Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104803 articles
Browse latest View live

Nimechanganyikiwa Mke wangu na Dada wa Kazi Wanasagana

$
0
0
Yamenikuta Mie mwenzenu hata sijui nifanye nini ila kwa kifupi ni kuwa nimepata ushahidi bila chenga kuwa mke wangu na mfanyakazi wa ndani ama House Girl Wanasagana, Bado sijamwambia mke wangu kwamba najua kwa sababu hata sijui nianzie wapi ..ila ni kwamba juzi asubuhi nilipomaliza kujiandaa kwenda kazini nikatoka ndani ila nilisahau simu hivyo nikarudi kuichukua cha kushangaza nilimkuta mke wangu hayupo chumbani kwetu kwani nilimuacha amelala basi sikujali sana nikajua yupo chooni ila wakati nataka kutoka ndani nikawa nasikia makalele ya mihemeko ya mapenzi kwa mbali hapo ndipo nilipostuka na kunyemelea chumba cha house girl wetu na ambapo sauti zilikuwa zinatokea, Nilichosikia hata sina hamu ila nikelele za ku do kabisa wakihamasishana wakijua wapo wenyewe ndani ya nyumba...kiufupi kilinishuka nikashindwa nifanye nini ...Baada ya muda nilitoka nikaenda zangu kazini bila kufanya chochote huku nafikiria ni kitu gani nakosea mpaka mke wangu haridhiki na dozi yangu??  Isitoshe asubuhi hiyo hiyo nimetoka kumpa kimoja cha haja ....Embu nishaurini nifanye nini Jamani ??

Hivi Kwanini sisi Wanaume Wafupi Hatupendwi na Wanawake?

$
0
0
Embu naomba kuuliza maana sielewi.

Kila nikitongoza madem wananiangalia tokea chini hadi juu alafu wananisonya; then wanaondoka.

Daah, hii hali inaniskitisha sana sina raha kabisa jinsi ninavyodharauriwa hadi muda mwingine nafikiria kujitoa uhai. Huu mwaka wa 27 sijawahi ishi na mwanamke hakuna anayenitaka.

Diamond Platnumz Atoa Sababu za Kuachwa na Wema Sepetu

$
0
0

Ni kama vile Diamond Ameamua kufunguka ila kwa kutumia Mafumbo kuhusu kuachwa na Wema Sepetu Leo Amepost Ujumbee Huu Kwenye Instagram : 

"Alidanganywa na wale, wa Mapesa Nyumba Gari... Mie Ungaunga Hakunijali Akanikimbiaa....."

Baadhi ya Comments za watu kutoka instagram:


Godzilla Atoa Nyimbo Mbili Kwa Mpigo leo..Zidownload Hapa

$
0
0
Add caption
Msanii wa Hip Hop Godzila Leo Umetoa Nyimbo mbili kali sana.. Zidownload Hapa chini:

Set za Mashuka, Duvet na Mapazia Yanauzwa Kwa Bei Nafuu Kabisa..Changamkia Deal

$
0
0

256 Bedroom Decor inauza Set za Mashuka, Mapazia na Duvet kwa Bei Nafuu 

Bei ya Set ni Shilingi 170,000 ila ukichukua Set Nyingi Kuanzia Tano Utafanyiwa Kila set kwa Shiling 150,000 

Set inakuwa na Duvet Cover 1 ya King Size Bed , Shuka za kutandika kitanda 1, Foronya za Mito 2 na Mapazia 2

Set ya taulo ni 120000 2 king size 150*200cm na  moja ya kawaida

Tunapatikana Kampala, Uganda
Cell Phone: +256752350855
Email:nmahoro@yahoo.co.uk

Kama Upo Tanzania Tutakusafirishia kwa Gharama Nafuu Kabisa

Nalia Nikimaliza Kufanya Mapenzi..Naombeni Ushauri Jamani

$
0
0
Mwenzenu nina tatizo ambalo mpaka leo sijajua linasababishwa na nini! Kwa kifupi ni kwamba nikifanya mapenzi kwa mara ya kwanza na mtu, huwa nikimaliza tendo nalia sana, sijajua ni kwanini haswa.

Yaani najikuta nalia haswa kama nimepatwa na msiba. Tena akinikuna vizuri ndo nalia na kwikwi kabisa tukishamaliza tendo.

Tatizo hili lilinianza toka nilipo bikiriwa na huisha nikishamzoea huyo mpenzi wangu, embu naombeni ushauri nifanyeje ili nisilie? maana sometimes boyfriend wangu anaweza akawa anakwazika bila mimi kujua. Na je does it exist to another woman? or ni mimi tu?

Ushauri jamani

Habari ya Kusikitisha..Mwanamuziki Mwingine Maarufu wa Bongo Flava Afariki Dunia

$
0
0
Kabla mwaka 2014 haujaisha idadi ya watu maarufu wa Tanzania waliotangulia mbele za haki imezidi kuongezeka na hii ni baada ya taarifa kutoka Iringa zilizoanza kusambaa kuanzia saa tatu usiku November 11 2014.
Taarifa zilizothibitishwa ni kwamba rapper Geez Mabovu ambae ni maarufu kwenye muziki wa hiphop Tanzania, amefariki dunia kwenye hospitali aliyokua amelazwa nyumbani kwao Iringa alikokwenda wiki mbili zilizopita kutokea Dar es salaam

Dennis ambae alikua mtu wa karibu wa Geez Mabovu amethibitisha pia kuhusu kifo cha Geez Mabovu na kusema rapper huyu aliondoka Dar kwenda Iringa akiwa kwenye hali ambayo sio nzuri kiafya.

Eti Kumbe Gari Alilozawadiwa Wema na Kadinda na Safari ya China Ndio Sababu ya Diamond Kuachana na Wema

$
0
0
Gossip Cop wa nguvu, Soudy Brown leo kamuweka staa mwingine wa Bongofleva, Diamond Platnumz kwenye U Heard.
Kutokana na kwamba Diamond hakuwa tayari kuongelea chochote kuhusiana na kile Soudy alichokuwa anamuuliza, Gossip Cop alilazimika kuzima kifaa cha kurekodi sauti ili Diamond ampe story kamili.
Story ilikuwa inahusu Diamond na Wema kutokana na kile kinachosemekana wameachana, majibu ya Diamond yameonyesha hawako pamoja na kuzitaja baadhi ya sababu zilizopelekea kutokea hilo, ikiwa ni pamoja na zawadi ya gari aina ya BMW ambalo anadai Martin Kadinda hawezi kumpa, pamoja na safari za Wema China ambazo anadai kuna mtu mwingine aliyekuwa anazifadhili.
Diamond hajazungumza chochote kuhusu yeye na Zari the Boss Lady.
Kuisikiliza U Heard bonyeza play hapa.Credits:Millardayo

Mbowe: Zitto Kajiharibia Mwenyewe Kwa Kurubuniwa na CCM

$
0
0
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amewataka wananchi wa Mkoa wa Kigoma kuijua historia ya mageuzi ya Mkoa huo ili kuepuka kuwalaumu viongozi wanaosimamia vyama hivyo pindi wanapochukua maamuzi magumu.

Alisema wananchi wengi wamekuwa wakishabikia na kuwahukumu viongozi hao bila kuangalia chimbuko la vyama hivyo, vilikotoka na hatimaye kufikia hatua vilipo sasa hususan katika mkoa huo ambao umekuwa chimbuko la mabadiliko.

Akijibu swali lililoulizwa na mtu ambaye alijitambulisha kwa jina la Cheche wa Cheche, katika mkutano wa hadhara wa ‘Oparesheni Delete CCM’, uliofanyika kwenye kijiji cha Mnanila Manyovu mkoani hapa jana, Mbowe alisema Mkoa wa Kigoma ulizalisha viongozi wengi maarufu katika mageuzi.

Alisema utumishi ndani ya chama hicho haupimwi kutokana na mtu kutoka mkoa gani, bali hupimwa kutokana na ujasiri, uwezo wa mtu na kamwe kiongozi makini hawezi kumpiga vita mtu kwa sababu ya kabila au dini yake.

Akitoa mfano wa viongozi waliotegemewa na wanachi wa mkoa huo katika kuendeleza mageuzi, Mbowe, alisema Daniel Nsanzugwanko, Aman Kabourou na Zitto Kabwe walionyesha umahiri wao katika kuongoza vyama vya siasa enzi zao kabla ya kurubuniwa na kuvisaliti.

Akifafanua zaidi kuhusu lawama ambazo zimekuwa zikielekezwa kwake na chama anachokiongoza, hususan kuondolewa kwa aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe, Mbowe alisema kuwa kamwe hawezi kumzibia kwa kuwa ndiye aliyemtafuta na kumuingiza katika siasa akiwa kijana mdogo.

Labda nilazimike kutoa ufafanuzi huu ili muelewe ukweli wake. Mimi ndiye nilimwingiza Zitto katika siasa akiwa kijana madogo, nilimwita akitokea masomoni Ujerumani, kisha nikamshauri akagombee ubunge katika jimbo la Kigoma Kaskazini, nikampa pesa na gari ambalo mpaka sasa hajalirudisha,” alifafanua.

Alisema Zitto ndiye aliyetia mchanga kitumbua chake kwa kusaliti chama kutokana na kukubali kurubuniwa na viongozi wa CCM, jambo ambalo lisingelivumiliwa ndani na nje ya chama.

Huku akishangiliwa na umati mkubwa uliofurika katika Uwanja wa Community Centre mjni Kigoma, Mbowe alisema kuwa, atahakikisha anakilinda chama hicho kwa gharama yoyote bila kumwonea mtu ili kukijengea imani kwa watanzania.

Akizungumzia usaliti wa aliyewahi kuwa Mbunge wa Kigoma Mjini kupitia chama hicho, Dk. Aman Kabourou, alisema kwamba akiwa kijana mwanzilishi wa chama hicho, alishiriki kikamilifu kumpigania Dk. Kabourou kumleta nchini na hatimaye kugombea ubunge mwaka 1993 katika uchaguzi mdogo.

“Nyinyi vijana wengi inawezekana hamjui hiki chama kilianza vipi katika mkoa huu. Mimi nilishiriki kikamilifi kumwezesha Dk. Kabourou kuwania ubunge wa Kigoma Mjini kwa kutoa nauli ya kumleta kutoka Uingereza alikokuwa akiishi, yeye na mkewe na pia nikampa pesa kumwezesha kufanya kampeni, leo hii mnanihukumu Mbowe,” aliongeza.

Alisema kuwa kuna baadhi ya watu wanafikiri kuwa anampiga vita Zitto, jambo ambalo si kweli kwa kuwa amemlea, amekula na kulala nyumbani kwake kabla hajakua kiuchumi.

Jana, Mbowe alifanya ziara yake katika jimbo la Manyovu, Kigoma mjini katika uwanja wa Community Centre Mwanga, Munawila na Mahembe ambako aliendelea kuwasisitiza wananchi kuwapa dola upinzani kwa kuanzia uchaguzi wa serikali za mitaa.

Chanzo:Tanzania daima

Wema Sepetu na Penny Wamkejeli Diamond na Zari The Lady Boss

$
0
0
Stori: Imelda Mtema
Mastaa wawili hapa Bongo ambao huko nyuma walikuwa katika bifu kali, Wema Sepetu na Penny Mwingilwa wameonekana kumkejeli aliyekuwa mpenzi wao, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kwa kutumia neno Project.

Mastaa hao walionekana wameweka picha yao wakiwa pamoja wamejilaza chini nyumbani kwa Wema  na kuandika kuwa wakiwa katika Project yao neno ambalo lilitumiwa na Diamond akiwa na mwanadada Zarina Hassan  ‘Boss lady’ anayedaiwa kutoka kimapenzi na mwanamuziki huyo.

Gazeti hili lilifanikiwa kuzungumza na Penny kwa njia ya simu ambapo alisema kuwa siku hiyo walikutana na kuzungumza na rafiki yake huyo wa muda mrefu na mambo ya project yalitokea tu.
“Sisi tulimisiana sana na tulikutana na kuzungumza mambo mengi ya zamani, hiyo project iliingia tu,” alisema Penny.
GPL

Baby Madaha 'Situmii Kinga Hata Siku Moja'

$
0
0
Stori: Gladness Mallya
BAADA ya hivi karibuni Msanii wa Filamu na Muziki Bongo, Baby Madaha kusema ameamua kuwapanga wanaume, hivi sasa ameibuka na jipya na kudai kwamba huwa hatumii kinga ‘kondom’ hata siku moja.

Akipiga stori na paparazi wetu, Baby Madaha alisema kabla hajaanguka penzini na mwanaume lazima akapime kwanza Ukimwi na baada ya hapo ndipo mambo mengine yanaendelea hivyo akishahakikisha huyo mwanaume ni mzima huwa ahangaiki kutumia kinga.

“Japokuwa nawapanga wanaume lakini najali sana afya yangu yaani kila baada ya miezi mitatu huwa naenda kupima kabla sijaingia naye kwenye uhusiano, nikikuta yuko fresh tunaendelea na mapenzi yetu na huwa situmii kinga kwa sababu nakuwa nimeshajua afya yake. 

Ikitokea amenizingua nampiga chini namchukua mwingine naenda kumpima hivyohivyo maisha yanasonga mbele,” alisema Baby Madaha.
GPL

Rais Kikwete Kuhamishiwa Hoteli Maalum Huku Akiendelea Kutibiwa

$
0
0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anaendelea na matitabu yake nchini Marekani, leo, Jumatano, Novemba 12, 2014, anatarajiwa kutoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye Hoteli Maalum ambako ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.

Rais Kikwete amekuwa kwenye Hospitali ya Johns Hopkins tokea Jumamosi iliyopita wakati alipofanyikwa upasuaji wa tezi dume (prostrate) na afya yake imekuwa inaimarika kiasi cha kuanza mazoezi ya kutembea.

Kutokana na kuondolewa kwa bandeji kwenye mshono ambao nao umeanza kukauka vizuri, Rais Kikwete baadaye leo atahamishwa kutoka wodini kwenda kwenye Hospitali Maalum yenye uhusiano na Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko karibu na hospitali hiyo.

Akiwa kwenye Hoteli Maalum hiyo, Rais Kikwete ataendelea kupatiwa matibabu, kutembelewa mara kwa mara na madaktari na kuwa chini ya uangalizi wa wauguzi muda wote. Wiki moja baadaye, Rais Kikwete atafanyiwa tathmini ya kuwawezesha madaktari kuamua hatua inayofuata ya matibabu yake.

Wakati huo huo, kwa sababu ya wingi wa ujumbe mfupi wa simu (sms) ambazo amekuwa anazipokea Rais Kikwete, imeanzishwa namba maalum ya simu ambako wananchi wanaweza kuwasiliana kwa sms na Mhe. Rais. Namba hiyo ni +1-646-309-2295.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, 
Ikulu, 
DAR ES SALAAM.
12 Novemba, 2014

Nay wa Mitego Azungumza Haya Kuhusu Kuzaa na Siwema Baada ya Kupitia Mengi

$
0
0
Stori: Gladness Mallya
MWANAMUZIKI wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa Mitego’ amefunguka kuwa japokuwa ana watoto wengine wa nje lakini anajivunia kuzaa na mkewe, Siwema kwani walipitia changamoto nyingi kabla ya kupata mtoto.

Akichezesha taya na paparazi wetu, Nay alisema katika maisha ya mapenzi yake na Siwema walivumilia vingi na hivi sasa ana mshukuru Mungu kwani wameweza kufikia hatua nzuri ya kupata mtoto.

“Maisha ya mapenzi yetu yalikuwa na changamoto sana lakini nilisimama kwa sababu nampenda mke wangu Siwema, najivunia kuzaa na Siwema mtoto wa kiume na ninaendelea kumuomba Mungu aendelee kumkuza mwanetu,” alisema Nay wa Mitego.

Wadau mbalimbali wamekuwa wakimpongeza Nay kwenye mitandao ya kijamii kwa kile wanachodai kwamba ana mapenzi ya kweli licha ya changamoto nyingi zilizojitokeza kwa mpenzi wake Siwema za picha kuzagaa mitandaoni kwamba alikuwa mchumba wa mtu.

Ney wa Mitego Atoa Wimbo Mpya- Akadumba-Unaweza Kuudownload Hapa

$
0
0
Wimbo Mpya wa Ney wa Mitego Unaitwa Akadumba...Bonyeza Hapo chini Kuudownload...ni Moto wa kuotea Mbali ..Usipitwe

Wazazi wa Miss Tanzania Mpya Lilian Kamazima Watetea Uraia wa Mtoto Wao

$
0
0
Wazazi wa Miss Tanzania 2014 mpya Lilian Kamazima, Mzee Deus na mkewe Eva Kamazima wameibuka na kueleza kuwa binti yao ni Mtanzania halisi.

Mzee Kamazima anayeishi Arusha aliibuka jana na kutoa tamko kuhusiana na tetesi zinazohusu utata wa uraia wa binti yake na kueleza kuwa Lilian ni mzawa halisi wa Tanzania na kupuuza uvumi unaoenezwa kuwa si Mtanzania.

Mzazi huyo alisema yeye ni balozi wa Mtaa wa Azimio, Elerai jijini Arusha na kwamba wameupokea ushindi wa binti yake kwa furaha kwa kuwa alistahili taji hilo siku ya fainali.

Baada ya mrembo huyo kupewa taji, zilizagaa taarifa kwenye mitandao ya kijamii kwamba mrembo huyo ni raia wa Rwanda.

Akizungumza na mwanachi, Kamazima ambaye alifuatana na Mkurugenzi wa Kampuni ya Mwandago Investment Ltd, Faustine Mwandago ambayo ndiyo iliyomsimamia ushindi wake mkoani Arusha, mzazi huyo alipinga taarifa hizo kwa madai hazina chembe ya ukweli wowote.

Kamazima alisema kuwa binti yake alizaliwa Hospitali ya ya Mount Meru, Arusha miaka 18 iliyopita na kuanza elimu ya msingi katika Shule ya Burka.

Alisema kuwa alibatizwa katika Kanisa Katoliki, Burka na kwamba alimaliza elimu ya sekondari katika Shule ya Prime iliyopo Uzunguni jijini Arusha.

“Tuhuma hizo hazina ukweli wowote huo vyeti vyake vipo wazi, ni upuuzi tu nauita binti yangu alizaliwa hapa Arusha katika hospitali ya mkoa ya Mt Meru,”alisema Kamazima.

Hata hivyo, alisisitiza kuwa yeye ni mzaliwa wa mkoani Kagera Kijiji cha Kishago Kanyansina na alibatizwa katika Kanisa Katoliki Kishogo na mama mzazi wa binti huyo ni mzaliwa wa Kilimanjaro.

Mama mzazi wa mrembo huyo, Eva Kamazima alisema kuwa wamefurahishwa na ushindi wa binti yao, kuvikwa taji la urembo huo huku akisisitiza kuwa hata hapo awali walifurahi mtoto wao kushika nafasi ya pili.

Alisema kuwa furaha ya ushindi waliyokuwa nayo katika ukumbi wa Mlimani City siku ya fainali ilikuwa ni ya juu kwa kuwa walifurahia mtoto wao kushika nafasi ya pili na waliridhika na matokeo kama kawaida.

“Unajua sisi hata aliposhika nafasi ya pili tulifurahi lakini kwa kupewa hata hii ya kwanza tumefurahi pia,”alisema mama mzazi huyo ambaye pia ni mmiliki wa maduka ya Mwana Mwana Fashion ya jijini Arusha.

Source:Mwananchi

Zari Aongelea Mahusiano Yake na Diamond Platnumz Baada ya Tetesi Kuwa Nyingi

$
0
0
Mfanyabiashara na mwimbaji mrembo wa Uganda, Zari the Boss Lady na Diamond Platnumz waliingia kwenye headlines weekend iliyopita baada ya picha zao wakiwa kwenye faragha kama wapenzi kuzua maswali mengi kwenye mitandao ya kijamii.

Hata Hivyo Zari hakuchukua muda mrefu na kuamua kutumia Instagram kufumbua fumbo hilo kwa kuweka wazi kuwa ameshirikiana na Diamond katika wimbo wake mpya.

Zari ameuambia mtandao wa Big Eye wa Uganda kuwa picha zilizosambaa ni sehemu ya video shoot ya wimbo aliofanya na hit maker wa Number 1.

Wimbo huo unatarajiwa kutoka December 18 wakati wa party ya Zari ‘All white Ciroc party’ itakayofanyika kwenye Club Guvnor nchini Uganda.

Kitu ambacho watu wengi walikuwa hawafahamu ni kuwa , Zari ni muimbaji lakini alikuwa ameweka pembeni muziki kwa muda, na sasa ameamua kurejea.

Mwanamuziki Roma Afunguka 'Asikwambie Mtu Hakuna Watu Wenye Stress Kama Wasanii'

$
0
0
‪‎Lawama‬ zinakuwa nyingi sana naona!!! Na wengi mnazipeleka eneo moja tu!!
Askwambie mtu hakuna watu wenye ‪#‎Stress‬ kama sisi ‪#‎wasanii‬ aaaf mbaya zaidi sisi wengi wetu hatuwezi kuishinda hiyo ‪#‎Challenge‬ finally tunafail!!
Kuna kipindi msanii unakuwa ‪#‎Juu‬ sana na hiyo inatokana na juhudi zako na support unayopewa na wadau wa mziki (media sanasana) na mashabiki!! ‪#‎HALAFU‬ GHAFLA FROM NOWHERE ULE UJUU UNAANZA KUPUNGUA KISHA UNAISHA KABISA!! AU KUNA WAKATI HUO UJUU HAUISHI TARATIBU UNAISHA GHAFLA TU VUUUP!! #STRESS INAANZA!!
SWALI NI KWANINI HUO UJUU UNAISHA GHAFLA!!? 
Je uwezo wako unaisha?
Unaridhika mafanikio?
Unaikosa ile support ya awali toka kwa wadau?
Je unashushwa kwa nguvu za watu fulani?
Kuna wengine sasa wasanii wanakuwa hawajawahi kuwa #JUU Lakini wanafight kufika juu na wanajituma hasa na ‪#‎NI_WAKALI‬ sana lakini zinatokea tu ‪#‎FIGISUFIGISU‬ msanii anakuwa hatoboi!! Finally anaamini anabaniwa na hapewi support. ..#STRESS INAANZA!!
Wasanii kama ‪#‎GEEZMABOV‬ tunao wengi sana hapa ‪#‎TANZANIA‬ lakini hatujifunzi kwa mifano!! 
kuna vipaji havipaswi kupuuziwa hata kidogo jamani vipeni support a hundred please!! Hatatokea msanii kama ‪#‎AfandeSelle‬ mi nakwambia hadi leo ni mkali sana huyu mtu!! Hakuna ‪#‎Rapper‬ kama ‪#‎JosMtambo‬ askwambie mtu!! Yule ‪#‎Enika‬ yule ni anaimba jamani acha tu!! Hawa vijana wa ‪#‎TamaduniMusic‬ ni new ‪#‎faces‬ zinazokuja vizuri sana wapewe ‪#‎support‬!! ‪#‎Joslin‬#MBDog# hawa watu ni ‪#‎Almasi‬ jamani!! Tunawasanii wakali kibao mi nakwambia ‪#‎DojoNaKaya‬ ni ‪#‎nyoko‬!! Wataimba wote ila mtu kama ‪#‎RamaDee‬ ni hadithi nyingine ujue!!! 
Na isiwepo hii hali ya kwamba
"ILI ATOBOE FLANI BASI LAZIMA FLANI APOTEE!! HII KAULI HAINA MASHIKO KIUKWELI!!! Kwanini apotee?? Si tuwe wote tu!!! Na msitetee kwa kusema HATA MAREKANI IKO IVO...kwani si wao!!
Ni lazima tuwaige kwani!!?
ILA UPANDE WA PILI SASA
Lakini wakati mwingine sisi wasanii tuna makosa kutokana na ‪#‎ATTITUDE‬ zetu...tutambue kuwa tunaofanya nao kazi ni ‪#‎WAFANYABIASHARA‬ na sio ndugu zetu wala hakuna sehemu iliyoandikwa NI LAZIMA WAKUSUPPORT!! Kila mtu ana matakwa yake kama mfanyabiashara kama mdau!! So ‪#‎JIONGEZE‬!!
Tuna ‪#‎Angle‬ moja tu sasa ya biashara ya muziki wetu nayo ni ‪#‎SHOW‬ 
Sasa kuna wasanii unapita #Mwaka hawajapata show na ni wakali sana...na mbaya zaidi bado hawapati #AIRTYM katika media houses!!#WANAUMIA SANA!!!!!
Kama hiyo haitoshi msanii ana miezi 6 hajapata show wala akiaandaa mwenyewe mashabiki hawamsupport anafail...kisha anaskia msanii mchanga tu ametoka juzi amepigiwa simu ya show #MILIONI3 Amekataa!!
Wakati yeye anaitafta hata show ya #LAKI3 tu hapati!! #STRESS INAANZA!!
Finally ukishindwa kui control stress basi uta end up into 
NEGATIVE SIDE!!!
Wito wangu tafadhali tuwasapoti na tuzidi kuwasapoti vijana wetu wenye vipaji...najua wapo wenye matatizo lakini tusiikate tamaa tuzidi kuwaonyesha njia bora ya mafanikio...hii ni kwenu mashabiki na wadau wa muziki wetu huu pendwa wa BONGOFLAVA

Download Wimbo wa Nani Kama Mama wa Christian Bella Feat. Ommy Dimpoz

$
0
0
Nimepata Maombi Mengi sana kutoka kwa Wadau wa udaku wakitaka niwawekee Link ya Kudownload huu wimbo wa Nani Kama mama wa Christian Bella Feat. Ommy Dimpoz... Haya Unaweza Download Hapa chini:

Mwanamke zingatia Haya Wakati wa Kuomba hela Kwa Mwanaume

$
0
0
Ukweli ni kwamba raha ya mapenzi ni pamoja na kupunguziana makali ya maisha. Na katika kupunguziana uko makali ya maisha ndio matumizi pesa yanapochomoza.

Kusaidiana ni kwa pande zote iwe kwa mwanamke kwenda kwa mwanaume au kinyume chake, Ingawa kwa kiasi kikubwa ni wanaume ndio wanawajibika zaidi kutunza wapenzi au wake zao.

Nilichotaka kuwakumbusha wanawake zaidi ni kwamba kweli ni haki yao kutunzwa na waume zao lakini kunavigezo na masharti uzingatie kwa mfano:-

1. Mda gani hasa unapaswa kuomba HELA tangu mahusiano kutokea.
Mapenzi ata wiki bado umeshaomba uchongeshewe kabati LA vyombo.

Haiwezekana kuomba HELA Mara tu mpenzi wako anapokuomba kukutana ata kwa salam tu za kawaida. Mkutano WA kwanza ushaomba HELA ya kusukia mweeh.

2. Usimuombe HELA kwa mume au mpenzi ambayo anatoaga ata bila kuomba, ni uroho.

3. Angalia aina ya kazi anayofanya mpenz au mume na kipato chake ujue aina ya kizinga kinachomfaa, usije kumuova dozi.

4. Weka nafasi ya kutosha kati ya kizinga kimoja na kingine.Isiwe Jana pango ya NYUMBA imeisha, wiki ijayo simu imeingia kwenye ndoo ya maji .

5. Muandalie mazingira mazuri ya furaha kutoka kwako,ikiwezekana baada ya kumpa mavituz yalioenda shule ndio unamkurupusha na kizinga.

6. Kukosa kupo pia sio kila utakapoomba utapata wakati mwingine atakua anasaidia na ndugu pia.
Mume au mpenzi akikuambia cna ujue ana na inatakiwa maisha yaendelelee sio ndio unaanza cm hapokei ppchi hautoi sio poa.

7. Vizingi vikue taratibu usianze tu kuomba laki noo!, anza na kitu cha msimbz then unaangalia upepo ukiona anakuja poa unaendelea usikurupuke tu.

8. Pima aina ya mapenzi unayotoa kwa mtu yana hadhi ya kupewa unachotaka kutokana na ulichotoa. Umenipa mende kafa,laki yangu unaitaka ya nini? Yako wewe ni 5000 kwa services hii.

9. Jitaidi na wewe kumpa chochote ata kama kitatokana na HELA yake nwenyewe poa tu si anajua wewe huna kazi na kipato chako kidogo.

10. Sio lazima kila mkikutana kimwili lazima afungue pochi cku nyingine muagane tu. Kuna watu waajabu mno udhani kila gemu inamtonyo sio ivo.

NB.
Nazungumzia wale wasioelewa ayo apo juu na sijamaanisha wanawake wote.
Ruksaa kuongeza kitu au kupunguza, onesha na namba iliokugusa.

Kumekucha Uchaguzi Mkuu 2015, Lowassa atikisa CCM, upinzani

$
0
0
Pengine hilo ndilo neno linalofaa kutumika kuelezea matokeo ya utafiti kuhusu kinyang’anyiro cha urais katika Uchaguzi Mkuu 2015 ambayo yanaonyesha kuwa iwapo ungefanyika leo, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa angeibuka mshindi.

Wakati Lowassa angeibuka na ushindi kwa asilimia 13 na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda angefuatia kwa karibu akiwa na asilimia 12 huku Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa akiwa wa tatu kwa asilimia kumi na moja.

Hata hivyo, asilimia 33 ya wananchi waliohojiwa walisema bado hawajaamua wampigie kura mgombea gani.

Utafiti huo wa Taasisi ya Twaweza unayoonyesha wagombea hao kukabana kwa tofauti ya asilimia mojamoja na ambao ulitangazwa Dar es Salaam jana, ulifanywa Septemba 2014 kwa kuwahoji wananchi 1,445 kutoka Tanzania Bara.

Akitangaza matokeo hayo, mtafiti wa Twaweza, Elvis Mushi alisema utafiti huo ni wa tatu kufanyika nchini na kwamba awamu ya kwanza ilifanyika mwaka 2012 na Lowassa alipata asilimia sita kabla ya mwaka jana na mwaka huu kuibuka na asilimia 13.

Akimzungumzia Pinda, mtafiti huyo alisema mwaka 2012 alipata 16, lakini zilishuka mwaka 2013 hadi kufikia asilimia kumi na moja na kupanda tena mwaka huu hadi 12.

“Kwa upande wa Dk Slaa, mwaka 2012 na 2013 alipata asilimia 19 lakini sasa ameshuka hadi asilimia kumi na moja,” alisema Mushi.

Wagombea wengine waliotajwa na asilimia zao kwenye mabano ni Profesa Ibrahim Lipumba (6%), Dk John Magufuli (3%), Freeman Mbowe (3%), Samuel Sitta (4%), Bernard Membe (5%) na Zitto Kabwe (1%).

“Hata hivyo, kitu muhimu cha kuangalia katika ripoti hii siyo tu majina ya mgombea, bali ni idadi ya wananchi asilimia 33 ambao wamesema hawajui watamchagua nani,” aliongeza Mushi.

Ripoti hiyo inaonyesha kuwa iwapo vyama vyote vya upinzani vitaungana na kumchagua mgombea urais mmoja, asilimia 41 ya wananchi waliohojiwa walisema wangemchagua Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa, akifuatiwa na Profesa Lipumba (14%), Mbowe (11%) na Zitto Kabwe (6%).

Wanasiasa wengine waliotajwa ni Tundu Lissu, Maalim Seif Sharif Hamad, James Mbatia na Augustino Mrema ambao kila mmoja aliambulia asilimia moja.
Viewing all 104803 articles
Browse latest View live




Latest Images