Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Shule kwangu ni Shida Imeshanishinda Kwasasa Nataka Kuwa Maarufu Kama Lulu Michael

$
0
0

Huyu Nae Akili Hakuna kabisa eti Kapelekwa Shule na Wazazi wake yeye Kazi Kupiga Picha za Ajabu Ajabu , Nimekuta katuma Picha kwenye mtandao fulani eti anataka kuwa maarufu kama Lulu Michael Shule Imemshinda..Mweeee Kazi Ipo Jamani

Wengine Wanaswa na Kamera ya Udaku Special Wakifanya yao Coco Beach Live Mchana Kweupe

$
0
0

Wengine Wanaswa na Kamera ya Udaku Special Wakifanya yao Coco Beach Live Mchana Kweupe, Hii Imekaaje Watu Hatuna Hata Aibu Jamani Mambo ya Chumbani Kufanya Hadharani?

Nina Mimba ya Mbasha sio Gwajima Kama Watu Wanavyosema-Flora Mbasha

$
0
0
Muimbaji wa nyimbo za Injili Tanzania ambae pia ni Mke wa Emmanuel Mbasha amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano yoyote ya kimapenzi na na Mchungaji wa Kanisa la kanisa la Ufufuo na Uzima Josephat Gwajima,

Flora amesema hayo leo alipokuwa akichat Live kupitia ukurasa wa Facebook wa EATV katika kipengele cha Kikaangoni Live kinachofanyika kila siku ya Jumatano kuanzia saa Sita kamili.
Flora amesema kuwa hawezi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mtu ambae ni ndugu yake hivyo Mchungaji Gwajima ni mjomba wake na si mpenzi wake kama ambavyo watu wamekuwa wakizusha kwa lengo la kumchafua na kumshushia hadhi."Hayo ni maneno tu ya watu mtaani ila Mchungaji
Gwajima ni mtumishi wa Mungu na ni uncle wangu ninawezaje kuwa na mahusiano na uncle wangu..? "Alihoji Flora.

Panya Wamla Mtoto wa Mwezi mmoja Vidole na Pua, Asubiria Upasuaji Kutengeneza Pua ya Bandia

$
0
0
Taarifa kutoka mjini Johannesburg Afrika Kusini zinasema - kuwa panya walimng'ata mtoto wa mwezi mmoja vidole na pua Mtoto huyo anasubiri kufanyia upasuaji wa kuumba maumbile yake ya usoni baada ya tukio hilo huko Alexandra, Johannesburg .

Panya walimvamia Erena Yekanyi nyumbani kwao katika kitongoji duni cha Alexandra.
Wazazi wake wanasema kuwa hafana fulusi za kumpeleka hospitalini kwa matibabu anayohitaji kwa haraka baada ya kunga'twa jumatatu.
“nilikuwa nafua hapo nje naye Erena alikuwa ndani amelala.
Mara nikamsikia akilia ndipo nikakimbia ndani kuangalia kulikoni ,,,nilimpata anafuja damu ''alisema mamake Thandaza.
Sasa mtoto huyo anasubiri kufanyiwa upasuaji ambao utaumba upya pua lake na pia vidole vitatu vilivyong'atwa

Mamake anasema madaktari katika hospitali ya Charlotte Maxeke Academic Hospital wanasubiri achangishe pesa za kutosha operesheni hiyo.
Kulingana na ripoti hiyo tukio hilo sio la kwanza katika makazi hayo duni.
Inadaiwa kuwa watoto wengi na wazee wameripotiwa kung'atwa na panya hao wanaoonekana sio wa kawaida kutokana na kimo chao.
Msemaji wa mji wa Johannesburg Nkosinathi Nkabinde panya ni wengi katika mitaa hiyo kutokana na hali duni ya usafi.
Amesema kuwa kunamipango ya kuangamiza wanyama hao.

AY na Diamond Waahidi Kumsaidia Chid Benz Kurudi Katika Hali ya Kawaida na Kurudisha Music Wake

$
0
0

AY amedai kuwa kuwa yeye na Diamond watahakikisha Chidi Benz anasimama vizuri baada ya kuyumba hapo awali.

AY ameiambia Bongo5 kuwa kama ilivyo kawaida yake kumsaidia msanii mmoja kila mwaka, mwaka huu atahakikisha Chidi anakaa pazuri.

“Huwa nina uhakika wa kufanya comeback nzuri tu, sio kwamba ninavyomsupport Chidi tunapata faida yoyote. Kila mwaka huwa ninampick mtu mmoja, so mimi na Diamond tuliamua kuwekeza kwenye audio pamoja na kufanya naye video pamoja kwa gharama zetu sisi. Kama unavyoona promotion yake, mpaka sasa hivi tupo kwenye process ya kufanya video. Bado hatujajua tutafanya wapi video ila tupo kwenye maandalizi ya mavazi, location na mambo mengine,”amesema AY.

Hivi karibuni Chidi Benz alitoa wimbo ‘Mpaka Kuchee’ aliowashirikisha AY na Diamond.

UKATILI! Msicha wa Kazi Achomwa Moto Sehemu Zake za Siri Kisa Kakojoa Kitandani

$
0
0
Habari  kutoka  mkoani  Arusha  zinaarufu  kuwa  msichana  mmoja  wa  kazi ( hausigeli)  ameungua  na  kuharibika  vibaya  sehemu  zake  za  siri  baada  ya  kuchomwa  moto  na  bosi  wake…

Kwa  mujibu  wa  mtu  aliyetutumia  picha  za  tukio  hilo, Binti  huyo  anadaiwa  kuchomwa  moto  baada  ya  kukojoa  kitandani  usiku  akiwa  amelala

Tunaendelea  kuangaza undani  wa  tukio  hili.

Zitto Kabwe Kwa Mara ya Kwanza Aongelea Uhusiano Wake na Diva Loveness, Amkana Diva

$
0
0

KWA mara ya kwanza Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Zuberi Kabwe ameibuka na kuzungumzia uhusiano wake na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Malinzi ‘Diva’ na kufuta uvumi mzito uliokuwa ukizagaa kuwa wawili hao ni wapenzi.

Zitto alifunguka hayo juzi kupitia kipindi cha Mkasi kinachorushwa na Televesheni ya East Africa ambapo alikanusha kuwa hana uhusiano wowote wa mapenzi licha ya kudaiwa kutungiwa wimbo na mtangazaji huyo kama ishara ya penzi lao.“Mh! Kama yeye amenitungia wimbo sijui lakini mimi sina uhusiano naye wowote wa kimapenzi,” alisema Zitto.

Katika mahojiano hayo, mheshimiwa huyo alifungukia skendo nyingine inayomhusisha kutembea na staa wa Bongo Fleva, Mwasiti Almasi na kudai hakuna ukweli wowote juu ya ishu hiyo.

Alisema anaumia zaidi kusikia watu wanavyomhusisha kutembea na Mwasiti kupitia mitandao ya kijamii wakati hakuna ukweli wowote ambapo msanii huyo wanaheshimiana na kufanya naye kazi kwa karibu ili kumsaidia katika harakati zake za muziki.

“Naumia sana kusikia wakinisema na Mwasiti wakati yule ni dada yangu na mbaya zaidi ni mtu ambaye mara kwa mara nimekuwa nikimsaidia katika shughuli zake za muziki, hakuna kitu kingine zaidi ya ukaka na udada,” alisema Zitto.

Aidha, mheshimiwa huyo mbali na kungumzia mikakati yake ya kisiasa katika kipindi hicho, aliweka bayana kuwa ni baba wa mtoto mmoja kwa mkewe aliyemtaja kwa jina moja la Jack, wanamlea mtoto wao vizuri lakini suala la ndoa bado halijatimia.
GPL

Mashosti Wawili wa Wema Sepetu Wanaomsaidia Kula Ujana Watifuana Kwa Matusi, Nusura Wazichape Nyumbani Kwa Wema

$
0
0
Nice Chande, Wema na Aunt
STAA wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel na shostito wake Nice Chande, juzikati walijikuta walitifuana kwa matusi makali ya nguoni nyumbani kwa rafiki yao Wema Sepetu ‘Madam’ anayeishi mtaa wa Bwawani, Kijitonyama jijini Dar es Salaam.

Chanzo makini cha habari kilichokuwa nyumbani kwa Wema, kililidokeza gazeti hili kuwa waigizaji hao wakiwa na rafiki yao mwingine, walianza kutukanana kwa jambo ambalo halikuweza kubainika mara moja, huku Madam akijitahidi kuwasuluhisha bila mafanikio.

Wakiwa na dalili zote za kubugia kiburudisho cha kutosha kilichowafanya wasione vibaya kupaza sauti za matusi mbele za watu, marafiki hao walitoka ndani ya nyumba hiyo na kuendelea kutukanana kana kwamba hawana akili nzuri.

Baada ya kuona watu wameanza kukusanyika usiku huo ili kushuhudia sinema hiyo, Aunt, Nice na rafiki yao walijipakiza kwenye gari, huku Aunt akiwa nyuma ya usukani na kuanza safari kwa ajili ya kuelekea nyumbani kwake, Mwananyamala, lakini safari yao iliishia hatua chache mbele baada ya dereva huyo kulitumbukiza mtaroni gari hilo.

Kuona hivyo, watatu hao walishuka na kuanza kurudi tena nyumbani kwa Wema, ambaye aliendelea kuwasihi lakini wakiendelea kushambulia kwa maneno makali, kila mmoja akimlaumu mwenzake kuwa ndiye chanzo cha ajali ile.
Nyumbani kwa Wema, wasanii hao walimuomba msaidizi wake, Petit Man aende kuwasaidia kulinasua gari hilo mtaroni, kazi ambayo ilifanywa na vijana wa mtaani hapo waliolipwa kiasi cha shilingi 50,000.
Hata hivyo, baada ya gari hili kuletwa kwa Wema, si Aunt wala Nice waliokuwa tayari kulipanda, hali iliyomlazimisha mwenyeji wao kupiga simu kuita teksi, ambayo pia baada ya kufika, Nice alikataa kuipanda, badala yake Aunt na shostito wao mwingine ndiyo waliingia ndani na kutokomea.

Baada ya kukubaliana kuwa gari lile lilale hapo, Wema alimtaka Nice kuingia ndani, lakini aligoma, akidai anataka kuongea na baby wake kwa njia ya simu, lakini mwenyeji wake aliamua kuita teksi nyingine ambayo ilifika na kumchukua.
GPL


Ney wa Mitego na Madee Walikuwa Paka na Panya, Soma Kilichotokea Mpaka sasa ni Marafiki Wakubwa

$
0
0
Ilisemekana kama mwaka moja uliopita wasanii wa Bongo Flava, Nay Wa Mitego na Madee walikuwa na ‘bifu’ kubwa na ilichochewa na mitandao ya kijamii na vyombo vya habari. 

Tatizo kati yao lilikuwa ubabe wa nani anaibeba Manzese na nani ndiye Rais wa Manzese wakati Madee akijiita Rais na Nay akawa akisema hakuna Rais huko Manzese. Siku zilivyo zidi kwenda walionekana kwenye show tofauti wakiwa pamoja na kupiga show kwenye jukwaa moja bila tatizo. Interviews kwenye radio kuhusu ugomvi wao zilipungua na picha zao wakiwa pamoja zikasambaa, Kwa sasa hawa jamaa ni marafiki wa karibu sana Hata Lift Wanapeana bana.

Bunge la Katiba Kufuru, Wateketeza Mamilion Kwenye Kikombe cha Chai na Biskuti Licha ya Kwamba Wanapokea Posho

$
0
0
Gazeti la Mtanzania August 28 2014 ndio limeripoti hii stori kuhusu Bunge la Katiba linaloendelea Dodoma, kikubwa ni gharama mbalimbali zinazotumiwa na Wajumbe.
Wameandika bunge la katiba lateketeza mamilioni ya fedha ambapo kikombe cha chai na biskuti au karanga kinalipiwa shilingi elfu 10 kila siku kwa kila Mjumbe mmoja licha ya kwamba kila Mjumbe anapokea posho ya siku ambayo ni laki mbili na elfu 30.
Kwenye sentensi ya pili wameandika, chakula cha mchana kila Mjumbe analipiwa elfu 16 kwa siku ambapo kwa siku hiyohiyo iendayo kwa Mungu, ni shilingi milioni 8 hulipwa kama gharama za ukumbi wa kufanyia mikutano.
Una chochote cha kusema kutokana na hili?

Wanawake Wengi Wanaoolewa ni Darasa la Saba na Form 4 Wenye Degree Hamfai na Degree Zenu.

$
0
0
Wenye degree hamfai na degree zenu.
Mwanaume ni kichwa cha nyumba. Wanawake wenye elimu ya darasa la saba na form 4 hawasumbui wanaume. wanajua wajibu wao kutii na kumjali Mume,ila wenye zaidi ya hapo,wachache .

Rest hawajielewi baada ya kujiona wanajua,ila hawafai kuolewa hawana sifa ya kuwa wake,ni wanaume wenzetu. Mtazalishwa,mtalea watoto,mtadanganywa na hamtaolewa. Mtaongezewa watoto na majukumu ila wataolewa wa darasa la saba na form 4.

Na hata maprofesa wake zao ni la saba na form 4 au wanaojielewa,mnaojifanya mna figure, degree,mkoo wapi? mna familia za maana na mmeolewa?.......wife material ni anayemsikiliza mme wake, uwe na elimu au vipi bila kujinyenyekeza huna heshima.
Je Hii Kauli inaukweli Wowote?

Baba yake Beyonce afichua siri ya tetesi za talaka kati ya Jay Z na Beyonce, Bey aripotiwa kuwa mjamzito

$
0
0
Baba yake Beyonce Knowles, Mzee Mattew Knowles afichua siri ya kuwepo ripoti kuwa mwanae anataka kuachana na Jay Z huku akigusia pia kuhusu kilichosababisha ugonvi kati ya Solange na Jay ndani ya lift.

Katika mahojiano aliyofanya na Roula &Ryan Show wiki hii, Mzee Mattew alieleza kuwa anachofahamu ni kwamba tetesi hizo za talaka ilikuwa mbinu ya kuuzia tiketi zaidi za tour yao.

Ameeita mbinu hiyo kuwa ‘Jedi Mind trick’ ambayo maana yake ni nguvu ya kucheza na akili ya watu kwa kutengeneza utata fulani ili kuwafanya wafikirie unachotaka kwa maslahi yako (kucheza na fikra zao).

“I know, because we’ve done this. From experience, there’s a tour going on,So you sometimes have to ignite that tour. It’s called a Jedi mind trick. The Jedi mind trick fools you a lot.” Amesema

Alipoulizwa kuhusu ugomvi kati ya Jay Z na Solange, mzee huyo aliendelea kushikilia msimamo wake kuwa ile yote inaweza kuwa trick ambayo imewasaidia pia katika tour hiyo hiyo na imesaidia kuuza albam ya solange kwa asilimia kubwa.

“All I know is the Jedi mind trick. Everyone’s talking about it. Ticket sales went up. Solange’s album sales went up 200%!”

Katika hatua nyingine, jarida la OK limeripoti kuwa Beyonce ni mjamzito tena hivyo wawili hao wanatarajia kuwa na mtoto wa pili.

Kwa mujibu wa chanzo chao, tangu mwezi mmoja uliopita Beyonce amekuwa akichagua vyakula kama alivyokuwa anafanya wakati anaujauzito wa Blue Ivy na kwamba Jay Z amekuwa akihakikisha kwamba hapati stress yoyote.

Hili Jimama Litaniua, Kila Akitaka Mambo Anamtoroka Mume Wake na Kuniita Hotelini Nimshughulike

$
0
0
Admin Udaku Specially Huyu Mama Hapo kwenye Picha Anataka kuniua tu mimi kijana bado mdogo, Nilikutana naye Mlimani City Pale Game alikuwa akifanya shopping na watoto wake wadogo sasa vitu alivyonunua vilikuwa vingi nikamsaidia kuvipeleka kwenye gari lake , akanishukuru na kuniomba number yangu ya simu, sasa kuanzia hapo tukawa tunawasiliana lakini siku zilivyozidi kwenda tukajikuta tunachat mambo ya mapenzi na siku moja tukakutana nikampa dozi 3 za nguvu, sasa imekua shida maana kila week ananitafuta mara mbili nimpe mambo eti anasema mume wake hawezi mambo , kila mara huwa analipia hoteli yeye na kila kitu mpaka vinywaji mimi kazi yangu ni dozi , sasa nimejaribu kumchumguza nimengundua ni Mke wa Mwanasiasa Maarufu hapa Tanzania. Nimeingiwa na Woga nahofia maisha yangu mimi bado mdogo ndio natafuta maisha.. Naomba Ushauri ...

Emmanuel Okwi atua Msimbazi kwa mkataba wa miaka miwili, Asema Yanga Wamemuacha

$
0
0
Emmanuel Okwi kusaini mkataba usiku huu mkataba wa miaka miwili Simba.

“Yanga wameniacha, nikachukua uamuzi wa kurudi Simba na kuomba kuichezea nao wamenikublia.

“Najua Yanga wamenishitaki TFF au Fifa, nitaendelea kulishughulikia suala hilo wakati nikiwa naitumikia Simba.

“Nashukuru kwa kuwa wamenipokea kwa mikono miwili,” alisema Okwi akionyesha kujiamini.

Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amesema wamemchukua Okwi baada ya kuandika barua kuomba arudi.

“Tumempokea baada kuipokea barua yake na kuijadili, kwa kuwa Yanga wamemuacha na hata FIfa inasisitiza wachezaji kupata nafasi ya kucheza ili kuepusha kuua vipaji vyao, tumeamua kuwa naye,” alisema Hans Poppe. 

Baada ya kumpokea kwa mikono miwili, Simba imeamua kumrudishia Emmanuel Okwi jezi yake namba 25.

Kabla ya kuondoka kwenda Etoile du Sahel alipouzwa 'bure' na Simba chini ya Ismail Aden Rage, Okwi alikuwa akitumia jezi hiyo

Yanga pia walimpa jezi hiyo, lakini leo Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe amethibitisha kuwa Simba imempa Okwi namna 25.

Baada ya kupokea namba hiyo, Okwi kesho anapaa Zanzibar kuungana na wenzake ambao wako kambini kujiandaa na Ligi Kuu Bara.

Shahidi Aelezea jinsi Alivyofanyishwa Mapenzi na Mganga wa Jadi

$
0
0
Shahidi wa pili katika kesi ya kujipatia mali kwa njia ya udanganyifu inayomkabili mganga wa kienyeji, Yahaya Michael (34) ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala jinsi alivyoingiliwa kimwili na mganga huyo kwa madai kwamba atampatia dawa ya kupata mtoto.

Mwanahamisi Omary (26) alidai mbele ya Hakimu Mkazi Mwandamizi, Hassan Juma kuwa alimfahamu mganga huyo baada ya kusumbuliwa na tumbo la uzazi kwa muda mrefu.

Akiongozwa na Wakili wa Serikali Felista Mosha, Mwanahamisi alidai alikuwa akitibiwa ugonjwa huo bila ya kutoa taarifa kwa mumewe Edrick Elinezer. Alidai alitibiwa kwa miezi sita bila ya mafanikio.

Shahidi huyo alidai Aprili, mwaka huu, Michael alimwambia kuwa ana majini hivyo hawezi kupata mtoto na kumpatia dawa kwa ajili ya kunywa na kuoga.

Alidai mganga huyo alikuwa akimtibu nyumbani kwake lakini baadaye alihamishia ofisi yake katika nyumba ya kulala wageni iliyopo Kigogo Luhanga na kudai kuwa mganga huyo alikuwa akipaka dawa katika uume wake na kumuingilia kimwili huku akiwa hajitambui kwa madai kwamba atamsaidia kupata mtoto.

Aliendelea kudai kwamba baada ya kutokuwa na mawasiliano kwa muda mrefu na mumewe, alipata taarifa kuwa mume wake alipigiwa simu na mganga huyo na kumtaka apeleke gari lake Toyota Rav4 lenye namba za usajili T 139 BSG maeneo ya Jangwani kwa kuwa majini ya mkewe yanataka mtoto.

Awali, Hakimu Juma alisema wadhamini wa mshitakiwa wanatakiwa kumtafuta mshitakiwa huyo na kumfikisha Mahakamani hapo, aliwatahadharisha wasipofanya hivyo kwa wakati watalipa faini ya Sh milioni sita kwa kila mmoja.

Michael alidaiwa Aprili 29, mwaka jana, maeneo ya Jangwani Wilaya ya Ilala, alijipatia gari aina ya Toyota Rav4 T 139 BSG lenye thamani ya Sh milioni 12 mali ya  Eliezer kwa njia ya udanganyifu. Kesi hiyo itasikilizwa  tena Septemba 18, mwaka huu.

Kondom za MALAYA wa Morogoro Zawaathiri Watoto Wanaoziokota na Kuzifanya Mapulizo

$
0
0
Biashara ya ngono iliyokithiri katika mji wa Morogoro imegeuka kuwa kero kwa wakaazi wa eneo hilo na familia zao hali inayowaweka hatarini zaidi watoto wadogo wasio na hatia wanaokutana na kondom zilizotumika huku mkuu wa Mkoa huo, Mheshimiwa Joel Bendera akinawa mikono kuhusu suala hilo.

Wakati hayo yakiendelea Morogoro, serikali kuu imekuwa ikitafuta dawa kali ya kuweza kudhibiti biashara hiyo hapa nchini.

Edson Mkisi Jr wa Times Fm, hivi karibuni alitembelea mkoa huo na kushuhudia kushamili kwa biashara ya ngono sehemu mbalimbali za mkoa wa Morogoro hususani katika maeneo ya Kaumba na Itigi mkoani humo.

Taarifa zilizopatikana awali toka kwa baadhi ya wakazi wa maeneo ya mji wa Morogoro zilidai kuwa biashara ya ngono imekuwa kero mkoani humo kutokana na utupwaji hovyo wa kondom zilizotumika katika mitaa hiyo.

Kondom hizo zilizotumika zinahatarisha afya ya watoto wanaozitumia kama mapulizo.

“Kiukweli hii biashara mbali ya kutuaibisha sisi akina mama lakini pia inatukera sana kutokana na utupwaji hovyo wa kondom unaofanywa na hao akina dada….na baada ya kondom hizo kutupwa watoto wetu wanaziokota na kuanza kupuliza kama maputo kwakweli inatukera sio siri,” anasema mama Sakina mfanyabiashara maarufu wa samaki Msamvu Morogoro.

Baadae mwendesha bodabodo eneo hilo alimuonysha mwandishi wetu Hotel moja maaufu na kudai kwamba Hotel hiyo imekodiwa na MALAYA  hao kwa ajili ya kufanyabiashara hiyo na serikali ya mkoa wanatambua ‘ishu’ hiyo!

Johari Afunguka:Ray na Ostaz Juma si wapenzi wan na Wala Siwapendi Watu wa Aina Hiyo

$
0
0
Mwanadada anayefahamika kama Blandina Chagula (Johari) amefunguka na kuweka wazi kuwa hajawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Muigizaji mwenzake Ray wala Ostaz Juma kama ambavyo imekuwa ikizushwa katika mitandao ya kijamii na baadhi ya vyombo vya habari,Johari amefunguka hayo na Kusema hawapendi watu wa Aina hiyo.

"Ni kweli haya mambo yanakuwa yanatokea na kuzushwa lakini ukweli kwamba sijawahi kuwa na mahusiano ya kimapenzi na Ray lakini mahusiano yetu ni ya kikazi tu,lakini pia sijawahi kuwa na uhusiano na Ostaz Juma"

Message za Usagaji za Anti Lulu Zanaswa, Alikuwa Anachat Na Mwanafunzi wa Kidato cha Pili

$
0
0
Kimenuka! Mama mmoja mkazi wa Sinza jijini Dar es Salaam, aliyejitambulisha kwa jina la Mama Zahara, ameibuka na madai mazito akimtuhumu msanii wa filamu ambaye pia ni mjasiriamali, Lulu Mathias Semagongo ‘Anti Lulu’ kumtumia ‘SMS’ za usagaji mwanaye aitwaye Zahara, Ijumaa lina kisa na mkasa.

Mama huyo, akiwa amefura, alitinga kwenye Ofisi za Magazeti Pendwa ya Global Publishers zilizopo Bamaga-Mwenge jijini Dar, mapema wiki hii na kueleza kuwa amebaini mchezo mchafu unaoendelea kati ya binti yake ambaye ni denti wa kidato cha pili na Anti Lulu.

MSIKIE MAMA MWENYEWE
Akizungumza kwa hasira, Mama Zahara aliwaka: “Mimi nina mtoto huyu tu wa kike, anasoma boarding huko Tanga lakini hivi karibuni alirejea akidai wamepewa likizo ya wiki moja.
“Tangu huyu mtoto amekwenda boarding, nimebaini amebadilika sana, amekuwa na vijitabia ambavyo sivielewi hivyo nikawa namchunguza sana.

“Leo (Jumanne wiki hii) wakati niko jikoni nikasikia anaongea na mtu akiwa chumbani kwake, mazungumzo yale yalinitia shaka kwani kuna muda nikamsikia ‘akimkisi’ aliyekuwa anazungumza naye.
“Nilihisi kitu f’lani lakini nikasema nitamvizia nichukue simu yake nikiamini kama kuna kinachoendelea nitagundua, na kweli, alipotoka kwenda bafuni nikaichukua simu yake na kukutana na mambo ya ajabu.

“Nilinasa hizi sms ambazo zilinionesha waziwazi kwamba mwanangu anafanya vitendo vya kisagaji. Niliumia sana hasa ukichukulia kwamba nina binti huyo tu.“Nilipoichukua ile namba, nikataka kujua kama kweli alikuwa anachati na msichana mwenzake au mwanaume, ikabidi nifanye kama nataka kumtumia pesa kwenye simu yake na hapo ndipo likaja jina la Lulu Semagongo.

“Nilishtuka kwani namjua huyu msanii tangu alipokuwa mtangazaji. Nilipompigia akanijibu kwa kifupi tu kwamba nimlee vizuri mwanangu na yeye hawezi kumfanyia vitendo hivyo, nikaona bora nije kwenu mtanisaidia.”

MESEJI ZENYEWE ZIKOJE?
Zahara: Natamani kufanya kale kamchezo, unaweza kunisaidia?
Anti Lulu: Nitumie pesa!
Zahara: Kiasi gani cha pesa? Pesa siyo tatizo, umenielewa lakini? Nataka tu…(kitendo kichafu).
Anti Lulu: Nitumie hiyohiyo, kwa muda huu nitumie 30,000.
Zahara: Sawa halafu tunaonana vipi?

Anti Lulu: Nitumie pesa muda huu, Jumamosi.
Zahara: Mbona mbali sana mpenzi, leo haiwezekani au hata kesho, pesa siyo tatizo.
Anti Lulu: Nitumie pesa basi.
Zahara: Subiri kidogo baby, simu yenye pesa iko kwenye chaji, usijali, nashukuru kwa kunionea huruma.
Anti Lulu: (kimya).

KESHO YAKE
Anti Lulu: Umeona ishu kunidanganya siyo?
Zahara: Siwezi kukudanganya mpenzi, ndiyo naamka nitakutumia ila usije ukanidanganya maana nina..., hiyo Jumamosi tunaonana wapi?
Anti Lulu: Tuta-meet (kukutana) Bondeni Hotel (ipo Magomeni, Dar), basi nitumie hiyo pesa.
Zahara: Nikutumie kwenye namba hii, vipi tutatumia vifaa?
Anti Lulu: Nitumie kwenye namba hii.

Zahara: Nijibu basi kama tutatumia vifaa au hivihivi…
Anti Lulu: Hakuna haja ya vifaa, mimi natosha…
Zahara: Haya natuma, nitafurahi sana.
Baada ya maelezo ya mama huyo kisha kuziona sms hizo, kweli zilionesha Zahara ndiye aliyekuwa akimshawishi Anti Lulu amfanyie kamchezo hako huku msanii huyo naye akionesha kuujua na kutaka apewe kwanza Sh. 30,000.

Kama ilivyo ada ya gazeti hili kutoa nafasi kwa mtuhumiwa kusikika, Ijumaa lilimsaka Anti Lulu ili kupata maelezo yake ambapo alikuwa na haya ya kusema:

HUYU HAPA ANTI LULU
“Kusema ukweli huyo binti ndiye aliyekuwa akinisumbua kwa kunitumia sms za kunitaka.
“Alionekana kuuzoea na kuupenda sana sana huo mchezo, mimi sijawahi, ni two different things (vitu viwili tofauti).

“Inavyoonekana alitaka kunichafua kwani alinilazimisha sana, sijawahi kufanya huo mchezo na wala sifikirii hasa kwa binti kama mimi ambaye naamini wapo wanaume wanaonipenda, niingie kwenye usagaji natafuta nini?
“Huyo binti mwambieni anikome kabisa.”

KUTOKA MEZA YA IJUMAA:
Ni vyema wazazi wakawa na utaratibu wa kuwafundisha watoto wao juu ya madhara ya kujihusisha na vitendo haramu kwenye jamii ili wawe na mwanga wa maisha yao ya baadaye na hasa viongozi wa kesho wa taifa letu.
GPL

Video Mpya ya Nay wa Mitego ya Wimbo Mr Nay iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu Hii Hapa

$
0
0
Video Mpya ya Nay wa Mitego iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kutoka na Picha za Ajabu zilizotoka wakati wa uchukuaji wa Video hiyo, Itazame hapa Chini alafu uniambie Kama umeikubali ama Laa!

Mkurugenzi TBS Jela Mwaka Kwa Matumizi Mabaya ya Madaraka

$
0
0
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu kifungo cha mwaka mmoja jela Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Kwa Matumizi Mabaya ya Cheo chake na Kusababishia Serekali Hasara ya Mamilioni.
My Take: Naona kama Kifungo Kidogo Sana Hicho , Nahuhakika Huko Jela Kuna watu wamefungwa Miaka Kadhaa kwa Kesi za Kuku Tu ila Huyo Mamilioni ya Hela Anafungwa Mwaka....Je wewe Unalionaje Hilo?
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images