Quantcast
Channel: UDAKU SPECIAL
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live

Mapungufu makubwa ya Serikali ya awamu ya nne

$
0
0
Wanajamvi it it hightime tujadili mapungufu ya serikali iloyopo madarakani ili hawa wanaojipitisha kutaka urais, watupe sera zao zitakuwaje: mimi niliyoyaona ni yafuatayo
1. Elimu imeendelea kushuka ubora
2. Maslahi ya wafanyakazi hayakujaliwa ili waongezeg tija.
3. Suala la afya kwa jamii halikupewa kipaumbele
4. Vijana wengi hawana ajira
5. Rushwa imekithiri kila maeneo mpaka inaonekana ni jambo la kawaida.
6. Muungano umetetereka kwa kuruhusu zanzibar izidi kufanya mambo yao
7. Heshima ya tanzania imepungua sana nje rais amekuwa ombaomba sana.
8. Usalama wa wanainchi umezidi kuwa shakani kuibuka kwa mabomu kila kona ya tanzania
9. Nchi yetu kuanza kumegwa huku tunatizama eg lake nyasa.
10. Kushidwa kuyaboresha makampuni yaliyochini ya serikali eg ATCL serikali haijatoa mtaji wala kununua ndege hata moja.

Ongezea Yako kama Unayo.

Jay Z na Beyonce Wivu Watawala kila mmoja macho kwenye simu ya mwenzake

$
0
0
Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa kama sababu ya ugomvi siku hizi.
Beyonce ni mke wa Jay Z, story  kubwa zaidi mitandaoni kwa sasa ziko mbili, kwanza ni zile romours za ujauzito wa staa huyo, pili ni kuhusu Bey kunaswa na kamera akiangalia kile ambacho mumewe anakifanya kwenye simu yake!
Hapa nimekuwekea pichaz za matukio mbalimbali ya Beyonce akiangalia simu ya mumewe, lakini kumbe hata Jay pia aliwahi kunaswa akiangalia simu ya Beyonce.

alikuwa akifuatilia anachokifanya mkewe.

Hii ndio zawadi ambayo Ray C amemwandalia Jakaya Kikwete

$
0
0
Rais Jakaya Kikwete ana mchango mkubwa kwenye maisha ya Rehela Chalamila aka Ray C. Kwa kutambua hilo, Ray C anatarajia kumpa zawadi maalum kwa moyo wake aliouonesha kuokoa maisha ya muimbaji huyo aliyewahi kuwa mtumiaji wa dawa za kulevya.

Ray C amekiambia kipindi cha The Mboni Show cha TBC1 kuwa hana zawadi kubwa zaidi ya kumpatia JK zaidi ya kuandaa show kubwa na kumkaribisha kuwa mgeni rasmi.

“Kwa ukweli sina uwezo wa ukweli wa kumpa chochote kile,” alisema Ray C. “Lakini nachojua kitu alichoniambia ni kwamba ‘nitafurahi sana ukirudi kwenye muziki na utaendelea na shughuli yako’ nikamwambia ‘baba nitafanya hivyo,” aliongeza.

“Kwahiyo nimeweza kurekodi album nzima na ninategemea nifanye show kubwa sana ambayo nitamwita yeye awe mgeni rasmi na nina uhakika siku atakayoniona kwenye stage atajua kweli nimerudi, kweli aliokoa kipaji. Maana yake ameokoa kipaji, watanzania walishanizoeana na nadhani ningeondoka kwa style ile nadhani ningewaumiza sana mashabiki wangu. Nashukuru nimerudi ni ni mzima wa afya.”

AY amwagia sifa ex-girlfriend wake Amani wa Kenya

$
0
0
Msanii wa muziki na mfanya biashara Ambwene Yessaya a.k.a AY yuko jijini Nairobi kwa sasa, na katika moja ya mahojiano aliyoyafanya na Standard Digital ya Kenya, amezungumzia uhusiano wake na ex-girlfriend wake mwimbaji wa Kenya Amani ulivyokuwa.

Katika mahojiano hayo AY amemsifia Amani kwa kusema kuwa katika miaka mitatu ya uhusiano wao, Amani alimfundisha jinsi wanawake wa Kenya walivyo na misimamo iliyonyooka katika mambo yao, na kuongeza kuwa Amani hakuwahi kuchanganya biashara na starehe.

“During the three years we dated, Amani showed me how Kenyan women are the most straight-forward in the world. Not one time did she ever mix business with pleasure,” Alisema AY

Source: SDE

Baba Amzika Mtoto wa Miaka Kumi Akiwa Mzima Kisa Kazaliwa Msichana

$
0
0
A man was arrested for trying to bury his 10-year-old daughter alive in the backyard of his home.

The incident happened on Friday afternoon in Putia village close to the India-Bangladesh border. Police sources say the man's dislike for the girl child led him to commit the alleged crime.

According to NDTV, The accused, Abul Hussein, allegedly dug a pit in his backyard while his wife was away. He then allegedly put his daughter in the pit, hands tied, mouth taped and filled earth upto her chest level.

Realising that his wife had returned home, Hussein allegedly placed a bamboo-drum over his daughter's head, intending to bury her later.But his wife soon grew suspicious and raised an alarm, following which neighbours rescued the girl. They later thrashed her father and informed the police.

Hussein has been booked for attempt to murder and was sent to judicial custody till January 20 by a local court."Abul Hussein was roughed up by the people who rescued the girl from half-buried condition.

Kaburi la Aliyezikwa na Kifaranga cha Kuku Tumboni Lafukuliwa

$
0
0
KABURI la Bernadetha Steven (35) aliyefariki na kudaiwa kuzikwa na kifaranga cha kuku tumboni wiki iliyopita katika mtaa wa Masekelo katika kata ya Masekelo, Manispaa ya Shinyanga, limefukuliwa na watu wasiojulikana.

Mkuu wa Upelelezi wa Jeshi la Polisi mkoani Shinyanga, Mussa Taibu amethibitisha kuwapo kwa tukio hilo, huku akisema tukio hilo halivumiliki na kuwataka wananchi kushirikiana na Jeshi la Polisi kufanya uchunguzi wa wahusika wa tukio hilo.

Taarifa za kufukuliwa kwa kaburi hilo zilianza kusambaa juzi majira ya saa 1:00 usiku ambapo jana asubuhi viongozi wa eneo husika pamoja na aliyekuwa mume wa marehemu, Deo Masanja walifika eneo la tukio na kukuta kaburi limefukuliwa huku nyayo za miguu ya watu ikionekana karibu na kaburi hilo hali iliyowatia hofu kubwa.

Mjumbe wa Serikali za Mitaa wa Mtaa wa Masekelo, Josephine Kishiwa aliwaeleza waandishi wa habari kuwa alipata taarifa za tukio hilo baada ya kuelezwa na baadhi ya wananchi na kuamua kuwatafuta viongozi wenzake ili kuweza kutatua tatizo hilo.

“Tukio hili ni mara ya kwanza kutokea katika makaburi haya hatujawahi kukuta kaburi limefukuliwa, hiki kitendo kimetusikitisha tunaomba Jeshi la Polisi lifanye uchunguzi wa kina ili tujue chanzo cha tukio hili,” alisema Kishiwa.

Bernadetha alifariki dunia Juni Mosi mwaka huu na kuzikwa siku mbili baadaye ambapo wakati wa maziko yake inadaiwa ndugu wa marehemu walifanya tambiko kwa kuchana tumbo la marehemu na kuweka kifaranga cha kuku kilichochinjwa wakidai wanaondoa mikosi ili mtu mwingine asiugue ugonjwa uliomuua ndugu yao huyo, ingawa hata hivyo haikuelezwa ni ugonjwa gani.

Habari ya maziko yake ipo hapa kwenye hii thread: Shinyanga: Marehemu apasuliwa tumbo ili kuwekewa vifaranga

Angalia Alichofanya Binti Huyu Kwa Mchumba wake

$
0
0
SOMA HISTORI KWA MAKINI KISHA JIFUNZE KITU 

" Msichana mmoja alikuwa amempenda
kijana mmoja mtanashati na mcha
Mungu.. Malengo yao ilikua waje kuoana
baada ya muda.
Kijana huyu alijitoa sana kwa binti huyu
hadi wenzie wakamuona mjinga, ukweli ni kuwa alimpenda msichana yule

kwa dhati. Alimtafutia kazi alipomaliza
chuo, alimshauri kuhusu mipango ya
maisha na alikua akimuombea kila
alipopata nafasiya kuomba.
Siku moja binti alikua anasherehekea siku
yake ya kuzaliwa...hivyo akaalika marafiki
zake, na watu wengine muhimu akiwemo
mpenzi wake.
Wageni wote walifika kwa wakati isipokua
yule kijana alichelewa kidogo... Hivyo
msichana akatumia muda ule ambao
mpenzi wake hajafika kuwaeleza wageni
namna yule kijana alivyokua wa muhimu
kwake..
Akamsifia sana, akasema atamvalisha
pete ya uchumba soon, na akasema siku
hiyo ya birthday yake anategemea zawadi
kubwa sana kutoka kwa huyo mpenzi wa
nafsi yake.
Baadae kijana akaingia na kuketi high
table.. Muda wa zawadi ulipofika watu
wakamtunza binti zawadi mbalimbali na
kijana akawa wa mwisho... Hivyo wageni
wote wakawa na hamu ya kutaka kujua
zawadi aliyoleta hasa baada ya yule
msichana kumsifia sana.
Kijana akaamka na kutoa mfuko.. kila mtu
akataka kujua kilichokua ndani ya
mfuko..mara kijana akafungua mfuko na
kutoa mkate..mkate??? Lakini kabla hajasema lolote
kuhusu ule mkate, yule msichana akaanza
kulia.. akapandwa hasira kwa kuwa
mpenzi wake amemuaibisha..!!
Akiwa analia kwa kwikwi, akamkwida shati
na kumvua tai yake, akamwagia juisi,
kisha akauchukua ule mkate na
kuutupa.!!
Maskini..yule kijana akaukimbilia ule
mkate na kuuokota.. Kisha akarudi high
table na kusema "baby nakushukuru kwa
yote..Huenda umenidharau kwa kuwa
nimekuletea zawadi hii ndogo kwenye
siku yako muhimu kama hii. Lakini kama
ungetambua thamani ya zawadi hii,
usingefanya haya.."
Kisha akafungua ule mkate na kutoa vitu
viwili alivyoficha ndani ya mkate.. Kwanza
akatoa ufunguo wa gari, ambalo alikuwa
amemnunulia mpenzi wake na alitaka
amkabidhi siku hiyo ya birthday.
Kisha akatoa pete ya uchumba na kusema
"Nilimuomba Mungu anipe mwanamke
atakayenipenda katika hali yoyote.
Nilipanga leo nikuvalishe pete hii ili
kuelekea ndoto yetu ya ndoa..
..Lakini kwa kuwa uliangalia nje, uliona
mkate, badala ya pete hii ya thamani
iliyokua ndani.. Naamini mwanamke
niliyemuomba kwa Mungu bado
sijampata..
Kisha akachukua mkate wake, huyoo
akaondoka. Msichana akaomba msamaha
lakini ilikua too late..


MORAL OF THE STORY..!
Usidharau kitu/mtu kwa kumtizama nje..
Mungu huangalia thamani ya kitu ndani
lakini Wanadamu huangalia nje.. Thamani
ya kitu/mtu ipo ndani na si rahisi
kuonekana..
Usiwe mwepesi wa kuhukumu kwa
kutizama umbo la nje.. Wale
wanaokudharau leo na kukuona mkate,
ipo siku watagundua haukua mkate wa
kawaida... kuna vingi vya thamani ndani
yako.
Wote wanaokudharau leo ipo siku
watakusalimia kwa heshima..!!

Mti wa Ajabu Wagundulika Mbeya, Unadaiwa Kugawa Utajiri Wananchi Wafurika Kupasua Mti Huo

$
0
0
Wananchi wa kijiji cha Ijoka, Mkoani Mbeya wameingia kwenye imani za kishirikina baada ya kuandamana na kwenda kupasua mti ulianguka ambao wanadai una utajiri ndani yake.

Wakazi hao walisema walielezwa na mganga wa jadi kutoka Malawin Peter Lungola, kuwa mti huo ukitumiwa vyema utaleta utajiri.

Mganga huyo alifika kijiji humo miaka 20 iliyopitana kuwaeleza kuw amti huo  una asili kubwa ya utajiri na kuwa chini ya mti huo kuna nyumba za kifahari zilizojaa hazina kubwa ya fedha.

Inasemekana mti huo ulianguka wiki iliyopita na kuanza kupumua huku watu wakipata kiwewe huku nyoka mkubwa ambaye alipotea katika mazingira ya kutatanisha.


Wazee wa kijiji hicho walishangazwa na hatua ya baadhi ya watu kula majani ya mti huo huku wengine wakichukua magome yake na kuyahifadhi majumbani mwao

Upatikanaji wa Ngono Kirahisi Uwafanya Vijana Wengi Kuchelewa Kuoa hasa Mijini

$
0
0
Kuna sababu nyingi zimetolewa kwa vijana kushindwa Kuoa na Kuolewa, nyingi kati ya hizo ni za kiuchumi na kujifanya wanajipanga kimaisha.

Ukweli ni kwamba watu wengi hawaingii kwenye Ndoa kwa sababu wanapata kirahisi tendo lenyewe la Ndoa.

Msingi wa Ndoa sio tendo la Ndoa pekee, kunafaida nyingi katika Ndoa hilo liko wazi kabisa.
Lakini ukwel ni kwamba tendo hili la ndoa lina msukumo wa pekee na ushawishi mkubwa katika kuanzisha mahusiano ya ndoa.

Maeneo ambayo vija upenda kupunguzia mahitaji yao ya Ndoa ni kwenye Madanguro, Bar, Massage parlour, makaburini.

Ukweli kungekuwa na Tamaduni au Sheria kali zinazodhibiti matendo ya Ndoa holela ndoa zingekua nyingi.

Balaa Tupu! Diamond, Ally Kiba Wakutana Ukumbini, Wachuniana

$
0
0
Baadhi ya wasanii wa Bongo fleva wakiwa kwenye mkutano.
Duh! Kama ulikuwa unaamini kuwa lile bifu la wakali wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Ali Saleh Kiba, limekwisha, basi umenoa baada ya jamaa hao kukutana ukumbini na kuchuniana.
Ishu hiyo ilijiri kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Double Tree Hilton jijini Dar, juzikati ambapo wasanii mbalimbali walikutanishwa na kampuni moja ya huduma ya simu za mkononi ili kuzungumza na wanahabari juu ya maandalizi ya tamasha.
Waandishi wetu, wakiwa wameingiwa na roho ya kutaka ‘ubuyu’, hatimaye muda wa kuingia Kiba ukawadia ambapo alitinga na timu yake ya watu wanne.
Alipofika, Kiba alikaa sehemu ya viti vya kushoto akiwa bize na mrembo mmoja wakichati kabla ya Diamond kutimba na timu yake kubwa.
Kama ilivyo ada, macho ya waandishi wetu yakaelekezwa kwa Diamond huku mapichapicha yakiendelea kwa ajili ya kutupia kwenye mitandao ya kijamii.
Kila msanii aliyefika kwenye ukumbi huo alianza kutoa salamu kwa mtu anayeona anafaa kwake, lakini cha kushangaza mastaa wawili Kiba na Diamond walishindwa kupeana hata mikono huku kila mmoja akiwa ameuchuna na kampani yake.
Hata hivyo, wakati ulipofika wa wasanii kujitambulisha mbele ya wadau, mastaa hao walitahadharishwa kwamba atakayeanza au atakayekuwa wa mwisho kujitambulisha haina maana kwamba yeye ndiye mkubwa zaidi kistaa.
Katika kujitambusha, Kiba ndiye aliyeanza huku kila mtu akitamba kufanya vizuri kwenye kila shoo zitakazofanyika mwaka huu.
Hakuna aliyekuwa tayari kumzungumzia mwenzake.

Lulu Michael Afunguka 'Najielewa Ndio Maana Kamwe Sichanganyi Madawa Kama Wengine

$
0
0
MTOTO mzuri Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ amesema katika maisha yake ya sanaa hataweza kufanya kazi nyingine mbali na kuigiza kama ambavyo wasanii wengine wanafanya.

Akipiga stori na mwandishi wetu, Lulu alisema, amegundua kuwa kila kitu kinatakiwa kifanywe kama kazi na yeye atakuwa akifanya kazi yake ya kuigiza tu na si vinginevyo.

“Napenda kuwa msanii na ninaamini mimi ni msanii, niweke wazi kwamba mimi katika maisha yangu sitarajii kuja kuwa dairekta au script writer wala kuja kufanya kazi nyingine yoyote zaidi ya kuigiza.

“Asilimia kubwa ya wasanii hapa kwetu hatuwazi mbali, chochote tunachofanya tunaona ni sawa tu hatupo kibiashara kwa sababu bado ni masikini ndiyo maana wengine wanaigiza ili waonekane, tubadilike,” alisema Lulu.

Aliempa Ujauzito Aunty Ezekiel Afunguka Kuhusu Kizidiwa Umri na Aunty Ezekiel

$
0
0
DANSA grade one wa Nasibu Abdul ‘Diamond’, Moses Iyobo amenyanyua kinywa chake na kusema hata kama mpenzi wake, Aunt Ezekiel amemzidi umri, ataendelea kumpenda hivyohivyo.
Akizungumza na mwanahabari wetu juzikati, Iyobo.

alisema watu wengi wamekuwa wakihoji yeye kumpenda Aunt
ambaye ana umri wa miaka 29, hawajui tu mapenzi hayaangalii umri kwani miaka ni namba tu za kuhesabika.
“Age is just a number, mimi sioni tatizo kuwa  na Aunt. Nategemeaanizalie, awe mama wa watoto wangu. Kuhusu wale wanaosema nina mke mwingine, si kweli yule nilizaa naye tu lakini kwa Aunt ndiyo nimefika,” alisema Iyobo ambaye ana umri wa miaka 23.

Mashabiki Yanga waingilia vita ya Amissi Tambwe na Mliberia

$
0
0
KATIKA hali isiyotarajiwa, mashabiki wa Yanga waliokuwa na dukuduku la moyoni, juzi Alhamisi jioni walimfuata Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Boniface Mkwasa na kumtaka abadilishe mpangilio ili badala ya kumtumia straika Mrundi, Amissi Tambwe kuwa straika wa pili, amchezeshe akiwa  straika namba moja na Mliberia, Kpah Sherman, ndiye awe straika namba mbili.

“Samahani kocha kwanza pole na kazi, tulikuwa na maoni kwamba Tambwe acheze namba  tisa na Sherman acheze 10, maana tuliona katika Kombe la Mapinduzi mlikuwa mnawabadilisha sasa tumeona Tambwe anamudu sana tisa hapo tutapata mabao mengi,” alisema mmoja wa mashabiki hao huku akiungwa mkono na wenzake waliomzunguka Mkwassa kwenye Uwanja wa Boko Vetereni.

Katika kutoa ufafanuzi,  Mkwasa aliwaambia kuwa hivyo ndivyo walivyopanga kuwachezesha kwa kuwabadilisha ili kuwazoesha wasikariri namba moja.

Jibu hili lilionekana kutowaridhisha mashabiki hao, lakini  walimshukuru kocha huyo na kisha kumwambia tangu wameanza kukinoa kikosi hicho kimekuwa na mabadiliko makubwa na kinawapa matumaini ya kufanya vema katika mechi za Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho.

Katika hatua nyingine, beki wa Yanga ambaye pia ni nahodha, Nadir Haroub ‘Cannavaro’ amemwambia kocha wa Simba, Goran Kapunovic, kuwa  kazi si kuchukua Kombe la Mapinduzi, bali kushinda mechi za Ligi Kuu Bara.

“Tunaamini Yanga nzuri ingawa tulitolewa katika Kombe la Mapinduzi, mechi zile si kipimo kwamba timu yake ni nzuri. Huku kwenye ligi ndiyo sehemu ambayo Simba inatakiwa kuonyesha ubora wake,”alisema Cannavaro.

“Nimeona watu wanampongeza sana huyu kocha mpya wa Simba hata mimi nampongeza kwa ubingwa wa Mapinduzi, lakini  ili watu wajue ubora wake anatakiwa ashinde mechi za ligi.”

Zari wa Diamond Aonyesha Sebule Yake na Kusema Haya Hapa

$
0
0
I love MySpace..... it gives me all the peace i need after a long hustling day #HomeSweetHome- Zari wrote this after posting the above photo on her Instagram Page

The SECRET Recipe Used By CONGO Women To Grow BIGGER BUTTS That Tanzanian Ladies Will RUSH To Try Out

$
0
0
Mrembo mwenye Makalio Mazuri
When a skinny girl or woman passes by, men don’t even bother to look or show interest. But as soon as they see a chubby woman, with a round buttocks and full breasts, they turn around in a flash,thats one of the unwritten philosphies in these streets that A woman, a real woman, must have curves,there are women who like it when men praise their behind actually most.

In Kenya we've heard of crude methods by ladies desperately looking for the curvy figure including consumption of chicken feeds amongst other methods.

The craze for bigger behinds has caught up with ladies across board including DRC

They are now using rectal suppository diets believed by some as one surefire way to beef up the booty, with Maggi stock cubes being one common ingredient…

Pumping themselves with vitamins, ginger juice and stock cubes. Yet this popular diet in Kinshasa is not being swallowed whole. Rectal suppository diets are dangerous, say doctors.

The power of stock cubes
One bum-enhancing mixture includes C4 syrup and tablets, Maggi stock cubes and Tangawisi, a raw ginger juice. “And it works!” says Sophie who lives in Kinshasa.

As for Micheline’s regimen: “I add 50 vitamin tablets into the vitamin syrup and then take it before going to bed. I take the mixture once a week, sometimes throughout the week.”

Meanwhile,another lady Henriette, prefers Dongo-Dongo Gombo, a soup made from a hibiscus-like flower. “I have noticed that C4 makes me very tired and drowsy,Gombo and stock cubes are the way to go for a nice-looking behind.”
~UdakuMagazine

Picha: Diva Ajifananisha na Rihana Huko Instagram

$
0
0
Switchin off the tv then white sands i see ya ina min... .... jaman kwan mie Nina Tofauti gani na Rihanna? yeye akivaa nguo kiuno wazi sawa mie kelele... ndio natembea kiuno wazi sasa #die and nah nat edited hunie... i got this! pima na app zenu . niko Bouraaah and sijikondeshi sasa.. ntabaki hivi hivi. gym nendeni nyie mnaotaka U model..

Majambazi Wavamia Duka la Mpesa na Kuiba Milioni 45

$
0
0
MAJAMBAZI watano wakiwa na silaha za moto na mapanga wamevamia duka la fedha la Mji mdogo wa Sirari na kupora Sh milioni 45 za Kitanzania na fedha za Kenya elfu 50.

Katika hekaheka hizo majambazi hao wamejeruhi watu wawili akiwemo mwalimu wa shule ya msingi Sirari anayeitwa Mataigwa Muhono (30) aliyepigwa risasi mguuni na mdogo wa mwenye duka ambaye alikuwa akitoa huduma Mara Masabi (23) ambaye amepigwa mapanga. Duka hilo mali ya Dickson Ntari (32) lipo hatua 20 kutoka kizuizi cha kituo cha Forodha Sirari.

Aidha majambazi hao baada ya kumaliza uvamizi katika duka la Dickson walivamia na maduka jirani kabla ya kukimbilia nchi jirani ya Kenya. Kaimu Kamanda wa mkoa wa Kipolisi Tarime Rorya, Sweetbart Njewike alikiri kutokea kwa tukio hilo Alhamisi jioni ya Januari 15 mwaka huu.

Alisema kwamba majambazi hao wakiwa na makoti meusi na mmoja aliyebeba bunduki ya vita aina ya AK 47 akiwa katika koti jekundu alipiga risasi hewani kudhibiti watu waliokuwa wanataka kutoa msaada na ndipo alipomjeruhi mwalimu huyo.

Pamoja na kupora fedha taslimu Sh za kitanzania 40 ,000,000 katika duka la Dickson pia walipora simu za mkononi 3 aina ya Samsung zenye thamani ya Sh 850,000, simu 3 aina ya Nokia zenye thamani ya Sh 290,000.

Aidha kwenye duka jirani linalomilikiwa na Charles Papa Nestory walipora Sh 350,000 na fedha za Kenya 50,000 wakati mfanyabiashara anayemiliki jengo la Wazee Sirari anayetambulika kwa jina la Elisha Kaduri aliporwa 2,700,000 alizokuwa amelipwa kodi ya nyumba.

Kaimu Kamanda huyo ACP Sweetbat Njewike alisema majambazi hao walikimbia baada ya kuona kwamba wanaanza kuzidiwa na wafanyabiashara wengine waliokuwa na silaha ambao walijitokeza kukabiliana nao kabla ya polisi kufika.

Hata hivyo alisema kwamba majambazi hao walifanikiwa kutoroka na kutokomea porini njia ya kuelekea mji wa Isebania. Hili ni tukio la sita la majambazi kuvamia na kupora watu fedha katika maeneo hayo ya maduka.

Katika moja ya matukio hayo kaka mkubwa wa Dickson Ntari aitwaye Mwita Ntari aliwahi kuvamiwa na kuporwa zaidi ya Sh milioni 60 na watu waliokuwa na silaha za moto.

Aidha wameshawahi kuvamia baa ya ya Mzalendo mali ya Ikonde Mrimi na kuwaua wateja wawili akiwemo raia wa Kenya na fundi ujenzi.
Boost Una

Abiria wa Basi la Champion Afariki Dunia Akiwa Safarini

$
0
0
MKAZI wa Dodoma, Ramadhan Zuber ambaye alikuwa abiria kwenye basi la Champion amefariki dunia akiwa safarini.

Akizungumza na Mpekuzi mjini Kibaha, Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alisema kuwa Zuber (29) alikuwa akisafiri toka Dar es Salaam kwenda Dodoma.

Kamanda Matei alisema kuwa tukio hilo lilitokea Januari 16, saa 3:30 asubuhi katika kijiji cha chamakweza wilaya ya Bagamoyo ambapo alibainika kuwa ameshafariki dunia.

Alisema kuwa Zuber alikuwa amekaa kiti namba 3 kwenye basi hilo lenye namba za usajili T 909 BRA.

Chanzo cha kifo hicho bado hakijafahamika. Alisema kuwa mwili wa marehemu umehifadhiwa kwenye Hospitali ya Tumbi kwa ajili ya uchunguzi.

Huyu Ndiye Aliyekamatwa kwa Kuhack Namba za Simu za Fid Q na AY

$
0
0
Ndani ya wiki hii moja ya story zilizokuwa kubwa Bongo ilikuwa ni story ya namba za simu za mastaa Fid Q na AY kuwa hacked na mtu asiyefahamika, halafu jamaa aliyehack akawa anatuma message kwa marafiki wa karibu wa mastaa hao na kuwaomba hela.
Muda mfupi uliopita, kupitia Instagram na Twitter, Fid Q na AY wameweka story ya kumkamata mtu aliyehusika kufanya uhalifu huo.

“Yule HACKER ndo huyu hapa.. Ni Mwanafunzi wa IFM.. Yuko mwaka wa pili Anaitwa AHMED….“–@fidq (Instagram)

“Huyu ndie aliyehack namba Yangu na Ya @FidQ na kuanza kutapeli watu ndio huyu,Anaitwa Ahmed anasoma IFM 2nd Year”– @AyTanzania (Twitter)

Usidanganywe Kupeleka Madawa ya Kulevya Miji Hii, Ukikamatwa Unapigwa Risasi

$
0
0
Nimesikitishwa sana na orodha ndefu ya vijana wanaoshikiliwa na wengine wameshatolewa hukumu ya kunyogwa wengi wao ni kutoka Tanzania, lakini hii inatokana na vijana wengi wa kitanzania kudanganywa kwa kutaka utajiri wa haraka haraka.

Usijaribu wala usidanganywe kupeleka madawa ya kulevya hasa katika miji ya Macao, Hongkong,Indonesia, maana ni hatari sana kwani kifungo cha chini kabisa kwa gram moja ni 7 years,ila wengi uhukumiwa kwa kunyogwa na kifungo cha maisha na kazi ngumu.

Matajiri wengi uwadanganya vijana matokeo yake uishia magerezani na kunyongwa.

Jana Indonesia imewapiga risasi raia wa nchi tano zikiwemo zenye nguvu kiuchumi kwa raia wake kuingiza madawa ya kulevya nchini humo,licha ya nchi hizo kuwaita nyumbani mabalozi wake.

Jamani usidanganywe heti utafungwa miaka 2 utatoka, matajiri waelezeni ukweli kabla ya kuwatuma huko, mimi nilikuwa mji wa Macau ukweli hali inasikitisha kwa watanzania wanateseka sana.
Viewing all 104789 articles
Browse latest View live




Latest Images