Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104803 articles
Browse latest View live

Korea Kaskazini Kuamua yenyewe Muda wa Kuachana na Makombora ya Nyuklia

$
0
0
Korea Kaskazini imetangaza kuachana na makombora ya nyuklia pale itakapotaka yenyewe.

Nchi hiyo imetangaza kuwa itafuata taratibu zake inazozitaka katika kuachana na makombora hayo na wala haitofuata sheria za nchi nyingine.

Imebaki ni kitendawili ni lini Kim Jong Un atatimiza ahadi yake ya kuachana na makombora ya nyuklia.

Ahadi hiyo Kim aliitpa wakati wa mkutano wake na Moon Jae In 27 Aprili.

Marekani imekuwa ikiihimiza Korea Kaskazini kuachana na majaribi yake ya makombora ya nyuklia.

Ruby Azua Kizazaa Kingine, Adaiwa Kushindwa Kufanya Show Afrika Kusini

$
0
0
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ruby, amesema hawezi kuzungumzia jambo lolote lililomtokea nchini Afrika Kusini alipokwenda kikazi kutumbuiza licha ya watu kudai hakuweza kuimba kutokana na vitu alivyokuwa akivitumia na kumpelekea kupata usingizi mzito na mwishowe kuishia kulala hotelini.


Ruby ametoa kauli hiyo wakati alipokuwa anazungumza mbele ya kamera za eNewz kutoka EATV baada ya mtangazaji wa kipindi hicho kutaka kufahamu ukweli wa mambo yaliyomsibu kama ni kweli au laa lakini cha kushangaza mwanadada huyo alihamaki na kukimbia 'interview'.

"Kuna sababu nyingi sana za mtu kusafiri na mimi ukiniona nimesafiri basi ujue nimeenda kupiga kazi. Kiufupi watu wa South Africa naweza sema ni 'very peacefully', waelewa wakisema wanapenda kitu basi ujue ni kweli, siwezi kusema ni 'show' ngapi nimefanya nikiwa huko ila huwa naziweka kwenye ukurasa wangu wa instagram", amesema Ruby.

Mtazame hapa chini Ruby akifunguka zaidi...

“Wapinzani Hawakosei”- Msekwa

$
0
0
Spika wa bunge wa zamani Pius Msekwa amesema kuwa kazi ya upinzani ni kukosoa na kuisaidia serikali katika kufikia maendeleo kama Katiba inavyoelekeza.

 Msekwa ametoa kauli hiyo kupitia East Africa BreakFast kipindi kinachoruhwa na East Africa Radio kuwa utaratibu wa uendeshaji wa bunge la vyama vingi umeainishwa kwenye kanuni za Bunge.

“Wakati tunahama kutoka bunge la chama kimoja na kwenda bunge la vyama vingi tuliandaa kanuni mpya kwa lengo la kuhakikisha upinzani utakapokuwa bungeni utekeleze jukumu lake kikatiba ambalo ni kuikosoa serikali” amesema Msekwa

Msekwa ameongeza kuwa jukumu la upinzani haliishii kukosoa tu bali kuleta mawazo mbadala pia ili kuisaidia serikali kuu katika kutimiza wajibu wake.

Nafasi za Kazi Zilizotangazwa Leo

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

-DR MAGESA

Fahamu vigezo Anavyovipenda Chemical kwa Mwanaume

$
0
0

Rapa wa kike nchini Claudia Lubalo maarufu kama ‘Chemical’ amefunguka kuwa anapendezwa zaidi na mwanaume mrefu na asiye na kitambi.


Chemical amesema hayo kupitia KIKAANGONI ya EATV kuwa mwanaume mwenye vigezo hivyo wanamvutia zaidi kuliko wafupi na wenye miili mikubwa.

“mwanaume akiwa mfupi hatoweza kuni-kiss na wala asiwe mnene wala mwembamba awe kawaida tu na wala asiwe mbeba vyuma”, amesema Chemical

Aidha Chemical ameongeza kuwa anapenda mwanaume ambaye atamkubali yeye kama yeye na si kutaka abadili muonekano

Zungu Aitaka NHC Iache Kupandisha Kodi Kiholela

$
0
0
Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, amelitaka Shirika la nyumba la Taifa (NHC) kuacha tabia ya kuongeza kodi mara kwa mara kwa wananchi ambao ni wapangaji katika nyumba hizo.

Zungu amesema hayo jana Mei 30, 2018 Bungeni Jijini Dodoma, baaada ya kupitishwa kwa makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya makazi kwa mwaka wa fedha 2018/2019 na kuongeza kuwa wapangaji katika nyumba hizo wengi ni maskini hawana uwezo wa kulipa kodi zinazopanda kila kukicha.

“Mkurugenzi wa shirika la nyumba, maagizo ya Waziri Mkuu umeyasikia, kaa na kamati ya wapangaji, mimi shida kwangu ni nyumba ndiyo ajenda zangu za Ubunge na Waziri Mkuu amesema muachane na haya mambo ya kupandisha kodi kiholela, hawa ni watanzania hawana uwezo huo” alisema Zungu

Kwa upande mwingine mwenyekiti huyo aliipongeza Wizara hiyo kwa kuleta mabadiriko ya kiutendaji na kusaidia kupunguza migogoro ya ardhi nchini.

Jana Mei 30 2018, Bunge lilikubali kupitisha makadirio ya Bajeti ya Wizara ya ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kwa mwaka wa fedha 2018/2019 na jumla ya kiasi cha shilingi bilioni 73.07 imeidhinishwa

Geoff Lea baafa ya kusikia Ngasa amerudi Yanga “ningekuwa shabiki wa Yanga nisingefurahi”

$
0
0
Baada ya Yanga kuthibisha kumalizana na Ngasa mchambuzi wa michezo Geoff Lea kupitia Sports Xtra amesema kama angekuwa shabiki wa Yanga asingewaelewa kabisa viongozi kama wanataka kupambania ubingwa wa VPL next season.

“Ningekuwa shabiki wa Yanga sidhani kama ningeefurahi kusikia Simba imemsajili Adam Salamba na Marcel Kaheza, Azam wamemsajili Ngoma, halafu Yanga ambayo inatakupambania ubingwa msimu ujao inamsajili Ngasa.”

“Wakati wa pinzani wa Yanga (Simba na Azam) wanasajili wachezaji wanaoweza kuwatumia kwa muda mrefu (Kaheza, Salamba, Kutinyu, Mudathir) Yanga wao wanarudi nyuma kwa Ngasa lakini nasikia kuna story kwamba huenda Salum Telela akarudishwa hizi sio ishara nzuri kwa Yanga.”

“Ngasa sio mchezaji mbaya lakini Ngasa yule aliyetoka Yanga akaenda Azam, Simba, akaenda nje si huyu wa sasa, anahitaji kuni-prove wrong”.

Ngasa atacheza Yanga kwa mara ya tatu katika vipindi tofauti, mara ya kwanza alisajiliwa akitokea Kagera Sugar, akafanya vizuri akaenda Azam baadaye wakamtoa kwa mkopo kwenda Simba muda wake ulipomalika akarudi Yanga.

Baada ya kurudi Yanga mara ya pili alirudi kwenye ubora wake hatimaye akapata fursa ya kucheza Free State Stars ya South Afrika ambako alivunja mkataba na kwenda Fanja ya Oman na kurudi Bongo akasajiliwa na Mbeya City na baadaye Ndanda kabla ya kurudi tena Yanga.

Askari Polisi Washindwa Kujizuia, Wajiunga na Waandamanaji Ufaransa Kufanya Maandamano

$
0
0
Asakari Polisi nchini Ufaransa wamejiunga na waandamanaji katika maandamano ya kupinga siasa za rais wa Ufaransa Emmanuel Macron.

Askari walikuwa wamejikusanya mbele ya kituo chao cha Polisi wamejiunga na waandamanaji  Paris wanaoandamana kwa muda wa siku kadhaa   wakipinga siasa za rais Emmanuel Macron.

Askari hao wamedai kuwa wanafanya kazi katika mazingira magumu  huku wakikabiliwa na tatizo la mishahara. Vile vile wametoa malalamiko kufanya kazi muda mrefu bila ya kupata muda wa kutosha wa kuwa na familia zao.

Katika maandamano hayo, askari polisi wameomba kuajiriwa kwa askari wapya.

Maandamano hayo nchini Ufaransa kwa sasa yanakaribia kutimiza miezi mitatu tangu kuanza kwake.

Makanga 3 Power; Dawa Bora Nguvu Za Kiume

$
0
0

Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE.

Tiba ya kudumu kutibu maumivu ya mgongo,kiuno, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kupata choo vizuri, na kutibu uzazi, kutibu busha bila operesheni, kisukari, presha ,miguu kuuma, uzazi, fangas sugu, vidonda vya tumbo.

Ni docta bingwa wa kutibu magonjwa sugu, kutoa ndagu za utajiri kwa kutumia Pete, kazi ,cheni, mikufu maalumu ya bahati, una kesi umedhulumiwa Mali au pesa? Zitarudi muda wa Masaa matatu tuu.

Onana na Dr shilindes shida zako zote zitakwisha, anatoa Dawa za utajiri kwa wafanyakazi, wakulima, na wafugaji, wafanyabiashara na wachimba madini kwa kutumia pete, kazi kwa yeyote anaetaka kuwa na pesa nyingi.

Pia anaboresha akili kwa wanafunzi darasani, masomo na kufaulu mitihani pia kushinda bahati nasibu yeyote.

Pia tunatoa Dawa kumrudisha Mume, mke, mpenzi, hawara, kwa muda wa SAA moja tuu, na kuomba msamaha kwa kukupigia magoti na yeyote yule, unaemtaka kimapenzi au kuoana, utampata na kumfunga asitoke nje ya ndoa daima na kutekeleza shida zako zote. Kupunguza unene, kupunguza matiti makubwa, tumbo na nyama uzembe muda wa siku sita unapata saizi uipendayo.

Kutoa makovu mwilini, chunusi, upele na mabaka, pia tunayo Dawa ya kuongeza hipsi, makalio, mguu wa bia na kupata shepu safi kwa muda wa siku saba tuu.

Wa mikoani mtapata huduma popote mlipo.
Tupo dar es salam mbagala rangi tatu.

Mawasiliano simu namba: 0784 460 348. Au 0659 103 360.

VIDEO: Nitaolewa Mungu Akinipa Mume Nina Hisia na Mimi, Diamond Atasubiri - Queen Darleen

$
0
0
Msanii kutoka lebo ya WCB ambae pia ni Dada wa Diamond Platnumz, Queen Darleen ambae ametamba na ngoma ya Touch ambayo imetengezwa na studio ya Wasafi, amesema kuwa yeye pia ana hisia na upendo na anapenda hivyo kuhusiana na yeye kuwa na ndoa Ataolewa hadi mungu atakapompatia, na Diamond atasubiri sana hadi yeye aolewe.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI:

Mastaa Hawa Wafuatao Wametoka Relini..Ukali wao Wapungua

$
0
0
KUTOKA relini ni moja kati ya misemo inayotumiwa sana na watoto wa ‘dijitali’ ikiwa na maana kuwa juu na ghafla kupotea. Kutoka relini huku inawezekana ulikuwa na pesa na baada ya kipindi ukawa huna kitu au unaweza kutamba kwa muda f’lani kwenye gemu na baada ya kipindi ukawa husikiki kama ilivyokuwa awali.

Katika muziki wa Bongo Fleva nao kuna wasanii ambao wametoka relini. Walikuwa wakitamba na kukubalika kila wakitoa nyimbo zao lakini kwa sasa Tangu mwaka uanze, ameshatoa ngoma kibao zikiwemo Amsha Popo, Kaa Mbali Nao na Mikono Juu lakini bado zimemtoa nje ya reli.

WEUSI

Huwezi kutaja makundi ya Muziki wa Hip Hop Bongo ukaacha kulitaja Kundi la Weusi kutoka Arusha likiwa na vichwa ‘hatari’ kama vile Nikki wa Pili, Joh Makini pamoja na G Nako. Ngoma zilizow-aweka relini ni Gere, Nusu Nusu na Nje ya Box.Wakali hawa kwa muda mrefu wameweza kuteka Muziki wa Hip Hop Bongo na kufanya shoo kibao za ndani ya nchi.

Walianza kutoka relini taratibu baada ya kuachia Ngoma ya Madaraka ya Kulevya ambayo haikupokelewa kama zilivyokuwa ngoma zao za zamani, wakaachia Ni Come ambayo kideo chake kiliwakusanya mastaa kibao kama vile Vee Money, Jux, Nandy, Idris Sultan lakini napo ikaonekana ya kawaida.

Kwa sasa wameachia ngoma nyingine iitwayo Mdundiko ambapo bado haijawaonesha kurudi relini kama zamani.


SHILOLE

Alipoingia rasmi kwenye Bongo Fleva akitokea Bongo Movie, wengi walimtabiria kufika mbali kutokana na ‘kujichetua’ kwake hasa inapotokea yupo jukwaani. Ngoma ya Say My Name aliomshirikisha Barnaba ndiyo iliyomuweka kwenye chati ikifuatiwa na Namchukua, Malele na Hatutoi Kiki.

Shilole ama Shishi Baby kama anavyopenda kujiita alikuwa relini kweli, ukiachilia Muziki wa Mduara aliokuwa akifanya, uhusiano wake na ‘viben’ten’ ulimfanya kuongelewa kila kona.

Tangu afunge ndoa na Ashraf Uchebe mwishoni mwa mwaka jana kumemfanya kutoka nje ya reli. Hajaonekana jukwaani akipafomu, kwenye redio na TV hasikiki kwa nyimbo wala uhusiano wake.

RUBY

Alipotoa Ngoma ya Na Yule akiwa mmoja kati ya zao la Jumba la Kukuza Vipaji ‘THT’ wengi walimtabiria kufika mbali hasa kutokana na uwezo wa kucheza na sauti yake. Ruby alikuwa Ruby kweli! Alikuja kufunika na ngoma nyingine ya Forever kisha Sijutii na Nivumilie alioshirikishwa na Barakah The Prince.

Alianza kutoka relini taratibu baada ya kujitoa THT, akaachia Ngoma ya Walewale ambayo haikuwa juu kama za awali. Kwa sasa anadaiwa kurudi tena THT ambapo ameshaachia Ngoma ya Niwaze akiwa amewashirikisha wakali wa R&B Bongo, The Mafik.

MALAIKA

Alianza kukaa relini alipoachia kwa mara ya kwanza ngoma yake ya Sare akimshirikisha Prodyuza Mesen Selekta.

Malaika ambaye alianza kuonekana kwa mara ya kwanza kupitia Ngoma ya Uswazi Take Away ya Chegge, uwezo wake wa kucheza na sauti ulimfanya kuwa relini hasa alipoachia ngoma yake ya pili ya Rarua.

Ngoma hizo mbili, Sare na Rarua zilimpelekea kufanya shoo kibao ndani na nje ya nchi hususan Marekani. Maisha yanakwenda kasi sana! Kwa muda mrefu sasa hajarudi relini kama zamani. Kitaa ameachia Ngoma ya Haachi lakini bado haijamfanya kurudi relini kama zamani.

Wengine

Listi ya wasanii wengine ambao walikuwa relini na sasa wametoka, hawasikiki kama zamani licha ya kuendelea kutoa ngoma ni Ben Pol, Pam D, Young Killer, Young D, Izzo B, Aslay na Mwasiti.

Stori: Andrew Carlos

Chuchu Hans Atema Nyongo Kuishi na Ray Wakati wa Mfungo wa Ramadhani

$
0
0
MUIGIZAJI wa kitambo Bongo Muvi, Chuchu Hans amefunguka kuwa watu wanaomhukumu kuwa anakosea kuwa karibu na mzazi mwenziye ambaye ni muigizaji pia, Vincent Kigosi ‘Ray’ wakati huu wa mfungo wa Ramadhani na yeye ni Muislamu waache kwani wao siyo Mungu.

Akizungumza na gazeti hili kwa njia ya simu akiwa nchini Afrika Kusini na mzazi mwenziye huyo kwa ajili ya kushuti filamu, alisema kuwa kuishi na mzazi mwenziye huyo kwa ajili ya kazi haoni kama ni dhambi lakini anashangaa watu wanavyotoa hukumu mitandaoni kwamba anakosea.

“Mimi ninachojua wa kumhukumu mtu ni Mungu pekee kwa sababu yeye ndiyo anajua ukweli wote na anajua kila kitu cha binadamu na si mtu mwingine, najua nilivyo huku na Ray watu wanasema sana tu lakini sijali,” alisema Chuchu

Stori: Imelda Mtema

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu za Kiume? Suluhisho Hili Hapa

$
0
0
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME DR SITTA NDO SULULISHO LAKO tatiza, hili limekuwa likiwaasili watu wengi,sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine, kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo , sababu nyingi zinazosababisha, tatizo hilo baadhi ni (i) upungufu wa vichocheo vya HORMONES ZA CETROGEN ambazo mwanaume, anapobarehe vichocheo hivi, HORMONES hizo, husaidia ukuaji wa uume

SUPER MIZIZI, ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mlija iliysinyaa,

NSHOLA ni dawa bora, ya kurudisha nguvu, za, kiume bari inatibu ,kabisa kutoa tatizo hilo, na kukupa , hamu ya , kurudia tendo, la ndoa zaidi, ya mala nne 4 ,bila kuchoka atakama unaumli ,wa mika 80,! pia ana ,dawa za ,kutibu, presha ya kupanda ,na kushuka, kisukari kuondoa, mafuta , mwilini ,na maumivu ya, mgogo kiuno, dawa zipo, matazo, ya hedhi, kwa ,wanawake hedhi, zisizokuwa na, mpangilio, na kasonono, pia , vidonda ,vya, tumbo ,(STOMACHI UCLENS) IHUSHI ndoji lako.

NKANYA ni dwa ya mvuto wa kimapenzi ,mchumba mpenzi ariyekuacha, mke mme, atakuludia kwa, mda, wa msaa3 tu , ukishaitumia atarudi ,mwenyewe bila ,ugovi tena, NKOMA ni dawa kuongeza HIPS na mguu wa bia kwa wadada .

HERBON, ni, dawa, ya kuongeza, CD4, NGAKAMA ,ni dawa ya kutibu ,miguu, kufaganzi, na ,kuwaka moto, huduma zetu ,zipo ,vizuri, popote pale dawa utaletewa! DR SITTA, amebobea, kwa tiba asilia

DAR ANAPATIKANA MBAGALA, ZAKHEM, SONGEA BOMBAMBILI SHINYANGA, KAHAMA MJINI, KWA MAELEZO ZAIDI , PIGA SIMU 0763172670 au 0715172670

WOTE MNAKALIBISHWA, KAMA, UTAKUWA NA TATIZOUTAHUDUMIWA,

Kilichomtokea Chemical Baada ya Kuvuta Sigara Kwa Mara ya Kwanza

$
0
0
Binti ambaye ni mkali wa 'Rap' nchini Chemical, amekiri kuwahi kujaribu kuvuta Sigara lakini aliacha baada ya kukohoa sana na hajawahi tena kurudia kitendo hicho.


Akiongea leo KIKAANGONI kupitia Ukurasa wa Facebook wa East Africa Television, mkali huyo amesema kwenye maisha watu hupitia vitu mbalimbali lakini kwake aliwahi kujaribu kuvuta Sigara lakini hakuendelea.

''Sigara nilishajaribu lakini nilikohoa sana sikuweza kuendelea, mimi nina tatizo sana la moshi kuingia mwilini kwangu kwahiyo vitu kama hivyo siviwezi na situmii tangu siku niliyojaribu'', amesema.

''Aidha Chemical amefunguka pia kutotumia kilevi cha aina yoyote kwenye maisha yake. ''Situmii kilevi zaidi natumia tu maji mengi lakini vilevi si vitu vya aina yangu'', ameongeza.

Mbali na hayo pia leo ameachia Video yake mpya inayoitwa 'Africa Heritage' ambapo imetambulishwa rasmi kwa mara ya kwanza KIKAANGONI na kueleza kuwa ni moja ya kazi zake anazoamini siku moja zitamfanya akumbukwe na jamii.

Raia wa Uganda Kulazimika Kulipa Kodi kwa Kutumia Mitandao ya Facebook na WhatsApp.

$
0
0

Raia wa Uganda wanaotumia mitandao ya kijamii nchini humo huenda wakalazimika kulipa ndipo waruhusiwe na serikali kutumia mitandao ya kijamii kama vile Facebook na WhatsApp.

Hii ni baada ya Bunge hilo kuidhinisha mswada huo tata Jumatano, Chini ya sheria hiyo ambayo inatarajiwa kuanza kutekelezwa 1 Julai, wanaotumia mitandao ya kijamii watakuwa wanatozwa shilingi 200 za Uganda ambazo ni sawa na $0.05 ( £0.04) kila siku.

Raia pia watalipia kila shughuli ya kibiashara watakayoikamilisha kupitia simu zao, huku kila shughuli ya kibiashara ikitozwa 1% ya thamani yake.

Rais Yoweri Museveni alikaririwa na vyombo vya habari nchini Uganda mwezi uliopita akisema kuwa mitandao ya kijamii inatumiwa zaidi kwa taarifa za "udaku".

Wanaharakati wa haki za binadamu hawakubaliani na madai ya rais.

"Ni sehemu tu ya majaribio ya kubana uhuru wa watu kujieleza ," Mwana Blogi Rosebell kagumile aliliambia shirika la habari la Reuters.


Takriban wabunge watatu wamekosoa sheria hizi mpya na kuzitaja kama "utozaji wa kodi mara dufu ", kulinga na gazeti binafsi Daily Monitor.

Mbunge wa jimbo Kyaddondo Mashariki Robert Kyaggulanyi, almaarufu Bobi Wine - pamoja na wenzake Joshua Anywarach na Silas Aogon - wamesema kwa sababu watumiaji wa mtandao wa WhatsApp hupata huduma hiyo kupitia muda salio ambalo wanalipia ushuru, ushuru wa ziada utakuwa unakiuka haki.

Ni rahisi sana kwa mbunge kusema asilimia 1% ni kiasi kidogo cha lakini kwa watu wenye kipato cha chini ya dola moja kwa siku itawaumiza sana, Kuna mkanganyiko kuhusu namna ushuru huo mpya kwa mitandao ya kijamii utakavyotekelezwa.

Waganda wanatumia mitandao ya kijamii kusambaza kauli zao za kutoafikiana na ushuru huo mpya ambao umepitishwa kufuatia ombi la rais Yoweri Museveni.

Katika barua yake kwa waziri wa fedha, Bwn. Museveni alisisitiza kuwa ya kijamii inapaswa kulipa kodi kwasababu inachochea taarifa za udaku.

Lakini alidai kuwa huduma ya data za intaneti haipaswi kuwekewa ushuru, kwa sababu manufaa yake ya kielimu.

Wataalam pamoja na mtoaji mmoja wa huduma za Intaneti wameelezea hofu yao juu ya namna ushuru wa mitandao ya kijamii na mamilioni ya Waganda kwa kutumia sim-kadi

Serikali inahangai kuhakikisha simu kai zote zinasajiliwa, Mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya kisiasa nchini Uganda kwa chama tawala na upinzani, Huduma ya mitandao hiyo ilifungwa wakati wa uchaguzi wa 2016.


Wasiliana na Dr Mabula Anatibu Upungufu wa Nguvu za Kiume, Busha na Matatizo ya Maumbile Madogo kwa Mwanaume

$
0
0

TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO BUSHA BILA KUPASUA PRESHA VIDONDA VYA TUMBO
Asilimia kubwa ya wanadamu wanasumbuliwa na magonjwa mbalimbali na wapo waliongahika sehemu mbalimbali bira MAFANIKIO MABULA CLINIC ni kituo cha tiba asilia kilichopo mbagara zakhemu njia kuu ya JESHINI JE HUNAUPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME AU UUME WAKO MDOGO NA MWEMBAMBA?

MAPRO PAWER NO 2 ndio Tiba kwa sasa utibu matatizo matatu kwa pamoja 1hitakufanya uchelewe kufika kilekeni dikika 15-20 kwa tendo la kwanza 2 uhimalisha misuli iliyoregea na kusinyaa hasa kwa wale walio hasirika na upigaji punyeto 3 itakufanya upate amu ya kurudia tendo zaidi ya Mara tatu

KWA NINI UJIONE MPWEKE PALE UKUTANAPO NA MPENZI AU MKE WAKO kisa unawai kukojoa au unakomea bao moja tu na huku dawa zipo MAKAKANUA mix ni dawa iliyochanganywa na miti Shamba 9 na Kuwa na uwezo wa kuongeza uume saizi upendayo inchi 5-8 Kwa Urefu na unene sentimita 1-5 dawa hizi hazina madhara yoyote kwa mtumiaji ata wazee wenye umri mkubwa wanapona? zipo dawa za mvuto wa mpenzi mme au mke Kwa masaa matatu tu na kukupigia simu yeye mwenyewe mvuto wa biashara kutengeneza mwonekano mzuri wa mwili kwa wanawake yani shepu tunatibu ngiri miguu mgongo na kiuno kuumwa kupunguza kitambi minyama uzembe matiti na mwili mkubwa

TIBA NA USHAULI MUONE DR MABULA AU PIGA SIMU NO 0752348593 UDUMA ZANGU UTAZIPATA POPOTE ULIPO KAMA UWEZI KUFIKA OFISINI

ATCL Yashauriwa Kujikita Kusafirisha Watalii Kwenda Maeneo ya Vivutio

$
0
0

CHAMA cha Mawakala wa Utalii nchini, kimelishauri Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), kujikita kusafirisha watalii wanaoingia nchini kwenda maeneo ya vivutio.

Ushauri huo ulitolewa na mwenyekiti wa chama hicho,  George Chambulo,  katika kikao cha pamoja kilichowashirikisha wanachama wake, mawakala wa tiketi za ndege na maofisa waandamizi wa ATCL kutoka Dar es Salaam na Arusha.

Alisema mafanikio ya ATCL yatapatikana kupitia usafirishaji wa watalii wanaokuja nchini kutembelea vivutio mbalimbali.

Alisema, watalii wanapotua katika viwanja vya ndege vya kimataifa nchini, hawataki kusafiri kwa muda mrefu kwenda maeneo ya vivutio.

“Uongozi wa ATCL unaweza kuandaa utaratibu wa ndege zake kubeba watalii,  kwa mfano Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) na kuwapeleka eneo jirani la Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

“Watalii hawataki kusafiri kwa muda mrefu, wanataka kufika mapema kwenye eneo la vivutio,” alisema na kuongeza, “wakitoka Serengeti wanataka kwenda moja kwa moja Zanzibar na kisha kurudi makwao.”

Alisema chama hicho kipo tayari kushirikiana na uongozi wa ATCL na kuwaonyesha maeneo yanayofaa kwa ujenzi wa viwanja vya ndege ambayo vitakuwa maalum kwa ajili ya kusafirisha watalii.

“Unamtoaje mtalii anayetaka kwenda hifadhi ya Gombe na Katavi au Zanzibar kwa mfano, akitokea hifadhi  ya Serengeti na asichelewe ndege kurejea kwao,'' alihoji

“Tunataka kujua mpo wapi (ATCL) na kama mtanunua ndege ndogo ndogo za kutoa huduma kwa watalii itasaidia, tunajua sehemu za kujenga viwanja.

“Hatutaki viwanja vijengwe ndani ya hifadhi, la, isipokuwa vijengwe maeneo na tutawaonyesha,” alisema.

Mapema katika hotuba ya ukaribisho, Mkurugenzi Mtendaji wa ACTL, Mhandisi Ladislaus Matindi, alisema wataboresha uwezo wa ushindani katika soko.

“Tunaomba mtuelewe kwamba kuchelewa kwetu kuja kwenu, kulitokana na haja ya sisi kujipanga kwanza kabla ya kuja kwenu kama kampuni na tujiridhishe kuwa tunaweza kukidhi matakwa yenu.

“Tunaamini uwepo wa ATCL unategemea kwa kiasi kikubwa ushirikiano tunaouzana leo (jana). Hapa tunazungumzia kuwa karibu asilimia 80 ya wasafiri wa anga wanaokuja nchini wanategemea usafiri wa anga.

“Tumeingia makubalino na kampuni ya Hann Air ambayo itatuwezesha kuonekana katika mifumo yote ya kuuza tiketi duniani kote ndani ya kipindi cha miezi miwili kuanzia sasa tumeingia mkataba na Travelport (zamani ikiitwa Gallileo),” alisema.

Alisema wapo katika mchakato kukamilisha maandalizi ya ukaguzi wa usalama (Iosa Audit) unaotarajiwa kukamilika Juni, mwaka huu.

“Tuko katika mazungumzo na IATA kuhusu kurudishiwa uanachama wetu ambao tuliupoteza miaka 10 iliyopita…hayo yote yatatuwezesha kupanua ushirikiano yetu na mashirika mengi duniani,” alisema.

Akizungumzia kupanua mtandao wa safari za nje, alisema hiyo itawezekana baada ya kuongezeka kwa idadi ya ndege kutoka nne za sasa hadi saba.

“Tunategemea kupokea bombardier CS300 mbili zenye uwezo wa kubeba abiria 132 na boeing B787-800 dremliner yenye uwezo wa kubeba abiria 262,” alisema.

Alisema wataalam wao walishirikishwa  katika maamuzi ya aina ya ndege za kununua, na walihusishwa katika majadiliano ya manunuzi, makubaliano ya bei, maamuzi ya namna ndege zitakavyokuwa nje na ndani kwa ndege zote.

Alisema hakuna ndege hata moja kati ya hizo wanazonunua ambayo ilikuwa tayari imekwishatengenezwa.

Sakata la Wanafunzi Kudhalilishwa Kingono lafika Bungeni

$
0
0

Tukio la wanafunzi wanne wa kike wa darasa la saba katika Shule ya St Florence ya jijini Dar es Salaam kudaiwa kudhalilishwa kingono na mwalimu wao limeibukia bungeni baada ya wabunge kuitaka Serikali kueleza hatua zilizochukuliwa hadi sasa.

Wabunge hao wa viti maalumu (CCM), Ester Mmasi na Zainabu Vulu wametoa kauli hiyo leo Alhamisi Mei 31, 2018 bungeni mjini Dodoma baada ya kipindi cha maswali na majibu.

Katika mwongozo aliouomba kwa kiti cha spika, Mmasi amesema moja ya mikataba ya kitaifa na kimataifa iliyoingiwa na Serikali ni kumlinda mtoto ili aweze kusoma na kufikia ndoto zake, lakini kwa sasa kumekuwa na kadhia ya kukosa ulinzi hususan mtoto wa kike.

“Katika mitandao ya kijamii kuna taharuku, wazazi wameripoti kuwa mwalimu Ayubu Mlumbu wa St Florence ya Dar es Salaam vitendo anavyowafanyia watoto wao, lakini mkuu wa shule alizuia taarifa zisifike serikalini,” amesema Mmasi.

“Hapa ninapozungumza amewaathiri kisaikolojia watoto wanne. Lini Serikali itawalinda watoto?”

Kwa upande wake, Vulu amesema, “Nasimamia hapo hapo kwa Mmasi. Nina masikitiko na majonzi makubwa sana pamoja na wazazi wengine wanaume na wanawake. Nataka kujua ni nini Serikali itachukua  hatua. Wale bado ni watoto wadogo tena wa kike wameathirika kisaikolojia.”

“Lakini picha zinasamba katika mitandao na sheria ipo inayowalinda watoto, Serikali inataka kutuambia nini kwa wale wanaosambaza picha mitandaoni na huyu aliyefanya hivi sheria inachukua hatua gani?”

Akitoa maelezo ya miongozo ya wabunge hao, mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge amesema miongozo hiyo inazungumzia matukio ambayo hayajatokea mapema leo, kama ambavyo kanuni za chombo hicho cha dola zinavyoeleza.

“Lakini kwa vile ni tukio la kusikitisha, kufadhaisha na kuudhi na Serikali ipo na sheria za nchi zipo nadhani Serikali kama wataweza kulisemea hili nawapa fursa ya kufanya hivyo,” amesema Chenge.

Akitoa ufafanuzi wa jambo hilo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama amesema, “Serikali imesikia kutoka kwa wabunge lakini kwa kweli hata sisi Serikali hili ni jambo linaloleta ukakasi.”

“Pamoja na ukakasi huu linahitaji kufanyia kazi ya kina, tunaomba tupewe nafasi ya kulifanyia kazi na kwa muda utakaoona inafaa Serikali ije iseme ndani ya Bunge.”

Kauli ya Kinana kwa wanaccm

$
0
0

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ndg. Abdulrahman Kinana amewataka viongozi wa CCM kiujumla kumpa ushirikiano Katibu Mkuu mpya ambaye ni Dkt. Bashiru Ally kama walivyo kuwa wanampa yeye kipindi alipokuwa kwenye nafasi hiyo.

Kinana ametoa kauli hiyo leo Mei 31, 2018 nje ya Ofisi ya CCM iliyopo Lumumba Jijini Dar es Salaam mara baada ya kumaliza makabidhiano ya ofisi na kiongozi huyo mpya ndani ya chama hicho.

"Nimekuja ofisini hapa na mwenzangu Katibu Mkuu CCM kufanya mambo matatu. La kwanza likiwa ni kumpongeza kwa kuteuliwa na Mwenyekiti na kuchaguliwa na Halmashauri Kuu Taifa la pili ni kumkabidhi ofisi na nimeshamkabidhi pamoja na makabrasha yanayohusika kwenye ofisi na la tatu nilikuwa na kazi ya kumtambulisha kwa watendaji ili aone kazi jinsi zilivyokuwa zikifanyika katika chama chetu na kuwaomba watendaji wampe ushirikiano kama walivyofanya kwangu", amesema Kinana.

Ndg. Kinana ameng'atuka kwenye nafasi hiyo siku za hivi karibuni huku akidai kilichopelekea kuchukua maamuzi hayo ni kutokana na umri wake kuwa mkubwa hivyo anahitaji kupumzika katika nafasi hiyo na kuwa mwanachama wa kawaida.
Viewing all 104803 articles
Browse latest View live




Latest Images