Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104808 articles
Browse latest View live

Wasiliana na Dr Mabula Anatibu Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha na Matatizo ya Maumbile Madogo kwa Mwanaume

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?

MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja 1hitakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uhimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio hasirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate amu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona? zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI

Magufuli Amteua Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Chai

$
0
0
Magufuli Amteua Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi  ya Chai
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa  mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi  ya chai Tanzania (TBT) na Mkurugenzi  wa Taasisi ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI).

Katika taarifa ilitolewa na Ofisi ya Kurugenzi Mawasiliano Ikulu leo Mei 23, 2018 imeeleza kuwa Mhandisi Steven Daudi Mlote, ameteuliwa kuwa mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya chai Tanzania (TBT) na kuongeza kuwa Mhandisi Mlote anachukua nafasi iliyoachwa wazi na mtangulizi wake Mh. Anne Makinda ambae amemaliza muda wake.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo imeongeza kwamba uteuzi wa Mhandisi Mlote ulianza Mei 21, 2018.

Sambamba na hayo Rais Dkt John Magufuli amemteua Dkt. Geofrey Mkamilo kuwa Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa kilimo Tanzania (TARI),  uteuzi wake umeanza Mei 22, 2018 na anachukua nafasi ya Dkt. Fidelis Angelo Myaka ambaye amestaafu.

Picha: Belle 9 Ajiandaa Kuachia Video ya Ngoma Yake Mpya

$
0
0
Picha: Belle 9 Ajiandaa Kuachia Video ya Ngoma Yake Mpya
Ni miezi minne imepita tangu tuliposhuhudia video ya ngoma mpya ya Belle 9 ambayo inaitwa ‘Mfalme’ – Je unatamani kusikia ngoma mpya kutoka kwa msanii huyo?

Basi kuna uwezekano muda sio mrefu tukaona video ya ngoma mpya ya msanii huyo.

Wiki hii Belle ameonekana kupost picha takribani nne kwenye mtandao wake wa Instagram zikimuonyesha kama akiwa location kutengeneza kichupa hiko.



Lakini pia kunauwezekano wimbo huo ukapewa jina la ‘Dada’ kutokana na hashtag ambayo amekuwa akiitumia kwenye picha hizo huku akiandika baadhi ya maneno ambayo yanaonekana kuwa ni kama mashairi ya wimbo huo.

“Hufananii kuumia mapenzi mbegu ya mua na si rahisi kuyapata/,” ameandik Belle kwenye moja ya picha alizoziweka kwenye mtandao huo. Katika kuonyesha muda sio mrefu video hiyo itatoka, msanii huyo ameandika kwenye picha nyingine, “Maana ya mapenzi ni sisi tulivyo #DADA loading…..98%.”



Serikali ya Uganda Kulipa Mshahara Watumishi Wake Kulingana na Siku Alizoingia Kazini

$
0
0

Serikali ya Uganda Kulipa Mshahara Watumishi Wake Kulingana na Siku Ulizoingia Kazini
Serikali inatarajia kuanza utaratibu wa kuwalipa mshahara watumishi wake kwa kuhesabu siku walizofanya kazi badala ya huu wa sasa wa kuwahakikishia malipo mwishoni mwa mwezi, ofisa mmoja alisema Jumanne.

Profesa Ezra Suruma, ambaye ni Mkuu wa kitengo cha usambazaji vifaa katika Ofisi ya Waziri Mkuu (OPM), alisema kwa kuanzia wanafunga vifaa vya kielektroniki vya uandikishaji katika taasisi za afya kwa umma na elimu ili kufuatilia wafanyakazi wa idara ya afya na walimu wanavyoingia na kutoka vituoni.

Profesa Suruma alisema mishahara ya watumishi wanaokosekana kazini itapunguzwa kwa idadi ya siku ambazo hakuwepo kazini.

“Wiki iliyopita, tulikuwa Jinja kwa ajili ya mkutano na viongozi wa serikali za mitaa kwa ngazi za wilaya na tuliambiwa kwamba baadhi ya wilaya haziwalipi tena watumishi wanaokosekana kazini. Tunataka wilaya nyingine ziige kwa sababu hakuna mchezo tena,” alisema.

Wilaya zilizoanza utekelezaji wa kulipa watumishi wao kwa kuzingatia siku walizofanya kazi ni Kaliro, Kayunga, Buvuma, Bulambuli, Bugiri na Bududa. Wilaya hizo ziko Mashariki mwa Uganda.

Matibabu kwa vitambulisho

Mabadiliko mengine ya kisera ni katika matibabu ambapo Serikali iko katika hatua za mwisho za maandalizi ya kutekeleza pendekezo linalotaka watu wenye vitambulisho vya taifa (IDS) pekee ndio wapatiwe huduma za afya katika vituo vya afya vya umma, gazeti la The Monitor limebaini.

Waziri wa Afya Jane Aceng Jumatatu alithibitisha kwamba wanajenga mfumo wa kidigitali ili pamoja na mambo mengine, uwawezeshe wafamasia kutowapatia dawa wagonjwa ambao hawana vitambulisho vya taifa.

“Hivi sasa tunafanyia kazi programu hiyo ya kuhifadhi taarifa. Bado tunafanyia kazi pamoja na kukusanya raslimali kwa vile tunataka usambazwe nchi nzima,” alisema Dk Aceng katika mahojiano.

Faida za mpango

Maofisa wa serikali wanatumai kwamba mpango huo utafanya iwe rahisi kwao kupata rekodi za wagonjwa, kuwa na hesabu inayoeleweka ya idadi ya wagonjwa na kuwa na mfumo mzuri wa ufuatiliaji, uwajibikaji na matumizi ya dawa zilizosambazwa katika huduma za umma.

Mpango huo wa Serikali umepokewa kwa hisia tofauti na wanaharakati watetezi wa haki za afya, wataalamu wa tiba na wananchi.

Wakati Rais wa Chama cha Madaktari Uganda, Dk Ekwaro Obuku alikaribisha wazo hilo baadhi ya wananchi waliukosoa na wakaufananisha na hukumu ya vifo vya halaiki.

Korea Kaskazini Yamuita 'Mjinga' Makamu wa Rais wa Marekani

$
0
0
Korea Kaskazini Yamuita 'Mjinga' Makamu wa Rais wa Marekani
Afisa wa cheo cha juu wa Korea Kaskazini amemlaumu Makamu wa Rais wa Marekani Mike Pence kwa kuwa "mjinga" na kuonya kuwa kutakuwa na maonyeshano ya ubabe wa nyuklia ikiwa mazungumzo yatafeli.

Siku za hivi karibuni pande hizo mbili zimeonya kuwa mkutano wa Juni 12 unaweza kuharishwa au kufutwa kabisa.

Korea Kaskazini ilisema itafikiria tena iwapo itahudhuria mkutano ikiwa Marekani itaendelea kusisitiza kuwa iachane na mpango wa silaha za nyuklia.

Rais wa Marekani Donald Trump siku ya Jumanne alisema Korea Kaskazini ndiyo ingetimiza masharti ya kufanyika kwa mazungumzo hayo.

Choe Son-hui amehusika kwenye mazungumzo mara kadha na Marekani kwa karibu miaka kumi iliyopita.

Silaha za nyuklia zimekuwa ajenda kuu kwa miaka mingi kwa Korea Kaskazini
Alimuita Mike Pence mjinga kwa kuifananisha Korea Kaskazini, taifa la nyuklia na Libya, ambayo anasema ilikuwa na vifaa vichache tu ilivyokuwa ikicheza navyo.

"Kama mtu ambaye nimehusika kwenye masuala ya Marekani, siwezi kuficha mshangao wangu kufuatia matamshi kama hayo ya kijinga yanayotoka kinywani mwa Makamu wa Rais wa Marekani," alisema.

Korea Kaskazini yafuta mkutano wake na Korea Kusini ghafla
Matarajio ya Trump na Kim kukutana yangalipo
Bi Choe alisema Pyongyang haikuwa inabembeleza kufanyika mazungumzo. "Ikiwa Marekani itakutana nasi au kutukabili kinyuklia inafuatia na uamuzi na tabia za Marekani."

Mshauri wa masuala ya ulinzi wa Marekani John Bolton naye aliikasirisha Korea Kaskazini wiki iliyopita kwa kusema kuwa utatumiwa mfumo wa Libya katika kuondoa zana za nyuklia.

Toka Ninyweshwe Madawa ya Kulevya Simuamini Mtu Yoyote- Ester Kiama

$
0
0
Toka Ninyweshwe Madawa ya Kulevya Simuamini Mtu Yoyote- Ester Kiama
MWANAMAMA anayefanya poa kwenye Bongo Muvi, Ester Kiama amefunguka kuwa, tangu akumbane na mkasa mzito wa kuleweshwa madawa ya kulevya amekuwa ni muoga hata kutoka ndani huku akiwa hamuamini mtu yeyote.

Akizungumza na Amani, Ester aliweka wazi kwamba, maruweruwe ya madawa hayajamuisha vizuri ingawa alishakwenda hospitalini na kupewa matatibu, lakini amekuwa na wasiwasi hata wa kununua chochote dukani kinachohusiana na majimaji.

“Huwezi kuamini kabisa, hata kutoka nyumbani kwangu ninaogopa sana, nimekuwa muoga kupitiliza na sijui hii hali  itaishaje kwa haraka, naona nimepata ugonjwa mwingine wa ajabu sana wa kuwa na wasiwasi,” alisema Ester.

Ester amekuwa katika hali hiyo baada ya juzikati kunyweshwa kinywaji chenye madawa ya kulevya na kuibiwa kila kitu alichokuwa nacho ikiwemo simu mbili na pesa.

Nimefanya Mengi Yasiyo Sahihi Sasa Nimeamua Kutulizana- Shamsa Ford

$
0
0
Nimefanya Mengi Yasiyo Sahihi Sasa Nimeamua Kutulizana- Shamsa Ford
STAA mwenye mvuto wa kipekee Bongo Movie, Shamsa Ford amesema kuwa, mambo yasiyo sahihi amefanya sana, lakini kwa sasa umefika wakati wa yeye kutulizana hasa kwenye ndoa yake.

Akichonga kiaina na Amani, Shamsa alisema kuwa, kutokana na kubadilika kitabia anatamani yeye na mume wake wawe mfano imara kabisa kwa jamii yaani waishi muda mrefu sana mpaka Mungu atakapowatenganisha.

“Maisha siku hizi ni mafupi sana, ni muhimu mtu siku ukiondoka uache alama nzuri na ili hilo lifanikiwe ni muhimu kutulizana, jambo ambalo nimeamua kulifanya kwa sasa,” alimaliza Shamsa.

Baada ya Chuchu Hans Kumzalia Ray Naye Johari Ahamua Kubeba Mimba

$
0
0
Baada ya Chuchu Hans Kumzalia Ray Naye Johari Ahamua Kubeba Mimba
MKONGWE wa tasnia ya sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’, anadaiwa kuwa mjamzito wa miezi minne sasa ingawa mwenyewe amekuwa akificha.



Kwa mujibu wa sosi wa karibu wa staa huyo, kwa sasa Johari ameongezeka umbo kwa sababu ya ujauzito alionao ambapo anafurahia kwani ni jambo alilokuwa akilitafuta kwa muda mrefu.

“Mmemuona Johari kwa sasa? Ni mjamzito na mwenyewe ana furaha ingawa anaficha sana ili wapambe wasimharibie,” alisema sosi huyo ambaye ni mtu wa karibu wa Johari.



Baada ya ubuyu huo kutua kwenye meza ya Gazeti la Amani, mwanahabari wetu alimsaka Johari ambaye alimung’unya maneno na kudai kuwa yeye ni mwanamke hivyo hata akipata ujauzito si jambo baya na umri wake unaruhusu.



“Sipendi kuzungumzia hayo mambo yangu binafsi, kama mimba ipo mtaiona tu, lakini pia mimi ni mwanamke na umri wangu unaruhusu kuwa na ujauzito hivyo sioni tatizo,” alisema Johari.

Mkulima Amvalisha Ng’ombe Wake Sidiria Kuepuka Magonjwa

$
0
0
Mkulima Amvalisha Ng’ombe Wake  Sidiria Kuepuka Magonjwa
Dunia haishiwi vituko na leo May 23, 2018 nakusogezea stori kumhusu Mkulima anayejulikana kwa jina la Graham Burnet kutoka nchini Scotland amewashangaza wengi baada ya kuwa mbunifu kwa kumvalisha ng’ombe wake sidiria.

Aidha imeelezwa kuwa mkulima huyo anafanya hivyo kwa minajili ya kumkinga ng’ombe wake huyo asipate maambukizi kwenye chuchu zake.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Nampenda Daimond Kwakuwa Mnyenyekevu Alikiba Simpendi Sababu Anakiburi- Mchungaji Lusekelo

$
0
0
Nampenda Daimond Kwakuwa Mnyenyekevu Alikiba Simpendi Sababu Anakiburi- Mchungaji Lusekelo
Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati ya Alikiba na Diamond pamoja na kutoa sababu zake.

Akiongea na kipindi cha Maisha Mseto cha Times FM, Mzee huyo wa Upako amesema anampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu lakini Alikiba ni kiburi.

“Mimi nampenda sana Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, Simpendi Alikiba kwa sababu ana kiburi, nadhani kwa sababu amekaa Kariakoo,” amesema Lusekelo.

Mchungaji huyo ameongeza kwa kusema, “Ukipigia simu Diamond anapokea kwa unyenyekevu ila Alikiba anapokea kwa maringo. Ndio maana Diamond amefika mbali.”


IGP Awaagiza Wananchi Kuwakamata na Kuwakapiga Mawe Askari Wasiojitambulisha

$
0
0
IGP Awaagiza Wananchi Kuwakamata na  Kuwakapiga Mawe Askari Wasiojitambulisha
MKUU jeshi la polisi nchini Uganda amewaamrisha wananchi kuwakamata au kuwapiga mawe maofisa wa polisi wasiojitambulisha wanapokwenda kuwakamata washukiwa hata kama wamebeba bunduki.



Raia wa Uganda wamedai kwamba wanashindwa kuwatambua wanaowateka jamaa zao kwani wana tabia sawa na za maofisa wa polisi, wanaowakamata raia bila ya kujitambulisha, wala kuvaa sare za kikazi.



“Polisi anastahili kujitambulisha na kumweleza mshukiwa sababu za kumkamta kabla ya kumkata. Kama hafanyi hivyo, raia wawakamate au wawapige mawe,” amesema Kamanda Okoth Ochola.



Karibu kila siku, matukio ya mtu kutekwa, hasa wasichana na akina mama yamekuwa yakiripotiwa nchini Uganda. Utekaji pia umesambaa na kuwalenga watoto wadogo, chini ya miaka mitano licha ya maofisa wa polisi na jeshi kuingilia kati kukabiliana na watekaji. Mkuu wa polisi anahusisha utekaji nyara huo na makundi ya kigaidi.



“Baadhi ya washukiwa ambao tumewakamata wana uhusiano na makundi ya kigaidi lakini sitayataja kwa wakati huu kwa sababu bado tunafanya uchunguzi. Tutakapokamilisha uchunguzi wetu, tutawaeleza,” alisema Ochola.



Visa vya utekaji watu vimekuwa vikiendelea nchini Uganda kwa mda wa takriban mwaka mmoja sasa. Watekaji hudai mamilioni ya pesa kama ili kuwaachia mateka, na hata baada ya kulipwa pesa wanazotaka, huwaua watu waliowateka.



Wakati huohuo, polisi nchini Uganda wamewakamata wapiganaji wa Maimai 26 kutoka Jamhuri ya Kidemokraksia ya Congo (DRC), baada kikundi cha wapiganaji hao kuwateka wavuvi sita raia wa Uganda katika Ziwa Edwward, magharibi mwa Uganda. Wapiganaji wa Mai Mai wanataka kupatiwa masanduku kadhaa ya risasi ili kuwachia mateka.



“Pamoja na hayo na sisi, tumewakamata wapiganaji wao 26. Kwa hivyo tumewapa masharti kwamba waachilie raia wetu kwanza,” amesema Ochola.

Sheik Mbonde: Nitatumia Mamilioni Kuhakikisha Babu Tale Anakaa Jela

$
0
0
Sheik Mbonde: Nitatumia Mamilioni Kuhakikisha  Babu Tale Anakaa Jela
Baada ya mkurugenzi wa kampuni ya Tiptop Connection Limited, Hamis Shaaban Taletale maarufu kwa jina la Babu Tale, kukaa mahabusu katika kituo cha Polisi akisubiri amri ya kupelekwa kifungoni, mdai katika kesi hiyo amesema atatumia mamilioni kuhakikisha anakaa jela.

Hukumu hiyo iliyotolewa na Jaji Augustine Shangwa Februari 18, 2016, iliamuru Babu Tale na ndugu yake Idd Taletale kumlipa fidia ya Sh250 milioni, Mhadhiri wa Dini ya Kiislamu, Sheikh Hashim Mbonde kwa makosa ya kutumia mahubiri yake kibiashara bila ridhaa yake. 

Hati ya kuwakamata Babu Tale na ndugu yake ilitolewa Aprili 4, mwaka huu kutokana na maombi ya Sheikh Mbonde kupitia wakili wake, Mwesigwa Muhingo.

Sheikh Mbonde aliwasilisha maombi hayo baada ya Babu Tale na nduguye kushindwa kutekeleza hukumu hiyo, yaani kumlipa kiasi hicho walichoamriwa na Mahakama wala kubainisha mali za kampuni yao, au zao binafsi, ili zipigwe mnada kulipia fidia hiyo.

Baada ya Sheikh Mbonde kuwasilisha maombi ya kuwafunga jela Babu Tale na nduguye, mahakama ilimwelekeza kuwalipia wafungwa hao watarajiwa fedha za chakula na matumizi mengine kuziwasilisha gerezani.

Kwa mujibu wa Mahakama, gharama za kuwahudumia wafungwa hao wakiwa gerezani ni kama ifuatavyo:

Vifaa ambavyo ni taulo ya kuogea Sh12,000; godoro Sh40,000; mto wa kulalia Sh10,000; chandarua Sh13,000; mashuka manne Sh48,000; kandambili (malapa) Sh3,000; mswaki na dawa ya meno Sh2,000 ambazo jumla ni Sh128,000 kwa mtu mmoja na kwa watu wote wawili ni Sh256,000.

Chakula, kifungua kinywa Sh7,000; chakula cha mchana Sh8,000; maji lita tatu 3,000, jumla Sh18,000 kwa mtu mmoja kwa siku na kwa wote wawili ni Sh36,000. Wote kwa mwezi ni Sh1,080,000.

Pia, kuna fedha za tahadhari kiasi cha Sh800,000 kwa kila mfungwa na kwa wote wawili jumla ni Sh1,600,000.

Sheikh Mbonde alisema kuwa tayari ameshawalipia wafungwa hao fedha za chakula za mwezi mmoja kiasi cha Sh1,080,000 na kusema ataendelea kuwalipia kiasi kama hicho kila mwezi.

Alisema fedha za matumizi mengine kama yalivyoainishwa na mahakama, ziko tayari na kwamba hizo ataziwasilisha kwa uongozi wa gereza baada ya wafungwa hao kufikishwa huko.

Rayvanny Ataja Orodha ya Wasanii Watakaosikika Katika Remix ya Pochi Nene Remix

$
0
0
Rayvanny Ataja Orodha ya Wasanii Watakaosikika Katika Remix ya  Pochi Nene Remix
Baada ya wimbo wa Pochi Nene wa Rayvaany ambao amemshirikisha S2kizzy kufanya vizuri kwenye klabu za usiku na mitaani, msanii huyo ameweka wazi orodha yote ya wasanii ambao watasikika kwenye remix ya ngoma hiyo.

Remix hiyo ambayo inasubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki kutokana na kusikia vionjo kutoka kwenye ngoma hiyo kwa asilimia kubwa imeshakamilika.

Kupitia mtandao wa Instagram Rayvanny amewataja asanii wote ambao watasikika kwenye Pochi Nen Remix ambao ni Khaligraph Jones, Godzilla, Rosa Ree, Izzo BiznesS, Country Boy, Young Dee na Wakorinto.

Hata hivyo mashabiki wamekuwa wakijiuliza maswali mengi kukosekana kwa Bill Nass kwenye orodha hiyo wakati alionekana kwenye kipande cha video sauti yake ikisikika katika ngoma hiyo.

Remix hiyo imetayarishwa na maproducer wawil akiwemo S2kizzy na Rash Don.

Mwanamke Amuua Mumewe KisBaada ya Ugomvi wa Kudai Chakula

$
0
0
Mwanamke Amuua Mumewe KisBaada ya Ugomvi wa Kudai Chakula
Matukio ya watu kujichukulia sheria mikononi yamesababisha vifo vya watu wawili mkoani Mtwara, likiwamo la mke kumuua mumewe katika ugomvi wa kudai chakula.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, kamanda wa Polisi mkoani hapa, Lucas Mkondya alisema Mei 22, saa 1:30 usiku katika Kata ya Namuyonga wilayani Newala, polisi iliwakamata watu wawili wakituhumiwa kumuua Ahmad Salum kwa kumchoma kisu kifuani.

Alisema uchunguzi wa awali unaonyesha kabla ya mauaji ulitokea ugomvi kati ya Salum na mkewe ambaye ni miongoni mwa waliokamatwa.

Mkondya alisema mwanamke huyo alikataa kupika chakula kingine baada ya mumewe kumweleza hakushiba, hivyo uliibuka ugomvi.

Alisema mtuhumiwa mwingine ambaye ni jirani alikwenda nyumbani kwa wanandoa hao na anatuhumiwa kushirikiana na mke wa Salum katika mauaji hayo. “Nitoe rai kwa wananchi ugomvi hauna tija wakae wajaribu kusuluhishana lakini si kugombana kwa kitu kidogo kama chakula mpaka inafikia mtu kupoteza maisha, lakini pia wanaweza kuwatumia majirani na viongozi wa kiserikali katika maeneo mbalimbali kwa ajili ya kutatua matatizo yaliyopo katika familia,” alisema.

Katika tukio jingine, Mkondya alisema mkazi wa Nanyamba wilayani Mtwara, Athuman Kidakwa aliuawa na watu wasiofahamika kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali na mwili kuchomwa moto.

Kamanda alisema Athuman alikuwa mfungwa aliyetoka jela kwa msamaha wa Serikali.

Alisema mtu huyo alituhumiwa kuiba simu na kwa kuwa alishafungwa wananchi walimshambulia na kumuua.

Kamanda alisema wanaendelea kuwatafuta watu waliohusika na mauaji hayo kwa kujichukulia sheria mkononi.

“Huyu alichomwa na kitu chenye ncha kali na wananchi. Inasemekana alikuwa mwizi na hivi karibuni alitoka jela kwa msamaha wa Serikali, lakini baada ya kutoka akaenda kukwapua simu ya mtu basi kundi la watu kwa sababu wanamfahamu walimshambulia,” alisema.

Aliwaonya wananchi kuacha tabia ya kujichukulia sheria mkononi na kutaka watu wanapotenda makosa watoe taarifa polisi.


Kikosi cha Azam Chaingia Kambini Kujinoa Dhidi ya Yanga

$
0
0
Kikosi cha Azam Chaingia Kambini Kujinoa Dhidi ya Yanga
Kikosi cha Azam FC jana kimeingia kambi maalum kwa ajili ya maandalizi ya mchezo ujao wa ligi dhidi ya Yanga utakaopigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Yanga na Azam zote zinapigania nafasi ya pili ikiwa ni baada ya kuukosa ubingwa msimu huu uliochukuliwa na Simba.

Ofisa wa Habari wa kikosi cha Azam FC, Jaffer Idd Maganga, amesema kuwa wameingia kambi ili kuhakikisha wanapata matokeo kwenye mechi hiyo itakayowasaidia kubaki kwenye nafasi ya pili.

Maganga ameeleza wanahitaji nafasi ya Umakamu Bingwa ingawa wamelikosa taji hilo ili kuweka heshima ya klabu kwa kuwa mshindi namba mbili.

Msimamo wa ligi unaonesha Yanga ina alama 51 hivyo inahitaji kushinda mechi zake mbili zilizosalia ili kukamata nafasi ya pili tofauti na Azam ambayo inahitaji sare dhidi ya Yanga kusalia kwenye nafasi yake.

Ijumaa ya kesho Yanga itakuwa inakipiga na Ruvu Shooting wakati Azam wakizidi kufanya maandalizi ya kupambana na mabingwa hao wa ligi kwa msimu wa 2016/17.

Ripoti ya Ukaguzi Yamuibua Makamba Afunguka Haya

$
0
0
Ripoti ya Ukaguzi Yamuibua Makamba Afunguka Haya
Wakati joto la matokeo ya ripoti ya ukaguzi wa mali za CCM likianza kupanda, katibu mkuu wa zamani wa chama hicho, Yusuf Makamba amezungumzia mchakato wa uchunguzi, akibainisha kuwa alishiriki kutoa maoni wakati kamati hiyo ikifanya kazi hiyo.

Rais John Magufuli, ambaye aliunda kamati ya kufanya ukaguzi wa mali za chama hicho kikongwe nchini, alikabidhiwa ripoti hiyo juzi.

Baada ya kuipokea, Rais Magufuli ambaye pia ni mwenyekiti wa CCM aliwaagiza wajumbe wa sekretarieti waliohudhuria hafla ya uwasilishaji wa ripoti hiyo kuanza kufanyia kazi mambo yaliyo ndani ya uwezo wao na kwamba masuala mengine yataamuliwa na vikao vya juu vya chama.

CCM inamiliki mali za aina tofauti kama viwanja vya michezo, majengo ya vitega uchumi, vituo vya mafuta, kumbi za mikutano, vyombo vya habari, maegesho ya magari yaliyoenea karibu nchi nzima, kumbi za starehe, mashamba na viwanja.

Habari zinasema kamati hiyo imebaini upotevu mkubwa wa mali za chama uliosababishwa na mikataba mibaya, ubadhirifu, wizi, usimamizi mbaya wa mali, utapeli na ukosefu wa maadili katika uendeshaji wa miradi ya chama.

Baadhi ya viongozi wa kitaifa wa CCM, mikoa na wilaya wanatajwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa huenda wakachukuliwa hatua kutokana na kuhusika katika vitendo hivyo.

Jana, Mwananchi liliongea na Makamba ambaye alikuwa katibu mkuu wa CCM kati ya mwaka 2007 hadi 2011, na ambaye inadaiwa kuwa alihojiwa na kamati hiyo kutokana na wadhifa wake kama mtendaji mkuu wa chama hicho.

“Walikuja kuchukua maoni kwangu,” alisema Makamba baada ya kuulizwa na Mwananchi kuhusu utendaji wa kamati hiyo. “Walitaka kujua tulikuwa tunaendeshaje chama, fedha tulikuwa tunapata wapi, changamoto ni zipi na nini maoni yetu kuhusu chama kiendeshwaje.”

Makamba, ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam alisema kamati haikumfuata ili kumhoji kama habari zilizoenea mitandaoni, bali kamati ilitaka maoni yake.

Lakini hakutaka kuzungumzia matokeo ya ripoti hiyo, zaidi ya kusema vikao vya juu ndivyo vitakavyojadili na kutoa uamuzi.

“Bado mapema mno,” alisema Makamba, ambaye pia aliwahi kushika nafasi mbalimbali katika chama na Serikali.

“Ripoti yenyewe imekabidhiwa tu, wala haikusomwa. Pili itakwenda kujadiliwa kwenye Kamati Kuu na baadaye kwenye (mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa) NEC na wahusika watajadiliwa.

“Wakibainika kuhusika, wataadhibiwa. Na mimi kama nimo nitaadhibiwa. Kwa hiyo huko ndiko sehemu sahihi. “Wasambaa wana msemo kuwa, ukiwa njiani unatembea ukaona majani yanacheza, usije ukaanza ah! ah! (sauti ya hofu) ukidhani ni mnyama simba, kumbe ni panya. Hivyo ngoja tuone kwanza kitakachotokea kwenye majani usianze ah! ah! wakati ni mbuzi.”

Kuhusu kamati hiyo kumfuata, Makamba alithibitisha kufuatwa na kwamba si yeye pekee, bali viongozi wengine waliowahi kushika nafasi kama yake na za kusimamia fedha.

Lakini akizungumza na Mwananchi baadaye jana mchana, Makamba alisema kwa nafasi yake kama katibu mkuu alikuwa hashiki fedha.

“Katibu mkuu hashiki fedha, ana wasaidizi wake ambao kama anasafiri huchukua fedha na anaporudi hu-retire (huwasilisha stakabadhi za matumizi),” alisema.

Makamba alisema kila mwezi chama hicho hufanya mikutano na kuna vikao vya kuandaa bajeti kwa ajili ya vikao. Pia alisema ndani ya chama kuna muundo mzuri wa uongozi, mhasibu mkuu na kuna mweka hazina ambao ndio wanashika fedha. Fedha inatoka kwa mweka hazina inakwenda kwa mhasibu mkuu.

“Kama wataniwajibisha, labda ni kwa sababu sikumchukulia hatua kiongozi wa mkoa ambaye aliletwa kwangu kwa kufanya kosa.”

Kuhusu tuhuma za uuzwaji kiholela wa mali za chama, Makamba alisema suala hilo linasimamiwa na Baraza la Wadhamini ambalo alisema huidhinisha uuzwaji au kukataa. Miongoni mwa tuhuma zinazotajwa juu ya mali za CCM ni uuzwaji kiholela wa mitambo ya uchapishaji magazeti ya Uhuru Publications Limited.

“Wanaotoa idhini ni Baraza la Wadhamini na wakati wangu mwenyekiti wa baraza alikuwa ni (anamtaja jina) na baadaye akawa (anamtaja jina),” alisema.

Kamati hiyo iliyofanya kazi kwa miezi mitano ilitembelea mikoa yote kukagua mali hizo ikiwamo kuwahoji wahusika wakiwamo vigogo na makada wa chama hicho.

Maeneo ambayo yameonekana kuzungumzwa zaidi na baadhi ya makada wa chama hicho ni jumuiya za chama hicho ambazo ni Wazazi, Wanawake (UWT) na Vijana (UVCCM).

Nafasi za Kazi zilizotangazwa Leo

$
0
0

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Madogo na Mafupi ya Kiume na Hawana Nguvu..Nini Huchangia?

$
0
0
KWA NINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MADOGO NA MAFUPI YA KIUME NA HAWANA NGUVU ZA KIUME NINI HUCHANGIA?

🌸 kama una Ngiri, au umejichua kwa muda mrefu, punyeto, una stres nyingi Sana, lishe duni, kisukari, presha, kutopata choo vizuri, tumbo kujaa gesi, na kuunguruma chini ya kitovu, kaswende, gono,haya yote husababisha kuwa na maumbile madogo na mafupi ya kiume na kukosa nguvu za kiume.MATIBABU

🌸tumia dawa ya asili itwayo (MASUNZU POWER MIX) inatibu tatizo la nguvu za kiume maradufu inatibu uume mdogo na mfupi na kuimalisha mishipa iiyolegea inarefusha Nchi(4-8) na kunenepesha maumbile na upana (cm3-4) dawa hii haina madhala hata kwa wazee walio na umri wa miaka (70-85) pia inaongea hamu ya kufanya tendo la ndoa Mara (3-5) bila hamu kuisha dawa hii inatibu siku 6 na kupona kabisa

🌸MASUNZU POWER MIX. ni dawa ya asilia yenye mchanganyiko wa mitishamba 7 yenye maajabu yafuatayo kunyoosha mishipa ya askari aliyesinyaa kutokana na kujichua kwa muda mrefu au Ngiri, nk 🌸pia tuna dawa ya kutibu busha bila opresheni

🌸 SOSOMA DX ni dawa ya kumvuta mme au mke mpenzi wako arudi haraka na kuanza mapenzi mapya kama mlivyoanza mwanzo baada ya Masaa 2 atarudi na kutulia ndani ya nyumba

🌸GINDU EXTRA ni dawa ya kutibu kisukari siku 14 unapona kabisa hata kama imepanda 350 itashuka haraka tunatibu presha, vidonda vya tumbo nk:

🌸 OFISI IPO DAR ES SALAAM BUGURUNI CHAMA UNAWEZA KULETEWA POPOTE ULIPO AU SIMU 0673552294 / +255784552299 TABIBU ATHUMAN.

Habari Njema kwa Wanawake na Wanaume Wanaopenda Muonekano Bomba.

$
0
0

PENDEZA_KESSY_ PRODUCT WEKA MUONEKANO WAKO NA UPENDEZE SASA,TUMIA BIDHAA HALISI NA UREMBO MAFUTA/DAW ZISIZO NA MADHARA ZIMETENGENEZWA KWA MIMEA NA MATUNDA MATOKEO NIMAZURI KUANZIA WEEK 2/4🍍🌾



1)-KUTOA MVI SUGU PIA ZAKUZALIWA_130,000/

2)-RUREFUSH NYWELE ZAKO NA KUZIJAZA -120,000/

3)-TENGENEZA MWILI WAKO KUWA NA UMBO ZURI (HIPS KALIO NA MAPAJA (@) KUNYWA/VIDONGE/KUPAKA_130,000/

4)-ONDOA NYAM UZEMBE NA KUTOA MAFUTA_100,000/

5)-PUNGUZA NA KUKIMALIZA KITAMBI KABISA (@)KUPAKA 100,000/ (@)KUNYWA (VIDONGE)-130,000/

6)-PUNGUZA MWILI MZIMA KUANZIA KILO 15&20

@) KWADAW YAKUNYWA NA KUMEZA (VIDONGE)_130,000/

7)-PUNGUZA MAZIWA NA KUYASIMAMISHA _100,000/

8)-KUONGEZA MAZIWA SAIZI UNAYOHITAJI WEWE_100,000/

9)-ONGEZA UNENE WA MWILI MZIMA_100,000/

10)-TOA MICHIRIZI SUGU NA MIPASUKO_90,000/

11)-TOA MAKOVU, CHUNUSI, WEUSI KWENY MAPAJA KIKWAPAN_90,000/

13)-KUWA MWEUPE MWILI MZIMA (@)VIDONGE VYAKUMEZA_130,000/(B)MAFUTA YAKUPAKA YASIO NAHARUFU YAKUKERA_100,000/

14)-TOA NDEVU NA VINYWELEO MWILINI _100,000/

15)-ONGEZA NGUVU KWA WANAUME (@)DW ZAKUPAK AINAZOTE -100,000/(B)VIDONGE VENYE

UHARAKA_100,000/

16)-REFUSH MAUMBILE NA UNENE SAIZI UNAYOTAKA

@) (HANDSOME UP) MASHINE _200,000/

@) JELI/VIDONGE UREFUSHA NCH 5%6&_130,000/

17)-RUDISHA HAMU YA TENDO LA NDOA_100,000/

18)-DAW YA KURUDISH USCHANA (BIKRA)-100,000/

19)-TOA MAFUT USONI WEKA USO MKAVU_100,000/

20)-ONDOA MIKUNJO USON NGOZI YAKUZEEKA I00,000/(21)-ENGEZA MGUU (WABIA)_100,000/ 21)- PATA MIKANDA YAKUPUNGUZA TUMBON AINA ZOTE 22) DAW YA NGIRI_100,000/🍍🌾🍉🍌🍁



TUNAPATIKANA TZ NZIMA NA TUNATUM MIZIGO POPOTE ULIPO NCHI YOYOTE ILE WASILIANA NASI (+255)0719955528

(+255)0756259180

(+255)0785371237 @Pendeza_kessy_product @Pendeza_kessy_product

Delivery POPOTE ULIPO,
Viewing all 104808 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>