema na TLS.

Wakati baadhi ya waliokuwapo hospitalini kumsindikiza Lissu uwanja wa ndege ni kaka yake Alute Mghwai, mdogo wake, Vinceti Mghwai na ndugu wengine.

Pia, Dk Mashinji, Naibu Makatibu Wakuu, John Mnyika (Bara), Salum Mwalimu (Zanzibar).

Wengine walikuwapo ni wabuge wa Chadema, Susan Kiwanga (Mlimba) na Godbless Lema(Arusha Mjini), John Heche (Tarime Vijijini), Rose Kamili (Viti Maalum), Anna Gideria (Viti Maalum).

Kwa niaba ya familia, Alute amesema "Tunamwomba Mungu ajalie huko anakokwenda akapate matibabu, kwani alivyokuja hapa sivyo anavyoondoka na tunawashukuru wananchi wa Tanzania na Kenya kwa ushirikiano wao."
Chanzo: Mwananchi

Naibu Waziri Aliyeteuliwa na Rais Magufuli Amshukuru Mungu kwa Kuteuliwa

$
0
0
Naibu Waziri Aliyeteuliwa na Rais Magufuli Amshukuru Mungu  kwa  Kuteuliwa
Naibu waziri mteule wa Wizara ya Madini, Dotto Biteko amemshukuru Rais Jonh Magufuli kwa kumuamini na kumpa nafasi ya uongozi katika Taifa.

Biteko ambae ni Mbunge wa Bukombe amesema sifa na utukufu ni kwa Mungu na hana cha kusema zaidi ya kumshukuru Mungu.

Akizungumza na Mwanachi leo Jumamosi kwa njia ya simu Biteko amesema kwa sasa hana cha kusema zaidi ya kushukuru na atasema zaidi baada ya kuapishwa na kupewa majukumu ya utendaji katika Wizara ya Madini.

 Biteko alikuwa mwenyekiti wa kamati ya muda iliyochunguza madini ya Tanzanite na kugundua asilimia 80 ya madini yanayochimbwa nchini husafirishwa nje ya nchi kwa njia za magendo.

Baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Geita wamepokea kwa furaha uteuzi huo na kusema Biteko amekua na nyota ya uongozi toka akiwa shuleni kazini na sasa bungeni.

Ahmed Mubarak Mkazi wa Nyarugusu ambaye pia ni mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Geita amesema Biteko ana sifa ya uongozi toka akiwa mwanafunzi na hata alipopewa kuongoza Jumuiya ya Wazazi Mkoa wa Geita alileta mabadiliko makubwa.

Mutta Robert mkazi wa mjini Geita alisema kuchaguliwa kwa dotto anaweza kutatua tatizo la maeneo ya uchimbaji kwa wachimbaji wadogo  wanaotumia sururu badala ya sasa wachimbaji wadogo wanatambualiwa wale wenye uwezo wa kuwa na mashine.
Chanzo; Mwananchi

Pia alisema Ni mategemeo ya wachimbaji kuwa Dotto atakuja na suluhisho la tadsiri ya kisheria ya neno wachimbaji wadogo kwakua sheria ya madini haiwatambui wachimbaji wadogo wanaotumia jembe ,moko au sururu.
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live




Latest Images