Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104803 articles
Browse latest View live

Meneja wa TPA Afikishwa Mahakamani kwa Kumiliki Nyumba 23, Magari 7

$
0
0
Meneja wa TPA afikishwa Mahakamani kwa kumiliki Nyumba 23, Magari 7
Meneja wa Fedha wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Prosper Kimaro amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na kosa la kujilimbikizia mali zenye thamani ya Shilingi Bilioni 1.4 zisizolingana na kipato chake halali.

Kimaro anadaiwa kumiliki nyumba zenye thamani ya Bilioni 1,178,370,334, zilizopo maeneo ya Temeke DSM na magari 7 yenye thamani Shilingi Milioni 307,364,678.20.

Kimaro amesomewa mashtaka yake na wakili wa serikali, Vitalis Peter mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba ambapo amedai kuwa mshtakiwa anakabiliwa na kosa moja.

Wakili Vitalis amedai mshtakiwa anakabiliwa na kosa la kujilimbikizia mali zisizolingana na kipato chake ambapo anadaiwa amelitenda kosa hilo kwa miaka tofauti kati ya 2012 na 2016.

Anadaiwa mali hizo amejilimbikizia maeneo ya Temeke DSM akiwa mtumishi wa umma wa TPA kama Meneja wa Fedha, amekutwa na mali zisizolingana na kipato chake halali cha zamani na cha sasa.

Mali hizo ni nyumba 2 zilizopo mtaa wa Uwazi Temeke (Mil 124.2), kiwanja kimoja kilichopo Yombo Vituka (Mil.12.9), nyumba 2 zilizopo Temeke (Mil 63.5).

Pia nyumba nyingine 3 zilizopo Temeke zenye thamani ya (Mil.159), nyumba nyingine 3 zilizopo maeneo hayo (Mil 170.1), nyumba nyingine moja (Mil 71.3).

Pia ana kiwanja Temeke (Mil 35), kiwanja kingine (Mil 25) na kujenga nyumba 3 (Mil 159), pia nyumba nyingine moja (Mil 106), pia nyumba nyingine 3 zilizopo Temeke zikiwa na thamani ya (Mil 214).

Pia ana nyumba 4 zilizopo Viziwa Ziwa Kibaha Mjini (Mil 199.7), nyumba nyingine Kilimahewa Tandika (Mil 70).

Pia anamiliki magari aina ya Toyota Land cruise (Mil 180.1), Mitsubishi (Mil 38.4), Massey Ferguson (Mil.24), Trailer (Mil 4.5), Toyota Harrier (Mil 35.8), Trailer (Mil 4.8), Massey Ferguson (Mil 19.1).

Baada ya kusomewa mashtaka hayo, mshtakiwa alikana makosa yake ambapo Wakili Vitalis amedai upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika, pia hana pingamizi na dhamana.

Hakimu Simba ametoa masharti ya dhamana kwa mshtakiwa kuwa na wadhamini 2 watakaowasilisha hati ya mali isiyohamishika yenye thamani ya Sh.Mil 200, pia mshtakiwa asitoke nje ya mkoa wa Dar es Salaam bila kibali pamoja na kuwasilisha hati zake za kisafiria.

Mshtakiwa huyo hajatimiza masharti ya dhamana, ambapo Hakimu Simba ameahirisha kesi hiyo hadi May 3,2018.

Daimond, Nandy Baada ya Kuhojiwa na TCRA Warudi Mikono Nyuma " Ujana Maji ya Moto Haturudii Tena"

$
0
0
Daimond, Nandy Baada ya Kuhojiwa na TCRA Warudi Mikono Nyuma " Ujana Maji ya Moto Haturudii Tena"
Wasanii Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Faustina Charles ‘Nandy’ wamehojiwa kwa saa mbili na Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA).

Wakizungumza mara baada ya kumaliza mahojiano hayo yaliyofanyika leo Aprili 19, wasanii hao wamesema wamejifunza mengi kuhusiana na masuala ya mitandao.

Diamond amesema: “Ujana ni maji ya moto tumeelimishwa, hatutarudia tena, nitakuwa balozi kwa vijana wenzangu kuhusu masuala ya mitandao.”

Nandy amesema: “Nisameheni kwa yaliyotokea. Hapa TCRA nimepata somo kuhusu mitandao, tukio lile halitajirudia tena.”

Mwanadada Pendeza na Products za Natural Beauty na Kaka Kuwa Rijali...Wacheki Hapa

$
0
0
Zile tiba za asili zilizothibitishwa na kupewa kibali sasa zipo @natural beauty prod.
Ni wakati wako dada wa kupendeza na mwanaume kuwa lijali kwa bidhaa original zilizotengenezwa kwa mimea na matunda

PATA KWA PUNGUZO LA BEI

1.HANDSOME UP ORIGINAL_ Inaongeza uume kwa size uipendayo na kuimarisha misuli (wiki 2) @240,000/=
2.SHARK POWER GELY_ Inaongeza uume inch 6 (wiki 4) @145,000/=
3VigRX CREAM_ Inaongeza uume inch 7.5 hadi 8 (wiki 2-3) @190,000/=
4.Vidonge maalum vya kuongeza nguvu na hamu ya tendo hata kwa wenye kisukari na BP @160,000/=
5. MAXMAN 2-Hii ni vidonge vinavyoongeza nguvu za kiume pamoja na uume @240,000/=
6.VIGA SPRAY OG_ Inaongeza uwezo ktk tendo na kuchelewesha kufika kileleni @140,000/
7.BOTCHO MULT PLUS_Hii ni dawa ya kunywa ya kuongeza ( Hips mapaja na makalio) inapatikana kwa @190,000/=
8.BOTCHO CREAM HOLOGRAM_ Hii ni yakupaka ya kuongeza (HIPS na MAKALIO) @170,000/=
9.LEG BOOSTER_Ni dawa ya kuongeza miguu (CHUPA YA BIA) @140,000/=
10.BODY BOOSTER_ Hii ni yakuongeza mwili pamoja na hamu ya kula vizuri @140,000/= N.K
NB:Hakikisha unapata risiti yenye muhuri na garantii ili kukuhakikishia ubora na usalama wa bidhaa za NATURAL BEAUTY LTD

Wasiliana nasi Popote
ulipo duniani kwa (+255)
0659618585 au
0759029968

Aliyezaa na Ali Kiba Afunguka Mazito

$
0
0
Mzazi mwenzie na msanii Alikiba Devotha ambaye amezaa naye mtoto wa kiume anayefahamika zaidi kwa jina la Unju amefunguka mazito katika siku maalum ya msanii Alikiba ambaye anaoa leo April 19, 2018 na kuonyesha jinsi gani yeye ametoa baraka kwa Alikiba kuoa.

Mama Unju amesema kuwa yeye atahudhuria katika harusi hiyo ila anakwenda kama mama wa Alikiba na kudai kuwa msanii huyo amekuwa baba bora siku zote na kumtakia aendele hivyo hivyo hata baada ya kuoa.

"Leo ni siku yako maalum Kiande wangu, rafiki yangu na baba bora Alikiba, baba usiniangushe somo yako. Mungu akusimamie katika ndoa yako. Mimi leo naenda kama Mama K, ukawe mume bora na ujali familia zote, nenda mwanangu" alimalizia Mama Unju.

Ndoa ya msanii Alikiba inafanyika nchini Kenya katika mji wa Mombasa leo April 19, 2016 ambapo msanii huyo atachukua jiko lakini pia inategemewa kufanyika sherehe nyingine nchini Tanzania siku za karibuni ndani ya mwezi huu.

Ndugai Atoa Msimamo Kuhusu Matibabu ya Lissu

$
0
0
Ndugai Atoa Msimamo Kuhusu Matibabu ya Lissu
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Job Ndugai amesema Bunge haliwezi kuidhinisha fedha kwa ajili ya matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa kuwa halijapata vibali vitatu ambavyo vingemuwezesha kupata fedha za matibabu kutoka Bungeni.


Ndugai ametoa msimamo huo leo Aprili 19, 2018 Bungeni jijini Dodoma kwenye kikao cha 13 mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya Mbunge Godbless Lema kuomba mwongozo wa kutaka kujua sababu zilizopelekea Bunge kutogharamia matibabu ya Mbunge huyo wa upinzani ambaye alipigwa risasi na watu wasiofahamika mwezi Septemba mwaka 2017.

"Utaratibu wetu katka nchi hii ni kwamba Mbunge akienda kutibiwa nje, lazima pawepo na barua kutoka kwa Rais, kibali kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto na Hospitali ya Taifa, Muhimbili kwamba mgonjwa fulani anahitajika rufaa tena wao ndio watasema apelekwe wapi ili Bunge liweze kuandika 'check' (hundi) aweze kupata fedha za matibabu. Bila ya hivyo Bunge haliwezi kufanya jambo lolote", amesema Spika Ndugai.

Manara Ammwagia Sifa Ajibu "Ajib ni Mzuri Mara Tatu Zaidi ya Samatta"

$
0
0
Manara Ammwagia Sifa Ajibu "Ajib ni Mzuri Mara Tatu Zaidi ya Samatta"
Mkuu wa kitengo cha mawasiliano katika klabu ya Simba, Haji Manara amesema kwamba mchezaji wa timu ya Yanga Ibrahimu Ajib ni mzuri lakini hapendi kufanya mazoezi na pia kubaki katika kiwango bora kwa muda mrefu.


Manara amezungumza hayo  April 18, katika kipindi cha KIKAANGONI  kinachorushwa mubashara kupitia kurasa za kijamii ya EATV na kuongeza kwamba licha ya kipaji alichonacho lakini anashindwa kukilinda kwa kufanya juhudi mazoezini

“Ibrahim  Ajib anaanza vizuri msimu halafu ikifika mahali akishakua Mfalme katika timu anapumzika, halafu Ajib hapendi mazoezi, hawezi kucheza mechi saba mfululizo katika kiwango cha juu kwasababu hapendi mazoezi , kama angependa mazoezi ni mzuri mara tatu zaidi ya Mbwana Samatta”, alisema Manara

Kwa upande mwingine Manara amesisitiza kwamba Ibrahim Ajib ni mchezaji mwenye nidhamu ukilinganisha na wachezaji wengine waliotoka timu ya Simba na kuhamia kwa wapinzani wao Yanga.

Mama wa Mke wa Alikiba Ashika na Butwaa Baada ya Kujua Mwanaye Anaolewa na Alikiba "Sikujua Mwanangu Aaolewa nae"

$
0
0
Mama wa Mke wa Alikiba Ashika na Butwaa Baada ya Kujua Mwanaye Anaolewa na Alikiba "Sikujua Mwanangu Aaolewa nae"
MAMA wa bibi harusi,  Amina Rikesh aliyefunga ndoa na mwanamuzi wa Bongo Freva Ali Kiba, ametoa la moyoni na kusema, hakujua kama msanii huyo mkubwa Afrika Mashariki ndiye anamwoa mtoto wake.

Mama huyo anayeitwa, Asma Said anasema, hakujua kama anayemwoa ni  Ali Kiba na alijua ni kijana tu kutoka Tanzania.

 “Kijana ametoka Tanzania na kuja kuoa Kenya mimi sikujua kama mtoto wangu ataolewa na Ali Kiba lakini Mungu ndio aliyepanga,” anasema mwanamke huyo.

Ali Kiba amefunga ndoa katika Msikiti wa Ummul Kulthum uliopo eneo la Kizingo jijini Mombasa, Kenya. Msikiti huo umejengwa na Gavana wa Mombasa, Hassan Joho na baadaye kutakuwa na sherehe kubwa katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Mombasa.

Msanii huyo anayetamba na wimbo wake wa Seduce Me, aliingia Kenya jana Jumatano na kukaa katika hoteli ya English Point Marina iliyo karibu na  nyumba ya bibi harusi maeneo ya Kongowea.

Ushauri wa Chemical kwa Alikiba Baada ya Kuoa

$
0
0
Ushauri wa Chemical kwa Alikiba Baada ya Kuoa
Baada ya msanii Alikiba kuoa, msanii mwenzie Chemical ametoa ushauri kwa muimbaji huyo wa ngoma ‘Seduce Me’.

Chemical akipiga story na Clouds Tv amesema Alikiba kama alivyoweka mahusiano yake siri hadi kufikia hatua ya kuoa, afanye hivyo hadi kwenye maisha ya ndoa.

“Namshauri aendelee kufanya mahusiano yake private kama alivyofanya kwa sababu maisha ya ndoa ukiyaweka wazi sana yanakuja kukuumiza. Kama alivyoamua kuweka hivyo person basi aendelee hivyo hivyo ili mradi waelewane ampende mke wake, yeye ni star mkubwa,” amesema.

Msanii Alikiba amefunga ndoa na mpenzi wake, Aminah Rikesh leo April 19, 2018 mjini Mombasa nchini Kenya. Taarifa kutoka Kenya zinaeleza kuwa wawili hao walianza mahusiano mwaka 2016.

Download Hapa Application ya Udaku Special Uweze Soma Vimbwanga na Udaku Mtaani Kila Siku

$
0
0
Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Upya Application yetu ya UDAKU SPECIAL Maana ile ya Zamani Tutaifuta.

Kuna Marekebisho Makubwa tumeyafanya ikiwa na tatizo la Notification kutatuliwa

NB: App mpya ina Icon Nyekundu

 Bonyeza Hapa Chini

==>>Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>
    

Mange Amvaa Jokate Baada Ya Ali Kiba Kuoa Mwanamke Mwingine

$
0
0
Mwanaharakati wa siasa Mtandaoni Mange Kimambi amemvaa Jokate na kumtolea povu zito baada ya aliyekuwa mpenzi wake staa wa Bongo fleva Ali Kiba kuoa mwanamke mwingine.

Asubuhi ya Leo Ali Kiba Kamuoa mke wake Amina huko Mombasa nchini Kenya lakini Ex wake Jokate anashika headlines ambapo Mange amemjia juu Jokate huku akimcheka kuhusu hilo.

Mange amekuwa akiipinga ndoa hii kufanyika hivi sasa kwa hofu ya kwamba itazima haraka  zake Lakini pia amekuwa katika vita na Jokate kutokana na Jokate kuwa chama tawala na alikuwa kiongozi.

Mange amemtolea povu zito Jokate huku akihusisha ndoa ya Ali Kiba ambapo kwenye ukurasa wa Instagram wa Jokate aliandika maneno haya:

Mnaosema “Lukaku Mbovu” Hamujui Msemacho, Soma Hapa

$
0
0
Mpira ni takwimu, takwimu ndio zinaonesha kufanikiwa au kutofanikiwa kwa mchezaji. Takwimu hizo ndio zinaonesha kwamba Romelu Lukaku mwaka huu ndio msimu wake bora zaidi Uingereza.

Kwanza Lukaku bao lake la jana kwa United limemfanya kuwa na mabao 27, Lukaku anakuwa amefunga mabao mengi zaidi katika msimu wake wa kwanza United kuliko washambuliaji wengine kama Rooney, Berbatov na Tevez.

SOMA PIA: 15 Job Opportunities at Management and Development for Health (MDH)

Katika msimu wake wa kwanza Manchester United Tevez alifunga mabao 19, Wayne Rooney mabao 17, Dimitar Berbatov mabao 14, Andy Cole 12 lakini Lukaku hadi sasa ana 27 na mechi zinaendelea.

Achana na hilo lakini pia tangu msimu wa 2009/2010 hadi msimu huu 2017/2018, huu ndio msimu ambao Romelu Lukaku amefunga mabao mengi zaidi katika msimu mmoja, hajawahi kufikisha idadi hii ya mabao tangu ajiunge EPL.

Manchester United jana walishinda bao 2-0 dhidi ya Fc Bournamouth, na sasa United wanakuwa wamefunga jumla ya mabao 65 katika msimu huu, hii ni idadi kubwa zaidi tangu wafunge mabao 85 msimu 2012/2013.

VIDEO: "Msemaji wa CCM Alikuwa Mafichoni Akitumia Silaha, Baada ya Ripoti ya CAG kutoka"

$
0
0
Katibu wa Itikadi, Uenezi, Mawasiliano ya Umma wa Chama cha ACT Wazalendo, Ado Shaibu amesema Msemaji wa CCM, Humphrey Polepole alikuwa chimbo akitumia silaha ndogondogo kujibu hoja za chama hicho kuhusu ripoti ya mdhibiti na mkaguzi wa hesabu za serikali CAG.

SOMA PIA: Nafasi za Ajira zilizotangazwa Leo

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI.

Yafahamu matatizo ya ngozi yanayotokana na kunyoa ndevu na nywele na jinsi ya kujitibu

$
0
0
Wakati unaponyoa ndevu na nywele, baada ya kunyoa, wakati wa kuota nywele hizo zipo baadhi ya sehemu nywele hushindwa kutoka nje ya ngozi na kuota ndani ya ngozi hali inayopelekea kusababisha uvimbe na vipele.

Zipo aina mbili za mapele yanayotokana na Kunyoa nywele na ndevu.

Magonjwa haya ni kama ifatavyo

1. Acne Keloidalis Nuchae
Acne keloidalis nuchae (AKN) Ni tatizo linalotakana na maambukizi ya bacteria P.Acnes kwenye ngozi baada ya kunyoa,hali inayopeleka vijitundu vya vinyweleo kuziba na kufanya nywele kushindwa kutoka nje ya ngozi na kukulia ndani ya ngozi hivo kusababisha mapele makubwa na makovu. Acne keloidalis nuchae (AKN) mara nyingi hutokea sehemu ya kisogo.
Mbali na kunyoa tatizo hili pia huweza kusababishwa na uvaaji wa kofia.

2.Pseudofolliculitis barbae (PFB)
Tatizo hili huwapata watu wengi, hili hutokea sehemu za kidevu na mashavu. Hii pia husababishwa na kuziba kwa vinyweleo vya ngozi baada ya kunyoa hivo kupelekea ndevu kukulia ndani ya ngozi na kusababisha uvimve kwa juu ya ngozi na baadae makovu meusi.

MATIBABU YA PSEUDOFOLLICULITIS BARBAE (PFB) NA ACNE KELOIDALIS NUCHAE

Kuminya mapele haya kwa maji ya moto kama unakanda ngozi.Hii husaidia ngozi zilizokulia ndani kutoka.
Kutumia dawa.
Dawa kama persol na tretnoin cream zinaweza kutumika,Endapo mapele yamekua makubwa sana basi unaweza tumia hizo dawa na ukaongeza doxycycline ya kumeza.
Pia epuka kuvaa kofia au nguo zinazobana.

SOMA PIA: Temporary Credit Clerks at Tanzania Postal Bank (TPB Bank PLC)

Matibabu ya Tundu Lissu, Spika Atoa Msimamo

$
0
0
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania, Job Ndugai amesema Bunge haliwezi kuidhinisha fedha kwa ajili ya matibabu ya Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu kwa kuwa halijapata vibali vitatu ambavyo vingemuwezesha kupata fedha za matibabu kutoka Bungeni.


Ndugai ametoa msimamo huo leo Aprili 19, 2018 Bungeni jijini Dodoma kwenye kikao cha 13 mkutano wa 11 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, baada ya Mbunge Godbless Lema kuomba mwongozo wa kutaka kujua sababu zilizopelekea Bunge kutogharamia matibabu ya Mbunge huyo wa upinzani ambaye alipigwa risasi na watu wasiofahamika mwezi Septemba mwaka 2017.

SOMA PIA: Job Opportunities at The Bank Of Tanzania (BOT)

"Utaratibu wetu katka nchi hii ni kwamba Mbunge akienda kutibiwa nje, lazima pawepo na barua kutoka kwa Rais, kibali kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto na Hospitali ya Taifa, Muhimbili kwamba mgonjwa fulani anahitajika rufaa tena wao ndio watasema apelekwe wapi ili Bunge liweze kuandika 'check' (hundi) aweze kupata fedha za matibabu. Bila ya hivyo Bunge haliwezi kufanya jambo lolote", amesema Spika Ndugai.

Mtazame hapa chini Spika wa Bunge, Job Ndugai akifafanua vizuri..

Diamond Amtumia Salamu Ali Kiba Baada ya Kusikia Amefunga Ndoa

$
0
0

From Daimond
"Ni Mwendo wa Picha za Suti tu sasa hivi, Maana nisije nikafungua hata kashati nikajikuta Centro...Pole yenu Wa zee wa Gym, Kama Muscat Round hii🤣🤣🤣.... Wadau Nimeambiwa King Kiba kaoa leo...Mfikishieni Salam zangu, za Ndoa njema, na Maisha yenye Furaha, Amani na Baraka tele...🔥🔥🔥 #SanaaImezaliwaUpya "

Mfalme Mswati wa Swaziland Abadili Jina la Nchi yake

$
0
0

SWAZILAND: Mfalme Mswati wa III amebadili jina la nchi hiyo kutoka Swaziland kuwa eSwatini wakati wa sherehe za miaka 50 ya utawala wa kifalme wa nchi huo na miaka 50 ya uhuru
-
eSwatini ndio nchi pekee ya Kifalme duniani ambayo Mfalme ana mamlaka kamili katika nyanja zote za kiutawala
-
Mfalme Mswati III kwa sasa ana wake 15 akiwa anaifuata rekodi ya Baba yake aliyekuwa na wake 125

Okoa Ndoa yako Sasa...Umepungukiwa na Nguvu za Kiume na Unashindwa Kupanda Mlima Vizuri

$
0
0
OKOA NDOA YAKO SASA : JE UMEPUNGUKIWA NA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO AU MPENZI WAKO HAKUTIMIZII UTAKACHO:


Acha kujiona mpweke pale ukutanapo na mpenzi au mke wako kwa sababu ya kutokuwa na nguvu za kiume au Uume wako mdogo

Dawa YA MAPRO POWERA ndio dawa sahihi na tiba tosha kwa sasa Kutibu tatizo na kuponesha kabisa tatizo LA KUWAI KUFIKA KILELENI KABLA MWENZI WAKO BADO AJAKOJOA

KUSHINDWA KURUDIA TENDO LA NDOA NA MWILI KUCHOKA

UUME KUSINYAA NA KUWA LEGELEGE

KUUMWA NA TUMBO WAKATI UNAPOMALIZA KUFANYA TENDO

Dawa hii utumiwa ata na wazee wenye umri mkubwa na haina madhara yoyote

MAKAKANUA HII NI dawa ya maumbili madogo urefusha na kunenepesha saizi upendayo saiz 5-6-7-8 na unene sm 3-4-5 kwa mini huabiki kwa kuwa na UUME mdogo wai sasa upate tiba sahihi kabisa na ni tofauti na ulizowai kutumia :

Tunarudisha mke au mpenzi ndani ya masaa matatu tu zipo dawa za presha kisukali vidonda vya tumbo korodani iliyovimba dawa za uzazi tunapunguza matiti makubwa kitambi na mwili mkubwa dawa zipo FIKA OFISINI KWANGU MBAGALA ZAKHEMU KWA WATEJA AMBAO AMTAKUWA NA NAFASI YA KUJA OFISINI AU MLIO MKOANI MTALETEWA p

Piga simu 0743362017 au 0789234653

DR AGU

Shamsa Ford: Tusimlaumu Diamond Kudhalilisha Wanawake, Hawajitambui

$
0
0
MUIGIZAJI wa Bongo movie, Shamsa Ford amesema si kweli kwamba Diamond anawadhalilisha wanawake anaotoka nao kimapenzi kwa kusambaza video zao mtandaoni.

Diamond amezua gumzo baada ya video yake ya faragha kusambaa mtandaoni akiwa na Hamisa Mobetto na binti wa kizungu.

Kwenye mahojiano na mtandao maalumu, Shamsa aliulizwa nini maoni yake kuhusu jambo hilo akasema Diamond aendelee kutoka na wanawake tofauti kwa kuwa hawajitambui na amemtahadharisha awe makini kwa kuwa kuna magonjwa.

"Mwanaume hawezi kukufanya mwanamke ukawa chombo cha starehe inategemea mwenyewe na akili yako,kama unataka kuchezewa utachezewa kama unataka kuwa mwanamke wa muhimu kwake utakuwa inategemea mwenyewe unajiweka wapi,” amesema Shamsa.

Amesema hawezi kumlaumu Diamond kama anawatumia wanawake maana wenyewe wanapenda kuwa hivyo na kumsihi kuwa makini ili kuepuka magonjwa ya zinaa.

Chanzo: Habari Leo

Rais Mstaafu Kikwete, Ridhiwani Washindwa Kuhudhuria Harusi ya Ali Kiba

$
0
0
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete washindwa kuhudhuria harusi ya mwanamuziki wa Bongo fleva nchini, Ali Kiba kutokana na kuwa na majukumu mengine.

Hayo yameleezwa na mtoto wa Rais Kikwete na Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akiwa mjini Dodoma anapohudhuria vikao vya Bunge.

Ridhiwan amesema kuwa, walipewa mwaliko wa kuhudhuria harusi ya mwanamuziki Ali kiba, lakini Rais mstaafu Kikwete kwa sasa anahudhuria shughuli nyingine Marekani, naye Ridhiwani anahudhuria vikao na shughuli mbalimbali bungeni mjini Dodoma hivyo wameshindwa kuhudhuria harusi ya mwanamuziki huyo Kenya.

 Awali Mama wa bibi harusi mtarajiwa, Asma Said alisema kuwa baada ya ndoa kufungwa itafuatiwa na sherehe ya kupambwa bibi harusi, ambayo itafanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini humo.


Chanzo: Mwananchi

Kutana na Mtabibu Mongwa Mganga wa Waganga...Sasa Anapatikana Mikoa Yote...

$
0
0
KUTANA NA MTABIBU MONGWA MGANGA WA WAGANGA SASA WAKO MIKOANI KARIBU YOTE NCHINI...
.
HIVYO WATATOA TIBA MAENEO YOTE YA MBEYA ,DODOMA, IRINGA , MOROGORO, MWANZA,ZANZIBAR

==>KWA WALE WENYE KUHITAJI TIBA

➖Husafisha nyota na kutoa Pete za bahati na kwawale walio sumbuka kwaajili ya matibabu na hawakufanikiwa chochote sasa njoo ujionee miujiza hapo kwahapo bila malipo yoyote malipo baada yakazi napia humpa mtu jini la mali kwayule anaye taka kumiliki bila mashariti yoyote

➖ tunatibu magonjwa mbalimbali yaliyo shindikana mpenzi aliye kukimbia nakumrudisha kwa masaa 24 tu napia natoa dawa za nguvu za kiume kuurefusha uume paka pale unapotaka .

➖natoa dawa za biashara na mvuto ==tunatoa dawa zauzazi kwa wale kina mama wenye matatizoya uzazi walio angaika kwa muda mrefu bila kupata mafanikio yoyote njoo umalize tatizo lako sasa
➖natoa mazindiko yanyumba na mwili biashara na mvuto kazini

➖ kupandisha nyota ili kungaa kupandishwa cheo kazini kurudisha mali zilizo pote zilizo ibiwa kuzulumiwa

➖kesi zilizo shindikana uzimaliza mara moja namengine mengi ya siri

Piga simu
+255 764291657
+255 764291657
+255 764291657
+255 764291657

Viewing all 104803 articles
Browse latest View live




Latest Images