Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104807 articles
Browse latest View live

DC Kula Sahani Moja na Wanaopiga Wake zao

$
0
0

Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Richard Kasesela amepiga marufuku vitendo vya wanaume walio kwenye ndoa kupiga wake zao, akisema watakaobainika hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Akizungumza kwenye uzinduzi wa kampeni wa madarasa ya shule ya Sekondari Tagamenda wilayani hapa, Kasesela amesema kuwa amechukua uamuzi huo baada ya familia nyingi kuchukulia vitendo hivyo kama jambo la kawaida.

Alisema hadi sasa ameshawachukulia hatua za kisheria wanaume zaidi ya watatu na kuwataka wanawake kuacha kuchukulia vitendo hivyo kama sehemu ya maisha yao na kuwataka kuripoti ili waweze kusaidiwa na pia kutokomezwa kwa vitendo hivyo vya kiuonevu.

" Ninatangaza hakuna mafanikio yanayoweza kupatikana ndani ya familia kama Baba na Mama hawana maelewano mazuri, na mimi sitaki kubeba dhambi za mtu yeyote atakayempiga mkewe mimi nitapambana nae," alisema Kasesela.

Hatua hiyo ya Mkuu huyo wa Wilaya ilipokelewa kwa shangwe na wakina mama wengi ambao walisema sasa amani itarejea ndani ya familia zao kutokana na wanaume wao kuwapiga hivyo sasa wanaamini furaha itakuwepo na mafanikio yatapatikana.

Pia Kasesela aliwataka wazazi hao kuwafundisha maadili yaliyo mema watoto wao ili waweze kujitunza na kuepuka maambukizi ya magonjwa ukiwemo UKIMWI.

Lemutuz Amjibu Alberto Msando " I Believe in Jino Kwa Jino Theory Ndio Maana Ninafight Back"

$
0
0

From @lemutuz_superbrandtz - @albertomsando Nimeupata Ujumbe wako that to "KEEP ON MOVING" ...na "TUSILIPE UBAYA KWA UBAYA" ...ukisema ni Amri sio Ombi ...tatizo langu ni moja tu nalo ni "THE SIZE OF THE SPIRIT OF FIGHTING BACK IN ME"...ambayo kama nisingekuwa nayo Shetani angekuwa ameshanimaliza siku nyingi sana .....mbele ya Shetani tunapishana thamani ndio maana wengine mashambulizi yao yanakuwa madogo na wengine kama sisi yanakuwa makubwa ...MATATIZO HAYAMPATI MTU ASIYEKUWA NA MAJIBU UNLESS HAJITAMBUI AU HAJUI THAMANI YAKE....so nimefikia nilipo kwa kupigana back always ama sivyo ningeshamalizwa loong time ndio maana I always believe in JINO KWA JINO THEORY.....TIZAMA NDUGU YANGU ALIYEJIUA HAPO CHINI ANGEKUWA NA SPIRIT KAMA YANGU ANGETAFUTA MWANAMKE MZURI KULIKO ALIYEKUWA ANAMSUMBUA MAANA NDICHO AMBACHO NINGEFANYA NA SPIRIT YANGU YA KUKATAA KUSHINDWA KIRAHISI...KILICHONITOKEA NI KIDOGO SANA KWANGU AS OPPOSED NA NYIE MLIO KARIBU YANGU MNAVYOONA ....TO ME IT IS THE SAME DEVIL NINAYEPIGANA NAYE TOKA NIKIWA MDOGO SIKU HIZI ANABADILISHA TU MAPIGO! Ila hajawahi kunishinda NEVER BADO....hahahaha ....otherwise nimekusikia! @albertomsando ....I am Humbled U know! - le Mutuz

Je Una Upungufu wa Nguvu za Kiume, Hamu ya Tendo la Ndoa au Maumbile Madogo ya Uume?

$
0
0
JE, UNA UPUNGUVU WA NGUVU ZA KIUME, HAMU YA TENDO LA NDOA AU MAUMBILE MADOGO YA UUME?

SOMA HAPA
Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume au ukosefu wa hamu ya tendo la ndoa limezidi kuongezeka kwa kasi duniani kote na limekuwa chanzo kikubwa cha ndoa nyingi na mahusiano kukosa uaminifu kutokana na wengi kutoka nje ya ndoa ili kupata mtu atakayemtosheleza na kumfikisha kileleni. Pia udogo wa maumbile ni tatizo kubwa na limekuwa likiwakosesha wanaume wengi uwezo wa kujiamini katika tendo na kusababisha tendo hilo kutokufanyika kwa usahihi. Hili pia huchangia kwa kiasi kikubwa wanawake wengi kwenda nje ya ndoa ( MAHUSIANO) kutafuta mbadala wake.
BAADHI YA DALILI ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NI KAMA:-
☆Kukosa hamu ya tendo la ndoa
☆Uume kusimama kwa ulegevu
☆Kuwahi kufika kileleni
☆Uume kusinyaa katikati ya tendo
☆Kushindwa kurudia tendo kwa wakati
☆Kuchoka sana baada ya round ya kwanza na hata kukinai kabisa.

Kwa kutumia mimea na matunda bila kemikali   @markson_beauty_pr Tunakuletea suluhisho la matatizo hayo hata kwa wenye "KISUKARI NA PRESSURE" kwa:-

1.HANDSOME UP ORIGINAL:- kifaa chenye uwezo wa 99% kuongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @250,000/=
2.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 5.5 hadi 6 @150,000/=
3.VigRX CREAM:- ni gely iliyoboreshwa mahususi kwa ajili ya kuongeza maumbile kwa wastani wa inch 6.5 hadi 8 na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @200,000/=
4.Vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza nguvu na hamu ya tendo la ndoa hata kwa wenye kisukari @150,000/=
5.Spray ya kuchelewesha kufika kileleni na kuweza kurudia tendo ×3. @150,000/=
BIDHAA HIZI HAZINA MADHARA KIAFYA NA ZIMETHIBITISHWA
NA SHIRIKA LA AFYA DUNIANI (WHO).
KWA BIDHAA HIZI NA NYINGINE NYINGI TEMBELEA UKURASA WETU WA INSTAGRAM :-
@markson_beauty_pr

WEB:www.markbeauty.org
Wasiliana nasi Popote
ulipo duniani kwa
(+255)0767447444 na
0714335378

UTAPATA HUDUMA
NB:Matokeo ni uhakika na garantii na hakikisha unapata risiti yenye muhuri halisi wa MARKSON CO pamoja na garantii ili kukuhakikishia kufanikiwa kwako.

Asilimia 90 ya Wanawake Wenye Uwezo Sawa na Wanaume Hupanga Siku za Kujamiiana

$
0
0
Wanawake wenye nguvu ya maamuzi na wenye fedha wanaelezwa kutoona umuhimu wa ngono na kuwapangia wenza wao siku za kujamiiana.

Hilo limebainika katika utafiti uliofanyika hivi karibuni na Jarida la Match’s Singles la nchini Marekani, kwa kushirikiana na wataalamu wa saikolojia kutoka katika baadhi ya vyuo vikuu nchini humo.

Utafiti huo uliohusisha watu 5,000 kutoka katika mabara kadhaa ikiwamo baadhi ya nchi za Afrika zikiwamo Tunisia, Mauritius na Swaziland umebainisha kuwa harakati za mwanamke kujikomboa kiuchumi na kifikra umebadili kabisa dhana nzima ya mapenzi kwa wapenzi na wenza.

Jarida hilo limefafanua kuwa kwa kiasi fulani mabadiliko hayo hayajawafurahisha baadhi ya wanaume hususani waliokuwa wakiwatumia wanawake kingono kwa ujira wa fedha na ahadi mbalimbali.

Katika utafiti huo uliochapishwa katika majarida mbalimbali ya familia yakiwamo Your Family Tree, Ebony, Family Office Magazine na Look-In, ulibaini asilimia 37 ya wanaume na asilimia 47 ya wanawake wanafurahia wanawake kuwa na nguvu sawa na wanaume katika uhusiano wa kimapenzi na kiuchumi.

Ilibainika asilimia 35 ya wanaume waliohojiwa katika utafiti huo walisema wanawake kuwa na nguvu, nafasi sawa na wanaume katika jamii kumefanya uhusiano wa kimapenzi kati yao kuwa mgumu.

Unaeleza asilimia 43 walisema wanawake kuwa na nguvu katika uhusiano wa kimapenzi ina maana nyingi tofauti na kupendana wawili waliooana.

“Mwanamke akiwa nguvu sawa na mwanaume katika familia au uhusiano wa kimapenzi, kuna mambo mengi, wana sifa ya kutunza fedha, wanajua kuunganisha familia, wavumilivu, hizo ni miongoni mwa faida, lakini pia ni wachapakazi wakipata nafasi ya kufanya hivyo,” alisema Connie Shehan Profesa wa masomo ya jamii na wanawake kutoka Chuo Kikuu cha Florida.

Alisema usawa katika maamuzi ya ngazi ya taifa, jamii na familia huleta mapenzi zaidi ya watu wanavyodhani, kuliko uhusiano ukiwa tegemezi wa upande mmoja, huwa na manung’uniko yasiyo na majibu.

“Wanawake kuwa na nguvu katika uhusiano haimaanishi wataacha kuwa na ile asili ya kike, itabaki isipokuwa watakuwa na nafasi ya kushiriki katika kufanya maamuzi, na hilo ndiyo gumu kukubaliwa na wanaume wengi ndiyo maana wanaona imekuwa taabu kuwa nao, ” alisema Profesa Shehan. Alisema mabadiliko ya usawa kwa wanawake na wanaume kwa kiasi fulani yameleta faida, kwa sababu wapo wanaume leo wanawasaidia wanawake kazi zao.

Utafiti huo pia ulibaini kuwa asilimia 90 ya wanaume walisema haki sawa kati ya jinsi hizo mbili inafanya mambo mengi kuwa magumu na kusababisha wao kunyanyasika.

Naye mtaalamu wa masuala ya jamii kutoka Chuo Kikuu cha Jimbo la New York Brockport, Profesa Bridges Tristan alisema kuwepo kwa usawa wa kijinsia ikiwa ni pamoja na kufanya kazi, kumiliki mali, kulipia gharama za familia si suala linalolalamikiwa na wanaume.

Alisema wanaume wanacholalamikia ni kutopata nafasi ya kuwakandamiza wanawake kwa sababu moja ama nyingine ikiwamo ya kiuchumi ambayo ilikuwa ni kikwazo cha kufikia malengo yao.

“Hapa kuna mambo mawili, asilia ya mwanamke kuwa chini ya mwanaume na mwanamke mwenye nguvu ya kufanya maamuzi, lakini bado yupo chini ya mwanaume.

“Wanaume wanaona karaha kuwa na wanawake wenye nguvu, waelewa wa mambo, wanaoweza kujenga hoja, wanaojulikana ndani ya familia na nje kwa juhudi zao, bila kujali wapo chini yao au laa.

Alisema linapokuja suala la mapenzi, wanawake wenye uwezo wa kifedha na upeo wa kuzitafuta, wameelekeza nguvu, akili huko na kuchukulia mapenzi kama kitu cha kawaida.

“Ukiangalia wanawake wasiokuwa na uwezo wa kifedha, hutumia muda mwingi kuwaza kuhusu wapenzi wao wakitamani wawafanyie hili na lile, si kama wanapenda, bali ndiyo silaha pekee waliyobaki nayo.

“Wakikubali makosa hata yasiyo yao, tofauti na anayetafuta fedha hata kama atakubali kosa ni kwa sababu ni mwanamke ameumbwa hivyo kiasili, lakini ataendelea kufanya maamuzi mengine, hatarudi nyuma kamwe,” alisema Profesa Tristan.

Alisema wanawake hujisikia faraja wanapokuwa na uwezo wa kushiriki mijadala, kufanya kazi, kufanya biashara kwa sababu huamini wamekuwa sawa na wanaume, huku wakichukuliwa tofauti na kuonekana ni walioweza kutokana na karne na karne kuonekana ni watu wanaohitaji kusaidiwa ili wafike mahali fulani.

Profesa Shehan alisema kila jambo zuri lina changamoto zake, kubwa waliyobaini katika uchunguzi mdogo waliofanya katika utafiti huo ni wanawake walio na nguvu ya kufanya maamuzi, wana tabia tofauti wakati wa kujamiiana.

Alisema wanawake wa namna hiyo asilimia 95 hutaka kutawala suala la kujamiiana, hupanga siku ipi ashiriki na siku gani asiguswe.

Ilibaini kuwa asilimia 90 ya wanaume walitaka wanawake waanze kuwabusu na waonyeshe kutamani kujamiiana nao, huku asilimia 92 ikiona hilo si jambo la busara na anayepaswa kufanya hivyo ni mwanaume.

“Si wanaume wote wanaoweza kushughulika na mpenzi ambaye ana nguvu na haogopi kusema kile anachopenda, maoni yake ni nini ambayo inaweza kuwa changamoto,” Shehan alisema.

Shehan alisema wamebaini kuwa tofauti na siku za nyuma, wanawake sasa wana uwezo wa kuhoji pale wanapoona wanaonewa hususani katika suala la uhusiano, badala ya kulia na kulalamika.“Kweli wanafanya maamuzi ya kuendelea au kuachana na uhusiano usiokuwa na faida upande wao, hili limejitokeza uhalisia wake baada ya kupata nguvu ya kushiriki masuala mbalimbali sawa na wanaume, ”alisema.

Matokeo ya ziada yalionyesha asilimia 78 ya wanawake wa namna hii hulipia gharama wanapotoka na mwanaume mwenye lengo la kuwa na uhusiano naye wa kimapenzi kwa mara ya kwanza.

Namna ya Kuwa Mwanaume Usiyekera Wanaume Wenzako

$
0
0
Vijana wangu wa Sinza na Kinondoni wikiendi hii, wamekaa na wakakubaliana na maamuzi ya kikao cha wikiendi iliyopita cha vijana wa Temeke na wale wa ushuani Masaki na Mbezi Beach kuwa, lazima mjini uwepo mwongozo wa namna ya kuwa mwanaume usiyekera wanaume wenzako, wazungu wanasema “Gentleman”. Bila kupoteza muda ngoja nianze kuorodhesha mwongozo mmoja baada ya mwingine ili tuwekane sawa.


  • Ukija kijiweni au pub au kwenye nyama choma acha zile stori za sijui umesoma wapi hadi wapi, sijui una madigirii mangapi. Piga stori nyingine, mbona ziko nyingi tu. Kujielezea sana shule yako ni ushamba fulani hivi, dizaini kama hujiamini so lazima ujivishe nyota. Unaboa.
  • Tembea na keshi mfukoni kama vipi, stori za kadi yangu ya benki imegoma sio ishu.
  • Punguza mambo yako ya kuvaa sana kipapaa. Sometimes ibuka na pensi na jinsi tu mwana.
  • Punguza kukesha nje mfululizo, iwe umeoa, una mpenzi au upo upo. Kikanuni kabisa usikae nje hadi usiku wa manane siku tatu mfululizo labda uwepo mchongo wa maana sana. I mean wa maana sana.
  • Epuka sana mchezo wa kujipiga tattoos. Kuna watu wamekosa wake au michongo hevi in life kisa hizo mambo.
  • Nasisitiza sana epuka kumtaka mpenzi wa zamani wa mshikaji wako. Pigia mstari hii pointi. Kwani lazima upite palepale? Tusiishi kikondoo bro.
  • Jiunge walau na mtandao mmoja wa kijamii. Keep in touch na washikaji. Kuna wana toka mmemaliza primary hamjachekiana, utawakuta mitandaoni. Unaweza kupata mchongo au kujifunza ishu mbili tatu, au kuwa fala zaidi ukiamua.
  • Maisha mafupi sana, jitahidi kupunguza kukunja ndita. Jiachie mara moja moja.
  • Ukifika baa uwe tayari unajua unakunywa nini. Sio Mhudumu anakuja kukusikiliza unawaaaaaza. Inaonyesha hujisomi na huna mipango. Samahani lakini.
  • Kama hujaalikwa kwenye ishu, usiende mwanangu. Sometimes hata ukialikwa usiende pia. Unaweza kualikwa ili useme no, kiushahidi tu.
  • Halafu tumechoka wewe kuwa kituko ukilewa. Kama pombe huziwezi ziache, piga juisi tu au maji wakati wana tunapiga monde, sio kesi, ni uwezo tu wa kuhimili.
  • Toa tip bila kuomba namba ya baamedi basi mwanangu. Jifanye kama umetoa tu msaada. Hata simba sio swala wote huwa anawala porini, wengine anawacheki anapita zake.
  • Punguza kutumia simu sana, tena wakati mwingine kwa ishu ambazo hazina mpango. Ukumbuke juzi juzi hapa wataalamu wamesema simu zinaleta ugumba.
  • Nunua tumiwani twa jua twa bei bei hivi, inakupa mwonekano wa kijentlomani sometimes.
  • Piga push-ups walau 50, sit ups na dips kabla ya kuoga asubuhi, hii afya tumeazimwa tu, jiweke fit.
  • Toka out na washikaji zako at least mara moja kwa mwezi mpige msosi na kinywaji. Wife au demu wako na wanao waache home! Sio kila kona kila siku uko nao kama mkoba, kichwa kitatia kutu.
  • Julikana walau hata baa mbili tatu au sehemu mbili tatu. Baa, basketball ground, soccer ground, acha kujikunyata home. Wewe mtoto wa kiume man.
  • Jifanye mjuaji sometimes, then jifunze baadaye. Sio kila kitu wewe ni “I don’t know”.
  • Beer moja au glass moja ya wine baada ya mlo haiwezi kukuvurga, kama hutaki, kunywa majuisi yako basi ulete inzi, au misoda ujijazie magonjwa.



  • MTOTO WA KIUME HAPIGI SELFIE OVYO OVYO NA KUBINUA MIDOMO na KULAMBA LIPSI. PIGA SELFIE KWENYE ISHU MUHIMU. FAMILIA HIVI, DEMU MKALI, etc. Umenisoma?
  • Ukiweza miliki hata panga ghetto, maana bastola najua ngumu. Sio nyumba nzima huna hata kasilaha kadogo.
  • Ridhika. Hamna hata siku moja utakuwa na kila kitu. Jifunze kushukuru kwa ulicho nacho.
  • Sometimes agiza matunda badala ya chipsi.
  • Ukikutana na demu mzuri kiwanja yuko peke yake, muongeleshe.
  • Miliki walau suti moja kabla hujapitisha miaka 30 bro. Please. Na tupafyumu.
  • Kuwa na mpenzi moja kwa wakati mmoja. Anatosha sana. Trust me.
  • Ukitaka kujilinganisha, jilinganishe wewe wa jana na wewe wa leo. Utafika mbali. Ukijilinganisha na wana utapasuka kichwa.
  • Piga picha nyingi kwa camera (again, sio selfies) tunza kumbukumbu.
  • Ukialikwa kwenye party usiende mikono mitupu. Nenda walau na kachupa kamoja ka mvinyo.
  • Date demu nje ya wale unaokutana nao club au baa mara wa mara. Utakuja kuniambia faida zake.
  • Huwezi kuwa mpenzi wa pombe au sigara kwa sababu hivyo vitu havitakaa vikupende.
  • Hata siku moja usirudiane na demu aliyekuacha kisa huna mkwanja. Kaenda kutafuta kakosa ndio maana kakurudia labda baada ya kuona umepata. Siku akikutana na mwenye chambi kukuzidi? Jibu kaa nalo.
  • Sometimes jitoe out mwenyewe, kaa mahali piga msosi wako na kinywaji chako, tafakari ishu zako. Alone.
  • Jisomee ukiwa na time. Inakupa chance kuazima ubongo wa mtu mwingine lakini pia inakupa matirio kwenye maongezi, ila stori za kuja kwenye joint na washikaji na kuanza kusema oh nimesoma kitabu hiki na kile kausha!
  • Puuza wanaozomea. Huwa wamekaa viti vile vya bei rahisi.
  • Hata siku moja usiseme “Ndo hivyo bwana, hamna namna tena”. Ipo namna bro.
  • Usi-bet kama ukipoteza buku 5 we ni mtu wa kulia lia kindezi.
  • Muombe na Mshukuru Mungu wako. Kama huna Mungu jishukuru mwenyewe, kiazi wewe.

Kumbuka, sheria hufuatwa na wajinga lakini huwaongoza wenye busara.


Adios

Mtu wako,

Wazangi Talewa

Nicheki Twitter @Curatetz

Nandy 'Natamani Kuwa Mke wa Mwanamuziki Billnass'

$
0
0
BINTI anayefanya vizuri kwenye Bongo-fleva, Nandy amefunguka kuwa kama kutoa penzi ni bora kwa mwanamuziki mwenzake, Billnas na sio Dogo Janja kama wanavyosema watu.

 Akazungumza na Spoti Xtra, alisema kuwa watu wengi wanasema kuwa wimbo alioimba wa Kivuruge amemuimbia Dogo Janja baada ya kumtema.



“Sijawahi kuwa na uhusiano na Dogo Janja ila ni mshikaji tu na sijamfikiria labda mngeniambia Billnas ni mtu ambaye ninampenda na ninatamani siku moja awe wangu ila kama atanifuata yeye,” alisema Nandy.

HABARI NA IMELDA MTEMA

Habari Njema: Tunatibu Busha, Korodani Kuvimba,Ngiri, Miguu Kufa Ganzi Pamoja na Matatizo ya Nguvu za Kiume

$
0
0
Ni Dawa ya nguvu za kiume inayorefusha na kunenepesha uume saizi uipendayo (Inch 1-7) kwa muda wa siku 6 tu.Dozi hii itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dakika 30, utarudia tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha bila kujali umri na garantee ni miaka 60 baada ya kutibu tatizo.

Pia tunatibu Busha bila kufanyiwa Oparesheni, korodani moja kuvimba, ngiri, tumbo kujaa gesi na kuunguruma, kutopata choo vizuri, miguu kuwaka moto na kufa ganzi, chango la wanawake, kisukari na kutokwa na kinyama sehemu ya haja kubwa.

MIHAYO:
Inarudisha mke, mchumba, hawara na atakutimizia kila kitu unachotaka kutoka kwake ndani ya  saa 2 tu hata kama yupo mbali. atarudi na kumfunga asiwe na mwingine zaidi yako.

Umefukuzwa kazini? unataka kupandishwa cheo? Umepoteza pesa zako kwenye biashara bila kujua umepandikizwa chuma ulete? Njoo urudishe pesa zako. Unauza mali yako haiendi?

Wasiliana na mtaalam Challo kwa; 0714006521

Yaliyojiri Wakati wa Mazungumzo kati ya Rais Dkt Magufuli na Rais Kagame

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Rwanda Mhe. Paul Kagame leo tarehe 14 Januari, 2018 amefanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli.

Mhe. Rais Kagame amewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na mwenyeji wake Mhe. Rais Magufuli na kisha kulakiwa na viongozi mbalimbali wakiongozwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, na baadaye akaelekea Ikulu ambako pamoja na kufanya mazungumzo ya faragha, viongozi hao wamezungumza na wananchi kupitia vyombo vya habari.

Mhe. Rais Magufuli amesema katika mazungumzo yao wamekubaliana ujenzi wa reli kwa kiwango cha kisasa (Standard Gauge) kati ya Isaka nchini Tanzania na Kigali nchini Rwanda yenye urefu wa takribani kilometa 400 uanze mwaka huu (2018), na wamewaagiza Mawaziri wanaohusika na miundombinu kukutana ndani ya kipindi cha wiki mbili kuanza sasa ili kuweka mipango ya utekelezaji ikiwemo upatikanaji wa fedha.

Mhe. Rais Magufuli ameongeza kuwa wakati uamuzi huo ukifikiwa, Tanzania ambayo tayari imeanza ujenzi wa reli ya kati (Standard Gauge) kuanzia Dar es Salaam – Morogoro hadi Dodoma yenye urefu wa kilometa 726 na itakayogharimu Shilingi Trilioni 7.6, itaanza mchakato wa kuunganisha sehemu iliyobaki ya kutoka Dodoma – Isaka yenye urefu wa takribani kilometa 400 ili mizigo iweze kusafirishwa moja kwa moja kutoka bandari ya Dar es Salaam hadi Kigali nchini Rwanda.

Aidha, Mhe. Rais Magufuli amebainisha kuwa japo kuwa kumekuwa na ongezeko la mizigo ya Rwanda inayosafirishwa kupitia Tanzania iliyofikia tani 950,000 kwa mwaka, biashara kati ya nchi hizi mbili sio ya kuridhisha na hivyo amesema wamekubaliana kuboresha zaidi mazingira ya biashara ikiwemo kuimarisha miundombinu ya reli na barabara na kuwahamasisha wafanyabiashara wa Tanzania na Rwanda kufanya biashara zaidi.

“Tukijenga reli kutoka Isaka hadi Kigali, na sisi huku tunajenga kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma na tukaunganisha Dodoma hadi Isaka, mizigo mingi ya Rwanda itasafirishwa kupitia bandari ya Dar es Salaam, biashara itakua zaidi na ajira zitaongezeka, kule Lulenge Ngara, Burundi na Rwanda kote kuna madini ya Nickel, tukijenga miundombinu yetu tutasafirisha madini haya na tutaongeza biashara.

“Na reli hii itatumiwa na nchi nyingine za Burundi, DRC na Uganda, kwa hiyo ni jambo muhimu sana kwa uchumi wetu na majirani” amesisitiza Mhe. Rais Magufuli.

Mhe. Rais Magufuli amemhakikishia Mhe. Rais Kagame kuwa Tanzania itaendeleza na kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wake na Rwanda kwa manufaa ya wananchi, na kwamba ipo tayari kumuunga mkono atakapochaguliwa kuwa mwenyekiti wa Umoja wa Afrika (AU) katika kikao cha wakuu wa nchi na Serikali kinachotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa Januari, 2018 Mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

“Mhe. Rais Kagame nakupongeza sana, unafanya kazi kubwa ya kuwapigania wananchi wako, Watanzania tunajua ulikoitoa Rwanda na tunajua ulipoifikisha, nakuhakikishia tutaendelea kushirikiana katika jukumu la kuwaletea wananchi maendeleo” amesema Mhe. Rais Magufuli.

Kwa upande wake Mhe. Rais Kagame amemshukuru Mhe. Rais Magufuli kwa mwaliko wake na amempongeza kwa kazi nzuri inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya nchi yake na Tanzania.

Mhe. Rais Kagame amesema yeye na Mhe. Rais Magufuli wameamua kufanya kazi ya kuwaletea wananchi maendeleo na ameahidi kuendelea kufanya kazi kwa ushirikiano na Mhe. Rais Magufuli ili mipango yote waliyojiwekea itekelezwe ikiwemo kuinua biashara na kuongeza ajira, na pia ameshukuru kwa Tanzania kuwa tayari kumuunga mkono atakapochaguliwa kuwa Mwenyekiti wa AU.

Mhe. Rais Kagame amemaliza ziara yake ya kikazi ya siku moja hapa nchini na amerejea nchini kwake Rwanda.

Gerson Msigwa
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, IKULU
Dar es Salaam

14 Januari, 2018

Rais Liberia Atimuliwa Katika Chama Chake...Kisa Kizima Hichi Hapa

$
0
0
Rais anayemaliza muda wake nchini Liberia, Ellen Johnson Sirleaf, ametimuliwa katika chama chake kwa tuhuma za kutomuunga mkono mgombea wake ili amrithi.

Chama chake cha Unity kinamtuhumu Bi. Ellen, kwa kuwahamasisha wananchi kutompigia kura mgombea ambaye alikuwa Makamu wa Rais, Joseph Boakai.

Aidha, chama hicho kinamtuhumu kwa kukiuka Katiba kwa madai ya kumfanyia kampeni George Weah, ambaye aligombea kupitia chama cha Coalition for Democratic Change, na kuibuka mshindi.

Weah ambaye ni mwanasoka nyota wa zamani, ataapishwa rasmi tarehe 22 mwezi huu ikiwa ni mara ya kwanza Liberia inashuhudia mabadiliko ya uongozi kwa njia ya amani tangu mwaka 1944

Picha: Akamatwa Uwanja wa Ndege DAR Akiwa Ameficha Dola 83,000

$
0
0

 Maafisa wa Forodha wakishirikiana na Polisi na Maofisa wa Usalama katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere wamemkamata Boniface Aldo Mbilinyi (32) wakati akikaribia kusafiri kwenda Dubai na kiasi kikubwa cha fedha ambacho hakukitolea ufafanuzi.

Boniface ambaye ni raia wa Tanzania, makazi wa Tabata Segerea mwenye hati ya kusafiria nambari AB 757247, eneo la juu la kuondokea abiria Terminal II wakati akisubiri kusafiri na ndege ya Shirika la Ndege la Emirate kuelekea Dubai akiwa na jumla ya dola za kimarekani 123,000.

Abiria huyo ambaye ni mfanyabishara alitoa taarifa katika Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuwa anasafiri na dola 40,000 (TZS 89,242,000), huku kiasi kilichosalia USD 83,000 (185,177,150) hakikutolewa ufafanuzi.

Baniface alikuwa akielekea Dubai kwa safari ya kibiashara.

Mamlaka iliyomkamata imechukua kiasi cha fedha USD 83,000 ambazo hazikutolewa taarifa na wameziweka kwenye akaunti ya dola ya FIU numba 20110028135.

Mtuhumiwa huyo anashikiliwa na jeshi la polisi kwa mahojiano zaidi.



Mbunge wa Chadema Atangaza Adhabu Kali ya Kupewa Endapo Atajiunga CCM

$
0
0
Mbunge wa Jimbo la Mbozi mkoani Songwe kupitia CHADEMA, Paschal Haonga amesema hana mpango na wala hayuko tayari kuhama chama hicho na endapo ikatokea akahama, wananchi wachome moto nyumba yake anayoishi na familia yake.

Haonga ametoa kauli wakati akizungumza na wapiga kura wake katika mwendelezo wa mikutano yake jimboni humo.

Ametoa msimamo huo ikiwa ni njia ya kuwatoa hofu wapigakura wake baada ya kuwepo kwa tetesi kuwa mbunge huyo naye ni miongoni mwa wabunge wanaohisiwa kuendelea kukihama chama hicho.

Kauli ya Haonga imekuja wakati wimbi kubwa la viongozi wa CHADEMA wakiendelea kumtimkia CCM kwa kile wananchoeleza kuwa, wanakwenda kuunga mkono juhudi za Rais Dkt John Pombe Magufuli.

Harusi ya Shilole: Diamond Amtaka Shilole a Chague zawadi, Shishi Achagua Hii (Video)

$
0
0
Rais wa WCB, Diamond Platnumz alitoa kali ya mwaka katika sherehe ya harusi ya Shilole na Uchebe baada ya kumtaka bibi harusi huyo kuchagua zawadi ambayo anaitaka kutoka kwake. Baada ya Diamond kusema hivyo, Shishi alimuomba muimbaji huyo kujitolea kumtangazia biashara yake mpya ya Shishi Chili, ambapo Diamond alikubali ombi hilo.

VIDEO:

FULL VIDEO: Shilole na Uchebe walivyoingia Harusini… Shishi hajaacha asili

$
0
0
Msanii wa Bongofleva Shilole ameendelea kuwathibitishia Watanzania kwamba alikua serious na swala la ndoa, baada ya ndoa yake na Uchebe kufungwa December 2017 leo January 14 amefanya sherehe Mikocheni Dar es salaam.

VIDEO:

Soma Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Siku ya Leo Jumatatu

Kutana na Mtabibu Wanyota Duniani Kote Maalim Fadhili Rashid Kutoka COMORO Kwa Sasa Yupo Tanzania

$
0
0

KUTANA NA MTABIBIBU WANYOTA DUNIANIKOTE MAALIM FADHILI RASHIDI KUTOKA COMORO KWA SASA YUPO TANZANIA NI BINGWA WAKUTIBU MARADHI SUGU KAMA VILE MIGUU KUUMA NA KUWAKA MOTO PRESHA KISUKARI VIDONDA VYA TUMBO PUMU

MAALIM FADHILI RASHIDI ANAJUWA UMEHANGAIKA SANA LAKINI HUJAFANIKIWA MUONE HARAKA AKUSAIDIE ANADAWA ZA KI COMRO DAWAZAKE HABAHATISHI MUONE HARAKA AKUSAIDIE TEZI NAUVIMBE TUMBONI ANAUWEZO WAKURUDISHA MTUALIE POTEA KIMAZINGIRA (MSUKURE) KUMFANYA MKE MUME MPENZI ASIKUSALITI DAWA YA (LIMBWATA) KUMTAWALA MPENZI WAKO UNAVYOTAKA KUMUONA MBAYA WAKO LIVE KWASABABI MALUM ANATOA PETE YA BAHATI INAYO ENDANA NA NYOTA YAKO ITAKAYO KULETEA MALI BILA YA MASHARITI NAKUMILIKI MALI ZAMAJINI DAWA YAKUONGEZA UUME ZAIZI UIPENDAYO DAWA YA NGUVU ZAKIUME PIA ANAYO DAWA YAKUONGEZA HIPS SHEPU KUWA NAUMBO BOMBA KAMA UMEIBIWA AMA KUDHULUMIWA UTARUDISHIWA MALIYAKO NDANI YA MASAA (24) ANAFUNGA KESI NAKUPATA HAKIYAKO DAWA YA MVUTO
WABIASHARA KUUZA MALIYAKO KWAHARAKA KUZUIYA CHUMAULETE KUSAFISHA NYOTA NAKUTOWA MIKOSI NA KUPANDISHWA CHEO KAZINI KARIBUNI WOTE TIBA NIKWADINI ZOTE UTAPATA HUDUMA POPOTE ULIPO DUNIANI

CALLING +255719362806/

WHATSAPP CALLING +255785786436/

Bill Nass Afungu Kuhusu Ombi la Ndoa kwa Nandy

$
0
0
Bill Nass Afungu Kuhusu Ombi la Ndoa kwa Nandy
Msanii Bill Nass amejibu kauli ya Nandy aliposema kuwa anatamani angekuwa mke wake, na kusema kwamba ni kitu ambacho hakiwezekani ingawa anaheshimu hisia zake

Akizungumza na mwandishi wa www.eatv.tv, Bill Nass amesema kwa sasa hawezi kujibu kwa mtazamo positive kwani kufanya hivo kutaharibu mahusiano yake ya sasa, lakini anaheshimu hisia za Nandy.

“Kwa coment yangu kwa sababu mtu ameelezea hisia zake kutokana labda na personality zangu, ila hanijui kiundani, siwezi kujibu in positive ingawa naheshimu hisia zake naheshimu alichokizungumza, lakini kutokana na mahusiano ambayo niko nayo siwezi kufanya move yoyote kwake, naheshimu mahusiano yangu, siwezi kucoment chochote ambacho hakitampendeza mwenzangu na hakitakuwa na mrejesho mzuri kwenye mahusiano yangu, lakini naheshimu hisia zake”, amesema Bill Nas.

Hivi karibuni msanii Nandy alinukuliwa na moja ya chombo cha habari akisema anatamani angekuwa mke wa Bill Nass kwani anamzimia msanii huyo.

Gigy Money Afunguka Kuhusu Mimba Feki

$
0
0
Gigy Money Afunguka Kuhiusu Mimba Feki
Msanii Gigy Money ambaye hivi karibuni ameonekana akiwa mjamzito na kuwashangaza wengi, amesema hakukusudia kuwajulisha watu bali ilikuwa kwa bahati mbaya wamejua


Akizungumza na mwandishi wa www.eatv.tv pia Gigy Money amewataka watu kumshukuru Naibu Waziri wa Habari, Sanaa utamaduni na Michezo Juliana Shonza kwa kumuita, kwani bila wito huo watu wasingemuona mtaani na kumuona akiwa na ujauzito wake.

“Kwanza Mumshukuru yule waziri la sivyo msingeuona, huwa sipendi kabisa kuongelea masuala ya ujauzito wangu ila siku ile ilitokea bahati mbaya watu wakauona, alafu hao wanaosema nimeweka mimba feki ili serikali inionee huruma mi nina undugu na serikali? Kama mtoto anaokotwa basi subirini nami wangu nitamuokota”, amesema gigy Money.

Kauli hiyo ya Gigy Money imekuja siku chache baada ya watu kumuona na ujauzito, huku wengine wakidai ameweka mimba feki ili serikali imuonee huruma.

Mzee Majuto Kuingia Kwenye Movie za Action Ampa Tano Ngubilu

$
0
0
Mzee Majuto Kuingia Kwenye Movie za Action Ampa Tano Ngubilu
KOMEDIANI lejendari Bongo, Amri Athuman ‘Mzee Majuto’ amesema kuwa mwaka 2018 ameibuka kivingine baada ya kujikita kwenye sinema za action huku akimpa tano mwigizaji anayecheza naye kwa sasa, Maurus Laurent ‘Ngubilu’.

Mzee Majuto aliliambia Ijumaa Wikienda kuwa, sinema iliyoingia sokoni juzikati ya Mjeshi Mtata ndiyo inayomuonesha akifanya vitu vya hatari kwa mara ya kwanza kwenye filamu za action (mapigano).

“Nimetaka nioneshe ukali wangu kwenye mambo ya action, lakini ninampongeza kijana wangu Ngubilu ambaye ndiye nimeshirikiana naye, kiukweli yupo vizuri na atafika mbali,” alisema Mzee Majuto akiungwa mkono na Ngubilu.

Ndoa ya Wolper si ya Nchi Hii....... Kufanyika Bongo na Marekani

$
0
0
Ndoa ya Wolper si ya Nchi Hii....... Kufanyika Bongo na Marekani
ILE sherehe ya ndoa yaani harusi ya staa mkubwa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe itakuwa na mbwembwe ambazo si za nchi hii kwani itafanyika Bongo kisha Marekani.


Katika mahojiano maalum, Wolper alilieleza Ijumaa Wikienda kuwa, harusi hiyo itafanyika hivi karibuni na inatarajiwa kuwa ya gharama kubwa kwani itaacha historia.

Wolper alisema kuwa, harusi hiyo itagharimu takriban shilingi milioni 60.

“Milioni kama 50 zitatumika kwenye sherehe ya hapa Bongo na nyingine 10 nje kwa sababu kule Marekani hatutakuwa na watu wengi sana,” alisema Wolper.

Wolper alisema kuwa, katika sherehe ya Marekani itabidi aende na wasanii wanne tu wa Bongo ambao atawalipia nauli ya kwenda na kurudi na kuwapa pesa ya kujikimu.

“Wasanii ambao nitaenda nao kwa ajili ya kuhudhuria harusi yangu ni wanne tu, mmoja kati yao ni Aunt Ezekiel kwa sababu huwa ananipa sapoti kwenye biashara zangu hivyo siwezi kumwacha,” alisema Wolper ambaye hivi karibuni alitolewa mahari na mwanaume aitwaye

Miujiza ya Sharifu Seif Mohamed..JE Umeachwa na Mme/Mke au Mpenzi, Umesongwa na Mitihani ya Maisha..Piga Simu Upate Muujiza Wako

$
0
0
SHARIFU SEIF MOHAMED ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOENDELEA KUPIGA SIMU, WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA  SHUKRANI NA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO WASAIDIA,

(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu)

SHARIFU MOHAMED Ni  mtaalam na mnajimu maarufu wa nyota na kubashiri mambo yanayo watesa binadamu duniani kote na kupata ufumbuzi, Anatumia kitabu cha QUR'AN, Dawa za Asili, Dawa za Kiarabu na majini kwa kumtuliza mke/mme, mchumba au mpenzi ndani ya masaa 72 tu, na kutatua matatizo yote ya kimaisha,

Je Umeachwa na UMPENDAE awe Mme/Mke na bado unampenda? Je Umekimbiwa na Mmeo/ Mkeo n anaishi na mtu mwingine? Je Umejaribu sehemu nyingi bila mafanikio? Mpigie simu SHARIFU SEIF sasa hivi ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo, Anauwezo wa hali ya juu wa kusambaratisha mahusiano yao na kumrejesha kwako haraka sana na Kumfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi Endapo Utafwata Atakacho Kuelekeza

ANAZO DAWA ZA MAPENZI, NGUVU ZA KIUME, CHANGO NGIRI MAJI NA N.K, ZINDIKO LA NYUMBA NA BIASHARA, PETE ZA BAHATI, HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA, HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA, HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA, MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA, ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE, KUPANDISHA NYOTA NA KUSHINDA BAHATI NA SIBU, KASAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUKSI NA VIFUNGO MBALIMBALI,  MAFANIKIO YA MAISHA NA UTAJIRI BILA MASHARI, NA MENGINE MENGI YA SIRI,

Je UMAHANGAIKA KUPATA MTOTO BILA MAFANIKIO? WASILIANA NA MTAALAMU HUYU KWANI YEYE HUFAULU PALE WOTE WALIPOSHINDWA, PIA UMALIZA KAZI ZILIZO SHINDIKANA NA WATAALAM WENGINE NDANI YA MASAA 24 TU,

(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE AU MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFWATA MAELEKEZO YAKE)

Kwa ushauri na mawasiliano  zaidi Piga SIMU No:

Mobile +255 654-836970
WhatsApp +255 756-033670
Viewing all 104807 articles
Browse latest View live


Latest Images