Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live

Manchester City na Liverpool Kuweka Rekodi Leo

$
0
0
Manchester City na  Liverpool Kutimua Vumbi LeoKuelekea mchezo wa marudiano leo ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya robo fainali kati ya wenyeji Manchester City dhidi ya Liverpool, hizi ni rekodi ambazo zinaweza kuvunjwa au kuwekwa na timu zote mbili endapo zitapata matokeo chanya.


Katika Historia ya ligi ya Mabingwa ni timu mbili tu ambazo zimewahi kubadili matokeo kutoka kufungwa mabao matatu au zaidi kwenye mchezo wa raundi ya kwanza. Deportivo La Coruna dhidi ya AC Milan mwaka 2003-04 na Barcelona dhidi ya Paris Saint-Germain msimu uliopita.

Hata hivyo Manchester City wanajivunia ushindi wao mnono dhidi ya Liverpool ambapo waliifunga mabao 5-0 katika mchezo wa kwanza wa ligi uliopigwa kwenye dimba la Etihad. Katika mechi 9 walizokutana hivi karibuni Man City ameshinda mechi hiyo pekee huku wakitoa sare mara mbili na Liverpool kushinda mechi 6.



Liverpool wanaiwinda rekodi yao ya mwaka 2005 ambapo walicheza mechi 6 mfululizo za UEFA bila kupoteza na msimu huo waliibuka mabingwa. Hadi sasa timu hiyo imecheza mechi 5 mfululizo bila kufungwa ikitoa sare 2 na kushinda 3.

Rekodi nyingine kali ambayo Liverpool inaweza kuipata leo ni kuwa timu ya kwanza kuifunga Man City mara tatu mfululizo ambapo mara ya mwisho ilikuwa ni mwaka 2009 ilipofungwa mara tatu mfululizo na Manchester United.

Sakata la Kufungiwa Wasanii Lazidi Kutikisa Bungeni "Hata Rick Ross, Wizkid na Davido Wote Wamefungiwa"- Mwakyembe

$
0
0
Sakata la Kufungiwa Wasanii Lazidi Kutikisa Bungeni "Hata Rick Ross, Wizkid na Davido Wote Wamefungiwa"- Mwakyembe
Suala la nyimbo za wasanii wa Bongo Flava kufungiwa bado lipo kwenye headlines za kiwango cha juu, safari hii mjadala mzima umeamia Bungeni mjini Dodoma.

Mjadala umeanzishwa na Mhe. Catherine Magige aliyeuliza ni kwanini kamati ya maudhui inaacha hadi wasanii wanatoa nyimbo ndipo inaibuka na kuzifungia bila kujali wasanii wanaangaika na kupitia changamoto mbali mbali hadi kuzikamilisha.

Akijibu swali hilo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe amesema kila taifa lina utamaduni wake na lazima liulinde, hivyo wanachokifanya sio vita na wasanii bali ni kulinda maadili katika kipindi hiki cha utandawazi.

“Tunachofanya hapa sio cha pekee duniani kila mtu anafanya hivyo, nitoe mfano mmoja mdogo, Rick Ross ambaye amepiga wimbo na Diamond ‘Waka’ amepata matatizo kwa kuimba wimbo ambao unaleta picha anaunga mkono ubakaji, wakina mama Marekani walikuja juu wimbo ukaondolewa kwenye TV zote na yule kijana akaomba radhi,” amesema Waziri Mwakyembe.

“Davido mwamuziki maarufu duniani ambaye amepiga na Diamond amefungiwa nyimbo zake mbili mwaka huu, sio huyo tu, Wizkid kafungiwa nyimbo zake, sijasikia wabunge wa Nigeria wakilalamikia sheria zao wenyewe,” amesisitiza Waziri Mwakyembe.

Ameogeza kuwa anashangazwa kwa wabunge kuhoji wao kufungia nyimbo chache wakati BBC katika historia yao wamefungia nyimbo nyimbo zipatazo 237.


February 28 mwaka huu Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilipokea list ya nyimbo 15 zisizokuwa na maadili kutoka kwa Baraza la Sanaa Taifa (BASATA) na kuamuru kutopigwa katika vyombo vya habari. Katika list hiyo Nay wa Mitego alifungiwa nyimbo tatu na Diamond nyimbo mbili.

Kutana na Mtaalam Sharif Hamad Kalala Mchambuzi wa Nyota za Binadamu na Tiba Asili

$
0
0

KUTANA NA SHARIF HAMAD KALALA NI
SHARIFU MCHAMBUZI WA
NYOTA ZA BINAADAMU NA NI MWENYE UPEO MKUBWA KUTAFITI MATATIZO YAKO KABLA YA KUTOA USHAURI WAKE WA TIBA AlJALISHI MBALI ULIKO TIBA YAKE UMFIKIA YEYOTE MWENYE UITAJI POPOTE
DUNIANI.

 SHARIF HAMAD KALALA NI TABIBU MWENYE KUBRI TOKA KWA ALAH ANATIBU KWA NJIA YA VITABU VYA QUR-AN, DAWA ZA ASILI ZA MITI SHAMBA PAMOJA NA DAWA ZA KIARABU.
ANATIBU KWA NJIA YA SIMU KWA KUTOA
MAELEKEZO NAMNA YA MATUMIZI YA DAWA UKIWA NCHI YOYOTE MKOA WOWOTE KWA MATATIZO YAFUATAYO:-

 KUFANIKISHA NDOA KWA UNAYE MPENDA KWA HARAKA. KUMRUDISHA MPEZI NDANI YA MASAA 12 TU.
 ULIJALI (NGUVU ZA KIUME) NDANI YA /IKI MMOJA TU
MIGUU KUWAKA MOTO KUTAFSIRI NDOTO MFARAKANO WA WANANDOA MFARAKANO KAZINIKUPANDISHWA CHEO NDANI YA SIKU SABA 7 TU.
KUTOA PETE YA BAHATI KUTOA MAJINI MACHAFU IKIWA NI KWENYE MWILI WA BINADAMU MAJUMBANI NA KWENYE BIASHARA. KUPATA MAFANIKIO YA MALI BILA YA MASHARTI. KUPANDIKIZANYOTA YA KUBASHIRI KUFUNGUA UZAZI KWA WALIYO FUNGWA KWA NJIA YA USHIRIKINA KUTOA VIFUNGO VYOTE VILIVYO FUNGWA KWENYE BIASHARA. ANA UWEZO MKUBWA WA KUPANDIKIZA NYOTA YA KUMPATA YEYOTE UMPENDAYE KWA KUMUOA AU KUWA NAYE. ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA ALIYE MBALI PIA ALIYE CHUKULIWA
KWA NJIA YAMSUKULE
NAO UWEZO WA KUUA KESI SUGU NA MPYA NDANI SIKU 7 TU.
MENGINEYO MENGI ZAID YALIYO KUWA SUGU PIGA KWA WALE WALIYO ANGAIKA SEHEMU MBALI MBALI SHARIF HAMAD KALALA NI SULUISHO. ENDAPO UTAMSIKILIZA KWA YALE ATAKAYO KUSHAURI NA KUKUPA
ELEKEZI.
 TIBA NI KWA DINI ZOTE POPOTE ULIPO NJE NA NDANI YA NCHI.
MOBILE +255 -673 025 376
WhatsApp +255-757 069 066

Msichana Aibukia Kwa RC Makonda na Kudai Ametelekezwa na Baba yake Ambaye ni Mzee Edward Lowassa

$
0
0
Mdada mmoja ameitikia wito wa Mkuu wa Mkoa Dar, Paul Makonda kuhusu wanawake waliotelekezewa watoto kufika ofisini kwake ili kupata msaada wa kisheria. Dada huyo amejitokeza na kudai yeye ni mtoto wa Mzee Edward Lowassa.

Amesema..
''Nimetokea Kigamboni, nimekuja hapa, nimekuja kusikiliza wito wa mkuu wa mkoa, Makonda kwamba watu ambao wametelekezwa. Sasa mimi ni mmoja wa mtoto ambaye niliyetelekezwa, ambaye baba yangu ni Edward Lowassa. Nimeanza kumtafuta toka nikiwa darasa la sita na mama ananambia ni kweli baba yako ndio huyo huyo. Sasa nimefuatilia kila sehemu lakini sioni mafanikio kwa hiyo nimekuja hapa kwa mkuu wa mkoa Makonda anisaidie kwa hali na mali kwa vyovyote vile itakavyokuwa kama nipo tayari nipimwe DNA na huyo mzee Lowassa ili nisaidiwe nijue nakaa wapi. Kwasababu mama yangu mzazi yupo hata akija atatoa ushahidi na atasema kwamba itakuwaje kama DNA nipimwe basi.''​

VIDEO:

Daimond Afunguka Kuhusu Kuvaa Msalaba "Kwangu Huu Sio Msalaba Bali ni Alama ya Kujumlisha Yenye Siri Nzito"

$
0
0
Daimond Afunguka Kuhusu Kuvaa Msalaba "Kwangu Huu Sio Msalaba Bali ni Alama ya Kujumlisha Yenye Siri Nzito"
Msanii mkubwa  Tanzania wa Muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’,   amefunguka na kusema kuwa watu wamekuwa wakimsema kuwa anavaa msalaba ambao hauendani na imani yake lakini ukweli unabaki kuwa siri ya msalaba huo anaijua yeye na kwamba kwake yeye ule sio msalaba bali ni alama ya kumjumlisha ambayo kwake ina maana sana.

Diamond amesema  hayo kwa sababu kuna kipindi aliwahi kuongelewa hadi  na viongozi wa dini kuwa amekuwa haeleweki kwa sababu anavaa misalaba ambayo ni kunyume na imani ya dini yake ya kiislamu.

“Cheni ninayovaa na watu kunidisi kwamba ni msalaba kiukweli huwa ninashangaa sana kwa maana watu huzungumza kile ambacho hawakifahamu. Kwangu huo si msalaba, bali ni alama ya jumlisha ambayo ninaona haina tatizo lolote, kwani alama hiyo inamaana kubwa kwangu ambayo itabaki kuwa siri yangu!”Aliongea Dimaond akichonga na kipindi cha Mikito Nusu Nusu cha GPL

Wanaume Nao Waanza Kumiminika kwa Makonda

$
0
0
Wanaume zaidi ya kumi wameibuka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kulalamika kupokwa watoto, huku mamia ya wanawake wanaodai kutelekezewa watoto wakiendelea kumiminika kwenye ofisi za mkuu huyo wa mkoa.

Wanaume hao ambao wamefika leo Jumanne Machi 10, 2018 wamesema hawashindwi kulea watoto isipokuwa wake zao wamewapoka kwa madai ya umasikini.

Wamesema kama Makonda ameamua kuwasaidia wanawake basi ajue wapo wanaume wanaolia kunyanyaswa na wake zao.

"Mke wangu alinikimbia nilipougua miguu kiasi cha kushindwa kutembea, aliondoka na watoto wangu wote watatu, nimekuwa mtu wa mawazo kiasi cha kupata vidonda vya tumbo naomba awarudishe," amesema Tito Chemba, mkazi wa Kijichi jijini Dar es Salaam.

Tito (35), amesema ujio wake kwa Makonda ni kutaka kurejeshewa wanawe wanaoishi Bukoba kwa ndugu wa mkewe.

Mwanamume mwingine, Edmond Mbisho amesema mkewe aliondoka na mtoto wake tangu akiwa na miaka mitatu na sasa ana miaka sita.

“Ninachoomba ni kupata mwanangu si kingine, kwa sasa mwanamke anaishi na mtu mwingine," amesema.

Mwanamume mwingine, Vedasto Mdesa mkazi wa Iringa amesema watoto wake watatu waliozaliwa kwa pamoja walichukuliwa na ndugu wa mkewe na kupelekwa Urusi.

"Nilipokwa watoto kisa mimi ni masikini, hivi sasa naishi kwa tabu na sababu kubwa ni umasikini na wanasema sijasoma. Huyo mwanamke ana shahada na mimi ni mpiga picha nisiye na elimu," amesema.

Mbeya City Yapata Pigo Kabla ya Kuivaa Simba

$
0
0
Mbeya City yapata pigo kabla ya kuivaa SimbaTimu ya Mbeya City itawakosa nyota wake wakutumainiwa ambao ni walinzi John Kabanda na Hassan Mwasapili, kwenye mchezo wake wa Ligi Kuu ya dhidi ya Simba SC utakaopigwa Alhamisi hii.


Mbeya City imeanza safari yake leo kuelekea jijini Dar es salaam tayari kwa mchezo huo wa ligi kuu raundi ya 24, lakini inakabiliwa na pigo hilo la kuwakosa mabeki wake hao wa kati kwa matatizo mawili tofauti.

Kocha Mkuu wa Mbeya City, Mrundi Ramadhani Nswanzurimo amesema kuwa Mwasapili ataukosa mchezo huo kwasababu anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano huku  John Kabanda akiwa nje kutokana na kuwa majeruhi.

Azam FC itaingia kwenye mchezo dhidi ya Simba ikiwa na kumbukumbu ya kutoa sare nyumbani dhidi ya Azam FC jumapili iliyopita. Simba nayo imetoka kupata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Mtibwa Sugar jana April 9.


Mke wa Mtu Amtokea Puani Ajikuta Akitoka Funza Sehemu za Siri

$
0
0
Mke wa Mtu Amtokea Puani Ajikuta Akitoka Funza Sehemu za Siri
Mwanaume mmoja amekutwa na balaa la kutokwa na funza sehemu za siri, baada ya kuiba mke wa mtu ambaye ni mke wa bosi wake, huko Kaunti ya Busia nchini Kenya.


Akizungumza kwa sauti ya kulia huku akiomba msamaha, mwanaume huyo ambaye jina lake halikutajwa, alisikika akimsihi bosi wake aliyejulikana kwa jina la Mr. Ouma amsamehe kwa alichofanya na kuapa kutorudia, huku akionyesha namna wadudu hao wanavyotoka kwenye sehemu zake za siri.

“Mama nisaidie nakufa, nakubali nimefanya, nisamehe ndugu yangu, siwezi rudia mara nyingine, ndugu yangu nisaidie”, alisikika mwanaume huyo akimsihi bosi wake.

Kwa upande wa bosi wake huyo amesema kuwa alimuajiri mwanaume huyo kufanya kibarua cha kupalilia shamba, lakini alijiongeza na kujipa kibarua cha kulala na mke wake, na alishamuonya lakini hakutaka kusikia na kuzidi kuendelea mpaka siku moja alimfuma kitandani kwake akiwa na mkewe.

“Mimi nilienda safari lakini nikaambiwa kuhusu wao, nikakaa kimya, siku moja nikamkuta kitandani kwangu na mke wangu, mke wangu akaondoka kwenda naye kwake, yeye mwanaume akaniambia wewe huwezi kazi ya nyumba, nikashtuka sana kuniambia hayo, nikipiga simu ya mke wangu yeye ndio anapokea, nikaenda kwa mganga nikataka kuwapa fundisho”, amesema Mr. Ouma ambaye mmiliki wa mke.

Baada ya tukio hilo Mr. Ouma alimleta mganga ambaye alimfuata mara ya kwanza kumtibia mwizi huyo, na hatimaye kupona na wadudu kuuacha kutoka, na kumuacha mke wake hapo hapo.


Wabunge wa Kigoma Wageuka Mbogo Bungeni "Kwanini Watu wa Kigoma Kila Mara Wanaambiwa Sio Raia wa Nchi Hii?

$
0
0
Wabunge wa Kigoma Wageuka Mbogo Bungeni "Kwanini Watu wa Kigoma Kila Mara Wanaambiwa Sio Raia wa Nchi Hii?
Mbunge wa Kasulu Mjini(CCM), Daniel Nsanzugwanko amesema kuwa watu wa Kigoma wamekuwa wakibaguliwa waziwazi na Idara ya Uhamiaji kwa kuambiwa wao si raia wa Tanzania.

Mbunge huyo amehoji akiwa bungeni mjini Dodoma akitaka kuelezwa kwasababu suala hilo limekithiri katika mkoa huo, Mbunge alianza hivi;

“Swali langu la kwanza ni kuhusu uraia, mwenyekiti nchi hii wananchi walio wengi wanaishi kwenye mipaka ya Taifa hili na katika mipaka ya Taifa hili upo mkoa unaitwa mkoa wa Kigoma sisi tumekuwa wahanga wakubwa Mwenyekiti wa ubaguzi wa waziwazi kabisa tumekuwa ni wahanga wa madhira ambayo hayamidhiliki kupitia wenzetu wa idara ya Uhamiaji nilikuwa naomba sana Waziri Mkuu uje utueleze hawa wananchi wa Kigoma ambao wanasumbuliwa kwasababu au maumbile yao ,sura zao au lugha yao kwanini kila mara wanaambiwa wao si raia na tunajua Mwenyekiti iko mikoa mingi lakini jambo hili kwa mkoa wa Kigoma limekithiri,” amesema Nsanzugwanko.

“Kwa mfano leo limetokea tukio la ajabu kabisa kuna mwananchi amekamatwa anaambiwa aende na wazazi wote wawili uhamiaji wakati sisi tunajua ni mzaliwa wa palepale haya ni madhira makubwa sana inawezekana wenzetu wa uhamiaji wamekosa tu weledi wa kutenda kazi yao itakuwa jambo la msingi sana hili jambo linatukera sana ningeomba lipewe majibu ya moja kwa moja.”

Serikali Yamjibu Nape Nnauye Mradi Wa Stiggler’s Gorge

$
0
0
Serikali Yamjibu Nape Nnauye Mradi Wa Stiggler’s Gorge
Serikali imemjibu Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye (CCM), kuwa mradi wa uzalishaji umeme wa maji wa Stiggler’s George upo katika Ilani Chama Cha Mapinduzi (CCM).

Majibu hayo yametolewa bungeni leo na Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, ikiwa ni siku moja baada ya Nape kuukosoa mradi huo akisema unatekelezwa wakati haupo kwenye ilani ya chama hicho na kuachwa ule wa gesi ulio kwenye ilani hiyo.

Akijibu hoja hiyo na baadhi ya hoja zilizotolewa na wabunge waliokuwa wakichangia Hotuba ya Makadirio na Matumizi ya ofisi ya Waziri Mkuu inayotarajiwa kupitishwa na Bunge leo, Dk. Kalemani amesema ilani ya CCM imetaja vyanzo vya umeme vitakavyoendelezwa kuwa ni vya maji, gesi, upepo na makaa ya mawe.

“Haijataja mradi mmoja mmoja, imeeleza vyanzo vya umeme vitakavyoendelezwa ili tupate umeme wa uhakika mpaka tuweze kukaa hapa na kusema mwingine tuuzie majirani zetu,” amesema Dk. Kalemani.

Amesema katika kile kinachodhihirisha kuwa miradi ya gesi haijatelekezwa, mpaka sasa megawati 787 za umeme unaotumika unatokana na nishati ya gesi.

“Na hii itaendelea kwa sababu mpaka 2020 pale Kinyerezi peke yake tutakuwa na megawati 1,560 zinazotokana na gesi pekee,” amesema Dk. Kalemani.

Akitoa hoja yake bungeni jana kuhusiana na mradi huo, Nape alisema anashangaa Serikali kuweka nguvu nyingi kwenye mradi wa umeme wa Stigler’s George ambao haupo kwenye ilani ya chama hicho na kuachana na umeme wa gesi ambao waliunadi wakati wa kampeni.

“Sasa ni bahati mbaya sana kwamba humu ndani hakuna kabisa kabisa (kwenye ilani), maana yake ni kwamba hili jambo pengine limenza kuachwa sasa tuende kwenye Stiglers lakini aje, hatusaliti ilani ya Uchaguzi ya CCM?

“Lakini je hatuwasaliti wana Lindi na Mtwara ambao walitupa kura na kutuamini kwamba gesi yao na uchumi wao uko salama,” alisema Nape.

Mpenzi wa Nondo Kutoa Ushahidi Mahakamani

$
0
0
Mpenzi wa Nondo kutoa ushahidi Mahakamani
Upande wa Jamhuri katika kesi ya Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), Abdul Nondo, Veronica Fredy anatarajiwa kuletwa makamani kutoa ushahidi katika kesi inayomkabili mwanafunzi huyo.

Mbali na mpenzi huyo wa Nondo, Jamhuri pia inakusudia kuleta mashahidi wengine wanne ambao ni Koplo Salum, Alphonce Mwamule, Koplo Abdulkadir na mfanyakazi kutoka Kampuni ya Simu za Mkononi ya Tigo.

Kesi hiyo ilikuja leo mbele ya hakimu Mkazi wa Wilaya ya Iringa, John Mpitanjia kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali ambapo Wakili wa Serikali, Abel Mwandalamo amesema Nondo anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni kusambaza taarifa za uongo akiwa Ubungo jijini Dar Es Salaam na kutoa taarifa za uongo akiwa mjini Mafinga kwa askari Polisi kituo cha Mafinga Wilayani Mufindi.

Wakili Mwandalamo amedai upande wa Jamhuri unakusudia kuambatanisha vielelezo vya ushahidi ambavyo ni taarifa za uchunguzi kuhusiana na mawasiliano ya simu, maelezo kutoka Mjini Mafinga yakidai Nondo katekwa na kuleta kielelezo cha simu za mkononi.

Hakimu Mpita Njia ameahirisha kesi hiyo hadi Aprili 18, mwaka huu ambapo itaanza kusikilizwa kwa siku mbili mfululizo, kutokana na maombi ya upande wa utetezi ya Wakili Charles Luoga.

Arsenal Kuingia Mkataba Mnono na Kampuni ya Michezo ya Adida

$
0
0
Arsenal Kuingia Mkataba Mnono na Kampuni ya Michezo ya  Adida
Klabu ya Arsenal ya nchini Uingereza imefikia hatua nzuri ya mazungumzo na kampuni ya vifaa vya michezo ya Adidas kuwa wadhamini wao wapya mkataba utakao gharimu thamani ya pauni milioni 40 kwa msimu.

Arsenal inatarajia kumaliza mkataba wake na kampuni ya vifaa vya michezo ya Puma mwishoni mwa msimu ujao ambapo The Gunners wameanza mchakato wa kutafuta kampuni nyingine mpya.

Kwenye makubaliano hayo kampuni ya adidas imeahidi kuongeza donge nono kama Arsenal itafanikiwa kufanya vizuri kwenye michuano ya Europa League.

Kampuni hiyo ya vifaa vya michezo inaihudumia klabu kubwa nyingine inayoshiriki ligi kuu nchini Uingereza kama Manchester United wenye mkataba wa pauni milioni 75 kwa mwaka wakati Chelsea akiwa na Nike na mkataba wao wa pauni milioni 60.

Mtoto wa Kamanda Kova Afikishwa Mahakamani kwa Kesi ya Uhujumu Uchumi

$
0
0
Mtoto wa  Kamanda Kova Afikishwa Mahakamani kwa Kesi ya Uhujumu Uchumi

Watu Sita akiwemo mtoto wa aliyekuwa Kamanda wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova (Masoud Kova) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi wa kuisababishia hasara ya Shilingi Milioni  26 Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA).

Mbali ya Kova ambaye ni Account Technician wa TPA, washtakiwa wengine ni Lydia Kimaro (52), Ally Mkango (54) ni Operate Officer wa TPA na Aron Luisinga (35) Account Technician TPA.

Pia Grace Komba (41) na Juma Ng’oka (41) ambao ni Maofisa wa Benki ya CRDB.

Washtakiwa hao wamesomewa mashtaka yao na wakili wa serikali, Mwanaamina Kombakono mbele ya Hakimu Mkazi Mkuuu, Thomas Simba ambapo amedai washtakiwa wanakabiliwa na makosa matano.

Wakili Kombakono amedai kuwa kosa la kwanza ni kughushi ambapo linamkabili mshtakiwa Kimaro na Kova, ambapo wanadaiwa kati ya August na September 2014 katika mkoa wa DSM wakiwa na nia ya kudanganya walighushi nyaraka za uongo ili kuonyesha TPA imehusika katika malipo ya kiasi cha Sh.Mil 26 kutoka kwa Cargo Service Invoice (CSI) hali ya kuwa si kweli.

Katika shtaka la pili ambalo ni kughushi, linamkabili Kimaro na Kova wakidaiwa kati ya August na September 2014 katika mkoa wa DSM, wakiwa na nia ya kudanganya walighushi nyaraka kuonyesha TPA imehusika na malipo ya Sh.Mil 26 kutoka Kampuni ya Freight Forwarders (T) hali ya kuwa ni uongo.



Wakili Kombakono amedai kuwa shtaka la tatu ni kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu, ambalo linawakabili washtakiwa wote, ambapo wamelitenda kosa hilo kati ya September na October 2014 maeneo ya Dar es Salaam.

Inadaiwa kwa pamoja walijipatia kiasi cha Sh.Mil 26 kutoka kwa Freight Forwarders na kudanganya kuwa pesa hiyo imelipwa katika akaunti ya TPA iliyopo benki ya CRDB hali ya kuwa ni uongo.

Kosa la nne ni kushindwa kuzuia kosa, ambapo linamkabili mshtakiwa Mkango na Lusingu ambapo wanadaiwa wametenda kosa hilo kati ya September na October 2014 maeneo ya Dar es Salaam.

Inadaiwa wakiwa waajiriwa wa TPA walishindwana kuzuia kutendeka kwa kosa kwa kutokagua upande wa TPA na Cargo Service Invoice (CSI) hali iliyosababisha Freight Forwarders kutoa makontena 16 bila kulipiwa kodi ya Sh.mil 26 kwa TPA.

Kosa jingine ni kuisababisha hasara mamlaka, ambapo linawahusu washtakiwa wote, wakidaiwa kati ya September na October 2014 maeneo ya Dar es Salaam kwa pamoja na kwa nia ovu wameisabibishia TPA kuingia hasara ya Sh.Mil 26.

Baada ya kusomewa mashtaka hayo, washtakiwa hao wamekana makosa yao ambapo Wakili Kombakono amedai kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika wanaomba tarehe nyingine kwa ajili ya kutajwa.

Wakili wa utetezi Emmanuel Muga, aliiomba mahakama iwapatie wateja wake dhamana, ambapo Hakimu Simba ametoa masharti ya washtakiwa kuwa na wadhamini 2, watakaotoa fedha taslimu Sh. Mil 2 na laki 2/ mali isiyohamishika, pia wawasilishe hati zao za kusafiria mahakamani na wasitoke nje ya jiji la DSM bila kibali cha mahakama.

Washtakiwa walitimiza masharti hayo na kuachiwa kwa dhamana, ambapo Hakimu Simba ameahirisha kesi hiyo hadi April 25,2018 kwa ajili ya kutajwa.

Wasiliana na Mtaalam Sharif Noor Kwani yeye hufaulu Pale wote waliko Shindwa na Pia Humaliza kazi zilizo Shindikana

$
0
0
Kutana Na Sharif Al_noor
Wasiliana na Mtaalam Huyu Kwani yeye hufaulu Pale wote waliko Shindwa na Pia Humaliza kazi zilizo Shindikana ama Zilizo Achwa ndani ya Siku Moja 1.

Sharif Al_noor ANAWASHUKURU WALE WOTE WANAOPIGA SIMU ZA SHUKRANI NA KUTOA SHUHUDA JINSI TIBA ZAKE ZINAVYO SAIDIA(Rudisha Mahusiano yako Ndani ya Saa 12 tu)

Sharif Al_noor ni Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili Mwenye Uwezo wa Kubaini Tatizo lako tu Pindi Utakapo Fanya Mawasiliano Kupitia Wasaa Husika.
(NA ANATIBU KWA NJIA YA SIMU UKIWA NCHI YOYOTE MKOA WOWOTE ENDAPO UTAFATA MAELEKEZO YAKE..)
Je Unasumbuliwa na Mapenzi..?

Umeachwa na UMPENDAE Awe Mume/Mke na Bado Unampenda Je Umejaribu Sehemu Nyingi Bila Mafanikio? Mpigie Simu sasa Hivi Ujionee Muujiza wa Papo kwa Papo.. Anauwezo wa Kurudisha Mahusiano yako na Kuimarisha NDOA Ndani ya saa 12 tu.

Je Umekimbiwa na Mumeo/Mkeo au Mpenzi na Anaishi na Mtu Mwingine..?
Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao (Mfarakano/Kimavi) Endapo Utafata Atakacho Kuelekeza.

Je Una Mpenzi wako ana Pesa na unataka Kumkamata? Muone Sharif Al_noor Atamfanya Atimize Ahadi zote Ndani ya Muda Mfupi..

Shirif Al_noor Anatumia Jina La Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo..

Anatibu Kutumia QUR_AN DAWA ZA ASILI YA AFRICA, Dawa za KIARABU NA MAJINI..
ANATAFSIRI NDOTO. ANAPANDIKIZA NYOTA YA KUSHINDA BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA NA KUKUPA MVUTO WA AJABU, KUTOA NUSKI NA VIFUNGO MBALIMBALI.

ZINDIKO ZA NYUMBA NA BIASHARA.. PETE ZA BAHATI.. HUMALIZA KABISA TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA KUREFUSHA UUME KWA SAIZI UNAYOTAKA. HUZUIA CHUMA ULETE KWENYE BIASHARA. HURUDISHA MALI ZILIZOPOTEA..
MAGONJWA SUGU, MIGUU KUWAKA MOTO AU KUFA GANZI, HUTIBU BUSHA BILA KUPASUA..ANAO UWEZO WA KUMRUDISHA  ALIE MBALI AU ALIECHUKULIWA MSUKULE..
Humaliza Kesi ya Aina Yoyote Ndani ya Siku 7 tu..
Hutoa Jini la MALI kwa wale Wanao Hitaji Utajiri Bila Masharti..

Mawasiliano +255 746 426 604 Whatsapp/Call
Tembelea Page yake Instagram @sharif_al_noor
@sharif_al_noor

Ripoti: China Haijanyonga Mtanzania yeyote Aliyekamatwa na Madawa ya Kulevya.

$
0
0
SERIKALI kupitia Idara ya Habari (Maelezo) imesema kuwa, China haijanyonga Mtanzania yeyote aliyekamatwa na madawa ya kulevya.

Kauli hiyo ya serikali ilitolewa baada ya gazeti hili toleo namba 1083 la Machi 6-12, 2018 kueleza kuwa, kuna baadhi ya Watanzania walinyongwa nchini China kutokana na kukamatwa na kukutwa na makosa ya kuwa na dawa za kulevya.

 Msajili wa Magazeti, Patrick Kipangula alipokutana na wahariri wa gazeti hili alisema amepata taarifa kupitia Ubalozi wa Tanzania nchini China kuwa nchi hiyo haijanyonga Mtanzania kutokana na kukutwa na madawa ya kulevya.

“Afisa mmoja wa ubalozi wetu nchini China alisema nchi hiyo haijanyonga Mtanzania kutokana na makosa ya kukutwa na madawa ya kulevya,” alisema Kipangula.

Hata hivyo, serikali iliwahi kusema kuwa Watanzania 408 wanatumikia vifungo nje ya nchi na wengine kukabiliwa na adhabu ya kifo baada ya kusafirisha dawa za kulevya.

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dk Augustine Mahiga aliyasema hayo alipokuwa akiwasilisha makadirio ya bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2016/17.

Akizungumzia Watanzania waliokamatwa kwa dawa hizo, Mahiga alisema kuwa wanakabiliwa na adhabu hizo katika magereza mbalimbali duniani baada ya kukutwa na hatia ya makosa ya kujihusisha na biashara haramu.

 Mahinga alitaja idadi yao na nchi ambazo wanashikiliwa kuwa ni Brazil (41), China (266), Iran (68), India (9), Nepal (4), Oman (3), Thailand (14) na Umoja wa Falme za Kiarabu (3).

Hata hivyo, gazeti hili linawaomba radhi wale wote walioguswa na kukerwa habari ambayo tuliiandika ikiwa na kichwa cha ‘WAUZA UNGA WANAVYONYONGWA CHINA INATISHA!’ wakiwemo ndugu wa Sandra Khan (Binti Kiziwi) pichani.

SOMA PIA: Nafasi za Ajira East African Community

Mwanaume Alazwa Hospitali Kwa Kula Pilipili ‘Kali zaidi’ Duniani

$
0
0
Mwanaume mmoja ambaye ni raia wa Marekani amejikuta akiumwa kichwa sana pamoja na shingo hadi kulazwa hospitali kutokana na kula pilipili kali zaidi duniani ijulikanayo kama “Carolina Reaper” kwenye mashindano.

Inaelezwa kuwa mwanaume huyo alishindana kwenye mashindano ya kumtafuta bingwa wa kula pilipili hiyo kali, jambo lililomsababishia magonjwa hayo.

Madaktari wameeleza kuwa, kula pilipili za aina hiyo kunaweza kusababisha mgonjwa kuugua kichwa kwa hadi kipindi cha wiki tano, hivyo ni vyema watu kuchukua tahadhari hiyo.

Mwanaume huyo baada ya kufanyiwa uchunguzi hospitali ilgundulika kuwa mishipa ya artery kwenye ubongo wake ilikuwa myembamba kwamuda mfupi jambo lililopelekea kichwa chake kuuma kwa namna isiyo ya kawaida.

SOMA PIA: Nafasi Mbili za Ajira Kazini Kwetu LTD

Christian Bella Afunguka Kuhusu Tabia ya Wakongo

$
0
0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya mwenye asili ya Kongo Christian Bella, ameweka wazi sababu zinazofanya wasanii wa bongo washindwe kutoboa nchini Kongo, kama yeye alivyofanikiwa hapa Tanzania.

Akizungumza kwenye Planet Bongo ya East Africa Radio, Christian Bella amesema watu wa Kongo ni wabishi kumuelewa msaniii hususan akiwa anaimba kwa lugha tofauti na Lingala, ambayo wao ndio wanaitumia kwa asilimia kubwa.

“Kuna ugumu wa lugha, kule mara nyingi wanapenda Lingala ndio inapenya sana, kuna sehemu wanaongea Kiswahili, ambakoo ngoma za bongo zinahit vile vile, ugumu unapokuja ni wabishi sana, mpaka wakupitishe wakukubali, wabishi sana”, amesema Christian Bella.

Christian Bella amesema hata yeye kuweza kuanza kukubalika nchini kwao ni kutokana na Watanzania kumpokea na kumkubali, na kumfanya kuwa msanii mkubwa ndani na nje ya nchi.

“Kwa ugumu wote wa game ya Kongo na kutumia Kiswahili lakini nimepata nafasi, na hii ni kutokana na Watanzania wamenipa nafasi, wengine walikuwa wanashindwa kunitambua kama ni Mkongo au ni Mtanzania, unaweza ukawa unajua sana lakini watu wakakutaa, lakini ukifanya kikubwa nje, ndani wanakupokea”, amesema Christian Bella.

Hivi karibuni Christian Bella ameachia kazi yake mpya aliyomshirikisha Joh Makini, ikiwa ni si mara ya kwanza kwa wawili hawa kufanya kazi pamoja.

Majibu ya Serikali Kuhusu Uhalali wa Nembo ya Taifa

$
0
0
Naibu Waziri wa Kazi, Vijana na Ajira Anthony Mavunde amelieleza bunge kuhusu tuhuma za baadhi ya wabunge kuhoji uhalali wa Serikali kutumia nembo ya taifa ambayo picha zilizopo haziakisi uhalisia wa mwanamke wa kitanzania.

Mavunde amesema…
“Yamesemwa maneno kwamba nembo yetu haiakisi muonekano wa kitanzania kwamadai kwamba mwanamke aliyepo amevaa wigi, sio kweli kwamba haiakisi nah ii ni moja ya alama ya taifa”

VIDEO:

Jinsi ya Kuepuka Mitafuruko na Kupata Maridhiano Katika Mahusiano ya Kimapenzi

$
0
0

Mara nyingi ipo migogoro mingi inayotikea katika mahusiano ya kimapenzi, na mitafaruko hiyo hupelekea ndoa hizo kufa kabisa, hivyoili uweze kuepuka mitafaruko hiyo unatakiwa kufanya yafutayo;

1. Uwe mwangalifu, katika mahusiano yako kwa kuangalia kipi cha kusema na kipi si cha kusema.
Unapkuwa katika mahusiano na umegombana na mwenza wako tafadharu sana chunga sana kinywa chako kwa sababau kinywa chenye maneno yenye hekima huleta maelewano ndani ya nyumba, na pia kinywa kichafu husababisha ugomvi katika mahusiano.

Hivyo basi ili kuleta maelewano na mwenza ambaye mmegombana hakikisha unachunga sana maneno yatokayo katika kinywa chako. Kwa sababu unapotamka maneno makali maneno mengine huamsha molali wa ugomvi kutoka kwa mwenza wako.

2. Jambo la pili ni kuhakikisha unashusha sauti wakati unazungumza na mwenza wako.
Najua fika ugomvi husababisha sauti yenye mpayuko wa sauti za juu, hivyo ili kupunguza mitafaruko na mwenza wako mliyogambana ili kufikia maridhiano na mwenza wako mliyegombana hakikisha ya kwamba unakuwa katika hali ya kuzungumza kwa sauti ya chini, kufanya hivi kutakupa hali ya unyenyekuvu mbele ya nafsi yako na mwezi wako.

Hivyo kama unataka maridhiano katika ndoa yako hakikisha unayazingatia hayo.
Kwa leo sina la ziada nikusihi endelea kusoma habari na makala mbalimbali kutoka hapa Muungwana Blog. Asante

Namna Ya Kuishi Na Watu Wenye Tabia Ngumu

$
0
0

Ni ngumu na kamwe siyo rahisi kumbadilisha mtu mwenye tabia ngumu awe rafiki. Badiliko hili lawezekana ikiwa mhusika (mwenye tabia ngumu) atadhamiria na kuwatayari kushughulika ili kubadilika.

Kwa hiyo kama ni ngumu au haiwezekani kumbadilisha basi jaribu kubadili mtazamo wako na jinsi unavyoishi naye au nao, kwasababu mara nyingi wewe ndiye unaye kwazika au kuumizwa wakati yeye (yule anayekuudhi) anafanikiwa na anaendelea na furaha yake tu.

Mawasiliano baina yetu na watu wengine yanajumuisha jinsi tunavyowafanyia wengine na jinsi wao wanavyotufanyia sisi (reaction and counter reaction). Kwa kubadili jinsi sisi tunavyowatendea wengine inaweza kubadili jinsi wao wanavyotutendea sisi. Hata kama ni kwa muda au kitambo kidogo tu. Hata kama hali hii haibadili hali kwa kudumu ila inaweza kurahisisha mazingira ya kuishi na mtu au watu wenye tabia ngumu.

Kila wakati lazima uwe na akili sana katika kuishi na watu wenye tabia ngumu, kama hutoweza kujizuia, na ukaanza kuwabwatukia basi itakuwa unaleta tatizo hasa pale ambapo mwenye tabia hii ngumu ni bosi wako. Je, utaropoka au kutukana kama ulivyozoea?
Hata kama mtu au watu wenyetabia hii wako ndani ya familia na yamkini ni wadogo kwako kiumri, bado kuropoka na kuwapayukia siyo suluhisho, hali hii yaweza kukugharimu.

Najua kila mmoja wetu anajinsi anavyofanya kwa mtu au watu wenye tabia ngumu. Wote hatuna namna moja, mmoja anaweza kuwa ni mkimya na mwenye ujasiri hata anapoudhiwa, mwingine hupayuka na kumjibu yule anaye muudhi, mwingine anaamua kulia tu anapoudhiwa, wako wanaozira na kuamua kutozungumza tena na aliyewaudhi, wapo ambao husambaza habari mbaya kuhusu huyo mwenye maudhi, wako ambao huamua kumwambia uso kwa uso jinsi walivyo kwazika, sijui staili yako ni ipi.

Ni rahisi sana kuumizwa au kuudhiwa na maneno au matendo ya mwingine, na mara mtu huyo anapojua kuwa unaumia yeye hupata nguvu, hii huwa ndiyo silaha yake muhimu pale mnapopambana.

Unachotakiwa kufanya ni kuwaachia wakati wote wao wawe washindi, kamwe usitafute kushindana nao, utaumia mwenyewe. Njia pekee ni kujitahidi kuwa mjanja na mwenye akili kuliko yeye na pia kuwa na ushawishi katika yale wanayotaka kuyatenda hata pasipo wao kugundua.
Je, unawajibu vipi watu hawa (How do you react?)
Ni jambo jema kuanza kujitazama jinsi unavyowatendea wengine na jinsi tunavyoshughulika na wale wanaotukwaza. Kumbuka kuwa jinsi unavyoikabili hali hiyo katika mazingira fulani inawezekana isiwe hivyo katika mazingira mengine.

Watu wenye tabia ngumu na zinazotatiza mara nyingi huweka mitego ya maneno au matendo na kwa kiasi kikubwa unaweza kunaswa na kuwaruhusu wakuchezee jinsi watakavyo, na kati ya vitu wanavyo vipenda na kuvitamani ni kukuona unalia na kuumia na kuchanganyikiwa. Kwahiyo fikiri kwanza kabla hujafanya chochote mbele yao.

Watu watabia hii mara zote huwachukulia na kuwatendea watu wote sawa kwa hiyo usifikiri kila alichosema au alichofanya kwako ni cha kibinafsi sana na alikikusudia kwako. Angeweza kufanya au kusema hivyo hivyo hata kwa mwingine aliye karibu naye wakati ule. Kwa kufahamu hili itakusaidia kupunguza maumivu yanayoletwa na hisia zako kwake.

Hembu jiulize ni jinsi gani umewahi kukabiliana na mtu au watu wa jinsi hii, na je ilikuwa ni kwa jinsi ya kuumiza au kuelemisha? Fahamu kwamba kujibu kwa kupayuka, kutukana au kubishana haisaidii, bali kunakushusha chini ya miguu ya yule aliye kusababishia maumivu hayo, na sasa atakuwa anafurahia na kukuona wewe mjinga.

Ni chaguo lako, la ni jinsi gani utakabiliana na mtu au watu wa aina hii, ingawa unaweza kuchagua njia bora itakayoweza kukusaidia kukuimarisha na kupunguza udhaifu wako, zaidi ya kuamua kuchagua njia ambayo itakuacha umeumia, umechoka, umekatishwa tamaa na umejeruhika moyo.

Hii haimaanishi uwe mtu wa kusema ndiyo tu kwa kila kitu na kila mtu, na haimaanishi kuwa hutakiwi kukasirika HAPANA, hasira ni asili na haina tatizo lolote hapa, ila tu matokeo ya hasira hiyo ndiyo yanayoweza kuleta shida. Je ni jinsi gani unakabiliana na hasira yako na unaionyeshaje? Kwa fujo, kupayuka kubishana, kulia, kuvunja vitu, kunyamaza n.k.

Ili Kujua jinsi watu wenye tabia ngumu wanavyokuathiri. Jiulize maswali yafuatayo:
Je, ni unataka kutawaliwa na wengine?
Najua jibu ni kwamba hakuna nayetaka kutawaliwa na mwingine, na ndiyo maana unaweza kujikuta unabishana au kushindana na huyo anaye kukwaza.

Tatizo ni kwamba mwisho wewe ndiyo unaumia na yeye anabaki kufurahia kwa kukushinda mfano; tazama fujo za madereva barabarani hususan wale wa daladala.
Nikweli unahasira naye, lakini je hiyo ni njia muafaka ya kumkabili? kumbuka mwishoni atakayeumia ni wewe.

Fikiri kama unatatizo la shinikizo la damu kama utakubali kuyumbishwa kihisia na tabia mbovu za mwingine wewe ndiyo utabaki unaumia na siyo tu kama hutoweza kufanya vile moyo wako utakavyo bali pia utaachwa ukijihisi kuchoka, kuumizwa kwa hisia zako mwenyewe na kukatishwa tamaa na tabia yako wewe mwenyewe.

Nini Mwitikio wako pale unapoudhiwa? (Haswa na yule mwenye hasira na wewe)
Je, unalipa hasira kwa hasira?
Je, unajitetea na kuukimbia ukweli (being defensive)
Au unajificha kutoroka au kumkwepa?
Njia zote hizi hapa juu siyo nzuri.

Hata kama una haki ya kukasirika, lakini bado atakayeumia unabaki kuwa ni wewe. Na siyo tu utaumizwa na kukasirishwa kwa tabia yake mwenye kukuudhi bali utaumizwa moyoni mwako kwa vile wewe ulivyotenda, dhamiri itakushtaki zaidi (guilty conscious).

Je, unajizumgumziaje wewe mwenyewe, vibaya au vyema?
Mfano: Ukweli mimi najichukia haswa ninapofikia kipindi cha mitihani au usaili.
Hivi mimi nikoje?
Hivi kwa nini nimeumbwa hivi?
Kamwe mimi siwezi kufanya lolote jema!
Wakati wote mimi ni mtu wa bahati mbaya tu!

Wala huhitaji kujichukia unapofikia wakati wa mitihani au usaili, unachohitaji kufanya ni kujiandaa mwenyewe vizuri na kuwahi mapema katika eneo la tukio.
Hisia potofu na zisizojenga ambazo tunajiwazia wenyewe mara nyingi hutupotezea muda na mara tunapoziruhusu hutuharibia siku yetu nzima.

Unafanya nini unapopingwa? (what do you do when you are criticized)
Wako watu wanaopendelea kupinga wengine katika kila kitu, hata katika vile visivyostahili kupingwa,hakuna chochote chema kinachoweza kusemwa na yeyote, bali yeye peke yake. Hata kama kilichosemwa kina ukweli kwa asilimia kubwa basi mtu huyu atajitahidi walau kurekebisha hata lugha tu, ili mradi kisipite hivihivi bila yeye kukipinga japo kidogo (hawa ndiyo wale wenye tabia ngumu).

Hali hii huwapa kufurahi na kujijengea nguvu kwa jinsi wanavyopinga wengine.
Ni kweli upinzani mwingine ni wa ukweli na unajenga lakini hapa nakazia wale wanaopinga ili tu kujifurahisha nafsi zao na kuwafanya wale wanaowapinga waumie mioyo.

Je, unapopigwa, unajibuje? Je, unajitetea au unajishusha na kukubali kila kinachopingwa kwa kuamini kwamba anayekupinga yuko sawa na kwa hiyo unayameza maoni yako yote, bila kuchambua kwa kina mapingamizi hayo.

Kuna jinsi ambavyo unaweza kumkabili au kumjibu anayekupinga na ikawa kama umeweka petroli kwenye moto, upinzani utawaka na hata kuleta ugomvi, lakini pia iko njia ambayo unaweza kumjibu mtu huyu na ukanyamazisha fukuto lote.

Je, una mtazamo hasi (mtazamo usiofaa) na wa kudumu katika kitu fulani?
Mfano; Labda unasema “Mambo yangu hayaendelei tangu nihamie katika nyumba hii, au mambo yangu yanakwama tangu nimuoe au niolewe na huyu, ni matatizo tu tangu tuoane, watoto hawa hasara tupu.” n.k.

Mtazamo huu hasi, waweza kukugharimu siyo tu kukunyima raha bali pia waweza kuharibu hisia zako na za wengine pia.
Ukijikuta katika hali hii ni vyema kujifahamu na kujitahidi kuelewa nini tatizo husika na jitahidi kubadilisha mtazamo wako.

Tafuta vile vitu ambavyo unaweza kuvitazama katika mtazamo chanya hata kama ni vidogo. Tafuta kuviongelea vile unavyovipenda zaidi ya vile usivyovipenda.
Je, unazimeza hisia zako zote, nzuri na mbaya?

Je, unaona ni ngumu sana kusema “nakupenda” “umependeza” “umeniudhi” n.k. labda unaweza kusema neno moja tu na siyo lingine. Wengi wetu tumekuzwa katika mazingira ambayo tunahofu kusema chochote ili tu tusije tukamkwaza mtu, hata kama tunaumizwa au tunajisikia vyema kusema kitu fulani, lakini tunajizuia.

Badala yake tunakwenda kusemea pembeni. Yamkini kunyamaza kunaweza kuwa na faida katika baadhi ya mazingira lakini siyo hata katika kukubali vitu visivyofaa. Hakuna ubaya wowote katika kuelezea jinsi unavyojisikia moyoni mwako ili mradi tu unaeleza kila unachokihisi kwa hali njema na siyo kwa hasira au shari. Katika hali hii kamwe hutowapoteza marafiki zako, na kama kuna yeyote aliye rafiki atasumbuliwa na hili basi usihofu, kubali tu kumpoteza kwa kuwa hakuwa wa muhimu au wa msaada sana kwako.

Hali ya kujifanya hujaumia au hujakwazika na wakati umekwazika na unalia ndani kwa ndani inaumiza na kufanya ujisikie vibaya sana. Inakufanya uzidishe mazingira ya msongo wa mawazo (stress) hasa pale unapojiwazia wewe mwenyewe zaidi ya kushughulika na wale waliokuudhi. Mtazamo wako jinsi unavyojiona wewe mwenyewe huathirika sana, na pia waweza kujisababishia tatizo hasa pale wale wenye tabia ngumu watakapo kugundua kuwa huwezi kusema chochote hata ukiumizwa na hii itawafanya wakugeuze mpira wa kuchezea.

Je, wewe ni kati ya wale wanaojiamini kusema chochote wanachokifikiri bila kujali matokeo yake?

Hebu fikiria jinsi unavyojisikia pale ambapo mtu au watu wengine wangefanya hivyo hivyo kwako. Je, unataka kuwasababishia wengine maumivu ya moyoni? Kusema chochote kinachoshuka toka kichwani mwako kupitia kinywani mwako bila kufikiri juu ya matokeo au athari zake kwa wale wanaokusiliza au waliokuzunguka kunaweza kukupotezea marafiki na kuishusha hadhi yako kwa urahisi sana.

Mara nyingi mtu wa jinsi hii huweza kujikuta akiwa pweke na anayepingana na ulimwengu (kila mtu anamchukia). Hii ni kati ya hisia za kuhuzunisha na kuumiza sana muda wote, lakini pia huumiza zaidi pale unapogundua kuwa ni maumivu uliyojitakia mwenyewe. Peke yako unajikuta umetengwa na mtego wa kihisia na kukuzamisha usipoweza kujikwamua tena.

Viewing all 104799 articles
Browse latest View live




Latest Images