Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, Inasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0
TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za:

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30.

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788

-DR MAGESA


 Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play


Wananchi Waiomba Serikali Iwagawie Shamba La Sumaye

$
0
0


Wananchi  wa kijiji na Wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wamehoji juu ya shamba lenye ekari 326 lililofutiwa hatimiliki na Rais, kurudi kwa mmiliki wa awali.

Walisema wanashangazwa kuona shamba hilo lililokuwa likimilikiwa na Esther Sumaye – mke wa Waziri Mkuu mstaafu Fredrick Sumaye, likiendelezwa kwa kilimo, kuchimbwa visiki na kukodishwa kwa wananchi, huku viongozi wakiwa kimya bila kutoa taarifa yoyote ya mabadiliko ya umiliki wake.

Akizungumza jana, Mwenyekiti wa Kitongoji cha Kijoja, Ally Saleh, alisema wameshtushwa na taarifa iliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Mohamed Utali kuwa shamba hilo limerudi kwa mmiliki wake wa mwanzo, Esther kutokana na uamuzi uliotolewa na mahakama baada ya kukata rufaa na kushinda kwa mujibu wa sheria.

“Tunashangaa kusikia kwamba eti shamba ambalo liko katikati ya kijiji na lilirudishwa kwa wananchi na Rais, barua tulipewa, lakini kwa sasa tunaambiwa kijuujuu tu kuwa limerudi kwa Esther Sumaye bila uthibitisho wowote,” alisema Saleh.

Nao wananchi wa kijiji hicho, Said Ally, Said Kibeku na Maila Suteli, walisema wanalitegemea eneo la shamba hilo kwa maendeleo ya kijiji, ikiwamo ujenzi wa makazi, viwanda, shule na zahanati kutokana na kuchukua eneo kubwa.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Mvomero, Utali, alisema halmashauri ilikuwa katika harakati za kutaka kuligawa shamba hilo kwa wananchi kama maelekezo ya Serikali yalivyotaka, lakini ilishindikana baada ya kupokea barua ya kuwa shamba limerudi kwa Esther.

“Tulipokea barua iliyoambatana na hukumu kutoka kwa mwanasheria wa Esther Sumaye kuwa mahakama imempa ushindi Esther Sumaye katika kesi namba 25 ya mwaka 2016, hivyo hatuwezi kukurupuka na kuingilia eneo ambalo lina hukumu ya mahakama,” alisema Utali.

 Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play

Kubenea Amtaka Kabudi Kulieleza Bunge Mazungumzo Ya Makinikia

$
0
0
Mbunge wa Ubungo Saed Kubenea (Chadema), amemtaka Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi alieleze bunge juu ya mazungumzo kuhusu mchanga wa makinikia yalikofikia.

Amesema pamoja na kwamba Waziri wa Madini, Angellah Kairuki hakugusia suala hilo, katika kitabu cha bajeti ya wizara hiyo kuna haja Profesa Kabudi kulieleza bunge juu ya mchanga huo kwa sababu wananchi wanata kujua kinachoendelea.

Kubenea ametoa hoja hiyo bungeni leo alipokuwa akichangia bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2018/19.

“Sisi tulitegemea Bunge letu tupewe taarifa ya kina kuhusu mazungumzo kati ya Serikali na Acacia. Tuelezwe Sh424 trilioni ambazo ni Dola bilioni 190 tungepata lakini Bajeti nzima imekuja haijazungumzia na ripoti ya waziri hakuna kokote,” amesema Kubenea

“Kwa kuwa mmoja wa wajumbe ni Profesa Kabudi atuambie makinikia imefikia wapi, mchanga uliozuiwa bandarini upo, utakuwapo hadi lini, mchanga unasafirisha? Kiwanda cha kuchenjua kitajengwa lini?” amehoji

Kubenea amesema fedha hizo Sh424 trilioni zinapaswa kila Mtanzania apate matibabu, kuishi maisha mazuri kwa fedha hizo zinapatijkana lini?

 “Suala hili ni muhimu kuelezwa makinikia yako wapi. Mazungumzo yamefikia wapi, fedha zinapatikana lini ili tuipate. Tutajua kila wilaya, kata kitapata kituo cha afya, bajeti ya miaka kumi.”

“Fedha hizi ni nyingi sana na kama tumeibiwa, Serikali ijiangalie vizuri na ili kufikia malengo tusipige danadana tuimalishe Stamico itakayosimamia madini yetu,”amesema.

 Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya June 2

$
0
0


Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya June 2

Amber Lulu, Ngoma Ikivuma Sana Ujue Inakaribia Kupasuka

$
0
0
UPO usemi wa wa­henga kwamba ngoma ikivuma sana, basi ujue inakaribia kupasuka! Msemo huu unaweza kuwa un­ashabihiana sana na maisha anay­oishi mwanadada Amber Lulu.

 Juzikati amefanya kitendo kinachochefua mno, hasa katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu wa Ramadhan. Amber Lulu akiwa na msanii mwenzake, Nuh Mziwanda, wamejirekodi video wakifanya uchafu ambao hauandikiki gazeti, kwa walioiona video hiyo iliyoza­gaa kwenye mitandao ya kijamii watakuwa wananielewa.

Nimebahatika kumsikia Nuh Mzi­wanda akijitetea kwamba alikuwa ‘location’ kurekodi video ya wimbo wake mpya, ndipo Amber Lulu ‘al­ipomlazimisha’ kurekodi video hiyo, utetezi wa kitoto kabisa! Nitakuja kuzungumza na Nuh Mziwanda siku nyingine lakini leo nataka kum­zungumzia Amber Lulu.

 Katika utetezi wake wakati akizungumza na Global TV Online, Amber Lulu anasema kwamba walikuwa kurekodi kazi yao mpya waliyoshirikishana na kwamba hakuna chochote kibaya alichoki­fanya bali alikuwa ‘akimkisi’ Nuh Mziwanda, sehemu ambazo wengi hawajazoea.

Kuhusu nani aliyesambaza video hiyo, Amber Lulu anajibu kirahisi ka­bisa kwamba mambo ya ‘snapchat’ ndiyo yamesababisha kwa sababu yeye alizisevu kwenye simu yake ikiwa haina ‘bando’ lakini baadaye ‘zikajiposti’. Majibu yake pekee yanatosha kuonesha Amber Lulu ni mtu wa namna gani.

 Kwa wasiomfahamu, mwa­nadada huyu alianza kama video queen, akiuza nyago kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo.

Ni katika kipindi hichohicho akiwa hata bado hafahamiki vizuri, alianza drama za kukaa nusu utupu kwenye video alizokuwa akishirik­ishwa au kwenye picha alizokuwa akipiga na kuzitupia mitandaoni.

Ghafla umaarufu wake ukawa mkubwa, kila mtu akawa anatamani kumjua msichana huyo anayetisha kwa kukaa nusu utupu ni nani? Kama ni kiki ya kutokea, kweli alifanikiwa kuipata, tena sana tu! Jina lake likaanza kuwa maarufu kila mahali.

 Siku ziliendelea kusonga mbele, drama za Amber Lulu nazo zikawa zinazidi kuongezeka, baadaye akajiongeza kutoka kwenye u-video queen na kuhamia kwenye Bongo Fleva, nampongeza kwa hilo.

Skendo zake hazikuishia kwenye kupiga picha za kihasarahasara tu, bali pia zilihamia kwenye mapenzi. Tetesi za hapa za pale zikaanza ku­zagaa kwamba anaibanjua amri ya sita na msanii David Genzi ‘Young Dee’. Sakata lao lilienda mbali zaidi mpaka Young Dee akaingia kwenye matatizo makubwa na mama wa mtoto wake.

 Katika kipindi hicho akiwa anach­angia shuka na Young Dee, zikavuja picha kwenye mitandao ya kijamii na kuzua gumzo kubwa. Amber Lulu na Young Dee walipiga picha, msichana huyo akiwa amejistiri kwa kufuli tu, huku Young Dee akiwa kifua wazi, tena katika mkao usiofaa kuonekana hadharani.

Baadaye Young Dee alimtuhumu Amber Lulu kwamba ndiye aliyevujisha picha hizo! Hilo likapita, zikafuata drama nyingi tu za mwa­nadada huyo mpaka mwisho alipo­jikuta kwenye mikono ya serikali.

 Naibu Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza akamtaja kama mion­goni mwa wasanii wenye tabia ya kupiga picha za utupu na kuzianika mitandaoni, akapewa onyo kali na kukabidhiwa kwa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ili aendelee kuc­hunguzwa.

Ungeweza kudhani kwamba baa­da ya mwanadada huyo kuwekwa mtu kati na serikali, pengine anawe­za kubadilika lakini wapi! Ndiyo kwanza akawa ameongezwa kasi! Penzi lake na msanii Prezoo kutoka nchini Kenya, ni ushahidi kwamba Amber Lulu ameshindikana!

 Mara kwa mara wamekuwa wakipiga picha wakifanya mambo ambayo hayaandikiki, yanayotakiwa kufanywa chumbani kwa siri, lakini unashtukia Amber Lulu ameposti kwenye mitandao ya kijamii.

Unajaribu kujiuliza, kama hiki ndiyo kizazi cha wasanii tulionao, ambao hawawezi ku-survive mjini bila kutegemea kiki, tena wakati mwingine kiki ambazo si tu zinadhalilisha utu wao, bali zi­naenda kinyume kabisa na maadili, tunaandaa kizazi gani?

 Watoto wa kike ambao leo wapo shuleni, wakimtazama Amber Lulu na kuamini kuwa kile anachokifan­ya ndicho anachotakiwa kukifanya msanii wa kike, miaka michache baadaye tutakuwa na kizazi cha aina gani?

Upuuzi alioufanya na Nuh Mzi­wanda, ni mwendelezo tu wa tabia za hovyohovyo alizonazo Amber Lulu. Lazima ifike ma­hali, Amber Lulu ubadilike.

 Yawezekana uchakaramu ni asili yako, lakini kwani hauwezi kuwa na staha japo kidogo, hasa katika zama hizi ambazo intaneti inasam­baza taarifa kwa kasi kubwa na zitaendelea kuwepo huko mpaka utakapozeeka?

Unataka kesho na kes­hokutwa ukiwa na watoto wajifunze nini kutoka kwako? Unataka jamii ikutafsiri katika kundi gani? Njaa zisikufanye ukaud­halilisha utu wako, take care!


Za Chembe Lazima Ukae | HASH POWER,
+255 719 401 968


 Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play


Huu ndio msimamo wa TFF timu gani itakaoiwakilisha Tanzania Kombe la CAF

$
0
0
Kwa mara ya kwanza katika historia June 2 2018 ndio tutaona mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Azam Sports Federation Cup fainali kwa pasipokuzikutanisha moja kati ya Simba na Yanga huu ukiwa ni msimu wake wa tatu.

Kesho June 2 mchezo huo utachezwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha kwa kuzikutanusha timu Singida United dhidi ya Mtibwa Sugar, mvuto wa mchezo wa fainali hii hautokani na zawadi ya Bingwa kupewa Tsh milioni 50 bali kupata tiketi ya kucheza michuano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika msimu wa 2018/2019.

Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao leo amejibu swali kuhusiana na kudaiwa kuwa Mtibwa Sugara hata akishinda hatoshiriki michuano hiyo kutokana na kufungiwa, Kidao ameeleza kuwa mshindi wa game hiyo ndio atakayeshiriki michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika na sio vinginevyo.

 Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play


PICHA: Star wa Marekani aliyekuja kutembea Tanzania na mpenzi wake

$
0
0
Mtangazaji wa Talk show kubwa nchini marekani anayefahamika kama Ellen DeGeneres ambaye amejipatia umaarufu kutokana na kipindi chake kuwa na mvuto zaidi kwa sababu ya maudhui yake yalivyokuwa yakihusisha mastaa mbalimbali, Utani na hata baadhi ya story zinazowavutia zaidi mashabiki.

Sasa Good news ni kwamba star huyo wa Marekani yupo Tanzania na hiyo imejulikana baada ya kuonekana akiwa mbuga za wanyama na mpenzi wake Portia Derossi ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram akionesha kuwa yupo bongo na kuandika maneno haya….
”Coffee break. #tanzania @theellenshow @mlorentz23 @pjfaulstick @cliffspot @_honeybuck_” – Portia Derossi

Huwenda hii ikawa ni taarifa nzuri haswa kwenye kukuza utalii wa ndani na tukashuhudia list ya mastaa wa kubwa kuja Tanzania ikazidi kuongezeka kutokana na star huyo mkubwa ambaye ameshawai kuhoji mastaa wengine wakubwa Duniani kuja Bongo.


Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Madogo na Mafupi ya Kiume na Hawana Nguvu ?

$
0
0
KWA NINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MADOGO NA MAFUPI YA KIUME NA HAWANA NGUVU ZA KIUME NINI HUCHANGIA?

🌸 kama una Ngiri, au umejichua kwa muda mrefu, punyeto, una stres nyingi Sana, lishe duni, kisukari, presha, kutopata choo vizuri, tumbo kujaa gesi, na kuunguruma chini ya kitovu, kaswende, gono,haya yote husababisha kuwa na maumbile madogo na mafupi ya kiume na kukosa nguvu za kiume.MATIBABU

🌸tumia dawa ya asili itwayo (MASUNZU POWER MIX) inatibu tatizo la nguvu za kiume maradufu inatibu uume mdogo na mfupi na kuimalisha mishipa iliyolegea inarefusha Nchi(4-8) na kunenepesha maumbile na upana (cm3-4) dawa hii haina madhala hata kwa wazee walio na umri wa miaka (70-85) pia inaongea hamu ya kufanya tendo la ndoa Mara (3-5) bila hamu kuisha dawa hii inatibu siku 6 na kupona kabisa

🌸MASUNZU POWER MIX. ni dawa ya asilia yenye mchanganyiko wa mitishamba 7 yenye maajabu yafuatayo kunyoosha mishipa ya askari aliyesinyaa kutokana na kujichua kwa muda mrefu au Ngiri, nk 🌸pia tuna dawa ya kutibu busha bila opresheni

🌸 SOSOMA DX ni dawa ya kumvuta mme au mke mpenzi wako arudi haraka na kuanza mapenzi mapya kama mlivyoanza mwanzo baada ya Masaa 2 atarudi na kutulia ndani ya nyumba

🌸GINDU EXTRA ni dawa ya kutibu kisukari siku 14 unapona kabisa hata kama imepanda 350 itashuka haraka tunatibu presha, vidonda vya tumbo nk:

🌸 OFISI IPO DAR ES SALAAM BUGURUNI CHAMA UNAWEZA KULETEWA POPOTE ULIPO AU SIMU 0673552294 / +255784552299 TABIBU ATHUMAN.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Aiagiza Tamisemi Kutenga Maeneo Maalumu Ya Wamachinga

$
0
0
Benny Mwaipaja, WFM, Dodoma
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameziagiza Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kutenga maeneo maalumu kwa ajili ya wafanyabiashara wadogowadogo (Wamachinga) ili waweze kufanya biashara zao bia bughdha yoyote.

Maagizo hayo yametolewa Jijini Dodoma kwa niaba yake na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, wakati akifunga Mkutano Mkuu wa Shirika la Umoja wa Machinga (SHIUMA) na kuongeza kuwa lengo la Serikali ni kuhakikisha kuwa wafanyabiashara hao wanashiriki kukuza biashara zao na pato la Taifa.

Dkt. Kijaji alisema kuwa wamachinga na wajasiriamali wengine wanapokosa maeneo maalumu ya kufanyia biashara zao inakuwa vigumukupata mikopo kutokana na kutotambuliwa, hivyo Sekta za Fedha zikiwemo Benki kuwa na wasiwasi na urejeshwaji wa Fedha hizo hivyo hatua ya kuwatambua itasaidia kutatua changamoto hiyo.

 “Tanzania inatarajia kuwa na uchumi wa kati unaotegemea viwanda ifikapo mwaka 2025 na wafanyabiashara wakiwemo wamachinga ndio watakaowezesha kufikia lengo hilo kwa kulipa kodi, hivyo Serikali inachokifanya inaweka mazingira mazuri ya kazi kwa wafanya biashara”, alisema Dkt. Kijaji.

Alisema kuwa baada ya maombi ya muda mrefu ya Wamachinga kutaka kutambuliwa, Serikali katika Sheria ya fedha ya mwaka 2017/18 imeanza kutekeleza maombi hayo kwa kuhakikisha wanatambuliwa na kupewa vitambulisho vya Taifa kupitia Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili kurahisha utendaji kazi wao hasa na Sekta ya Fedha kwa kupata mikopo.

Dkt. Kijaji ameipongeza Benki ya NMB ambayo imeendelea kukutana na kuwafadhili wafanyabiashara wadogo ukiwemo Mkutano huo wa SHIUMA kwa kuwa wanatekeleza kwa vitendo azma ya Sekta ya Fedha kuwafikia wananchi wa hali ya chini

Aidha, alirejea pongezi zake kwa baadhi ya benki hapa nchini ikiwemo NMB, CRDB na ABC kwa uamuzi wao wa kushusha riba za mikopo yao na kueleza matumaini yake kwamba wamachinga na wajasiriamali wengine watachangamkia fursa za mikopo hiyo.

Alisema Desemba, 2017 Serikali ilizindua Sera ya huduma ndogo za Fedha itakayowezesha kutambua Taasisi zote ndogo za Fedha zinazokopesha wananchi ili ziweze kuzingatia kanuni za utawala bora zitakazosaidia wafanyabiashara wadogo kukopa kwa kufuata sheria ili kuondoa kudhurumiwa.

Aidha amewapongeza wanachama wa SHIUMA kwa kuanzisha umoja wao utakaosaidia Serikali kupeleka huduma kwa urahisi na kwa usahihi kwa manufaa ya wafanyabiashara na Taifa kwa ujumla na akaahidi kuwa Serikali ipo pamoja nao kwa kuwa ni Serikali inayojali wanyonge.

Akizungumza kwaniaba ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Nchini-IGP Simon Sirro, Kamanda wa Polisi wa Kanda Maalumu ya Kipolisi ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi-Lazaro Mambosasa, amewapiga marufuku watu wote wanaopora mali za wamachinga nchi nzima.

Alisema kuwa Jeshi lake litawachukulia hatua kali wale wote watakaojihusisha kwa namna moja au nyingine kunyang’anya ama kutaifisha bidhaa za wafanyabiashara wadogowadogo popote pale kwa kuwa vitendo hivyo havikubaliki.

 “Watu wote waliokuwa wanajipatia mali za wamachinga kwa kuwanyanganya bila kupeleka kwenye Mamlaka husika na badala yake wanauza na kutumia huoni unyang’anyi na atakayefanya hivyo atashughulikiwa kwa mujibu wa sheria.

Alisema Umoja huo wa wamachinga usikubali kushawishiwa kwa nia ovu na watu na baaada ya kujinufaisha binafsi wanawaacha wafanyabiashara hao bila chochote.

Mwenyekiti wa Shirika la Umoja wa Machinga Bw. Ernest Masanja alisema kuwa Wanaunga mkono Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuwa imeonesha nia ya kuwajali wanyonge hasa wamachinga.

Bw. Masanja alisema katika Mkutano huo wameazimia kushirikiana na TRA wakati wa kutoa semina kuhusu namana ya kulipa kodi na pia wanachama wa vikundi vyote vya wamachinga vilivyo sajiliwa wapewe vitambulisho vya Taifa ili wasajiliwe na Mamlaka hiyo.

Naye Kamishna Msaidizi wa Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Dodoma Bw. Peter Kundy alieleza kuwa mpaka sasa kwa Wilaya ya Dodoma Mjini, zoezi la Uhakiki na uandikishaji kwa ajili ya vitambulisho vya Taifa imefanyika kwa kata 41 na zimesalia 6 pekee na zoezi lililobaki ni kutoa pingamizi kwa wasio stahili ili ifikapo Desemba zoezi hilo la utoaji vitambulisho litakuwa limekamilika.

Alisema  zaidi ya watumishi mia tano kutoka Idara ya Uhamiaji wamepelekwa nchi nzima ili kuharakisha zoezi la upatikanaji wa vitambulisho hivyo ili kusaidia katika upatikanaji wa mikopo katika sekta za fedha, elimu, afya na hata hati za kusafiria nje ya nchi kwa ajili ya shughuli za uchumi.

Shirika la Umoja wa Wamachinga (SHIUMA), limeanzishwa hivi karibuni likiwa na lengo la kuwaunganisha wafanyabishara wadogo wadogo nchini kote.

Ifahamu Sababu ya Mwanamuziki Amani wa Kenya Kuamua Kufanya Muziki wa “Gospel”

$
0
0
Ipate hii story kutoka kwa staa wa muziki kutokea +254 Nairobi Kenya Ceciliah Wairimu maarufu kama Amani ambaye miaka kadhaa iliyoipita alitamba na ngoma zake kali ikiwemo Missing my baby, Tonight na kiboko yangu ambazo zilimpatia umaarufu Afrika Mashariki.

Staa huyo ameonekana kuachia ngazi za muziki wa kidunia na kuamua kumrudia Mungu kwa kufanya muziki wa gospel na ame’share mawazo yake na maisha yake mapya na mwandishi wa Daily Nation Lilys Njeru.

Kupitia mahojiano yao Amani ameeleza kuwa kuimba gospel ni kitu ambacho alikuwa akikifikiria kwa muda mrefu na kufikia hatua ya kuchoka kufanya shows usiku na kurudi nyumbani mida ya usiku akiwa amechoka.

“Nimekuwa nikifikiria hichi kitu tokea 2011 lakini niliendelea kufanya muziki wangu wa kawaida, baada ya miaka mitatu iliyopita niliamua kuachana na muziki niliokuwa nikifanya”
 "Mama yangu ni mtu wa kwanza kufahamu kuhusiana na mimi kuachana na muziki wa kidunia na kufanya gospel na alifurahi sana kwasababu amekuwa akinipa ushirikiano sana”

Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play

Jiji la Mwanza Kitovu cha Pili cha Uchumi Tanzania

$
0
0

Na James Timber, Mwanza
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella amesema Jiji lake ni kitovu cha pili cha uchumi ukitoka Mkoa wa Dar es salaam unaochangia mfuko wa taifa.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa benki ya Ecobank  jijini hapa Mongella alisema, zaidi ya shilingi Billion 4 zimetengwa kwa ajili ya kulipa fidia kwa wakazi wa eneo la Fella Wilayani Misungwi lenye ukubwa wa hekta 1500 eneo hilo litajengwa bandari ya nchi kavu ambayo reli ya standard gauge itaishia.

Mongella aliitaka Benki hiyo kutengeneza bidhaa itayoitambulisha kanda ya ziwa na kuwataka wawekezaji wengine waje Mwanza kwa kuwa ujenzi wa viwanda unaendelea na halmashauri zote zinaendelea kutenga maeneo kwa ajili ya viwanda.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Ecobank Peter Machunde aliwataka watu wanaosambaza maneno ya kuwa benki hiyo ni yakinaijeria waache kwakuwa hiyo siyo benki ya kinaijeria na kuwa Makao Makuu yake ni Togo.

Aidha alisema kuwa benki ya kiafrika (Pan Africa) na sio kama wanavosema baadhi ya watu kuwa ni ya kinaijeria”alisema Machunde.

Pia alisena kuwa Benki ya EcoBank inafanya kazi kwenye nchi 35, ina matawi 1700 na matawi yaliyopo nchini ni matawi saba pekee.

 Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play


Video Vixen, Poshy Queen Adai Hawezi Kutokea Kwenye Video ya Msanii wa Bongo Bila Milioni 5

$
0
0
Mwanadada anayekuja kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii adai hawezi kutokea kwenye video yeyote ya Msanii wa Bongo yaani (video vixen) bila Shilingi Million 5 .Hii amekuwa akisikika kwenye baadhi ya interview za media mbalimbali.

Kutokana na muonekano wake unadhani anastahili hilo dau...?


Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play

Sina mpenzi, lakini huyo ndiye shemeji yenu – Rosa Ree

$
0
0

Msanii wa muziki wa hip hop Bongo, Rosa Ree amefunguka kuhusu maisha yake ya kimapenzi.

Rapper huyo amesema kwa sasa yupo single ila atakapoingia katika mahusiano hatosita kuwajuza mashabiki wake.

“Niko na only my hustle, am marry with my hustle guys, ni kitu ambacho nasema sana sina mpenzi lakini kweli na siku nikiwa na mpenzi mtamfahamu na nitawaambia huyo ndiye shemeji yenu, yeah!, let just wait for that day,” Rosa Ree ameiambia Bongo5.

Alipoulizwa baada ya kukabidhiwa mjengo na menejimenti yake mpya, Dimo production ataishi na nani, alijibu; ‘Yes, mimi mwenyewe na familia yangu watakuwepo around me lakini for now is just me’.

Rosa Ree kwa sasa anatamba na ngoma ‘Way Up’ ambayo amemshirikisha rapper Emtee kutoka Afrika Kusini, video ya wimbo huo inatarajiwa kutoka leo, June 01, 2018.

Bongo5 Tazama Rosa Ree na Emtee Walivyokinukisha Kwenye Chupa Hili..Bonyeza Play

Rais Magufuli Ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani

$
0
0

Rais Magufuli Ateua Majaji wa Mahakama ya Rufani

Panya Kuanza Kutumika Kama Kitoweo Rasmi Huko Mtwara...Yadaiwa Wana Saidia Afya

$
0
0

MTWARA: Wataalamu wa sayansi ya mifugo mkoani humo wameombwa watafute mbegu nzuri ya Panya watakaokuwa wakitumika kwa kitoweo

Mapendekezo hayo yametolewa kutokana kitoweo cha Panya kupendelewa zaidi mkoani kwa kuwa wanaprotini nyingi

Protini inayopatikana kwa Panya imeelezwa kuwa ni muhimu kwa wazee na watu waliodhoofika kwa magonjwa mbalimbali

Wakazi wa Wilaya ya Masasi husaka Panya kwa udi na uvumba kwani mbali ya kuwa ni kitoweo lakini pia hujiajiri katika biashara ya uuzaji wa kitoweo hicho

Imebainika kuwa Panya au Samaki nchanga hutumika kwa chakula kwa watu wenye asili ya mikoa mingine waliojifunza kula kitoweo hicho

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Jana na Leo

$
0
0

Makanga 3 Power; Dawa Bora Nguvu Za Kiume

$
0
0
Kutibu nguvu za kiume dakika(10) na kupona muda wa siku tatu tuu. Kuimarisha misuli ya uume uliolegea, pia ipo Dawa ya kurefusha uume mfupi inchi NNE hadi saba na kunenepesha uume mfupi sentimita NNE.

Tiba ya kudumu kutibu maumivu ya mgongo,kiuno, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, kupata choo vizuri, na kutibu uzazi, kutibu busha bila operesheni, kisukari, presha ,miguu kuuma, uzazi, fangas sugu, vidonda vya tumbo.

Ni docta bingwa wa kutibu magonjwa sugu, kutoa ndagu za utajiri kwa kutumia Pete, kazi ,cheni, mikufu maalumu ya bahati, una kesi umedhulumiwa Mali au pesa? Zitarudi muda wa Masaa matatu tuu.

Onana na Dr shilindes shida zako zote zitakwisha, anatoa Dawa za utajiri kwa wafanyakazi, wakulima, na wafugaji, wafanyabiashara na wachimba madini kwa kutumia pete, kazi kwa yeyote anaetaka kuwa na pesa nyingi.

Pia anaboresha akili kwa wanafunzi darasani, masomo na kufaulu mitihani pia kushinda bahati nasibu yeyote.

Pia tunatoa Dawa kumrudisha Mume, mke, mpenzi, hawara, kwa muda wa SAA moja tuu, na kuomba msamaha kwa kukupigia magoti na yeyote yule, unaemtaka kimapenzi au kuoana, utampata na kumfunga asitoke nje ya ndoa daima na kutekeleza shida zako zote. Kupunguza unene, kupunguza matiti makubwa, tumbo na nyama uzembe muda wa siku sita unapata saizi uipendayo.

Kutoa makovu mwilini, chunusi, upele na mabaka, pia tunayo Dawa ya kuongeza hipsi, makalio, mguu wa bia na kupata shepu safi kwa muda wa siku saba tuu.

Wa mikoani mtapata huduma popote mlipo.
Tupo dar es salam mbagala rangi tatu.

Mawasiliano simu namba: 0784 460 348. Au 0659 103 360.

Uhuru Kenyatta Awatangazia kiama Mafisadi Serikalini

$
0
0
Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta amesema kuwa maofisa kadhaa waandamizi wa serikali watakamatwa na kushtakiwa katika mapambano yanayoendelea dhidi ya ufisadi.

Akiwahutubia wananchi katika maadhimisho ya Siku ya Madaraka yaliyofanyika leo katika Uwanja wa Kinoru, Rais Kenyatta amesema mpaka sasa amefurahishwa na idadi ya waliokamatwa na akaongeza kuwa uongozi wake hautakuwa na msamaha na watu hao.

“Nawataka maofisa, hasa waandamizi ambao wametuhumiwa moja kwa moja katika kashfa ya ufisadi wajue hawana nafasi katika serikali yangu na ni kwa wao kwenda jela basi hatimaye lazima ushughulikiwe kwa nguvu zote"amesema Kenyatta.

Ripoti kadhaa kuhusu kashfa ya ufisadi wa mabilioni ya shilingi na ambayo inaweza kuathiri mafanikio ya chama cha Jubilee sasa zinamwangazia Rais Kenyatta mwenyewe.

CHADEMA Wangeniteua Nisingekubali, Mimi si Mwanasiasa – Dkt. Hellen Kijo-Bisimba

$
0
0
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Hellen Kijo Bi – Simba baada ya kustaafu amesema kuwa taarifa zilizoenea kwenye mitandao ya Kijamii za kuteuliwa na Baraza la Wazee wa Chadema si la Kweli na hata angeteuliwa na CHADEMA asingekubali kwasababu yeye si Mwanasiasa:

Tazama Video hii Akieleza.


Kuna Wanaharakati wa Haki za Wanawake Wanapigwa na Waume zao Lakini Hawasemi – Joyce Kiria

$
0
0
Mwanaharakati wa kutetea haki za wanawake Joyce Kiria amefunguka kwa kudai kwamba kuna baadhi ya wanawake ambao wanafanya kazi kama yake na wanapigwa na wanaume wao lakini wanashindwa kujitangaza kwa kuogopa aibu.

Mrembo huyo miezi miwili iliyopita alitangaza kwamba amedundwa na aliyekuwa mume wake, Henry Kileo na baadaye  mashabiki  pamoja na wadau mbalimbali kumponda kutokana na tukio la kujitangaza.

Joyce Ijumaa hii alikuwa EFM redio ambapo amefunguka mambo mbalimbali pamoja na kudai kuna wanawake wanaharakati wanadudwa na waume zao lakini wanashindwa kuweka uovu huo hadharani.

“Kuna wanaharakati wanaojiita wanaharakati (Wanawake) wanapigwa, kudhalilishwa na kufanyiwa matendo mengi ya udhalilishaji lakini hawasemi,” alisema mwanamke kupitia kituo  hicho cha redio.

Aliongeza, “Kuwa kioo cha jamii haimaanishi ufiche yakwako yanayokuumiza. Mimi kama superwoman Joyce Kiria nimekua mfano wa kuwasemea wanawake wengine wanao nyanyasika”

Baada ya tukio hilo mwanaharakati huyo aliachana na mume wake huyo na baadaye kuonekana katika kampeni ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda  ya wanawake waliotelekezwa na waume zao lakini alivyofuatwa alitaa kuzungumza kilichompeleka ofisini hapo.
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live




Latest Images