Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104808 articles
Browse latest View live

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

$
0
0

Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH issa simba said Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili ya Africa Mwenye UWEZO Kubaini tatizo lako Pindi tu Utakapo Fanya Mawasilino Kupitia Wasaa Husika..JE UNASUMBULIWA NA Mapenzi? (Umeachwa na Umpendae,Awe Mume,Mke na Bado unampenda?Na Umejaribu Sehemu nyingi Bila Mafanikio?Wasilina na Maalim Hussein Ujione muujiza wa Papo kwa Papo..

anauwezo WA KURUDISHA MAHUSIANO NA KUIMARISHA NDOA YAKO NDANI YA SAA 12 TU. Umekimbiwa na Mumeo,mkeo au Mpenzi na anaishi na mtu mwingine? Muone akutatulie Anauwezo wa Hali ya Juu wa Kusambalatisha Mahusiano yao Endapo utafata Atakacho kuelekeza.
Atamfanya Atimize Ahadi zote kwa Muda Mfupi.


Issa simba said Anatumia Jina la Muhusika au Picha Kumaliza Tatizo lako..
Anatibu kwa Kutumia Vitabu vya QUR-AN Dawa za Asili za Africa,Dawa za Kiarabu na Majini.Anatafsiri Ndoto.

Kushinda BAHATI NASIBU, KUSAFISHA NYOTA. Mvuto wa Mwili na BIASHARA, Kinga ya Mwili,ZINDIKO za Nyumba.MIGUU Kufa GANZI.Kufungua KIZAZI kwa wale walio fungwa kwa njia za KISHIRIKINA. Anakupa Jini la Mali kwa yule anaehitaji Utajiri BILA MASHARTI. Nguvu za KIUME, Humaliza Kesi zilishindika ndani ya siku 14 tu..na mengi zaidi

Piga simu +255 622588038 au 0679119679 au +255 764318107

NB: TIBA KWA DINI ZOTE NA IMANI ZOTE...

Wabunge, Mawaziri Wakatiwe Maji na Wao Waone Adha Wanayopata Wananchi- Ester Bulaya

$
0
0
Wabunge, Mawaziri Wakatiwe Maji na Wao Waone Adha Wanayopata Wananchi- Ester Bulaya
Mbunge wa Bunda Mjini (Chadema), Ester Bulaya amesema tatizo la maji ni kubwa nchini, akipendekeza mawaziri na wabunge kukatiwa huduma hiyo ili waone adha wanayoipata wananchi.

Akichangia mjadala wa hotuba ya bajeti ya Wizara ya Maji na Umwagiliaji ya mwaka 2018/19, Bulaya amesema fedha zinazotengwa hazitolewi.

Amesema leo Mei 7, 2018 kuwa, kuna hospitali zinashindwa kufanya upasuaji kwa kukosa maji, huku wanawake wakipata adha.

Mbunge huyo amesema wabunge na mawaziri wakikatiwa maji watahisi uchungu wanaopata wananchi wa kukosa maji safi na salama.

Amesema ilivyo sasa ni bora mgonjwa akapelekewa ndoo ya maji kuliko chakula.

Bulaya amesema hata vijana wanapohamasishwa kuwekeza katika kilimo cha umwagiliaji kama hakuna maji ni kazi bure.

“Tunaguswa na tatizo la Watanzania, tunaguswa na tatizo la ajira kwa vijana, ambao wanakwenda kuwekeza katika kilimo lakini hakuna maji,” amesema.

Penzi la Dillish na Adebayor Lavunjika Kisa Hiki Hapa

$
0
0
Penzi la Dillish na Adebayor Lavunjika Kisa Hiki Hapa
Mshindi wa BBA mwaka 2013 kutoka Namibia, (The Chase) Dillish Mathews baada ya kudaiwa kuwa kwenye mahusiano na mwanasoka wa Togo na klabu ya Istanbul Başakşehir, Emmanuel Adebayor – Wawili hao wamedaiwa kumwagana.

Dillish na Adebayor waliingia kwenye vichwa vya habari vya kuwa wapenzi tangu mwishoni mwa mwaka jana.

Habari za mahusiano ya wawili hao kuvunjia zilianzia kwenye ujumbe ambao Dillish aliuweka kwenye mtandao wake a Instagram ambao unasomeka, “Wha’s the one thing you would love to teach the world.”



Hata hivyo Adebayor alishindwa kuvumilia na kuamua kucomment kwenye ujumbe huo kwa kuandika, “Make all those things start from you” na pia aliweka comment nyingine inayosema, “How to respect people opinion.”

Lakini baya zaidi lililoonyesha penzi la wawili hao kutawaliwa na ua jeusi baada ya kila mmoja kum-unfollow mwenzake.

LHRC: “Ili sheria iwe nzuri lazima watumiaji waielewe”

$
0
0
LHRC: “Ili sheria iwe nzuri lazima watumiaji waielewe”
Mkurugenzi wa Utetezi wa Maboresho wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Anna Henga amesema ili sheria iwe nzuri lazima watumiaji waielewe.

Henga ameyasema hayo kwenye mkutano wa wadau wa habari, vijana, na asasi za kiraia waliokutana kujadili kanuni mpya za mitandaoni.

Amesema kuwa muda uliotolewa na mamlaka husika kutoa maoni yao kuhusu kanuni hizo ulikuwa ni mdogo, hivyo kusababisha watumiaji wengi kutokuwa na uelewa juu ya suala hilo.

“Sheria ili iwe nzuri lazima watumiaji waielewe, ndio maana tumekutana hapa kujadili kanuni hizo ambazo zimepitishwa bila kusikilizwa kwa maoni ya watumiaji,”.

Pia Henga amesema kuna baadhi ya vipengele vya kanuni hizo ni vizuri lakini vingine ni vibaya kwa kuwa vinaminya Uhuru wa habari na kujieleza.

Sarah wa Harmonize Afumguka Ishu ya Kutoka na Bodyguard wa Daimond

$
0
0
Sarah wa Harmonize Afumguka Ishu ya Kutoka na Bodyguard wa Daimond
Weekend iliyomalizika mpenzi wa Harmonize, Sarah aliingia kwenye headlines za uzito wa juu mara baada ya kuibuka taarifa zilizodai anatoka kimapenzi na Bodyguard wa Diamond Platnumz, Mwarabu Fighter.

Sasa Sarah ameibuka na kueleza kuwa anatabasamu kwa kile kinachoendelea kwani yeye si mwanamke wa aina hiyo, mpenzi wake ni Harmonize na hakuna wengine katika katika maisha yake. Kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika;

I smile for the novels of Instagram hahaha really, I’m sorry for you but I’m not that kind of woman and
as long as I stay with my man Harmonize there will not be other people in my life and I love him more than you can imagine.

So if you want these kikki novels, go look for them on other pages… oh I forgot for all the PEOPLE who speak badly don’t worry that I will come to look at you.


Diamond na Mwarabu Fighter

Taarifa zilizodai kuwa Sarah anatoka kimapenzi na Mwarabu Fighter ziliibuliwa na mwanadada maarafu mtandaoni, Mange Kimambi.

Refa Atakayecheza Fainali ya Real Madrid na Liverpool Huyu Hapa

$
0
0
Refa Atakayecheza Fainali ya Real Madrid na Liverpool Huyu Hapa
Mchezo ambao unasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa soka duniani kwa sasa ni fainali ya klabu bingwa barani Ulaya ambayo itawakutanisha Real Madrid na Liverpool Jumamosi ya Mei 26 mwaka huu.

Tayari kamati ya waamuzi ya UEFA imemchagua mwamuzi wa kati ambaye anachezesha mchezo huo utakaopigwa kwenye uwanja wa NSC Olimpiyskiy, Kyiv kwa kusimamia sheria 17 za soka.

Kamati hiyo imemteua Milorad Mažić kutoka nchini Serbia kuchezesha fainali hiyo ambayo inataajiwa kuwa na upinzani mkubwa kwa timu zote mbili.

Mažić, 45, amekuwa mwamuzi wa kimataifa tangu 2009 na amewahi kuchezsha fainali kadhaa ikiwemo ile ya mabara mwaka jana iliyowakutanisha Chile and Germany, UEFA Super Cup 2016 kati ya Real Madrid na Sevilla.

Mtoto wa Masogange akataa shule hizi

$
0
0

Mtoto wa video queen maarufu bongo Agnes Masogange ambaye amefariki mwishoni mwa mwezi uliopita,Sania Shaaban, amekataa kusoma shule za bweni ambazo ameahidiwa kusomeshwa na wafadhili, na kutaka kusoma shule za kutwa.

Akizungumza na Big Chawa kwenye Planet3 Bogno ya East Africa Radio, Sania amesema hataki kukaa mbali na shangazi zake ambao ndio wanamlea, na hajazoea shule hizo.

“Napenda kukaa nyumbani kwa sababu nitawamisi shangazi zangu, shangazi zangu wote nawapenda na sijawahi kukaa mbali nao”, amesema Sania.

Kwa upande wa shangazi zake ambo wanamlea Sada na Samia wamesema mtoto huyo hajawahi kukaa mbali na wao, hivyo suala la kwenda kusoma shule za bweni itabidi lifikiriwe kwanza kwa ajili ya usalama wake.

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya May 8

$
0
0


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya May 8

Mbunge Amtaka Waziri Aombe Radhi

$
0
0
Mbunge wa Monduli (Chadema), Julius Kalanga amemtaka Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Mhandisi Isack Kamwelwe kuwaomba radhi Watanzania na Bunge kwa kudanganya kuwa fedha za maendeleo zilizotolewa katika bajeti ya mwaka 2017/18 ni asilimia 56 ilhali kamati ya bunge imebaini ni asilimia 22 tu.

Akichangia hotuba ya bajeti ya wizara hiyo iliyowasilishwa jana bungeni jijini Dodoma, Kalanga alisema takwimu nyingi za taarifa za hotuba hiyo zinapingana na za Kamati ya Bunge ya Kilimo, Mifugo na Maji.

Alisema waziri huyo ameonesha fedha za miradi ya maendeleo ya maji zimetolewa kwa asilimia 56 ili kulishawishi Bunge lipitishe bajeti hiyo ilihali wilaya nyingi ikiwamo Monduli hazijatengewa bajeti za mradi wowote mwaka huu.

“Waziri anasema ni asilimia 56 wakati kamati inasema 22, tunataka kujua nani ni mkweli? Alihoji Kalanga.

Akiwasilisha bajeti ya Mhandisi Kamwele katika bajeti ya mwaka 2017/18 hadi kufikia Machi mwaka huu wizara ilipokea fedha za maendeleo Sh bilioni 347.5 sawa na asilimia 56.

Kampuni ya Maxmalipo yatangaza kupunguza wafanyakazi

$
0
0
Kutokana na mabadiliko ya teknolojia kampuni ya Maxcom Africa imetangaza kuajiri wafanyakazi wapya wenye ujuzi unaohitajika.

Kutokana mabadiliko hayo, baadhi ya wafanyakazi waliopo ambao ama nafasi zao zitakufa kutokana na teknolojia mpya inayotumiwa na kampuni hiyo au zitakuwa zinajirudia hivyo kuilazimu kuwapunguza.

Msemaji wa Maxcom Africa, Deogratius Lazari  amesema  kwa sasa kampuni hiyo ina watumishi 451 lakini baada ya Serikali kuanza kutumia mfumo wa kielektroniki kwenye masuala mengi mfano utoaji wa zabuni, ukusanyaji wa mapato na maeneo mengine, baadhi ya majukumu yamepungua huku mengine yakizaliwa.

“Huwezi kurundika wafanyakazi wengi kwenye eneo moja bila kujali tija yao. Tulipunguza baadhi ya wafanyakazi walioonekana ufanisi wao upo chini mwaka jana ila awamu hii ni kutokana na mabadiliko ya teknolojia,” amesema Lazari.

Amesema yapo maeneo kadhaa ya operesheni za kampuni hiyo ambayo yameimarishwa kiteknolojia kurahisisha majukumu ya menejimenti, wafanyakazi na mawakala zaidi ya 15,000 waliopo nchini kote.

Taarifa ya uwezekano wa kupunguza wafanyakazi wake iliyotolewa na mkurugenzi wa uendeshaji wa kampuni hiyo, Charles Natai inasema utaratibu wa kisheria utazingatiwa kufanikisha mchakato huo kwa wafanyakazi watakaolazimika kupunguzwa. Taarifa ilitolewa Mei 4.

“Jambo hili linatufanya sisi kufanya uamuzi wa kupitia upya mfumo wa uendeshaji wetu na kuboresha miundombinu ya shirika ili kufikia mahitaji yetu ya kibiashara wakati tukiimarisha ufanisi,”  inasomeka sehemu ya taarifa hiyo.

Lori la Mchanga Laparamia Bodaboda.....Watatu Wafariki Dunia

$
0
0
Watu watatu wamefariki dunia papo hapo na wengine takribani 7 kujeruhiwa vibaya  baada ya Lori la mchanga aina ya SCANIA lililodaiwa kupata hitilafu katika mfumo wake wa breki kuwagonga.

Taarifa za ajali hiyo zinasema, ajali imetokea katika maeneo ya Boko Magengeni, jana Mei 7, 2018 ambapo inadaiwa lori hilo liliwaparamia watu waliokuwa pembezoni mwa barabara huku likisaga pikipiki kadhaa ambazo lilizipitia.

Kufuatia tukio hilo, RPC Kinondoni, Jumanne Murilo amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema bado wanaendelea na uchunguzi kubaini chanzo hasa cha ajali hiyo.

Mbali na watu hao kupitiwa na roli hilo, zimo bodaboba na gari nyingine za abiria (coaster) ambazo zilipitiwa na lori hilo.

Pia inadaiwa wengine waliojeruhiwa ni wauza mitumba ambao hupanga kando ya barabara huku wengine wengi wakinusurika baada ya kukimbia walipoona ajali.





Download Hapa Application Mpya ya Udaku Special Uweze Soma Vimbwanga na Udaku Mtaani Kila Siku

$
0
0
Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Upya Application yetu ya UDAKU SPECIAL Maana ile ya Zamani Tutaifuta.

Kuna Marekebisho Makubwa tumeyafanya ikiwa na tatizo la Notification kutatuliwa

NB: App mpya ina Icon Nyekundu

 Bonyeza Hapa Chini Kuinstall Upya:


==>>Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>   
 

Wolper Amtupia Dongo Zito Sarah Wa Harmonize na Kudai ni Mlezi Wa Vijana

$
0
0
Muigizaji wa Bongo movie Jacqueline Wolper amemtupia Dongo zito Sarah baada ya habari zake za kumtosa Harmonize na kumchukua Bodyguard wa Diamond, Mwarabu Fighter.

Siku tatu zilizopita stori iliyotrend kupita zote ni ya mpenzi wa Harmonize Sarah kumtosa mpenzi wake na kumchukua Mwarabu Fighter.

Inasemekana Sarah amekufa ameoza kwa Mwarabu kiasi ya kwamba anamuhudumia ipasavyo yaani kampangishia hadi nyumba yaani zile huduma zozote alizokuwa anapata Harmonize zimehamia kwa Mwarabu.

Kama utakumbuka Kuwa Sarah na Wolper ni maadui wakubwa na kisa kikiwa ni penzi la Harmonize na juzi tu wametoka kumgombania Harmonize.

Baada ya tetesi hizo za usaliti kusambaa mitandaoni Sam Misago Tv walimsaka Wolper na kumuuliza nini maoni yake juu ya ishu hii kumuhusu Sarah na Wolper ameishia kumtupia dongo zito Sarah:

"Duh iyo ishu mbona ni exclusive kabisa sijaisikia lakini freshi tu mbona yule demu ni Mlezi wa wana labda kachoka kumlea mwana kaamua kumchukua mwana mwingine freshi tu”.

Bifu la Wolper na Sarah lilianza baada ya Sarah kuanza kuchepuka na Harmonize wakati Wolper yupo Kwenye Mahusiano na Harmonize.

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume........Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

-DR MAGISE

Baada ya Alikiba Kuingiza Kinywaji Sokoni Nandy Afunguka Haya

$
0
0
Baada ya Alikiba Kuingiza Kinywaji Sokoni Nandy Afunguka Haya
Hitmaker wa ngoma ya Kivuruge, Nandy amesema hatua aliyopiga Alikiba kwa kuingiza sokoni bidhaa yake ya energy drink ni moja ya vitu ambayo vimemuhamasisha kufanya vitu vikubwa.

Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na ngoma ‘Ninogeshe’ ameiambia The Playlist ya Times FM kuwa hivyo ni vitu ambavyo wasanii wa sasa wanapaswa kuiga, yaani kuwekeza nje ya muziki.

“Tuweke maneno pembeni, kwa kweli nilivyoona alivyotambulisha kinywaji chake alini-inspre kutoka moyoni mwangu,” amesema Nandy.

“Ameni-inspire kwa kinywaji kwa sababu ukiangalia the parkage ya kinywaji chake jinsi ilivyo ni project fulani ambayo ipo serious,” amesisitiza.

Muimbaji huyo aliendelea kwa kusema si Alikiba pekee amevutiwa naye katika kuwekeza nje ya muziki bali hata Diamond Platnumz.

“Tunaambiwa nje ya kuimba tunatakiwa tuwekeze nje ya muziki wetu na ndicho hiki kaka zetu wanafanya ukimuangalia kama Diamond, Alikiba ni vitu ambavyo wanatuhamasisha,” amesema.

Utakumbuka usiku wa April 29, 2018 wakati wa harusi ya Alikiba ndipo hitmaker huyo wa ngoma ‘Seduce Me’, Alikiba alitangaza ujio wa bidhaa yake ya energy drink, MO FAYA

Udart Yawaomba Radhi Wananchi kwa Upungufu wa Magari

$
0
0
Udart Yawaomba Radhi Wananchi kwa Upungufu wa Magari
KAMPUNI ya Mabasi ya Mwendokasi (UDART) imewaomba wananchi kuwa na subira katika kipindi hiki cha msimu wa mvua kutokana na  upungufu wa magari yanayofanya shughuli zake katika jiji la Dar es Salaam kwa vile magari 29 yaliayothirika kutokana na mvua yanafanyiwa matengenezo.



Hayo yameelezwa na leo jijini Dar es Salaam na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano (UDART) Deus Bugaywa ambaye aliongeza kwamba kampuni yake inafanya jitihada za kutafuta eneo jingine la muda kwa ajili ya karakana ya matengenezo ya magari kwani kwa sasa hawana sehemu maalum ya kutengenezea magari hayo yanapopata hitilafu.

Ameeleza kuwa wakati jitihada za kutafuta eneo jingine zikiendelea wananchi wawe wavumilivu pale panapotokea uhaba wa magari kwa baadhi ya vituo kwani hata wao wanaumia kuona wakitumia fedha nyingi za kuyapeleka magari hayo kweye matengenezo katika sehemu isiyokuwa rasmi.

Aidha ameeleza kuwa mafuriko yalitokea hivi karibuni yalisababisha mkondo wa maji wa mto Msimbazi ubomoe ukuta wa eneo la miundombinu hiyo ya mabasi eneo la Jangwani na  kusababisha sehemu hiyo kujaa matope.

Zari Awatolea Povu Wanaomsema kisa Kujinunulia Gari "Nimeamuwa Kuwa Single ila Foleni ya Wanaume Wananitaka Kuwa Nami Hutoiamini"

$
0
0
Zari Awatolea Povu Wanaomsema kisa Kujinunulia Gari "Nimeamuwa Kuwa Single ila Foleni ya Wanaume Wananitaka Kuwa Nami Hutoiamini"
Zari The Boss Lady amesema licha ya idadi kubwa ya wanaume kuhitaji kuwa katika mahusiano na yeye bado hayupo tayari.

Mrembo huyo ambaye anaaminika kuwa na mkwanja mrefu zaidi amesema kwa sasa mambo yote ni yeye na watoto wake tu. Kupitia mtandao wa Snapchart ameandika;

Oooh anajinunilisha magari kwa sababu hana raha, hapana sio kweli dada, nipo single kwa sababu nimeamua kuwa hivyo kwa sasa, foleni ya wanaume wanaotaka kuwa na mimi hutoiamini lakini ninafurahia maisha kwa sasa nikiwa tayari nitaweka wazi lakini kwa sasa ni mimi na watoto wangu tu.


Kauli hiyo ya Zari imekuja mara baada ya kununua gari aina ya Range Rover Spor na kuibuka stori kuwa huenda mrembo huyo kapata mwanaume ambaye ameamua kumuhudumia vilivyo.

Utakunbuka mnano February 14 mwaka huu katika siku ya wapenda nao Zari The Boss Lady ambaye ni mzazi mwenzie na Diamond Platnumz, aliposti Ua Jeusi katika mtandao wa Instagram na kutangaza kuachana kimahusiano na msanii huyo rasmi.

Masanja Ampa Makavu Joti " Una Umama Sana Sometimes"

$
0
0
Masanja Ampa Makavu Joti " Una Umama Sana Sometimes"
Matokeo ya game ya Yanga dhidi ya USM Alger yanazidi kuchukua headlines kwenye mitandao kufuatia Yanga kufungwa magoli 4-0 nchini Algeria katika mchezo wao wa kwanza wa Kundi D wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Wachekeshaji wa Orijino Komedy Masanja Mkandamizaji na Joti ukiachilia mbali kuwa ni wachekeshaji pia ni mashabiki wa soka, Masanja indaiwa kuwa ni Yanga na Joti inatajwa kuwa ni shabiki wa Simba sasa baada ya Yanga kupokea kipigo leo Joti na Masanja wametoleana maneno ya utani kupitia kurasa zao za twitter

Joti aliaandika “Kitu kimeng’ang’ania #samahanilakini #samahanisana”
Masanja alimjibu Joti na kuandika “Una umama sana sometimes”

Kimenuka! Harmonize Acharuka Aamua Kumlipua Wolper.... Aanika Listi Nzima Ya Wapenzi Aliowahi Kuwa Nao

$
0
0
Kimenuka! Harmonize Amlipua Wolper.... Aanika Listi Nzima Ya Wapenzi Aliowahi Kuwa Nao
Msanii wa Bongo fleva kutoka WCB Harmonize ameingia tena kwenye vita ya maneno na Ex girlfriend wake staa wa Bongo movie Jacqueline Wolper.

Siku ya jana kuna video ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii iliyomuonyesha Wolper akimrushia Dongo Sarah ambaye ni mpenzi wa Harmonize kwa kumuita Mlezi wa wana baada ya taarifa kusambaa kuwa kamtosa Harmonize na kumchukua Mwarabu Fighter.

Baada ya kuona video hiyo, Harmonize alitokwa na povu zito kwani kwa kupitia ukurasa wake wa Instagram alimtetea mpenzi wake Sarah na kusema yeye sio Mlezi wa wana ila Wolper ni Mlezi wa Wana na kuambatanisha na listi kamili ya wanaume wote aliokuwa nao kwenye mahusiano.

Hii sio mara ya kwanza kwa Harmonize na Wolper kuwa na sintofahamu na hata Wolper na mpenzi wa Harmonize Sarah.

Shilole Ajipanga Kurudi shule Kuongeza Maarifa

$
0
0
Shilole Ajipanga Kurudi shule Kuongeza Maarifa
Baada ya siku chache zilizopita mrembo na mjasiriamali, Zewena Yusuf Mohammed aka Shilole kutembelea chuo cha National College of Tourism NCT kwaajili ya kujionea kozi mbalimbali zinazotolewa chuoni hapo, mrembo huyo ameahidi kurudi chuoni hapo kwaajili ya kuchukua kozi ya mafunzo ya upishi.


Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na chuo hizo, zinadai muimbaji huyo alivyotembelea chuoni hapo mapewa wiki iliyopita, aliahidi kurudi kuchuoni hapo pamoja na team yake kwaajili ya kuchukua kozi ya mapishi.


“Siri ilifichuliwa🔓na mwanamuziki🎼 Shilole @shilolekiuno_badgirlshishi mmiliki wa mgahawa wa Shishi food👨‍🍳Kumbe mambo yanalipa ila na yeye hakusita kufika NCT kuweza kuiongeza thamani💎 yake na biashara yake ya chakula kwa kupata Dondoo juu ya Ukarimu na ufahamu katika maswala ya ujasiriamali kisha utaalamu wa juu katika FOOD PRODUCTION🍛🥪 Alichosema atakuja yeye na timu yake kupata kozi fupi. Ulikuwa wakati mzuri kukutana na anayeitumikia sekta ya ukarimu na wale wanaojiandaa kuingia. Fursa bado ni nyingi. Hataki ujinga wa kupishana na fursa we unasubiri nini. Ahsante🙏🏽 @shilolekiuno_badgirlshishi kwa kupata nafasi ya kututembelea na karibu sana NCT. Kwa maelezo juu ya kozi zinazotolewa tembelea website yetu link IPO kwenye bio.. #shishifood #Daresalaam #utalii #ukarimu#nctaladdertoexcelence,”

Mrembo huyo ambaye ni mke wa Uchebe, ana miaka miwili kwa sasa anaendesha biashara ya mgahawa.
Viewing all 104808 articles
Browse latest View live




Latest Images