Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104809 articles
Browse latest View live

Upinzani Kufa si Kigezo CCM Kutawala Milele- Sumaye

$
0
0
 Upinzani Kufa si Kigezo CCM Kutawala Milele- Sumaye
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye amesema vyama vya upinzani nchini vikifa si kigezo cha CCM kutawala milele na bila hofu.

"CCM isidhani kuvikandamiza vyama vya upinzani ni ufahari, upinzani ukifa CCM watashindwa kutekeleza maendeleo kutokana na ukosefu wa demokrasia. Wanapaswa kutambua kuwa vyama vya upinzani ndio vinachochea maendeleo,” amesema Sumaye.

Sumaye ambaye alikuwa waziri mkuu kuanzia mwaka 1995 hadi 2005 ametoa  kauli hiyo jana  Alhamisi Julai 19, 2018 wakati akimnadi mgombea udiwani kata ya Bagara (Chadema), Mathias Zebedayo katika mkutano wa kampeni uliofanyika mtaa wa Ngarenaro mjini Babati mkoani Manyara.

Amesema upinzani unapoona jambo halipo sawa hukemea na kuipa nafasi Serikali kurekebisha jambo husika, “kuwa kwenye upinzani si uadui kama baadhi ya watu wanavyodhani.”

Amesema wananchi wanapaswa kutambua umuhimu wa demokrasia ya vyama vingi kwani si uhasama, kusisitiza kuwa vyama vya siasa vikishindana kwa hoja, wanaonufaika ni wananchi.

“Vyama vitakuwa vinachuana majukwaani na chama kilichopo madarakani kitahofia kupokonywa madaraka hivyo hakitazubaa kitakuwa kinatimiza ahadi zake kwa kuwatumikia ipasavyo wananchi,” amesema.

Kwa upande wake mbunge wa Babati Mjini (Chadema), Pauline Gekul amesema wananchi wa Bagara wanapaswa kumchagua mgombea wa chama hicho kikuu cha upinzani nchini kwa maelezo kuwa miaka mitatu ya kata hiyo kuwa chini ya diwani wa Chadema, miradi ya maendeleo imeonekana.

“Katika mkoa wa Manyara kuna majimbo saba lakini matano yanaongozwa na CCM. Ila hakuna jimbo linalofanana na Babati Mjini ambayo inaongoza kwa kutekeleza shughuli za maendeleo,” amesema.

Kwa upande wake Zebedayo amesema hawezi kununuliwa kama chakula kama ilivyotokea kwa madiwani wengine waliohamia CCM.

“Sitakubali  kuapishwa mara mbili kwenye udiwani yaani eti, niapishwe mwaka 2015 kisha nijiuzulu mwenyewe nihame chama halafu nije tena niwaombe mnichague, hapana sitafanya hivyo," amesema Zebedayo.


Hivi Ndivyo Wema Alivyowasili Mahakamani Kusikiliza Kesi Yake

$
0
0
Hivi Ndivyo Wema AlivyowasiliNahakamani Kusikiliza Kesi Yake
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu, leo Ijumaa, Julai 20, 2018 inatarajiwa kutoa hukumu katika kesi ya dawa za kulevya inayomkabili muigizaji wa filamu nchini, Wema Sepetu na wenzake wawili.

Tayari Wema ameshawasili mahakamani hapo akiwa ameongozana na mama yake mzazi, Mariam Sepetu.

Wema anakabiliwa na kesi ya kutumia dawa za kulevya aina ya bhangi, na kesi hiyo imehairishwa Julai 20, 2018.

Waziri Mkuu wa Korea Kusini Kutua Nchini Kesho kwa Ziara ya Kikazi

$
0
0
Waziri Mkuu wa Korea Kusini Kutua Nchini Kesho kwa Ziara ya Kikazi
Mhe. Lee Nak-yon (pichani) atafanya ziara ya kikazi nchini kwa mwaliko wa mwenyeji wake, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), kuanzia tarehe 21 hadi 23 Julai 2018. Ziara hiyo itakuwa ya kwanza kufanywa na kiongozi wa ngazi ya juu kutoka Jamhuri ya Korea tangu nchi zetu mbili zianzishe mahusiano ya kidiplomasia mwaka 1992. 


Madhumuni ya ziara hiyo ni kuimarisha ushirikiano na uhusiano wa kidiplomasia kati ya nchi hizo mbili na kufungua zaidi fursa za ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi katika ngazi na sekta mbalimbali. Mhe. Waziri Mkuu Lee atafuatana na ujumbe mzito wa maafisa wa Serikali, wabunge na wafanyabiashara wakubwa. Ujumbe wa wafanyabiashara utakaoongozana na Mhe. Lee unatarajiwa kukutana na wenzao wa Tanzania katika Mkutano wa Pili wa Jukwaa la Wafanyabiashara uliopangwa kufanyika jijini Dar es Salaam tarehe 23 Julai 2018. Mkutano wa kwanza ambao ulikuwa na mafanikio makubwa ulifanyika Seoul mwezi Februari 2018.
Mhe. Lee Nak-yon atawasili nchini saa kumi na mbili na nusu jioni (12:30) ya tarehe 21 Julai 2018 na atapokelewa na mwenyeji wake Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Siku inayofuata, Waziri Mkuu Lee na mwenyeji wake Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa (Mb.), watafanya mazungumzo rasmi jijini Dar es Salaam na baadaye watashuhudia uwekaji saini wa mkataba wa kuondoa hitaji la visa kwa wenye hati za kusafiria za kidiplomasia na za utumishi (diplomatic and official/service passport). Aidha, Mhe. Lee atakutana na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa ajili ya kusalimiana.
Jamhuri ya Korea ni mshirika mkubwa wa maendeleo wa Tanzania ambapo kupitia  Shirika la Kimataifa la Maendeleo (KOICA) na Mfuko wa Ushirikiano wa Uchumi na Maendeleo (EDCF) yamekuwa yakitoa misaada na mikopo mingi ya masharti nafuu kwa Tanzania ikiwemo misaada ya fedha katika bajeti, ujenzi wa miundombinu ya jamii, mafunzo ya muda mfupi na mrefu, wataalamu mbalimbali wa kujitolea, vifaa na mashine kwa ajili ya sekta mbalimbali ikiwemo ya afya.
Baadhi ya miradi ambayo imegharamiwa na Serikali ya Korea ni pamoja na Mradi wa kuboresha Huduma ya Mama na Mtoto katika Hospitali ya Chanika, Mradi wa Mfumo wa Usajili wa Meli na Mabaharia kwa Njia ya Mtandao Zanzibar, Mradi wa Ujenzi wa Hospitali ya Taifa ya Taaluma na Tiba (MUHAS) kampasi ya Mloganzila na ujenzi wa daraja katika mto Malagarasi.
Vile vile, Korea ni mshirika mkubwa katika kusaidia maendeleo ya Bara la Afrika ambapo hivi karibuni katika mkutano wa Sita wa Jukwaa la Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea na Africa (KOAFEC VI) uliofanyika mwezi Mei 2018, Busan, Korea ambapo Serikali ya Korea ilitangaza msaada wa Dola za Marekani bilioni 5 kwa ajili ya Bara la Afrika kwa kipindi cha mwaka 2018/2020. Tanzania ni miongoni mwa nchi zitakazonufaika na msaada huo.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dar es Salaam

19 Julai 2018

Shilole Awatolea Povu Wadangaji na Wanaojifanya Masuperstar wa Instagram

$
0
0
Shilole Awatolea Povu Wadangaji na Wanaojifanya Masuperstar wa Instagram
Mwanamuziki wa kizazi kipya shilole awatolea uvivu wanawake wanaopenda kuishi maisha ya kudanga na wale wanaojigamba kuwa masupastaa lakini hawana pa kulala.

Shilole ameongea hayo wakati alipofanyiwa mahojiano na wasafi TV na kutoa yake ya moyoni kuhusu tabia mbaya wanazozifanya wanawake wengi wa mjini ili maisha yao yawaendee vizuri.

 " Mwanamke inabidi ujitambue heshimu thamani yako we ni nani sio kudanga na wanaume kibao wakati hao wanaume wakikutana wanaambiana tayali nishapita pale jana mwanamke mwanamke wa kudanga ni mfu Mtarajiwa akijiheshimu ataheshimiwa " alisema shilole

"Uwezi kuwa supastaa ukawa hauna pa kuishi, huna gari na anamaisha yake uwezi kujiita supastaa wa instagram wakati pa kuishi ni shida mimi naweza kusema naweza kulala popote hata kama kwenye gari lakini nina nyumba yangu majohe ambapo muda wowote naweza kwenda"


Breaking News: Wema Sepetu Akutwa na Hatia Ahukumiwa Kwenda Jela Mwaka Mmoja

$
0
0

Breaking News: Wema Sepetu Ahukumiwa Kwenda Jela Mwaka Mmoja au Faini Milioni Mbili
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu amehukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela au kulipa faini ya milioni 2 baada ya kukutwa na makosa mawili ya kutumia na kuhifadhi dawa za kulevya aina ya Bangi nyumbani kwake.

Akisomewa hukumu hiyo leo Julai 20, 2018 katika Makahama ya Mkazi Kisutu jijini Dar es salaam, Wema Sepetu ametakiwa kulipa faini hiyo na kama akishindwa basi atapelekwa jela kutumikia adhabu hiyo.

Katika hukumu nyingine wafanyakazi wawili wa ndani wa msanii huyo ambao nao walitajwa kwenye kesi hiyo wameachiwa huru na mahakama hiyo kwa kukutwa bila hatia.

Surveyed plots for sale: Mapinga (Baobab Sec, km 5 kutoka Bunju-DSM)

$
0
0

Surveyed plots for sale: Mapinga (Baobab Sec, km 5 kutoka Bunju-DSM)
Viwanja ni vikubwa sana (low density plots). Viwanja viko umbali wa km 2 kutoka main road (Bagamoyo Road).
Ziko plots za sqm 1400, sqm 2100, na sqm 2700.
Bei ya kila sqm ni sh 13,000 (negotiable)
Huduma za kijamii (maji, umeme) zipo na miundombinu yote iko vizuri (mradi wa kusogeza lami mpaka nyumbani umeanza). Ramani zote (Town plan & Deed plan) zipo tayari. Hati ya miaka 99 itapatikana ndani ya miezi 2 tu.
hakuna dalali, contact mhusika: 0758603077, whatsap 0757489709

Pia, vipo viwanja vya bei nafuu sana ambavyo taratibu za upimaji zimeanza lakini bado hazijakamilika (on-process). Hivi viko Kimele, ni kilometa 3 kutoka main road (Bagamoyo Road). Viwanja viko planned (kwa mpangilio mzuri) na ukinunua unapimiwa ili upate hati kwa gharama ya sh 300,000 tu.
Bei ya viwanja inabadilika kuendana na size ya kiwanja ulichochagua.
Bei ni: milion 2 for 10/20, mil 3 for 15/20, mil 4 for 20/20, mil 5 for 25/20, mil 6 for 20/30, mil 8 for 20/40, mil 11 for 25/45, mil 12 for 30/40 na mil 16 for 40/40, mil 20 for 0.5acre, mil 38 for 1 acre. luksa kulipa kwa awamu ndani ya miezi 3-4
Hakuna dalali, mpigie mhusika, 0758603077, whatsap 0757489709

Steve Nyerere na waigizaji wa Bongo Movie waishukuru Mahakama kwa kumhukumu Wema Sepetu mwaka mmoja jela

$
0
0

Steve Nyerere na waigizaji wengine wa filamu wajitok hukumu ya Wema Sepetu (+video)
FacebookTwitterShare via Email
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere ametoa ya moyoni baada ya kushuhudia hukumu ya Wema Sepetu ya mwaka mmoja jela au kulipa faini ya milioni 2 kwa kosa la kukutwa na kutumia madawa ya kulevya.



Steve Nyerere akizungumza na Bongo5 amesema anaishukuru sana Mahakama kwa hukumu hiyo ya mwaka mmoja jela au faini ya milioni mbili kwani maamuzi ya mahakama ni sahihi na yatamfanya Wema Sepetu aishi kwa uhuru na kufanya kazi zake kama kawaida.

Pata Tiba ya Tatizo la Nguvu Za Kiume, nasaidia Kukufanya Urudie Mara 5 na kuchelewa kwa Dakika 20

$
0
0

TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME NA MAUMBILE MADOGO LINATIBIKA.Baada ya utafiti wa mda mrefu juu ya matatizo ya upungufu wa nguvu za kiume na ukosaji wa hamu ya tendo la ndoa ama kushindwa kurudia tendo kwa haraka DR Magise imekuletea tiba ya matatizo hayo kwa kutumia dawa za: 

GUMBA POWER:Ni dawa asili ya vidonge inayotibu tatizo la upungufu au ukosefu wa nguvu za kiume,dawa hii inamchanganyiko wakutosha wenyekuzalisha vichocheo vingi vya Hemone za Gestrogen vikiwemo vitamin B6&B1,vitamini E,pamoja na madini aina ya zinc vitakufanya kuwa na nguvu na mzunguko mzuri wa damu na kuongeza hamu na uwezo wa kufanya tendo la ndoa zaidi ya hatua nne au zaidi,na kuchelewa kufika kileleni zaidi dakka 20-30. 

NTINJE:Inarutubisha maumbile ya uume yani kurefusha na kunenepesha nchi 4-7 upana cm3-4 standard kiafya haijalishi umri wako hata kwa wazee ukiitumia maumbile yako yatabaki kuwa hivyo siku zote,Pia tunatibu Presha,kisukari siku7,ngiri,chango la tumbo tumbo kujaa gesi,kutopata choo vizuri 

 TUPO TZ DAR ES SALAAM   MBAGALA RANGI TATU.HUDUMA HII UTALETEWA POPOTE ULIPO .WASILIANA NAMI 0754741788, 0715741788, 0783741788 

-DR MAGISE 

Kauli ya Idriss Baada ya Hukumu ya Wema Sepetu "Kama Vipi Ntalipa"

$
0
0
Kauli ya Idriss Baada ya Hukumu ya Wema Sepetu "Kama Vipi Ntalipa"
Baada ya hukumu ya Wema Sepetu kutoka leo July 20,2018 na kuhukumiwa mwaka mmoja jela au kulipa faini ya shilling Milion 2, Idris Sultan ambaye aliwahi kuwa mapenzini na Wema Sepetu ameamua kusema kuwa atamsaidia kulipa  faini hiyo ya Milion 2 aliyoamuriwa na mahakama.

Maneno hayo ameyasema kupitia ukurasa wake wa instagram baada ya ku-post nusu picha ya Wema Sepetu na kuandika “🍒 wa sultan hawakai mbali na Sultan kama vipi nitalipa 😒”



Waziri Mwijage Atengua Uteuzi wa Mkurugenzi wa BRELA

$
0
0
Waziri Mwijage atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa BRELA
Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji  Charles John Mwijage ametengua uteuzi wa Mkurugenzi waWakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) Bw. Frank Kanyusi Frank kuanzia leo tarehe 20 Julai 2018.

Kufuatia utenguzi huo Bw. Frank Kanyusi atapangiwa kazi nyingine.

Hiki Hapa Choo Chenye Thamani ya Tsh. Milioni 200

$
0
0
Choo chenye thamani ya Tsh. milioni 200
Louis Vuitton ni kampuni ya fashion ya Ufaransa ilioanzishwa mwaka 1854 na mwanamitindo maarufu Louis Vuitton na kampuni hiyo ni maarufu kwa kutengeneza vitu mbalimbali kama bags, viatu, nguo, accessories, miwani na mpaka vitabu.

Kampuni ya LV iliwahi kutajwa kama kampuni namba moja kwa utengenezaji wa vitu vyenye thamani ya juu zaidi duniani na bado haijaacha kubuni vitu vya kitofauti na vyenye gharama ya juu zaidi ambapo mwaka huu wa 2018 wamezindua choo cha kukaa cha brand ya Louis Vuitton chenye thamani ya Dola 100,000 za kimarekani ambazo ni zaidi ya Shillingi Milioni 220 za Kitanzania.

Louis Vuitton ni moja kati ya kampuni kubwa za fashion duniani na kwa miaka sita mfululizo kuanzia 2006 hadi 2012 kampuni hiyo ya Louis Vuitton ilitajwa kama kampuni namba moja kwa utengenezaji wa vitu vyenye thamani ya juu zaidi.

Pia kwa mwaka huu 2018 Louis Vuitton ndio kampuni pekee iliyokuwa imepewa nafasi ya kutengeneza begi maalum la kubebea Kombe la Dunia lililofanyika nchini Urusi.

Jeneza la Ajabu Lililogunduliwa Misri Lafunguliwa

$
0
0
Jeneza la Ajabu Lililogunduliwa Misri Lafunguliwa
Wiki tatu zilizopita, wanaakiolojia nchini Misri waligundua jeneza kubwa lililoundwa kwa mawe magumu ya matale (granite) ya rangi nyeusi katika mji wa Alexandria.

Jeneza hilo lilikuwa limekaa kwa zaidi ya miaka 2,000 bila kufunguliwa.

Uvumi ulianza kueneza upesi, kwamba huenda jeneza hilo lilikuwa na mabaki ya kiongozi maarufu wa Wagiriki, Alexander the Great, au pengine kitu cha laanakubwa.

Kwa mujibu wa wataalamu waliolofungua, jeneza hilo halikuwa na hata kimoja kati ya vitu hivyo viwili.

Badala yake, waligundua mifupa ya watu watatu na maji machafu sana ya rangi ya hudhurungi ambayo yalitoa uvundo usioweza kuvumiliwa, mkali ajabu.

Waziri wa Vitu vya Kale wa Misri alikuwa ameteua kamati ya wanaakiolojia wa kufungua jeneza hilo ambalo liligunduliwa katika eneo kulikokuwa kunafanyika ujenzi.

Barakah The Prince Ampa Heshima Alikiba "Nimejifunza Mengi Toka Kwake"

$
0
0
 Barakah The Prince Ampa Heshima Alikiba "Nimejifunza Mengi Toka Kwake"
Msanii wa muziki wa Bongo fleva Barakah The Prince amempa heshima msanii mkongwe wa Bongo fleva Ali Kiba na kudai ni msanii mwenye experience kubwa Kwenye Bongo fleva.

Barakah alikuwa chini ya Label ya Rockstar 4000 ambayo inaendeshwa na Ali Kiba lakini baada ya miaka michache ndani ya Label hiyo BAraka alitangaza kujitoa na kuanza kufanya Muziki wake mwenyewe.

Baada ya kutoka Rockstar Baraka aliwatuhumu kwa kufanya njema mbali mbali za kumrudisha nyuma kimuziki ikiwemo mapema mwaka huu aliwatuhumu kwa kufuta nyimbo zake Youtube.

Lakini sasa inaelekea Baraka amerudi katika nafasi nzuri na Ali Kiba kwani Kwenye Interview yake na kipindi cha refresh cha Wasafi Tv, Baraka amemtaja Ali Kiba kama mtu aliyemfundisha mambo mengi kwenye sanaa kutokana na experience yake;

"Ali Kiba ni mkubwa na ana experience Kwenye Industry more than me kwaiyo muda ambao nilikuwa naye nilijifunza vitu vingi Kimuziki na kusema kweli nilikuwa niijua thamani yangu kama msanii na nilijua nini natakiwa kufanya ili kufanikiwa maana yeye ameshakula matunda ya Muziki wetu”.

Barakah amesema kwa sasa hana mpango wa kusainiwa chini ya label yoyote hapa Tanzania labda hapo baadae.

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Maombi ya Kibatala Kesi ya Mbowe na Wenzake Kurudishwa Tena Kisutu

$
0
0
Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Maombi ya Kibatala Kesi ya Mbowe na Wenzake Kurudishwa Tena Kisutu
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam, chini ya jaji Rehema sameji imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa  na wakili Peter Kibatala, alioomba shauri la kesi iliokuwa inawakabili mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (chadema) ambae pia ni Mbunge wa Hai Mh.Freeman Mbowe na viongozi wenzake, ambalo alitaka kuhamishiwa  Mahakama Kuu, na upande wa mahakama kuamua shauri hilo kurudishwa tena kusikilizwa katika mahakama ya kisutu iliyopo jijini Dar es salaam

Ambapo Upande wa mahakama umedai kuwa Hoja za upande wa utetezi hazina mashiko, chini ya kifungu kilichowasilishwa na upande wa tetezi, ambapo mahakama hiyo  imedai kifungu hiko hakipo, mahakama kuu haina uwezo wa kusikiliza kesi iyo, na kutupilia mbali kesi hiyo na kuendelea kusikilizwa tarehe 25 mwezi huu katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu.

Mwenyekiti wa chama hicho Mh. Freeman Mbowe wanakabiliwa na mashtaka mbali mbali pamoja na wenzake ambayo yalisababisha uharibifu na kifo cha mwanafunzi akwillina mnamo mwezi wa pili mwaka huu 2018.

Pia Bulaya na wenzake wanakabiliwa na shtaka la kufanya mkusanyiko usio halali kinyume na sheria Februari 16, katika barabara ya Kawawa eneo la Mkwajuni wilayani Kinondoni Jijini Dar es Salaam; kutotekeleza agizo la polisi lililowataka kutawanyika na kusababisha kifo cha Akwilina Akwilini, aliyekuwa mwanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) na kujeruhiwa askari wawili. Bulaya ambaye yupo nje kwa dhamana anakabiliwa na shtaka la peke yake akidaiwa kushawishi kutendeka kosa la jinai.
Washtakiwa wengine ni Mbunge wa Iringa Mjini, Peter Msigwa; Naibu katibu mkuu (Zanzibar), Salum Mwalimu; N aibu katibu mkuu (Bara) na mbunge wa Kibamba, John Mnyika; mbunge wa Tarime Mjini, Esther Matiko; katibu mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji; mbunge wa Kawe, Halima Mdee; na mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche.

Wema Anusurika Kwenda Jela Baada ya Kulipa Faini ya Milioni 2

$
0
0
Wema Anusurika Kwenda Jela Baada ya Kulipa Faini ya Milioni 2
KUFUATIA hukumu iliyomkumba msanii Wema Sepetu ya mwaka mmoja jela au kulipa ya Tsh. Milioni 2, kwa makosa mawili ya kutumia madawa ya kulevya na kukutwa na madawa hayo nyumbani kwake, msanii huyo amelipa faini hiyo mahakamani hivyo hatotumikia kifungo hicho.

Hayo yameelezwa leo nje ya lango la Mahakama ya hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar na Wakili wa Wema, Albert Msando ambaye amesema Wema hatotumikia kifungo hicho kwani tayari wameshafanya taratibu za kulipa faini ya milioni mbili kama mahakama ilivyoamuru.

Aidha, Msando amewataka wasanii kutojihusisha na madawa ya kulevya huku akisema kwamba Wema atakuwa balozi mzuri wa kuhimiza vijana na wasanii wenzake kuachana au kutokujiingiza kwenye  matumizi ya dawa za kulevya.

Pia amesema kwamba, kesi ya Wema imekuwa ndefu kwa sababu hakukubari mapema iwapo anatumia madawa ya kulevya kama ilivyokuwa kwa wasnii wenzake wakiwemo TID na Petit Man.

Sholo Mwamba: Nilitoka kwa Muna Sababu ya Mambo Yanamtokea Puani sasa Siwezi Kuwaita Wakina Dogo Janja Baba

$
0
0
Sholo Mwamba Afunguka Mazito Kuhusu Muna "Nilitoka kwa Muna Sababu ya Mambo  Yanamtokea Puani sasa Siwezi Kuwaita Wakina Dogo Janja Baba"
Msanii wa singeli nchini, Sholo Mwamba ambae hapo awali aliwahi kufanya kazi na muna love ameongea na waandishi wa habari na kusema kuwa amesikia habari za muna kufiwa na mtoto wke na amesikitishwa sana lakini yeye na muna hawana mawasiliano yoyote hivyo anatuma salamu zake za pole.

Sholo anasema kuwa hata katika akaunti zake za instagram alishamblock kwaio hana namna ya kuwaisliana nae lakini hajawahi kujua habari zozte za peter lakini ameshawahi kuonana na casto mara nyingi sana na hata hospitali mtoto alipokuwa akiumwa walikuwa wakiangaika na casto hospitali.

Muna ameniblock instagram , lakini habari za msiba wa mtoto ninazo.nampa pole sana .kuhusu huyu peter mimi sijawahi kumuona kabisa ila nilishawahi kunuona casto mara nyingi sana lunc na hata mtoto alikuwa akiumwa tulikuwa tunaenda na casto hospitali  na kila sehemu .

"nimeondoka kwa muna kwa sababu ya maswala hayo hayo  ambayo sasa hivi ambayo sasa hivi yanamtokea puani sasa hivi, niliondoka pale kwa sababu siwezi kuwa nawaita wakina dogo janja baba.

Nina Tatizo la Kupenda Wanaume wa Kizungu

$
0
0
Naombeni Ushauri, Mimi ni Mbongo Mtanzania halisi Msichana wa miaka 32 , Mimi nina tatizo la kutopenda wanaume wenye ngozi nyeusi hasa Wabongo ndo kabisa na walivyowaswahili, Basi nimekuwa nikidate na wanaume Wazungu tu mpaka sasa ila wengi wao wanakuwa available ni vibabu so ndoa hakuna unakuta wana wake zao huko kwao, Umri unaenda na ninataka niolewe ila sipendi weusi , Nasikia hadi kinyaa nikidate nao, Nifanyaje hii hali initoke?

Jasmini

OFA!OFA!OFA Je Umepungukiwa Nguvu za Kiume na Umetumia Dawa Bila Mafanikio?

$
0
0


OFA!OFA!OFA je umepungukiwa nguvu za kiume na umetumia dawa bila mafanikio? sasa utapona kwa sh 15000 tu ofa ni kwa watu kumi wakwanza kila siku ofa hii itadumu ndani ya wiki 2 baada ya hapo bei itakuwa nyingine na kama hujapona tunakurudishia hera yako !

Dawa hii ni dawa ya maajabu huwezi kuamini Ila wengi wameiamini, inatibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na utapewa garantee ya mwezi mmoja dawa hii inapatikana hapo hapo ulipo nyumbani kwako na tutakupatia maelezo ya namna ya kuiandaa wewe mwenyewe na baada ya kuiandaa utakunywa Mara moja tu,na hautatumia dawa yoyote ya nguvu za kiume dawa hii inawafaaa watu kuanzia miaka 18 mpaka miaka 70 zaidi ya miaka hyo haitakusaidia ni dawa ya asilia haina madhara yoyote.

Watafiti na waganga wameikubali pia hii dawa inawafaa hata wanawake wasiopata hisia za mapenzi pia tunaweza kukutumia dawa popote ulipo lakini c kwa bei ya ofa ukiitumia dawa hii unakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara 3 bila hamu kuisha na itakufanya unjwe na uwezo wa kufanya tendo la ndoa muda wowote imesaidia watu zaidi yawatu 148 ndani ya mwakammoja tangu igunduliwe Dr kiboko mganga wa tiba za jadi toka kisiwani mafia pia tunatibu magonjwa mbalimbali kurudisha mpenzi aliye kuacha,biashara iliyoyumba, kuondoa mikosi, nyota na nk maelezo zaidi

OMBI LANGU; kwanza naomba radhi kwa watu wanaofika kwenye ofisi yangu na kuchelewa kupata huduma kutokana na foleni ya watu wengi kuja pia pongezi nyingi nimepata kutokana na mafanikio makubwa wanayoyapata baada ya kutumia hii dawa ombi langu naomba upige cm nikuelekeze hii dawa hapohapo kuepuka usumbufu na kuokoa mda wako asante

Maelezo zaidi ; Dr kiboko- 0679923297

Download Hapa Application ya Udaku Special Kwenye Simu Yako Kushuhudia Vimbwanga Mtaani na Stori za Mapenzi

Jeneza la ajabu lililogunduliwa Alexandria, Misri lafunguliwa

$
0
0
Wiki tatu zilizopita, wanaakiolojia nchini Misri waligundua jeneza kubwa lililoundwa kwa mawe magumu ya matale (granite) ya rangi nyeusi katika mji wa Alexandria.

Jeneza hilo lilikuwa limekaa kwa zaidi ya miaka 2,000 bila kufunguliwa.

Uvumi ulianza kueneza upesi, kwamba huenda jeneza hilo lilikuwa na mabaki ya kiongozi maarufu wa Wagiriki, Alexander the Great, au pengine kitu cha laanakubwa.

Kwa mujibu wa wataalamu waliolofungua, jeneza hilo halikuwa na hata kimoja kati ya vitu hivyo viwili.

Badala yake, waligundua mifupa ya watu watatu na maji machafu sana ya rangi ya hudhurungi ambayo yalitoa uvundo usioweza kuvumiliwa, mkali ajabu.

Waziri wa Vitu vya Kale wa Misri alikuwa ameteua kamati ya wanaakiolojia wa kufungua jeneza hilo ambalo liligunduliwa katika eneo kulikokuwa kunafanyika ujenzi.


Kwa mujibu wa kituo cha habari cha El-Watan cha Misri, awali walijaribu kuinua kifuniko cha jeneza hilo hadi sentimeta tano hivi juu (inchi 2), lakini uvundo wa ajabu uliwazuia kuendelea na kulazimika kuondoka eneo hilo.

Baadaye walilifungua, wakiwa wamejiandaa kwa vifaaa, wakisaidiwa na wahandisi kutoka kwa jeshi la Misri.

"Tuliipata mifupa ya watu watatu, na inaonekana ni kama walikuwa wa familia moja... Kwa bahati mbaya, miili hiyo haikuhifadhiwa katika hali nzuri na ni mifupa pekee iliyosalia," amesema Mostafa Waziri, secretary-general of the Supreme Council of Antiquities.

Jeneza hilo lilipatikana na mifupa ya watu watatu, wanaoaminika kuwa maafisa wa jeshi wa kale
Akizungumzia wasiwasi uliokuwa umeenea kwenye vyombo vya habari kwamba kufunguliwa kwa jeneza hilo pengine kungesababisha laana kutoka kwa Mafirauni, Bw Waziri alisema: "Tumelifungua na, namshukuru Mungu, kwamba hakujawa na giza duniani.

"Nilikuwa wa kwanza kutazama ndani ya jeneza hilo ... na niko hapa, nimesimama mbele yenu... na niko salama."

Licha ya hayo, eneo lilikopatikana jeneza hilo watu wamehamishwa huku kukiwa na wasiwasi kwamba linaweza kutoa hewa yenye sumu, gazeti la serikali ya Misri la Al-Ahram limeripoti.

Majeneza na makaburi ya kale ni hatari?
Wanasayansi wamefanikiwa kuthibitishakwamba hakuna "Laana ya Miili ya Kale", lakini je kuna hatari nyingine katika makaburi na majeneza ya kale?

Lodi Carnarvon, aliyefadhili ufukuaji wa makaburi ya Firauni Tutankhamun alifariki baada ya kuumwa na mbu muda mfupi baada yake kufungua kaburi hilo 1923.

Tangu wakati huo, kumekuwepo na uvumi kwamba kuvu au bakteria zilinusurika ndani ya kaburi hilo na kwamba zilimwambukiza nakusabaisha kifo chake.


Lakini F DeWolfe Miller, profesa wa utaalamu wa viini vinavyosabbaisha magonjwa Chuo Kikuu cha Hawaii ameambia National Geographic kwamba hakuna hatari yoyote.

"Hatujafahamu kuhusu kisa hata kimoja cha mwanaakiolojia au mtalii aliyewahi kuathirika [kutokana na bakteria au kuvu kutoka makaburisni]," aliambia jarida hilo.

Wataalamu wanasema watu hao watatu ambao mabaki yao yalipatikana Alexandria huenda alikuwa wanajeshi enzi za Mafirauni.

Fuvu la kichwa la mmoja wao lina nyufa zinazoashiria jeraha la mshale.

Sanamu ndogo ya alabasta ambalo ni jiwe jeupe laini lililofanana na marumaru ambayo imeharibika kiasi cha kutojulikana ilikuwa sanamu ya nini, pia ilipatikana pamoja na jeneza hilo.

Wataalamu walivalia barakoa wakilifungua jeneza hilo, ambalo lilitoa uvundo wa ajabu
Jeneza hilo lina urefu wa karibu mita mbili (futi 6.5) kwenda juu na urefu wa mita tatu, na ndilo kubwa zaidi la aina yake kuwahi kugunduliwa.

Lina uzani wa tani 27 na linaaminika kuwa la enzi za Wagiriki wafahamikao kama Ptolemy ambao ulianza mwaka 323 baada ya kifo cha Alexander the Great.

Wanaakiolojia sasa watachunguza jeneza hilo kwa kina kubaini waliozikwa humo ndani walikuwa wanaishi wakati gani na waliishi vipi.
Viewing all 104809 articles
Browse latest View live


Latest Images