Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Video: Kajala afunguka A-Z kinachoendelea kati yake na P Funk Majani

$
0
0
Muigizaji Kajala Masanja amefunguka kile kinachoendelea kati yake na mzazi mwenzie, P Funk Majani mara baada ya kuwepo tetesi kuwa wamerudiana.

VIDEO:


Dawa Bora za Nguvu za Kiume na Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa

$
0
0
DAWA BORA ZA NGUVU ZA KIUME NA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
Baada ya utafiti wa muda mrefu juu ya matatinzo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurundia tendo kwa haraka Sasa inakuletea suluhisho juu ya matatizo haya kwa kutumia dawa za FULL POWER

Full Power dawa asili yenye vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume dawa hii inamchanganyiko wa kutosha kuzalisha vichocheo vingi vya hernone za gestro gen zikiwemo vitamin b6 na b1 vitamin e pamoja na madini aina ya zinc

Itakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wakufanya tendo la ndoa zaidi hatua nne au zaidi na kuchelewa kufika kileleni zaidi ya dakika 20/30 ZAT 50

Inarundisha maumbile ya uume yaani kurefusha na kunenepesha nchi 3/7 na upana cm 3/4 standard.kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukitumia maumbile yatabaki kuwa hivyo siku zote pia anatibu matatizo mengine kama presha kisukari ngiri chango la tumbo kujaa gesi kutopata choo vizuri minguu kuwaka moto matatizo ya uzazi bawasili na magonjwa ya zinaa kama kisonono na kaswende

Tunapatikana Dar es Salaam  na mikoan wasiliana na DR Oshinda no 0755505099 au 0714126118  Karibuni kwa hunduma bora

Watuhumiwa 6 katika kesi ya mauaji ya Mfanyabiashara Erasto Msuya Wakutwa na Kesi ya Kujibu

$
0
0

Watuhumiwa 6 katika kesi ya mauaji ya Mfanyabiashara Erasto Msuya maarufu kama Bilionea Msuya wamekutwa na kesi ya kujibu huku mtuhumiwa mmoja, Jalila Zuber (28) akionekana hana kesi ya kujibu na kuachiliwa.
-
Uamuzi huo umetolewa siku ya leo Mei 14, 2018 na Jaji Salma Maghimbi wa Mahakama Kuu kanda ya Moshi.
-
Waliokutwa na kesi ya kujibu ni Sharifu Mohamed (31), ambaye ni mfanyabiashara wa madini na mchimbaji mdogo, mkazi wa Kimandolu mkoani Arusha, Shaibu Jumanne maarufu kama “Mredii” (38), mkazi wa Songambele, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara na Mussa Mangu (30), anayeishi Shangarai kwa Mrefu.
-
Wengine ni Sadick Jabir maarufu “Msudani” (32), mkazi wa Dar es Salaam na Lang’ata, Wilaya ya Hai, Karim Kihundwa (33), mkazi wa Lawate, Wilaya ya Siha na Alli Musa maarufu “Mjeshi”, mkazi wa Babati, mkoani Manyara.
-
Msuya aliuawa kwa kupigwa risasi 22, Agosti 7, mwaka 2013, saa 6:30 mchana katika eneo la Mijohoroni, kando kando ya barabara kuu ya Arusha-Moshi, karibu na Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA).

Rais John Pombe Magufuli Afanya Uteuzi Mpya

$
0
0
Rais wa Jamnhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Siza Donald Tumbo kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Utawala ya Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College).


Taarifa hiyo iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa imesema kuwa uteuzi huo umeanza rasmi leo Mei 13.

Kabla ya uteuzi wa leo Prof Tumbo alikuwa Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha zana za Kilimo na Teknolojia Vijijini (Center for Agriculture Mechanization and Rural Technology - CAMARTEC).

Wakati huo huo Rais Magufuli amemteua Mhandisi Mussa Iyombe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma.

Jeshi la Magereza Latoa Ufafanuzi Juu ya Lulu ya Kuachiwa Kwa Msamaha wa Rais

$
0
0
Jeshi la Magereza limeeleza kuwa muigizaji Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu ameachiliwa Mei 12, 2018 kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania kuenda kutumikia kifungo chake nje ya gereza 'community service'


Hayo yamebainishwa na taarifa zilizotolewa na Kitengo cha Habari na Uhusiano Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Jijini Dar es Salaam na kusema kwa mujibu wa Sheria ya Magereza Sura ya 58 kifungu Na. 49 (1),(2)(3) mfungwa yeyote (isipokuwa mfungwa wa kunyongwa na wa maisha) mara baada ya kupokelewa gerezani hupata msamaha wa theluthi ya kifungo chake 1/3 ambapo Lulu alipata msamaha huo na alitakiwa kuachiwa huru Marchi 12, 2019.

Aidha, taarifa hiyo iliendelea kufafanua baadhi ya mambo kuwa katika kuadhimisha miaka 54 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, Rais Magufuli kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1) (d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alitoa msamaha wa robo ya adhabu kwa wafungwa wote waliokuwa na sifa za kunufaika na msamaha huo.

"Kufuatia msamaha huo mfungwa Na. 1086/2017 Elizabeth Michael naye alinufaika na msamaha huo na hivyo kutakiwa kutoka gerezani Novemba 12, 2018", imesema taarifa hiyo

Pamoja na hayo, taarifa hiyo imeendelea kwa kusema "kwa mujibu wa Sheria Na. 3 (2)(a) cha Sheria ya Huduma kwa Jamii ya mwaka 2002 wafungwa ambao vifungo vyao havizidi miaka mitatu hunufaika na utaratibu huo ambao unampa fursa mfungwa kutumikia kifungo chake nje ya gereza kwa kufanya shughuli au kazi zisizo na malipo kwa manufaa ya jamii. Mfungwa Na. 1086/2017 Elizabeth Michael maarufu kama Lulu, kutokana na kukidhi vigezo vya kisheria na kuonesha tabia njema akiwa gerezani amenufaika na utaratibu huo".

Muigizaji Elizabeth Michael alihukumiwa kifungo cha miaka miwili jela mnamo Novemba 2017, kwa kosa la kumuua bila kukusudia muigizaji mwenzake Steven Kanumba.

Abdul Nondo Amkataa Hakimu wa Kesi yake

$
0
0
Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya ya Iringa imeshindwa kuendelea kusikiliza ushahidi wa mashahidi wawili kati ya watano wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Mtandao wa Wanafunzi nchini (TSNP) Abdul Nondo.


Hayo yamekuja baada mshitakiwa kuiandikia barua Mahakama hiyo akimtaka Hakimu John Mpitanjia anayesikiliza kesi yake ajitoa kwasababu ya kupoteza imani naye.

Katika barua yake Nondo ametaja sababu mbalimbali ikiwemo ya madai ya Hakimu huyo kukutana na mmoja wa mashahidi na kuwahoji kama wanaendelea kuwasiliana na Nondo.

Sababu ya pili, Nondo amedai kila kesi yake inapopelekwa Mahakamani RCO wa Iringa amekuwa akionekana kukutana na Hakimu Mpitanjia kabla na baada ya kesi hiyo huku sababu ya tatu ya mshitakiwa huyo akimkataa Hakimu Mpitanjia ikiwa ni mahusiano na mawasiliano mazuri na upande wa Jamhuri akiwa hana mahusiano mazuri na upande wa mshitakiwa

Abdul Nondo anashitakiwa kwa makosa mawili ambapo kosa la kwanza ni kuchapisha taarifa za uongo mtandaoni kuwa yupo hatarini akiwa katika eneo la Ubungo na kuzisambaza kwenye mtandao wa Whatsapp na kosa la pili limetajwa kuwa ni kutoa taarifa za uongo kwa mtumishi wa umma Mafinga wakati alipokuwa akitoa taarifa katika kituo cha polisi mjini humo kwa kusema kuwa alitekwa na watu wasiojulikana.

Mbunge Aonya Wanasiasa Kuitumia Kisiasa JWTZ

$
0
0
Mbunge wa Rombo (Chadema), Joseph Selasini amewaonya viongozi wa kisiasa kutolitumia Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ) kwa shughuli za siasa.

Selasini ameshauri JWTZ kutumia kitengo chake cha upelelezi kulisaidia Jeshi la Polisi ambalo amedai limeshindwa kubaini matukio ya ajabu yanayoiaibisha nchi.

Hayo ameyasema leo Mei 14, 2018 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2017/18 huku akiwapongeza Waziri wa Wizara hiyo, Dk Hussein Mwinyi na Mkuu wa Majeshi, Venance Mabeyo kwa uongozi mzuri.

“Mimi nishauri tu, jeshi letu linaheshima katika majeshi ya Afrika, heshima yake inatokana na misingi yake na hili ni jeshi letu, ninaomba wanasiasa na viongozi wetu tusilichafue jeshi hili kama tulivyolichafua jeshi la polisi,” amesema Selasini na kuongeza:

“Leo katika nchi yetu, ikitokea ajali ya polisi, watu wanauliza wamekufa wangapi.”

Selasini amesema, “Hata katika operesheni  ya Ukuta (Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania), wanajeshi walionekana wanafanya mazoezi, jeshi linalinda usalama wa mipaka, kwa nini tunalishughulisha na mambo yanayofanywa na polisi.”

Kuhusu upelelezi, Selasini amesema Mkuu wa Majeshi namshukuru atumie kitengo chake cha upelelezi.

“Ili haya matukio ya aibu, iko hofu, watu wanasema kuna maeneo nyeti nchini sasa yanalindwa na askari kutoka nchi hususan Rwanda, sasa hofu hiyo ya watu wasiojulikana inatia hofu.”

Kauli ya Steve Nyerere Baada ya Lulu Michael Kuachiwa Huru

$
0
0
Taarifa za muigizaji maarufu nchini Elizabeth Michael”Lulu” kuachiwa huru siku ya leo May 14,2018 zimewafurahisha wengi baada ya kubadilishiwa adhabu na kumalizia adhabu yake nje ya gereza.

Mchekeshaji Steve Nyerere ambaye pia ni msemaji mkuu katika kitengo cha waigizaji (Bongo Movie) ni mmoja wa watu waliofurahishwa na taarifa hizo na kuonesha furaha yake kupitia ukurasa wake wa instagram.

“Lulu ni jambo la kushukuru sana kwani kila pito naamini Mungu supo pamoja nawe, nichukue nafasi hii kwa dhati kabisa kumshukuru  Rais John Pombe Magufuli kwa msamaha huu naamini umefanya jambo jema sana Rais wangu. Nipongeze mahakama pia na wadau wote mliokuwa mnamuombea mwenzetu kutoka familia njoo Lulu tujenge tasnia yetu sasa”

Waziri Nchemba atoa agizo kwa jeshi la Polisi kuhusu Vibali vya Mikutano

$
0
0
Waziri wa Mambo ya Ndani, Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza jeshi la Polisi nchini kuruhusu Taasisi za dini kufanya mikutano yao watakapoomba kibali.

Aidha, amesema ni lazima kuheshimu uhuru wa kuabudu wa kila dini uzingatiwe kwa kuruhusu wanafunzi na wafanyakazi kwenda sehemu zao za kuabudu kama ilivyopangwa.

Akizungumza katika kongamano lililoandaliwa na Kanisa la Waadventista Wasabato jijini Mwanza, Dkt. Mwigulu alisema kuwa mafundisho yanatotolewa na taasisi za dini yanasaidia kuwa na jamii yenye raia wema.

Alisema kwa kuwa Wizara hiyo ndiyo yenye mamlaka ya kusimamia uhuru wa kuabudu, watahakikisha wanazungumza na mashirika n ahata shule ambazo zinawazuia wanafunzi na wafanyakazi kuhudhuria kwenye ibada siku za jumamosi.

‘’Nimeagiza jeshi la Polisi wawape uhuru wa kuabudu kwa sababu mnatengeneza jamii iliyobora lakini pia tutazungumza na wahusika kwenye taasisi za elimu na ajira ili tutoe maamuzi yatakayotolewa yasilete doa kwani kazi hii inasaidia kunyoosha nchi,’’ alisema Dk Mwigulu.

Naye, Katibu Mkuu wa Kanisa hilo Kanda ya Nyanza Kusini, Steven Swita alisema kuwa kumekuwa na changamoto ya waumini wa kanisa hilo kuzuiliwa kwenda kuabudu siku ya jumamosi kulingana na imani zao.

‘’Kumekuwa na utaratibu wa kupangwa masomo ya ziada na mitihani siku ya jumamosi pamoja na udahili wa wafanyakazi na wasipohudhuria huadhibiwa kwa viboko kwa wanafunzi wa shule za msingi na wale wa elimu ya juu wanafukuzwa shule,’’ alisema Swita

Je Wajua Kwanini Asilimia Kubwa ya Wanaume Wana Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo?

$
0
0
JE' WAJUA KWANINI ASILIMIA KUBWA YA WANAUME WANA UPUNGUFU, UKOSEFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO YA UUME?

CHANZO HUWA NI:

(Kisukari, presha, ngiri, korodani kuvimba na kuuma, busha,zinaa,tumbo kuuma chini ya kitovu na kuunguluma nakujaa gesi, kutopata choo vizuri, punyeto, vidonda vya tumbo, bawasili.

Haya ni baadhi ya magonjwa yanayochangia upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume na uume kuwa mdogo.

TIBA YAKE NI "KIBOKO POWER"

Kiboko Power Ni dawa ya mitishamba ya vidonge yenye uwezo mkubwa sana wa kutibu upungufu au ukosefu nguvu za kiume.

(1) Itakufanya uwe na uwezo mkubwa sana wa kufanya tendo la ndoa.

(2) Inaongeza hamu ya tendo la ndoa zaidi ya mara 4 bila hamu kuisha.

(3) Itakufanya uchelewe kufika kileleni kwa muda wa dk 30 nakuendelea.

(4) Itaufanya uume uwe na nguvu mara dufu wakati wote wa tendo la ndoa.

TIBA YA KUKUZA UUME SAIZI UIPENDAYO NI " SUPER FARU"

Super Faru Inanenepesha na kurefusha uume saizi uipendayo kuanzia nchi 3 hadi 8 na unene sm 2 hadi 4 .

(1) Inaimarisha mirija ya uume iliyolegea au kusinyaa.
(2) Inasaidia kusafisha mishipa ya uume na hivyo kusaidia katika kuongeza kasi msukumo wa damu kwenye mishipa ya uume.

(3) Inasaidia kuurudisha nje uume ulioingia ndani.
(4) Inasaidia kuongeza manii nyingi ambazo zina viini vya uzazi
(5) Inatibu pia madhara yanayosababishwa na upingaji punyeto, matumizi ya madawa ya kizungu ya kuongeza nguvu au maumbile ya uume, milungi, bangi na sigara.

PIA NATIBU MAGONJWA YOTE SUNGU NAYALIYOSHINDIKANA KAMA VILE,

Kisukari, korodani kuvimba na kuuma, busha bila upasuaji, tezi dume, presha, zinaa miguu kuwaka moto au kufa ganzi, presha, mgoro nk.

Pia narudisha mme, mke, mchumba, hawara, aliyekuacha ndani ya masaa 4 tu, nakutimiza ahadi zote ulizoahidiwa.

Pia natoa utajiri wa majini ambao hauna masharti magumu na kutoa ndangu za utajiri.

Kumbuka nashughulika na matatizo yote yaliyopo ndani ya mzunguko wa binadamu usisite kunieleza hata kama sijayaandika.

WASILIANA NA DR ULIMWENGU KWA TIBA BORA NA SALAAMA KABISA

ANAPATIKANA DAR MAGOMENI SIMU 0759030343 / 0622790494.

KAMA HAUNA MUDA WA KUFIKA OFISINI HUDUMA HII UTAIPATA POPOTE ULIPO.

Tabia za Msichana Anayekupenda Kimapenzi Lakini Hawezi Kusema

$
0
0
1. Atakutega kupata attention yako. Hufanya mambo ambayo yatamfanya kuona kama unampenda au lah! Mf wa mambo hayo ni kujifanya anaumwa na kuangalia respond yako kwake ni kiasi gani unamjali na kiasi gani utahangaika kwa ajili yake au

2. Haoni aibu kugusa sehemu yako ya mwili. Msichana anayependa haoni aibu kukushika mkono ama kukutomosa au hata kukumbatia. Kwa kufanya hivyo hujua kuwa kwa asilimia kubwa hisia za kushikana kwenu kutamrahisishia kazi ya kuwa na wewe

3. Kucheka kwa nguvu hata kwa kitu kisicho chekesha endapo wewe umezungumza. Mara nyingi ataonesha uso wa furaha hata kama si furaha ya kweli

4. Wivu.
Hujisikia wivu anapokuona na wasichana wengine. Ukiwa unachart nao na ukiwaita majina ya kimahaba. Hapendi.

5 anakumbuka siku zako muhimu. Hukumbuka kama vile siku yako ya kuzaliwa hatowez kuisahau kufanya ipite bila kukutakia heri ya siku ya kuzaliwa kama sivyo ukifaulu mtihani au chochote katika maisha yako atakuwa mbele kukupongeza

6. Eye contact anapenda kukuangalia machoni muda wote ambao mtakuwa mkizungumza pamoja akidhani kuwa utaelewa ni kiais gani anakupenda kupitia vile ambavyo anakuangalia.
Ila wengine huona aibu kuwatazama wavulana wanaowapenda si wote wana ujasiri wa kuwatazama wapenzi wao.

7. Hupenda kukaa mmuda mwingi na wewe. Hawezi kupoteza hata sekunde ukimuhitaji kwa mazungumzo. Anajisikia furaha kukaa na wewe muda mrefu bila kuchoka. Anaweza akaacha kila kitu anachokifanya ili ajumuike na wewe.

8. Yupo tayari kuangamiza. Kama msichana anakupenda yupo tayari kusacrifice. Ni kitu ambacho hakuna mtu ambaye anaweza akafanya kwa mtu mwingine. Utaona vipi huyo msichana alivyo kwako na wa wengine. Yaani yupo tayari yeye akose lakini wewe upate na kwa mwingine anaweza akamwamba hana alichoombwa lakini akakupa wewe kama pesa na vitu vingine.

9. Anachukulia matatizo yako kama ni yake. Unapomueleza kuwa ana tatizo anajali tatizo lako kama vile ni lake na hujisikia vibaya sana na kuhuzunika na atafanya lolote ili aweze kukusaidia utoke katika hilo tatizo.

10. Mikwaruzano ikitokea katika urafiki wenu hayupo tayari kukupoteza kabla hajakuambia anakupenda. Kwa kuwa anakupenda endapo ikatokea mikwaruzano basi atafanya juu chini kuyaweka mambo sawa ili asikukose

Hizi Ndio Tabia za Wanawake Walio Olewa zinazosababisha Waume zao Kwenda Kupiga nje

$
0
0


Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa na wale wasio na tabia ya nyumba ndogo wanaishia kubakwa na waume zao

*Mwanamke asiyemtamkia kabisa mumewe kuwa anajisikia kuwa naye.

*Mwanamke ambaye baada ya mechi huwa haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika

*Mwanamke ambaye akiwahi kulala yeye mume akija hataki kuguswa

*Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika .. kama ulikuwa unataka kwa nini hukuwahi kulala unangoja nilale ndo unakuja kunisumbua..

*Mwanamke huyo hatingishiki kwenye mechi kata kidogo tena amenuna... anangalia kushoto au kulia anangoja goli liingie ... kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati.....
.
*Mwanamke haweki kabisa maandalizi kama zana za kufanyia usafi baada ya mechi kama taulo, kitambaa nk

Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka....na mara nyingine juamua kuzira na kuwa mwanzo wa mmoja kuhama chumba..... Wanawake wenye tabia hizi jirekebisheni

Kauli ya Mama Kanumba Baada ya Kusikia Lulu Michael Ametolewa Gerezani

$
0
0
Mtangazaji mmoja wa Clouds Plus baada tu ya kusikia kuwa Lulu Amebadilishiwa kifungo na kutoka gerezani alimua kunyanyua simu na kumpigia mama Kanumba na kumuuliza kuhusu hilo, na Mama Kanumba akajibu hivi

"Mimi sina la kusema bali ninamshukuru Mungu, na ninaomba yaishie hapo ,Serikali iliamua kumweka ndani na sasa imeamua kumtoa mapenzi ya Mungu yatimizwe" Mama Kanumba

Dawa Bora za Nguvu za Kiume na Kukosa Hamu ya Tendo la Ndoa

$
0
0
DAWA BORA ZA NGUVU ZA KIUME NA KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA
Baada ya utafiti wa muda mrefu juu ya matatinzo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurundia tendo kwa haraka Sasa inakuletea suluhisho juu ya matatizo haya kwa kutumia dawa za FULL POWER

Full Power dawa asili yenye vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume dawa hii inamchanganyiko wa kutosha kuzalisha vichocheo vingi vya hernone za gestro gen zikiwemo vitamin b6 na b1 vitamin e pamoja na madini aina ya zinc

Itakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wakufanya tendo la ndoa zaidi hatua nne au zaidi na kuchelewa kufika kileleni zaidi ya dakika 20/30 ZAT 50

Inarundisha maumbile ya uume yaani kurefusha na kunenepesha nchi 3/7 na upana cm 3/4 standard.kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukitumia maumbile yatabaki kuwa hivyo siku zote pia anatibu matatizo mengine kama presha kisukari ngiri chango la tumbo kujaa gesi kutopata choo vizuri minguu kuwaka moto matatizo ya uzazi bawasili na magonjwa ya zinaa kama kisonono na kaswende

Tunapatikana Dar es Salaam  na mikoan wasiliana na DR Oshinda no 0755505099 au 0714126118  Karibuni kwa hunduma bora

Siri ya Lulu Kutoka Gerezani...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya May 15

$
0
0


Siri ya Lulu Kutoka Gerezani...Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya May 15

Mama Kanumba Tena "Nimeumia Sana Lulu Kutoka Gerezani, Presha Imepanda na Nimekosa Usingizi"

$
0
0
Siku mbili tangu alipoachiwa muigizaji Elizabeth Michael ’Lulu’, mama wa marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa amesema ameumia na tangu alipopata taarifa hizo hajalala.

Mama Kanumba amesema, tangu alipopata tetesi za msanii huyo ametoka jela, amejikuta anakosa usingizi na kuumwa presha.

Ameongeza na kusema, kutokana na suala hilo, imemlazimu jana Jumatatu kwenda kwenye maombi kwa ajili ya afya yake hiyo.

Amesema, licha ya kuwa si yeye aliyemuhukumu, Lulu alipaswa kukaa hata mwaka mmoja ili roho yake iridhike lakini ndio hivyo: "Siku zote maskini hana haki."

Hata hivyo,  amewashukuru wote waliohusika kumtoa na kuongeza kuwa yote ni kwa sababu yeye hana pesa na anajua watu wataanza kumtusi mitandaoni kwa sababu hiyo lakini yote anamuachia Mungu.

Jeshi la Magereza kupitia Ofisa Habari wake, Lucas Mboje, limesema Lulu amebadilishiwa adhabu na atatumikia kifungo cha nje kwa amri ya Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salaam.

Mwandishi wa Habari asimulia alivyotekwa na wafanyakazi wa Ofisi ya RC Arusha

$
0
0
Jeshi la polisi mkoa wa Arusha, limesema kuwa linaendelea na uchunguzi kuhusiana na kuwepo kwa tukio la utekaji  wa mwandishi wa mitandao ya Kijamii, lililofanywa na watumishi wawili wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha na kisha kushtakiwa kuwa alifumaniwa na mke wa mtu.

Kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha, Charles Mkumbo, amesema hayo ofisini kwake leo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuelezea kuwepo kwa tukio hilo .

Akisimulia tukio hilo Lucas Myovela, amesema  alipigiwa simu na Amina Msuya au Ravness anayefanya kazi ofisi RC Arusha upande wa kutunza kumbukumbu, akimuomba wakutane ili amuelezee tatizo kati yake na rafiki yake wa kiume aitwae Swalehe Mwindadi, ambae nae ni mtumishi ofisi ya mkuu wa mkoa, masijala ingawa kwa sasa anasaidia ofisi ya Itifaki.

Anasema  Amina au Ravness, alimsimulia mkasa na kumwambia kuwa hawana maelewano na mwenzake hivyo anaomba suala hilo liandikwe kwenye vyombo vya habari kwa kuwa limeshafikishwa kwa Katibu tawala wa mkoa kwa utatuzi lakini hadi leo hajafanikiwa.

Siku ya Jumamosi, May 12 Amina alimpigia simu Lucas na kumtaka wakutane ndipo Lucas aliposema alikuwa hospital ya rufaa ya KCMC akishughulikia suala la baba yake mzazi kuhamishwa hospital kutoka hospital ya Seriani ya jijini Arusha kwa ajili ya matibabu  na hivyo alimwambia hataweza kufika.

Amesema kuwa ilipofika saa 3 usiku  Amina aliendelea kumpigia simu ya kumsihi waonane ndipo alipomkubalia na kumweleza kuwa yupo wilayani Arumeru na aliambiwa achukue usafiri wa pikipiki hadi Ngurero, jijini Arusha na alipofika eneo aliloagiziwa alimkuta mwenyeji wake akimsubiri akiwa amesimama nje ya gari na mwenyeji wake alimwambia asubiri kidogo amalize kuzungumza na simu.

Amesema muda mfupi alimuona Swalehe na vijana wengine wawili ambao mmoja wapo alivalia Maski usoni na walipofika Swalehe alimshika mikono na kumfunga kwa kamba na kisha wakasaidiana kumuingiza ndani ya gari.

Amesema wakati amefungwa akiwa ndani ya gari alianza kushambuliwa kwa kipigo kutoka kwa Swalehe ambae alisaidiana na vijana wawili huku Amina akiendesha gari na kuelekea Sakina darajani  na kisha kumshusha upande wa pili wa Daraja huku wakiendelea kumshambulia  na damu ilipoaanza kutoka walimvua nguo na kumwagia maji ya baridi yaliyokuwepo darajani hapo huku wakimpiga picha za utupu na kumlazimisha awape shilingi 500 000/.

Amesema walichukua kadi ya ATM na walitumia Sime na Bastola ndogo kumlazimisha  kuwapatia namba za siri na hivyo mmoja alienda kuchua fedha zilizokuwemo kwenye Account yake.

Amesema wakati hayo yakiendelea Swalehe alikuwa akiwasiliana na polisi aliyepo kituo kidogo cha polisi cha Ngarenaro na walipofika walikuta kituo kimefungwa hivyo alipelekwa kituo kikuu cha polisi jijini Arusha, ambapo walitoa maelezo kuwa wamemkamata mwizi akijaribu kufungua milango ya gari lao kwa lengo la kuwaibia madai ambayo aliyapinga na kueleza tukio zima.

Lucas, anasema  wakati alisimulia tukio hilo polisi Swalehe alitoka nje na kuingia ndani ya gari huku akianza mchakato wa picha za utupu za  tukio hilo walizozipiga wakiwa Darajani Sakina ndipo polisi walipomfuata na kuchukua simu hiyo kabla hajafanikiwa kufuta picha hizo


Wema Sepetu Augua Ghafla Mahakamani Kisutu

$
0
0
Kutokea Mahakamani Kisutu leo ni kwamba mrembo Wema Sepetu ameshindwa kujitetea katika kesi yake ya kutumia dawa za kulevya baada ya kuugua ghafla akiwa mahakamani hapo.

Wakili wa Serikali, Costanine Kalula amemueleza Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba kuwa shauri hilo limeitishwa ili Wema na wenzake waanze kujitetea, lakini Wema anaumwa, hivyo anaomba kesi iahirishwe hadi tarehe nyingine.

Baada ya kueleza hayo, Mama mzazi wa  Wema Sepetu, Miriam Sepetu aliieleza mahakama kuwa Wema alifika mahakamani hapo lakini wakati anasubiri  kuingia mahakamani alianza kuumwa ambapo alianza kutapika na hivyo kuondoka.

Baada ya maelezo hayo , Hakimu, Thomas Simba ameahirisha kesi hiyo hadi May 29 na 30, 2018 ili washtakiwa watakapoanza kujitetea.

Mbali na Wema, washtakiwa wengine ni Angelina Msigwa na Matrida Abbas.

Kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kukutwa na kiwango kidogo cha dawa za kulevya na kuzitumia.

Inadaiwa February 4, 2017 katika makazi ya Wema eneo la Kunduchi Ununio, washtakiwa walikutwa na msokoto mmoja na vipisi vya bangi vyenye uzito wa gramu 1.08.

Kwa upande wa Wema yeye anadaiwa kuwa February mosi 2017 katika eneo lisilojulikana jijini Dar es Salaam, alitumia dawa za kulevya aina ya bangi.

Baada ya Aunty Ezekiel kumpa Tuzo Shilole ameandika haya

$
0
0
Muigizaji Aunty Ezekiel siku ya May 13, 2018 alimpatia tuzo ya heshima muigizaji na muimbaji wa bongofleva Shilole kutokana na juhudi zake kama Mama na jinsi anavyopambana kwenye malezi ya wanae huku akiongeza juhudi zake kwenye kujishughulisha zaidi kuhakikisha wanae wanasoma shule nzuri.

Tuzo hiyo aliyopewa Shilole ilitolewa siku ya Mama duniani ambapo ndiyo siku ambayo Aunty Ezekiel alizindua short Film yake ya Mama ikiwa ni ujumbe kuhusu kwa wa mama wote Duniani na namna wanavyopambana kulea watoto wao katika mazingira magumu.

Wakati wa ukabidhiwaji wa Tuzo hiyo Shilole hakuwepo hivyo Snura akamuwakilisha na ndipo leo kupitia Instagram page ya Shilole ameamua kuandika haya…>>>”Naamini wapo wengi mno waliostahiri, lakini siwezi kuwa na maneno ya kutosha kukushukuru kwa heshima kubwa uliyonipa Mama Cookie.”

“Asante kwa zawadi nzuri, heshima na Tuzo ya mama mpambanaji bora kwa bongo flavour na movie, ktk uzinduzi wako wa filamu ya Mama. Lkn pia hongera kwa kazi nzur na product ya body spray uliyoizindua wewe ni Mwanamke Shupavu.”

“Mama yangu Aliniacha nikiwa mdogo sn nikaelewa ilivyo vigumu kuishi bila Mama. Ndio maana Pamoja na yooote Nitapambana kwaajili ya wanangu. Ukiwagusa wanangu, Umenigusa mimi. Ndio watu pekee naoweza kusema Nipo tayar kufa kwaajili yao.” – Shilole

Download Hapa Application Mpya ya Udaku Special Uweze Soma Vimbwanga na Udaku Mtaani Kila Siku

$
0
0
Mpendwa msomaji wetu, tunakukumbusha Kuidownload Upya Application yetu ya UDAKU SPECIAL Maana ile ya Zamani Tutaifuta.

Kuna Marekebisho Makubwa tumeyafanya ikiwa na tatizo la Notification kutatuliwa

NB: App mpya ina Icon Nyekundu

 Bonyeza Hapa Chini Kuinstall Upya:

==>>Unaweza Kuidownload << kwa Kubofya Hapa>>  
  
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images