Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104799 articles
Browse latest View live

Tunatibu Na Kuponesha Kabisa Upugufu wa Nguvu za Kiume, Busha, Kisukari na Vidonda vya Tumbo

$
0
0
TUNATIBU NA KUPONESHA KABISA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UUME MDOGO? BUSHA BILA KUPASUA KISUKALI NA VIDONDA VYA TUMBO? asilimia kubwa ya wanaume wanaupungufu wa nguvu za kiume NA maumbile madogo

NI NINI KINACHOSABABISHA UUME KUZIDI KUWA MDOGO NA WEMBAMBA 1 kuugua chango LA uzazi 2 unene kupita kiasi 3 kuvaa nguo au chupi za kubana 4 kupiga punyeto kwa mda mrfu ,NI NINI TIBA YAKE MAKAKANUA MIX nidawa ya mitishamba iliyochanganywa NA mizizi kumi NA mbili urfusha NA kunenepesha UUME saizi upendayo ich 5,6,7, NA 8 kwa urfu NA sentimita 3,4, na 5 ipo dawa ya kunywa na kupaka NI NINI KINASABABISHA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 1 kupungukiwa kwa homoni ya testerone 2 kuhudhurika kwa Neva au uti wa mgongo 3 utumiaji holela wa madawa ya kizungu 4 usongo wa mawazo na asira 5 utumiaji wa vyakula vya mafuta mengi NI NINI TIBA YAKE MAPRO POWER NO 2 NDIO tiba tosha kwa sasa kwani utibu matatizo matatu kwa pamoja 1 itakufanya uchelewe kufika kileleni dk 15 adi 20 ,2 itakufanya urudie tendo zaidi Mara tatu 3 uhimalisha uume uliolegea na kusinyaa OKOA NDOA YAKO SASA ujihepusha na lawama ndani ya ndoa yako au pale ukutanapo na mpezi dawa hii itamfanya mpenzi wako hakueshimu na hasitoke nnje ya ndoa na ata wazee wenye umri mkubwa wanapona zipo dawa za kupunguza kitambi,minyama uzembe, presha ,kisukar mvuto wa mpezi au biashara FIKA OFISINI KWETU MBAGALA ZAKHEMU na wateja wa kanda ya ziwa yupo wakala wetu mwanza mjini au piga simu 0752348593

DR MABULA na utaletewa popote ulipo uduma hizi


Video: Harmonize Alisimamisha Jiji la Nairobi, Mashabiki Wabubujikwa na Machozi!

$
0
0

Msanii wa WCB,Harmonize aka Konde Boy amefanya show ya kihistoria nchini Kenya ambayo ilikusanya maelfu ya watu.


Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo Kwangwaru na nyingine nyingi, weekend iliyopita akiwa nchini Kenya amefanya show ya nguvu iliyowafanya baadhi ya mashabiki kulia kwa furaha.

Matukio ya mashabiki kulia kwaajili ya upendo kwa wasanii wetu nimachache sana kutokea kwenye show za wasanii wetu nchini Tanzania.


Kitendo kicho kimepongezwa na wadau wa muziki nchini huku wengi wakidai muimbaji huyo akiendelea hivyo atafika mbali zaidi katika muziki wake.

Rais wa WCB, Diamond Platnumz amempongeza msanii huyo huku akidai ni miongoni mwa wasani wa label hiyo wanaoitangaza ndani la label hiyo.

“@harmonize_tz in NAIROBI!! Damn! Always Making @wcb_wasafi PROUD!!…Mwenyez Mungu Tunakushuru kwa kuendelea Kubariki kidogo chetu…Tunashkuru kwa Upendo wa watu kwetu, Tunaomba Uwazidishie kila jema Waliombalo Mashabiki zetu Wanaotusapoti Usiku na Mchana!!… #WCB4LIFE #KONDEBOY #NAIROBI #SOLDOUT #KWANGWARU🔥🔥🔥🔥,” alisema Diamond baada ya kupost video hiyo hapo juu.

Bongo5

Faiza Ally Amtolea Povu Zito Sugu, Acha Dharau, Siwezi kufuata hela ya matumizi ya Mtoto Mlimani City

$
0
0
Muigizaji wa Bongo movie na mjasiriamali maarufu Faiza Ally amemjia juu mzazi mwenzake ambaye ni Mbunge wa Mbeya Mjini na msanii mkongwe wa Bongo fleva Sugu.

Sugu na Faiza wamezaa mtoto mmoja anayeitwa Sasha lakini wamekuwa kwenye mgogoro wa kifamilia kwa muda mrefu sana ambapo Faiza amekuwa akidai kuwa Sugu anagoma kumlea mtoto.

Wawili hao walionekana kumaliza tofauti zao mwezi uliopita baada ya Sugu kutoka jela ambapo Faiza aliandika Kwenye mitandao ya kijamii kuwa yeye na Sugu wamemaliza tofauti zao.

Lakini Faiza amemtolea povu Tena Sugu jana ambapo kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika:

“Natuma barua kwako kwa sababu sehemu pekee ya kukufikishia ujumbe ukaupata ni hapa ni hivi toka tumeachana sasha ana mwaka na miezi 6 mpaka leo hujatafuta namna sahihi ya kumtunza mwanao sasa tafuta njia sahihi na yenye heshima mimi sio wa kufanyia shopping na happy eti nikachukue mlimani  ”

“Hiyo ni zarau sana baba kama ulikosa muda ungetuma hela ! Lazima uweke heshima kwa baby mama wako na mwanao! sasa ni hivi siwezi kwenda kuchukua sukari na maziwa mlimani ni DHARAU!!!!!!” 

Download Hapa Application ya Udaku Special Kwenye Simu Yako Kushuhudia Vimbwanga Mtaani na Stori za Mapenzi

Haji Manara Afunguka Kuhusu Maamuzi ya Sanga Kuondoka Yanga

$
0
0
Baada ya Clement Sanga kujivua nafasi ya Umakamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga jana, Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, amefunguka na kueleza namna alivyoguswa juu ya maamuzi hayo.

Manara amefunguka na kutoa pole kwa Sanga kutokana na vitisho alivyopewa na baadhi ya watu waliosema wataenda kumvamia nyumbani kwake kwa madai ya kuwa Yanga haitendei haki.

Ofisa huyo wa Simba ameeleza kuwa siku zote hakuna Yanga imara bila Simba na Simba imara bila Yanga kutokana na upinzani wa aina yake kwa timu hizo pindi zinapokutana Uwanjani.

Manara amesema pale Simba inapoifunga Yanga ikiwa na kikosi kipana Uwanjani na ipo vizuri hupata nguvu za kujitamba vizuri tofauti na hali waliyonayo sasa hata kama wakiifunga hawatakuwa na ubavu wa kujionesha kuwa ni bora zaidi.

"Unajua ukiifunga Yanga ikiwa katika ubora wake unapata nguvu za kutamba zaidi mtaani na kujiona wewe ndiyo kila kitu, lakini sasa kwa mwenedno walionao hata kama tukiwafunga, tutakuwa tumeifunga Yanga ambayo si bora na mbwembwe za kutamba hazitokuwepo" alisema.

Malima aeleza sababu za Misafara ya Viongozi kuwekewa mawe

$
0
0
MKUU wa Mkoa wa Mara, Adam Malima ametaja eneo hatari kwa viongozi na sababu za viongozi wa kitaifa akiwemo Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda kuwekewa mitego ya mawe na misumari inayohatarisha misafara yao wanapotembelea mkoa huo.

Malima aliyasema hayo mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla kuwekewa mtego wa mawe na misumari katika msafara wake ambapo alisema hiyo siyo mara ya kwanza kwa viongozi kufanyiwa mambo hayo kwani hata Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda aliwahi kufanyiwa hivyo.

Alisema Pinda aliwekewa mawe wakati akiwa na tume iliyoundwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatilia mgogoro wa ardhi katika eneo hilo. Malima alisema wanaoweka mitego hiyo ya mawe na misumari barabarani ni wanavijiji waliowahi kuripotiwa mara nyingi na uongozi wa hifadhi hiyo kuwa ni wa vijiji jirani ambao hujaza mawe barabarani akitaja sababu kuwa ni kuzuia magari ya doria ili waweze kulisha mifugo yao ndani ya hifadhi hiyo.

Akiwa njiani majira ya saa tatu za usiku kwenye gari la wazi baada ya kukagua eneo hilo la mpaka kwa zaidi ya saa sita, Waziri Kigwangalla na msafara wake walikuta lundo la mawe yakiwa barabarani ndani ya eneo la hifadhi hiyo, hali iliyosababisha taharuki kubwa na waliokuwa katika msafara wake ilibidi kushuka na kuanza kuondoa mawe hayo ili kupata njia ya kupita.

Awali, kabla ya tukio hilo la mawe barabarani, moja ya gari lililokuwa likiongoza msafara huo lilipata pancha baada ya kukanyaga misumari iliyokuwa imetegwa kwenye ubao katika moja ya barabara zinazoingia na kutoka ndani ya hifadhi hiyo ya Serengeti. Waziri Kigwangalla alisikitishwa na kitendo hicho ambacho alikielezea kuwa sio cha kiuungwana kwa kuwa kinalenga kudhoofisha juhudi za Serikali kumaliza mgogoro huo kwa faida ya pande zote.

“Mimi ni Muislam, nimesikia kwa masikio yangu na wala sijaambiwa na mtu yeyote na siwezi kumsingizia mtu, nimeshangazwa sana kusikia kuna kiongozi tena mtendaji wa chama tawala anahamasisha uvunjifu wa amani, anawezaje kuitukana Serikali? Hapa sisi tumekuja kuwahudumia wananchi” alisema Dk. Kigwangalla kwa masikitiko makubwa.

Waziri Kigwangalla aliliagiza Jeshi la Polisi Wilaya ya Tarime mkoani Mara kumkamata na kumfungulia mashtaka Katibu wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wa wilaya hiyo, Newton Mongi na Mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Wilaya, Richard Tiboche kwa tuhuma za kuikashifu Serikali na kuchochea mgogoro wa mpaka kati ya hifadhi ya Serengeti na vijiji jirani kikiwemo Kijiji cha Kegonga.

Harmorapa Yamemkuta haya Baada ya Kuvuja Video zake za Faragha Mtandaoni

$
0
0

Msanii wa muziki Harmorapa amewaomba radhi watanzania baada ya kusambaa mtandaoni video zinazomuonyesha akiwa na anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake kitandani.



Harmo ameiambia Bongo5 kwamba ameanza kupokea simu nyingi hukusiana na video hizo huku akidai kwamba pia kuna taarifa amezipata kwamba TCRA wanaweza kumchukulia hatua kali za kisheria kwa kufanya kosa ilo.

Rapa huyo amedai video hizo ziliandaliwa kwaajili ya movie lakini anashangaa mwanadada aliyefanya naye ameamua kuzisambaza mtandaoni bila kushauri naye chochote.

“Ustaarabu haununuliwi wala hauazimwi sidhani kama kuna shule au chuo cha ustaarabu na kuwa kimya sana sio chanzo cha kunichafua au kutembelea nyota yangu. Naheshimu sana Idara za Mawasiliano Nchini (TCRA),  Napenda hata siku moja nije nishikane mkono na Waziri Mwakyembe au Muheshimiwa Raisi wetu Magufuli kwa kuwa msanii bora mwenye nidhamu TANZANIA ,” aliandika rapa huyo Instagram.

Aliongeza, “Picha na video zinazo sambaa eti mimi kuwa na Dada mmoja ambae sina uhakika kama namjua sana ila tulikutana katika kazi ya sanaa nilioshirikishwa na Watu ninao waheshimu tena sio wa nchi hii…. Huko MWANZA . kuchukua video ambazo sio Rasmi ukazipost kwa manufaa yako huo ni ..USHAMBA.. . Nasema mimi sio TYPE yako na sina mpango wa Kufunga Harusi na wewe…. Ungekua mjanja unge heshimu kazi kwanza tuliokubaliana na kuifanya. Mwisho napenda kuomba Radhi kwa Mashabiki wangu kwa Video zilizosambaa mimi nikiwa Chumbani nasisitiza ile ni Muve tena kubwa sana haikuwahi kutokea hapa Bongo …itapofika wenyewe kuitoa mtaamini nisemacho.,”

Rapa huyo ameiambia Bongo5 kwamba sasa anafanya jitihada za kuwatafuta wanasheria kwaajili ya kuliangia suala hilo ili apate haki yake.

Surveyed plots for sale: Mapinga (Baobab Sec, km 5 kutoka Bunju-DSM)

$
0
0
Surveyed plots for sale: Mapinga (Baobab Sec, km 5 kutoka Bunju-DSM)
Viwanja ni vikubwa sana (low density plots). Viwanja viko umbali wa km 2 kutoka main road (Bagamoyo Road).
Ziko plots za sqm 1400, sqm 2100, na sqm 2700.
Bei ya kila sqm ni sh 13,000 (negotiable)
Huduma za kijamii (maji, umeme) zipo na miundombinu yote iko vizuri (mradi wa kusogeza lami mpaka nyumbani umeanza). Ramani zote (Town plan & Deed plan) zipo tayari. Hati ya miaka 99 itapatikana ndani ya miezi 2 tu.
hakuna dalali, contact mhusika: call 0758603077, whatsap 0757489709

Pia, vipo viwanja vya bei nafuu sana ambavyo taratibu za upimaji zimeanza lakini bado hazijakamilika (on-process). Hivi viko Kimele, ni kilometa 3 kutoka main road (Bagamoyo Road). Viwanja viko planned (kwa mpangilio mzuri) na ukinunua unapimiwa ili upate hati kwa gharama ya sh 300,000 tu.
Bei ya viwanja inabadilika kuendana na size ya kiwanja ulichochagua.
Bei ni: milion 2 for 10/20, mil 3 for 15/20, mil 4 for 20/20, mil 5 for 25/20, mil 6 for 20/30, mil 8 for 20/40, mil 11 for 25/45, mil 12 for 30/40 na mil 16 for 40/40, mil 20 for 0.5acre, mil 38 for 1 acre. luksa kulipa kwa awamu ndani ya miezi 3-4
Hakuna dalali, mpigie mhusika,call 0758603077, whatsap 0757489709

Hii Habari Isomwe na Wanaume tu...

$
0
0

*Wanaume wenzangu, tufanye kazi kwa bidii tutafute hela ili uzee wetu tuwe na uwezo wa kujitegemea. Hakikisha kwenye uzee wako una pesa zako mwenyewe za kukufanya usurvive. Sahau kuhusu watoto, na mama yao kwamba watakutunza. Wewe ndiye stranger pekee kwenye hiyo familia unayoiita ya kwako. Hiyo nyumba ni ya huyo mwanamke na watoto wake. Not yours.!*

*Babu yangu aliniambia kwamba mwanaume aliyeoa ni sawa Tingatinga, ambalo linatengeneza Barabara, lakini ikishakamilika linabebwa juu juu kwenye Lori na kuondolewa, eti likitembea litaharibu barabara. Yani barabara ambayo Tingatinga lenyewe limeitengeneza haliruhusiwi kutembea juu yake.*

*Vivyo hivyo kwa mwanaume aliyeoa. Atajinyima, atajishughulisha, atajizuia kufanya anasa, atakopa, atavaa mitumba ili tu watoto wake waishi vizuri, wale vizuri na kusoma shule nzuri. Siku hizi urithi pekee uliobaki ni elimu bora coz mashamba ziliishaga. Lakini pamoja na yote hayo, bado ukizeeka hao watoto sio wako, ni wa mama yao. Wewe watakuita "Kamzee".*

*Watoto wakiwa na umri wa miaka 10 ndipo mama yao anaanza kuwajaza taarifa zisizovutia kuhusu wewe. Kadri wanavyokuwa ndivyo wanavyoelezwa mambo mengi. Wakifika utu uzima atawaambia "isingekua mimi hamgesoma, yeye alikua ni pombe tu na wanawake" Ukisikia hivyo ujue tingatinga limemaliza kazi yake sasa linakaribia kuondolewa barabarani.*

*Watoto wanapoanza kazi, mzee anakua amestaafu. Wanapokuja kutembelea wazazi, wakiondoka wanampa baba elfu 5 mbele ya mama. Halafu wanaenda jikoni na mama, wanampa hela kwa siri bila mzee kujua. Wakiondoka mama anamfuata mzee na kumwambia sukari imeisha. So ni suala la mzee kuamua kutoa ile elfu 5 aliyoachiwa na watoto ikanunue sukari, otherwise anywe chai isiyo na sukari. Hii ni moja ya sababu inayowafanya wazee kufa mapema baada ya kustaafu na kuacha wake zao Wajane.*

*Nimeshuhudia wazazi wenye watoto ng'ambo wakimchukua mama yao akaenjoy life majuu, na kumuacha baba yao nyumbani akilisha Ng'ombe wao wawili, na kutafuta chakula cha kuku.!*

*Wanaume work hard and save something for yourself at old age. Tafuta pesa kwa bidii, wape watoto elimu bora, wape mahitaji yao muhimu, jenga nyumba nzuri waishi vizuri, lakini ukizeeka dont expect too much from them. Enjoy maisha ya uzee kwa pesa zako mwenyewe ulizochuma ujanani.*

*"Hii ni siri nimeifuma mahali niwarushie nyinyi wanaume"*

Taarifa ya Mwanafunzi Kuwawekea Wenzake Sumu kwenye Chakula Huku Geita

$
0
0

GEITA: Taarifa zilizosambaa kupitia mitandao ya kijamii kuwa kuna Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Emaco Vision alikusudia kuwawekea wenzake sumu kwenye chakula cha mchana yazua taharuki miongoni mwa Wazazi

Aidha, uchunguzi uliofanywa na uongozi wa shule ulibaini haikua sumu bali maji machafu. Taarifa hizo zilisambazwa na Mzazi mmoja ambaye baada ya kuitwa Kituo cha Polisi alikiri kosa na kusamehewa

Mwanafunzi huyo ambaye jina lake limehifadhiwa baada ya kuhojiwa alieleza kuwa alitengeneza mchanganyiko wa maji na majivu wakati akicheza na mdogo wake

Mzazi wa Mtoto huyo amesema anasikitishwa na kitendo cha picha za mwanaye kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwa kuwa kimesababisha aonekane mbaya na kuzua hofu kwa jamii.

Hii Hapa Dawa Bora ya Nguvu za Kiume na Maumbile Madogo ya Uume

$
0
0

Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa vichocheo hivi huchochea ukuaji wa uume chongo ambalo hushambulia nerve ambayo uharibu kabisa ukuaji wa uume, ngiri, punyeto, ambayo huathili misuli ya uume, ngiri huleta maumivu, tumbo kuunguruma na kujaa gesi, korodani moja kuvimba, kutopata choo vizuri, sababu hizi hufanya uume kulegea na kusinyaa na kuwa mfupi na mwembamba na mara nyingi hata nguvu za kiume ( hamu ya tendo la ndoa) hupungua na kwisha kabisa

GEMBE :Ni dawa inayozalisha na kukufanya uume kukua na kuongezeka
NGEMO : Ni dawa bora ya kuongeza nguvu za kiume

Hukutia hamu ya kuludia tendo la ndoa zaidi mara4 nne bila kukinai au kuchoka pia itakufanya uchelewe kufika kileleni zaidi ya dk30-45 kwa mtumiaji pia tunatibu kisukari, bp, ngiri, miguu kuwaka moto KAMA HUNAMDA WA KUFIKA OFISINI KWETU UTALETEWA POPOTE TUPO MBAGALA RANGI TATU

 0753471612/ 0715249530
0623 386 305

DR KUZENZA

Askari Waliokamatwa Wakihusishwa na Kifo cha Akwilina Waachiwa Huru

$
0
0

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar, Lazaro Mambosasa: amesema kuwa Askari waliokamatwa wakihusishwa na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wameachiwa huru

Akwilina aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji NIT aliuawa kwa kupigwa risasi wakati Jeshi la Polisi likiwatawanya waandamanaji wa CHADEMA, Kinondoni Jijini Dar

Mnamo February mwaka huu Jeshi la Polisi ililitoa taarifa ya kuwashikilia askari wake sita na silaha zao kwa ajili ya uchunguzi kuhusu tukio la kuuawa kwa risasi mwanafunzi Akwilina Akwilini

Aidha, tarehe 20 Aprili Mkurugenzi wa Mashtaka(DPP), Biswalo Mganga alitangaza kulifunga jalada la uchunguzi wa kifo cha Mwanafunzi huyo Akwilina

Hata hivyo DPP alipoulizwa kuhusu Askari waliokamatwa baada ya kutokea kwa tukio la mauaji ya Akwilina alisema, “kama jalada nimelifunga, kwa hiyo askari wale nao wameachiwa huru hawana hatia.”

Wenye kumbi za starehe waanza kubanwa

$
0
0

Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewaagiza viongozi wa Mkoa wa Mara na Wilaya ya Musoma kuchunguza tuhuma zinazohusisha kumbi za starehe wilayani humo kuruhusu watoto walio chini ya miaka 18 kuingia na kutumia vilevi ndani ya kumbi hizo.


Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ametoa agizo hilo alipotembelea Mkoa wa Mara katika ziara ya kikazi ambapo alipokea malalamiko kutoka kwa wananchi kuhusu kuwepo kwa kumbi za starehe zinazowaruhusu watoto walio chini ya umri wa miaka 18 na kutumia pombe wakiwa ndani ya kumbi hizo.


Dkt. Ndugulile amesema kwamba wamiliki wa kumbi hizo wanakiuka sheria ya mtoto, hivyo wanapaswa kuchukuliwa hatua za kisheria mapema iwezekanavyo ili kuwalinda watoto hato chini ya umri wa miaka 18.


Aidha kwa mujibu wa wa kifungu cha 17 cha Sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 kinasema mtu ambaye ni mmiliki au anayeendesha au ni msimamizi wa ukumbi wa muziki, 'Bar', au klabu ya usiku hatamruhusu mtoto kuingia katika maeneno yao.


Katika kifungu imeelezwa  kuwa "mtu atakayekiuka kifungu hiki atakuwa ametenda kosa na atakapotiwa hatiani atalipa faini ya kiasi kisichopungua Shilingi millioni moja na kisichozidi Sh millioni tano au kifungo kisichozidi miezi 12 au vyote kwa pamoja".


Baada ya agizo hilo kutoka wizarani, Mkuu wa Mkoa wa Mara, Bw. Adam Malima amesema ataendelea kuwachukulia hatua wale wote wanaofanya vitendo hivyo pamoja na kupambana na vitendo vya ukatili wa kijinsia, ndoa na mimba za Utotoni ambazo zinashamiri katika mkoa huo.

Leseni FEKI 878 Za Madereva Zakamatwa

$
0
0

Jumla ya leseni 878 kati ya 73,904 za magari mbalimbali madereva wake wamebainika kuzitumia daraja lisilostahiki.


Leseni hizo ni zile zilizokaguliwa kuanzia Julai 4 hadi 15, mwaka huu katika ukaguzi maalumu uliofanywa wa kukagua leseni hizo.


Mkuu wa kikosi cha Usalama Barabarani, Fortunatus Musilimu amesema hayo jijini Dar es Salaam leo Jumanne Julai 24.


“Kwa madereva wote watakaobainika kuendesha magari bila leseni stahiki kulingana na magari wanayoendesha, watakamatwa na kufikishwa mahakamani na leseni zao zitafungiwa kwa kigezo cha kukosa sifa ya kuendesha magari hayo,” amesema.


Aidha, Kamanda Musilimu ametoa muda wa wiki moja kwa madereva wanaodaiwa na mfumo wa Usimamizi wa Trafiki kulipa madeni yao yote.


Amesema baada ya muda huo uliotolewa kupita wataanza msako nchi nzima kukamata madereva wanaodaiwa na kuwapeleka mahakamani na gari zao zitazuiliwa.  

Kamanda Musilimu pia amesisitiza kuwachukulia hatua abiria wanaowashawishi madereva kuongeza mwendo wa gari wawapo safarini.


“Abiria watakaochochea ajali za barabarani kwa kuwaambia madereva waongeze mwendo watachukuliwa hatua, inapaswa abiria kutoa taarifa waonapo uvunjwaji wa sheria,” amesema. 


Pamoja na mambo mengine, amesema Agosti Mosi mwaka huu, askari wa usalama barabarani watafanya uhakiki wa kina wa leseni za madereva kwa madereva wa magari ya abiria, mizigo, magari binafsi, pikipiki na magari ya serikali nchi nzima.


“Tutakuwa na fomu husika kwa ajili ya uhakiki wa leseni za madereva fomu hizi zitakaa katika vituo vya daladala (stendi) na katika vituo vya mizani hii itapunguza kurudia rudia ukaguzi wa leseni kwa madereva,” amesema.

Mahakama, TLS Wakubaliana Kushirikiana

$
0
0

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Fatma Karume na viongozi wengine wamekutana na Jaji Mkuu wa Mahakama ya Tanzania, Profesa Ibrahimu Juma na kuelezwa mpango mkakati ambao ndiyo dira ya mahakama.


Uongozi huo wa TLS umekutana na Jaji Mkuu na wadau wengine wa mahakama leo Jumanne Julai 24, ambapo Msajili Mkuu wa Mahakama, Catherine Revocati pamoja na mambo mengine amesema hiyo ni fursa ya kuanza kushirikiana.


“Mpango mkakati ndiyo dira ya mahakama, tunaomba ushirikiano katika eneo la Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama),  lazima tubadilike, twende dunia inavyokwenda, tuachane na matumizi ya karatasi.


“Mawakili ni wadau wetu muhimu, bila wao sisi hatuwezi kufanya kazi, na wao bila sisi hawawezi kufanya kazi, tulianza nao, wameanza kujiandikisha katika mfumo mpya, tunaomba muendelee kutupigia debe waendelee kujiandikisha,” amesema Revocati.


Kwa upande wake Rais wa TLS, Fatma amesema mahakama haiwezi kuboresha mazingira ya utoaji haki katika maamuzi kama hawatazungumza na TLS.

Madini Ya Tanzanite Yakamatwa Kwenye Unga

$
0
0

Jeshi la Polisi Mkoa wa  Manyara, limewatia mbaroni watu watatu wakazi wa mji mdogo wa Mirerani wilayani Simanjiro kwa tuhuma za kukutwa na kilo 7.53 za madini ya Tanzanite waliyokuwa wameyaficha chini ya unga uliokuwa kwenye ndoo.


Akizungumzia na waandishi wa habari jana kuhusu tukio hilo, Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro, Zephania Chaula alisema tukio hilo lilitokea juzi jioni wakati wa upekuzi uliokuwa ukifanywa na maofisa madini, usalama wa taifa na polisi katika lango la kuingilia ndani ya ukuta unaozungumka migodi ya Tanzania.


Chaula alisema wakati wa upekuzi watu hao watatu walibainika kuficha madini hayo kwenye ndoo iliyokuwa na unga.


Alisema mwanamke aliyekamatwa akiwa na ndoo hiyo mkononi anajishughulisha na kazi ya kuchekecha mchanga na udalali wa madini.


“Madini waliyaficha kwenye ndoo iliyokuwa imewekwa unga wa mahindi,” alisema Chaula


Aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Judith Paulo, Midumbi Ojijo na Joshua Aguta.


Alipoulizwa kuhusu thamani ya madini hayo alisema bado haijajulikana na watuhumiwa wanashikiliwa na polisi katika kituo cha Mirerani kwa mahojiano zaidi.


Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Manyara, Augustino Senga jana alithibitisha  kukamatwa kwa wahumiwa hao  na kwamba bado wanashikiliwa na polisi kwa uchunguzi.

OFA!OFA!OFA Je Umepungukiwa Nguvu za Kiume na Umetumia Dawa Bila Mafanikio?

$
0
0
OFA!OFA!OFA je umepungukiwa nguvu za kiume na umetumia dawa bila mafanikio? sasa utapona kwa sh 15000 tu ofa ni kwa watu kumi wakwanza kila siku ofa hii itadumu ndani ya wiki 2 baada ya hapo bei itakuwa nyingine na kama hujapona tunakurudishia hera yako !

Dawa hii ni dawa ya maajabu huwezi kuamini Ila wengi wameiamini, inatibu tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na utapewa garantee ya mwezi mmoja dawa hii inapatikana hapo hapo ulipo nyumbani kwako na tutakupatia maelezo ya namna ya kuiandaa wewe mwenyewe na baada ya kuiandaa utakunywa Mara moja tu,na hautatumia dawa yoyote ya nguvu za kiume dawa hii inawafaaa watu kuanzia miaka 18 mpaka miaka 70 zaidi ya miaka hyo haitakusaidia ni dawa ya asilia haina madhara yoyote.

Watafiti na waganga wameikubali pia hii dawa inawafaa hata wanawake wasiopata hisia za mapenzi pia tunaweza kukutumia dawa popote ulipo lakini c kwa bei ya ofa ukiitumia dawa hii unakuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya Mara 3 bila hamu kuisha na itakufanya unjwe na uwezo wa kufanya tendo la ndoa muda wowote imesaidia watu zaidi yawatu 148 ndani ya mwakammoja tangu igunduliwe Dr kiboko mganga wa tiba za jadi toka kisiwani mafia pia tunatibu magonjwa mbalimbali kurudisha mpenzi aliye kuacha,biashara iliyoyumba, kuondoa mikosi, nyota na nk maelezo zaidi

OMBI LANGU; kwanza naomba radhi kwa watu wanaofika kwenye ofisi yangu na kuchelewa kupata huduma kutokana na foleni ya watu wengi kuja pia pongezi nyingi nimepata kutokana na mafanikio makubwa wanayoyapata baada ya kutumia hii dawa ombi langu naomba upige cm nikuelekeze hii dawa hapohapo kuepuka usumbufu na kuokoa mda wako asante

Maelezo zaidi ; Dr kiboko- 0679923297

Video/Picha: Shilole Apata Deal ya Kusoma British Council Baada Kushindwa Kutamka ‘Subscribe’

$
0
0

Baada ya kuchekwa sana kwa kutojua kiingereza, msanii wa Bongo Flava Shilole aingia kwenye mkataba na shirika la uingereza British Council Tanzania ili kujifunza lugha hiyo.



Mbali ya muziki, msaani huyo anajulikana sana kwa kuwa na hamasa ya kuongea kiingereza bila kujali makosa ambayo anayafanya.

Wiki iliyopita video ya mtandao wa Bongo5  ilitrend ikimuonyesma muimbaji huyo akishindwa kumtamka neno “Subscribe”.



Shirika la Uingereza British Council Tanzania, limefurahi Shilole ameamua kutaka kujiendeleza katika lugha ya kiingereza ambayo itamsaidia katika kazi yake kama msanii.

Angela Hennelly, Country Director, amesema kuwa ni fursa nzuri kwa Shilole kujua lugha ya Kiingereza na amempongeza kwa hatua hiyo aliyoichukua.



Ameendelea kusema kuwa hii itamfungulia milango mingi ya fursa kulingana na jinsi uchumi wa dunia unavyokua na changamoto wanazozipata haswa wasanii.



Angela ameendelea kusema kuwa anategemea hii fursa itawapa moyo vijana kufikiria pia kujiendeleza katika lugha ili waweze kufanya mawasiliano kwa urahisi katika shughuli zao za kila siku haswa kwa upande wa ajira.

Mauaji ya Akwilina: “Viongozi Wote wa CHADEMA Waliokuwepo Kwenye Maandamano Wanazo Silaha”

$
0
0
Leo July 24, 2018 Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya DSM, Lazaro Mambosasa, amesema kuwa Askari waliokamatwa wakihusishwa na kifo cha mwanafunzi Akwilina Akwilini wameachiwa huru.

Akwilina aliyekuwa Mwanafunzi wa Chuo cha Usafirishaji NIT aliuawa kwa kupigwa risasi wakati Jeshi la Polisi likiwatawanya waandamanaji wa CHADEMA Kinondoni.

”Polisi walioshikiliwa kwa ajili ya uchunguzi wameachiliwa kwa sababu wamekutwa hawana Makosa” Lazaro Mambosasa

VIDEO:

“Pesa sio Makalio, Tujifunze Kuheshimu Wenye Pesa, Mliompinga Manji Chukueni Timu Sasa”-Edo Kumwembe

$
0
0
Headlines za viongozi wa club ya Yanga kujiuzulu nafasi zao za uongozi ndani ya Yanga na kuiacha timu katika kipindi kigumu, ndio inaendelea kwa sasa, hivyo sintofahamu inazidi kutanda nini itakuwa hatma ya timu hiyo kuelekea msimu wa 2018/19.
Kutokana na matatizo na changamoto zinazoendelea katika club hiyo mchambuzi wa masuala ya soka Edo Kumwembe ameandika maneno au ushauri katika page yake ya instagram ikilenga kuwakosoa wale mashabiki wa soka ambao wanapenda kuwakwaza wafadhili wa timu hizo.
“Pesa sio makalio kwamba kila mtu anayo……tujifunze kuheshimu watu wenye pesa..zile kelele za nyakati zile za watu fulani dhidi ya Manji..wakimpinga sana…wengine wakasema “Atuachie Yanga yetu”
“Leo ndo muda wao wa kuichukua Yanga yao, wakalipe Kambi, wawalipe akina Yondan na Kessy, washushe akina Kagere wao pale Jangwani Yaani Manji hayupo na hakuna atakayewakataza…yuko wapi yule Mzee? Yuko wapi yule kijana machachari?”



Viewing all 104799 articles
Browse latest View live




Latest Images