Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Jembe Tido Mhando Atua Azam TV

$
0
0
KAMPUNI ya Azam Media Limited, leo imetangaza kuwa Tido Mhando ameteuliwa kuwa kaimu-Mkurugenzi mtendaji, Uhai Production Ltd.(UPL). 

Tido, anaungana na Rhys Torrington ambaye ni Mkuregenzi Mtendaji Mkuu wa Azam Media Ltd na mtangazaji huyo maarufu wa mpira zamani nchini, Mhando ataanza majukumu yake mara moja, ikiwa jukumu lake kubwa ni utengenezaji na uboreshaji wa vipindi vya kitanzania katika televisheni na redioni.

Mhando mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 40 kwenye tasnia ya utangazaji na Uandishi wa Habari, ni mtu anayejulikana na kuheshimika katika tasnia hiyo ukanda wa Afrika Mashariki na Ulimwenguni kote. 

Alianza kazi kama DJ Radio Tanzania na mnamo mwaka 1985 alijiunga na BBC idha ya Kiswahili Nairobi kama mwandishi wa habari. Ukuwaji wake ndani ya shirika ulimpelekea kuhamishiwa jijini London mwaka 1991 ambapo aliteuliwa kuwa Mwafrika wa kwanza kuongoza idara ya Idhaa ya Kiswahili BBC. 

Baada ya kurejea Tanzania, Mhando ameshika nyadhifa mbali mbali za juu zikiwemo Mkurugenzi Mkuu wa TBC na hivi karibuni Mkurugenzi Mkuu wa Mwananchi Communication Ltd. 

Akizungumzia uteuzi wake, Mhando amesema; “Ninayo furaha kubwa kujiunga na Azam Media, pia na changamoto kubwa zilizopo mbele yetu kuifanya kuwa kampuni pekee ya Televisioni na Redio yenye ubora katika kutoa burudani hapa nchini (Tanzania) pia na ukanda wote wa Afrika,”.

Mhando ofisi zake zitakuwepo katika jengo la kisasa la Uhai Production Tabata, Dar es salaam. UPL inajulikana kwa ubora wake katika kurusha matangazo yake moja kwa moja kama vile, Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara pamoja na vipindi vingine maarufu kama Kwetu House na Morning Trumpet.

Pia katika wiki zijazo UPL itazindua studio zake mpya zenye kiwango cha kimataifa ambazo zitamuwezesha Mhando kuwa na uwezo mkubwa wa kutengeneza vipindi mbali mbali vyenye viwango vya kimataifa akishirikiana na watengenezaji wazawa.

Akizungumzia uteuzi huo, Muingereza Torrington amesema: “Tunayo faraja kubwa kwa Tido kujiunga nasi wakati tunakaribia kutimiza mwaka wetu wa kwanza tokea tuanze kutoa huduma, inanipa furaha kwamba Azam TV imekuwa kwa kasi na kuwa wasambazaji wakuu na watoa huduma bora satellite Pay Tv Tanzania,”. 

“Kwa uzoefu wake nategemea Tido atachukuwa jukumu la kutupeleka katika hatua nyingine ya mafanikio kibiashara kwa kutengeneza vipindi na burudani mbali mbali kwajili ya wateja wetu Tanzania na kuvuka mipaka yetu. Na mtakia kilala kheri katika majukumu yake mapya,” amesema.

Nassari aweka hadharani kimemo cha siri alichoandikiwa na Mwigulu Bungeni

$
0
0
Hiki hapa ni Kimemo kilichotoka kwa Mwigulu kwenda kwa Mbunge wa Arumeru wakati wa sakata la Escrow.

Mshiriki wa Tanzania Big Brother Apeta...Aingia Fainali

$
0
0
Big Brother Hotshots has come down to this: eight Hotshots all vying for the ultimate prize of USD300,000. IK played a joke on the housemates, saying that he had more bad news. But it was obviously not the case as there are eight Hotshots in the final week. One of Butterphly, Idris, JJ, Macky2, M'am Bea, Nhlanhla, Sipe and Tayo will be crowned as the Big Brother Hotshot on Sunday, December 7, in the explosive finale. 

IK told the housemates in the house that as a reward for making it to the final week, Big Brother had arranged a special treat for making it to the final week. A concert featuring Addiction, Dee Moneey and Tekno. 

As soon as the eviction show ended, voting opened and it closes on Sunday at 06:00 CAT. Remember, this is important, you are voting for the person you want to win. This week, Africa will be voting for who they think should win, not who they want to leave the house. The housemate with the most votes at the end of this final week, will be the winner. 

Sunday's show starts an hour earlier, as it is a two hour special, from 19:00 until 21:00. Who do you think will win, who is the ultimate Hotshot?

Prof. Tibaijuka: Nijiuzulu kwa lipi ? Asema Haoni Kosa Kutafuta Mchango wa Shule

$
0
0

Amesema haoni kosa kutafuta mchango wa shule. 
Yeye alipokea fedha toka kwa Ruge ambaye na kodi alilipa amehoji kama ni fedha haramu inakuwaje TRA wamechukua mpaka kodi yake zaidi ya billion 30. 

Anasubiri mamlaka ya uteuzi ipime na kuamua. Haoni haja ya kujiuzulu. 
Amesema hayo akihojiwa na BBC

'Condom' Zinavyofuliwa na Kutumiwa Tena Tanzania

$
0
0
Nchini Tanzania kuna maeneo machache ambayo baadhi ya watu wake hawana uelewa thabit wa kutumia mipira ya kiume(Condoms) kiasi ambacho mpira mmoja unaweza kutumiwa na vijana watatu hadi wanne kwa kubadilishana baada ya kuusafisha na kuanika juani.
Hali hiyo imeelezwa kuwa chanzo kingine cha kuenea kwa maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi.
Mwandishi wa BBC Baruan Muhuza alitembelea wilaya ya Longido kaskazini mwa Tanzania kijijini Orglay na kuzungumza na mmoja kati ya vijana wa kijijini hicho.
SIKILIZA HAPA:

Ukiwa na Demu Chumbani au Geto Alafu Akakwambia Maneno Haya Usipoelewa Basi Wewe ni Boya

$
0
0

1. Unapokuwa umetembelewa na mwanamke/msichana chumbani kwako kisha anakuambia funga pazia chumba kiwe giza sipendelei mwanga, unafanya hivyo kisha unakuwa kama zimwi ujauelewa ujumbe wake hapo. My broad wewe ni bonafide dumb

2. Pindi akikuambia anajisikia baridi kisha unazima AC unawasha fan. My broad wewe ni bigwa wa kutoelewa ujumbe.

3. Pindi mkiwa mnatazama movie nzuri kisha anakuambia ainjoy then unamuambia muangalie movie nyingine anakuambia HAPANA… kama utakuwa bado ujampata ujumbe wake wewe ni boya katila level ya Master’s

4. Kama atakuambia ataondoka muda siyo mrefu akawa anakukumbusha kila baada ya dakika kadhaa kupita ukawa ujaelewa ujumbe wake. Wewe ni boya katika level ya PHD

Huyu Ndio Singa Singa Tapeli wa Escrow, Awatoa Machozi Vigogo, Mawaziri Hawatamsahau

$
0
0
Stori: Mwandishi Wetu
Unamjua? Anaitwa Harbinder Singh Sethi! Ni mfanyabiashara bilionea mwenye asili ya Bara la Asia na mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa Kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) ambayo hivi karibuni imezua tafrani Bongo kufuatia kampuni yake kuhusishwa na uchotwaji wa fedha kiasi cha Sh. Bilioni 306 kutoka Akaunti ya Tegeta Escrow ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Singa singa ambaye ni mmiliki wa mtambo wa kufua umeme wa IPTL, Harbinder Singh Sethi! (wa pili kulia) akielekeza jambo.

Harbinder ambaye ni singasinga anatajwa pia akidaiwa kuwa mfanyabiashara tapeli kufuatia vitendo vyake mbalimbali katika kumiliki makampuni na ukwepaji wa kodi ya serikali.

HISTORIA YAKE FUPI
Harbinder anatajwa na vyanzo kwamba ni mzaliwa wa Mkoa wa Iringa. Mwaka 1977 akiwa na umri wa miaka 20 ya kuzaliwa na nduguze wawili, Nota Singh na Manjit Singh walianzisha kampuni ya ujenzi wa barabara iliyojulikana kwa jina la Ruaha Concrete Co. Ltd ikitumia SLP 498, Iringa. Ruaha ni sehemu maarufu kwenye Manispaa ya Mji wa Iringa kukiwa na vitongoji vya Ipogoro, Kibwabwa na Ndiuka. Jina la Ruaha linatokana na Mto Ruaha kupita eneo hilo. 

Vyanzo vinasema, Harbinder alianza kumiliki fedha nyingi kuanzia miaka ya 80 wakati familia ya Rais wa Kenya wakati huo, Daniel Arap Moi ilipoanza kujiingiza kwenye biashara mbalimbali.

AHAMIA KENYA
Vyanzo vikadai kuwa, miaka hiyo, singasinga huyo alihamia jijini Nairobi, Kenya ambako alianza kuwa mshirika wa kibiashara na mtoto wa kwanza wa Rais Moi aitwaye Gideon Moi.

ALIANZA UMEME NCHINI KENYA
Akiwa nchini humo, vyanzo vinamtaja singasinga huyo kuwa alipata umiliki wa mtambo wa Westmont wa kuzalisha umeme wa megawati 47 jijini Mombasa.
Washirika wenzake katika mradi huo walikuwa Mukesh Gohil, Kamlesh Pattni, Gichuru na Mkurugenzi Mtendaji wa KPLC, Mutitu.

Singh pia anatajwa kuwa na miradi  74 iliyofungwa katika maeneo mbalimbali ya Afrika Mashariki kutokana na kuvurunda kama siyo kufanya vibaya.

ALIPATA MSALA KENYA
Mwaka 1997, Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Mashirika Kenya ilianika udhaifu wa Ruaha Concrete katika tenda ya ujenzi wa barabara ambako kulikuwa na ucheleweshaji, kuongezeka kwa gharama pamoja na utekelezaji hafifu uliojitokeza.

Kufuatia madai hayo, ilibidi mhandisi msimamizi wa mradi huo aliyetajwa kwa jina moja la Kitololo ajiuzulu baada ya kukataa kutia saini kuwa kazi iliyozembewa imekamilika.

ARUDI BONGO
Haikujulikana mara moja ni mwaka gani alirejea Bongo, lakini ilidaiwa kuwa tayari alishawekeza nchini huku akiwa bado ana biashara zake Kenya na baadaye alirudi jumla kutokana na misala ya kule.

KWA NINI NI TAPELI?
Singh anatajwa kuwa mfanyabishara tapeli kufuatia Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) kumtaja kuwa amehusika na vitendo vya ukwepaji wa kodi akitumia mbinu za ujanjaujanja.
Mfano mkubwa ni hizo bilioni 306 alizochota kwenye Akaunti ya Tegeta Escrow hakuzilipia kodi na ndiyo maana Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akihutubia bunge mjini Dodoma, Ijumaa iliyopita katika mjadala huo aliamuru kodi hiyo ilipwe mara moja.

Lakini pia kwa mujibu wa TRA na Ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), jamaa huyo amekuwa na tabia ya kuuza hisa kwa bei ya chini kwa makampuni mengine ili aweze kulipa kodi ndogo jambo ambalo pia ni kuonesha ni mfanyabiashara tapeli.

Kamati ya Zitto Kabwe ambaye ni mwenyekiti wa PAC, pia ilibaini kuwa, wakati yeye alijulikana kuwa ndiye mmiliki wa Kampuni ya IPTL ambayo baadaye aliiuza kwa Pan African Power Solutions Limited (PAP), uchunguzi wa PAC ukaja kubaini kuwa, mwenye PAP ndiyo huyohuyo mwenye IPTL, yaani singasinga huyo. Dah!

ALIHENYESHA BUNGE LA TANZANIA
Kwa mara ya kwanza katika historia ya Bongo, Ijumaa iliyopita bunge liliendeshwa hadi saa 5:00 kasoro usiku, ishu ikiwa ni kujadili yaliyotokana na Kamati ya PAC baada ya kuchunguza wizi wa mabilioni ya shilingi kutoka Escrow kwenda IPTL kwa kupitia PAP.

Baadhi ya mawaziri na vigogo serikalini ambao wengine walimwaga machozi kutokana na kashfa waliyoipata kupitia Kampuni ya IPTL hawatamsahau singasinga huyo kwa vile amewaingiza kwenye kumbukumbu mbaya ya Taifa la Tanzania. Katika listi ya viongozi hao yumo Mizengo Pinda, Profesa Sopspeter Muhongo, Stephen Masele, Eliakim Maswi, Jaji Feredrick Werema na wengine wengi.

Hadi gazeti hili linakwenda mitamboni, Spika wa Bunge, Anne Makinda aliliahirisha bunge hadi Januari, mwakani katika kikao cha 18 bila kumwadhibu mtu juu ya sakata hilo
GPL

Kwa Mara ya Kwanza Jide Atoa Sababu za Kuachana na Gadner..Kipigo ni Moja Wapo

$
0
0
Stori: Gladness Mallya
Funguka! Kwa mara ya kwanza, staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ ameanika kisa cha kummwaga mumewe, Gardner Gabriel Habash ‘Kaptein’ akieleza mateso aliyokutana nayo kwenye ndoa yao.

Staa wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ akipozi.

Akizungumza na Kituo cha Radio Times FM cha jijini Dar, wikiendi iliyopita, Jide alifunguka kuwa yeye ndiye aliyeamua kummwaga Gardner.
Katika mahojiano hayo, Jide alisema kwamba alikuwa kwenye uhusiano na mtu aliyekuwa akimpiga mara kwa mara licha ya kutomtaja moja kwa moja kuwa ni Gardner lakini alisema alikuwa akiteswa (hakuna mwanaume mwingine zaidi ya Gardner).

Kabla ya kuamua kuusema ukweli huo, Jide aliweka wazi kuwa siku zote amekuwa akiepuka kuzungumzia masuala yake binafsi kwenye vyombo vya habari.
“Kitu kimoja ambacho ningependa watu wafahamu, mimi siyo mtu ambaye huwa napenda kuongea maisha yangu kwenye media,” alisema Jide na kuongeza:

Judith Wambura Mbibo ‘Jide’ akiwa na Gardner.

“Ndiyo maana lolote ambalo linaendelea ndani ya nyumba yangu au kwenye maisha yangu, sijawahi kulitoa nje.  “Watu wanaongea chochote wanachohisi au wanachotaka kusema. Ninavyofikiria mtu anayenipenda mimi alinijua kwa sababu ya muziki na waendelee kuliheshimu hilo kwa sababu kila mtu ana haki ya kuwa na privacy (faragha).

Alipoulizwa kama bado yupo na Gardner, Jide alijibu: “Nimemuacha. Huyo (Gardner) tumeshamalizana.”

TETESI: Eti Shilole hakwenda ubelgiji kufanya shoo kama alivyodai. Adaiwa kupelekwa kula bata na mzee mmoja mwenye pesa ya kutosha

$
0
0
Kweli mjini kuna mambo. Hivi majuzi mwanadada Shilole aliuga umma kuwa anaenda ubeligiji kupiga show ya muziki, lakini wachunguzi wa mambo wametutonya kuwa jambo hili si kweli bali mrembo huyu amepelekwa nchini ubeligiji kula bata tu na mzee mmoja hivi mwenye hela zake za kutosha, na show ilikuwa kama njia ya kuzuga wananchi tu ili mpango wake huo usijulikane kirahisi hasa na mpenzi wake Nuh mziwanda ambaye ameachwa nchini bila kujua nini kinaendelea.

WACHUNGUZI WAMEJUAJE?

Wapasha habari hao wanadai kuwa, kawaida ya shilole akienda mahali kupiga show lazima kuwe na picha za kutosha juu ya tukio hilo, lakini safari hii akiwa huko ubelgiji ni picha zake tuu akiwa mitaani bila kujulikana hasa anafanya nini. Kwa wanaomfuatilia kwa karibu mwanadada huyo kwenye mitandao ya kijamii wanaweza wakatusadia kuhakikisha jambo hili

SIKU ALIYOSEMA ANAPIGA SHOW (JUMAMOSI TAR 29/11/2014)

Wadakuzi hao wanadai kuwa siku ya tukio hilo mwanadada shilole hakutupia picha kama kawaida yake walwa kuweka video ya show yake usiku huo (kama alivyofanya akiwa Cape town hivi majuzi ambayo aliweka mpaka video clip,) zaidi zaidi ya picha mbili tatu alizokuwa ameshikilia MIC bila ya watu (watazamaji) wala maneno yoyote ya kuonesha kuwa amepiga show ya aina gani usiku huo.

MASWALI YA MSINGI?

Je ni kweli mwanadada huyo alienda kupiga show? Ama alienda kunoniihino na jamaa huyu aliyeamua kulisha bata ndefu ulaya? Kama lipiga show kweli, je show hiyo iliboa sana kiasi kwamba hawezi hata kuweka picha? Au hii ilikuwa show ‘binafsi’?

Tupe maoni yako mdau...

Post ya Instagram ya Jose Chameleone Kuhusu Idris, Mwakilishi wa Tz Ndani ya Big Brother Africa

$
0
0
Love ya nguvu ambayo ipo kwa watu wa East Africa inaendelea kujidhihirisha ambapo siku ya leo staa wa Muziki kutoka Uganda, Jose Chameleone amekuwa moja ya mastaa kutoka nje ya Tz ambao wameonyesha love kubwa kwa kutoa support kwa mshiriki pekee wa Tz aliyebaki ndani ya Jumba la Big Brother Africa na kufanikiwa kuingia fainali pamoja na washiriki wengine 7 ambapo inafanya jumla ya washiriki walioingia final kuwa wanane tu.
Kupitia ukurasa wa Instagram, staa Jose Chameleone ameandika hivi pamoja na kuweka picha ya Idris; “… Let’s VOTE for IDRIS Tanzania. The Victory Belongs to East Africa!!!! Let’s VOTE #BBA HOTSHOTS Legoooo…“– @jchameleone


Mchezaji Mpira wa Miguu Bora wa Afrika Mwaka Huu Huyu Hapa

$
0
0
Kituo cha habari cha Uingereza  BBC kimemtaja nyota wa timu ya taifa ya Algeria Yacine Brahimi kuwa mchezaji bora wa Afrika kwa mwaka 2014.
Brahimi ambaye anachezea klabu ya Ureno ya Fc Porto anakuwa raia wa kwanza wa Algeria kutwaa tuzo hiyo ambayo hutolewa na BBC kila mwaka .

Brahimi ametwaa tuzo hii kufuatia uwezo aliouonyesha kwa mwa huu akiwa na timu yake ya taifa hasa kwenye michuano ya kombe la dunia ambako Algeria walifanikiwa kufika hatua ya 16 bora .
BBC imekuwa na utaratibu wa kuandaa tuzo hizi kila mwaka ambapo kwa miaka miwili iliyopita kiungo wa Ivory Coast Yaya Toure amekuwa akitawala .

Majibu ya Aunt Ezekiel Baada ya Kuulizwa Kuhusu Diamond na Zari Pamoja na Ujauzito

$
0
0
Kwenye U Heard ya leo Decemba 01 2014 Gossip Cop Soudy Brown ameongea na mwigizaji Aunt Ezekiel kuhusu ishu mbili tofauti ambapo ya kwanza ni kuhusu rafiki yake Wema kama amewahi kumwambia chanzo cha kuachana na Diamond.

Ishu ya pili ni Diamond kuonekana na Zari kwenye Tuzo za Channel O Afrika Kusini siku ya Jumamosi, Aunt Ezekiel amesema hajui chochote kuhusiana na masuala hayo na kusema hawezi kuzungumzia masuala ya mtu binafsi.

Soudy Brown akamuuliza swali jingine ambalo linahusiana na namna alivyoonekana kama mjamzito kwenye show ya msanii Mirror siku ya jana Maisha Club ambalo pia Aunty amesema hana ujauzito ila ni gauni alilovaa linamuonyesha hivyo.

Nimekuwekea hapa U Heard, unaweza kuisikiliza kwa kubonyeza play hapa.

Madawa ya Kulevya: Mtanzania Aishie Marekani Ashtakiwa kwa Kuingiza Heroin nchi Humo

$
0
0
Mtanzania aishie Marekani ameshtakiwa kwa kuhusika katika njama ya kimataifa ya kuingiza heroin nchni humo kutoka Tanzania. Mamlaka husika huko Marekani wamemtaja Mtanzania huyo kuwa ni Allen Jordan Baisi (34) na anahusika kwenye mtandao wa kimataifa wa kuingiza madawa ya kulevya Marekani kwa kutumia vifurishi vinavyotumwa kutoka Tanzania kwenda kwa "wateja" mbalimbali Marekani.

Hata hivyo, "wateja" hao walikutwa kuwa ni wasaidizi wake wakuu katika biashara yake haramu ya heroin. Kwa mujibu wa nyaraka za kimahakama, mtandao wake unajumuisha kusafirisha heroin iliyofichwa ndani ya soli za makubadhi (sandals) kwenye vifurushi vilivyokuwa vinatumwa kutoka Tanzania kwenda kwenye anwani za nyumbani zilizoko katika kaunti ya Muskegon.

Kwa mujibu ya wa tovuti ya mlive.com, Allen Jordan Baisi, ambaye anaishi Mount Prospect, Ill, alikamtwa huko Illinois na kushshtakiwa mwezi Octoba mwaka huu kwa kosa la kujihusisha kusambasa karibu gramu 100 za heroin na kosa la money laundering. Kwa mujibu wa nyaraka za kimahakama, Allen Jordan Baisi, ni Mtanzania na alikamatwa kwenye trafiki September 22 mwaka akiwa njia kuelekea uwanja wa ndege kuja Tanzania. Kesi yake itaanza kusikilizwa Januari 6, 2015. 

Bw. Baisi anashtakiwa pamoja na watuhumiwa wengine ambao wanajulikana kwa majina na wengine hawajulikani. Waendesha mashtaka wanadai kuwa heroin ilikuwa inafichwa kwenye vifurishi vya nguo ambavyo vilikuwa zinatumwa kwenye anuani za nyumbani zilizopo katika kaunti ya Muskegon na kuwa mtu mwingine ambaye nyaraka za kimahakama zinamtambulisha kama "Individual A” alikuwa anapokea heroin hiyo na kuisambaza eneo hilo. Mtu huyo alikuwa anakusanya malipo kutoka kwa wateja na kuyawasilisha kwa Bw. Baisi huko Illinois ambaye alikuwa anazituma Tanzania na kubakia na nyingine. 

Mwaka 2013 na 2014, Bw. Baisi alipokea fedha kama malipo halafu akazituma jiji Dar Es Salaam kama malipo ya alikonunua heroin hiyo. Kwa mujibu wa uchunguzi uliofanywa na Homeland Security ya Marekani kwenye simu mbili za Bw. Baisi Ocktoba 7 mwaka huu baada ya kukamatwa, mtuhumiwa aligundulika kuwa kwenye sehemu ya mtandao wa kimataifa wa biashara ya heroin na money laundering kati ya Tanzania na Marekani.

Kwa mujibu wa ripoti ya Homeland Security, wanachama wa mtandao huo wanaishi sehemu mbalimbali duniani zikiwemo Tanzania, India, kaskazini mwa Illinois and magharibi mwa Michigan. Bw. Baisi anadaiwa kusimamia na kufuatilia kwa njia ya kieletroniki jinsi vifurishi hivyo vilivyokuwa vinasafirishwa kutoke Tanzania hadi Muskegon. 

Mamlaka husika zilishtukia biashara hiyo ovu Disemba 2013 baada ya kukamata vifurishi viwili (Express Mail parcels) vilivyokuwa vimetumwa kwa wakazi wawili katika eneo la Muskegon. Kila kifurishi kilikuwa na karibu gramu 150 za heroin iliyokuwa imefichwa ndani ya soli za sandals. Uchunguzi ulidumu kwa miezi kadhaa kabla ya kukamata kifurishi cha tatu chenye heroin July 2014 katika uwanja wa John F. Kennedy Airport jijini New York kilichokuwa kinaenda katika anwani iliyopo magharibi mwa Illinois iliyokuwa na uhusiano na Bw, Baisi. 

Baisi alikuwa bado anatumikia kifungo cha nje tokea mwaka 2009 baada ya kufungwa kwa kosa la kujihusisha na biashara ya heroin. Agosti 5 mwaka huu, Polisi walimhoji Baisi nyumbani kwake Illinois. Inadaiwa kuwa katika mahojiano hayo, Bw. Baisi alikiri kujihusisha katika mtandao wa biashara ya madawa ya kulevya na money laundering kati ya Tanzania na Marekani. 

Baada ya Bw. Baisi kushirikiana na polisi waliokuwa wanafanya uchunguzi, ikiwa ni pamoja na kuwakabidhi simu zake Augosti 25, polisi walipokea taarifa Septemba 19 kuwa angeweza kuondoka Marekani Septemba 22. Maafisa wa Customs waliidhibitishia polisi kuwa Baisi alikuwa amepanga kuondoka na ndege ya Emirates kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa O.Hare kwenda Dar Es Salaam, Tanzania, kinyume na makubaliano ya yeye kutumikia kifungi cha nje. 

Baada ya kuambiwa hivyo, polisi walipata warrant na kumkamata Septembe 22 kwenye taa za trafiki maeneo ya Mount Prospect wakati akielekea uwanja wa ndege kurudi Tanzania. Oktoba 30, mahakama iliamua kumweka ndani bila bail kusubiri kesi yake. Jaji alisema Baisi ametenda kosa ambalo adhabu yake ni si chini ya miaka 10 jela na kwamba kuna uwezekano kuwa Baisi angeshindwa kutokea mahakamani au kuhatarisha maisha ya mtu mwingine au jamii kama akiachiliwa.

Wanaume Wenye Mahawara Please Muwe Makini Sana..Mnalogwa

$
0
0
Jumamosi ya juzi nikiwa ndani mwangu nafuatilia Bunge, nilisikia hodi ikabidi nikajue ni nani, alikuwa ni Jirani yangu (Binti) ana miaka kama 24-26 hivi, toka nimehamia hapa sijui ana shughuli gani inayomwingizia kipato au inayomfanya aishi hapa mjini, Baada ya kumkaribisha ndani akaanza hivi.

(Jina Langu) samahani, nikamjibu...bila samahani...(Jina lake), nina shida ya sh.30,000/= naomba unisaidie,(kwa kuwa nimezoena nae sana akaanza kunisimulia)

Kuna hawara yake ni doctor hapa ...juzi yake alimwambia kuwa "hamtaki tena kuanzia Juzi hiyo" huyo hawara yake ana mke na watoto 3.

Ni yeye (hawara) ndiye anayemlipia kodi ya nyumba, anamsomesha chuo cha Hotel management na ndiye anayemtunza kwa maana ya chakula.

Sasa kodi inaisha mwezi wa kwanza mwakani na ada ya chuo anadaiwa na imebaki sh. 700,000/= na pesa ya kwendea field Zanzibar hana.

Akaniambia kuwa, ...Nimepata mtaalamu (mganga) ameniambia nimpe sh. 30,000/= ili anipe dawa nimvute, (Amchomee) ili kurudisha mawasiliano halafu nyingine atamwekea kwenye chakula au kinywaji ili "akiomba kiasi chochote kile cha pesa apewe"

Sikuwa na iyana ila nimuuliza swali moja, kwa nini usitumie njia ya mazungumzo? akasema nishajaribu sana but hataki! "sasa mimi nitaishije hapa wakati ada nadaiwa, kodi ya nyumba inaisha mwakani"?

Nilimpa sh. 30,000/= akaenda.

Jumapili (jana) huyo hawara yake alisalimu amri yy mwenyewe kwa yeye kuanza kumpigia simu (kwa mujibu wa huyu binti) jamaa alimuuliza "upo wapi"? demu akajibu nipo nyumbani, Njoo .....bar...sasa kilichojiri huko jana sikijui nadhani leo ataniambia tu..

Kwa hiyo, wanaume tuwe makini sana na mahawara kwani yawezekana unaye na unatamani ujinasue kwake ila moyo wako unakufa ghafla na kuamua kuendelea naye hadi sasa. Pls, tuwe makini sana.

Ukimya wa Rais Sakata la Escrow Unatia Shaka

$
0
0
Ni jambo lakushangaza, kustaajabisha na kuchukiza kwamba Toka alipowasili jumamosi JK hajasema lolote kuhusu kashfa ya escrow zaidi ya ule mzaha aliofanya pale airport.

Hata kutwambia amelichukuliaje swala hili licha ya BUNGE kuthibitisha kuwa pesa ya UMMA imeibwa. Hajalaani, hajashtushwa, hajakasirika, wala kushangazwa (hamna kauli yeyote kutoka IKULU)

Billion 321 zimeibwa na wahuni nchini mwake, leo siku ya tatu toka mapendekezo yamepitishwa lakini JK yuko kimya, kajifungia IKULU. TUKUELEWEJE?

Hata kutoa press release ya kulaani kitendo hiki umeshindwa. Au umeanzisha uchunguzi mpya???hata umeogopa kuhutubia nchi mwanzo wa mwezi

Kwa rais serious na mwenye uchungu na nchi yake Jumatatu angeshatangaza kuwatimua woote waliofanya kadhia hii kwa mujibu wa maadhimio ya BUNGE, hivi bado unajiuliza nini?Hivi ni Kweli hii nchi iko auto pilot?

MH rais hatukuelewi na hueleweki.

Al Shaabab Waua Tena Watu 36 Kenya Leo

$
0
0
Takriban watu 36 wameuwa kwenye machimbo huko Koromei kwenye kaunti ya Mandera, leo asubuhi na wanamgambo wa kundi la Al-Shabaab

Watu wote waliouwa sio waislamu. Baadhi ya watu waliopona wamewaambia polisi kuwa waislamu waliokuwa kwenye eneo hilo waliachiwa.

Wahanga hao waliambiwa kusimama kwenye mstari na wengi walipigwa risasi kichwani na wengine walichinjwa. Polisi wamesema watu hao walishambuliwa wakiwa wamelala mida ya saa saba usiku.

November 22, wanamgambo hao pia waliishambulia basi na kuwaua abiria 28 kwenye kaunti ya Mandera. Watu hao pia walipigwa risasi kichwani.

At least 36 people were killed at a quarry at Koromey in Mandera County on Tuesday morning by Al-Shabaab militants. 


All the victims were non-Muslims and most of them are said to have hailed from Chaka in Kiganjo, Nyeri County. 

Some survivors have told the police that Muslims who were at the site were spared.

The victims were made to line up and most of them were shot in the head while others were beheaded.

Al-Shabaab has claimed responsibility for the attack.

Police say the victims were attacked as they were sleeping in tents at the site at around 1am. 

Chanzo: Daily Nation

Kufuru:Tajari Azikwa na Gari Aina ya Hammer Kaburini

$
0
0


Ama kweli Duniani kuna mambo, Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Filauni, Huko nchini Nigeria Tajiri mmoja maarufu amezikwa akiwa ndani ya gari lake la kifahari aina ya Hummer, kama inavyoonekana pichani gari hilo likishuhswa kaburini kama inavyokuwa kawaida kushusha Jeneza kaburini muda unapowadia. 

Mimi ni Msagaji ila Naogopa Kuweka Wazi Wazazi Wangu Watakasirika..Naomba Ushauri

$
0
0

Picha haihusiani na Habari
My name is ...... and I am 24 years old, doing my last year at Tumaini University (Tanzania) and I'm A Lesbian but I am scared to come out of the closet because of my family value, culture and people around me.

I'm afraid of what my family will think, my parents are strictly religious and are absolutely against homosexuality. They already hate me enough because I don't follow much of the religion staffs.  My mom expects me to get married to a wonderful husband and have kids. I don't want to do that because I'm not and never have been attracted to guys.

I knew I was gay since i was in form two and now, I'm in a relationship with my mom's friend daughter who is two years older than me living in Mbezi and she has a good, well paid job. We are planning to move in together when i finish university, we love each other so much.

We have been together for 3 years now "in the closet" is eating me up inside. I want to come out to my parents, but they are so close-minded and they think that all gays should be burned. I can't stand this anymore! I'm way too stressed out to care anymore. I need your advice Sporah, please. You can publish my story but please send me private advice like your sister. I will take your advice because your my role model. 

 I already have a bad relationship with my parents and coming out will only make my relationship with them worse. I'm so scared and I don't know what to do! I'm also tired of my Dad's comments about gays. He always says they are disgusting and perverted. I wish that I could move out of the country. I have attempted suicide twice when i was young, but now i love myself too much for that. And i have someone who truly love me, we are so happy together.
Writing this makes me feel soo relief,  just knowing that your reading this, and that i have someone to share with makes me feel so much better, coz am dying inside Da Sporah. I just want to scream and make it all go away, but I can't. I just don't know what to do anymore! PLEASE HELP..!

I love you Sporah so much
Yours......
Big Fan, A True Fan xoxo

One Word To these Student Who Shows off their Goodies Like This?

$
0
0
One Word To these Student Who Shows off their Goodies Like This?

Mama mwenye nyumba ananitega sana.

$
0
0
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yy huwa ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.
Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yy huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aise si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!! sipo tyr akauliza kwa nini? nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mi mbaya? nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 27 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kux naye coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namx mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku ws leo sana.

nifanyeje?
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images